Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Faiza aoga matusi kwa kupost video inayodaiwa kumdhalilisha mwanae pamoja na Sugu

$
0
0
Faiza Ally is at it again! Muigizaji huyo controversial ameyaoga matusi kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kupost kwenye Instagram video ambayo wengi wanahisi sio sawa.

Mama huyo wa mtoto mmoja amepost video inayomuonesha mwanae Sasha akilia na kumtaka baba yake ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini amtumie fedha.

“Baba anitumie hela nikasuke,” anasikika Sasha akisema kwenye video hiyo na mama yake ambaye haonekani akimuuliza, “baba yako anaitwa nani?” Sasha anajibu, “Joseph Mbilinyi” na kasha kuendelea kulia kwa uchungu.

“Anayemjua baba wa huyu mtoto amwambie analilia kusuka….. Anaomba baba yake amtumie hela kwa kuwa sina mawasiliano naye hopeful mtamfikishia ujumbe….. Na mimi ndio hivyo tena leo sina chapaa,”ameandika Faiza kwenye video hiyo.

Hata hivyo, wengi hawajapendezwa na kitendo hicho walichokitafsiri kama cha udhalilishaji.

“Ndo shida ya kuzaa na makahaba, yaan ni upuuzi mtupu. Huyo baba wa mtoto alikupea mimba humu insta? Hizo ndo haki za mtoto mnavyomdhalilisha humu kwenye mitandao? mheshimiwa alimchukua mwanae kwa madai malezi anayoyapata kwa mama hayastahili kwa mtoto, lkn wabunge wanawake wakapiga kelele kupaza sauti kuwa huyu mwanamke ameonewa kwa kunyang’anywa mtoto.sasa hebu oneni huyo aliyedai anaonewa.huyo mtoto mmemfedhehesha sn.kama mama huna hela yakumpa mtoto akasuke si basi, bado unapost uko na mwanaume mwingine, hv nani akuelewe?? Namuhurumia sana huyo mtoto,” ameandika mmoja.

Mwingine ameandika: 

Hapana Faiza leo umekosea! Kwel japo ni mtoto ila unamkosea, hapana!! Tunakupenda ila this is too much.”

Wapo wachache waliomsupport pia kama huyu: 
Mi naona mnachokisema ni tofauti Na alichokilenga Faiza,kwanza hii post was for fun,make kama anaweza kumlipia ada atashindwa hela ya nywele?Ila alitaka kushare Na kina mama ambao Mara nyingi watoto wetu huwa akingangania kitu mpaka Analia bila kujua kama mama ana hela au hapana.”

Hata hivyo baada ya matusi kuwa mengi, Faiza aliamua kurudi tena na post ndefu:

NYINYI MNAOSEMA KAMA NIMESHINDWA KUMLEA MTOTO NIMUACHIA BABA YAKE- NAWAONA WA**BAVU TU KAMA WA***BAVU WENGINE WOTE….. KUTAKA KUISHI NA MWANANGU SIO SABABU YA BABA KUTOKUJUA MTOTO ANA KAA WAPI! ANAKULA NINI- ADA ANAPATA WAPI NA SHULE ANA SOMA IPI… NDIO NINA HAKI YA KUKAA NA MWANANGU LKN SIO KWAMBA KWA SABABU NAISHI NAE NDIO SABABU YA KUTOMKUTUNZA MWANAE….

NA P**BAVU ZENU WALE WANAO SEMA NA MZALILISHA SASA MNTAKA NIMPEJE UJUMBE IKIWA SINA MAWASILIANO NAE ? KAMA SIO KUTUMIA MITANDAO ….. ? NAO MNAOSEMA NIMESHINDWA MNAJUA NALIPA KODI KIASI GANI? ADA SH NGAPI ? MATUMIZI NA MNAJUA NAPATAJE MANINA ZENU? AU MNAZANI KUWA SINGLE MAMA MCHEZO – P**AVU ZENU NYOTE MNAO SHANGAA MIMI KUONYESHA HISIA ZANGU…..

KUNA NYAKATI ZINGINE UNASHINDWA KUJIZUIA UKIWA KAMA MZAZI UNAPO KOSA MSAADA WOWOTE KWA MZAZI MWENZIO SPECIAL AKIWA NA UWEZO WA KUTOA…. NA SI KWAMBA NIMESHINDWA ILA NIMEKASIRIKA NA KUSIKITIKA SANA PALE MWANANGU ANAPO HITAJI NA NAKUA SINA KWA WAKATI HUO NA NIKITIZAMA BABA YAKE ANAO UWEZO LKN ANA NIKOMOA KWA AJILIA YA KUMUACHA – HII HAINGILIANI KABISA NA KUTO KUMJALI MWANANO- NA ZAIDI AKIWA AMESIMAMA BUNGENI KUTETEA WANANCHI IKIWA VIZAZI VYAKE VINA HANGAIKA IKIWA KAKA YAKE SASHA AMBAE AMEMTOA MJINI BAADA KUJULIKANA NA KUMPELEKA MTWARA AMEKUA MLEVI HUKO WKT BORA ANGEMUACHA HAPA GARAGE ALIKUA ANA JIPATIA RIZIKI YAKE …… WANAO WOTE WAWILI HAWAJALI …..

KAMA MZAZI INAUMA …… NYIO MSIO JUA UCHUNGU WA MTOTO WALA UGUMU WA KUWA SINGO MAZA FUNGENI MIDOMO YENU VISEBENGO WAKUBWA SUBIRI YENU !!!!!!!!!!! NA BAADA YA YOTE KUNIPELEKA MAHAKANI NATOA HELA ZANGU NA KESI INAZUNGUSHWA….. KILA NINAPO FIKA MAHAKAMANI LZM NILIPE NA ADA YA MWANASHERIA m.2 …… KAMA SIO KUKOSA UBINAADAMU NI NINI ????? – SIKILIZENI SINA ASILI YA KITUMWA NIKO KATIKA TAIFA HURU NA NITASEMA NA KUFANYA KILE NINACHO AMINI….. NA NINA AMINI KIONGOZI BORA ANA ANZIA NYUMBANI……….. LKN MWISHO WA SIKU YOTE MAISHA NITASIMAMA TU NA NITAWEZA LKN WKT MWINGINE BINAADAMU LZM TUSEME YALIYO MOYONI ILI TUENDELEE NA YAJAYO…… NARUDIA TENA KWA YOYOTE ANAE SHANGAA HILI NI M**BAVU NA AMETOKA KWENYE FAMILIA ZA KINAFKI ZINAZO FUNIKAGA VITU AMBAVYO HAVI STAHILI KUFUNIKWA!!!!!!!!!!!!!

CUF Kufanya Maandamano Kesho Licha ya Jesho la Polisi Kupinga....

$
0
0
VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la Polisi kupinga.

Maandamano hayo yameelezwa kuwa ni sehemu kumbukumbu ya Wazanzibari waliouawa mwaka 2000 kutokana na vurugu za kisiasa zilizotokea chini ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Maandamano hayo yametangazwa ikiwa ni siku chache baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza tarehe 20 Machi mwaka huu kuwa siku ya kurudia uchaguzi visiwani humo.

Jecha alifuta matokeo ya uchaguzi mkuu visiwani humo uliofanyika tarehe 25 Oktoba mwaka jana kwa madai ya kuwepo kwa kasoro mbalimbali jambo ambalo lilipingwa na CUF, taasisi za kiraia na baadhi ya makada wa CCM.

JUVI-CUF wamepanga kufanya maandamano makubwa visiwani humo kwa lengo la kupinga dhuluma hiyo licha ya Jeshi la Polisi kuyagomea.

Wameeleza kuwa maandamano hayo watayafanya ili kuieleza dunia kwamba, Zanzibar haki inaminywa na kwamba, maandamano hayo yatakakuwa ujumbe mahsusi kwa wapenda demokrasia duniani.

Vijana hao wamesema kuwa, hawawezi kuona haki yao inapokwa na serikali kwa maslahi ya CCM na kwamba, maandamano hayo yatafanyika visiwani humo kama ilivyopangwa.

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa JUVI-CUF, Abeid Ali amesema kuwa, wananchi wa visiwa hivyo hawatokoma kudai haki yao mpaka pale itakaposimama.

Mkurugenzi huyo ameeleza kwamba, wana imani kuwa si risasi wala mizinga ambayo inaweza kusimamisha haki visiwani humo na kwamba, watapigania haki hata kama wengine watauawa.

Kiongozi huyo amekumbushia mauaji yaliyofanywa na Serikali ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa baada ya Uchaguzi Mkuu 2000 na kwamba, wananchi hawajaingia woga wala kurudi nyuma kudai haki yao.

“Sisi ni raia wakizanzibari, tuna uhuru wa kuandamana kwani CCM waliachiwa kuandamana na ulinzi wakapewa, na sisi tuna haki ya kufanya maandamano,” amesema Ali.

Amesema kuwa, maandamano hayo yatafanyika kuanzia Mtendeni kwenda Mnazimmoja na kumalizikia kwenye viwanja vya Maisara.

Serikali ya Eritrea yatoa Amri Kila Mwanaume Kuoa Wake Wawili

$
0
0
Wanawake wa Kieritrea
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

Naenda Bao Moja tu, Halafu Siwezi Sirudii Tena, Nifanyaje?

$
0
0
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Naomba Ushauri Tafadhali

Ubandue wa Wenzio tuu, Wako Asibanduliwe? Haipo Hiyo Jamaa!

$
0
0
Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio....
Mwanaume unapokua unagegeda mke wa mwenzio, unamgeuza geuza kama chapati, unamkunja na kumkunjua, jasho linakutiririka unafurahii mwenyewe unadhani wako atabaki salama?? Nop ujue kuna mjanja wako pia kama we ulivo mjanja kwa mwingine mkeo analiwa vizuri tu mastaili yoteee anapewa....hamtaki kusikia ila ndo hiv.

Jana nikakutana na jamaa mmoja ni mwanaume tu wa makamo umri unatosha kupewa shkamoo ni dereva, simu yake inaita wee anapokea anajibu nakuja mama anakata, sekunde tu simu inaita tena anajibu nimekaribia yani zilikuwa ni simu mfululizo mwisho akaona aongee "dah huu mchepuko unasumbua sana nishauambia nakuja hauelewi, huyu mwanamke ana ny*ge hadi zinamwagikia bla bla"

Nikamwambia nenda kampe haki yake jamaa, ndo kuanza story huyu mwanamke nilimuonjesha mara moja yani kaniganda sikutegemea, anataka kila siku nimbandue sijawahi kukutana na mwanamke mwenye ny*ge kama huyu, kisa mashine yangu kubwa mme wake anayo ndogo basi akiishika hadi huwa anatetemeka (ha ha ha wanawake wabaya ndo nini sasa kutangaza silaha ya mme kwa mchepuko).....

Bado nasimuliwa huu mchepuko unaniambia nipaki tu atanipa hela ambazo ningezipata yani huwa nampa dozi vilivo hadi ananipa hela, yani hapo najua kishaloana (baba aliongea yule hadi nikahisi aibu sasa).. .

Nikamuuliza ukisikia nawe kuna jamaa anamshughulikia mkeo hivo utajisikiaje ha ha ha eti "mama angu ntaua mtu" nikajisemea tu Kimoyo moyo nyokooo wewe, we mbona unakula wa mtu nani kakuua..... akatokea mwanamama na dera lake masikini mali ya mwanaume inaenda kutafunwa.

Kavuruge mke wa mwenzio na wako avurugwe!!!!!!

Source;Jamii Forums

Video ya Mtoto wa Faiza Yamgusa Mange Kimambi..Amkosoa Faiza na Kumpa Ushauri Huu

$
0
0

Mange Ameibuka na kutoa neno baada ya Video ya mtoto wa Faiza Ali akiomba Hela kwa Mh Mbunge Sugu kuzagaa mitandaoni...

Amesema haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"Nilikuwa nachukua break to focus on my weight loss thingy Ila this video had me in tears....... Kwa Sababu tofauti , one this baby has no business being on Instagram crying for money. Atakuja kuwa mkubwa then Watu watamwonyesha hizi video..... Ukiwa Na issue Na mwanaume unaweza kumdhalilisha Kwa njia nyingi mnoooooo bila kumwanika mtoto hivi. Ila somehow naelewa wanaume wanauzi sana unaweza jikuta unafanya hivi Kwa hasira ila kuna njia nyingi mama unaweza kumkomesha mwanaume asiekusaidia malezi especially Kama ni Mbunge.
Hata yeye tu angeweza kujirekodi akilia hivi kuwa hapewi matumizi na message ingefika vile vile........ .
Kama kuna kitu kimoja nilichojifunza kuzaa na mwanaume ambae siko nae ni kwamba usiongee lolote baya kuhusu baba wa mtoto mbele ya mtoto. It affects them. Acha mtoto ampende baba yake hata kama ni baba mbaya hata kama hakusaidii ila Jitahidi mtoto asijue haimsaidii kitu zaidi ya kumuumiza akiona wenzie wana baba zao yeye baba yake hataki kutuma hela.....
Kama vipi @faizaally_  Ongea openly sugu anakusaidia Au vipi how much etc then tutakusaidia kufikisha ujumbe mjengoni, na hata msaada wa kisheria Ili mtoto apate haki yake.
.
.
Ila pia tusimjudge sana Faiza hizi ni stress mtu unajikuta unafanya vitu Kama hivi.  Especially ukiona mwanaume anauwezo ila hakusaidii. Cha Maana Faiza angeweka Wazi kabisa ni msaada gani anaoupata Kwa Sugu ili watu tumsaidie kupiga kelele. Maana hapa hatuelewi Je ni kwamba hatumi pesa kabisa au labda alituma Kidogo hazikutosha na kusuka nywele..... Ukiamua kuweka mambo wazi weka yote Wazi Ili watu waelewe na wakupe support....." Mange Kimambi

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

$
0
0
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

Bosi Amlawiti Mtumishi wa Nyumbani Mpaka Kusababisha Kifo Chake

$
0
0
Picha si ya tukio
Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, amekufa kwa madai ya kulawitiwa na bosi wake, Zablon Shaaban (32).

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, William Nyello jana alithibitisha akisema tukio hilo ni la Januari 25, mwaka huu saa 3 usiku katika kata hiyo.

Alisema mtumishi huyo wa nyumbani alifanyiwa kitendo hicho na bosi wake aliyekuwa akiishi naye baada ya kurejea nyumbani wakitokea matembezini jioni.

“Mtuhumiwa alikuwa akiishi na marehemu nyumba moja, waliporejea katika matembezi ya jioni na wakati wa kulala, mtuhumiwa alimfuata marehemu chumbani kwake na kumkaba koo na kumlawiti,” alisema Nyello.

Kaimu Kamanda alisema kutokana na kitendo hicho, kilichothibitishwa pia kwa uchunguzi wa daktari, polisi inamshikilia mtuhumiwa huyo na atafikishwa mahakamani.

Andrew Chenge Asema Haya Kuhusu Sakata la Tegeta Escrow Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bunge

$
0
0
MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge kwa kipindi cha miaka miwili na nusu.

Uchaguzi huo ulifanyika jana baada ya majina yao kupendekezwa na Kamati ya Uongozi na kuyawasilisha bungeni kwa ajili ya uchaguzi.

 Katika uchaguzi huo, uliotanguliwa na wabunge hao kujieleza mbele ya wenzao na kuulizwa maswali, sakata la Tegeta Escrow liliibuka baada ya Chenge kujieleza.

“Katika Bunge lililopita, chama chako na wabunge walikuwajibisha kwa kashfa ya Escrow, je, siku ukiliongoza Bunge na hoja ikarudi ndani uko tayari kuisimamia,” Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema) alimuuliza Chenge.

Akijibu swali hilo, Chenge alisema Bunge linaongozwa na Kanuni na itakapokuja mbele ya Bunge au kwenye Kamati, ikaonekana kuna maslahi ama inamhusu mbunge, ni busara kuzingatia kanuni nafasi hiyo ikaachwa mwingine aifanye shughuli za Bunge zisiwe na makandokando ya aina yoyote.

“Naona niishie hapo, ningeweza kusema zaidi ya hapo,” alisema Chenge ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa zaidi ya miaka 10 na pia Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la 10 kabla ya kujiuzulu kutokana na sakata la Tegeta Escrow.

Awali akijieleza Chenge ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, alisema “napenda niliahidi Bunge na Watanzania kwa ujumla, kwamba hii ni dhamana nzito ya kumsaidia Spika na Naibu.

“Lakini niwahakikishie nitatekeleza jukumu hilo kwa uadilifu, na kwa uaminifu ili nitende haki inayoonekana na bila chuki, wala upendeleo wowote kwa faida ya kujenga misingi bora ya Bunge hili lakini pia kwa kuwatumikia Watanzania wote,” alisema.

Kuhusu swali la Mbunge wa Nsimbo, Richard Mbogo (CCM) aliyetaka kufahamu ni namna gani Chenge atadhibiti matumizi ya lugha ya kuudhi au kudhalilisha wengine, Chenge alisema Kanuni za Bunge kama zilivyo sheria za nchi, zinakata pande zote kama ilivyo msumeno.

Alisema ikithibitika kwamba mbunge amekiuka kanuni, kiti kitazingatia baada ya kupima kauli na maelezo aliyotoa bungeni.

“Baada ya kupima, tuhakikishe kwamba tunayosema humu bungeni yawe ya kweli, kweli tupu yasiwe ya uongo,” alisisitiza.

Mwanjelwa ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Mbeya, katika kujieleza mbele ya wabunge, aliomba wamwamini na kuahidi kuwatumikia bila kujali itikadi kwa faida ya wananchi wote.

Mwanjelwa alikiri kwamba Bunge hili lina changamoto nyingi, lakini atakachozingatia ni utaifa kwanza.

Najma, ambaye kitaaluma ni Mwanasheria, aliahidi kuwa msaada mkubwa kwa Spika. Aliahidi kuwa atahakikisha anaweka maslahi ya taifa mbele kwa kutoa haki sawa kwa wabunge wote bila kujali vyama vyao.

Spika wa Bunge, Job Ndugai alihoji kwa pamoja wanaoafiki mapendekezo ya Kamati ya Uongozi, ndipo wabunge walio wengi wakaridhia Chenge, Mwanjelwa na Najma wawe wenyeviti. Wenyeviti wa Bunge hufanya kazi wakati ambao Spika au Naibu Spika wakiwa hawapo bungeni.

Katika Bunge la 10, wenyeviti walikuwa Mussa Azzan Zungu, Kidawa Himid Saleh, Lediana Mng’ong’o, Muhammed Seif Khatib, Sylvester Masele na Jenista Mhagama.

Kwa mujibu wa Ndugai, Kamati yau Uongozi imejiwekea utaratibu wa kupendekeza majina na ilipokutana chini ya uenyekiti wa spika, iliamua kuwapendekeza wabunge hao watatu ambao wote ni kutoka CCM.

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa

$
0
0
Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma
MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji.

Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu.

“Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiangalia Kwenye Kioo Najiona Mrembo Sana

$
0
0
Zari Hassan
Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond.

‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Spika Job Ndugai Anaweza Kulikimbia Bunge Hili, Kiatu Kinapwaya

$
0
0
Job Ndugai 
Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili!

Nimejaribu kufanya ulingani wa maspika wa awamu zote zilizopita hasa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa kwa kuwaangalia kina Pius Msekwa, Samweli Sitta na Anne Makinda na kulinganisha na Spika wa sasa mbunge wa Kongwa Mh Job Ndungai nakosa kabisa jibu ni wapi tunaelekea! Wasi wasi wangu ni kwamba kuna uwezekano wa bunge kukaa tena na kutafuta spika mwinge.

Nikiwaangalia maspika wote hao watatu waliopitia kwa kuzingatia ubobezi wa siasa za nchi hii, ubobezi wa masuala ya kisheria, ubobezi wa uongozi katika utumishi wa umma ukizingatia zaidi baadhi yao walikua mawaziri na wakuu wa mikoa katika serikali zilizopita.

Job Ndungai ni Afisa Wanyama pori na ndio taaluma yake hiyo, pamoja na kua na shahada ya sheria ya chuo kikuu huria lakini hiyo tu bado haitoshi kumpa uwezo wa kumudu changamoto za bunge hili lililojaa wabunge wa rika na jinsia tofauti, wasomi wa kada mbali mbali! Kwa hakika maji yakishamwagika hayazoleki lakini tukubaliane kua "He will suffer the most".

Uzoefu wa spika ndugai katika masuala ya kisiasa ni ubunge tu ukiachilia nafasi ya unaibu spika na uenyeketi wa kamati za bunge kumlinganisha na maspika hao wote watatu waliopitia ambao waliwahi kua maafisa wa ngazi za juu katika utumishi wa umma katika serikali zilizotangulia.

Nikimwangalia kwa jicho langu la kipee Ndungai hana uvumilivu hata kidogo hasa katika masuala ya kisisa! Hua ana hasira za karibu sana pindi inpotokea tofauti bungeni, napata shida sana kuridhika na uvumilivu wake hasa kwa kujaribu kuzikumbuka siku za nyuma alipokua naibu spika ambapo mara nyingi mambo yalikua yakiharibikia kwenye viganja vyake.

Hii nafasi ya uspika ilitakiwa apewe mtu aliye na uvumilivu wa hali ya juu, mtu mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala ya siasa za nchi hii, mtu mwenye umri wa utu uzima usiokua na mihemko ya kisiasa na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutafsiri kanuni na sheria bungeni kwa kuzingatia aina ya bunge lililopo, lakini kwakua tunapenda sana kutanguliza ushabiki usiokua na maana basi hatuna namna tukubaliane na hali hii tu.

Najaribu kufikiria wale ambao wanaweza kua washauri wakuu wa spika huyu nako bado nakosa kuridhika na timu iliyopo! Mfano nikimuangalia Naibu spika wake ndg Tulia Mwansasu msomi huyu wa sheria, lakini bado hana uzoefu wowote wa masuala ya kisiasa kutosha kua Mshauri wa spika Ndungai kwani masuala ya kisiasa kua msomi tu haitoshi na uzoefu ni sifa muhimu sana!

Nikijaribu kumwangalia Mwenyekiti Andrew Chenge ambaye pamoja na madhaifu yake yote upande mwingine lakini angalau hapa ndio kidogo kuna unafuu kutokana na uzoefu wake katika siasa za nchi hii na pia anao uwezo mkubwa sana kuzitafsiri kanuni na sheria mbali mbali za bunge,Lakini Swali langu juu ya Chenge ni kwamba Je, ule udhaifu wake hasa katika uadilifu una usalama wowote kwa ustawi wa bunge la spika Ndungai?

Nawasilisha na "mark my words"

Written by Mahanju/Jamii Forums

Amuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake

$
0
0

Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari amesema kuwa Ramadhani alifikwa na umauti baada ya kujeruhiwa na kijana mwenzake Ntema Kabembenya( 26), mkazi wa kijiji cha Ipwaga.

Kidavashari amesema tukio hilo lilitokea Januari 22, mwaka huu saa 12:55 jioni ambapo Ntema alimkuta Ramadhani (marehemu) akimtongoza dada yake (Ntemwa) mwenye umri wa miaka 12 (jina limehifadhiwa).

“Ntemwa alikasirishwa na kitendo cha Ramadhani kumtongoza dada yake mwenye umri wa miaka 12, alimshambulia Ramadhani kwa kumpiga na fimbo na kumjeruhi vibaya,” alieleza Kamanda Kidavashari.

Inadaiwa Ramadhani alikimbizwa katika Hospitali ya wilaya ya Mlele kwa matibabu lakini alifariki dunia siku iliyofuata akiwa anatibiwa.

Kwa mujibu wa Kidavashari, mtuhumiwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma inayomkabili.

Maiti ya Kijana Mtanzania yazuiwa India Siku 27 Sasa..Kisa Kizima Hichi Hapa

$
0
0
Jeneza
Mwili wa kijana, Abel Machanga (24), aliyefariki dunia Desemba 31, mwaka jana katika Hospitali ya Colombia Asia, India umekwama baada ya ndugu wa marehemu kukosa fedha za kulipa deni la Sh35 milioni wanazodaiwa na hospitali hiyo.

Takribani siku 27 zimekatika tangu kijana huyo afariki na kwa muda wote huo, baba yake; Revocatus Machanga amekuwa akihaha kuomba msaada. Abel alifariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kichwa aliogundulika kuwa nao tangu 2015 na Julai mwaka jana, gazeti hili lilichapisha habari ya maradhi yake hatua iliyosaidia kupatikana kwa dola 7,700 za Marekani zilizohitajika kwa ajili ya matibabu yake India. Mara baada ya kufika India na kufanyiwa vipimo, uongozi wa hospitali hiyo ulitaka kuongezewa dola 5,000. “Tulijichangisha nikatuma fedha hizo matibabu yakaanza.

Novemba 30 mwaka jana, alifanyiwa upasuaji alipokuwa bado kwenye uangalizi waligundua kuwa ana degedege, bakteria karibu kila sehemu ya mwili wake na shinikizo la damu kushuka kupita kiasi,” alisema na kuongeza  wakati wakiendelea kumhudumia, waligundua maradhi mengine hivyo kudai kuongezewa dola 16,396 sawa na Sh35milioni.

“Nilikwenda Wizara ya Afya kuomba msaada, waliniahidi kuna taarifa walimuagiza mwambata wao aliyekuwa India kufuatilia.

Msemaji wa Wizara ya Afya, Nsachris Mwamaja alisema hana taarifa kuhusu suala hilo na kuahidi kulitolea ufafanuzi wa kina leo.

Tetesi Kubwa Tano za Usajili wa Ulaya Pamoja na Swala la Kujiuzulu Kwa Van Gaal wa Manchester United

$
0
0
Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri kwenye ligi na kumaliza ikiwa imetimiza malengo iliyojiwekea kabla ya kuanza kwa msimu.

Hizi ni story tano ambazo zimepewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari vya barani Ulaya.

5. Liverpool imefeli kukamilisha dili la Teixeira
Liverpool imeripotiwa kurudi nyuma kwenye harakati zake za kuiwania saini ya mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira mwenye miaka 26 kutokana na klabu yake kuihitaji huduma ya mchezaji huyo.

 Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil ambaye ataigharimu Liverpool  £28m ameshafunga mabao 26 hadi sasa kwenye michezo 25 ya mashindano yote. (Daily Mail)

4. Newcastle inamtaka Remmy wa Chelea
Striker wa Chelsea Loic Remmy huenda akarejea kwenye klabu yake ya zamani Newcastle United lakini dili hilo litafanikiwa endapo Guus Hidink ataweza kufanikisha kumsajili mshambuliaji wa kibrazil Alexandre Pato.

 Mfaransa huyo amejikuta akipambana kuwania nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Stamford Bridge bila mafanikio tangu alipojiunga na mabingwa watetezi wa Premier League akitokea St James Park.  (Sources-Chronicle)

3. Beki wa Arsenal anataka kuondoka
Arsenal huenda ikampoteza beki wake Mathieu Debuchy kwenye kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo kutokana na beki huyo kuwaniwa na vilabu vya Sunderland na AstonVilla.

 Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga na Arsenal akitokea Newcastle United lakini nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza imechukuliwa na Mhispania Hector Bellerin.

Michuano ya Euro inakaribia kuanza na endapo ataendelea kusugua benchi atapoteza nafasi kwenye kikosi cha Ufaransa ambao ndiyo waandaaji wa michuano hiyo.

Anatafuta nafasi ya kwenda kucheza kwa mkopo kwenye kikosi cha Aston Villa lakini boss wa Sunderland Big Sam naye pia anamuwinda. (Source: The Daily Mail)

2. Kwasasa siko tayari kujiunga na Man United

 Taarifa ambazo hazijathibishwa kutoka Hispania zinadai kwamba, mshambuliji wa Real Madrid Gareth Bale angejiunga na Manchester United lakini kukosekana kwa mfululizo wa matokeo mazuri kwenye klabu hiyo kumemfanya abadili maamuzi. (Source: The Independent)

1. Ed Woodward amshauri Van Gaal kusalia United

Gazeti la The Sun la Uingereza limesema kwamba, Manager wa Manchester United Louis Van Gaal aliomba kujiuzulu baada ya kipigo cha Jumamosi iliyopita kutoka kwa Southampton lakini aliombwa kuendelea kusalia United na makamu mwenyekiti wa timu hiyo Ed Woodward ambaye hataki kubadili kocha katikati ya msimu. (Source: The Sun)

Zile Picha za Mwanamke Aliyekutwa Shimoni Hakuwa Msukule, Ndugu Wamesimulia.. (+Audio)

$
0
0
Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule… wengine wakasema ana matatizo ya akili.

Hekaheka ya jana radio Clouds FM ilisikika na stori kuhusu jinsi mwanamke huyo alivyokutwa ndani ya shimo na mwenye nyumba, Polisi wakamchukua baadae akawapotea katika mazingira ya kutatanisha.

Stori kwenye Hekaheka leo wamepatikana ndugu, pamoja na mume wa mwanamke huyo… wamesema imepita kama wiki nne toka amepotea, ni kweli ana matatizo ya akili lakini hakuwahi kuwa kwenye hali mbaya kiasi cha kutojitambua.

Ndugu hao wamesema mwanamke huyo ana watoto wawili, alipotea baada ya kwenda kwa mama yake maeneo ya Tabata, na mama yake hakutoa ushirikiano mzuri baada ya mwanamke huyo kupotea huku akisingizia anaumwa.

Stori yote na kile kilichosimuliwa na ndugu wa mwanamke huyo iko kwenye sauti hii.



Baraka Da Prince Amruka Kimanga Nisha..Adai Hana Uhusiano Wowote wa Kimapenzi na Nisha

$
0
0
Hatimaye Baraka Da Prince ameweka wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi na Staa wa Bongo Movie Nisha ila mashabiki ndiyo wanakuza mambo.

Baraka amesikika kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio,  akisema yeye na Bi dada ni washikaji tu na wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali pamoja ndiyo maana watu wanasema ni wapenzi.

“Siko kwenye mahusiano offcorse na hata kama ningekuwa kwenye mahusiano sijawa  tayari kuzungumzia mahusiano yangu”

Alisema Baraka na kuongeza
“Nisha Mimi ni rafiki yangu bana,ni mtu ambaye nipo naye muda mwingi,hivyo sina mahusiano yoyote na Nisha”

Ameongeza pia kuwa Watu wamekuwa wakimpakazia mara kibao kuwa ana mahusiano na Watu wakati si Kweli, Baadhi ya wasichana baraka aliowahi kutajwa kuwa nao kwenye mahusiano ni Agness Masogange na Menina.

Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL

$
0
0
Zitto Kabwe
IKIWA imepita siku moja toka taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU kupitia kwa naibu mkurugenzi mkuu wake Valentino Mlowola kutangaza kuwa hadi kufikia sasa taasisi hiyo imefikisha mahakamani jumla ya kesi 36,Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe ameijia juu taasisi  hiyo kwa kushindwa kuichukulia hatua kampuni ya mafuta ya Like Oil ambayo inatuhumiwa kukwepa kodi.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandika hivi.

"Nimesoma taarifa ya ‪#‎TAKUKURU‬ kuhusu kesi zaidi ya 30 na mashauri 4 mazito yanayopelekwa mahakamani hivi karibuni. LakeOil anatuhumiwa kukwepa kodi tshs 8 bilioni na kupewa miezi 2 walipe. IPTL/PAP inalipwa kila mwezi 8 bilioni na #TAKUKURU wameufyata kueleza umma hatua wanazochukua. Miezi 3 sasa toka Magufuli aingie madarakani, Harbinder Singh Seth keshavuta tshs 24 bilioni. Kama kawaida tunaanza kuona PR work ya vipaza sauti wa IPTL/PAP wakipewa kurasa za mbele za magazeti makubwa na yenye heshima nchini. Usaha wa jipu la IPTL unanuka"

Wasira Kumrudisha Tena Esther Bulaya Mahakani..Sasa Kesi Kufunguliwa Upya Mahakama ya Rufaa

$
0
0
Steven Wasira
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Esther Bulaya, wadai katika kesi hiyo wanatarajiwa kupinga uamuzi huo  Mahakama ya Rufani.

Akizungumza na Nipashe jana, mwanasheria wa wadai hao, Constantine Mutalemwa, alisema wateja wake hawajaridhika na hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Gwae.

Juzi katika mahakama hiyo, Bulaya aliwashinda wakazi wanne wa jimbo hilo waliofungua kesi ya kumpinga baada ya ushindi alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana. Katika uchaguzi huo, Bulaya olimshinda mpinzani wake, Stephen Wasira wa CCM.

Bulaya, katika kesi hiyo, alikuwa akitetewa na mwanasheria maarufu, Tundu Lissu.

Waliofungua kesi hiyo ni Magambo Masato, Matwiga Matwiga, Janes Ezekiel na Ascetic Malagira, ambao walikuwa na mawakili wawili ambao ni Mutalemwa na Denis Kahangwa.

Mutalemwa alisema baada ya kutoridhika na uamuzi huo, wateja wake wamekusudia kufungua kesi Mahakama ya Rufani ili kupata ufafanuzi wa Jaji juu ya uhalali wao wa kutokuwa na mamlaka kisheria ya kufungua kesi kama hiyo.

Katika hatua nyingine, kesi ya madai iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza na mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Hezekiah Wenje, jana iliahirishwa hadi Februari 2, mwaka huu.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo, ulitolewa na Jaji Joaquine De Mello wa mahakama hiyo, aliposikiliza kwa muda kabla ya kupangiwa jaji wa kuisikiliza kesi hiyo ya kupinga ushindi wa Stanslaus Mabula (CCM).


Faiza Ally "Najua Nilikosea Kupost Mwanangu Akiwa Analia..Naomba Rathi ila...

$
0
0

Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:

Kutoka kwa Faiza Ally

"Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ya watu....niko tayari kupata misukosuko ya aina yoyote ili kuleta mabadiliko kwa mateso wanayo pitia wanawake na watoto... Ntasimama kwenye ukweli hata kama naumia kutukanwa na wamama wasio jielewa lkn mwisho wa siku ntawapa ujasiri wa kusimamia haki zenu na watoto wenu....NAJUA NIMEKOSA KUPOST MWANANGU AKIWA ANA LIA..... Lkn hiyo ndio ilikua njia pekee ya kuonyesha umma kuwa kuna haya... Mtoto ni jukumu la baba na mama ! Hata kama wamama tunajikaza kutunza watoto wetu lkn mwisho wa siku tuna umia na tunahitaji misaada kutoka kwa wenzi wetu.... Na sio mahitaji tu na mapenzi  ya baba na mtoto....Najua nchi yangu bado wana wake wako nyuma ktk kuungana na kujisimamai lkn mm ntajitolea na najua haita kuwa faida ya mmoja itakua ya wengi... Na hata wanaume wengine watajifunza kupitia hapa! Ntasimama... Ntawajibika... Na ntashiriki... Ikiwa binafsi! Serekali au makampuni binafsi kwa ajilia yangu na wanawake wengine ......KWA MTANZANIA YOYOTE NILIE MUUMIZA KUPITIA VIDEO YA SASHA NAOMBA RATHI LKN NAOMBA MSIANGALIE TU VIDEO ANGALIENI NA MAMBO MENGINE YA MUHIMU KTK HILI....! #HAKUNA JAMBO RAHISI..." Faiza

Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images