Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Zitto Kabwe Aibua Mazito Kuhusu Kompyuta ya Kamishna wa TRA Kuibiwa..Adai ni Sarakasi na Drama za Serikali..Soma Hapa

$
0
0
Zitto Amefunguka Maneno mazito kwenye ukurasa wake wa Facebook Kuhusu Wizi wa Kompyuta ya Kamishna wa TRA....

'Kompyuta ya Kamishna Mkuu TRA imeibiwa na wezi waliovunja Ofisi. Gazeti la Mwananchi limeandika leo. Leo hiyo hiyo Ikulu imetoa taarifa kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa TRA ndg. Maswi amerejeshwa Manyara baada ya kumaliza kazi maalumu aliyotumwa TRA. Hizi ni sarakasi. Hizi ni drama. Serikali haiendeshwi kwa drama'Zitto

Udaku Special Blog

LOWASSA Awekwa Mtegoni Kuhusu Urais 2020..Je Ataheshimu Maamuzi ya Chama Kama Asipoteuliwa Kugombea Urais Tena

$
0
0
Kufuatia  kauli ya aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa ya kugombea tena urais mwaka 2020, Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amemhoji Lowassa kama atakuwa tayari kuendelea kutumikia Ukawa kama jina lake halitapendekezwa kugombea nafasi hiyo.

Sungura amesema kauli hiyo ya Lowassa kupambana tena katika kinyang’anyiro cha urais mwaka 2020 kunategemea maamuzi ya chama kupitisha jina lake.

“Nimemsikia Lowassa anasema kuwa anajiandaa kupambana na Rais John Magufuli mwaka 2020, lakini je, yuko tayari kuheshimu maamuzi ya chama kwa maslahi ya wakati huo?” Alihoji Sungura.



Udaku Special Blog

Mwigizaji Batuli Yamemfika Hapaaa! Amrushia Dongo Rais Magufuli...Lisome Hapa

$
0
0
Mwigizaji wa Filamu za Kibongo anayejulikana kama Batuli ambae alishiriki vilivyo kwenye kampeni za kuipigania CCM kushika dola ameandika Meneno kwenye ukurasa wake wa Twitter yanayoonekana kama Dongo kwa rais John Magufuli....Nimekuwekea hapa chini aliyoandika,,,
Je Wadhani ni nini Kimemfika Hadi kutoa Maneno Kama Hayo?

Udaku Special Blog

A To Z ya Bifu la Wema Sepetu na Zari The Boss Lady..Diamond na Baby Tiffah Watajwa

$
0
0
Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to judge… You look like (you) just had a fight with a tiger. We feel your pain Dee (Diamond) is a loving man. I know what you (Wema) are missing, but guess what; I got it all by myself….#HeIsHappyNow,” wrote Zari in a post which is believed to be directed at #TeamWema and Wema respectively.

Wema retaliated almost immediately. “Damn, she (Zari) really got energy. I sure cannot go to such an extent. A brother (Diamond) knows how to confuse a sister (Zari). So, if there’s a confused person, then it’s her. If I had known there’s a day I’d miss a brother, I couldn’t have let him go. She should first have that in mind. Then, am I the only woman who is an ex-girlfriend to a brother?” posed Wema.

Wema, who had a much publicised affair with top Bongo star Diamond, said that she was unfairly targeted as she is not the only ex-lover the singer has had. “I’m not seeing my fellow women who were once lovers of Diamond being discussed; it’s only Wema. There’s something a sister is in search of from me. If a sister would read this post, let her know we’re in 2016. She should make some changes since 2014 through 2015 and now 2016 she is still on my case. Baby, you aren’t getting tired?” posted Wema.

Concluding her fiery response, Wema told Zari to leave her alone. “I have answered back for the first time because for a long time you’ve been poking me. Kindly remove me from your radar. I no longer live there. And about being fake, I have accepted my fake life; however, I’d ask you to first share the DNA results of Baby Tiffah, (expletive)!” added Wema.

Zari indeed read the post, and retorted. “Ati DNA? What for? Let her start with the DNA of Swiss and then give us the ultrasound. When she establishes the gender of her unborn baby is when she’ll be justified to ask for Tiffah’s DNA. You (Wema) have never experienced labour and you’re requesting for DNA. Leave alone parents’ issues. Continue ‘dishing out’; that’s the only thing you can manage. My child shouldn’t stress you up; don’t beef with a baby. Find your level,” wrote Zari.

Kundi la Mziki la NavyKenzo Kukinukisha Mbeya Uzinduzi wa Viva Night Club Jumamosi Hii Tarehe 23 January 2016

$
0
0
Wakazi wa mbeya, karibuni kwenye uzinduzi wa club ya viva night iliyopo maeneo ya forest kwa kiingilio cha 10,000 jumamosi hii. Kundi la Navykenzo linaloundwa na Nahreel na Aika Kutoka Dar es Salaam Watakuwepo kutoa Burudani ya Nguvu Ambayo Haijawahi kutokea na Nyimbo zao kama Game, Visa, Moyoni, Bokodo, Hold me Back na nyininge nyingi 

Usinyanyaswe na Polisi..Fanya Haya Uwapo Mikononi Mwa Polisi....Imeandaliwa na Mawakili

$
0
0

1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.

2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukukamata, ni haki yako.

3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako.

4. Unaruhusiwa na sheria kukataa kukamatwa hata kutumia nguvu kama hukuambiwa sababu ya kukamatwa.

5. Askari anapokiuka taratibu za ukamataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye.

6. Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali kama hujakataa kutii amri halali.

7. Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi.

8. Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua.

9. Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome.

10. Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu.

11. Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 12 asubuhi.

12. Ni haki yako kumpekua askari kabla hajakupekua ili asipandikize kitu.

13. Usipekuliwe nyumbani bila kuwapo kiongozi wa mtaa.

14. Kila kitakachochukuliwa katika upekuzi lazima kiandikwe na askari aweke sahihi.

15. Mali iliyochukuliwa katika upekuzi lazima ibaki salama.

16. Mwanaume haruhisiwi kumpekua mwanamke na mwamke haruhisiwi kwa mwanaume.

17. Unaruhusiwa kukataa kupekuliwa iwapo taratibu hizi hazikufuatwa.

18. Askari haruhusiwi kukutukana wala kukupiga.

19. Unaruhusiwa kutozungumza lolote mpaka unayemuamini afike uwapo chini ya ulinzi, ni haki yako.

20. Usilazimishwe kuongea au kuandika ambacho hutaki, ni haki yako.

21. Usitoe maelezo bila uhakika yatatumika mahakamani yatakuletea shida.

22. Unaruhusiwa kukaa kimya na usizungumze kitu uwapo chini ya ulinzi.

HIZI ZOTE NI HAKI ZAKO, ZILAZIMISHE, USIBEMBELEZE WALA USIZIOMBE

Huyu Ndio Jamaa Aliyebuni Jina la Nchi ya Tanzania..Hivi Ndivyo Ilivyokuwa....

$
0
0
Akiwa na umri wa miaka kumi na nane, mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari Mzumbe alishika mkononi gazeti la THE STANDARD[DAILY NEWS, kwa sasa katika maktaba na aliona tangazo lilikuwa linatafuta mtu atakayebuni jina la nchi inayoundwa na nchi mbili za TANGANYIKA na ZANZIBAR, kijana huyu mzaliwa wa Tanga aliamua kulifanyia kazi tangazo hilo ambapo alichukua herufi TAN kutoka neno TANGANYIKA, na herufi ZAN kutoka neno ZANZIBAR, hakuishia hapo, kutokana na uzoefu wake kuwa nchi nyingi za kiafrika ziliishia na herufi za IA, kama vile ETHIOPIA,GAMBIA,TUNISIA,NIGERIA,ALGERIA,SOMALIA,ZAMBIA na NAMBIA,aliona ni vyema basi azitumie herufi za IA ilikupa jina zuri ndipo neno TANZANIA lilipopatikana na kijana yule alituma jina hilo kwenda mamlaka husika.Mohammed Iqbal Dar aliibuka mshindi na alizawadiwa NGAO MAALUMU NA TSH 200. Kwa sasa Bwana Mohammed Iqbal Dar anaishi nchini Uingereza akifanya kazi ya uhandisi wa masuala ya redio. Mohammed Iqbal alizaliwa mwaka 1944 jijini Tanga

Udaku Special Blog

Hali ilivyokuwa Sasa Bonde la Msimbazi Baada ya Mvua ya Jana..Waliokataa Kuhama Sasa Wahama Wenyewe Bila Kupenda

$
0
0
Siku Tatu zimepita Toka wakazi waliovunjiwa nyumba zao maeneo ya mkwajuni kwenye bonde la mto msimbazi kuwasha moto na barabani kupinga kufukuzwa kwao maeneo hayo.. sasa eneo hilo ni maji tupu baada ya mvua ya siku moja tu ambayo ilinyesha jana usiku ...Kwa sasa wale waliobakia kwenye vijumba vya mabati imebidi wahame wenyewe bila kupenda na kutafuta ifadhi sehemu zingine.....

Wema Sepetu Amshukia Kajala Masaja..Adai ni Mtu Mzima For Nothing na Hana Akili..Awaponda Washauri wake Pia

$
0
0
Wema Sepetu Akizungumza katika kipindi cha Take one cha Clouds TV Amesema Anamchukulia Kajala kama mtu Ambae Hawajawahi kuonana na wala hamfahamu

Wema Amedai Kajala ndio aliyemkosea na mpaka wakagombana na urafiki kufa lakini Kajala Japo ni mtu mzima kuliko yeye hajawahi hata siku moja kumtafuta na kumkalisha chini na kumuomba msamhaa kwa aliyomfanyi, pia amewatupia lawama washauri wake na kudai wanamshauri vibaya


'Mimi sina kinyongo na mtu, unajua mtu ambaye ana kinyongo na mtu ni mtu ambaye hawezi kukaa bila kumuongelea mtu fulani. Mimi sijawahi kukaa na kumuongelea Kajala na nimemchukulia kama ni mtu ambaye ameshapita kama upepo. Hajui kutumia utu uzima wake ni mtu mzima for nothing, ni mtu mzima fulani lakini hana akili. Sio tu hana akili pia naona pia washauri wake ni wabaya,” alisisitiza Wema.

Ikumbukwe Kiini cha Ugomvi wao ni Baada ya Kajala Kusemekana Ametoka na Bwana wa Wema Sepetu wa Kipindi hicho CK....
 

JE Unahabari Kuwa Yule Chinja Chinja wa Wanamgambo wa Kundi la Islamic State Aliwahi Kuja Tanzania!

$
0
0
Jihadi John, mwanamgambo wa kundi la Kiislamu la Islamic State ambaye amekuwa akisakwa sana na maafisa wa Marekani na Uingereza amewahi kutua Tanzania.

Hata hivyo, mwanamgambo huyo ambaye jina lake la kuzaliwa ni Mohammed Emwazi, hakuruhusiwa kuingia baada ya kuchunguzwa uwanja wa ndege na alipandishwa ndege na kurejeshwa Ulaya kupitia Uholanzi.

Hii ilikuwa ni Agosti 2009, wakati huo akijiita Muhammad ibn Muazzam.
Emwazi alifika Tanzania akiwa ameandamana na Mwingereza mwingine kwa jina "Abu Talib" na Mjerumani anayejulikana kama "Omar".

Watatu huo waliwasili uwanja wa ndege Dar es Salaam wakidai lengo lao lilikuwa kutalii nchi, baada ya kumaliza masomo ya chuo kikuu.

Hata hivyo, walizuiwa kuingia na baadaye Emwazi aliambia shirika la kutetea haki la Cage jijini London kwamba walidhalilishwa na kuteswa.

Lakini afisa mmoja wa polisi nchini Tanzania ameambia BBC kwamba Emwazi alifurushwa kwa kuwa mlevi na kwa utovu wa nidhamu.

Afisa huyo alisema Emwazi “alileta vurugu uwanja wa ndege” kwa kuwa “mwenye fujo na kelele nyingi” na kwamba alionekana kama alikuwa amelewa.
Hayo yalimfanya yeye na wenzake kuzuiwa kuingia.

Emwazi baadaye alidai kwamba alitishwa akiwa ameelekezewa bunduki na kwamba aliambiwa aulize serikali ya Uingereza sababu yake kuzuiwa kuingia.

Lakini kamishna wa uhamiaji wa Tanzania Abdullah Khamis Abdullah alisema hakuna maagizo yoyote yaliyokuwa yametolewa na taifa la nje kumzuia Emwazi kuingia.
Afisa aliyemzuiliwa Emwazi pia alisema hakuteswa kama alivyodai.

Shirika la Cage lilisema Emwazi alihojiwa na maafisa wa usalama wa Uholanzi na Uingereza aliporejea nyumbani kupitia Uholanzi.

Habari alizotoa ni pamoja na madai kwamba idara ya ujasusi ya MI5 iliwasiliana na mchumba wake, na hilo likafikisha kikomo uhusiano wao. Emwazi mwenyewe hakushtakiwa kwa makosa yoyote.
Idara ya MI5 inaamini safari hiyo ya Emwazi haikuwa safari ya kawaida kama alivyokuwa akidai.
Alikuwa amehusishwa na washukiwa wakuu wa kijihadi ambao walikuwa wakifuatiliwa na idara hiyo pande mbalimbali duniani.

Wema Sepetu Usizae Kiholela Wala Nini. Zari Anataka Kukuponza

$
0
0

Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?

Yule Zari ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.

Sasa Wema Zari all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba

Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?

Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.

We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.

Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.

Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.

USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.

By Lara1-JF

Je ni Kweli Jacqueline Woper Amekihama Chama cha Chadema na Hataki Tena Kuitwa Mtoto wa Lowassa! Ukweli Ndio Huu

$
0
0
JACK WOLPER
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Woper ambaye alikuwa msatari wa mbele kumpigia kampeni aliekuwa mgombe urasi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa mwaka jana, Mh. Edward Lowassa amekanusha habari iliyoripotiwa na moja ya magazeti ‘pendwa’ kuwa kwa sasa staa huyo ameshajitoa CHADEMA na hataki tena kuitwa mtoto wa Lowassa ‘Jacqueline Lowassa’ kama alivyo jiita kipindi kile cha kampeni.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wolper aliweka picha ya gareti hilo na kuandika haya.


Hapana labda wolper feki me nichadema paka kesho kutwa namtondogoo. …pipooooooozi 💪✌✌✌✌✌✌#namagazeti nyumbani kwakukuza habari simnajuagaa. Utasikia tafarani eti jacq chadema ameimwaga😂😂 #broo kweli uliimba

NECTA Watangaza Matokeo ya Darasa la Nne...Nimekuwekea Hapa

$
0
0
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani ya kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi wengi wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia 65.67 katika mitihani hiyo iliyofanyika mwishoni 2015.

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

Wadada Tubadilike Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatuzalilisha

$
0
0

Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia Sababu ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyo

Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba siku hizi hawapo barabarani tu hata Kwenye simu zetu hasa kupitia Whats app wanasumua kinoma...

Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa sababu sio kawaida yako.

ALI KIBA Adai Hajui Kutongoza na Hajawahi Tongoza Mwanamke..Wote Aliowapitia Wamejileta Wenyewe

$
0
0
Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta wameshakuwa wapenzi bila kujua....

Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!

Collabo ya Mwanamuziki Diamond Platnumz na AY Imeiva..Nimekuwekea Wimbo wao Mpya Hapa Usikilize na Kudownload

$
0
0
Collabo ya Mwanamuziki Diamond Platnumz na AY Imeiva..Nimekuwekea Wimbo wao Mpya Hapa Usikilize na Kudownload ;

Mapya Yaibuka Kuhusu Kesi ya Pingamizi Ubunge wa Tundu Lissu..Kesi Yafutiliwa Mbali na Mahakama Kuu

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imefutilia mbali kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jonathan Njau kupinga ushindi wa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu (CHADEMA).

Katika madai yake ya msingi, Njau alikuwa akipinga matokeo na kutaka kura kuhesabiwa upya.

Shauri hilo lilikuwa mbele ya Jaji Berkel Sehel ambapo mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM Jonathan Njau alishindwa kwenye uchaguzi kwenye jimbo hilo mwaka 2010 na 2015.

Njau Aliwasilisha ombi mahakamani la kutaka kesi hiyo kufutwa kwani hana haja ya kuendelea na shauri hilo.

Awali mlalamikaji aliwahi kupeleka mahakamani mara mbili maombi ya ombi la kusamehewa kwa gharama za kesi kiasi cha milioni 15 lakini maombi hayo yalitupwa

Lisu amesema Mahakama kuu ilishatamka mwaka 2010 kuwa kesi za uchaguzi si za kuendea kwa papara bila umakini wowote.

Zari Afunguka..'Wema Sepetu Anawatuma Team yake Wamtukane Mtoto Wangu na Kusema Diamond si Baba yake'

$
0
0
Kwa wiki kadhaa kwenye kwenye mtandao wa Instagram kumekuwa na majibishano ya vijembe kati na Wema Sepetu na Zari hasa kuhusiana na uhalali wa mtoto wa Tiffah kama ni wa Diamond. Zari amepiga stori na @cloudsfmtz moja kwa moja kutoka Sauz.

‘’Ngoja nikwambie kitu mimi ni mzazi ni muda mrefu Wema na timu yake wamekuwa wakimsema mtoto wangu…Mara Oooh Tiffah Katunzi…Tiffah Ivan..Sasa ninachoshangaa Wema hayupo na Diamond sasa mambo ya Tiffah yanamuhusu nini? Haya hata kama mtoto ni mtoto wa hao watu wanaowataja yeye na ‘team’ yake inawahusu nini?,’’Zari.

‘’Yeye sio familia ya Diamond amebaki kuwa ‘ex’ kama akina Jokate,Wolper wote wametulia wanafanya mambo yao,kwanini Wema anatuma watu wamatukane mtoto wangu kuwa angekuwa mzuri tungehama mjini,mara mtoto mwenyewe mbaya,Zombi nimewavumilia sana ndio maana nikawajibu,’’Zari.

‘’Mbona wao wanafake maisha yao kuanzia magari,nyumba ,atafute kazi afanye au a’promote’ lipstick zake ..’No need for DNA Tiffah ni wa Diamond …Nimefunga mjadala,’’Zari.

DIAMOND Makes A Confession That May Leave ZARI HASSSAN In Shock, LOOK.

$
0
0
Celebrated Bongo artist, Diamond, has revealed that he has another six year old child out of wedlock after he impregnated a lady from Mwanza when he was an upcoming artist.

While speaking in a media interview, the mellow voiced singer disclosed that he had a one night stand with a lady and realised after several months that she fell pregnant.

However, the lady lied to him that she had @b@rt3d the child but Diamond hired a team of private investigators who then found out that his child is alive.

Despite Diamond’s endless efforts to link up with the lady so that he can take care of the child, she doesn’t want anything to do with him.

She has blocked his calls and from the look of things, the celebrated Tanzanian artist will never see his baby.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Januari 22, Ikiwemo ya Dr Membe Kumkosoa Rais Magufuli

$
0
0
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Januari 22, Ikiwemo ya Dr Membe Kumkosoa Rais Magufuli

Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images