Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Diamond awajibu wanaosema wimbo wa ‘Salome’ umejaa matusi

$
0
0

Maoni ya baadhi ya wadau wa muziki kuwa kila wanapousikiliza ‘Salome’ wa Diamond na RayVanny wanapata picha ya matusi, yamekutana na majibu ya Boss huyo wa WCB.

Akifunguka jana kwenye kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi kinachorushwa na EATV, Diamond alisema kuwa ‘Salome’ haina matusi bali imebeba lugha ya mahaba mazito.

“Ukiangalia wimbo wa Salome, hauna matusi, ila una maneno ya kimahaba,” alisema Mond.

“Unapozungumzia wimbo wa kimahaba, matusi yanatokea pale. Matusi yapo kwenye mahaba. Unapokuwa unaelezea masuala ya kimahaba utaonekana kama unatukana. Lakini sisi tumejitahidi kadri ya uwezo wetu mahaba yale kuyazungumza katika lugha ambayo ni ngumu sana mtu kuielewa,” alifafanua.

Kwa upande wake Ray Van, alisema kuwa pamoja na yote yanayosikika kwenye wimbo ule, wamejitahidi kutumia tafsida kuyaficha na ndio sababu wimbo ule unapendwa na watu wa rika zote na unaweza kusikilizwa hata katika jumuiya ya watu wanaoheshimiana.

Salome ni wimbo uliochukua mahadhi ya wimbo wa zamani wa Saida Kalori ‘Chambua Kama Karanga’ na umepata nafasi na mafanikio makubwa katika vituo vya runinga vya kimataifa na kuweka rekodi ya aina yake kwenye mtando wa YouTube.

Video ya Salome imeangaliwa zaidi ya mara milioni 13 na laki 7 kwenye YouTube.

Aliyetuhumiwa Kumpatia Kiwanja ‘Feki’ RC Makonda, Aeleza Uhalali wa Umiliki wa Eneo Hilo

$
0
0

Baada ya waziri wa ardhi William Lukuvi kudai eneo la ekari 1500 alilopewa RC Paul Makonda kwaajili ya ujenzi viwanda vidogo vidogo kuwa ni eneo la serikali, mmiliki wa eneo hilo mfanyabiashara Mohamed Iqbal ametoa vielelezo vya umiliki wa eneo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa hii Kamugisha Katabara ambaye ni mwakilishi wa Mohamed Iqbar katika ukumbi ya jengo la Red Cross jijini Dar es salaam amesema:

Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi mnamo tarehe 27, Februari mwaka huu ya kuwa ndugu Mohamed Iqbar alisema kuwa lile sio eneo lake ni mali ya serikali amemdanganya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa kumpatia eneo la ardhi lililopo Lingato Kisarawe 11, Kigamboni Dar ambalo si mali yake bali ni mali ya serikali, kufuatia kushindwa kesi kati yake na wananchi.”

Aliongeza, “Kufuatia tuhuma hizo imewasikitisha wataalamu wanaotambua jambo hilo kumuondolea heshima ndugu Iqbal ndipo walipoita waandishi hao kufikisha ukweli kwa umma juu ya mambo haya matatu ikiwa ni pamoja na umiliki wa eneo, utaratibu wa kukabidhi eneo kwa mkuu wa mkoa huyo, na hukumu ya kesi aliyoizungumzia mhe Waziri wa ardhi. Ndugu Iqbal ni mmiliki halali wa eneo la ardhi lenye ukubwa wa ekari 3500 lililopo eneo tajwa hapo juu. Eneo hilo alinunua tangu mwaka 2005 kutoka kwa wananchi wa eneo hilo ambao waliuza kwa hiari yao wenyewe bila kushurutishwa na kwa kufuata taratibu zote za kisheria za ununuzi wa ardhi.”

Aidha Katabara alitoa uhalali wa umiliki wa eneo hilo huku akisema kuwa endapo zitahitajika zitawekwa bayana nakala pamoja na picha.

“Ushahidi wa nakala za barua za mawasiliano kati ya ofisi ya serikali ya mtaa wa Lingato,muhtasari ya vikao vya maamuzi ya serikali za mitaa na mikutano na wananchi waliomiliki maeneo hayo ipo. Aidha nakala za risiti zipo na malipo ya ushuru wa serikali kama sheria inavyotaka na mikataba ya mauziano ya maeneo ya ardhi na picha za wamiliki wa maeneo wakipokea fedha za malipo na mauziano ya ardhi zipo na zitawekwa bayana pale zitakapohitajika.”

Dogo Janja Aonesha Jeuri ya Fedha, Anunua Gari Jipya

$
0
0

Dogo Janja ameonesha jeuri ya fedha. Baada ya kuibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte rapper huyo amenunua gari jingine jipya.

Gari hilo la sasa ambalo atakuwa anamiliki Dogo janja ni Raum new model yenye rangi nyekundu. Kupitia mtanda wa Instagram, Madee ameweka picha ya Janja akiwa juu ya gari hilo na kuandika, “Janjaro new car!!! Raum new model!!!.”


Wakati huo huo kuthibitisha kuwa jambo hilo halina utani, hitmaker huyo wa Kidebe ameweka picha hiyo hapo juu kwenye Instagram na kuandika, “Don mess up with BUDABOSS! ayah umeona dogo @youngkillermsodokii endelea kufuga icho kitoroli chako cha milion mbili…”

Breaking News: Godbless Lema Aachiwa Kwa Dhamana...

$
0
0

Breaking: Baada ya kukaa mahabusu kwa miezi minne, Mahakama Kuu Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini, Gobless Lema (CHADEMA)

Zari Awafungukia wanao kaa Wakimsema Vibaya mtandaoni....

$
0
0

Zari Awafungukia wanao kaa Wakimsema Vibaya mtandaoni....
.
From Zarithebosslady
"Out here wondering if some people had hobbies or jobs or lives before I started dating your home boy. It's very sad that a person will waste thier entire time, energy, to mention a few, thoughts plotting the next post or abuse or whatever it is that you are doing about ME. Why can't you use all this time to focus on you, your life your family how to better yourselves. There is so much money for all of us to make but all you do is wake up thinking about Zari, go to bed stressing about Zari. Honestly 5 years from now will it be worth it. God has given you purpose on this earth, what is that purpose. Is that purpose me, Surely not coz you existed before I came into baes' life. What will you answer God if he asked what you surely did with your life. Hey honey bunch, time to redirect your life, time to sit your hating ass down and weigh your options once more. Is hating this woman right here making you a better person, it is adding to your life? Think baby think. Look at life 5 years from now. Will it all be worth it. Redirect your energy to something positive 5yrs from now, that positive energy will have paid off. Just my sisterly advice... I spread Love babe and that's why am toooo blessed. Try it , try spreading some love see how that turns out. Have a blessed paper chasing and productive week. Remember to call on God as you face this week.😘 " Zari

Tembelea Tovuti Pendwa ya ASILI ZETU inayohusiana na Masuala ya Tiba Asilia Kama Kusafisha Nyota na Kumvuta Mpenzi

$
0
0
Tembelea  tovuti  pendwa  ya ASILI ZETUinayohusiana na masuala ya tiba asilia, kusomewa dua na visomo, kusafisha nyota,  kumvuta mume au mpenzi aliyekuacha, tiba ya magonjwa mbalimbali yaliyoshindikana,  mvuto wa biashara.

Pia tunatoa dawa za uzazi kwa wale kina mama wenye matatizo ya uzazi walio angaika kwa muda mrefu bila kupata mafanikio yoyote, kupandishwa cheo kazini, mali isiyohuzika kama vile kiwanja, shamba, nyumba, gari n,k.

Bonyeza Hapa: https://asilizetu.wordpress.com

Jike Shupa Aununua Ugomvi wa Batuli, Wema!

$
0
0

VIDEO Queen Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ameibuka na kudai kuwa, hawezi kumuacha shoga yake Wema Sepetu ashambuliwe halafu yeye abaki kimya kwani anaamini anayoyafanya yuko sahihi hivyo anatangaza kuununua ugomvi. 

Jike Shupa aliyasema hayo juzikati baada ya kuibuka kundi la wasanii wa Bongo Muvi na kumshambulia Wema baada ya kujiunga Chadema ambapo inadaiwa sasa hivi kuna bifu kubwa kati ya Yobnesh Yusuf ‘Batuli na Wema.

“Kwanza kwa wasiojua na mimi nipo Chadema, sasa hao akina Batuli wanaoibuka na kumchamba Wema, nitakula nao sahani moja.

Ninachoamini yeye alikuwa na uhuru wa kufanya na kuongea kile alichojisikia na hao wanaompaka matope wajue nimenunua huu ugomvi kwa buku kumi tu,” alisema Jike Shupa. Jike Shupa katika siku za hivi karibuni ameonekana kuwa na ushosti na Wema lakini wafuatiliaji wa maisha ya mastaa wamemtahadharisha kuwa makini kwani staa huyo si mtu wa kudumu na marafiki.

Dogo Janja Aonesha Jeuri ya Fedha, Anunua Gari Jipya..!!!

$
0
0

Dogo Janja ameonesha jeuri ya fedha. Baada ya kuibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte rapper huyo amenunua gari jingine jipya.

Gari hilo la sasa ambalo atakuwa anamiliki Dogo janja ni Raum new model yenye rangi nyekundu. Kupitia mtanda wa Instagram, Madee ameweka picha ya Janja akiwa juu ya gari hilo na kuandika, “Janjaro new car!!! Raum new model!!!.”

Wakati huo huo kuthibitisha kuwa jambo hilo halina utani, hitmaker huyo wa Kidebe ameweka picha hiyo hapo juu kwenye Instagram na kuandika, “Don mess up with BUDABOSS!🔥 ayah umeona dogo @youngkillermsodokii endelea kufuga icho kitoroli chako cha milion mbili…

Wema Sepetu Awa Mbogo Mitandaoni,Atoa Povu Kwa Watu Wanaomnyooshea Vidole Kila Siku,Huu Ndio Ujumbe Aliopost..!!!!

$
0
0

Nani tena anamchokoza madam Sepenga? Mrembo huyo ameamua kuwaka kwenye mtandao wa Instagram kwa watu wanaofuatilia maisha yake.

Kupitia mtandao huo, Wema ameandika:

Naomba nitoe tamko… Nakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslim… Maana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!!🙄🙄🙄 Wote tunamwamini Mungu… So if u cant accept it, Deal with it…! Kupangiwa maisha mnanijua SIPENDI….

Mkubwa Haya..Ali Kiba Akiri Kuwa Hajui Kuzungumza Kiingereza,Adai Eti Siyo Ishu Kubwa Kwake Kuijua Lugha Hiyo,...!!!!

$
0
0

Msanii Ali Kiba amekiri hajui kuongea kiingereza vizuri, lakini hata hivyo amedai kiingereza sio ishu na kwa kuwa ameimba Kiswahili na amepiga hela na kuchukua tuzo mingi.

Pia amesema Wanaosemwa akamaatwe na Kamanda Mpinga kwa kuendesha gari kwa kuhatarisha usalama alidai hakuendesha yeye na pia waliomba kibali

Nape Nnauye na Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndio Vijana Mfano kwa Tanzania Ijayo..!!!!

$
0
0

Tunafundishwa Shuleni kwamba "knowledge is Power" yaani " Maarifa ni nguvu" na wengine tumesoma shule huu ukiwa ndio motto. Moto huu umepitwa na wakati "knowledge is not power" lakini " application of knowledge that is power" , yaani "Matumizi ya maarifa ndio nguvu sio maarifa yenyewe".

Uwezo wa kuchukua maamuzi sahihi au hata yasiyosahihi au maamuzi sahihi kwa njia batili kwa maarifa kidogo uliyonayo ndio unawatofautisha vijana hawa wawili na mamia ya vijana walio katika uongozi. Tumekuwa na watu wenye mamlaka, watu wenye nguvu ya kuchukua maamuzi kisheria watu wenye usomi ulio tukuka, watu wenye Cv page kama sabini lakn waoga kuchukua maamuzi sahihi au ambayo yataonekana fyongo baadae hata kuapply maarifa yaliyo katika bongo zao . Ninaamini vijana hawa pamoja na mapungufu yao yanayojitokeza wakipewa nafasi ya kujirekebisha na kukosolewa maamuzi yao watakuwa hazina kwa siasa za tanzania ijayo.

Note: maoni haya hayana uhusiano na issue ya vyeti maana namjadili huyu tunaemuona

Habari za Hivi Punde..Polisi Wamkamata Gwajima Tena. Afanyiwa Upekuzi Upya!!!!

$
0
0

Polisi jijini Dar wamemkamata Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Leo siku ya Ijumaa akiwa nyumbani kwake na inasemekana wameweza kumfanyia upekuzi upya.

Gwajima amepelekwa Central na taarifa zaidi zitafuatia

Wema Afurahia Kuachiwa Godbless Lema...Afunguka Haya

$
0
0

By@wemasepetu
Mungu ni mkubwa....Ni furaha kusikia Mh. Godbless Lema amepewa dhamana....Najua ulipitia wakati mgumu sana, najua ulikuwa mbali na familia yako, watoto wako, rafiki zako, makamanda wenzako na zaidi wananchi wako wa Arusha na Watanzania kwa ujumla....Ni faraja kwetu kwamba sasa umerudi mtaani kuendeleza mapambano.... Kwenye mapambano haya hautakuwa mwenyewe; Mdogo wako Wema nitakuunga mkono mpaka kieleweke....For that sake, Kesho i'll be in Arusha kuonyesha Solidarity ✌🏼✌🏼✌🏼 "FOR TO BE FREE IS NOT MERELY TO CAST OFF ONE's CHAINS, BUT TO LIVE IN A WAY THAT RESPECTS AND ENHANCES THE FREEDOM OF OTHERS" - NELSON MANDELA #CallMeKamanda

Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana,Lema Afunguka Mapya Mazito Dhidi ya Serikali,Amtaja Pia Mke Wake....!!!!

$
0
0

Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema baada ya kusota gerezani kwa zaidi ya miezi minne.

Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia hoja za pande zote mbili zilizowasilishwa mahakamani hapo leo na kuamua kuzitupitilia mbali hoja za upande wa serikali za kumnyima Lema dhamana.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache kupita tangu mahakama rufaa kutupilia mbali rufaa ya jamhuri, huku ikishangazwa na hatua ya Lema kukosa dhama hadi wakati huo.

Mbunge huyo ameachiwa kwa dhamana yenye masharti ya wadhamini wawili wanaoaminika pamoja na kusaini bondi ya shilingi milioni 1 ambapo nje ya mahakama Lema ametoa shukrani zake kwa wote waliohusika na kubainisha kuwa serikali haikuwa na nia njema na yeye, lakini yeye amesimama na Mungu.

"Ninamshukuru sana mwenyezi Mungu, mke wangu, familia yangu, mawakili, viongozi wa chama na wananchi wote waliokuwa na mimi. Na kwa namna ya pekee mke wangu, kama ningepata nafasi ya kuoa tena, ningemuoa yeye. Pia mtoto wangu alifikia hatua akasema anatamani kufanya kosa ili aje alale na mimi gerezani, na akauliza ni kosa gani afanye ili aletwe gerezani" Amesema Lema

Kwa upande wa wakili wake Peter Kibatala amesema hatimaye kazi ya kwanza ya kuhakikisha Lema anapata dhamana imekamilika na kwamba sasa wanajipanga kwa ajili ya kushughulika na kesi ya msingi.

Kwa niaba ya CHADEMA, Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, amelaani nguvu iliyotumiwa na jeshi la polisi siku ya leo ya kuwapiga, kuwakamata na kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliofika mahakamani hapo kufuatilia kesi ya mbunge wao, huku akitangaza kuwa kwa leo hakutakuwa na tukio lolote la kisiasa mpaka watakapotangaziwa tena.

Aliyetuhumiwa Kumpatia Kiwanja ‘Feki’ RC Makonda, Aeleza Uhalali wa Umiliki wa Eneo Hilo..!!!!

$
0
0

Baada ya waziri wa ardhi William Lukuvi kudai eneo la ekari 1500 alilopewa RC Paul Makonda kwaajili ya ujenzi viwanda vidogo vidogo kuwa ni eneo la serikali, mmiliki wa eneo hilo mfanyabiashara Mohamed Iqbal ametoa vielelezo vya umiliki wa eneo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa hii Kamugisha Katabara ambaye ni mwakilishi wa Mohamed Iqbar katika ukumbi ya jengo la Red Cross jijini Dar es salaam amesema:

Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi mnamo tarehe 27, Februari mwaka huu ya kuwa ndugu Mohamed Iqbar alisema kuwa lile sio eneo lake ni mali ya serikali amemdanganya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa kumpatia eneo la ardhi lililopo Lingato Kisarawe 11, Kigamboni Dar ambalo si mali yake bali ni mali ya serikali, kufuatia kushindwa kesi kati yake na wananchi.”

Aliongeza, “Kufuatia tuhuma hizo imewasikitisha wataalamu wanaotambua jambo hilo kumuondolea heshima ndugu Iqbal ndipo walipoita waandishi hao kufikisha ukweli kwa umma juu ya mambo haya matatu ikiwa ni pamoja na umiliki wa eneo, utaratibu wa kukabidhi eneo kwa mkuu wa mkoa huyo, 
na hukumu ya kesi aliyoizungumzia mhe Waziri wa ardhi. Ndugu Iqbal ni mmiliki halali wa eneo la ardhi lenye ukubwa wa ekari 3500 lililopo eneo tajwa hapo juu. Eneo hilo alinunua tangu mwaka 2005 kutoka kwa wananchi wa eneo hilo ambao waliuza kwa hiari yao wenyewe bila kushurutishwa na kwa kufuata taratibu zote za kisheria za ununuzi wa ardhi.”

Aidha Katabara alitoa uhalali wa umiliki wa eneo hilo huku akisema kuwa endapo zitahitajika zitawekwa bayana nakala pamoja na picha.

“Ushahidi wa nakala za barua za mawasiliano kati ya ofisi ya serikali ya mtaa wa Lingato,muhtasari ya vikao vya maamuzi ya serikali za mitaa na mikutano na wananchi waliomiliki maeneo hayo ipo. Aidha nakala za risiti zipo na malipo ya ushuru wa serikali kama sheria inavyotaka na mikataba ya mauziano ya maeneo ya ardhi na picha za wamiliki wa maeneo wakipokea fedha za malipo na mauziano ya ardhi zipo na zitawekwa bayana pale zitakapohitajika.”

PICHA: Wakenya Wanasema Huyu Ni Copy Paste Ya First Lady Mama Margaret Kenyatta...!!!

$
0
0
Kushoto: Mama Margaret Aswani & Kulia: First Lady wa Kenya Mama Margaret Kenyatta.

Kwenye zile za watu kufananishwa na mastaa au watu wengine wakubwa na maarufu duniani ongeza na hii ya huyu mama anayefananishwa na First Lady wa Kenya, Mama Margaret Kenyatta.

Nimekutana na stori kwenye mtandao mmoja wa Kenya ya mama mmoja aitwaye Margaret Aswani anaedaiwa kufanana sana na mke wa Rais wa Kenya, Mama Margaret Kenyatta.

Kwa mujibu wa mtandao huo, Mama Aswani amekuwa akipewa msaada na upendeleo fulani kwenye sehemu mbalimbali za umma kama vile Supermarket, Benki, na sehemu nyingine kutokana na watu kumfananisha sana na First Lady wa nchi hiyo Margaret Kenyatta.

Mwaka 2015 mama Aswani alihudhuria shererhe za Marathon za ‘Beyond Zero Marathon’ na kuwachanganya Wakenya wengi waliostajabishwa na kufanana kwa mama huyo na mke wa Rais wa nchi hiyo.

Je, wewe unaonaje, ni kweli mama Margaret Aswani kafanana na First Lady Mama Margaret Kenyatta? Niahcie comment yako hapa chini.

Vanessa Mdee Adai Kuna Wasichana Walichukia Alichoimba Kwenye Dume Suruali

$
0
0

Mwana FA na Vanessa Mdee kupitia wimbo wao Dume Suruali walitupa jiwe gizani, na ni wengi liliwapata – hususan wanawake.

Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir Alhamis hii, Vanessa amedai kuwa kuna wasichana kibao waliokerwa na alichokiimba kwenye wimbo huo.

“A lot of women were offended with Dume Suruali,” alisema.

“Huwezi kuamini kuna akinadada wengi sana waliniambia ‘kwahiyo wewe Vanessa unatuambia nini.’ And you know sehemu yetu kwenye jamii kama wasanii ni kuigiza japo hata sometimes kama haufanyi kile kitu, you are supposed to tell the story of the people of the society. So hiyo ndio ilikuwa nafasi yangu kwenye Dume Suruali, nilikuwa nahadithia tu. So I hope they are not offended,” aliongeza.

Hata hivyo Vanessa amedai kuwa kufanya kazi na Mwana FA kwenye wimbo huo ilikuwa ni baraka kubwa na ni kitu alichokuwa akikiota kwa muda mrefu.

Kwa Mbio za Diamond, Kiba ana Haya ya Kufanya...!!

$
0
0

ALLY Saleh Kiba, ni msanii mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mtu ambaye hana historia ya Bongo Fleva au chuki tu, ndiye anaweza kumbeza mwanamuziki huyu mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma.

Ni miongoni mwa wasanii wachache sana waliowahi kutangulia mbele, wenzake wakifuata nyuma. Yes, alipoibuka na kibao chake cha Cinderella, pale robo ya mwisho ya mwaka 2007, aliukamata usukani, licha ya kuwa aliwakuta ma-legend kibao.

Huo ukawa wakati wake kama ambavyo baadhi ya wasanii wachache waliweza kupata bahati hiyo. Maana kabla yake, kuna ambao nao waliwahi kushika usukani, baadhi yao ni kama Profesa Jay, Mr Nice na Juma Nature.

Wakati wa Kiba ulimalizika baada ya kuibuka kwa Diamond Platnumz ambaye bado yupo kileleni, kwa zaidi ya miaka mitano sasa na hakuna dalili zinazoonyesha anaweza kuwekwa pembeni na wenzake, licha ya rundo la chipukizi kuibuka na kufanya vizuri.

Kwa bahati mbaya, kuna mashabiki wenye nia njema, hawaamini kama Diamond ni mzuri kuliko Ali Kiba. Nasema wana nia njema kwa vile siamini kama wanamaanisha wanachosema, isipokuwa wanataka kuufanya muziki huu uendelee kuchangamka, isije kuonekana kama ni wa mtu mmoja.

Walifanya hivyo wakati ule walipokuwa wakimpambanisha Juma Nature na Inspekta Haroun, Profesa Jay na Sugu na hata enzi za Mr Nice akihasimiana na Dudubaya. Walitengenezwa wapinzani wa uongo na kweli, ilimradi kama nilivyosema hapo juu, maisha yaendelee.

Lakini wakati mashabiki hao wenye nia njema wakifanya hivyo, kwa namna inavyoonekana, Ali Kiba ni kama ‘ameingia mkenge’ na kuamini kuwa yeye ni bora kuliko Diamond kimuziki. Kiukweli, licha ya ubora wa sauti yake, ukongwe wake na hata uwezo mkubwa alionao, mwimbaji huyu wa Kibao cha Aje, ameachwa mbali.

Mashabiki wa Kiba wanatoa tuhuma za upande wa pili kuwa unatumia nguvu kubwa kupromoti nyimbo zake, wananunua baadhi ya tuzo ili aonekane anafanya vizuri na kwamba mtu wao hana kile wenyewe wanakiita ‘show off’.

Binafsi ningependa kuona Kiba anafikia levo za Diamond ili tuzidi kuongeza idadi ya wasanii wa kuishambulia Afrika, baada ya jitihada za miaka mingi kuanza kuzaa matunda. Na ili aweze kufanya hivyo, kama kweli ana dhamira, yafuatayo ni miongoni mwa mambo anayopaswa kuyafanyia kazi mara moja.

Anatakiwa kuwekeza katika muziki wake. Sanaa hii hivi sasa ni biashara kubwa na ili uifanye vizuri ni lazima uwekeze vya kutosha. Studio, prodyuza bora, video nzuri na promosheni ya kutosha.

Humuoni Kiba akiingia na kutoka katika vituo vya redio na televisheni kusambaza kazi zake, humuoni akifanya kampeni katika mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuitafuta ngoma yake na ni nadra kumsikia akiingia vyumba vya habari tofauti kwa sababu ya kutafuta sapoti ya kazi yake mpya. Labda ni kazi ya menejimenti, lakini inapendeza mwenyewe akiwa ‘front’.

Kitu kingine ambacho King Kiba anapaswa kukifanya ni umakini pia awapo jukwaani. Kama watu wanampima na Diamond basi ni vyema naye amtazame mpinzani wake, namna anavyojiandaa kwa shoo, je maandalizi yanafanana?

Lakini pia Kiba yuko mbali na media. Siyo rahisi kumpata msanii huyu kwa ajili hata ya mahojiano tu au kuweka mambo f’lan sawa. Yeye ni staa, mambo mengi yanaibuka yanayomhusu, yanahitaji ufafanuzi. Kuna wasanii ambao yeye aliwakuta wako kwenye gemu miaka kumi, lakini hadi leo wanahitaji sapoti ya media.

Anyway, nisiongee mengi sana lakini ukweli unabaki palepale kwamba Kiba anatakiwa kubadilika kama anataka kuleta ushindani wa kweli kwa Diamond vinginevyo atazidi kuachwa nyuma kimuziki.


Huu Ndio Ujumbe wa Naibu Spika kwa Taifa Kuhusu Wasichana

$
0
0

Huu ndio ujumbe wa Naibu Spika kwa taifa kuhusu wasichana


Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Mwansasu ameitaka jamii kuwa na utaratibu wa kuongea na vijana wa kike ikiwa ni pamoja  na kuwaweka wazi juu ya  njia mbalimbali za kujisitiri pindi wanapoanza kuona mabadiliko katika miili yao.

Leo katika kipindi cha East Africa Breakfast, wakati akizungumzia  kampeni ya 'Namthamini' inayoendeshwa na EATV LTD kuelekea Siku ya Wanawake Duniani  Dkt. Tulia amesema kwamba jamii nyingi hazina utaratibu wa kuongea kwa uwazi mabinti kutokana na mila potofu zilizopo katika makabila tofauti nchini.
“Kuna makabila ni mwiko mzazi kuzungumza na binti yake kuhusu masuala ya ukuaji hivyo hata mama kumfundisha binti namna ya kujisitiri kwa njia za kienyeji ni tabu, hapo ndiyo ambapo unamkuta binti anaona bora asiende shule abaki nyumbani mpaka siku za mzunguko wake wa hedhi utakapoisha”. Alisema Dkt Tulia
Pamoja na hayo Dkt. Tulia amekiri umasikini upo juu na hicho ndicho chanzo cha wanafunzi wengi kushindwa kumudu gharama za taulo hizo (Pedi), na kuongeza kuwa kwa maeneo ya vijijini taulo hizo hazipo jambo ambalo linawafanya mabinti wengi kutumia vifaa ambayo kiafya ni hatari.
Dkt. Tulia ameongeza kwamba jukumu la mzazi yoyote yaani baba au mama ni kuhakikisha vijana wanawekwa wazi kinapofika kipindi cha hedhi na balehe, siyo kuendeleza mila potofu ambazo zinaleta madhara kwa baadae ikiwa ni pamoja na kutimiza majukumu ya kifamilia kama kumuandalia binti vifaa vya kujisitiri na siyo kuiachia serikali kwa sababu jambo hilo likiachiwa serikali halitokuwa endelevu.
Leo katika kipindi cha East Africa Breakfast, wakati akizungumzia  kampeni ya 'Namthamini' inayoendeshwa na EATV LTD kuelekea Siku ya Wanawake Duniani  Dkt. Tulia amesema kwamba jamii nyingi hazina utaratibu wa kuongea kwa uwazi mabinti kutokana na mila potofu zilizopo katika makabila tofauti nchini.

“Kuna makabila ni mwiko mzazi kuzungumza na binti yake kuhusu masuala ya ukuaji hivyo hata mama kumfundisha binti namna ya kujisitiri kwa njia za kienyeji ni tabu, hapo ndiyo ambapo unamkuta binti anaona bora asiende shule abaki nyumbani mpaka siku za mzunguko wake wa hedhi utakapoisha”. Alisema Dkt Tulia

Pamoja na hayo Dkt. Tulia amekiri umasikini upo juu na hicho ndicho chanzo cha wanafunzi wengi kushindwa kumudu gharama za taulo hizo (Pedi), na kuongeza kuwa kwa maeneo ya vijijini taulo hizo hazipo jambo ambalo linawafanya mabinti wengi kutumia vifaa ambayo kiafya ni hatari.

Dkt. Tulia ameongeza kwamba jukumu la mzazi yoyote yaani baba au mama ni kuhakikisha vijana wanawekwa wazi kinapofika kipindi cha hedhi na balehe, siyo kuendeleza mila potofu ambazo zinaleta madhara kwa baadae ikiwa ni pamoja na kutimiza majukumu ya kifamilia kama kumuandalia binti vifaa vya kujisitiri na siyo kuiachia serikali kwa sababu jambo hilo likiachiwa serikali halitokuwa endelevu.

Alichosema Godbless Lema Baada ya Kutoka Gerezani...Amshukuru Mke Wake

$
0
0

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu, Jamhuri ilikusudia mabaya kwangu lakini Mungu alikusudia mema kwetu, vilevile namshukuru sana mke wangu, kama ningepata fursa ya kuoa tena ningemuoa yeye.. Nikisema niongee ninachotaka kuongea, leo sitaweza, nimeandaa waraka kwa ajili ya mheshimiwa Rais na nitautoa huo waraka hivi karibuni katika siku ambayo tutawatangazia. Nimeona mateso mengi ya watu, mambo mengi ambayo nafasi hii haitoshi.

Godbless Lema: Mbunge-Arusha mjini
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images