Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

MRISHO NGASA AMWAGIA SIFA KEDEKEDE MCHEZAJI WA SIMBA

$
0
0
Kwa mara nyingine tena katika kipindi cha wiki mbili, winga machachari wa klabu ya Yanga Mrisho Khalfan Ngassa amemsifia mshambuliaji wa timu mahasimu Simba Mburundi Amiss Tambwe.

Akitumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter Mrisho Ngassa alimsifia Tambwe kwa kumuita mshambuliaji bora. Hatua hiyo ya Ngassa ilikuja baada ya Tambwe kufunga mabao mawili katika mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting uliopigwa uwanja wa taifa na Simba kutoka na ushindi wa 3-2.

LUPITA NYONG'O MAKES HISTORY BY BECOMING THE FIRST AFRICAN TO WIN OSCAR!

$
0
0
Lupita Nyong'o Makes history By Becoming The First African To Win An Oscar!
Lupita Amondi Nyong'o made history by becoming the first African woman to win an Academy Award. The rising starlet who has already bagged 26 awards for her role in the movie, 12 years a slave, walked away with her 27th for Best Supporting Actress Oscar at the 86th Academy Awards.

TAZAMA PICHA YA MSANII LORD EYEZ AKIWA MBALONI KWA TUHUMA YA WIZI

$
0
0
Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.
Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa.
Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi

BABA ANATAKA NIOLEWE ILI APATE NG'OMBE WAKATI MIMI NI MLEMAVU NA NINA UMRI MDOGO SANA

$
0
0
Moshi Hussein ambaye ni mlemavu wa viungo anayeishi nyumbani kwa baba yake mzazi huko katika kijiji cha Magiri wilaya ya Uyui mkoani Tabora,binti huyu ana umri wa miaka 13 hajawahi kupelekwa Shule kwa maana ya kupata haki kama wapatavyo watoto wengine,Moshi amekuwa akililia hilo kwa baba yake mzazi bila mafanikio.Jambo baya zaidi kwa mujibu wa maelezo ya Moshi baba yake anahitaji aolewe ili aweze kupata Ng'ombe licha ya kuwa ana umri mdogo na hawezi kukabiliana na Changamoto za ndoa kulingana na ulemavu alionao.
Moshi kwakuwa hana uwezo wa kutembea umbali hata wa hatua kumi anawaomba wasamalia wema kumsaidia mambo makubwa matatu,kwanza ikibidi kumuondoa nyumbani kwao ili aepukane na ndoa ya lazima,Pili apelekwe shuleni kwakuwa anaona kukaa kwa baba yake ni wazi kwamba atakuwa anatafuta umasikini mwingine wa ziada ukiachana huo wa ulemavu wa viungo ambao umekuwa kikwazo kikubwa hata cha kujihudumia masuala mengine ya kiutu wa mwanamke.Kwa mujibu wa maelezo yake Moshi ana mshangaa baba yake kwa uamuzi wa kutaka aolewe kwakuwa hata ndoa yenyewe haoni kama itakuwa na maana kutokana na ulemavu alionao na pia haoni sababu ya kuwa mzigo kwa mtu mwingine katika maisha yake.
Moshi amekuwa akijikatia tamaa kulingana na ulemavu alionao,"Kama ningekuwa na mama labda hata ningeweza kupelekwa shule na mimi ningekuwa msomi kama wengine,lakini kwa hali hii ni bora hata ningekufa nimfuate mama yangu huko aliko"
Via KapipiJHabari

WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA

$
0
0
STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake cha sanaa ‘TFTC’ akiwa kama mgeni rasmi.

Mtoa habari wetu ndani ya taasisi hiyo aliliambia gazeti hili kuwa, Wema aliombwa na kukubali kuhudhuria shughuli hiyo, lakini alipopigiwa simu dakika za mwisho aliwaambia kwamba atashindwa kufika kwa kuwa amefiwa na shangazi yake udhuru ambao baadaye ulibainika kuwa haukuwa wa kweli.

Alisema kutokana na kutofika kwa staa huyo, ambaye hata hivyo mwaliko wake ulitokana na shinikizo la wanafunzi wa chuo hicho, walilazimika kuwaomba radhi wageni wengine, wakiwemo waandishi wa habari.

Mmoja wa watu wa karibu na Wema aliliambia gazeti hili kuwa muigizaji huyo hajawahi kupatwa na msiba siku za hivi karibuni, kwani mara zote amekuwa akiwaeleza kila linapotokea jambo zito kama hilo.

Mtu huyo alisema katika ratiba ya siku hiyo, walikuwa waende kwenye tukio moja la starehe na halikuwa limebadilika.

juzi alipoulizwa Pastor Myamba alikiri Wema kutofika kwenye hafla hiyo kitendo alichosema kimemsikitisha kwani walitoa mwaliko kwake kutokana na heshima aliyonayo.

“Nimemshangaa sana, lakini mbona mwenzake Jokate alikuja, ni kwa sababu anajitambua na ni professional,” aliema Myamba.
GPL

KIONGOZI WA WEUSI AFUTA AIBU KWA KUMWENGUA LORD EYEZ KATIKA KUNDI BAADA YA KASHFA YA WIZI

$
0
0
Kiongozi wa kundi la weusi NIKKI WA PILI ametangaza rasmi kumwondoa msanii LORD EYEZ katika kampuni ya weusi kufuatiwa  tuhuma za uharibifuwa gari na uporaji  wa laptop.

WEUSI HUU NI WAKATI WA KUWA BEGA KWA BEGA NA LORD EYEZ NA KUMSAIDIA NA SI KUTANGAZA KUMFUKUZA

$
0
0

Baada ya Weusi Kutangaza kumwondoa Lord Eyez kwenye kundi la Weusi kwa sababu ya tuhuma za uwizi wa laptop huko Arusha watu wengi walijitokeza kwenye instagram kuponda uamuzi huo baadhi ya message ni hizi hapa chini kutoka Instagram


stigoxz

Cjapend uamuzi wenu eyes anahtaji Masada na co kutengw km mlivofanya cjapenda nlikukubali sn kk tangu hujatka bt now umenikwaza kwani laptop bei gani mshindwe kumaliza kesi unesheni unit yenu tuone km kweli mnacare fikirien mara2 situation ambyo anafeel right now eyes mkimsadia ntaona utu wenu bt now hate u all weusi

gdwalize
Naona bora Peke yangu maana rafiki wakweli c mjuii a got 2 many fek people my people!!!!!??

rudolfrodney
Anaweza akawa amekiuka masharti ya kampun but sii fair kumtenga mchukulieni kama ndugu kwa kumpa ushauri na kama kuna ishu nyingine ambazo anazifanya aziko sawa mwekeni kwenye mstari itakuwa poa zaidi @joh_makini #teamweusi

bintiandengenye
@joh_makini msaidieni plssss mungu atawabariki mno

dorricy
we love him and ana kipaji why msimsaidie aachane na madawa mbona ray c kaweza! .. plz @joh_makini @gnakowarawara msaidieni lord

denismushi
Wengi wanadhani mmemfukuza lord kwa sababu ya kilichotokeaa. Ila naamin weusi hamjafanya hivyo,n kipind kigumu kwa jamaa now ila hata kama hamtakuwaa masemaji kwa kilichomtokeaa lord kama alivyosema Niki kwenye media, ni sawa ila pls jamaa anaitaji support yenu hasa ktk hichi kipindi kigumu alichokuwa nacho.

WIMBI LA KUIBIWA PASSWORD ZA FACEBOOK ACCOUNTS NA KUTUMIKA KATIKA UTAPELI LASHIKA KASI

$
0
0
Jamani kuweni makini na Accounts zenu za Facebook kwani siku hizi kumeibuka mtindo wa wezi wa mitandao ambao wana iba passwords za Facebook za watu na kisha kuzitumia katika utapeli kwa kuandika status ya kuwadanganya watu na kuwatapeli kwa kupitia account yako....

Nini wanafanya mpaka kupata password yako bila wewe kujua? Kuna njia nyingi wanazotumia kwa mfano hii ni njia moja ambayo hata mimi nimeshajaribiwa kama mara tatu lakini huwa nagundua mapema, Unaweza kuta kwenye inbox yako ya Facebook umetumiwa ujumbe kama huu hapa Chini:
"Habari yako , kuna watu fulani wanasambaza picha zako chafu , ingia hapa kuona hizo picha zako:...Link) "hapo wanakuwekea link ambayo ukiiclick inafungua page kama facebook hivi ila sio facebook na inakuomba Username na Password yako ya facebook sasa wewe kwa vile unataka kuona hizo picha unajikuta umeweka password yako na ukisha submit hakuna cha picha wala nini ila user name na password yako inakuwa imeshatumwa kwa hao wezi na hapo ndio wanaanza kazi ya kutapeli watu ....Mfano wa Message ya utapeli ni hii hapa chini:

NAHITAJI USHAURI WENU GUYS. BE SERIOUS.

Juzi nilikua napitia Ukurasa wa Vodacom Tanzania nikakuta wameweka Tangazo lao la M-PESA lenye hiyo picha wakihamasisha watanzania wajiunge na Taasisi ya Utoaji mikopo iitwayo TANZANIA LOAN ambayo Vodacom wameingia nao mkataba. Hii Taasisi inatoa mikopo bila RIBA.

Nilisoma tangazo lao na kupuuzia nikawa najua ni matapeli hao wametengeneza page feki ya Vodacom nikaipotezea, sasa jana asubuhi nikakuta tena Tangazo katika ukurasa wa ukweli wa msanii Lady Jaydee nae kapewa dili la kufanya matangazo kuhusiana na hawaTANZANIA LOAN pia sikua na uhakika nayo.

Usiku wa jana huo huo nikaona sasa Tangazo rasmi katika TV ilikua TBC1 walirusha Live hilo Tangazo katika Taarifa ya Habari za kibiashara wakatoa mpaka website ya Online mtu anaweza kujiunga na akapatiwa mkopo wa pesa na atarudisha mkopo wa pesa bila kua na RIBA halafu marejesho yao mazuri hawambani mkopaji.

Nikasema ngoja nijaribu kujiunga nione je? Niukweli wanatoa mikopo?? Nikafungua website yao jana usiku http tanzanialoan.wapka.mobi nikasoma maelezo yote! Kuna fomu nikaikuta nikaijaza, nilipoijaza fomu nikapokea ujumbe kua nimefanikiwa kujiunga natakiwa kulipia ada ya Uanachama Tshs. 83,000 (ELFU THEMANINI NATATU ) ili maombi yangu ya mkopo yaweze kuidhinishwa nipatiwe mkopo. Nikawa naogopa kulipia nisije kutapeliwa bure!

Sasa leo Asubuhi kuna jamaa yangu kumbe nayeye ameshawahi kujiunga na wakampatia kweli mkopo nikamuelezea akanitoa hofu! Nikaona kwani elfu83 na kitu gani?? Ngoja nijaribu nikawatumia elfu83 katika M-PESA wakanitumia ujumbe kua wameipokea pesa nisubirie ndani ya dakika30Nikasubiria, kweli wakanitumia mkopo kupitia M-PESA asubuhi hii ya leo muda si mrefu, niliomba mkopo wa Tshs. 3,000,000 (Million 3) hapo nilipo siamini friends.

#USHAURI: Nifungue mradi gani nina hizi Million Tatu, kwani nilikua sijajipanga nilifanya kama najaribu tu sikua na imani kama ntapata kweli huu mkopo nimejaribu wamenipa! Sijajua biashara ipi ambayo inalipa sana?? Please nisaidieni Mawazo yenu nawaomba! Utani tuweke kando nipo serious katika suala hili nahitaji ushauri wenu. Pia kwa yoyote ambae atahitaji kutembelea tovuti ya hawa jamaa wa mikopo, bonyeza hapa: http://tanzanialoanwapkamobi/

Hiyo message hapo mwisho wamekupa link ambayo ukiingia unaambia kama unataka kupata mkopo basi ujaze form na kutuma ada ya sh 83000 kwa kutumia mpesa ama tigo pesa....Ukiingia box ukituma basi imekula kwako hakuna cha mkopo wala nini ...Stuka


Ukiona Message kama hizo wala usiangaike kufungua hizo links ni utapeli mkubwa unaendelea .....

KAHABA ANASWA AKIJIUZA NDANI YA GESTI HUKO SINZA..ADAIWA KUPANGA CHUMBA MAALUM KWAAJIILI YA BIASHARA HIYO

$
0
0
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua
Maovu (OFM) ya GPL wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha

Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono.

AFM Watonywa.
Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.
Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini?

OFM: Tumejaa tele leta maneno.
Chanzo: Mimi naitwa (anataja jina) lakini naomba msinitaje. Kuna mrembo mmoja amekodi chumba gesti…yaani anapanga wanaume foleni anagawa dozi ya penzi.
OFM: Hatuwezi kukutaja tuna- heshimu vyanzo vyetu vya habari. Una uhakika na taarifa zako?
Chanzo: Nina uhakika asili- mia zote. Ninyi nendeni pale Mori Lodge maeneo ya Sinza, fanyeni kazi yenu mtapata mkanda kamili.
OFM kazini
Baada ya kupenyezewa ‘tipu’ hiyo, OFM iliingia kazini na ‘kuliteka’ eneo la tukio kwa uchunguzi na kubaini undani wa ufuska huo wa kutisha.
Kabla ya yote ‘memba’ wa OFM alijifanya mmoja wa wanaume waliokuwa wakihitaji huduma ya mrembo huyo hivyo kujipatia data nyingi kabla ya kubadilisha uamuzi baada ya kupata ishu kamili
GPL

LINAH: SIPENDI KUTUMIA KINGA

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga.

Linah alisema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa kona hii jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita, ambapo alisisitiza kuwa anachukia sana mipira ya kike na kiume wakati wa tendo kwa vile zinamkata stimu.

“Sema naogopa ukimwi na magonjwa mengine ndiyo maana nalazimika kutumia kwa ajili ya afya yangu lakini kiukweli kabisa, sipendi kabisa kinga,” alisema Linah.

Hivi karibuni, gazeti hili liliripoti habari ya staa huyo wa muziki kudungwa mimba na mdosi kabla ya siku chache baadaye kugundulika kuwa, kiumbe chake kilichoropoka.
GPL

LAANA YA KANGA MOKO YAINGIA MPAKA KWA WACHEZA SHOW ZA JUKWAANI

$
0
0
Toka umeingia huu mtindo wa lile kundi la khanga moko siku hizi kamezuka kamtindo ka wacheza show za jukwaani nao kuvaa khanga na kuonesha sehemu kubwa za maongo yao ikiwemo kufuli walizo vaaa...Hii ni laana ya khanga moko inazidi kutafuna tasnia ya sanaaaaa ....

Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi kwenye show moja ya mziki wakishangazwa na Show ya mwanadada huyo hapo juuu baada ya show hiyo kila mtu alisikika akimponda huyo dada kwa kile alichofanya hapo jukwaani

RIDHIWANI KIKWETE ATAFUTA UBUNGE WA CHALINZE ASHINDA KURA ZA MAONI CCM

$
0
0
Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu

Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM

CHANZO JAMIIFORUMS

HOUSE GIRL HUYU ANANILETEA DRAMA ZA KUNIHAMASISHA..SIJUI NIMFANYEJE?

$
0
0
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JUX-NITASUBIRI

$
0
0
Namkubali sana huyu Mwanamuziki, naona katoa wimbo mpya embu ngoja niusikilize alafu nione kama ni hii itakuwa hit song.....Kama na wewe unataka kuusikiliza ama kudownload basi ndio huu hapa chini ...mimi ndio nabofya hapa niusikie

RAY C AOMBA MPENZI WAKE WA ZAMANI LORD EYEZ ABADILIKE...AMKARIBISHA KWENYE TIBA YA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:



NAMPENDA SANA HUYU KAKA MPAKA NAONA NAJIPENDEKEZA

$
0
0
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa 26yrs. 

Nina mpnzi wangu ambaye nampenda sana, kiasi kwamba tukitofautiana kauli huwa inanipa shida sana,najihisi hadi kuumwa, ila kwake yeye huwa naona kama anachukulia poa. 

Jana usiku tumepishana kauli nimeumia sana na mpaka sasa hatujawasiliana, kila mmoja ameuchuna, pia kinachonikwaza ni kwamba kila tukigombana mimi ndio huwa lazima niombe msamaha,hata kama kakosa yeye, ila leo nataka niendelee kuuchuna,for this, am I correct or not. 

Pia nipeni mbinu za kumpenda mtu kiasi kwa sababu nimegundua too much is harmful.

NIKO OUT NA MREMBO MMOJA KAVAA VIKUKU MIGUU YOTE MIWILI ETI INAMAANISHA NINI?

$
0
0

Wadau hapa niko out na mrembo mmoja tulikutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja  amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?

USIJIFICHE KAMA HUJARIDHIKA MWELEZE MPENZI WAKO AWAJIBIKE

$
0
0
Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia. 

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.

T.B JOSHUA ALITABIRI VITA VINAVYOENDELEA HUKO URUSI (RUSSIA)

$
0
0
They say seeing is believing, but sometimes even having seen it with your own eyes still you might find it hard to believe. On the 29th of december 2013, the controversial Nigerian clergymann T.B Joshua had actually predicted the turmoil thats going on between Russia and its opponents. The prediction was made in the presence of the Malawian president Joyce Banda; “Pray for the nation, Russia because I am seeing war coming against them,” he said, “Their leader will face opposition. Pray for them,”.

Currently Russia is in a state of turmoil with neighboring Ukraine as a result of a revolution that took place in the country;  Russia deems it as an illegal Coupe against a legitimate government. Russia has a lot of interests in Ukraine and hence is not willing to have a Government in power of which it does not approve; as a result Vladimir Putin has sent troops to Ukraine in an effort to tighten its grip on its neighbor. In retaliation the international community particularly the U.S and the E.U has threaten serious consequences to Russia if it proceeds with its current course of action.

NIMEUPENDA WIMBO MPYA WA MAD ICE-FAITH -USIKILIZE HAPA

$
0
0
"Faith" is more of a gospel but without religious bounds. This song is a special dedication to all those going through hard times in their lives. Listen and get inspired!

Composed, arranged and produced by Hermanni Peltola & Mad Ice
Written and performed by Mad Ice
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images