Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live

Hatarii:Mwalimu Ahukumiwa Miaka 10 Gerezani Kwa Kubeba Mimba ya Mwanafunzi wake ...!!!!

$
0
0
teacher1
Mwalimu mmoja wa Shule ya elimu ya kati ya Houston, Marekani, Alexandria Vera (24).


Mwalimu mmoja wa Shule ya elimu ya kati ya Houston, Marekani, Alexandria Vera (24) amehukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kutoka kimapenzi na mwanafunzi wake hali iliyopelekea mwalimu huyo kupata mimba.

Akitoa hukumu kwa mwalimu huyo, Hakimu wa Mahakama ya Houston, Michael McSpadden alisema hukumu hiyo itakuwa fundisho kwa walimu wengine kwani wanataka walimu wawafundishe wanafunzi na sio kufanya mambo mengine.
1024x1024
“Tunataka wanaotoa elimu wawafundishe wanafunzi wetu, tunahitaji mikono yao iwe mbali na wanafunzi,” alisema McSpadden.

Aidha McSpadden alisema alitaa kumpa adhabu ya miaka 30 gerezani lakini aliamua kumpunguzia adhabu kutokana na kuwa na mimba ya mwanafunzi huyo ambaye alikuwa akimfundisha shuleni na kuishi nyuumba moja.

Awali Alexandria Vera alisema kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na mwanafunzi huyo mwaka 2015 wakati alipokuwa darasa la nane na baada ya hapo walianza kuishi pamoja lakini kwa ruhusa ya wazazi wa mwanafunzi.

Alisema wazazi wa mwanafunzi huyo walikubali wawili hao kuishi nyumba moja ili awe anamfundisha lakini walianza kuwa wakishiriki tendo la ndoa karibu kila siku jambo lililosababisha mwalimu kupata mimba.

Nae mmoja wa wanafunzi wa shule ambayo mwalimu huyo alikuwa akifundisha alisema kuwa amewahi kushuhudia mwanafunzi mwenzake akimshika mwalimu makalio mbele ya darasa bila mwalimu kuchukua hatua yoyote.

Download Application ya Udaku Special Blog Kwa Kubonyeza Hapa

Mapokezi ya Diamond Gabon Yatisha,Apokelewa na Rais wa Nchi Hiyo PICHAZZZ...!!!

$
0
0
diamond-3
Diamond akiwasili nchini Gabon.
MKALI wa Afro Pop, Diamond Platnumz jana alitua nchini Gabon na kupkelewa na rais wa nchi hiyo, Ali Bongo ambapo msanii huyo anatarajiwa kufanya shoo kubwa kwenye uzinduzi wa Mashindano ya AFCON nchini humo yanayoanza leo.


Katika mechi za ufunguzi Kombe la AFCON, leo michezo miwili itapigwa ambapo wenyeji Gabon watakuwa wakimenyana na Guinea-Bissau saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Angondje huku Burkina Faso wakikipiga na Cameroon saa 4:00 usiku kwenye uwanja huohuo.
diamond-4
diamond-5
Diamond akiwa katika picha ya pamoja na Rais Ali Bongo wa Gabon pamoja na msanii wa Nigeria, David Adekeye ‘Davido’, Akon pamoja na wasanii wengine na watoto nchini humo.
diamond-2diamond-3
Rais wa nchi Gabon, Ali Bongo akisalimiana na Diamond Platnumz.
diamond-4
Diamond Platnumz akisalimiana na Akon. 

Download Application ya Udaku Special Blog Kwa Kubonyeza Hapa

Pata Bidhaa za Kiafya Kutoka Kwa Markson Beauty...Kungarisha Ngozi, Kukuza Makalio na Vingine

$
0
0


MWAKA MPYA NA
MAMBO MAPYA

Katika kusherehekea miaka kumi na saba (17) MARKSON BEAUTY tumezindua bidhaa mpya za mwaka 2017 kwa mafanikio makibwa.
Bidhaa mpya zimeboreshwa mara 3 zaidi hivyo zina matokeo ya haraka sana. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kuthibitishwa ktk mamlaka husika. (NO SIDE EFFECTS).j

BIDHAA MPYA NA BEI:-
1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @120,000/=
2.Kuongeza shepu (hips na makalio) kwa (a)Dawa ya kunywa au kupaka @150,000/=
(b)Vidonge @170,000/=
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima kwa :- (a)mafuta @120,000/=
(b)Vidonge @150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
5. Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa :-
(a)Gely ya kupaka @120,000/=
(b)Vidonge @120,000/=
(c)Mashine original ya HANDSOME UP @180,000/
6.Kuondoa mvi milele zisiludi tena @120,000/=
7.Kuongeza hamu ya kula, unene na uzito wa mwili mzima @120,000/=
8.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa :-
(a)Dawa ya kunywa au kupaka @ 120,000/=
(b)Mkanda (corset) 150,000/=.
9.Kubust maziwa na kuyasimamisha @100,000/=
10.Kushepu miguu na kuwa minene @120,000/=
11. Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @100,000/=.
12.Kurudisha usichana (bikra) @120,000/=
NB. HAKIKISHA UNAPATA RISITI YENYE MUHURI HALISI WA MARKSON CO PAMOJA NA GARANTII ILI KUKUHAKIKISHIA KUFANIKIWA KWAKO.

Popote ulipo duniani
Wasiliana nasi kwa (+255) 0767447444 au 0714335378. Utapata huduma zetu.
(Google seach MARKSON BEAUTY)

Yanga Yampa Mchezaji Huyu Ngao ya Ushujaa

$
0
0

Club ya Young Africans Sports Club alimaarufu kama Yanga ambayo ilishiriki katika michuano ya 11 Kombe la Mapinduzi ambayo imemalizika jana kwa Azam FC kuibuka mabingwa baada ya kuwalaza bao 1-0 Simba SC.


Yanga imeamua kumtunuku ngao ya ushujaa kiungo, wimba na mshambuliaji wake wa pembeni Saimoni Msuva kutokana na mchango wake mkubwa katika klabu hiyo pia Msuva ameibuka kuwa mfungaji bora wa timu hiyo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kutupia jumla ya magoli 4 mbali ya goli hizo katika jumla ya magoli 8 ambayo Yanga imepata nje ya magoli 2 ya matuta, Msuva ametoa usaidizi ya magoli 2.

"Msuva amekuwa mchezaji tegemeo kwenye timu katika michuano mbalimbali inayoshiriki klabu hali inayomfanya kusimama kama ngao muhimu ya ushindi. Kasi yake, utulivu na kufuata maelekezo ya waalimu wake vinamfanya kuwa bora kila uchao. Kubwa zaidi kwa mchezaji huyu ni nidhamu binafsi,uelewano mzuri na wenzake, ucheshi na moyo wa kujituma muda wote vinamfanya kung'ara kila uchao". Yanga

Rasmii:Harusi za Gharama Kubwa, Sherehe Mahotelini Vyapigwa Marufuku ..!!!

$
0
0

Mji wa Bula Hawa nchini Somalia umepiga marufuku harusi za gharama ya juu ili kuwashawishi vijana wengi zaidi kuoa.


Kamishna wa Mji wa Bula Hawa uliyo karibu na mpaka wa Kenya, Mohamud Hayd Osman amesema kwamba, mbuzi wasiozidi watatu ndio wanaofaa kuchinjwa pekee ili kuwalisha wageni na kwamba sherehe katika hoteli hazitaruhusiwa.

Amesema kuwa mahari itakuwa chini ya dola 150 (sawa na TZS 350,000/=) pekee ambapo uamuzi huo umekuja baada ya maafisa kubaini kwamba takriban watoto 150 walizaliwa nje ya ndoa hivi karibuni

Kamishna huyo ameongezea kwamba gharama ya harusi, ukosefu wa ajira na kiangazi ndio maswala yanayowafanya watu kulihama eneo hilo.

Waandishi wanasema sio kawaida kwa familia ya bwana harusi kutumia takriban dola 5000 katika harusi nchini Somalia.

“Mafunzo ya kiislamu yanasema kuwa ndoa inafaa kuwa ya gharama ya chini,” alisema Osman.

Hatua ya kupunguza matumizi kuhusu sherehe za kifahari pamoja na matumizi mengine baada ya ya maafisa kugundua kwamba ni kwa nini watoto 150 walizaliwa nje ya ndoa mjini humo. Wasichana walikuwa wanakataa kuolewa hadi pale kitita cha pesa kitakapotumika kwa dhahabu pamoja na fanicha, alisema.

 Download Application ya Udaku Special Blog Kwa Kubonyeza Hapa

Ngassa Aamua Kuichana Klabu ya Yanga,Adai ni Dhaifu Kuliko Simba..!!!

$
0
0

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga anayechezea Mbeya City, Mrisho Ngassa amesema Yanga inahitaji wachezaji wawili wa kuchezesha timu ili kuwa na uwiano mzuri.


Akizungumza  Ngassa alisema Yanga inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuuchezea mpira na kutoa pasi za mwisho.

“Ukiangalia Yanga wanavyocheza kwa sasa, unaona kabisa inakosa watu wa kuchezea mpira na kutoa pasi za mwisho kama alivyo Haruna Niyonzima ili wawe na uwiano mzuri katika timu, lazima wawapate hao watu,”alisema Ngassa.

Pia Ngassa alisema sababu hiyo ndio chanzo cha Yanga kufanya vibaya katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba.

“Mechi ilikuwa nzuri, Simba waliwazidi Yanga katikati kwani walikuwa wanacheza mipira mirefu kumtumia Msuva peke yake, hivyo Simba wakagundua njia hiyo, baada ya kusogea pembeni wakaua mipango ya Yanga,” alisema Ngassa.

Ngassa alisema wachezaji wengi wa Yanga kwa sasa wamechoka baada ya kucheza michezo mingi ya kimashindano, hivyo miili yao inahitaji kupumzika. 


Barua ya TEC Kwenda Kwa Maaskofu wa Makanisa Yote Kuombea Mvua Inyeshe

Rasmii: Lulu Aamua kutangaza 'Mahaba Niue' Kwa Ali Kiba,Soma Hapa Alichokisema 'LIVEE'..!!

$
0
0

Msanii wa filamu nchini Lulu Michael ambaye wiki hii alikuwa akitangaza kipindi cha 'NgazKwaNgaz' alifunguka na kuweka wazi kuwa msanii Ommy Dimpoz na Alikiba ni watu ambao wamekuwa wakifanya vizuri kila wanapokutana. 


Lulu Michael alidai kuwa wakali hao wa bongo fleva wamekuwa wakifanya vyema kila walipokutana na kutengeneza kazi nzuri ambazo zinapendwa na watu. 

"Katika Top 20 zangu mwaka 2016 zilizonifurahisha sana kazi ya Alikiba na Ommy Dimpoz inakuwa namba 4, yaani Ommy Dimpoz akikaa na Alikiba wanafanya kitu kizuri, ile verse ya Alikiba kwenye Kajiandae ni tamu sana unaweza kuinywea chai bila hata andazi. Sijui sasa Alikiba ndiyo mjanja wa Ommy Dimpoz? 

Maana nakumbuka hata ule wimbo wao wa kwanza 'Nai nai' ulifanya vizuri sanaa" alisema Lulu Michael 
Mbali na hilo Lulu Michael anasema sababu kubwa kuipenda video ya 'Kajiandae' kwanza namna wasanii pamoja na dancers walivyoweza kuvaa vizuri, lakini pia mwanamke aliyetumika kama video queen alikuwa na muonekano mzuri wenye kuvutia na kuleta utofauti.

Miujiza ya Sheikh Sharifu Rashid Kutoka Bagamoyo Pwani

$
0
0

MIUJIZA YA SHEKH SHARIFU RASHID KUTOKA BAGAMOYO PWANI, (RUDISHA MAHUSIANO YAKO NDANI YA MASAA 48 TU) ASANTE KWA KUENDELEA KUMPIGIA SIMU SHEKH SHARIFU RASHID KWA WALE WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA SHUKRANI:

SHEKH SHARIFU RASHIDI ni mtaalamu wa tiba mbalimbali za asili, anatumia kitabu cha quran, dawa za asili, dawa za kiarabu na majini, anazo dawa za mapenzi, nguvu za kiume, chango, ngiri maji na n.k, anakuvutia mpenzi alie kuacha au alie mbali, pia anatoa pete za bahati zilizoambatanishwa na jini mali kulingana na nyota yako, anaouwezo mkubwa wa kutumia jina la muhusika kwa kutatua tatizo lako, anaouwezo wa kumrudisha mtu aliepotea kimiujiza, pia anatibu kwa njia ya simu popote ulipo.

WASILIANA NAE KWA SIMU NA WHATSAPP NO: 0718-668347. 0685-224047, 0767-204308 na 0627-251404 au follow@shekh_sharifu_rashid, Email:shekhsharifurashid@gmail.com

Video: Msikilize Rais Magufuli Akitoa ONYO Kali Kwa Magazeti

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameyaonya magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi na kupotosha wananchi kwa kuwa vinahatarisha amani ya nchini.

Ametoa onyo hilo jana wakati akikagua na kufungua Kiwanda cha Jambo cha kuzalisha vinywaji baridi mkoani Shinyanga.

Rais Magufuli alisema Serikali haitayavumilia magazeti hayo mawili kwa kuandika habari za uchochezi ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi kama ilivyotokea katika nchini ya Rwanda na kupelekea mauaji ya kimbari nchini humo.

Mtazame na kumsikiliza hapo chini akitoa onyo hilo

Afande Sele Awaomba Msamaha Mashabiki zake

$
0
0
BAADA ya kutangaza kuachana na siasa, mwanamuziki wa Hip Hop, Selemani Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kuwaomba msamaha mashabiki zake aliowakwaza kipindi yuko kwenye siasa na sasa alivyojiondoa.

Akizungumza na Gazeti la Risasi Jumamosi, Afande Sele alisema anawaomba msamaha wote kutokana na kuingia na kutoka kwenye siasa hivyo wamuunge mkono kwenye muziki kwani amerudi rasmi.

“Nawaomba mashabiki zangu wanisamehe, wanipokee kwa mara nyingine kwenye muziki kwani nakuja na kazi mpya nzuri, nguvu zote nimezielekeza kwenye muziki sasa,” alisema Afande Sele.

Hivi karibuni Afande Sele ambaye alikuwa ni mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo pia aligombea ubunge kwenye uchaguzi uliopita, alitangaza kuachana na siasa na kurudi rasmi kwenye muziki

Msuva Atunukiwa Ngao ya Ushujaa na Uongozi wa Yanga Kwa Sababu Hizi Hapa..!!!

$
0
0

Klabu ya Young Africans Sports Club alimaarufu kama Yanga ambayo ilishiriki katika michuano ya 11 Kombe la Mapinduzi ambayo imemalizika jana kwa Azam FC kuibuka mabingwa baada ya kuwalaza bao 1-0 Simba SC. 

Yanga imeamua kumtunuku ngao ya ushujaa kiungo, wimba na mshambuliaji wake wa pembeni Saimoni Msuva kutokana na mchango wake mkubwa katika klabu hiyo pia Msuva ameibuka kuwa mfungaji bora wa timu hiyo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kutupia jumla ya magoli 4 mbali ya goli hizo katika jumla ya magoli 8 ambayo Yanga imepata nje ya magoli 2 ya matuta, Msuva ametoa usaidizi ya magoli 2.

"Msuva amekuwa mchezaji tegemeo kwenye timu katika michuano mbalimbali inayoshiriki klabu hali inayomfanya kusimama kama ngao muhimu ya ushindi. Kasi yake, utulivu na kufuata maelekezo ya waalimu wake vinamfanya kuwa bora kila uchao. Kubwa zaidi kwa mchezaji huyu ni nidhamu binafsi,uelewano mzuri na wenzake, ucheshi na moyo wa kujituma muda wote vinamfanya kung'ara kila uchao". Yanga 


Mrembo Kidoa Adaiwa Kuwauza Vijana Mashoga Kwa Wanaume...Mwenyewe Afunguka

$
0
0
Na Andrew Carlos, Gazeti la Ijumaa Toleo la Jan 13, 2017

VIDEO Queen ambaye pia ni mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kuwauza vijana mashoga kwa wanaume huku mwenyewe akikanusha, Ijumaa limetonywa. Madai ya Kidoa kufanya dili hilo haramu yaliibuliwa hivi karibuni baada ya kuwauza vijana mashoga kwa wanaume huku mwenyewe Madai ya Kidoa kufanya modo huyo kuonekana maeneo tofauti ya starehe akiwa na wanaume hao tata na ndipo ikadaiwa kuwa, yeye ndiye anawakuwadia.

“Siku hizi Kidoa ana marafi ki wengi mashoga na wanaume wakiwataka humtumia yeye kuwaunganisha, ni dili analolifanya kwa siri sana,” kilidai chanzo hicho.

kidoa-2Kufuatia madai hayo, Ijumaa lilimpigia simu Kidoa na kumuomba namba ya simu ya shoga mmoja (jina tunalihifadhi), akaitoa bila shida. Alipopigiwa kijana huyo na kuchomekewa mambo ya mapenzi alimtaka mwandishi wetu amtafute siku iliyofuata ili wapange jinsi ya kumuomba namba ya simu ya shoga mmoja (jina tunalihifadhi), akaitoa bila huyo na kuchomekewa alimtaka mwandishi

kukutana. Hata hivyo, kesho yake simu ya kijana huyo haikuwa hewani. Akizungumzia madai ya kwamba yeye anauza baadhi ya marafi ki zake mashoga kwa wanaume, Kidoa alisema: “Jamani hao ni marafi ki zangu tu, naanzaje kuwauza kwa mfano? Ipotezee bwana.”

Hivi Ndivyo Mashabiki wa Yanga Wanavyowatania Wenzao wa Simba Huko Mitandaoni Baada ya Jana Kufungwa na Azam Fc,Ona Hapa Livee..!!!

$
0
0
simba-9
JANA usiku Januari 14, 2017 kulikuwa na mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa kwenye uwanja wa amaan, Zanzibar kati ya Simba SC na Azam FC, mchezo ambao uliisha kwa Azam FC kufanikiwa kutwaa kombe hilo kwa kuifunga Simba SC bao 1-0, bao pekee lililofungwa na kiungo Himid Mao mnamo dakika ya 13 ya mchezo huo.


Ikumbukwe kuwa katika mchezo wa kuwania kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali ya kombe hilo, Yanga wapokea kichapo cha bao 4-0 kutoka kwa Azam FC licha ya timu zote mbili kufuzu na kuingia hatua hiyo.
simba-3 
Katika hatua ya nusu fainali Yanga alikutana mtani wake wa jadi, Simba siku ya Jumanne na Simba kufanikiwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kutoka suluhu ndani dakika 90 za uwanjani hivyo kuwaondoa kwenye mashindano hayo.
simba-11 
Baada ya kipigo hicho Yanga walishambuliwa mitandaoni na watani wao wa jadi (Simba) kwa kipigo hicho na kile cha Azam kilichopewa jina la 4G.
simba-12 
Kufuatia kipigo cha jana cha Simba kutoka kwa Azam, baadhi ya mashabiki wa watani wao wa jadi Yanga wamekuwa wakiwatania mitandaoni kwa kuweka picha za aina mbalimbali za kuwakejeri kutokana na kipigo hicho.simba-1
simba-8
simba-2
simba-10
Zicheki mwenyewe.

Tumia Mbinu Hizi Nne Kumdhibiti Mwanamke Mpenda Pesa..!!!

$
0
0

Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana.


Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao
wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha!

Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana.

Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.”

Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha.

Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha.

Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia.

Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili.

Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah.

Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone.

MWELEZE UKWELI
Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile.

Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi.

JENGENI KUSAIDIANA
Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake.

Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi.

ACHA UFUJAJI
Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo!

Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu.

BAKI NA HILI
Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie.

Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo.

Ukiona anang’ang’ania mapenzi ya siri, ujue ana lake jambo

$
0
0

Uhali gani mpenzi msomaji, leo utakuwa nami, Lulu Diva, wengi wananifahamu kwa sababu ya kazi yangu ya uanamitindo, na msanii wa filamu za Kibongo na Bongo Fleva, leo nataka nizungumze nawe msomaji kuhusu mambo yahusuyo mapenzi.


Kuna baadhi ya watu, wamekuwa na kawaida ya kutaka mapenzi yao yawe ya siri. Umewahi kusikia au kushuhudia watu wawili wanaopendana, wakiendesha uhusiano wao kwa siri kubwa?

Najua wapo wengi ambao wapo kwenye uhusiano wa siri na wanazo sababu zinazowafanya waishi kwenye aina hiyo ya uhusiano, lakini je, kama unampenda, na yeye anakupenda kwa dhati, kuna haja gani ya kuishi kwenye uhusiano wa siri? Ukiona mtu anang’ang’ania mapenzi ya siri, ujue ana lake jambo na inawezekana ikawa ni miongoni mwa nitakayoyataja.

Yawezekana umejikuta tu katika mkumbo wa mapenzi ya siri! Yaani mwenzi wako ndiye anayekulazimisha muishi aina hiyo ya maisha lakini ndani ya moyo wako unaona kama unaidhulumu nafsi yako.

Unatamani kila mtu ajue kwamba ninyi ni wapenzi lakini mwenzi wako anakukataza kufanya hivyo. Pengine hata anakupa vitisho kwamba utakapotoa siri ya uhusiano wenu, huo ndiyo utakuwa mwisho wa mapenzi yenu.

Shtuka! Chunguza kwa kina kwa nini mwenzi wako anataka muishi maisha ya mapenzi ya siri wakati kila siku anakwambia kwamba anakupenda na yupo tayari kufanya chochote kwa ajili yako.

Sababu kubwa ya kwanza inayowafanya wengi wapende kuwa na uhusiano wa siri na wenzi wao ni kwa sababu wanakuwa wapo kwenye ndoa halali lakini kwa sababu ya tamaa zao, wanaamua kuchepuka. Katika kuchepuka huko, hawawaambii wenzi wapya ukweli kwamba tayari wanao wake au waume zao halali.

Wanawadanganya kwamba wapo singo ili wawatumie kimapenzi na watakapomaliza haja zao ndiyo wawaeleze ukweli na kuvunja mapenzi yao. Upo ushahidi wa wanawake wengi ambao walitongozwa, wakakubali kuanzisha uhusiano wa siri na wanaume na kukaa nao kwa kipindi kirefu lakini baadaye wakaja kugundua kumbe wao ni ‘spea tairi’.

Vilevile wapo wanaume ambao wameingizwa mkenge kwa kuingia kwenye uhusiano wa siri na wanawake, wakiwahudumia na kuwatimizia kila kitu lakini kumbe nyuma ya pazia ni wake za watu.

Sababu nyingine inayosababisha wengi wapende kuishi na wenzi wao kwa usiri, ni tabia ya umalaya au uhuni anayokuwa nayo mtu. Kwamba katika sehemu hiyohiyo moja, wewe unadhani uko peke yako lakini kumbe kuna wenzako kadhaa unapanga nao foleni. Kwa kuwa kila mmoja anatunza siri, inakuwa vigumu kujuana.
Bila shaka umenielewa, kwa hiyo ni suala la kujiongeza tu, kuwa makini.

Mrembo Amber Lulu Hataki Tena Umodel wa Video Ageukia Fani Hii

$
0
0

Mrembo Amber lulu Anadai kwamba kwasasa amejikita zaidi kwenye Muziki! Mambo ya Umodel/Video Vixen Piga Chini! Mwenyewe anadai hayalipi sana....Tegemea kusimia nyimbo za mrembo huyo hivi karibuni..Unakipi cha kumshauri wewe kama Mdau!?

Fahamu Madhara ya Matatizo ya Nguvu za Kiume Kwa Wanawake na Jinsi ya Kuyakabili..!!!

$
0
0
unhappy-young-couple-sitting-on-bedMatatizo haya ya nguvu za kiume humuathiri mwanaume  na mwanamke  kwa  ujumla. Tatizo  hili   hulalamikiwa  aidha  na  mwanaume  mwenyewe  au  mwanamke  kwa kutofikishwa  kileleni  na  kutofurahia  tendo  la  ndoa, hasa  kwa wale walio katika mahusiano.


Zipo  sababu  nyingi    kama  tutakavyokuja kuona  lakini  matatizo  haya humuathiri  mtu  zaidi  kisaikolojia anapohisi  anashindwa  kutimiza  wajibu  wake au mwanamke kujihisi hapati haki yake ya kufurahia tendo.

 Mtu   anaweza  kuwa  na  tatizo  dogo  ambalo  kama  ni  mshtuko  na  anapopata  mshtuko  huo  hujikuta  tatizo  linazidi  hivyo  kujikuta  mgonjwa  yaani ana tatizo.

Kwa hiyo  ni  vema  unapotokewa  na  tatizo  hili  usikimbilie  kutumia  dawa  hasa  za  asili  na hata  za  madukani  bali  waone  madaktari  wakufanyie  uchunguzi  katika  hospitali  kubwa.

JINSI TATIZO LINAVYOGAWANYIKA

Tatizo  la  nguvu  za  kiume  limegawanyika  katika   makundi mawili;  Kwanza  ni  tatizo  la  kuzidi kwa  nguvu  za  kiume.

Watu  wengi wamezoea  ukisema  tatizo  la  nguvu  za  kiume ni  upungufu,  lakini  lipo hili  la  kuzidi  isivyo  kawaida  na  kujikuta  mtu  anashindwa  kufikia mwisho au mshindo,  hali  hii  tutakuja  kuiona  kwa  undani.
Tatizo  la  pili  ni  upungufu  wa  nguvu, hili  ndilo  tatizo  lililozoeleka  sana  miongoni  mwa wanaume  wengi. 

 Upungufu  wa  nguvu za kiume unaweza  kuwa  mdogo  au mkubwa,  nao  una sababu  zake  tutakuja  kuziona.

KUZIDI KWA NGUVU ZA KIUME

Hali  hii  kitaalamu  inaitwa  ‘Painful  Abnormal  Erection  of  The  Penis’.  Mwanaume  mwenye hali  hii  hulalamika  maumivu  makali  ya  uume pale  unaposimama  na  hushindwa  kumaliza tendo. Hali  hii  inaweza  kuwa ya muda  tu  au  ikatokea  mara  moja  moja  na  wakati  mwingine  inaweza  kuendelea  kwa  muda  mrefu.

Chanzo  cha tatizo hili  ni  matatizo  au  magonjwa   ya  mfumo  wa  fahamu,  kulazimisha   uume usimame  kwa  kutumia  madawa  au  njia  yoyote  ile,  uwepo  wa  mawe  katika  kibofu  cha mkojo, maambukizi  katika  njia  ya mkojo, maambukizi  ya tezi dume,  kuziba  kwa  mishipa  ya damu  ya  vena  inayotoa  damu  kwenye  uume  kurudisha  mwilini,  na  hii  huwatokea  zaidi wagonjwa  wa  siko  seli.

Pia matatizo  ya  mfumo  wa  damu  hasa  yanayoambatana  na  kansa  ya damu  au  magonjwa  yanayoathiri  mfumo  wa  damu.

MATIBABU

Tiba  sahihi  ya  tatizo  hili  ni  kutafuta  chanzo  cha tatizo  la  uume  kusimama   kwa  muda mrefu  hadi  mtu  anapata  maumivu. Endapo  hali  kama  hii  inatokea, basi  epuka  kuvaa  nguo za  kubana  au  nguo  za  ndani, jifunge tu shuka  au  msuli na  endapo  utavaa  nguo  kama suruali  au  bukta  basi  hakikisha  uume  unauzungushia  pamba  ya  kutosha, yaani  usikwaruze  kwenye  nguo  ngumu  na  ikaleta  kikwazo  kitachoongeza  maumivu.

 Mgonjwa  apelekwe  haraka  hospitali  ambapo  atapatiwa   matibabu.  Wengi   hutokewa  na hali   hii   kwa   kutumia   dawa   za   kuongeza   nguvu   za   kiume   bila   ya   ushauri wa daktari.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ‘IMPOTENCE’

Hali hii huitwa ukhanithi, hapa mtu anashindwa kabisa kufanya tendo la ndoa kwa kutokuwa na uwezo, nguvu zinapungua sana au zinakuwa zimekwisha kabisa.

Upungufu wa nguvu za kiume hutofautiana  na ugumba. Katika suala la ugumba mwanaume huwa hawezi kumpa mwanamke  mimba  kwani  mbegu  zake za  kiume  huwa  hazina  ubora.

CHANZO CHA TATIZO

Tatizo  hili  limegawanyika  katika  makundi au sehemu kuu mbili kitaalamu. Kwanza ni tatizo la upungufu wa nguvu za kiume la  muda  mfupi  na  pili  ni  tatizo  la kudumu.

Aina  hizi  mbili  huweza  kumtokea  mwanaume  yoyote lakini hili  la  muda  mfupi  humtokea mtu  yeyote  kutokana  na  hali  ya maisha ya kawaida kwani  si kila  siku  mtu  anakuwa  sawa. Majukumu  ya  kila   siku yanaweza  kukufanya  ukapoteza  hamu na  usiweze  kuwa  na nguvu za kutosha kwa wakati fulani.

“Euthanasia”: Mauaji ya Kumpunguzia Mgonjwa Maumivu, Mateso!

$
0
0
liver-cancer_cambodian-patients2
WIKI zilizopita, aliyekuwa mmoja wa wapiganiaji  utawala wa wengi  Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu,  wa Kanisa la Anglikana,  akiadhimisha mwaka wa 85 wa kuzaliwa kwake, alisema anategemea kutoa maombi ya kufanyiwa ‘mauaji ya huruma’ kwa madaktari iwapo hali yake ikitokea kuzorota kadri umri unavyozidi kusonga mbele.


“Ninataka kuyamaliza maisha yangu kwa kifo cha kusaidiwa.  Watu wanaokabiliwa na kifo wana haki ya kuchagua jinsi ya kumwacha Mama Dunia kwa heshima,” aliandika katika gazeti moja akiisifia Canada na Jimbo la California (Marekani) ambako wagonjwa wanaokabiliwa na magonjwa yenye maumivu na mateso  makali huruhusiwa kifo cha heshima.

‘Mauaji ya huruma’ aliyokuwa akiyamaanisha Tutu ni yale yatolewayo kwa watu wanaougua magonjwa yenye maumivu na mateso makali na ambayo mwisho wake ni kifo.  Mauaji hayo kwa Kiingereza huitwa ‘Euthanasia’ (hutamkwa Yuthenazia).  Euthanasia ni neno lenye asili ya Kigiriki ambalo humaanisha ‘Kifo Kizuri”.
a
Vifo vya Euthanasia viko makundi makuu matatu: Euthanasia ya Hiari (yenye kibali cha mgonjwa na ndugu zake), Euthanasia Isiyo ya Hiari (inayofanyika kwa  kukosekana  kibali cha mgonjwa, hususan mtoto mdogo asiyeweza kusema au kujieleza) na Euthanasia ya Lazima (inayofanyika bila kibali cha mgonjwa au dhidi ya utashi wake).

Euthanasia ya Lazima — ni haramu duniani kote na huchukuliwa kama mauaji ya kukusudia.  Njia kuu za ‘mauaji’ hayo ni pamoja na kutompa tiba mgonjwa au kumdunga sindano ya sumu.   Hata hivyo, kuna migongano kuhusu Euthanasia duniani  ambako wapinzani hutetea maisha  ya mtu lazima yaheshimiwe hadi mwisho, wakati wanaounga mkono husema ni lazima mtu anayeteseka kwa ugonjwa aruhusiwe kufa kwa heshima.

Miongoni mwa nchi ambako Euthanasia ni halali ni pamoja na  Netherlands (Uholanzi), Colombia, Belgium, na Luxembourg.  Nchini Marekani, Euthanasia ni haramu, lakini kuna njia wanazoruhusiwa madaktari, katika majimbo kadhaa,  kuzitumia katika kumsaidia mgonjwa ‘kujiua’.

Kanuni za Kuzingati Kuhusu Ukimwi kwa Kutumia Alphabet A - Z Isipokuwa Q na X..!!!

$
0
0

Kwa kutumia alphabet "A" mpaka "Z" kuna jambo litagusa ukimwi isipokua X na Q.


.A=acha ngono zembe,

B=badil tabia sasa,

C=chukua tahadhari kabla ya hatari,

D=dumu na mpenzi mmoja mwaminifu aliyepima,

E=epuka vishawishi endelea kusema hapana,

F=fikiri marambili kabla hujafanya ngono,

G=gongo na vilevi vingine huathiri uwezo wa maamuzi,

H=hakuna utachopungukiwa kwa kuacha ngono,

I=ishi kwa matumaini kama umeambukizwa,

J=jipende kwanza jilinde jiamini na jithamini,

K=kondom itakukinga,

L=leo raha kesho karaha,

M=mapenz si lazma kujamiiana,

N=nenda kapime,

O=ondoa uoga pima,

P=punguza tamaa,

R=ridhka na ulienae,

S=sindano zisizochemshwa na vitu vyenye ncha kali usichangie,

T=tulia kwanza tafakari tathmini maisha yako ya badae,

U=ukimwi upo na unaua,

V=virusi havichagui,

W=wewe ndo mmiliki wa mwili wako,

Y=yann kuburuzwa and 

Z=zoazoa ni hatari sana.
Viewing all 104776 articles
Browse latest View live




Latest Images