Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live

HATI ZA MUUNGANO ZALETA UTATA BUNGE LA KATIBA

$
0
0
 Utata umezidi kuibuka katika Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutopatikana kwa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ile ya Sheria ya Baraza la Mapinduzi ya kuridhia Mkataba wa Muungano.

Utata huo, umebainika katika Kamati kadhaa siku moja tangu wajumbe wa Bunge hilo waanze kujadili sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu ya Katiba, zinazohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na muundo wake.

Jana Kamati namba 2 ilimwalika, Spika Mstaafu wa Bunge la Muungano, Pius Msekwa kutoa ufafanuzi kuhusu hati hizo, lakini uhalali wa saini zake uliibua malumbano makali. Msekwa aliitwa kutokana na kwamba ndiye aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika wakati huo.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Shamsi Vuai Nahodha, alithibitisha kutokea utata huo na kwamba walilazimika kumuita Msekwa ili kupata ufafanuzi wa masuala kadhaa.

Nahodha alisema kwa maelezo ya Msekwa, inaonekana hati ya Muungano ipo Umoja wa Mataifa (UN), kwani kabla ya Muungano, Tanganyika ilikuwa na kiti chake UN na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hali kadhalika.

Nahodha alisema baada ya UN kuomba uthibitisho wa Muungano, ndipo walipelekewa hati hiyo na kwamba haijawahi kurejeshwa.

Kauli hiyo ya Nahodha inapingana na kauli ya Katibu wa Bunge la Katiba, Yahya Hamis Hamad ambaye jana alisema hati hiyo ipo Dar es Salaam na ni moja tu, hivyo siyo rahisi kuipeleka bungeni Dodoma.

“Ile hati ya Muungano ipo Dar es Salaam, lakini tunahofia kuileta maana inaweza kupotea kwani ipo moja tu, sasa ambacho tutakifanya inaweza kutolewa nakala na kuthibitishwa na mawakili na ikaja nakala hapa Dodoma iwapo wajumbe wanahitaji,” alisema Hamad.

Nahodha alipoelezwa juu ya majibu ya Katibu wa Bunge kuwa hati hiyo ipo Dar es Salaam, alishikwa na mshangao na kusema wanamuomba Katibu huyo, aiwasilishe kama ipo.

FANS ATTACK LUPITA NYONG'O ON INSTAGRAM, CALLS HER A "MONKEY"

$
0
0

Jamaa awa Wazungu ...Hawana hata aibu kumwita Binadamu Mwenzao hivyo ki ukweli hii imeniuma sana embu jionee


KAJALA AWAJIBU WANAO MTUKANA INSTAGRAM "KANTANGAZE USIPONITANGAZA NITAKUTANGAZA"

$
0
0
 Baada ya kushambuliwa sana huko Instagram kuhusu urafiki wake na Wema haya ndo majibu yake

JAJI WARIOBA AISHANGAA SEREKALI..KWA MANENO YA KEJELI

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

“Wajumbe wa Tume hawajatoa madai ya kulipwa shilingi milioni mia mbili. Hakuna mjumbe yeyote aliyetoa dai kama hilo na Serikali inajua,” alisema

Jaji Warioba katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, aliyoitoa kupitia Nyalali, Warioba and Mahalu Law Advocates ali ongeza:

“Nimeona taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu Tume ya Mabadiliko, nimeshangazwa na maudhui na lugha iliyotumika,” alisema Warioba akirejea taarifa iliyotolewa na Ikulu juzi ikieleza jinsi tume hiyo ilivyohitimisha kazi zake.

Wiki hii Jaji Warioba alikaririwa akilalamika jinsi yeye na makamishna wake walivyoondolewa ofisini na kunyang’anywa magari kwa haraka bila kusubiri siku waliyopanga kufanya makabidhiano, lakini Ikulu ilimjibu kwamba shughuli za Tume hiyo zilikoma siku ambayo Tume ilivunjwa.

Katika taarifa yake ya jana, Jaji Warioba alisema aliwasilisha Rasimu ya Katiba Machi 18 mwaka huu na Tume ilivunjwa Machi 19 wakati wajumbe wakiwa bado mjini Dodoma.

“Pamoja na lugha ya kejeli inayotumiwa na Serikali kuniita mnafiki, busara ya kawaida ilitakiwa kutumika kufanya maandalizi ya kuwarudisha wajumbe nyumbani na kuandaa makabidhiano,” alisema.

Alisisitiza kuwa Serikali ilikuwa na wajibu wa kuwarejesha makwao wajumbe wa tume hiyo, hata kama muda wa kisheria wa kufanya kazi ulikuwa umepita.

“Niliwasilisha Rasimu Machi 18, 2014. Tume imevunjwa Machi 19, 2014 wakati wajumbe wako Dodoma. Pamoja na lugha ya kejeli iliyotumiwa na Serikali na kuniita mnafiki, busara ya kawaida ingeonyesha umuhimu wa Serikali kujipa muda wa kufanya maandalizi ya kuwarudisha wajumbe nyumbani,” alisema Jaji Warioba na kuongeza:

“Hata kama sheria ilitaja muda wa kuvunja Tume bado ilikuwa ni wajibu Serikali kufanya mipango ya safari ya wajumbe baada ya kumaliza kazi. Sheria haikuizuia Serikali kufanya hilo. Huo ni wajibu wa Serikali na utaratibu wa kawaida unaotumiwa na Serikali kwa tume zote inazoziunda. Inaonekana Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliwekewa utaratibu tofauti. Kulikoni?”.

MAWAKALA, KAMPUNI ZA AJIRA ZAPIGWA STOP

$
0
0
Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.

Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa kampuni zinazokodisha wafanyakazi na kusababisha usumbufu kwa wahusika hasa kwa kupata malipo ya chini.

Kamishna wa Kazi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Saul Kinemela alisema agizo hilo linatekelezwa kuanzia Februari 28 hadi Aprili 28, mwaka huu.

“Wakala binafsi wa huduma za ajira, inajumuisha mtu binafsi, kampuni, taasisi au chombo chochote kinachotoa huduma ya kuunganisha watafuta kazi na waajiriwa bila wakala wa huduma za ajira kuwa sehemu ya mahusiano ya kiajira,” alisema Kinemela.

Aliongeza: “Ukodishaji wa huduma haujapigwa marufuku bali kilichopigwa marufuku ni ukodishaji wa watu.”

Naye Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha wizara hiyo, Ridhiwani Wema alisema baada ya Serikali kutoa tamko la uendeshaji wa mawakala hao, Januari 27, mwaka huu, jumla ya kampuni 56 ziliwasilisha maombi ya kuwa mawakala wa kuwaunganisha watu na ajira.

Alisema kampuni au wakala hao wametakiwa kuwasilisha baadhi ya nyaraka ambazo ni katiba ya uendeshaji na usimamizi wa shughuli, hati ya usajili ya kampuni, leseni ya biashara na namba ya usajili wa malipo.

“Kama watashindwa kuwasilisha vitu hivyo ndani ya miezi miwili tuliyotoa, hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wahusika,” alisema.

TFDA YAFUNGA MADUKA YA SUPAMAKETI 29 JIJI DAR ES SALAAM

$
0
0
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefunga maduka makubwa (supermarkets) 29 kwa makosa ya kufanya biashara bila vibali mpaka pale yatakapotimiza masharti ya sheria.

Pamoja na hatua hiyo, pia TFDA imekamata bidhaa za aina tofauti za maziwa ya watoto ambazo hazikuwa na sifa ya kuuzwa nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Hiiti Sillo alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya kufanya operesheni kali ndani ya jiji.

“Wakati wa operesheni iliyoanza Machi 10 hadi 21, tulibaini maduka 39 yasiyosajiliwa na mamlaka na tukayaagiza kufunga.

Hata hivyo, kumi kati ya hayo yalitekeleza masharti haraka na kuruhusiwa kuendelea na biashara,” alisema Sillo.

Miongoni mwa maduka yaliyofungiwa ni Puma Supermarket, ambayo meneja wake, Jackson Kessi alipoulizwa kuhusu uamuzi huo, alisema anaendelea kutekeleza amri ya TFDA ya kutimiza masharti ya usajili.

“Mpaka sasa tumeshajaza fomu za usajili na ukaguzi na kuzilipia. Na tayari tumeshapata hati ya malipo. Tunachosubiri ni taratibu nyingine zinazofuata za usajili,” alisema, Kessy.

Maziwa ya watoto

Katika hatua nyingine, TFDA imekamata makopo 591 ya maziwa ya watoto yenye thamani ya Sh17.6 milioni ambayo hayajasajiliwa kwa matumizi hapa nchini.

“Jumla ya maduka 36 yamekutwa yakiuza maziwa ya watoto ambayo hayajasajiliwa na TFDA. Maziwa hayo ni SMA1, 2 na 3, Promil Gold, S-26 Gold, Nursoy, Progress Gold, Cow and Gate, Isomil 2, Infacare Soya, Nutrikids na Aptimil 1,” alibainisha Sillo.

Aliongeza Watanzania wanatakiwa kujua kuwa maziwa yoyote ya watoto yasiyoandikwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili hayastahili kuwapo nchini kutokana lugha nyingine kutoeleweka na wananchi.

Mamlaka hiyo pia ilikamata makopo 1,526 ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vyenye thamani ya Sh4.5 milioni na chumvi paketi 6,090 zenye ujazo tofauti za thamani ya Sh5 milioni zisizofaa kwa matumizi.

“Bidhaa zote hizo tulizozikamata tutaziharibu na zile zisizoandikwa kwa lugha za Kiingereza na Kiswahili tutaangalia kama tutazirudisha kwenye nchi zilikotoka,” aliongeza Sillo.

Pamoja na kutosajiliwa, mamlaka hiyo ilibaini pia kuwapo kwa bidhaa zilizoisha muda katika maduka 23.

Kwa mujibu wa Sheria ya Chakula na Dawa sura namba 219, bidhaa za chakula na dawa zisizosajiliwa haziruhusiwi kuwapo madukani.

Pia sheria hiyo inaitaka TFDA kubaini na kukamata bidhaa zote zilizovunja masharti ya sheria.

WAATHIRIKA WA MILIPUKO YA OSAMA UBALOZI WA MAREKANI WAFURAHIA FIDIA

$
0
0
Baadhi ya wanafamilia wa waliopoteza ndugu kwenye shambulio la ugaidi katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam mwaka 1998, wameelezea kufarijika kutokana na malipo ya fidia, licha ya kwamba hayawezi kurejesha uhai wa waliokufa.

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, ndugu hao walisema, licha ya mahakama nchini Marekani kuwapa fidia lakini pengo la jamaa zao halitazibika.

Wiki iliyopita, Mahakama Kuu ya Marekani, ilitoa amri ya kuwalipa fidia ya dola za Marekani 957 milioni (Sh1.555 trilioni) waathirika 23 wa shambulio hilo.

Jaji Thomas Bates katika hukumu yake alisema kati ya fedha hizo, Dola za Marekani 420 milioni (Sh670 bilioni) watapewa ndugu wa marehemu watano na waathirika wanne wa Tanzania wakati kitita kilichobaki kitakwenda kwa waathirika ambao ni Wamarekani.

Jaji Bates alisema Serikali za Iran na Sudan zitawajibika kulipa fidia hizo kutokana na kuhusika na mashambulio hayo mabaya kuwahi kutokea Afrika Mashariki.

Mmoja wa jamaa waliopoteza maisha katika tukio hilo, Kulwa Ramadhan alisema anasubiri kuletewa taarifa zaidi kuhusu taratibu za kupata fidia hiyo.

“Huwezi kuwa umeridhika na fidia kwa kuwa tumepoteza ndugu zetu lakini pia hata hicho kilichopatikana hatukukitarajia kupata,” alisema Ramadhan.

Alisema kuna baadhi ya jamaa wa marehemu watano hawakuingizwa kwenye idadi ya watakaopata fidia kutokana na kuchelewa kujiandikisha katika kesi hiyo.

“Baada ya tukio uongozi wa Ubalozi wa Marekani ulituambia tutoe taarifa zetu zote za mawasiliano na kwamba tusibadilishe namba za simu kwa ajili ya kuwasiliana kinachojiri.

“Lakini kuna baadhi ya jamaa walibadilisha namba zao na kufanya mawasiliano kuwa magumu hivyo kushindwa kuingizwa katika idadi ya wadai katika kesi hiyo,” alisema.

Ramadhan aliyempoteza pacha wake, Dotto Ramadhani alisema baadhi ya jamaa walijitokeza baadaye baada ya hatua muhimu za kesi kufanyika kitendo ambacho kiliwazuia kushiriki katika kesi.

MWALIMU NCHINI KENYA AMCHAPA FIMBO MWANAFUNZI MPAKA KUFARIKI

$
0
0
Hii ni taarifa kutoka Kenya ambapo inasemekana Wazazi katika kaunti ya Kirinyaga mkoa wa Kati nchini Kenya wameandamana kwa hasira baada ya mwalimu mmoja kumchapa mtoto mmoja wa shule ya msingi hadi kupoteza maisha.
Mtoto huyo inasemekana alichapwa kichwani na mwalimu na kuzirai na alipokua akipelekwa hospitali alifariki dunia,ambapo wazazi hao wameandamana kwa amani wakitaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.
Polisi nchini Kenya wamemtia mbaroni tayari mwalimu huyo na kwa sasa anashirikiwa na Polisi huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanywa,Mtoto huyo alikuwa katika darasa la saba katika shule ya kibinafsi iitwayo Roka Preparatory.
Wengi wa wazazi wenye watoto wao katika shule hiyo wameahidi kuwahamishia shule nyingine ambapo Nchi ya Kenya iliharamisha kitendo cha kuwachapa wanafunzi wa shule karibu miaka kumi iliyopita na hii ilikuwa baada ya visa vya walimu kuwaadhibu vikali wanafunzi na kuwajeruhi kukithiri.
Source:Bbc Swahili.

HATA IWEJE AZAMU SASA NI BINGWA TU LIGI KUU

$
0
0
BEKI wa Simba Joseph Owino amesema kuwa kitakachowabeba Azam kuelekea ubingwa wa Bara ni wachezaji wa kutosha katika kila idara tofauti na siku za nyuma.

Owino ambaye ni raia wa Uganda alisema, “ Huwezi kuifananisha Azam ya sasa na ya zamani wakati tukicheza sisi kwani ya sasa inaonekana kuwa vizuri katika kila idara pia ina wachezaji vijana wengi.

“Azam ya sasa huwezi kuifananisha hata na Simba kwani kwetu sisi hatuna wachezaji, leo idara fulani inachemka kesho nyingine nayo inashindwa. Kwenye idara moja kama beki au viungo unaweza kuona leo upande mmoja uko vizuri, kesho yake ovyo.”

 Kwa nyakati tofauti Owino aliwahi kuichezea Simba 2009 hadi 2011 kisha akajiunga na Azam  2011 hadi 2012 kabla ya kurejea Msimbazi.

NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA

$
0
0
Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.

Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni jarani wa msanii huyo kilisema licha ya Nisha kuendesha mkoko huo aina ya Toyota Harrier, sasa anatoka na mwanaume mwingine ambaye mara kadhaa wamekuwa wakimbonji pamoja.

“Sasa ana mwanaume mwingine, huenda ndiye aliyemnunulia lile gari analoendesha,” alidai jirahi huyo wa Nisha.

Nisha alipotafutwa kuzungumzia hilo alisema, ni kweli ana gari lingine ila kuhusu mwanaume anayetembea naye kwa sasa ni siri yake ila atamuanika siku si nyingi kwa kuwa wana mipango mikubwa baadaye.

Imeandikwa na Gladness Mallya na Hamida Hassan / GPL)

DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI

$
0
0
Stori:Gladness Mallya

STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha ukweli.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema ameshangaa kusikia kwenye risala hiyo kuwa waanzilishi wa umoja huo ni Kanumba, Sajuki, Jimmy Mafufu na wengineo wakati ukweli hauko hivyo.

“Ile risala imepotosha, Bongo Muvi ilianzishwa na wasanii wa muziki na filamu wakiwemo mimi,  William  Mtitu, H.Baba, Simon Mwakifwamba, MwanaFA na Fid Q na wengineo kwa lengo maalum, nimeshangaa kusikia vile,” alisema Dude huku akisisitiza kuwa, yeye hajisifii ila ukweli usipindishwe.
GPL

NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA

$
0
0
Stori: MAYASA MARIWATA

MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nay alisema anajivunia kukaribia kuitwa baba na kizuri ni kwamba msichana aliyempa mimba alikuwa na ndoto za kumuita mke wake hivyo ndoa itafungwa kabla ya mtoto kuzaliwa.

“Kikubwa naomba Mungu mipango yangu iende kama nilivyopanga kwa sababu nataka kabla mtoto hajazaliwa tuwe ni wanandoa tunaotambulika kwa Mungu kwa kufunga pingu za maisha,” alisema Nay.

Akizungumzia kubebeshwa mimba na msanii huyo, Siwema aliliambia Ijumaa: “Najisikia furaha sana kumbebea mimba Nay, tumetoka mbali naamini ndoto yetu ya kuoana itatimia siku si nyingi.”
GPL

DAZ BABA AKANUSHA HABARI KUWA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani.

Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yupo fit kuendeleza gurudumu lake la muziki.

“Kikumbwa mashabiki wangu wajue zile habari walizokuwa wanazisikia kwenye magazeti ni uzushi tu,” alisema. “Kwahiyo waelewe mimi bado nipo fit mentally, yaani kila kitu,ndio maana hata sasa hivi nimeweza kuzungumza.Watu walikuwa wanatafuta mchongo wa wao kusikika,mimi nikiwa fit nasikia kuna mtu ananizungumzia,kwahiyo nilikuwa naona kwa chini kuna beef fulani,sasa mtu anakuwa na beef anashindwa kuongea? Kawaida sisi marasta tunapenda kuambiana live, wewe kama una kinyongo unachana.Watu waelewe Daz Baba hatumii madawa na ni mwiko kwangu mimi. Kwanza ni rasta na unajua sisi tuna imani rasta ni upendo, sasa kama una upendo lazima ujipende mwenyewe, wewe huwezi kumpenda mtu kama mwenyewe hujipendi utakuwa mnafiki. Siwezi kutumia unga wakati mimi najua una madhara watu wanapinga halafu nije kutumia drugs wakati nina malengo, afanya shule nini,nina familia, kwahiyo nilikuwa kimya kutokana na project ya Tanzaniano.”

Daz Baba ambaye ana watoto wawili mapacha,amewataka mashabiki wa muziki wake kuupokea kwa mikono miwili wimbo wake mpya ‘Jela’.

WIMBO MPYA WA MICHAEL JACKSON NI FUNDISHO KWA WAZAZI..ALIANDIKA BAADA YA KUKABILIWA NA KESI YA WATOTO

$
0
0
Wimbo mpya wa mfalme wa wa Pop, marehemu Michael Jackson uliopewa jina la ‘Do You Know Where Your Children Are? Ambao utatoka May mwaka huu umedaiwa kubeba ujumbe mzito kwa wazazi.

Kwa mujibu wa ripoti zinazodaiwa kutolewa na Epic Records, wimbo huo unazungumzia simulizi la mtoto wa miaka 12 ambaye alikuwa akiishi na baba yake wa kambo aliyemnyanyasa na hivyo kuamua kukimbilia mitaani ambapo aliishia kuwa kahaba.

“She wrote that she is tired of step-daddy using her/Saying that he'll buy her things, while sexually abusing her.” Aliandika Michael Jackson kwenye wimbo huo.

Mwenyekiti wa Epic Recods ameeleza nia ya kuuachia wimbo huo, “we are extremely proud and honoured to present this music to the world.”

Wimbo huo utakuwa miongoni mwa nyimbo 8 mpya ambazo zinatarajiwa kutoka zikiwa chini ya Epic Records na inaaminika kuwa Michael aliandika wimbo huo baada ya kukutwa hana hatia katika kesi ya unyanyasaji kijinsia wa watoto wa kiume mwaka 2005.

COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA

$
0
0
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.

Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na Diamond na kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz #AfricanPrince #NaijaTanzania”

Dr Sid anafanya kazi chini ya Mavin Records ya Don Jazzy na alishawahi kushinda tuzo kubwa duniani ikiwemo ‘Hiphop World Awards’ ambapo mwaka 2011 alichukua tuzo mbili za Hiphop World Revelation of the year na Best Pop Single.

VYBZ KARTEL JAMAICAN DANCEHALL STAR SENTENCED TO LIFE IN PRISON

$
0
0
On March 13, embattled Jamaican rapper, songwriter and dancehall performer Vybz Kartel was found guilty of the August, 2011 murder of Clive “Lizard” Williams. Less than a month later, on April 3, Jamaica’s Supreme Court sentenced Vybz to life in prison

Vybz, whose real name is Adidja Palmer, will become eligible for parole after he serves 35 years of his sentence, according to Billboard. Vybz’s associates, Shawn Campbell (a.k.a. Shawn Storm), Kahira Jones and Andre St. John, were also found guilty in the brutal killing, and they all received life sentences as well.

Vybz’s attorneys are planning to appeal the conviction, a process that will take six to 12 months. They argue that evidence in the case was fabricated and altered, including text messages on Vybz’s phone that referred to Clive’s remains as “mincemeat” and described the rapper’s plans to run, Billboard reports.

Vybz will also face charges for “attempting to pervert the course of justice as related to the Williams murder case” after he allegedly told conspirators to file false robbery charges against Clive after the murder to make it seem like he was still alive.

Vybz Kartel Found Guilty Of Murder
Clive’s murder took place at Vybz’s home in Havendale, St Andrew after a fight about missing firearms. His body was never found. An eleven-member jury decided the fate of Vybz and his associates in less than two hours in a 10-1 decision on March 13.

Shawn Campbell, Kahira Jones and Andre St. John were also found guilty in Clive’s fatal beating. A fourth associate, Shane Williams, was the only accused to be found not guilty.

The trial, which lasted for 65 days, was the “longest running criminal hearing in the history of Jamaica’s circuit court system,” according to Billboard magazine.

HOW TO BALANCE YOUR FINANCIAL PLAN AND PRIORITIES

$
0
0
The key is not to prioritise what is on your schedule, but to schedule your priorities – Stephen R. Covey, American author of ‘The Seven Habits of Highly Effective People’
Indeed, very few people in the world are independently wealthy and have enough money to achieve all their financial goals simultaneously. Most individuals play a juggling game with money as they work toward several different financial goals. All financial goals are important, but some goals are farther down the list of financial priorities.

Whether you know it or not, you could be meeting your financial priorities often. For instance, you may have decided that settling this month’s electricity bill is more important than buying a new piece of furniture. But sometimes it seems like, try as you might, you never have enough money at the end of the month.

Setting priorities is fairly simple – you just need to decide what issues you need to take care of and then put the most important ones on top of the list. The five most basic priorities that you must deal with are obtaining your necessities, meeting other financial obligations, repaying your debts, building an emergency fund and saving for your goals.

1. Necessities
First of all, there are basic principles that pertain to everyone and which are a matter of survival. These are food, water and shelter. Therefore, to begin with, you need to do what it takes to ensure that your basic needs are met. This means that you have to:

Pay the rent or mortgage
Settle the utility bills
Buy your groceries
You should not spend another shilling before making these payments. If you put them off, you will start experiencing money problems much sooner than you would if you had delayed paying off other expenses instead.

2. Other obligations
Next, you need to consider other day-to-day expenses, such as transportation, which you incur as you seek to maintain your source of income. In the same breath, school fees, medical expenses and other such financial responsibilities you have must be taken into account.

These should be considered as important as your necessities, since failing to provide for them may result in you having to obtain a loan to make it to the end of the month. However, you should consider ways of cutting down these outflows so that you do not just get by after settling these payments.

3. Debt repayments
Making the minimum repayments on your loans should be high on your list of priorities, to avoid the fees and penalties that could otherwise occur. However, this may not be enough to get you out of debt, since high interest rates could still make your balance much higher.

Ideally, you should use any extra income to pay down your high interest debts aggressively. After eliminating your debts, you will now have some extra money to put towards other financial goals.

4. Emergency Fund
No matter how hard you try to plan, the unexpected always happens, which is why you need to be prepared by having an emergency fund. Not only will it help you in dealing with unanticipated expenses, but it will also prevent you from getting into debt in the future.

Hence after settling your expenses, you should strive to save enough money to sustain you for six months. This will assure you peace of mind knowing that you have something to get by with should you find yourself short of cash.

5. Savings
If you manage to make it until this point, then your finances must be in good shape. Having savings so far down on your list of priorities does not necessarily mean that putting away money towards such important financial goals as your retirement should come last.

In fact, due to the tax exemptions available on retirement contributions made directly from your pay check, it would be more advantageous to have your employer make these payments to your retirement benefits scheme. Automating your other savings would also save you time and effort.

As for everything else, remember that it costs money, and with so many things to spend it on, you must balance your finances. The key lines in determining what your financial priorities are and sticking to them. And of course, you must be willing to rethink them when the need arises.

UWEZI AMANI KAMA HAWA NI WANAFUNZI NA WAPO DARASANI...KUMBAF ZAO

$
0
0
Uwezi amini ukiona hii picha unaweza zani wapo kwenye mashindano ya umiss ama backstage wakibadili nguo kwa ajili ya show ....lakini ukweli hao walikuwa Darasani kabisa baadhi wakaamua kuchochojoa nguo kwa kisingizio cha joto kali ....Maadali yako wapi ?

JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA MAKALIO NI ASSET KUBWA KWA MWANAMKE KULIKO SURA ?

$
0
0
Nimekuwa nikiona picha mbali mbali za wadada wakiwa wanapiga huku wamebinua makalio huko Instagram mpaka nafika najiuliza siku hizi makalio ndio chat ?  Pia naona Wadada mbali mbali wanapata umaarufu tu eti kwa sababu ya makalio ..kama dada yetu Agness masogange kila kukicha anasifiwa makalio ..Je siku hizi ni Deal kuliko Sura?

BEN POL AWATAKA WASANII WASIWE NA MTIMA NYONGO KWA DIAMOND NA AY

$
0
0
Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amewataka wasanii wenzake wa Tanzania kumuunga mkono Diamond na AY baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye kampeni ya kilimo inayohamasisha vijana wa Afrika kukipa nafasi kilimo.

Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio hivi karibuni,Ben Pol alisema hakuna haja wa kuwa mtimanyongo kwa Diamond na AY.

Mimi nachoweza kusema ni kwamba hao ni ndugu zetu,wameenda kutuwakilisha vizuri,yaani hakuna haja ya kuwa na mtima nyongo,yaani ‘ooh ‘dah kwanini sio mimi’ hapana! Kwasababu hiyo imekuwa hivyo kwasababu wametakiwa watu wawili, kwahiyo suala ni watu wawili wowote wanaweza wakaenda kurepresent, ni suala jema ndo tunavuka mipaka, itasaidia mabadiliko mengi ikiwa pamoja na masuala ya bei na value ya msanii.Kwahiyo tunapata exposure tunajaribu kujifunza pia vitu vingi itatusaidia as wasanii,” alisema.
-Bongo5
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live


Latest Images