Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104715 articles
Browse latest View live

RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WWENYEWE WAJIACHIA BILA WOGA

$
0
0
Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia  show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.

HII KALI DAKTARI FEKI MWINGINE AKAMATWA MUHIMBILI

$
0
0
Jana February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili ya kupatiwa huduma za matibabu katika hospitali hiyo.
Taarifa kutoka Muhimbili inasema ni Tukio la tatu kutokea katika hospitali hiyo ingawa matukio ya namna hiyo yameshawahi kuripotiwa katika baadhi ya hospitali kubwa za serikali kwa baadhi ya watu wanaotumia mwavuli wa fani ya udaktari kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Msemaji wa Hospital ya taifa Muhimbili Aminieli Aligaesha amemtaja Daktari huyo feki kwa jina la Kitano Mustapha na kubainisha kuwa katika upekuzi uliofanywa na maofisa usalama wa hospitali hiyo wamemkuta mtuhumiwa akiwa na kadi tatu za kliniki,namba za simu za madaktari na wauguzi katika hospitali hiyo huku wakitambua kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa sheria zilizopo na kanuni za utabibu.
Daktari huyo feki Kitano Mustapha amekana kutohusika na utaperi huo kwa wagonjwa mbali mbali wanaofika kupata huduma za kimatibabu na kusema hawezi kuongea lolote mpaka Mwanasheria wake awepo.

VAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA

$
0
0
SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena.

Habari ya Vai kunaswa katika mtego wa kujiuza iliripotiwa na gazeti damu moja na hili, Ijumaa toleo la wiki iliyopita, ambapo msanii huyo aliingia mkenge baada ya kukubali kukutana na ‘pedeshee’ mmoja kutoka mkoani kwa lengo la kumpa uroda kwa malipo ya shilingi 500,000.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, Jumatatu jijini Dar es Salaam, Vai alisema: “Kiukweli lile tukio lilinichanganya sana lakini pia limenipa fundisho kubwa. Nawaomba ndugu zangu na mashabiki wangu wote wanisamehe kwa dhati kabisa.

“Naahidi sitarudia tena ujinga kama ule. Ilikuwa ni tamaa tu. Hivi ninavyozungumza na wewe nipo kwa editor (mhariri) nasimamia editing (uhariri) ya filamu yangu ambayo ipo katika hatua za mwisho kuingia mitaani. Niko bize na kazi, acha niwekeze kwenye ujasiriamali tu. Nawashauri wasanii wenzangu tutulie maana OFM wapo macho.”

Alisema, katika filamu yake hiyo aliyoipa jina la Beautiful Liar amewashirikisha wakongwe Mohammed Fungafunga ‘Jengua’, Hashim Kambi ‘Wingo’ na mastaa wengine kwenye tasnia hiyo na kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kula.
Kuomba msamaha ni uungwana, ikiwa Vai umeona kosa lako na kuomba radhi ni jambo zuri la kupongezwa. Tunakutakia kila la heri katika mabadiliko hayo, tukikusisitiza iwe kweli maana OFM bado ipo kazini. – MHARIRI.

Credits:Global Publishers

KIJANA AJIUA KWA KUJIWEKA RELINI NA KUGONGWA NA TRENI

$
0
0
Hivi punde kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya kijana mmoja aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo ambaye jina  na  chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na hutambuzi wa ndugu wa marehemu.
Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema "Kama kijana huyu alifikia uamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na  hata kabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"

DALILI ZA MUME ANAYETEMBEA KIMAPENZI NA MSICHANA WA KAZI ZA NDANI ‘HAUSIGELI’

$
0
0
DALILI YA KWANZA
Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kazi ni kupenda sababu za kumwamsha mfanyakazi huyo  hata pale anaporudi na kumkuta amelala.

Utakuta baba amerudi nyumbani usiku wa saa sita, mkewe anamfungulia mlango, akishaingia na kukaa, anaanza:
“Dada amelala?”
Mke: “Ndiyo.”
Baba: “Mwamshe nimpe kazi f’lani.”
Mke unaweza ukamtetea sana msichana, lakini mumeo akasimamia msimamo ule ule.


Sasa utakapomwamsha, akifika, mumeo utamuona anavyojipinduapindua.
“Hii mboga umepika wewe dada?”
“Hapana, mama.”

“Ooo. Ulifua zile soksi zangu?”
“Ndiyo baba.”
“Sawa kalale.”
Mke unajiuliza, sasa kumwamsha kote kule ndiyo maswali yenyewe hayo tu.
Sasa tuendelee…

Katika hali kama hii, wewe mke jaribu kuwa makini sana. Hakikisha hutoi nafasi kwa mumeo kumfikia au kuwasiliana na hausigeli kwa kitu chochote. Kama ni maji ya kuoga tenga wewe, vitu ambavyo vinawezekana kufanywa na wewe vitimize ili kuukata uhusiano hata kama utakuwa hujathibitisha kama upo!

Tatizo kubwa ni kwamba, wanawake wengi siku hizi wanawafanya wasichana wa kazi ndiyo wenye nyumba, wao wasaidizi, wakati zamani, hausigeli ndiye msaidizi wa kazi za ndani, mambo mengine yote ni kwa akina mama wenyewe.

DALILI YA PILI
Ishara hii inatakiwa mke mwenye utambuzi sana, yaani awe na ufahamu wa hali ya juu vinginevyo anaweza kukurupuka na kumbwatukia mumewe kumbe hana  habari na msichana wa kazi.

Ila kwa wale ambao wana uhusiano sasa, ukimwona mumeo ana tabia ya kuchelewa kulala eti yupo sebuleni, mke changamka, hapo pana jambo.
Mume anayefanya hivyo hutoa nafasi kwa mkewe kwenda kulala na yeye kunyatia chumbani kwa hausigeli kuduu naye.

Sasa endapo mke utakwenda sebuleni na kumkuta mumeo anajifanya kukodolea macho tivii ili ujue anaangalia vipindi, jaribu na wewe kuchunguza aina ya kipindi, ukikuta ni taarifa ya habari ya Sky News,CCTV, CNN, BBC au Al Jazeera, ujue huyo mwongo tu, hana lolote.
Lakini usiishie hapo, jifanye na wewe unakaa pembeni yake kuangalia taarifa hiyo  ya habari. Utamuona yeye anasimama na kusema…

“Tukalale mke wangu.”
Kama wakati wa kwenda kulala wewe utatangulia, yeye lazima aingie chooni kwanza, anajifanya anajisaidia haja ndogo lakini anachotaka ni wewe uingie chumbani, yeye aingie kwa hausigeli ili ampige busu japo moja tu, maana anajua dili limeshatibuka.
Lakini dalili hii ni kwa mume ambaye hapo nyuma hakuwa na tabia ya kukaa sebuleni peke yake na kuangalia tivii.

Kwa upande wa hausigeli aliye katika uhusiano na baba mwenye nyumba, huwa hivi…
Wakati baba amekaa sebuleni usiku akiangalia tivii ‘kiuongo’, yeye anaosha vyombo nje, tena si ajabu amevitawanya kiasi kwamba, kama ni kumaliza ataweza kwenda hasi usiku wa manane.

Na kila baada ya dakika tano, msichana huyo ataingia ndani na kupita mbele ya baba. Lengo lake ni kusoma mazingira kama mama mwenye nyumba amelala.

Kwa vile wao si waanzaji (kama ilivyo tabia ya mwanamke), basi unaweza kumwona anashikashika vitu vya sebuleni, kama vile kuweka sawa vitambaa vya makochi (japo ni usiku), kufuta meza, kabati au wakati mwingine kupanga CD za muziki au filamu ambazo zipo kwenye shelfu lake. Mambo hayo anayafanya huku vyombo vikimsubiri nje!

Hapo anachotaka, baba amuone kirahisi na kuanza kumtekenya-tekenya, kumshika-shika hatimaye ‘kumalizana’.

Utashangaa, ukifuatilia sana, utakuta hausigeli akishamalizana na mume, vyombo anaviingiza ndani na kuvimalizia kesho yake asubuhi.
Kwa maana hiyo pia, wake za watu wawe macho na wasichana wa kazi wanaoshindwa kumaliza kuosha vyombo usiku.

MAENEO YA UFUSKA
ni vyema niweke wazi maeneo ambayo ma-baba wenye nyumba ndiyo hupenda kutumia kufanya mapenzi na wasichana wa kazi.
Ni vigumu sana kukuta wawili hao wanamalizana sebuleni (ingawa inawezekana sana) kwani ni eneo hatari kuliko yote ndani ya nyumba.

Uchunguzi wa kina wa kimazingira umegundua kuwa, kati ya maeneo hatari kwa fumanizi ndani ya nyumba ni sebuleni.
Wengi waliowahi kufumaniwa, mfano mume kula uroda na shemeji yake (mdogo wa mkewe) au binti kuliwa uroda na hausiboi, ilikuwa sebuleni.

Aidha, sebuleni ndiyo mahali panapofikwa kwa mara ya kwanza na watu waliolala ndani ya nyumba kuliko sehemu nyingine yoyote.
Kwa hiyo, mababa wengi sasa hukwepa sebule na kwenda chumbani kwa msichana, stoo, bafuni, jikoni kama liko pembeni na uani, hasa maeneo yenye vificho kama nyuma ya karo au kama kuna sehemu kumesimamishwa vitu chakavu.

Chooni si sana kwa sababu ni eneo linalofikwa na watu kila wakati karibu usiku kucha.
Sasa hatari ipo hivi, mke asiyejua haya, kama mumewe ataendelea kimapenzi na hausigeli, hufikia wakati uhama nyumba. Namaanisha kwamba, hufika mahali wakitaka kukutana kimwili, wanakwenda gesti.

Gesti zao mara nyingi ni nyuma ya nyumba au mtaa wa pili, huwa hawaendi mbali sana kwa kuogopa muda wa msichana kufanya kazi za ndani.   
Tutaendelea wiki ijayo. jamani, tuone dalili ya tatu.

TETESI:WAMILIKI WA FACEBOOK NA INSTAGRAM WAIFUNGIA UGANDA..KUMKOMESHA MUSEVENI

$
0
0
Kufuatia Rais wa Uganda kusaini sheria mpya ya kupinga Ushoga na aina zote za namna hiyo, wamiliki wa Facebook, Instagram, na Twitter wamefunga huduma zote katika nchi ya Uganda ikiwa ni ishara ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na hatua ya Museven kusaini sheria hiyo. Kwa sasa wananchi wa Uganda hawatapata huduma hizi labda Rais wao aamue vinginevyo katika sheria hiyo.

WANAUME..JAMANI ACHENI UBINAFSI KWENYE MASWALA YA MAPENZI HASA 6 KWA 6

$
0
0
Naamini Most women wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi sababu ya"dumb a.ss men" they have on bed but when you meet sm1 that monster o skilled on bed u will see the world with different perception

Sisi wanaume wengi either sababu ya kuendeshwa na mfumo dume au kutokua waelewa na kushindwa.kujishusha tumekua wabinafsi tu na sababu kubwa ni sababu kubwa ni ubinafsi

Naamini tunapaswa kujifunza kuwaridhisha wanawake/wenza wetu

Tunapaswa kuwafanya wanawake wetu waone wamepata dhahabu kuachana na wenza wao Wa zamani na kuwa na wewe "Unfortunately" wanaume wengi tunazidi kua wabinafsi kwenye mapenz na hatujui au hatujali kuwaridhisha wenza wetu tunalichukulia suala la sex kwa kwa uzito mdogo tofauti na effect zake.

Hatujui kitanda kinajenga/kinaharibu ndoa/mahusiano haraka zaidi kuliko tunavyofikiria Men suppose to change their perception(i have to admit that including me) Najua maisha ni zaid ya s'x but trust me tunatakiwa kuipa s'x uzito unaostahili kuijenga au kuibomoa ndoa Kwa mahusiano yote niliyopitia "Fuc.kmate",relationships na kila aina ya uhusiano imenifundisha mengi Hujisikii furaha au proud mkeo/mpenzio anakuambia au ana-appreciate kiasi gani umemkosha kitandani?

Kwanini utafute pesa watumie Marioo wa mjini hapa kisa anamridhisha mkeo/mpenzio wakat unafikiri unamtimizia kila kitu ? Mara ngapi unaskia au unajua mwanamke ana kila kitu ambacho mwanamke mwingine anatamani(elimu,nyumba,magari) kua nacho maishani lakini hana furaha sababu tu hajawah kukojozwa au kuwa na gud s'x? Unajiskiaje akiwa ni mkeo/mpenzio? Unajiskiaje unaPokojoa baada ya dk 5 wakati mwenzio ndo kwanza mzuka unampanda?

Guys tunazipenda ndoa/relationships zetu kweli Kwnn tusijifunze ufundi zaidi na zaid I kila siku? Inakucost nn kujituma na kumridhish mwenzA wako?
How many times mkeo/mpenzio kakwambia hajaridhika?umefanya nn kumsaidia? Unajiskiaje ukikuta anajigegeda na Dild.o au strappons aka toys?
Ni kwamba "dushelele" lako halina thamani? Kwann umpande mkeo/mumeo kama punda?humwandai hujui hata jiografia "uvinza" iko wapi wala kunyonya sukari yake ya mtibwa ni wapi?

By Gwijimimi

DIAMOND ABWATUKA"NASIKITISHWA NA WASANII WANAO PENDA KUTENGENEZA UGOMVI WA KILAZIMA NA MIMI"

$
0
0
 Muda si mrefu Diamond Amefunguka haya hapa chini kuhusu wasanii wanasanii wanao tafuta beef za lazima kutoka kwake ...Jisomee


OSTAZ JUMA AMZALILISHA MWANAMUZIKI PNC..SIJAPENDA HATA KIDOGO...NAKUCHUKIA OSTAZ JUMA

$
0
0
Nimekutana na hii picha ambayo inasemekana Mwanamuziki PNC alikwenda kuomba msamaha kwa Boss wa Watanashati Bwana Ostaz Juma , Lakini Boss huyo akampiga picha PNC akiwa anaomba msamaha kwa magoti na kuipost hiyo picha kwenye mtandao wa kijamiii.....Huu ni udhalilishaji sana aiseee ....Sijapenda kabisa ikichukulia namjua PNC toka akiwa Mjini Mwanza na Maisha yake yalivyo ..Its so sad jamani ....Toa Maoni yako kama ni Sahihi ama Alikosea

SIRI ZAANZA KUVUJA, WOLPER AKIRI MANAIKI SANGA ALIMPA HELA ILI APIGE NAE PICHA

$
0
0
 
Na Sakina Shabani

Msanii nyota kwenye tasnia ya filamu za kibongo Jacqkline Wolper na Manaiki Sanga, anayejulikana kama The Don, wako katika bifu kubwa kisa kikiwa ni picha walizopiga pamoja.


Tukio hilo limechukua sura mpya kwenye mitandao ya kijamii baada ya wiki mbili zilizopita gazeti hili kuanika picha za mastaa kadhaa waliowahi kupiga picha zilizozua minong’ono mitaani, kutokana na tabia ya Manaiki kuaminika kuwa ni wanawake aliotembea nao.

Maskani Bongo liliandika juu ya Wema Sepetu kunasa kwenye mtandao wa ngono, huku likionesha picha yake kubwa akiwa na Manaiki Sanga wakiwa wamekumbatiana huku picha ndogo ndogo za wasanii wengine maarufu akiwemo Jackline Wolper nao zikiwaonyesha wakiwa na mcheza filamu huyo.

Baada ya habari hiyo kutoka, baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo walichukua kurasa za gazeti hilo na kuiweka mtandaoni na watu walipoanza kutoa maoni yao, Jack alimzungumzia Manaiki na kukanusha kuwahi kushiriki naye mapenzi.

Mjadala mkali ulizuka huku mashabiki wa wasanii hao wakisemana vikali ambapo Wolper aliomba kuelezea jinsi ilivyokuwa hadi akakutana na Manaiki, akasema “Duh yaani mimi nimekuwa mpenzi wa Manaiki tena? Huyu mshikaji alishaahidi kuwa kwa gharama yoyote atakuwa staa, hivyo akatoa mkwanja wake watu tukaula basi,” alisema Wolper.

NI MARUFUKU KUVAA VIMINI BUNGE LA KATIBA

$
0
0

Dodoma. Wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba na wageni wa jinsi hiyo watakaovaa nguo fupi ‘vimini’ au nguo za kubana, hawataruhusiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge.

Hayo yamo katika mapendekezo ya rasimu ya kanuni za uendeshaji wa Bunge hilo, zilizowasilishwa katika semina mahsusi ya kupokea rasimu hizo, iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati Maalumu, Profesa Costa Mahalu.

Kanuni ya 82 (9) ya mapendekezo hayo imeainisha vazi rasmi linaloruhusiwa kuwa ni vazi lolote la heshima ambalo siyo la kubana mwili, lisiloonyesha maungo.

Pia imeainisha mavazi yanayoruhusiwa kwa wanawake kuwa ni pamoja na gauni la kitenge au blauzi inayovaliwa na kitenge au sketi ya rangi yoyote, suti ya kike, vazi linalovaliwa wakati wa eda na kilemba cha kadri au mtandio.

Kwa upande wa wanaume, mavazi rasmi ni suti ya Kiafrika au safari ya mikono mirefu au mifupi yenye ukosi au shingo ya mviringo na fulana.

Kulingana na kanuni hiyo, upande wa wanaume, pia imeainisha vazi rasmi kwa jinsia hiyo kuwa ni suti ya Kimagharibi, shati na tai, suruali ya aina yoyote isipokuwa suruali aina ya ‘jeans’.

Sehemu ya 6 ya kanuni hiyo, imeweka wazi kuwa mjumbe yeyote wa Bunge Maalumu, anaweza kutoa taarifa kwenye Bunge au kwenye kamati iwapo mjumbe mwingine ataingia akiwa amevaa vazi linalovunja au kukiuka masharti ya kanuni.

“Mwenyekiti wa Bunge Maalum au mwenyekiti wa kamati maalumu atakaporidhika kuwa mjumbe huyo aliyetolewa taarifa hajavaa vazi rasmi, atamwamuru atoke nje ya ukumbi wa mikutano wa kamati,” inaseme sehemu ya kanuni hizo.

Kwa mujibu wa kanuni hiyo, mjumbe aliyeamriwa kutoka nje ya ukumbi, hataruhusiwa kuingia tena hadi pale atakapokwa amevaa mavazi rasmi.


KAULI YA USTAZ JUMA BAADA YA KUMDHALILISHA PNC JANA KWENYE MITANDAO

$
0
0
Tangu jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo
MSIKILIZE HAPA OSTAZ JUMA AKIFUNGUKA:

BABY MADAHA AFUNGUKA "SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO"

$
0
0
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro).

Kauli hiyo ya msanii huyo anayetamba na Wimbo wa Summer Holyday, ameitoa siku chache baada Shilole kutema cheche zake kuwa Madaha aache kumfuatilia kwani amekuwa akiingia kwenye anga zake mara kwa mara.

“Hivi huyu ana akili au matope, nimfuatefuate ana nini? Hebu aangalie muziki wangu ninaopiga na wake. Yeye ni wa hapa hapa, mcheza vigodoro,” alifunguka Madaha

MWEE ETI MIMBA YA LINAH YACHOROPOKA

$
0
0
SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Astelinah Sanga ‘Linah’ amenasa ujauzito wa mdosi aitwaye Nagar, Amani limenyetishiwa kuwa ujauzito huo umechoropoka.

Kwa mujibu wa chanzo, ujauzito huo umechoropoka hivi karibuni na kumfanya  Linah kukosa raha kwa kuwa ndoto yake ilikuwa kupata mtoto.

“Ni kweli Linah alikuwa na ujauzito lakini umetoka na amesikitika sana kwani mdosi wake ni mtu mwenye fedha nyingi na yeye alitamani sana kuwa na mtoto,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili lilimtafuta Linah  kupitia simu yake ya kiganjani ili kupata ukweli wa kutoka kwa ujauzito huo lakini baada ya mwindishi wetu kujitambulisha, staa huyo alikata simu.

Wiki iliyopita gazeti dada na hili, Risasi Mchanganyiko la Februari 19-21, mwaka huu liliandika habari za staa huyo kunasa  ujauzito  wa mdosi huyo na alipoulizwa alisema habari hizo zilikuwa ni uzushi.

“Nani kakwambia kwamba nina  mimba? Hayo ni maneno ya watu, wanasambaza mitaani sijui hata wameyatoa wapi lakini miye sina mimba,” alisema Linah na kunukuliwa na gazeti hilo ambalo hutoka mtaani kila siku ya Jumatano likiwa na habari motomoto za masupastaa.
Credits:GPL

MIKE TEE"WASANII TUKIKAA KIMYA KWA HILO LA USTAZ JUMA TUTAKUJA VULIWA NGUO HADHARANI"

$
0
0
Msanii mwenzangu PNC kadhalilishwa sana na OSTADH JUMA kwenye MEDIA zote, me toka jana natafakari sana kwa mtu mzima kufanya kitendo kama kile, upande wangu nimeumia na nimeona kama mimi nimefanyiwa kitendo kile.
Sasa basi wasanii wenzangu, washabiki wetu , viongozi wa ngazi mbalimbali tunajua mambo haya yapo lakini yana kipimo, tukikaa kimya wako watakaotuvua nguo hadharani kisa sisi wasanii ambao tunadharaurika hatuna elimu hatuna kipato ila tunatumika na wachache kupata wanachotaka,
Je tufanye nini me nimeshindwa cha kufanya we need your support wenye uchungu wa muziki wetu na wasanii wa TANZANIA kwa ujumla

ETO'O AHUSISHWA NA KUDANGANYA UMRI WAKE. EX-GIRL WAKE AFUNGUKA.

$
0
0
“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”.
Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi.
Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39 kuelekea 40 na sio 35.
Mwanamke huyo amesema kwamba alijua kuhusu umri wa Eto’o wakati wapo Cameroon kutoka kwa mtu ambaye alikua pamoja na Etoo tangu utotoni.

ALI KIBA AELEZEA SABABU ZA UKIMYA WAKE KWENYE GAME YA MUSIC

$
0
0
Kwa kipindi kirefu mkali wa ‘Single Boy’ Ali Kiba amekuwa kimya bila kutoa kazi yake binafsi huku ukimya wake ukizua maswali mengi kwa mashabiki na wadau wa muziki Tanzania.

Lakini leo (February 25) Ali Kiba amezua maswali mengine kwa mashabiki wake baada ya kuweka kwenye Instagram picha inayomuonesha akiwa na AY na Mwana Fa na kuandika ‘@Aytanzania&007#mj record #wait for it bonge ya wimbo.’

Hata hivyo hakuweka wazi kama ni wimbo wake au ameshirikishwa na maswaiba hao.

Tovuti ya Times Fm imefanya mahojiano na Ali Kiba ambaye ameyajibu maswali hayo yote, maswali ambayo hapo awali yalikuwa na majibu ya kuhisia tu bila kuwa na uhakika.

Ali Kiba ameiambia tovuti hii kuwa aliweka picha hiyo kwenye Instagram lakini hakuweka maelezo ya kutosha kwa makusudi.

“Sababu ya kuweka vile ni katika kutaka tu kuwa-surprise watu kwa sababu sikupenda kuwambia ni ngoma ya nani ila nimewajulisha kuwa nimefanya nao na tumefanya kwa MJ, hiyo yote ni kutaka kuwa-surprise.” Amesema Ali Kiba.

Mwimbaji huyo amedai kuwa hadi sasa wimbo huo haujajulikana ni wa nani kati yake yeye, Mwana Fa na AY, “tumefanya wote…haijajulikana ngoma ni ya nani.”

Ali Kiba ameongeza kuwa mashabiki wampe miezi miwili ijayo na kisha watapata maelezo ya kutosha kutoka kwake na kwamba baada ya muda huo kila kitu kitakuwa sawa.

Mwimbaji huyo wa ‘My Everything’ ameeleza pia sababu za yeye kuwa kimya, pamoja na mpango wake kwa mwaka 2014 ambapo amedai kuwa ataachia albam yake mpya.

“Sababu ya kuwa kimya ni kumpush Abdu Kiba aweze kuwa sawa sawa na vilevile mimi ni mzazi kwa hiyo niko busy na jinsi ya kuwa baba. Yaani vitu vingi vyote nilikuwa nikifanya, wakati muda wote niliokuwa nikifanya hivyo vitu nilikuwa najiandaa na albam yangu nyingine ambayo ni ujio mpya…nakuja na everything.

“Albam ipo kwa sababu itakuwa chini ya usimamizi wa kampuni ambayo inanihost, na ndio maana nikakwambia nipe miezi miwili na watu watajua kila kitu kinachoendelea…itafanyika na usimamizi mzuri tu na process zote zitakuwa ziko okay. Ila siwezi kukwambia ntafanya na distributor gani lakini, wasimamizi wangu watafanya hilo, wasimamizi ambao wamenichukua ndio maana ukaona kimya kingi, ni ku-fight maandalizi na kumaliza ngoma.”

ANGALIA VIDEO IKIELEZEA TUKIO ZIMA LA ULAWITI MBEZI BEACH

$
0
0
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo.

Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kunaswa mtupu chumbani na mmoja wa wabunifu wa mavazi ‘modo’ maarufu Bongo (jina tunalihifadhi kwa sasa kwa sababu za kimaadili).

Tukio hilo la aibu lilimkuta mfanyabiashara huyo nyumbani kwake, Mbezi ya Tangi-Bovu jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo wawili hao walinaswa chumbani wakiwa watupu katika mtego maalum.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI:
VIDEO KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS

JAMAA ATEMBEZWA UCHI MJINI BAADA YA KUFUMANIWA ANAKULA URODA MKE WA MTU

$
0
0
Vioja vya mjini jamaa kamfumania mshikaji kwa wife wake ,kwa hasira alizokuwa nazo kaamua kuchojoa nguo zoto na kupandisha kwanye gari ile ya kubebea majani akiwa kasimama nyuma huku akiwa na bango kuwa yeye ni mwizi wa mke wa mtu, 
huku nonino ikiwa inaangalia watu, yani ni fulu vioja mjini Dar es salam maeneo ya samora Mchana wa leo

HUU NDIO WIMBO MPYA WA SHETTA ALIYOMSHIRIKISHA DIAMOND-KEREWA

$
0
0
Hii ngoma imetoka leo 27/2 na imefanywa na producer Sheddy Clever.
Nafasi yako ya kuisikiliza na ku-download ndiyo hii
Viewing all 104715 articles
Browse latest View live




Latest Images