Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Ama Kweli Nabii Hakubaliki Kwao..Tazama Rayvan na Harmonize Walivyopokelewa Burundi

0
0
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli

Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond Platinums ingekuaje????


Utata wa Nyumba Mpya ya Diamond Waibuka

0
0
Habari zilizo chini ya carpet huku Instagram ni kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni kama picha inavyoonyesha hapo. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba......


Mdaku Mmoja Huku Instagram Ameandika yafuatayo:

Tzshaderoom
"#roommates nilipost since angalieni post za nyuma nilikuwa wazi. Inasemekana #zari alikuwa akimkosesha Amani #chibu anunue nyumba south coz #ivan hamtaki mwanae kwake. Then msg zilizokuwa zinaeleza #zari atoke ktk nyumba #ivand akazisambaza kisa #mondi kapost nyumba akidai kuwa kamnunulia zari 😂 guys nilikwisha Sema kigoma hapatoki fala uzalendo Kwanzaa 🙌 do you think if #mondi hakuwadhibiti na Ile post yoote yanayo jiri tungeliyajua 🤔 jibu unalo. #zari na #ivan ni business partners now naomba nifunguke. Zari came in Tz kwa Nia ya kufanya kazi na #mondi akawazunguka walio kuwa wanandaa kazi hiyo ifanyike akaomba no. za mondi from mwanadada alioko karibu na binladeni mwanadada huyo anaandaa kipindi flani hivi cha TV. .
Zari alipopata number akampigia mzee wa kugonga na wakakutana na akagonga while wandaaji wa business wamewekwa pending na #zari well hapo Bila kusahau #zari alikuwa bongo kwa niaba ya Sponsor.
.
Why I call everything was well arranged coz #zari alijua what #mondi wants that time #wema was so sure with him. Hapo katikati aliye tangulia hotelini akiwa bongo ni siri binafsi ya #zari then baaaam akasema wamekutana ktk ndege which was a lie walikwisha kutana b4. hatujatulia baaaam she is pregnant 🤔
.
In btn so much drama zimepita my point is #zari and #ivan knew everything I mean everything nakuwa kitakacho mkata pembe #mondi ni mtoto then wafanye Yao. The more wanajifanya hawapo in good terms in public while ktk Bata njee ya media wapo pamoja is the more my 👃 ilipo nusa mchezo.
#mondi kama kawafix am proud of him 👏 coz tunaona kabisa how the movie is going do you think if angelikuwa kanunua huo mjengo kwa mashauzi ya #zari akisaidiwa na #ivan angelikuja kupambana na #bisandra hale 2 the NO. Birthday ingelifanyika south ktk mjengo mpya. .
Why am on #mondi side na kumsifu kwa alicho kifanya #mondi ka hustle to be who he is today so no way to fix him ktk mitego ya kijanja coz Kisha jaribiwa saana. How many girls wanagongwa in TZ na njee do u think hawataki kuwa na mtoto wa #mondi 🤔jibu unalo.
#zari take #mondi child support na ukitaka 🏡 chukua funguo 1 kwa #bisandra ✋ let #mondi B PLS 😩 coz hata Ivan hajakupa 🏡 na umezaa naye 3 "

Pendeza na DR Kessy Uweze Kuwa na Muonekano na Ngozi Nzuri na Umbo la Kuvutia Machoni pa Watu

0
0
PENDEZA NA KESSY PRODUCT:-MSIMU MPYA%
PATA DAWA NA MAFUTA:-VIPODOZ VISIZO NA MADHARA WALA KEMIKALI, NA MATOKEO NI KWAHARAKA BAADA YA WEEK (2)ADI( 3-4) N ASILI. 🌿🎄🌴🍇💐🍀🌻

1) KUTOA MVI SUGU 80,000/
2) KUREFUSH NYWELE NA UKATIKAJI 70,000/
3) TENGENEZA SHEPU YAKO FIGA UMBO (8) KWA DAW... @ KUPAK 70,000/
@ KUNYWA NA VIDONGE 130,000/
4) TENGENEZA MGUU KAMA CHUP YA BIA 60,000/
5) PUNGUZA KITAMBI NA MANYAMA UZEMBE
@) KUNYWAA 90,000/
@) KUPAKA 70,000/@) MIKANDA YENYE DAW (@) MONALISA BELTI 80,000/ MKANDA WENYE DAW 1,3000/ MASHINE (BELT) 1,50000/
6) PUNGUZA MWILI MZIMA PAMOJA NA KILO
@) MAJAN 100,000/
@) VIDONGE 130,000/
7) PUNGUZA MAZIWA NA YASIMAME 60,000/
8) ENGEZA MAZIWA NA SAIZ UNAYOPEND 60,000/
9) ONGEZA MWILI MZIMA NA KUKUPA HAMU YAKULA (WEMBAMB) 80,000/
10) TOA MICHIRIZI SUGU PIA NA ILE YAKUJIFUMGUA, 70,000/
11) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KATIKATI YA MAPAJA 50,000/
12) TOA NGIRI YA AINA ZOTE 70,000/
13) KUWA MWEUP MWILI MZIMA KUPAKA 80,000/(@)PIA VIDONGE 100,000/
14) TOA VINYWELEO NA NDEVU 80,000/
15/ ONGEZA NGUVU ZA KIUME
@) JEL KUPAKA 60,000/
@) VIDONGE 80,000/
16) ONGEZA MAUMBIL KWA
@) HANDSM UP MASHIN 170,000/
@) JELI YAKUPAKA 100,000/
17) RUDISHA HAM YA TENDO 60,000/
18) RUDISHA USICHAN(BIKRA) 70,000/
19) TOA MAFUTA USON NA KUACHA USO MKAV 60,000/
20) TOA SUGU MIKONON NA KWENYE MAGOTI YALIO ARIBIWA NA LOSHEN 60,000 PIA UDUMA NYINGI ZIPO
TUPO K KOO,SINZA MAPAMBAN, KWA MIKOAN T UTATUMA KWA MABAS, KWA ZENJ PIA KWA BOT ZA AZAM
CHAKUFANYA PIGA CM 🌴🍓🌳🌷🍀🌻🎄🍇
0719955528.
0756259180.
0785371237.
0623671388.
AMA TU FOLLOW
Delivery kwa DAR ipo utaletewa popote ulipo.

Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani

0
0
Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....

Nimekuwekea majibu yake hapa chini:


Sababu Kubwa Ambazo Zinamfanya Mwanamuziki Diamond Aendelee Kufanikiwa Zaidi na Zaidi na Kuwapita Wenzake Hizi Hapo

0
0
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani, Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo?

Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote kwaajili ya matangazo kila mwaka. Kwanini sasa wanahitaji fedha nyingi kiasi hicho kujitangaza wakati kila mmoja katika dunia hii anaijua Coca-Cola?

Ni hivi – matangazo hayakukumbushi uende kununua soda pale unapokuwa na kiu – lahashaa! Kazi yake ni kuhakikisha jina lake linakaa zaidi kichwani kwako, na ni jina ndilo unalolinunua. Kwahiyo watahakikisha wanajitangaza ili ile nembo ya Coca-Cola ikae daima kichwani kwako.

Mfano huu unahusiana vipi na Diamond? Kwa ukubwa wote alionao, mashabiki wote hao alionao, kwanini bado anaendelea kuzipigia promo ngoma zake kiasi hicho? Kwa hatua aliyofikia, anaweza kuachia wimbo na kutoa link mara moja tu na mashabiki wenyewe wakashughulika nao, lakini hafanyi hivyo. Akitoa wimbo ataupigia promo kwa kuweka post kibao kila siku.

Promo kwa msanii ni kama tu ilivyo matangazo kwa makampuni kama Coca-Cola. Kwahiyo Diamond anafanya kile kile makampuni makubwa yanafanya – kuhakikisha anaijenga brand yake kwenye mawazo yako kiasi ambacho huwezi kumsahau wala kumkwepa.

Hii ndio maana hata video zake zimekuwa zikipata views nyingi kwa muda mfupi na kuwazidi wasanii wengi wakubwa wa Afrika ambao huwa hawasumbuki kupiga promo kubwa kwa nyimbo zao.

Hivyo, ni sahihi kumuita Diamond supastaa anayeutreat muziki wake kama underground. Licha ya ukubwa alionao, staa huyu bado anauchukulia muziki wake kwa mtazamo ule ule msanii mpya huwa anakuwa nao – kwamba hakuna anayenijua hivyo nahitaji kuisukuma zaidi kazi yangu.

Mfano, tangu video yake ya Salome imetoka, ameshapost kwenye Instagram (followers milioni 2.8) picha au video zinazoipromote ngoma hiyo zifikazo 39, katika kipindi cha siku 7 tu! Katika kipindi cha siku 7, ameshapost Facebook (likes milioni 1.6) kupromote wimbo huo, mara 28. Anafanya hivyo Snapchat, anafanya hivyo Twitter pia – kila siku.

Video ya P-Square, Bank Alert imetoka Septemba 18 na sasa hivi na views milioni 1.58, nyuma ya Salome yenye views milioni 2.3 na huku ilitoka siku 2 mbele. Tangu muda huo, Peter Okoye mwenye followers milioni 1.8 Instagram, ameweka post za kuupromote wimbo huo 6 tu!

Simaanishi kuwa kila msanii Afrika anapaswa kufanya kama anavyofanya Diamond, bali nakuonesha jinsi gani anavyochukulia kazi yake kwa mtazamo sawa kama ambavyo kampuni kama Coca-Cola inafanya. Kwamba licha ya ukubwa walionao, wanafanya kazi kwa mtazamo kuwa hakuna anayewafahamu. Ni ngumu kuchuja kwa msanii au kampuni yenye mentality hii.

Fredrick Bundala

Nafasi za Ajira Zilizotangawa Leo na CVPeople Tanzania...Bonyeza Hapa

Pamoja na Drama Zote Alizompa Sugu...FAIZA Ally Anampenda Mbunge Sugu Kupindukia...Soma Alichoandika Hapa

0
0
Msanii wa filamu, Faiza Ally wakati inaelekea siku ya birthday ya mtoto wake Sasha, amefunguka na kueleza yamoyoni juu ya baba watoto wake, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.
Sugu na Faiza


Mwigizaji huyo ambaye anajipanga kuachia filamu yake mpya ‘Baby Mama Drama’ amesema ataendelea kumpenda Mh Sugu kwa kuwa bila yeye asingekuwa mama kwa sasa.

“Nakumbuka 2012 wakati kama huu nilianza kuumwa uchungu wako mwanangu. Yaani nilikua na raha toka siku baba yako aliyoniomba tuzae nilianza kukupenda kabla sijapata mimba. Nilipo pata ndio uwii nilikua natamani siku ifike tuonane mwanangu sasa ndio nika zidi kumpenda baba yako vibaya sana Hahhahahah,” aliandika Faiza Instagram.

“Nakumbuka siku moja na tumbo kubwaa baba yako akaniangalia nilikua na chupi tu hahaha nilikua niko bize nampangia nguo zake kabatini akaniambia sister du nime kukomesha nikamwambia aawapiiii huja nikomesha nafurahi Kila step ya mimba yangu. Sasha Mpenzi wangu stori ni nyingi sana siwezi kumaliza. Kiufupi tu toka Kwenye mimba yako nilikua na furaha sana mpaka siku nilio kupata.Mpaka leo na mahaba ndio yanazidi juu yako mwanangu. Baba yako ndio Kabisa nampenda mpaka sijielewi Kila niki kuangalia najua bila yeye leo hii nisinge kuwa Na furaha hahahahaaa tulishirikiana kitendo tukakupata naachaje kumpenda hehehehee. Asante baba Sasha Kwa kunifanya niwe mama. Mungu akubariki katika Kila unalo fanya uendelee kuwa hai mwanangu aendelee kuwa na baba yake, Asante dogo#asante sugu#Asante Joseph #asante mei Asante baba Sasha … Hatujaonana zaidi ya mwaka#hatuja ongea zaidi ya mwaka lkn haijawahi kupita siku sija kuzungumzia na sijawahi kukuacha kukupenda baby daddy… Nakupenda Leo#kesho Na siku zote 😉. Sasha birthdays loading,” alifafanua zaidi.

Familia ya Diamond Yaikacha Sherehe ya Birthday ya Zari Iliyofanyika Zanzibar...Mabifu Yaibuka Upya

0
0
MWISHONI mwa wiki iliyopita (juzi Ijumaa usiku) ilifanyika pati ya kusherehekea kuzaliwa kwa mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ambayo imeibua mabifu upya. Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa wachache kutoka Bongo ambao ni pamoja na Moze Iyobo, Aunt Ezekiel na wengineo ilifanyika Zanzibar ambapo licha ya kufana, imeibua mtifuano upya kati ya Zari na wifi yake, Esma Abdulkadiri na Diamond na mume wa zamani wa Zari, Ivan Semwanga.
 
IVAN NA DIAMOND
Bifu la wawili hawa lilikuwa limezimika, lakini lilirudi upya baada ya juzikati Diamond kumzawadia Zari nyumba iliyopo Afrika Kusini kisha kumrushia Ivan dongo kwa kuandika mtandaoni: “Wanakazana kujisifu matajiri ilhali watoto wao wanaishi kwenye nyumba za kupanga… halafu leo yuleyule wanayemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa maskini, kajawa na shida, kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi maisha bora kama wanayoyatamani… Heri ya siku ya kuzaliwa Mama tee wangu…. Nakupenda sana na unalifahamu hilo…natumai umeipenda nyumba yetu hii mpya South Africa.”

NI DONGO KWA IVAN
Ujumbe huo moja kwa moja u l i o n e k a n a kumhusu Ivan ambaye kipindi cha nyuma kwa kushirikiana na mshikaji wake aliyefahamika kwa jina la King Laurence, walikuwa wakimtusi wakimsema kuwa ni maskini ila wao wana pesa licha ya madai kuwa, nyumba wanayoishi watoto wa Zari kule Sauzi ni ya kupanga. Baada ya dongo hilo, hali ilichafuka huku Ivan akimrushia madongo Diamond sambamba kumtaka Zari amwambie bwana wake (Diamond) aondoe ujumbe huo mtandaoni kwani hata wanaye wakiuona wataumia. Inadaiwa kuwa, licha ya Ivan kuomba hivyo, Zari alimjibu kuwa Diamond amegoma kwa maelezo kwamba, wao (King Laurence na Ivan) ndiyo walioanza kumtusi.

 ESMA NA ZARI
Bifu lao lilihusishwa baada ya Esma kuulizwa sababu za kutomuwish wifi yake katika siku yake ya kuzaliwa, kuonesha ‘analo na limemfika hapa’ alifunguka: “Siwezi kumuwishi, mbona Taraj (mwanaye) hakumuwishi wakati ndiye aliyekuwa akicheza na mwanaye (Tiffah) nyumbani? Wee ukosane na mimi umkasirikie hadi mtoto, ujinga huo. Siwezi kumuwishi Mbona Bi. Snura (mama wa Diamond) alimuwishi akamfuta na mafumbo juu, akasababisha watu wakamchamba!….. (anataja jina la mwandishi) nimekaa tumboni kwa mama yangu miezi 9 ‘so’ mtu anavyomletea dharau siwezi kumpenda. Mbona wote tumekaa nao vizuri haijawahi tokea haya mambo, kwa nini yeye?” alihoji Esma.

FAMILIA YA DIAMOND YASUSA BETHIDEI
Katika kile kinachoonesha kuna kitu kizito nyuma ya pazia kati ya Zari na ndugu wa Diamond, inadaiwa hakuna hata mmoja aliyefika hali iliyoibua maswali mengi.

DIAMOND, ZARI VIPI?
Kufuatia kuibuka kwa mabifu hayo sambamba na figisu nyingine, gazeti hili lilifanya jitihada za kuwatafuta Diamond na Zari kupitia simu zao za mkononi ili waseme lolote, lakini simu zao hazikuweza kupatikana.

Global Publishers

Aunty Ezekiel Akerwa na Wanaosema ni Snitch na Anajipendekeza Kwa Zari...Atokwa na Povu na Kusema Haya

0
0
Anti Ezekiel Awashuki wanaosema anajipendekeza kwa Zari ・・・

 #Regrann from #auntyezekiel - Naitwa Aunty Ezekiel Grayson jujuman Ukipenda ...Mama Cookie Mnyakyusa hasilia ...Sasa bac Nataka niwaambie kitu kimoja mana kujibu mmoja mmoja Muda huo sina ni hv Nafanya ntakalo sifanyi Mtakayo mana nina uhakika nyie mnaokaa kubishana na mm vibanda vya mbavu za zaMmbwa zinawashinda so muda mnaokaa mkafatilia yangu mngeenda tafuta lakufanya ....Oooh njaa Yes I say tena Yes mana mnataka nibadili Red kuwa Yellow kwani yule c ni boss wa mkata viuno wang au!!!Sasa kama ni boss ulitaka nibishe niseme mm ndio Boss bac nifungue band yetu acheze!!!Mnawazimu nn na Namuheshimu kama Mshkaji rafiki boss wa bwanaangu na siwezi acha kushirikiana na Familia yake eti kisa Ushuzi mtasema nn...Sitaki kutaja majina ya watu ila kilichopo ndio ukweli asilia Mama Tee ndio mwanamke na Mama watoto wa Nasibu no way hata tulambe rami kubadili ni ngumu Ila mwenyewe akibadili bac na Sisi tutabadili ila kwa sasa ni Mama tee Shukrani gud Day #msaliti kulingana na wakati eti umemuacha mumeo jela mlitaka nikagongane nae jela Au nikae miaka 20 akitoka nina miaka 50 nazaa lini nalea lini nakufa lini Wapuuzi nn msinichefue mie msitake niongee yasiyowahusu...Mnanitoa Povu kama mmenilaza kwenye sabuni ya Unga

Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa...

0
0
Watafiti wa Kizungu wanakesha kufanya tafiti chungu mzima na zingine majibu yake zinaweza kukuacha mdomo wazi.

Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa..

Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani ya Mungu – hususan kwa wanaume.

Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini.

Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa kuzaa na wakati wa kunyonyesha.

Meneja wa Diamond Athibitisha Kuwa ni Kweli Diamond Kanunua Nyumba Afrika Kusini..Ataja Bei Aliyolipia

0
0
Kuna nyumba ilikuwa sokoni inayofanana na ile Diamond amedai kuinunua South, zinafanana tu ama ni ile ile? Hilo ni swali ambalo hadi sasa wengi wamekuwa wakijiuliza, lakini sasa Bongo5 ina jibu la uhakika.

Wiki iliyopita Diamond Platnumz alitengeneza vichwa vya habari baada ya kupost kwenye Instagram picha ya nyumba anayodai ameinunua nchini Afrika Kusini itakayotumiwa na mchumba wake Zari.

Picha hiyo aliisindikiza na maelezo mazito yaliyowalenga wale aliowaelezea kama wanaopenda kujisifia ni matajiri na kumuita yeye maskini ilhali watoto wao bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga. Wengi walitafsiri kuwa dongo hilo lilimlenga ex wa Zari, Ivan anayefahamika kwa kuishi maisha ya kifahari.

Hata hivyo, muda mfupi baada ya Diamond kuweka picha hiyo, wametokea watu ambao wamesambaza picha ya nyumba nyingine inayofanana kwa karibu asilimia 100 na nyumba ile iliyowekwa kwenye mtandao wa privateproperty.co.za na hivyo kuzusha minong’ono mingi.

Kwa mujibu wa meneja wa Diamond, Sallam, nyumba hiyo imelipiwa Alhamis iliyopita na tayari ni mali ya muimbaji huyo wa Salome na amefafanua kwanini bado haijatolewa kwenye tovuti hiyo.

“Nyumba imelipiwa thursday haiwezi toka muda huo huo kwenye website mpaka agency amalizane na mwenye nyumba then process zote zikamilike ndio inatolewa kwenye site,” Sallam ameiambia Bongo5.

Nyumba hiyo ipo Moreleta Park, mjini Pretoria.


Ina vyumba vitano, lounge 3, mabafu matatu, bwawa la kuogelea, balcony, gereji mbili na nyumba ya pembeni ya kuishi wafanyakazi.

Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa mita za mraba, 1068.


Bei yake si haba, ilikuwa inauzwa kwa Rand 2,480,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 396 za Kitanzania.

Kuhusu anachokisema Diamond baada ya watu kudhani kawapiga changa la macho watanzania, Sallam amejibu, “Anachukulia kawaida, ni mengi kila siku yanasemwa.”

Hiyo ni sababu kubwa staa huyo ameamua kujizawadia mapumziko mahsusi visiwani Zanzibar mwishoni mwa wiki.

UPDATES:

Kibao cha ‘SOLD’ kimeshaweka kwenye nyumba aliyonunua Diamond, Pretoria, Afrika Kusini na tayari imeshatolewa kwenye listings za mtandao wa http://www.privateproperty.co.za. Na sasa ni mali yao halali..


Source:Bongo5

Aunty Ezekiel Azidi Kushambuliwa Baada ya Kutokea Kwenye Birthday ya Zari...Ona Huyu Alivyomchana

0
0


Naona Watu bado hawajamuelewa Aunty Ezekiel Kuhudhuria sherehe ya Birthday ya Zari Japo jana aliwapa mchambo wa nguvu......

Ona huyo alivyomjibu Aunty Ezekiel

Tzshaderoom 
well look at Dida Shaibu ni fan no 1 wa Mondi haina ubishi kaiweka wazi no problem at all kila mtu na mtazamo wake na wapi aelekeze ushabiki Miss independent Kala birthday kamaliza next day kasepa kuendelea na kazi zake. Yes hajihusishi na ishu za family ya Mondi yeye ni shabiki tuu. Back to Aunty Ezekiel ww ni Iyobo baby mama gal time to look at your self play ur role as a baby mama ishu zingine kaa kando so many names utaitwa coz we all TZ ktk Familia kukiwa na migongano ya Mara kwa Mara try to step out Ndugu wenyewe unaona wanavyo angaliana kwa macho Bila kujihusisha direct .cheki mchaga anavyo fanya yupo na bwanake tuuu cheki mke wa Babu tale cheki Mke wa salami woote wapo busy na Familia zao yes watamsalimia mke wa mondi but clearly unaona wazi kuwa Kuna some line wamejiwekea but ww #aunti kutaka kuplay smart at the end of the day utaonekana mbaya mama tee kasafiri na mwanaye where is your child 😨😨😨 wacha izo ishu banaaa kaa na Familia yako wacha mambo yakujifanya ww ndiyo Mrs salami or Mrs babu tale it shows you are trying so hard but the public wanajiuliza so many questions mbona hustukii? Why unashade more than #iyobo 😨😨😨 are you employed by WCB 😔😔😔 look Ndugu wapo kando but ww ndiyo umechukuwa nafasi ya Rommy J, Esma, Halima na Queen Darling hustuki tuuu 😩😩😩 wanawake na wake woote wa vijana wa WCB wapo kimya but wewe ndiyo upo tuuu ebu stuka Bana kaa kando let the family go to their crisis alone Mara nyakunyaku ooh nn #aunti do you think mtu akitaka kumchukuwa #mose same way ulivyo mchukuwa from Mwengi watashindwa 😨😨😨 think twice step out be normal like the rest✌✌✌

Lipumba Aiondoa CUF UKAWA....Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 27

0
0


Lipumba Aiondoa CUF UKAWA....Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 27

Baada ya kuzushiwa kifo, Bilionea Dangote ameyaandika haya

0
0
Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa bilionea huyo amefariki akiwa nchini Ujerumani baada ya kuugua kwa muda mfupi. Aidha, taarifa hizo zinaeleza kuwa familia ya bilionea huyo imethibitisha kifo cha ndugu yao huyo na kusema kuwa ni pigo kubwa kwa Afrika.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Dangote ameandika hivi “I am hale, hearty and alive. Please disregard malicious report saying otherwise. Thank you.” , akimaanisha kuwa yeye ni mzima wa afya na kuwataka watu kupuuzia taarifa zinazoeleza kivingine.”

Akimaanisha “Mimi ni mzima na buheri wa afya. Tafadhali puuzeni taarifa zote zinazosema vinginevyo. Asanteni.”

Aliko Dangote ni raia wa Nigeria, ndiye mwenye utajiri mkubwa zaidi barani Afrika. Dangote anamiliki kampuni kubwa ya Dangote Group inayofanya kazi katika nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na Nigeria, Benin, Ethiopia, Senegal, Cameroon, Ghana, Afrika Kusini,  Togo, Tanzania na Zambia.
Muda mfupi baada ya kuzuka kwa taarifa hizo, Aliko Dangote alikanusha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kupost kuwa yuko Afrika kusini na yuko salama kabisa.

Prof. Lipumba Augomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi CUF

0
0
Mgogoro  ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) bado unafukuta ambapo jana Prof. Ibrahim Lipumba, aligomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho ulioitishwa leo visiwani Zanzibar

Alisema, taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari kuhusu kufanyika kwa mkutano huo hazitambui kwa kuwa, mamlaka zinazohusika kuitisha kikao hicho hazijakidhi matakwa.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Kuu ya chama hicho Buguruni jijini Dar es Salaam kupitia taarifa iliyoandaliwa na Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu Bara aliyesimamishwa na chama hicho alisema, matakwa ya katiba hayakuzingatiwa.

“Wajibu wa Kamati ya Utendaji ya Taifa utakuwa kuandaa.. agenda za Baraza Kuu la Uongozi la Taifa na kutayarisha na kuhifadhi mihtusari ya vikao vyote vya Mkutano Mkuu wa Taifa, Baraza Kuu la Uongozi la Taifa na vya kamati ya utendaji ya taifa yenyewe na kuwasilisha taarifa ya yatokanayo kutokana na utekelezaji wa maamuzi ya kikao kilichohusika kilichopita,” Prof. Lipumba amenukuu katiba ya chama hicho ibara ya 85(5).

Prof. Lipumba alisema, Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa chama hicho yupo nje ya nchi na kwamba, kutokana na Katiba ya CUF,Naibu Katibu Mkuu atakayemfuata Katibu Mkuu kwa madaraka ni yule aliyetoka upande tofauti wa Jamhuri ya Muungano na upande anaotoka Katibu Mkuu

Kwa upande wake Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu Bara aliyesimamishwa alisema;

"Mimi sijaitisha wala sina taarifa ya kikao cha kamati  ya utendaji kilichofanyika Zanzibar, kwa taarifa nilizonazo hakuna wajumbe wa kamati ya utendaji kutoka Bara waliokua Zanzibar wakati wa kikao hicho. Nachukua nafasi kuwajulisha wajumbe wote wa baraza kuu kuwa hakuna kikao chochote cha baraza kuu kilichoandaliwa na kamati ya utendaji ya Taifa ambayo kikatiba mimi ndiye mwenyekiti wake wakati katibu mkuu hayupo.

“Mimi ndiye mwenye mamlaka ya Katibu Mkuu kwa sababu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara kikatiba ndiye msimamizi namba moja wa Katibu Mkuu” .

Alisema, Katiba ya CUF ya mwaka 1992 Toleo la 2014 kifungu cha 95 (3) kinaeleza “Naibu Katibu Mkuu atakayemfuata Katibu Mkuu kwa madaraka ni yule aliyetoka upande tofauti wa Jamhuri ya Muungano na upande anaotoka Katibu Mkuu,” na kwamba, Katibu Mkuu anatoka Zanzibar na yeye anatoka Bara.

Hata hivyo Prof. alisisitiza kuwa, Sakaya hana taarifa ya kikao hicho cha kamati tendaji kilichofanyika Zanzibar.

Pamoja na kuwepo kwa sintofahamu kutokana na uamuzi wa Jaji Mutungi kumtambua Prof. Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa chama hicho, (Lipumba) amepongeza kurejeshwa kwake.

Prof. Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho aliyesimamishwa na CUF mwezi uliopita, alirejea kwenye nafasi hiyo kwa kauli ya Jaji Mutungu, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.

Prof. Lipumba alieleza kushangazwa na hatua ya Jaji Mutungi kukosolewa na baadhi ya wanasheria na majaji mashuhuri kuwa, hakuna sheria inayompa furasa jaji huyo kuchukua hatua aliyoichukua.

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam Degree-2016/2017

0
0
The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2016/2017 academic year. 

The selected applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 8th October 2016 for the orientation week which will start on Monday 10th October 2016. 

Applicants selected for admission into Dar es Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa University College of Education (MUCE) should report directly to the college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively on the same dates. 

Joining instructions and admission letters should be collected at the University campuses where one is admitted. Joining instructions and other important information can also be downloaded from the University website.

RAY C Ashindwa Kuvumilia Anavyompenda Diamond....Aamua kufunguka kama hivi.......

0
0
Ray C Ashindwa Kuvumilia Anavyompenda Diamond....Aamua kufunguka kama hivi kupitia mtandao wa Instagram:

From Rayc1982 - Seriously Namaste lil bhaia!ngoja niwe mkweli wa nafsi yangu nipate nafuu dude!that Salome of Yours is damn hot!The Powerful couple in this industry kwa sasa bila ubishi wangu ni hawa wachapakazi wawili,bidii katika kila walifanyalo,go getters,wanavyopeana nguvu katika kazi zao,team work team work team makes everything go the it should be and that makes me fall in love with these two hard working souls!everysecond of the day,lil bro u really smart dude,i respect you for that roho ya upendo ulionayo ndio inayozaa matunda bora ya vipaji lukuki vinavyotamba sasa angalia Raymond!Harmonize!!!! Angalia upendo wako unavyozaa matunda bora,Mungu sio kipofu anaona lil bro!Baraka zake kwako hazitaisha dogo you deserve every penny lil bhaia! am a fan all the way keep chasing tht paper,i admire your management team,how serious you guys are in ths industry of ours..I don't call u Simba no more dude! I call you THE GURU OF THE INDUSTRY!haaaaaaaaaa nilitaka kusahau mama weee baiiiiiiiii the wayyyyyyyyyyyyy kale kapicha kangu kalikobandikwa wasafi studios weeee eeeeee weeeee nimejishauaje sasa weweeeee mpaka mama angu nimemringishiaaaaaaaa kaka angu nimemringishiaaaaa mjomba nimemringishiaaaa yani acha weweeee nimefurahi saaaaana sana umenipa moyo mdogo wng ASANTE SAAAAANA ,Thats very kind of you lil bro!STAY BLESSED LIL BHAIA! @diamondplatnumz And I am Your Shabikj Makini without any reasonable doubt......

Vanessa Mdee Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kutoka Kimapenzi na Trey Songz....

0
0
Kuna tetesi, picha na video zimesambaa mtandaoni zinazoonesha ukaribu kati ya nyota wa muziki wa R&B nchini Marekani, Trey Songz na Vanessa Mdee, zinazotafsiriwa kuwa huenda wakawa wameenda hatua ya juu zaidi ya kile walichokuwa wakikifanya Nairobi, Kenya.

Wiki iliyopita, Vanessa pamoja na wasanii wengine takriban 9 wa Afrika, waliingia studio na Trey Songz kurekodi wimbo kwaajili ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika. Hata hivyo Trey alionekana kuwa karibu zaidi na Vee Money kiasi cha kuzusha tetesi kuwa huenda Jux akawa amesalitiwa.


Anasema picha na video hizo zinatafsiriwa vibaya na kwamba yeye na Trey wamewahi kukutana kabla ya hapo na siku zote amekuwa karibu naye.

“Me and J are 100,” Vanessa ameiambia Bongo5 baada ya kuulizwa kuhusu minong’ono hiyo.

“The video and pictures going around are misinterpreted, I worked for MTV and had met Trey before, we were cool then and are cool now,” amesisitiza.

“I respect him [Trey Songz], Juma and all our fans.”

“Being a female artist in Africa, people are always waiting for any opportunity to tarnish ones image , and disregard years of handwork and success. Watch this space am about to give them more. Kazi tu,” ameongeza.

Kwa upande mwingine Vanessa amedai kuwa watu wasubirie kusikia jinsi wasanii wa Afrika walichokifanya na mshindi huyo wa tuzo za Grammy.

“I can’t wait for you and everyone to hear what we worked on with Trey.

Mabasi ya Haraka yalivyogongana yenyewe kwa yenyewe DSM

0
0
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu UDART kujenga control room katika kituo chao cha Jangwani ambapo imekuwa na msaada wa kumonitor madereva.

Leo September 26 2016 eneo la Magomeni Usalama jijini Dar es salaam kumetokea ajali iliyohusisha mabasi mawili yaendayo haraka baada ya kugongana yakiwa kwenye njia yake. Abiria wote walitoka salama na hakuna madhara yoyote kwa abiria.

VIDEO:

Alikiba Atajwa Kuwania Tuzo za MTV EMA 2016..Diamonda Aachwa Mwaka Huu

0
0
Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live


Latest Images