Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live

Masanja Mkandamizaji Atoa Mpya "Mimi ni Mchungaji, Lakini Mbinguni g'o Sitaki Kwenda"

$
0
0
Emmanuel Mgaya, maarufu kama "Masanja Mkandamizaji" aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la "Ze Comedy" kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji.

Katika moja ya Kazi yake hivi karibuni Masanja akiwa MC ktk tukio fulani alitoa mpya baada ya kuwashangaa waimbaji wa Kigali-Rwanda wa kwaya ya "AMBASSADOR OF CHRIST" ambao walipata ajali wakiwa wanatokea Tanzania.

Masanja anasema inakuwaje waliomba kifo kwa wimbo wao wa "KWETU PAZURI" lkn Mungu alipowachukuwa baadhi ya wenzao wale waliobaki wakaimba wimbo wa "KWANINI UMEYARUHUSU HAYA" yaani kwanini kawachukua wenzao?

Masanja anasema Kwanini washangae wakati wao ndio waliomba kwenda "kwao pazuri walipopakumbuka? Kwao hakuna malaria wala magonjwa".

Masanja anasema yeye hataki kabisa kwenda Mbinguni kwa sasa, bado yupoyupo.

Msikilize hapo:

BREAKING: Diamond Platnumz signs a deal with Chris Brown’s RCA label

$
0
0
American record label, RCA that houses the likes of Chris Brown, Miley Cyrus, Shakira, and a host of others have signed singer Diamond Platnumz.

According to a rep at RCA who hinted ondamic.com, says the deal has been on pending for some months now but finally both parties have come into an agreement.

‘’We spotted his talent some years back but finally decided to approach him and get his signature to work with us. It took us months to finally get him because it has been a back and forth on reaching on an agreement’’ the rep said

Diamond Platnumz shot to fame in Africa and the entire world after a success remix on his song ‘Number One’ with Nigerian singer Davido.

From Tanzanian, the king of East of Africa as we call him, last year scooped numerous awards in and outside Africa including the 2015 MTV European Music Award as the Best African/Indian Act award.

We wish him all the best in his new chapter of life.

Source:OndaMic

Mtangazaji Soudy Brown Azua Sintofahamu Kuhusu Mimba ya WEMA SEPETU Kutoka....

$
0
0
Jana Mtangazaji wa Clouds alizua jambo Instagram kwa kuandika ujumbe tata kuhusu Wema Sepetu ..
Soudy brown kwenye instagram yake kapost picha ya wema kaandika :
"Pole dada wema sepetu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama, inshallah kazi yake Mola haina makosa"
Kisha akaweka na hashtag #INASEMEKANAETI

Baada ya Ujumbe huo mashabiki wa Wema Sepetu walilipuka kutaka kujua ukweli wa jambo hilo huku wengine wakimrushia matusi Soudy Brown kwa kushusha ujumbe huo....

Mpaka sasa Wema Sepetu wala watu wake wa karibu hakuna aliyejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu ujumbe huo wa Wema Sepetu kama ni Kweli ama la

TEAM Wema Sepetu Wacharuka..Waamua Kulipiza Kisasi Kwa Nay wa Mitego kwa Kumfanyia Hivi

$
0
0
Team Wema wana hasira na Nay wa Mitego baada ya rapper huyo kumchokoza malkia wao kwenye ngoma yake mpya ‘Shika Adabu Yako.’

Kwenye wimbo huo Nay anarap:

Wema Sepetu una mimba kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari ushakuwa bibi
Na unakoelekea utatafuta kiki hadi kwa Fid

Mistari hiyo hawajaipokea vizuri na sasa Team Wema wako kooni kwa Nay wa Mitego wakilipiza kisasi. Wanazitengeneza picha za rapper huyo na kuzikiweka lipstick na mawig/weaving kumpa muonekano wa mwanamke.

Hata hivyo Nay haoneshi kutishika.

Asanteni wapenda muziki mzuuuriii..!! Haya wale waliopanic twendeeee tililikeniiiiiiii ila adabu mmeshika ndio maana mapovu yanawatokaaaa,” ameandika kwenye post mpya ya Instagram.

Siku 100 Za Rais Magufuli Ikulu, Wapo Waliolia na Wengine Kucheka...

$
0
0
Ni kweli siku hazigandi kwamba Rais John Magufuli aliyeingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, ametimiza siku 100 leo.

Tangu alipotoa hotuba yake siku ya kuapishwa na ile ya uzinduzi wa Bunge la 11, Rais Magufuli  amejitahidi kuishi katika maneno yake kwa kutenda kile anachokisema.

Miongoni mwa mambo aliyoahidi ni kupambana na rushwa pamoja janga la dawa za kulevya, akisema dawa za kulevya zimeathiri vijana wengi, hivyo akaahidi kushughulikia mtandao huo na wakubwa wanaohusika.

 Kwa upande wa rushwa, Rais Magufuli aliahidi kupambana na ufisadi na rushwa na katika kutekeleza hilo, alisema ataunda mahakama maalumu ya kushughulikia wezi wakubwa yaani mafisadi.

 Pia aliahidi kuwashughulikia wafanyakazi wazembe ili Serikali yake isiendelee kulea watu wanaolipwa mishahara tu wakati hawafanyi kazi yoyote.

Katika kubana matumizi ya serikali, aliahidi kudhibiti warsha ambazo hazina umuhimu katika Serikali wala kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi.

Aliahidi pia kudhibiti safari za nje, ambazo zimekuwa zikigharimu Serikali fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

Rais Magufuli pia alisema Serikali yake itaongeza wigo katika ukusanyaji wa mapato, ukizingatia kuwa kodi ni kitu muhimu na ni lazima zikusanywe.

Aliahidi kufufua viwanda viliyobinafsishwa, ambavyo baadhi alidai vimegeuzwa mazizi ya mbuzi wakati waliopewa kwa madhumuni ya kuviendeleza.

Aliahidi pia kushughulika na kero zinazolalamikiwa kutendwa na polisi, hospitali, mizani, Mahakama, maliasili na vilio vya wachimbaji.

Tayari Rais Magufuli ametenda yale ambayo aliyaahidi kwa Watanzania. Amebana matumizi ya serikali kwa kudhibiti safari zisizo na tija, matumizi yasiyo ya lazima, ameshughulikia watumishi wazembe, ameshughulikia mafisadi ndani ya serikali na kutoa elimu ya bure.

 Alivyoanza kazi
Mara tu baada ya kuingia ofisini, alimuapisha Mwanasheria Mkuu, George Masaju aliyemteua muda mfupi tu baada ya kuapishwa.

Katika siku zake hizo za mwanzo, alitumia mtindo wa kufanya ziara za kushtukiza katika taasisi mbalimbali za Serikali pamoja na kukemea viongozi wazembe na wanaoendekeza ufisadi na rushwa serikalini.

Mtindo wake huo, ukatumiwa pia na watendaji wengine wa Serikali wakiwamo mawaziri na wakuu wa mikoa na wengine.

Katika siku zake hizo za mwanzo, Rais Magufuli pia alifanya mabadiliko makubwa Ikulu kwa kufuta baadhi ya vitengo, kikiwamo cha lishe na benchi la wageni na kuagiza wananchi wote wenye matatizo waanzie ngazi za chini.

Atoa Msimamo wake
Novemba 7, mwaka jana akiwa Ikulu, Dar es Salaam, alikutana na watumishi wa Serikali ikiwa ni pamoja na manaibu katibu wakuu, manaibu wakuu na watendaji wakuu wa Serikali.

Katika kikao hicho, aliwataka kujiandaa kufanya kazi kwa ufanisi katika Serikali ya awamu ya tano chini yake. huku akiwasisitiza juu ya dhamira yake ya kuendeleza kaulimbiu yake ya “Hapa kazi tu”.

Kikao hicho pia kiliudhuriwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade ambapo alitoa mwelekeo wa Serikali anayoitaka.

Afuta Safari za Nje
Rais Magufuli alitumia kikao hicho kutangaza kufuta safari zote za nje ya nchi hadi hapo atakapolitolea suala hilo uamuzi mwingine, na kueleza shughuli zote zinazotakiwa kufanywa nje ya nchi zifanywe na kusimamiwa na mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha nchi.

Alisema mtumishi atasafiri nje iwapo kutatokea jambo la dharura, na lazima kibali kitolewe na yeye, Katibu Mkuu Kiongozi au Makamu wa Rais.

Badala yake aliwataka watendaji hao kufanya zaidi ziara za kwenda vijijini ili kuzijua na kutatua kero za wananchi.

Hadi sasa, Rais Magufuli bado hajakwenda safari yoyote ya nje ya nchi zaidi ya kuwatuma Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenda kumwakilisha kwenye shughuli mbili tofauti.

Safari zake  ndani ya nchi
Novemba 20, mwaka jana, Rais Magufuli alisafiri kwa mara ya kwanza nje ya Dar es Salaam alipokwenda mkoani Dodoma ambako alifungua Bunge la 11.

Katika mkutano wake, Rais Magufuli alijikuta akisusiwa hotuba yake na wabunge wa upinzani waliokuwa wakipinga uteuzi wake na kutomtambua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kama rais halali, baada ya kufutwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.

Januari 12, mwaka huu, Rais Magufuli alisafiri kwa ndege ya kukodi kwenda Zanzibar ambako alihudhuria maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Januari 21, mwaka huu alifanya ziara ya kwanza mkoani Arusha, ambako alikwenda pia katika Chuo cha Maofisa wa Kijeshi (TMA) Monduli kutunuku vyeo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kuhitimu mafunzo, huku naye akiwa amevalia sare za jeshi hilo.

Februari 5, mwaka huu pia Rais Magufuli alisafiri kwa gari kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Singida kuhudhuria maadhimisho ya miaka 39 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akataa sherehe ya kifahari Bungeni
Rais alionekana tofauti na viongozi wengine waliomtangulia baada ya kuifanya sherehe ya kuzindua Bunge kutokuwa ya kifahari na hivyo akaokoa Sh milioni 251, ambazo aliagiza zikanunue vitanda Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Jumla ya vitanda 300, magodoro 300, viti maalumu vya wagonjwa 30, vitanda vya kubeba wagonjwa 30 na mashuka 1,695.

Afuta gwaride la Uhuru
Novemba 9, mwaka jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue, alitangaza kuwa Rais Magufuli aliamua kufuta shamrashamra za Sikukuu ya Uhuru na kwamba fedha zitakazookolewa atazipeleka sehemu nyingine.

Fedha Sh bilioni nne zilizopaswa kutumika kugharimia shamrashamra za Siku ya Uhuru, ambazo zingefanyika tarehe 9 Desemba 2015, Rais aliamuru zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3.

Baraza la Mawaziri
Desemba 10, mwaka jana, Rais Magufuli alitangaza baraza lake la mawaziri ambalo alianza kwa kuteua mawaziri 19, ingawa wizara ni 18. Mawaziri sita kati ya hao ni wanawake.

Katika uteuzi wake, aliacha wazi nafasi nne za uwaziri kwa madai alikuwa akitafuta watu watakaofaa kuteuliwa kuongoza wizara husika.

Wizara ambazo hakuteua mawaziri katika baraza lake la awali alilolitangaza ni Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Wizara ya Fedha na Mipango, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Wizara ya Maliasili na Utalii.

Desemba 23, mwaka jana ikiwa ni siku 13 tangu alipotangaza Baraza la Mawaziri, Rais Magufuli alikamilisha baraza lake kwa kuwataja mawaziri wanne waliokuwa wamebakia.

Uteuzi wa Rais Magufuli umekuwa wa tofauti ambapo viongozi wengi aliowateua kushika nafasi mbalimbali ni wasomi wa ngazi ya uprofesa na udaktari.

Mabalozi Wapigishwa  Kiapo cha Utii
Katika mwendelezo wa kuhakikisha kuwa wale anaowateua wanakubaliana na kasi yake, Rais Magufuli aliwapa kiapo cha utii makatibu wakuu wa wizara na manaibu wao.

Akiwaapisha kiapo hicho aliwaeleza wazi kwamba yule atakayeshindwa kufanya kazi ni bora ajiondoe mwenyewe na kupisha wengine watumikie wananchi.


Majipu 152  Yatumbuliwa
Ndani ya siku hizi 100  za  uongozi  wa  Rais  Magufuli, watumishi wa umma 152  wamefukuzwa  kazi  kutokana na kasoro mbalimbali za kiutendaji.

Hao ni watumishi waliotimuliwa kwa majina au vyeo vyao, lakini ukijumlisha na wengine waliosimamishwa au kufukuzwa kwa matamko bila kutajwa majina, idadi ni kubwa zaidi.

Watumishi hao wamesimamishwa na baadhi wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma mbalimbali za kukiuka Sheria ya Manunuzi ya Umma, Rais kutoridhishwa na utendaji wao, wizi kwenye taasisi zao, ukwepaji kodi, tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma na utovu wa nidhamu.

1.Muhimbili
Hatua za kusimamisha na kutimua zilianza siku nne tu baada ya Rais kuapishwa, ambapo Novemba 9, 2015 Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Hussein Kidanto, alihamishwa na bodi iliyokuwa na wajumbe 11 ilivunjwa.

2.TRA
Rais Magufuli alimsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Rished Bade Novemba 27.

3.Bodi ya TPA
Desemba 7, mwaka jana, Magufuli alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.

Pia, aliwasimamisha kazi wasimamizi wanane wa Bandari Kavu (ICD). Jumla ya waliotimuliwa TPA na TRA ni watu 47.

4.Takukuru
Akiendelea na kasi yake, Desemba 16, 2015 Rais alitengua uteuzi wa nafasi nyeti ya Mkurugenzi wa Takukuru, Dk Edward Hoseah. Rais alisema alichukua hatua hiyo baada ya kutoridhishwa na utendaji wa Takukuru chini ya mkurugenzi huyo.

Maofisa wengine wa taasisi hiyo walisimamishwa kazi kwa kukiuka maagizo yaliyohusu safari za nje.

Waliosimamishwa kazi ni Mary Mosha, Ekwabi Mujungu, Doreen Kapwani na Rukia Nikitas, wakiwa watumishi waandamizi wa taasisi hiyo.

5.Rahco
Rais JPM alimsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhadard Tito, Desemba 23, 2015 kwa kile kilichoelezwa ni “ukiukwaji mkubwa wa taratibu za ununuzi” katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.

Pia alivunja bodi ya Rahco yenye wajumbe wanane na bodi ya TRL yenye wajumbe wanane pia.

6. Katibu Tawala Mwanza 
Akiendelea na kasi hiyo, Januari 15, alitengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Faisal Issa kutokana na “utovu mkubwa wa nidhamu” aliounyesha katika kikao cha cha kamati ya ulinzi kilichofanyika mjini Mwanza.

7.Idara ya Uhamiaji 
Rais Magufuli alimsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia utawala na fedha, Piniel Mgonja Januari 21 ili kupisha uchunguzi baada ya kubaini dosari kadhaa kwenye ofisi hiyo.

8.NIDA
Januari 25, Dk Magufuli alitengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kutokana na matumizi yasiyoridhisha ya Sh179 bilioni.

Wengine waliosimamishwa Nida ni Joseph Makani ambaye ni mkurugenzi wa Tehama, Rahel Mapande (ofisa ugavi mkuu), Sabrina Nyoni (mkurugenzi wa sheria) na George Ntalima, ofisa usafirishaji.

Pia, aliwarudisha nyumbani mabalozi wawili, Dk Batilda Buriani aliyekuwa Japan, Dk James Msekela (Roma, Italia). Pia, Peter Kallaghe (Uingereza) na kurejeshwa Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki na Ushirikiano, Kikanda na Kimataifa.

                          Dunia nzima Yamkubali
Kutokana na kasi yake ya mabadiliko ya kweli ya uongozi wake, hasa kudhibiti matumizi na kuelekeza fedha katika huduma za kijamii, Rais Magufuli amekuwa gumzo kwenye anga za kimataifa.

Uongozi wake umeelezwa kuwa wa mfano, kwani miongoni mwa mambo anayoyafanya, yanagusa ulimwengu na anatekeleza yote bila kufanya safari yoyote ya nje ya nchi kama wanavyofanya viongozi wengine.

Tangu aingie madakarani, amedhibiti mabilioni ya fedha na kuzielekeza katika kuboresha huduma za afya, ikiwamo kuongeza upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARV’s), ruzuku ya shule na miundombinu ya barabara.


                        Changamoto: Sakata  la  Zanzibar
Pamoja na yote, suala la kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar limekuwa likiitesa Serikali ya Rais Magufuli.

Wakati Chama Cha Mapinduzi kikitaka uchaguzi huo urudiwe, Chama cha Wananchi (CUF) kimeendelea kushikilia msimamo wake kuwa hakitakubali marudio ya uchaguzi huo na hakitashiriki.

CUF wanaamini Rais Magufuli pekee ndiye anayeweza kumaliza mzozo huo ulioibuka visiwani humo, lakini kiongozi huyo hajazungumza lolote hadi hivi sasa tangu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha alipotangaza kufutwa na kurudiwa kwa uchaguzi huo.

Kuendelea kuwako kwa mgogoro huo, ni wazi kwamba kunaitia doa Serikali ya Dk. Magufuli nje ya nchi.  

Soudy Brown Aamua Kujihami Baada ya Kutoa Taarifa Tata Mimba ya Wema Sepetu.......

$
0
0

Soudy Brown Aamua Kujihami Baada ya Kutoa Taarifa Tata Mimba ya Wema Sepetu.......
Awauliza Timu Wema Maswali Haya "True love never ends?
Kama kesho nikianguka je bado Utanipenda?
kama sitonukia harufu nzuri je utakubali kuni kumbatia?
Kama nikifungwa jela mda mrefu je utakuja kuniliwaza au utanikimbia kama baadhi ya rafiki zangu?
je uki shauriwa na Washkaji zako uniache je utanitupa?
are you my soulmate? Cause if so girl you're blessing,
Ukigundua nilikudanganya, je utaniacha au utani samehe? " Soudy Brown

Wema Sepetu Akanusha Uvumi wa Mimba Yake Kutoka......

$
0
0
Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandika post yenye utata.

“Pole Dada @wemasepetu mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu, akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama inshaallah, kazi Yake Mola haina makosa #INASEMEKANAETI,” aliandika Soudy kwenye Instagram.

Wengi walitafsiri post hiyo kuwa huenda ujauzito wa Wema ukawa umetoka. Wengine walienda mbali zaidi hadi kutengeneza chat za Whatsapp kukuza zaidi kama hiyo chini.


Hata hivyo inaonekana kuwa hakuna ukweli wowote. Wema amepost picha kwenye Instagram akiwa mwenye furaha na kuandika: It all began with a smile…”

Comments zote za mashabiki wake zinaonekana kujikita kwenye tetesi hizo.

“@wemasepetu my lv,pliiiiizzz stop kuonesha mimba yako in public for sometyms now wala mtu yoyote kushika tumbo lako,km siyo yo family members and baba k pliiiiiiizzzz,coz ushaona how people wish mimba yako iharibike au kitokee kitu kibaya kwenye mimba yako na kweli wamefurai as you see,pliz stop it kama unapenda kuitwa mama for real,yup waweza ukawa wawish for everyone to see yo preg as umesuffer alot kuipata,that is to prove pplo wrong kwamba hata wewe umeshika mimba and its de first tym,I know wat yu fil,ila tunaokupenda tuna wish ujifungue salama mdA ukifika..pliz pumzika mama for now mimba haiitaji stresses na hiyo ndo kitu naona maadui zako wanajaribu kufanya,to stress u,pliiiiiiizz @idrissultan take Care of the baby,kip wema out of negativity,#we in pressure now#minb,” ameandika shabiki mmoja.

Chanzo: Bongo5.com

Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo, Meneja Vipimo Wasimamishwa Kupisha Uchunguzi

$
0
0
SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano.

Waliosimamishwa kazi ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Bi. Magdalena Chuwa na Meneja Vipimo Kitengo cha Bandari, Bi. Bernadina Mwijarubi. Bi. Mwijarubi ndiye anashughulikia kitengo cha mafuta bandarini.

Akitangaza uamuzi huo kwenye kikao cha Makatibu Wakuu kilichofanyika leo (Ijumaa, Februari 12, 2016) ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Adelhelm Meru awaandikie barua za kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi huo.

“Katibu Mkuu Viwanda, waandikie barua za kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi. Katika kipindi hiki hawatatakiwa kusafiri kwenda popote hadi uchunguzi utakapokamilika. Pia utafute mtu wa kukaimu nafasi hiyo ili kazi ziendelee,” alisema.

Waziri Mkuu pia amesema ofisi yake itawaandikia barua ofisi ya TAKUKURU na polisi ili wafuatilie suala hilo mara moja na ikithibitika kuwa walihusika hatua rasmi zitachukuliwa na itathibitika hawakuhusika basi watarudishwa.

Waziri Mkuu pia aliagiza mfumo wa upimaji mafuta kwa kutumia flow meters uendelee kutumika na ule upimaji wa kukadiria uache kutumiwa mara moja.

Jana (Alhamisi, Februari 11, 2016) Waziri Mkuu alifanya ziara kukagua flow meters za zamani zilizopo Kurasini (Kurasini Oil Jetty) na kisha akatembelea na kukagua flow meters mpya ambazo zinajengwa Kigamboni. Mita hizo zimegharimu dola za marekani milioni 6 (sawa na sh. bilioni 12.96/- za sasa).

Pia Waziri Mkuu alitembelea sehemu ya kuchukulia mafuta yanayotoka bandarini (TPA Manfold) iliyoko Kigamboni na kukagua mitambo ya kusambazia mafuta kwenye matenki ya mafuta ya kampuni ya TIPER yaliyoko Kigamboni yanayomilikiwa kwa ubia baina ya Serikali na kampuni ya Oryx Energies.

Katika ziara hiyo ilibainika kuwa Kampuni ya TIPER imejiunganishia bomba la moja kwa moja kutoka kwenye bomba kubwa la mafuta linalotoka bandarini hali iliyomlazimu Waziri Mkuu kuagiza kwamba bomba hilo litolewe kwenye maungio hayo ndani ya mwezi mmoja.

“Jana niliagiza kuwa bomba hilo ling’olewe. Nimetoa mwezi mmoja ili kurekebisha mfumo huo. Simamieni vizuri na kuhakikisha kuwa na wao pia wanarudi kwenye manfold kama ilivyo kwa wengine,” alisema Waziri Mkuu.


IMETOLEWA NA:


OFISI YA WAZIRI MKUU,

MTAA WA MAGOGONI,

S. L. P. 3021,

DAR ES SALAAM.

Mwanamke Aliyepambana na Majambazi Tarime Azawadiwa na Jeshi la Polisi Kwa Ujasiri...

$
0
0
Picha ya Tukio Jingine
Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya yampa zawadi ya Laki tano Bi Sophia Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG.

Tukio hilo lilitokea wakati majambazi walipovamia duka lake usiku na kumkuta ndani ambapo aliwalia timings na kuwanyanganya bunduki na kufanikisha jambazi moja kukamatwa..


Jose Mourinho Set To Be Highest Paid Coach In The World

$
0
0
When Jose Mourinho was sacked after losing nine of the 2015-16 season’s first 16 league games, many thought that tha could be the end of his career.

Actually, Jose Mourinho himself admitted that the December decision took him by surprise as no other club has ever fired him; it was a first for the 53-year-old Portuguese. A video emerged of him apparently sobbing along the Stamford Bridge corridors.

However, Mourinho was not to be in the cold for long as Louis van Gaal’s apparent inability to have his things in order at Manchester United is set to give him another great opportunity.

According to Spanish newspaper El Confidencial, Mourinho’s agent and his lawyers are working on a three-year contract with Manchester United that could make him the highest paid football club coach in the world.

“Former Chelsea boss Jose Mourinho will earn £15.5 million a year when he takes over from Louis van Gaal this summer – more than the £15 million contract Manchester City have agreed with their new boss Pep Guardiola,” UK website Express reported on Thursday, February 11.
The said £46.5 million contract to end in 2019 would mean about £323,000 a week; significantly above his team captain and highest paid player Wayne Rooney who takes home £260,000-a-week.

Mourinho could remain jobless but still be among the top earners. If he opts not to sign a contract with any club, Chelsea would be forced to pay him £250,000-a-week for the remaining three-and-a-half years of his contract with them (£45.5million in total) as per their agreement.

Those who have worked with Mourinho have welcomed the said deal saying the he is best placed to tackle Pep Guardiola’s team in the 2016-2017 season.

Soma Jinsi Tundu Lissu Alivyomlipua Magufuli Kwa Kusema Siku 100 za Ikulu Rais Amelikimbia Jukumu la Zanzibar

$
0
0
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni mwanasheria wa (CHADEMA)Tundu Lissu amesema siku 100 ambazo Rais Dkt.John Magufuli kuwa madarakani amenyamaza kabisa kuhusu Zanzibar huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiwa vimeongezwa Zanzibar.

Lissu ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na EATV kuhusu tathmini yake kwa siku 100 ambazo Rais Magufuli amekaa madarakani ambapo amesema suala la ulinzi na usalama wa nchi hii linaongozwa na yeye hivyo kukaa kimya ni kukwepa jukumu lake.

''Yeye kama amiri jeshi mkuu hawezi kujitoa katika hili kwa sababu vyombo vyake ndivyo vimetoka bara kwenda huko kisiwani Zanzibar kuwanyamazisha wananchi hivyo hawezi jitoa katika suala hili kwa namna yeyote''Amesema Lissu.

Lissu ameongeza kuwa wakati vikao vya Bunge vikiendelea mjini Dodoma, Waziri Nape alitangaza kusitishwa kwa matangazo ya bunge kurushwa moja kwa moja na televisheni ya Taifa na badala yake yatakuwa yanarekodiwa na kutafutiwa muda wa ziada, wakati matangazo hayo yamerushwa live kwa miaka 10

Aidha suala la kukamata makontena hatujawaona hao ambao wamakwepa kodi na hatua zilizochukuliwa wakati sheria za nchi zinasema kukwepa kodi ni kosa la jinai, pia suala la kutosafiri na kusema amekwepa gharama si kweli kwani wakuu wa mikoa,wakurugenzi na wakuu wa wilaya ni walewale na wakikwepa kutumia ndege mafuta wanayotumia kutoka Dar kwenda mikoani gharanma iko pale pale.

KIMENUKA Kwa Nay wa Mitego, BASATA Waufungia Wimbo wake Mpya Rasmi..Kumchukulia Hatua za Kisheria

$
0
0
BASATA imetoa taarifa hiyo kwenye ukurusa wake wa twitter, na kuelezea kuwa wameamua kuufungia wimbo huo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili na uchochezi.

“BASATA limeufungia rasmi wimbo wa ‘Shika Adabu Yako’ ulioimbwa na msanii Nay wa Mitego kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili, uchochezi”, waliandika BASATA.

Pia BASATA imesema itamchukulia hatua za kisheria msanii huyo na kumtaka kutoutangaza wimbo huo.
“BASATA litampa karipio kali Msanii huyo na kumwagiza kuacha kuutangaza wimbo huo katika media, vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa,

Pamoja na hayo BASATA imesema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kubuni na kutengeneza kazi nzuri, lakini kuna wachache ambao wanaharibu, hivyo hawatawafumbia macho watu hao.

“Wasanii wengi wanafanya kazi zao vizuri, kwa kubuni kazi zenye ubora na zinazolipa sifa taifa, wachache wanaharibu, wanapakaa matope , BASATA halitavumilia hawa ‘wasanii’ wachache wanaotaka kuigeuza tasnia ya sanaa na wasanii genge la wahuni, wasio na staha,wa kudharaulika”, ilisema BASATA.

Kwa mujibu wa sheria kifungu cha 4 (2) cha sheria hii kinalipa Baraza nguvu ya kisheria kufanya jambo lolote lile kuliwezesha kufanya majukumu yake kwa faida na ustawi wataifa.

Breaking News: TCU Yafuta Chuo Kikuu Cha TIU

$
0
0
Profesa Yunus Mgaya, Katibu Mtendaji wa TCU
IKIWA ni siku 10 kupita baada ya mtandao huu kuripoti mgomo wa walimu katika Chuo cha Kimataifa cha Tanzania (TIU) kilichopo Kimara Stop-Over, Dar es Salaam, Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imekifutia leseni chuo hicho.

Walimu hao waligoma kuingia darasani kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na kutolipwa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na kutopewa mikataba ya kazi.

Taarifa iliyotolewa na Profesa Yunus Mgaya, Katibu Mtendaji wa TCU kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa, chuo hicho kimefutiwa leseni yake kutokana na kushindwa kutimiza masharti yaliyobainishwa kwenye leseni iliyowepewa.

Mgaya ameleza kuwa, chuo hicho kimeanzisha kufundisha programu za astashahada na stashahada bila ithibati ya mamlaka husika na kuongeza TCU haitambui program zinazotolewa na chuo hicho.

Source:Mwanahalisi

Nafasi za Kazi East Africa Community na Tanzania Red Cross, Apply Here

Baba Yake Diamond Adai Wema Ndiye Mwanamke Pekee Aliyetambulishwa Kwake

$
0
0
Baba wa staa wa muziki Diamond Platnumz, Abdul Juma amedai Wema Sepetu ndiye mwanamke pekee ambaye mwanae Diamond aliweza kumtambulisha kwake kama mpenzi wake.

Akizungumza katika kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV, Mzee Abdul alidai Diamond alimtambulisha Wema kwake pamoja na kumvalisha pete.

“Yaani Diamond toka akiwa na Wema ndio alikuja hapa kumvalisha pete Wema,” alisema Mzee Abdul.

“Unajua toka nizaliwe sijawai kuona mwanamke mwenye heshima zake kama Wema. Nimewai kuletewa mwanamke mmoja tu toka (Diamond) anakuwa,”. Alisema

Aliongeza, “Only one hana umalaya huo. Kwa sababu mimi Diamond namwamini kitu kimoja, muda wakutembelea kwenye madisko hana. Yeye ni mtu wa kukaa nyumbani na kufikiria anafanya nini kwa sababu mwenyewe anajiona yupo kwenye ushindani, bila kujiandaa kwa ajili ya kazi zijazo ‘atarostika’. Kwahiyo mimi nasema big up akaze buti,”

CUF yatoa Masharti ya Kurudi Kwenye Mazungumzo na CCM Sakata la Uchaguzi Zanzibar

$
0
0

Chama cha Wananchi CUF, kimesema hakitarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kutafuta suluhu ya kisiasa visiwani Zanzibar hadi mchakato wa uchaguzi mkuu wa marudio usitishwe.

Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema hawawezi kuendelea na mazungumzo huku wenzao wakiendelea na maandalizi ya uchaguzi mkuu, na kwamba iwapo uchaguzi mkuu wa marudio uliotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kufanyika Machi 20 utasitishwa, chama hicho kitakuwa tayari kufanya  mazungumzo.

Maalim Seif Sharif Hamad ametoa kauli hiyo leo jijini Dar e salaam, mara baada ya kukutana kwa mazungumzo na aliyekuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Edward Lowassa na kisha viongozi hao kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika hatua nyingine wanasiasa hao maarufu nchini wameitaka serikali ya mapinduzi Zanzibar, kuchukua hatua za haraka kukomesha kile walichokiita hujuma wanazofanyiwa wafuasi wa upinzani visiwani Zanzibar.

Maalim Seif Shariff Hamad ambaye pia ni makamu wa kwanza wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, amesema kumeibuka kundi la watu ambao wamekuwa wakivunja na kuiba mali za watu na kuondoka bila ya kuchukuliwa hatua zozote na vyombo vya ulinzi na usalama.

Mwandishi wa Channel ten alitaka kujua, yeye kama makamu wa kwanza wa Rais amechukua hatua gani kuzungumza na vyombo vya ulinzi na usalama ili kukomesha kile alichokiita hujuma kwa wafuasi wa vyama vya upinzani, kiongozi huyo ambaye pia ni katibu mkuu wa CUF Zanzibar anaeleza zaidi.

Pia ametuhumu serikali ya mapinduzi Zanzibar, kuwa imekuwa ikichukua na kunakili namba za vitambulisho vya mzanzibar mkaazi na vya mpiga kura  vya watumishi wa umma , kwa kile alichokieleza kuwa ni kuwachukulia hatua wale ambao hawatashiriki kwenye zoezi la kupiga kura la Machi 20

Kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue: Siku 100 za Rais Magufuli

$
0
0
TAARIFA YA SIKU 100 ZA KWANZA ZA SERIKALI YA
AWAMU YA TANO ILIYOTOLEWA NA
BALOZI OMBENI Y. SEFUE, KATIBU MKUU KIONGOZI,
IKULU, TAREHE 12 FEBRUARI, 2016
__________________________​


Utangulizi
Serikali ya awamu ya Tano imetimiza siku 100 tangu iingie madarakani tarehe 5 Novemba, 2015. Japo siku 100 ni chache sana kufanya tathmini ya kina, zinatosha kuonesha muelekeo wa serikali na kupata kionjo cha uthabiti wa dhamira yake ya kutekeleza ahadi zake kwa wananchi.

Kumekuwa na shauku kubwa ya wananchi kujua kilichofanywa na Serikali hii katika siku zake 100 za mwanzo. Ni shauku ya haki ambayo sisi katika Serikali hii lazima tujaribu tuwezavyo kuikidhi. Ndio maana kuanzia juzi Mawaziri mbalimbali wanazungumzia mafanikio katika hizo siku 100, kila mmoja akienda kwa undani kwenye sekta yake. Nawaomba wananchi wafuatilie kwa karibu yale ambayo Mawaziri hawa wanayatolea taarifa kwenu ikiwa ni sehemu ya uwajibikaji wao kwa wananchi.

Mimi pia, kwa nafasi yangu ya Katibu Mkuu Kiongozi, ambaye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri na Mkuu wa Utumishi wa Umma, nimepokea maswali mengi ya waandishi wa habari na wananchi wengine kuhusu siku 100 za kwanza za uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Maeneo yanayohusu sekta mbalimbali yatazungumzwa na Mawaziri wanaohusika. Lakini nimeona baadhi ya maswali yanaweza kujibiwa tu na ofisi hii, yaani Ikulu.

Nimeyaweka maswali hayo katika makundi matano na nitayazungumzia kwa ujumla. Yapo maswali yanayohusu uongozi wa Rais wetu, yapo maswali yanayohusu sifa binafsi za Rais wetu, yapo maswali yanayohusu utendaji wake, yapo maswali yanayohusu mahusiano yake na sekta binafsi kwenye utawala wake; yapo maswali yanayohusu mwelekeo wake kwenye mambo ya nje na diplomasia ya Tanzania.

Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano Ukoje?
Wahenga walisema, “Nyota njema huonekana asubuhi.” Naam! Katika siku 100 za kwanza, Rais Magufuli amethibitisha kwa uwazi zaidi kuwa yeye ni kiongozi bora na wa kupigiwa mfano. Taarifa tunazoletewa na wananchi ni kuwa kwa kauli, matendo na dhamira yake, wananchi wengi wamemwelewa, wamemkubali na wanamwamini. Katika hizi siku 100, Rais amewathibitishia Watanzania kuwa yeye ni kiongozi, mwenye sifa muhimu za uongozi. Sifa hizo ni pamoja na:
Kiongozi bora lazima awe na dira, maono na malengo kuhusu anakotaka Taifa liende. Katika siku 100 za kwanza Rais Magufuli amedhihirisha kuwa ana sifa hiyo.

Lakini dira bila mkakati ni ndoto. Kiongozi bora lazima awe na mikakati ya kutekeleza dira na maono yake, pamoja na kufikia malengo katika vipindi tofauti. Katika siku 100 za kwanza Rais Magufuli amedhihirisha anayo sifa hiyo.

Kiongozi bora lazima aheshimike na awe na mvuto wa kuwafanya wananchi wamwamini, na kumfuata. Katika siku 100 za kwanza za utawala wake, Rais amewafanya hata ambao hawakumpigia kura, wamwamini, wamwombee na kumfuata.

Kiongozi bora anagawa majukumu, na haogopi kufanya hivyo, lakini anafuatilia. Katika siku 100 za kwanza Rais Magufuli amethibitisha kuwa anayo sifa hiyo.

Kiongozi bora anajua na haogopi kuweka vipaumbele na mpangilio wake wa utekelezaji na kuvisimamia. Katika hizi siku 100 Rais Magufuli amethibitisha anayo sifa hiyo muhimu ya uongozi.
Kiongozi bora haogopi kufanya maamuzi magumu. Hakuna mwenye shaka kuwa katika hizi siku 100, Rais wetu amedhihirisha kwa kauli na kwa vitendo kuwa, anapotetea maslahi ya Taifa na wananchi, haogopi kufanya na kusimamia maamuzi magumu.
Rais ana Maono na Mikakati pevu ya kutimiza maono yake
Kama nilivyosema, sifa mojawapo ya kiongozi bora, ni kuwa na maono pevu na mikakati madhubuti inayote

Tazama Hapa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz na AKA-Make Me Sing

$
0
0
Tazama Hapa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz na AKA-Make Me Sing 
VIDEO HII HAPA CHINI:

Linex Amchana Laivu Director Adam Juma...Asema Hatafanya Nae Video Tena...

$
0
0
LINEX AMCHANA ADAM JUMA LIVE...ASEMA HATAFANYA NAE TENA VIDEO YEYOTE...KWANI ALIMFANYIA VIDEO MBOVU YA SALIMA.

AKIONGEA NA TV YA CLOUD KATIKA KIPINDI CHA D'WIKEND CHATSHOW AMESEMA YEYE NDO MSANII ALIYE MLIPA PESA NYINGI KULIKO MSANII YEYOTE KIASI CHA TSH. MILION 5.  LAKINI AKAMFANYIA VIDEO MBOVU KUPINDUKIA NA KASEMA ADAM KACHANGIA KWA KIASI FLAN KUMRUDISHA NYUMA

Tetesi Zingine Zaibuka...Eti Idris na Wema Sepetu Wameachana...

$
0
0
Baada ya Tetesi za Mimba ya Wema Sepetu Kutoka Kukosa Jibu mpaka sasa leo Kuna kitu kinaendelea Instagram na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!

Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!

ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Maneno ya Idriss Instagram Siku ya Leo haya hapa:

Idrissultan
Being happy haimaanishi kila kitu kipo sawa, inamaanisha umeamua kuangalia mbele zaidi na kisha kuyapita matatizo na kuyaona mazuri tu, inamaanisha umeiona siku utakayoamka na kukuta uliyoyataka yapo mezani, inamaanisha nashukuru Mungu hata baada ya yote umeniacha hai, inamaanisha wote nnaowapenda na kuwahitaji katika wakati kama huu nipo nao, inamaanisha am focused on the goal na sio vikwazo

Idrissultan 
Dont wait for someone to bless your day, bless your own days


Idrissultan 
I repeat  "Value people who love you truly". Misuse 1 true person to you and you ll be left with 100 fake people


Baadhi ya Comments za Mashabiki:

rebeccapeter754 
ka kwel mmeachana@idrissultan na@wemasepetu mjue mmeniumiza moyo wangu ila nakupenda wema wangu jaman

Elizabethmichaelofficialy
 Jana nikisikia Idrisa akimsimulia mtu wa karibu kuwa yamemfika hapaaa kaamua kuvua gamba na hataki ushuru wa mtu kashaamua hivyo na hatozungumzia hiyo issue


bint_hamida 
@dah wallah siamini najuta kuingia ista Leo @idrissultan @wemasepetu msitufanyie hivyo jamani

Gracey_jioms
 @wemasepetu @idrissultan Please Never Give Up On Each Other!!! A Relationship is Made Of Two imperfect Characters who overlooks Each others imperfections.


basmalatimhando79 
@nisher_qualityhair...huruma inahitajika mana cku nyingine itabid tutulie ili tuone mwisho wake kujitia presha staki tena ingawa kukipotezea kitu unachokipenda ngum...inahitajika roho ya malaika mtoa roho za watu



Viewing all 104776 articles
Browse latest View live




Latest Images