Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104755 articles
Browse latest View live

Serikali Yakanusha Twiga Kutoroshwa kwa Kutumia Ndege Mbugani

$
0
0

SERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.

Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru  ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.

Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.

“Picha zile zimetolewa katika intaneti na kuelezwa kuwa ni za Tanzania, si kweli.  Ni picha za kughushi,” alisema Dkt Meru.

Pia alibainisha kwamba twiga wa Tanzania wanatumika kama nembo ya taifa na hawaruhusiwi kuwindwa hata kidogo, “sasa kusema wamewindwa na kusafirishwa ni uzushi na upotoshaji.”

Alisema ukweli uliopo ni kwamba Kampuni ya Ortero Business Corporation iliyosajiliwa hapa nchini iliomba kibali cha kawaida cha uwindaji na kukubaliwa.

Kampuni hiyo ilipata vibali vya watu wanane vya uwindaji wa wanyama wakiwemo kongoni, ngiri, pofu, na swala pamoja na aina ya ndege mbalimbali.  Kibali hakikuhusisha wanyama kama twiga, simba wala tembo.

Alisema kufuatia kibali hicho tarehe 25 Septemba, 2015 zilikuja ndege tatu aina ya CI 30 UAS, 312, na kupata kibali namba TCAA/5055/21294 ya mizigo; ndege ya abiria L6RJI iliyopata kibali namba TCAA/5055/21295 na ndege nyingine ya abiria A9HRM 767 iliyopata kibali namba TCAA/5055/21300.

Ndege hizo zilikuwa na Mohamed Sheikh Mohamed Bin Rashid, Mfalme toka Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu akiambatana na msafara wa watu 137 na kutua katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA).

Alisema ujumbe huo wa watu ulifuata taratibu za kuingia nchini na kupata vibali halali vikiwemo vya uhamiaji na baadaye walielekea Loliondo.

Miongoni mwa watu hao walikuwemo watazamaji, wafanyakazi wa ndege hizo, watoa huduma wa mfalme huyo miongoni mwa wengine.

Alisema vibali vya uwindaji huo vimeipatia serikali dola za kimarekani 41,400 sawa na Tshs milioni 85.

Kwa mujibu wa Dkt. Meru, baadhi ya watalii hao pamoja na mfalme huyo waliondoka Septemba 29, 2015 huku baadhi ya maofisa wake wakiwa bado hapa nchini kwa ajili ya kukamilisha utaratibu wa kuhakiki wanyama na ndege waliowindwa na malipo ya serikali.

Dkt. Meru alisema uwindaji huo ulisimamiwa na maofisa wa jeshi la polisi, usalama wa taifa, maofisa wa kuzuia wanyama wanaokatazwa kuwindwa, maofisa wa halmashauri ya Loliondo na maafisa wa wizara kitengo cha kuzuia ujangili.

Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Herman Keraryo utalii wa kuwinda ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato si kwa Tanzania tu bali na nchi nyingine duniani.

Kwa mwaka jana tu, utalii huo uliingizia Wizara dola za Kimarekani milioni 18.

Alitaja faida nyingine kama kuwianisha idadi ya wanyama katika mapori na kuzuia ujangili.


BREAKING NEWZZ....Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa

$
0
0
Muda mfupi uliopita ndege yetu ya kivita imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.

Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.

Walikuwa eneo la Msasani, Dar; zimepatikana parachutes na helmet za vichwani mwao ila Makamanda wetu hawajapatikana. Na ndege pia imepatikana


JWTZ imethibitisha leo kuwa ndege ya mafunzo ya kijeshi imeanguka mwambao wa Kunduchi, Dar ikiwa na marubani 2. Marubani hao bado hawajapatikana.



MAFURIKO: Picha za Mikutano yote ya Lowassa Leo Jijini Dar es Salaam

$
0
0

Mgombe Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Saed Kubenea
Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA akiwa maeneo wa Ubungo akiendelea na kampeni.. Jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.
Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke.

TANGANYIKAPACKERS: Wananchi wakimsubiri Edwardlowassa kwa ajili ya mkutano wa kampeni 


Polisi Yathibitisha Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo Kutekwa

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.

Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Gemini Mushy amesema kuwa tangu kutoweka kwa mgombea huyo, simu yake imekuwa ikitumika kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kwa wazazi wake.

Amesema kuwa ujumbe huo umekuwa ukiwataka wazazi wake kutoa kiasi cha fedha shilingi milioni mbili na nusu ndipo waweze kumwachia huru vinginevyo wajiandae kupokea maiti ya mwili wa mtoto wao.

Kamanda Mushy ameeleza kuwa mgombea ubunge huyo ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, (SAUT) kampasi ya Mbeya alitoweka Septemba 27 mchana akitokea ofisi ya chama hicho mkoa.

Amesema kuwa jeshi la polisi liliweza kupata taarifa rasmi ya kutekwa mgombea huyo tarehe 29 Septemba mwaka huu, ambapo ameeleza kuwa mpaka sasa siku ya nne hajulikani alipo na yuko katika mazingira ya usalama kiasi gani.

“ Ni kweli tumepata taarifa za mgombea ubunge huyo kutekwa na mpaka sasa ni siku ya nne hatujafahamu yuko sehemu gani na katika mazingira gani lakini jeshi la polisi kwa kushirikiana na wazazi wake na watu wake wa karibu tunaendelea kufanya uchunguzi ili tubaini mahali alipo na wahusika wa tukio hilo” amesema Kamanda Mushy.

Aidha Kamanda Mushy amesema kuwa kabla ya mgombea huyo kutekwa aliondoka katika ofisi ya chama hicho Mkoa, alikiwa amebeba begi lake huku akiwa anaongea na simu huku akimtaka dereva wa gari lake pamoja na fundi mitambo kumsubiri ofisini hapo.

Kufuatia tukio hilo Kamanda Mushy ameeleza kuwa jeshi lake linaendelea kufanya uchunguzi kwa njia ya mitandao ili kubaini ujumbe wa vitisho unatokea maeneo gani ikiwa pamoja na kuwakamata wahusika wanaoendelea kutumia simu ya mgombea huyo.

Kwa upande wake Katibu wa ACT-Wazalendo, Simiyu, Matondo Maduhu amesikitishwa na kulaani kitendo hicho, hivyo wanaliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi mapema ili kubaini mahali na kunusuru maisha ya mgombea huyo.

Aunty Ezekiel Agoma Kufunguka Kuhusu Ndoa Yake na Iyobo

$
0
0
KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa  filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye  anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.
Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.
Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa umepata chansi ya kutoka.
Msomaji: Umejipangaje kuwaelimisha vijana kuwa Ukawa siyo chama cha vijana kama wengi wanavyofikiri?.
Aunt: Siwezi kuliongelea hilo sababu mimi si Ukawa, nimeshatoka huko sera zao sikuzielewa.
Msomaji: Nakumbuka miaka ya nyuma ulikuwa na baa kubwa na ilikuwa inafanya biashara nzuri maeneo ya Kinondoni, kwa nini uliifunga na umeihamishia wapi? Nilikuwa mteja wako..
Aunt: Biashara huwa upepo unabadilika, kweli mwanzo ilikuwa inafanya vizuri baadaye nikaona haifanyi vizuri inanitia hasara nikaamua niachane nayo.
Msomaji: Dada Aunt, hivi mpaka sasa bado upo kwenye ndoa yako, nilisikia umepewa talaka ni kweli?.
Aunt: Sipendi kuongelea mambo ya ndoa yangu, tunajuana wenyewe mimi na mume wangu.
Msomaji: Hivi Aunt wakati unaigiza Miss Bongo kwenye lile tukio la kumtoroka Baba Haji, kwa nini ulitokomea na gari la watu moja kwa moja mpaka Mbezi, ulimaanisha nini?.
Aunt: Nilikuwa nimechoka halafu nalazimishwa kuendelea kuigiza ndiyo nikaona niondoke na gari lilikuwa langu si la watu.
Msomaji: Aunt hufikirii ipo siku mumeo atakusumbua urudi kwake na wewe ndiyo umeshazama kimalovee kwa Iyobo?.
Aunt: Sitaki kuliongelea hilo. 
Msomaji: Kwa nini ulivyokuwa na mimba ulikuwa unaenda hospitali umejifunika uso?.
Aunt: Sikupenda kuona watu wananishangaa nilikuwa naona kero, ndiyo maana nikawa navaa ninja kuficha sura.
Msomaji: Napenda kujua kabila lako na jina la Cookie la mwanao lina maana gani?.
Aunt: Mimi ni Mnyakyusa kwa baba na mama ni Mhaya, jina la Cookie nililiona mtandaoni kwenye Google  likanivutia baada ya kuangalia maana yake kuwa ni kitu kitamu, sababu nampenda mwanangu haniishi hamu muda wote nikaona nimpe jina hilo.
Msomaji: Kwa nini hutaki kumuonesha sura mwanao?.
Aunt: Sababu yeye siyo msanii hakuna ulazima wa kufanya hivyo, kumuanika mwanangu kwa sasa watu watatumia vibaya picha yake kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kila mtu ataongea lake, nitaumia sana sitajisikia vizuri ndiyo maana namuacha akue kidogo, sifikirii kumuanika leo wala kesho.
Msomaji: Napenda kujua dini yako, je Moze akitaka kukuoa utabadili dini kama ulivyofanya kwa mumeo?.
Aunt: Mimi ni Muislamu na nimekulia dini zote mbili, baba Mkristo na mama ni Muislamu hivyo yote yanawezeka kwani kila jambo linapangwa na Mungu.
Msomaji: Hongera kwa kuitwa mama, hivi ni kweli ulihongwa gari na Buthelezi?.
Aunt: Aaa wapi hakuna kitu kama hicho, yeye alikuwa anauza magari akaniomba nimsaidie kutangaza biashara yake.
Msomaji: Jina la Gwantwa na Aunt yametokana na nini na wewe ni mtoto wa ngapi?.
Aunt: Jina la Gwantwa kwa kawaida ya kabila letu lazima upewe jina la kimila na nilipewa na bibi yangu lina maana ya mtoto wa Mungu kwa hiyo kule kwetu mimi ndiyo kama mama yao kimila na jina la Aunt baba yangu yeye yupo mwanaume peke yake, sasa dada zake walikuwa wanagombania kila mmoja aniite jina lake na katika kumaliza utata ndiyo ikabidi niitwe jina hilo kwa maana ya shangazi ili kuwaridhisha wote.
Msomaji: Kwa nini unapenda kuvaa nguo fupi, hata ulipokuwa na mimba ulikuwa unavaa hivyo?
Aunt: Tangu mdogo mama yangu alinizoesha mavazi hayo, kama nguo ndefu utotoni kwangu nakumbuka nilivaa siku moja nilipokuwa natimiza miaka 12 au 13 kama sikosei.
Msomaji: Unamuweka upande gani Moze ni mzazi mwenzio, mumeo mtarajiwa au mchepuko?.
Aunt: Moze ni mzazi mwenzangu na kuhusu ndoa siwezi kuongelea maamuzi hayo hutoka kwa mwanaume, ila kwa upande wangu nina malengo naye, nitamzalia watoto hata 8.
 Msomaji: Ugomvi wenu na Wolper najua ni mambo ya uchaguzi, ukiisha mtasaidianaje kimaisha?
Aunt: Sina ugomvi na Wolper na wala siwezi kugombana naye, hayo ni mambo madogomadogo tu tunawekana sawa.
Chanzo: GPL

Temptation Kibao! Imagine If This LADY Was Your Secretary (VIDEO)

$
0
0

Many secretaries go to work dressed to kill and that’s why their bosses fall into temptation.

A case in point is this lady said to be working as a secretary, who decided to flaunt her curvaceous figure by wearing a black s3xy dress that left her big b()()ty well exposed for all to see.

Just watch the video below; what if you were the boss?


Wastara na Bond Mambo Safi....Bond Atoa Maneno Mazito na Kumshukuru Mungu Kumpa Mwanamke kama Wastara

$
0
0
Ikiwa Bado Kuna Sinto fahamu Kwa Mashabiki wa Filamu Kama Bond na Wastara ni Wapenzi kweli ama la , Mwigizaji na Mtangazaji Bond Ameandika Maneno Haya na Kupost Picha hiyo Hapo juu Kwenye Ukurasa Wake wa Facebook:

"Siku ya Tarehe 27 mwezi wa 9 mwaka 1994 ni siku Mama yangu alinifariki na kuniacha mpweke na nikajiona kuwa sitakuwa na furaha.
Lakini tarehe hiyo hiyo 27/09 kasoro mwaka alizaliwa binti mmoja mzuri wa ajabu mwenye sifa nyingi nzuri ambazo kila mtanzania anazijua kuanzia kazi, upendo, huruma, uvumilivu na ujasiri kwakweli mungu hajawahi kukosea wala hatokosea kufanya maamuzi
Kwani humpa amtakae na humnyima amtakae na yote ikiwa ni kwa kheri zake
Asante mungu kwa kunijaalia kunipa na kumjua huyu mwanamke mzuri"

Lulu Michael na Nay wa Mitego Watoa ya Moyoni Kuhusu Wanasiasa Wanaotumia Matusi na Kejeli Kwenye Kampeni zao

$
0
0
Mwigizaji Lulu Michael Ametoa ya Moyoni kuhusu Wanasiasa Wanao Panda Majukwaani Badala ya Kupiga Kampeni Wanaongea Maneno ya Kejeli na Matusi Mpaka Unaweza Jutia zike Shikamoo Unazompa.....Baada ya Lulu Kuandika Hayo Ney wa Mitego naye Akaamua Kukandamiza zaidi ....Soma Hapo Chini:




Hali Halisi Jimboni Bunda Mchuano Kati ya Wasira na Bullaya

$
0
0
Nipo jimboni Bunda wiki ya 2 sasa mambo yangu ya kimajukumu, nimebahatika kutembelea maeneo tofauti tofauti katika jimbo hili. Hali ya kisiasa iliopo kwa sasa Mh.Wassira anaetetea kiti chake anapata wakati mgumu kutokana na kundi kubwa la vijana kumkubali mh. Ester Bullaya na kiuhalisia jimbo hili lina vijana wengi kuliko wazee na kina mama.

Kibaya zaidi kumekuwa na vikesi vya kumpeleka polisi huyu mwanadada Ester Bullaya na baadae kutolewa maamuzi na kuonekana ameshinda mfano kesi ya gari yake. Hivi vitu vimekuwa vikimuongezea umaarufu na kukubalika zaidi na kuonekana bora zaidi kuliko mh. Steven Wasira.

Chama cha mapinduzi (CCM) na Wassara mwenyewe wana siku 20 na ushee kubadilisha upepo uliopo sasa la sivyo heshima uliojijengea kwenye utumishi wako nchi hii zaidi ya miaka 20 itaporomoka kwa kushindwa vibaya na mwanadada huyu, kwa kifupi anaenda kukustafisha kwa lazima, kwa lugha ya vijana wanasema unastaafishwa kwa kichapo au kwenye ndondi wanasema umepigwa kwako.

Kila la kheri mzee wetu

By Brave One/JF

Picha: Huyu Ndio Msanii wa Kenya Aliyemshirikisha Diamond Baada ya Victoria Kimani

$
0
0
Collabo ya mwisho ya Diamond Platnumz na msanii wa Kenya ni ile aliyoshirikishwa na Victoria Kimani kwenye wimbo Prokoto alikuwemo Ommy Dimpoz pia.
12042664_964200770314210_2861085196419878386_n
Akothee na Diamond wakiwa studio
Baada ya hapo, Diamond amekuwa akifanya ngoma na wasanii wa Nigeria, Afrika Kusini na Marekani zaidi. Hata collabo na wasanii wenzake wa Bongo zimekuwa za nadra pia na hivyo kumfanya kuendelea kuwa msanii anayetafutwa zaidi kwa collabo Afrika Mashariki.
Lakini kuna msanii wa Kenya aliyepata nafasi ya kumshirikisha staa huyo na huyo si mwingine zaidi ya Esther Akoth maarufu kwa jina la Akothee.
12042847_964200870314200_4474176626958980005_n
Akothee na Babu Tale
Muimbaji huyo amekuja nchini kurekodi wimbo huo na Diamond kwenye studio zake za Wasafi Classic, WCB. Wawili hao waliingia kwenye studio usiku wa kuamkia Alhamis hii.
12033189_964200813647539_5336874989264093516_n
Akothee akirekodi wimbo wake mpya aliomshirikisha Diamond
Hiyo inakuwa collabo ya pili kubwa kwa Akothee kuifanya mwaka huu baada ya hivi karibuni kurekodi wimbo na Flavour wa nchini Nigeria.
Hivi karibuni aliachia video ya wimbo wake ‘Shengerera Mama’ iliyoongozwa na God Father.

Mchepuko Unapokuachia Kumbukumbu Isiyofutika Maishani Mwako

$
0
0
Kuna michepuko mingine inaacha memories ambayo haifutiki na hutosahau maisha yako yote. Sijui kama ilishakutokea? Hata ukiwa na njia kuu yako na ukaachana na mchepuko, basi utakuwa na njia kuu yako kimwili ila kiakili na kiroho uko kwa mchepuko.Mimi hicho kitu kinanisumbua sana.

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2007 nilipoajiriwa kwenye taasisi fulani, nikiwa na miezi minne tuu kazini na ugeni wangu, kuna siku tulikuwa na workshop training ya mambo ya IT. Tukakaa kila mtu kwenye computer yake kwa ajili ya training.

Baada ya lunch tukisubiri session ya mchana, nikawa nasoma emails na kucheki news kwenye mitandao mbali mbali. Akapita dada mmoja basi macho hayana pazia akaona nasoma email fulani (hizi za kufowadiana). Akaniambia email nzuri hiyo, nifowadie, akanipa email add yake. Nikafanya hivyo.

Kuanzia siku hiyo akawa ananirushia emails nyingi tu za kufowadiana, nikawa sina time nazo sana. Akawa ananitumia za kwake, ananisalimia na story nyingine nikaona kawaida. Sikushtuka.

Siku moja nikakuta amenitumia email, heading inasema "Nyumba hii unaweza kuipangisha kwa bei gani?" Nilipofungua nikakuta attachment ya slides, ina picha ya nyumba, kuna arrows kila chumba nikiclick inafunguka humo kuna picha za xx watu wanachapana, kila chumba.

Daah, nilipanic, ukweli nilikuwa sijawahi kuchepuka na nilikuwa mshamba mshamba wa hayo mambo, hata picha za x nilikuwa sipendi kabisa kuangalia. Ila siku hiyo nilipanic sana, mwili wote ukasisimka, mashine ikasimama nikiwa ofisini nikashindwa la kufanya. Siku nzima nikawa na mawazo, usiku niko kitandani namuwaza yule dada, nilikuwa na maswali mengi.

Siku iliyofuata akanipigia simu, nikashtuka amepataje namba yangu (anyway, labda kachukua kwa mtu mwingine, sikuhoji). Kuanzia pale mwanamume nikawa nimeshaingia ndani ya 18 yake. Alinisumbua sana, kwa siku alikuwa ananipigia tunaweza kuongea hata saa nzima au masaa mawili.

Ilipofika ishu ya mechi, alinipigisha kwata styles zote, mpaka zingine nilikuwa sizijui na ushamba wangu ujanani sikuwa na hayo mambo, sikuwahi kufanya sex mpaka siku ya ndoa. In short sikuwa na uzoefu.

Kilichonisaidia ni kuwa nilikuwa very strong kupiga round tatu au nne ilikuwa kawaida kabisa, na ikitokea tunaspend usiku wote basi mpaka tano. Mtoto anakata kiuno kama feni, ana miguno ya makelele, ananyonya mpaka unachanganyikiwa aisee. Kitu kimoja nilichokuwa naogopa, alikuwa mke wa mtu. Msiniulize ngoma tulienda kupima kabla ya kukutana.

Siku moja nikamwambia hatuwezi kuendelea hivi, mke wa mtu sumu. Akanijibu, sawa mke wa mtu sumu lakini haiui panya. Tukahitilafiana, akalia sana siku hiyo. Nikambembeleza aache kulia its over. Nikamhoji aniambie kwa nini amefanya vile, akatoka akaenda kwenye gari lake akaniletea albam ya picha, akanionyesha picha ya mumewe.

Alinisimulia mengi. Moja, amepishana na mumewe miaka mingi kiumri kwa hiyo hawamatch hata inapokuja suala la hobby. Pili mumewe ni mtu wa safari sana, nyumbani anaonekana kwa nadra sana, zingatia mumewe ni mchaga mambo ya business kwa sana.

Akaniambia kuwa hafurahii tendo la ndoa kwa mumewe, huwa anampa tu kama kutimiza wajibu lakini haitoki moyoni. Mwisho, akaniambia nikimuacha bora afe kwa vyovyote vile hataweza kukosa penzi langu.

Kuna siku alisafiri kwenda Dar, akaenda Zanzibar kuchukua mizigo ya biashara, aliporudi akaniletea box la zawadi amelifunga kwenye mfuko wa malboro mkubwa. Akaniambia nisifungue mpaka nifike nyumbani. Tulipoachana mimi nikaenda zangu ofisini nikague kwanza nisije nikaleta soo home.

Kumbe alikuwa ameninunulia mashati manne mazuri sana, vitambaa vya suruali viwili, viatu pea mbili vizuri, saa, simu smart phone, seti mbili za bed cover (mashuka manne, pillow nne, matandiko mawili) ya bei kali sana na rangi nzuri sana.

Pia nikakuta boxer nne, na bukta nne za kwangu, underwear nne na skin tight mbili za mke wangu. Kuanzia hapo akawa ananimiliki ile mbaya, daah, alikuwa ananibembeleza, alinivuruga nikavurugika kisawasawa.

Akisikia tuu nina tatizo basi kama ni hela ananipa, mara kapiga simu. Ila alinipa heshima sana akaniambia namba yake nisevu kwa jina la dereva tax, alikuwa hataki kabisa mapenzi yetu yavuruge ndoa zetu, kila mara ananikumbusha kufuta sms.

Ila kuna wakati tukavurugana tena tukaachana japo kwa machozi sana na vitisho. Sasa hivi ameacha kazi na amepata kazi green pasture nzuri zaidi mkoa mwingine, ila bado ananipigia na kunikumbuka. Since then, nimeshindwa kabisa kumsahau, japo najaribu kudelete hiyo file imeshindikana.

Nikitofautiana na mke wangu huwa natoka nyumbani naenda kukaa sehemu tulivu, najikuta namwaza yeye kama faraja, nammpigia, alafu nikiongea naye najikuta nalia nashindwa kujizuia. Wakati mwingine nikilala usiku najikuita hisia zinanijia natokwa na chozi.

Hivi nifanyeje nisimkumbuke tena? Ubaya mwingine ni kuwa njia kuu yangu imejisahau sana, no care tangu apate kazi ya kuajiriwa, maisha yanaenda tu ili mradi. Laiti mwenzangu angekuwa anajali may be ningesahau habari ya huyu mchepuko.

NEC: Kalamu Yoyote inaruhusiwa Kupigia Kura

$
0
0
Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu anaruhusiwa kuja na kalamu yake kupigia kura Oktoba 25, mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa leo na NEC wakati ilipofanya mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini ikiwa ni siku ya tatu ya kukamilisha utaratibu wa kuzungumza na wadau wa uchaguzi baada ya kufanya hivyo kwa wawakilishi wa walemavu na wamiliki wa vyombo vya habari nchini.

Akisisitiza juu ya ushiriki wa wadau kutoa elimu ya mpiga kura, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Lubuva amesema kipindi hiki cha kampeni kimeshuhudia kuzuka kwa maneno mengi yasiyokuwa na uhakika ambayo yanawachanganya wananchi.

Kalamu yoyote inaruhusiwa kupigia kura hivyo watu wasiogope kwenda na kalamu zao ila wasiokuwa nazo watatumia zetu tulizoziandaa. Hazifutiki kama inavyosemwa huko mitaani,” amesema Jaji Lubuva.

Ametumia nafasi hiyo pia kubainisha mkakati wa kuzuia uwezekano wowote wa wizi wa kura kama inavyosemwa na baadhi ya wagombea na viongozi wa vyama vya siasa na kutoa wito kwa mtu au taasisi yoyote inayoona mwanya wa hilo kujitokeza ili hatua stahiki zichukuliwe.

Vile vile amewataka wanasiasa wote kuachana na maneno machafu wawapo majukwaani pamoja na kushambulia tume hiyo au baina ya wenyewe kwa wenyewe na badala yake wajikite kwenye kunadi sera zao.

Tunaumizwa sana na matumizi ya maneno kama ‘tume inaandaa bao la mkono’ kwenye vyombo vyenu. Hakutakuwa na wizi na sisi tunaamini ushindi utatokana na wingi wa kura alizopata mgombea husika,” amesema na kuongeza:

Kama chama cha siasa kimeishiwa sera za kunadi kwa wananchi basi ni vyema kikampumzisha mgombea wake na kusubiri siku ya uchaguzi badala ya kutoa lugha zisizofaa. Matumizi ya kauli za matusi, dhihaka au kejeli dhihi ya wagombea wengine ni kinyume na maadili ya uchaguzi. Hata kuituhumu tume bila kutoa ushahidi siyo jambo jema na kutowatendea haki wananchi.”

Mwenyekiti huyo ametoa kauli hizo baada ya kupata michango kutoka kwa wahariri waliomueleza changamoto walizonazo katika kuruhusu matumizi ya baadhi ya maneno yanayotolewa majukwaani.

NEC yatoa Uhuru kwa Waandishi siku ya Uchaguzi

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) itaruhusu waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kufika kwenye vituo vya kupigia kura na kufanya mahojiano na wapiga kura pamoja na wasimamizi wa uchaguzi kuhusu zoezi la kupiga kura litakavyokuwa likiendelea.

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima wakati wa mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo na wilaya na maafisa wa uchaguzi yaliyofanyika mjini Morogoro.

Mkurugenzi huyo amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria kwani kwa mara ya kwanza waandishi wa habari wataruhusiwa kufika katika vituo vya uchaguzi kwa lengo la kupata habari kutoka kwa wasimamizi wa uchuguzi na hata wapiga kura kuhusu namna uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 utakavyokuwa ukiendelea.

Hata hivyo Kailima amesema kuwa kwa sasa tume inaandaa mwongozo utakaoeleza taratibu na mipaka ya waandishi wa habari pamoja na watakaohusika kutoa habari katika vituo hivyo vya kupigia kura.

Katika hatua nyingine Kailima amesema kuwa NEC imepata taarifa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) iliyotabiri kuwa mwezi Oktoba kutakuwa na mvua hivyo NEC imejiandaa kukabiliana na changamoto hiyo.

Hivyo amewataka wasimamizi wa uchaguzi kubaini mapema maeneo ambayo yanaweza kuingia maji na kuweka tahadhari ili kuepuka usumbufu kwa wapigakura ama uharibifu wa vifaa vya kupigia kura zikiwemo karatasi.

Vijana sita wa JKT Bulombora, Kigoma Wafariki dunia Baada ya gari la Jeshi kushindwa Kupanda mlima na Kupasuka tairi

$
0
0
VIJANA sita waliokuwa katika mafunzo ya kijeshi ya kujitolea katika kikosi cha 821 JKT Bulombora mkoani Kigoma wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea jana jioni

Mganga Mfawidhi wa hospital ya mkoa wa Kigoma Dkt. Fadhil Kibaya amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

"Ni kweli jana majira ya saa moja jioni tumepokea miili minne ya vijana wa JKT ambao waliletwa hapa tayari wamefariki na majeruhi 21.
 
 "Wengine wawili wamefariki hapa hapa wakati tukiendelea kuwapa huduma" alisema Dkt Fadhili.

Alisema hali za majeruhi mpaka sasa siyo nzuri sana kwani wengi wameumia sehemu za kichwa na mwilini.
 
"Bado tunaendelea na jitahada za kuwapatia matibabu na majina ya waliopoteza maisha pamoja majeruhi tutatoa kesho, sababu majeruhi wengi hawana fahamu"alisema.

Naye kamanda wa polisi mkoa wa kigoma Afande Ferdinand Mtui alisema chanzo cha ajali hiyo ni gari hilo la jeshi kushindwa kupanda mlima na kusababisha tairi mbili za nyuma kupasuka.

Alisema ajali hiyo ilitokea katika eneo la Kasaka karibu na mizani ambapo lori hilo la jeshi lilikuwa likitoka mjini kwenda kambini likiwa limebeba makreti ya soda na unga.

Zari Writes Heart-touching Message To Diamond Platnumz On His Birthday.

$
0
0

Today is superstar Diamond Platnumz' birthday, his baby mama Zari The Boss lady took to social media by writing then below heart-felt message...

"Everything i could say has been said and you've prolly heard it over and over but; this year you celebrate your birthday as a father a blessing and a gift that's bigger than life its self. Your birthday gift came earlier this year there isnt anything esle i can give you. So allow me to wish you a happy birthday as BABA TEE. May the almighty God continue showering you with blessings over your career and MOST IMPORTANTLY to grant you many more years to see @princess_tiffah start her grade one, see her to university, date boys (i know you don't wana hear this but its going to happen ��),hand her out in marriage and lastly to be able to see your grand kids (Tiffah's babies) that said, let's wish him a Happy birthday"


JUMA NYOSSO Aongelea Kwa Mara ya Kwanza Tukio la Kumshika Makalio Mchezaji Mwenzake...

$
0
0
Juma Said Nyosso, beki na nahodha wa kikosi cha Mbeya City amefungiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania  (TFF) kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili za kitanznia kwa kosa la kumdhalilisha John Bocco wa Azam FC
Baada ya TFF kumpiga kufuli mchezaji Juma Nyosso kujihusisha na masuala ya soka, mchezaji huyo ameibuka na kuzungumza kwa mara ya kwanza tangu aanze kutuhumiwa kumdhalilisha nahodha wa Azam FC John Bocco.
Nyosso amesema uongozi wa klabu yake ulimwambia asizungumze chochote kuhusu tukio hilo hadi pale atakapoitwa na TFF au uamuzi wa TFF utakapotoka. Mara baada ya TFF kutoa adhabu kwa mchezaji huyo, mtandao huu uliamua kumtafuta Nyosso na kufanya nae mazunumzo kutaka kujua amechuliaje adhabu aliyopewa na TFF.
Hapa chini utapta majibu yote ya maswali yako kwa Nyosso kuhusiana na tukio zima lilivyotokea na adhabu aliyopewa na TFF.
Shaffihdauda.com: Baada ya kupewa adhabu na TFF ya kufungiwa kucheza soka kwa miaka miwili pamoja na faini ya shilingi milioni mbili, wewe unazungumziaje adhabu hiyo ukilinganisha na kosa lenyewe?
Juma Nyosso: Mimi nadhani hao viongozi walionihukumu mimi, walifanya haraka sana bila kufanya utafiti wa umakini zaidi, mimi nadhani nimeonewa kwasababu ya utashi wa watu lakini wakifatilia ushahidi zaidi kwasababu video ipo, wangefatilia vizuri ili waje watoe hukumu sasa wameshatoa hukumu na video inajidhihirisha.
Naomba wafatilie ile mechi yote kuna mambo mengi yalikuwa yanatokea kwenye ile mechi mpaka wakafikia wao kuhisi labda mimi nimefanya kile kitendo. Mimi ni mtu mzima siwezi kurudia kitendo ambacho klabu yangu na TFF ilishanihukumu siwezi kufanya vile hata siku moja.
Ndio maana mimi nimekaa kimya muda mrefu kusikiliza itakuwaje na klabu ikaniambia nisiongee na mtu yoyote tusubiri tuone itakuwaje. Mwisho wa siku nikasikia nimefungiwa miaka miwili, unamfungia mtu miaka miwili bila ushahidi uliokamilika nadhani kama walikurupuka au walitumia jazba.
Shaffihdauda.com: Baada ya TFF kutangaza adhau ya kukufungia kwa miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili, wewe adhabu hii uliipokeaje?
Juma Nyosso: Nimeumia sana kwasababu mimi maisha yangu ni mpira halafu leo unaniambia umenifungia miaka miwili na faini milioni mbili halafu ni kitu ambacho mimi najua sikukifanya yani nimeumia sana ndio maana watu wengi walikuwa wananipigia lakini mimi nilikuwa sitaki kuongea.
Kwasababu viongozi wangu baada ya kufatilia ile video imeonekana kila kitu, ndio maana mimi nimeruhusiwa kuongea. Angalia Bocco alivyokuwa akinifanyia rafu za waziwazi lakini mwamuzi alikuwa hafanyi chochote, kwavile mimi najulikana Nyosso tambia zangu za huko nyuma wanachukulia kwa utashi wao wanakuja kunihukumu miaka miwili.
Shaffihdauda.com: Ukiangalia ile video inaonekana kulikuwa na majibizano kati yako na baadhi ya wachezaji wa Azam, kitu gani kilikuwa kinaendelea?
Juma Nyosso: Pale yalikuwa majibizano tu ya uwanjani kwamba, cheza mpira basi ikatokea hivyo. Mwisho wa siku naoneshwa picha lakini viongozi wakaniambia nikae kimya kwanza. Wamefatilia wakaniambia sasa naweza kuweka wazi.
Shaffihdauda.com: Adhabu imeshatoka sasa nini kinafata sasahivi kuanzia wewe mpaka timu yako ya Mbeya City kuhusiana na adhabu uliyopewa na TFF.
Juma Nyosso: Nadhani klabu yangu itafatilia hili suala kama ni kukata rufaa na kwavile kuna chama cha wachezaji SPUTANZA, watalivalia njuga hili suala ili kufatilia haki za mchezaji, haiwezekani unifungie miaka miwili wakati mpira ndio kazi yangu unategemea miaka miwili mimi nikae nyumbani tu.
Shaffihdauda.com: Kabla ya tukio ambalo limepelekea wewe kufungiwa, kulikuwa na matukio mengine ambayo wewe ulifanyiwa katika mchezo huo dhidi ya Azam?
Juma Nyosso: Matukio mengi sana ndio maana nasema video inajidhihirisha, wakae kama kamati ya nidhamu kama ndio bodi ya ligi waangalie video yote matukio niliyokuwa nafanyiwa mimi halafu watajiridhisha kwenye hiyo hukumu yao.

Hukumu ya Mramba na Daniel Yona Kutumia Madaraka ya Serekali Vibaya Yatoka..Sasa Kunyea Debe Miaka Hii

$
0
0
MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka.

Akisoma hukumu hiyo, Jaji Projest Rugazia ametupilia mbali rufaa yao ila wamepunguziwa adhabu kutoka miaka mtatu hadi miwili na kwa sasa hawatalipa faini. Mapema Agosti 5, mwaka huu mahakama hiyo iliyoketi chini ya Jaji Rugazia iliagiza pande zote mbili kuwasilisha hoja za kusikiliza rufaa hizo kwa njia ya maandishi.

Upande wa Jamhuri ulikata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumwachia huru aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hazina, Gray Mgonja, kwamba ushahidi uliotolewa haukuthibitisha makosa dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 11.7.

Kadhalika, Mramba na Yona walikata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yao ya kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano

HAMISA MOBETO: Ndoa yangu Itazinduliwa Mtandaoni.....

$
0
0
Imelda Mtema
Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto’ amefunguka kuwa siku atakayofunga ndoa atafanya siri na watu wataiona kwa mara ya kwanza kupitia mitandao ya kijamii.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Hamisa alisema kuwa ndoa yake itakuwa ya siri kwa maana atafunga na mumewe Kiislamu bila kuita watu na picha za ndoa hiyo zitazinduliwa mtandaoni.

“Watu wakishaziona picha hizo kupitia mitandao ya kijamii ndiyo nitafanya pati ya kusherehekea, nataka kwangu kiwe kitu cha tofauti kidogo,” alisema Hamisa ambaye ni mama wa mtoto mmoja.
Source:GPL

Picha: Siwema wa Nay wa Mitego Aanza Maisha na Mpenzi Mpya

$
0
0
Mpenzi wa zamani wa Nay wa Mitego, Siwema aka ‘Mama Curtis’ ameonekana akila bata na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya baada ya kuachana na rapper huyo.
10735125_1461429930847538_1292275042_n
Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.”
11326433_871383932916802_1544833578_n
Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba afafanue zaidi na yeye kueleza: Daah leo tu ndo kaamka hivyo mke wangu.”

11373882_833992820047476_284039491_n
11421969_163629853969139_2112605113_n

ESMA PLATNUMZ: Namshangaa Sana Diamond Kuwa na Chuki Kiasi Hicho Kwa Baba Yake Mzazi

$
0
0
Brighton Masalu
DADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki dhidi ya baba yake mzazi, mzee Abdul Jumaa.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu hivi karibuni, Esma alisema siku zote si vyema kukaa na kinyongo au chuki dhidi ya wazazi na hata kama ikitokea ni vyema kuyamaliza kwa mtoto kujishusha.

Hata mimi nilishawahi kukosana na baba yangu, lakini nilishasamehe na kusahau kabisa, hata hapa nyumbani, ni mara nyingi tu huwa tunatofautiana na mama lakini hata kama yeye kakosea, huwa najishusha si kama ilivyo kwa Nasibu (Diamond) kuwa na chuki kali kiasi hicho dhidi ya baba yake,” alisema Esma.

Source:GPL
Viewing all 104755 articles
Browse latest View live




Latest Images