Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104698 articles
Browse latest View live

Magufuli Awapa ‘Makavu’ Wabunge wa CCM...!!!!

$
0
0

Rais John Magufuli amewapasulia jipu wabunge wa CCM kuwa anamuunga mkono Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa hata kama wapo miongoni mwao wanaompinga.

Mbali ya kumkingia kifua Majaliwa, Mwenyekiti huyo wa CCM pia amewaonya wabunge wa chama hicho wanaotoa muda wao wa kuchangia bungeni kwa wapinzani, huku akieleza kukerwa na wabunge wanaofifisha vita dhidi ya dawa za kulevya na mmoja akimtuhumu kutoa siri za chama kwa upinzani.

Rais Magufuli aliyekutana jana na wabunge hao Ikulu ndogo ya Chamwino mjini hapa, pia aliwaambiwa kwamba yeye ndiye aliyeamua kusitisha mikutano ya Bunge kuonyeshwa moja kwa moja katika televisheni.

Kikao hicho cha ndani kimefanyika siku moja baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa CCM mjini hapa na kupitisha mageuzi makubwa ya kikatiba na kanuni kwa chama hicho tawala.

Kudadeki...Simba Wazidi Kuikomalia Yanga Kila Kona..!!!!

$
0
0

SIMBA imethibitisha kuwa ni bora baada ya kuwazidi wapinzani wao wa jadi, Yanga mambo matatu muhimu kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Mambo hayo manne ambayo Simba wamewazidi Yanga ni kwamba, kwanza ndio wanaoongoza ligi wakiwa na pointi 55, pili ndiyo timu yenye ukuta wa chuma kutokana na kufungwa mabao machache kuliko timu nyingine na tatu imetoa wachezaji bora wa mwezi mara mbili.

Katika hilo la ukuta wake kuwa wa chuma ni kwamba, wamefungwa mabao 10 tu tofauti na timu nyingine yoyote huku Yanga wakifuatia kwa kuruhusu mabao 11, hiyo ikimaanisha kuwa Simba wapo juu kwenye safu ya ulinzi.

Kwa upande wa wachezaji waliotwaa tuzo ni Shiza Kichuya (Septemba) pamoja na Method Mwanjali (Desemba) huku Yanga wao wakijivunia Simon Msuva aliyetwaa tuzo hiyo Oktoba mwaka jana.

Kikubwa ambacho Yanga wamewazidi Simba ni safu yao ya ushambuliaji kupachika mabao mengi kwani mpaka sasa wanayo mabao 49, huku Wekundu hao wa Msimbazi wakiwa na mabao 40.

Simba wako mkoani Dodoma ambapo jana walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Dodoma, ikiwa ni maandalizi ya kwenda Arusha kukipiga na timu ya Madini FC ya mkoani humo mchezo wa Kombe la FA.

Mpenzi Wangu Ananiomba Mchezo Ambao Sio...Ushauri Wahitajika

$
0
0

Kupenda ni ugonjwa na nimeamini kwa kweli huyu jamaa nampenda mpaka nikimwona tuu huwa nasikia kuloa kabla hata hatujaanza, kiukweli nimetoka na others Boy but sijawahi kutana na boy nikampenda hivi na yote ni alivyojaliwa na anavyojua mamboz huwa nafika kunako mlima Kilimanjaro hata mara 4 mfululizo. Ila inanijia mpaka nawaza sijui si ridhiki yangu maana kuna siku tulikua katikati ya mambozi akaanza kunigusa sehemu ambayo siyo kwa kidole nilikua mkali kama chui but alinibembeleza yakaisha.

Juzi tena akajifanya kakosea nilichukia sana leo na kaubaridi hichi nimemcal na kumweleza nipo hostel nahisi baridi nahitaji joto alichonijibu sina hamu eti nambania white. Na ndiyo starehe yake so nampenda huyu Boy jamani naumia maana nasikia tu ukimpa tu mwanaume dharau huanza na kama mwanaume anakupenda kweli hawezi omba huo mchezo.

Nipo dailema jamani nimfanyeje huyu nisimkose? -

Harmorapa Si wa Mchezo Mchezo,Jina Lake Lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini...!!!!

$
0
0

Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabisho” imekuwa moto kwelikweli.

Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu  za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano.

 Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika kutokana na maombi ya watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha moto.

Ikiwa hiyo haitoshi kituo cha burudani MTV Base East kupitia mtandao Wa Twitter umemtaja msanii huyo Video yake ya “Kiboko ya Mabishoo” kuwa ndiyo video inayoshika namba moja kwa kuchezwa na kuombwa mara nyingi.


Baada ya Umoja wa Mataifa Kutangaza Kuingilia Sakata la Kupotea kwa Ben Saanane,Chadema Waibuka na Kutoa Tamko Hili Zito..!!!!

$
0
0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola kutoa sababu za kufuta jalada la uchunguzi wa Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa chama hicho, Ben Saanane ambaye ametoweka tangu Novemba mwaka jana.

Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alisema jana kwamba jeshi hilo linafanya kazi yake huku akihoji, “Chadema wamejuaje kama hilo jalada la kesi ya Saanane limefutwa?

“Nenda kawaulize tena, wao wamejuaje, wakueleze vizuri hilo jalada limefutwa vipi na nani?”

Taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene ilisema wanashangazwa na hatua iliyofikiwa na vyombo vya dola kufuta jalada la uchunguzi wakati kada huyo bado hajapatikana mpaka sasa.

“Tunajua DCI (Robert) Boaz alisema hawako naye lakini tunashangazwa na hatua yao ya kufuta jalada la uchunguzi mapema bila hatua nyingine,” inasomeka taarifa hiyo.

Hivi karibuni, Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) yenye makao yake makuu jijini Geneva, Uswisi, ilisema iko tayari kutuma timu ya uchunguzi.

Chadema imerejea kauli yake ya kuitaka Serikali kutoa maelezo ya wapi alipo Saanane iwe ndani au nje ya nchi kwani ndiyo yenye udhibiti wa mipaka yote majini, nchi kavu na angani.

Makene alisema Serikali ina teknolojia ya mawasiliano ya kuweza kujua na kupata mawasiliano ya mwisho ya mtu aliyewasiliana na kada huyo, wakati gani na juu ya suala gani.

Makene alisema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imeshindwa kufanya kazi yake na kumaliza tofauti na sintofahamu zinazoendelea.

Alisema ni aibu kwani taasisi za kimataifa zinaguswa na suala hilo huku vyombo vya usalama nchini vikikaa kimya.

Saanane, ambaye pia ni msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipotea katika mazingira ya kutatanisha Novemba 18 mwaka jana.

Keko, Dar: Teja Afariki na Bomba la Sindano ya Madawa ya Kulevya Mkononi...!!!

$
0
0

Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.

Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.

Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.

Picha: Alikiba Alivyotumbuiza na Kujaza Watu Kwenye Show Yake ya Minnesota, Marekani Jumamosi Hii...!!!

$
0
0

Alikiba bado yupo busy na ziara yake ya Marekani. Jumamosi hii muimbaji huyo alitumbuiza katika mji wa Minnesota.

Ziara ya mkali huyo imeanza March 4 na itamalizika mwezi April mwaka huu. Jumamosi ya March 18 hitmaker huyo wa Aje atatumbuiza mjini Washington DC.
Miji ambayo ataipitia katika ziara hiyo ni pamoja na Las Vegas, Austin, Houston na Minnesota, Minneapolis na Washington DC. Tazama picha zaidi za show hiyo ya Minnesota hapa chini.

Tanesco Yatoa Tahadhari Hii Kufuatia Mvua Zinazonyesha...!!!

$
0
0
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO),limetoa tahadhari kwa wateja wake na wananchi kwa ujumla juu ya mvua zinazonyesha. Miongoni mwa tahadhari hiyo ni pamoja kutofanya biashara katika miundo mbinu ya umeme.





Rais Magufuli na Vitisho kwa Wabunge CCM

$
0
0


Rais John Magufuli ni sawa upande wake kuwatisha wabunge. Anafanya hivyo wabunge waogope kisha yeye na Serikali yake wawe na amani, watawale nchi bila kusumbuliwa.

Wabunge wao wanapaswa kujitambua na kukataa vitisho. Mbunge si mtetezi wa Serikali, bali mwakilishi wa wananchi. Mbunge ni polisi anayepaswa kuichunga Serikali.

Kama ambavyo polisi hutakiwa kuwa rafiki wa raia mwema, ndivyo ambavyo mbunge hupaswa kutokuwa na tatizo kwa Serikali inayotimiza wajibu wake vizuri.

Kama ambavyo polisi hupaswa kumbadilikia raia anapoona ametenda uhalifu, ndivyo mbunge hutakiwa kuwa mkali kwa Serikali anapoona inavuruga nchi.

Mbunge hapaswi kuwa mtetezi wa Serikali. Hakuna urafiki kati ya Bunge na Serikali. Hii ni mihimili miwili inayopaswa kusuguana kwa ajili ya maslahi ya nchi.

Mwananchi anatakiwa amwone mbunge wake ana kasoro pindi mbunge huyo anapogeuka 'shosti' wa Serikali. Mbunge kuwa rafiki wa Serikali maana yake amesaliti kazi iliyompeleka bungeni.

RAIS NA UENYEKITI WA CHAMA

Mambo ya wabunge CCM kutishwa ili waiogope Serikali, yatakoma pale CCM itakapoamua kutenganisha mamlaka mbili, Urais na Uenyekiti wa CCM.

Rais ndiye mkuu wa Serikali. Wabunge ndiyo wasimamizi wa Serikali.

Rais ndiye Mwenyekiti CCM, chama chenye wabunge wengi. Hivyo, anapoona wabunge wanatishia utulivu wa Serikali yake, anawafuata kwenye chama na kuwanyamazisha.

Kuhakikisha Bunge linakuwa chombo huru cha kutunga sheria, chenye kuisimamia, kuichunga na kuibana Serikali, vema mamlaka ya Serikali (Rais), itenganishwe na mamlaka ya chama (uenyekiti). Hii ni muhimu sana kwa nchi, usalama na ustawi wake. Siyo kwa CCM tu, bali kwa chama chochote kitakachokuja kushika dola. Rais wa nchi asiwe mwenyekiti wa chama chake.

Ndimi Luqman MALOTO

Acha Kukurupuka ..Fahamu Hatua Tatu Kuu za Muhimu za kufuata Wakati wa Kufanya Mapenzi..!!!

$
0
0

WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza! 

Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.

Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo!

Hatua ya kwanza ni kusameheana:

Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!

Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.

Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:

Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe! 
Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!

Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.

Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.

Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!

Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!

MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-

Sehemu ya juu:

Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc.

Hata hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda!

Kimsingi mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie majambozi anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha sehemu zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake na kuupeleka kunako hiyo sehemu! 

Hakikisha pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha wazi kuwa hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki hakikisha inaanza toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze toka isivyo kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha umepagawa kwa raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita kuishughulikia kikamilifu sehemu hiyo!

Sehemu ya chini:
Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.

Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo! 

Katika kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna wanake wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie ulimi ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole kingine kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke anapaswa kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa!

Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili! 

Nini mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze kudumu kunako majambozi!!

Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake.

Hatua ya tatu:

Kuingiliana kimwili 
Mwanaume anapaswa kuahkikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu!

Hivyo basi, mwanaume unapaswa kujua kweli mpenzi wako yuko tayari kwa tendo la ndoa na utajua kwa kungalia kwanza mashavu ya uke wake kama yamekakamaa na kuongezeka ukubwa huku kinembe chake kikionyesha kukaza na mwanamke akifikia hali hii basi mwanaume huweza kuingiza uuume wake ambao umesimama kiurahisi kwani kuta za uke zitakuwa na ute unaoteleza huku uume nao ukiwa na ute unaotoka sehemu ya mbele kabisa hali inayowafanya wapendanao kufurahia tendo kwani hawataumizana !.

Acha Uzembe Wewe..Jifunze Jinsi ya Kukata Kiuno Unapokuwa na Mpenzi Wako Kunako 6 X 6..!!!

$
0
0

Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda.

Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).

Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).

Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.

Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee..... alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.

Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi (kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum.

Zifahamu Hatua 6 Muhimu za Kunyonya Uume wa Mpenzi Wako Pindi Mnapokuwa 6 X 6 (+18)...!!!

$
0
0

Jinsi ya kunyonya uume.

1-Anza kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba maeneo yaliyo karibu na uume hasa sehemu ya ndani ya mapaja, anza paja la kulia na hamia paja la kushoto.....wakati unaendelea na safari yako ya kulamba tumia mkono wako mmoja kumshika sehemu ya kiunoni pale karibu na mboo.

2-Utaona uume unaanza ku-move (ukiwa umesimama), sasa ili usikuharibie utamu wa kubusu ushikilie kwa mkono wako mwingine kama vile umeshika mua au chupa ya soda kwa juu na peleka mkono huo juu na chini huku ukiendelea kubusu-kulamba.

3-Mkono wako ukiendelea na safari ya juu-chini hamishia mdomo wako kwenye pumbu (makende), yalambe taratibu na ukiweza yakoweshe kwa mate (yabugie a.k.a yaingize yote mdomoni mwako) huku ukitembeza ulimi taratibu...kuwa mwangalifu na meno yako wakati umeyabugia kwani ni "sensitive" na wanadai kuwa ukikosea kidogo huwa yanauma.

4-Toka sehemu hiyo ya makende kwa kubusu taratibu wakati unaelekea kwenye mtunguli wenyewe (mboo), tumia mkono wako kwenda juu-chini (kamanilivyosema awali) kisha anza kulamba ktk mtindo wa kunyonya kwenye shaft a.k.a shina la uume....ulambaji wa hapa unategemea na mpezni mwenyewe unaweza lamba kuanzia "base" kwenda juu kuzunguuka mboo au unaulamba ktk mtindo wa kubugia hatua kwa hatua (kiupande-upande kama unamenya mua kwa kutumia meno yako) hehehehehe nimewakumbuka Wasukuma.

**Mpaka hapa mpenzi anaweza kumwaga.....ikitokea basi jipongeze kwa job well done.....vinginevyo endelea kama ifuatavyo:-

5-Sasa shusha mkono wako na shika kule mwishoni mwa shina la uume (base) au karibu na "base"(inategemea na ukubwa)....kufanya hivi kutakusaidia wewe kujua kiasi gani cha uume unaweza kumudu ndani ya mdomo wako hasa kama unataka kumpeleka mpaka kwenye koromeo (angalia usijitapishe tu).

6-Anza shughuli sasa ya kuunyonya uume na zingatia zaidi kumkichwa kwani ndio kunako utamu, kwa kutumia midomo yako ya nje (lips) ficha meno yako ili usimkwaruze (kuwa kibogoyo kwa muda huo sawa?) alagu endelea na juu chini huku ukipunguza na kuongeza "speed".

Hakikisha unatumia mikono yako yote miwili ili kumuongezea raha mpenzi wako....mkono mmoja unacheza na pumbu....mkono mwingine unatembea kutoka "base" kwenda kati ya shina la uume.
Unapokwenda juu kwa kutumia mdomo wako hakikisha mkono unakufuata na ukirudi chini hakikisha mkono wako unakufuata.....time to time baki kichwani na tumia ulimi na lips zako kunyonya/lamba na wakati huo mkono unakwenda juu-chini kwa speed kali (kama vile anajichua) na hapo utamuongezea kautamu....

Endelea mpaka atakapo cheka.....

Jifunze Jinsi ya Kufanya Mapenzi Kupitia Simu...!!!

$
0
0

Unachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa ajili hiyo nikiwa na maana mazingira, muda wa kutosha pia kutumia sauti yako, pumzi, maneno na “imagination” vilivyo na mambo yatakuwa bomba kama kweli vile.

……..sote tunajua kuwa wanaume na ego zao huwa wanapenda kuwa in control na hivyo hupenda kuongoza linapokuja swala la kufanya mapenzi hata wanapokuwa simuni.


Sasa hapa nitajaribu kukupa mfano wa kufanya mapenzi kwa njia ya simu….kumbuka tu kuwa hii ni sanaa na unapaswa kujifunza kila siku ili kuongeza ujuzi na vionjo sio unashupalia come on baby….come on baby.


Kitu unachotakiwa kutilia maanani ni kujua anapenda kufanyiwa nini au kusikia maneno gani kutoka kwako ambayo yatamnyegesha…….mfano mimi napenda kuambiwa kile unachokifanya.

D-Hey sweetie…..mambo yako? Leo nina hamu kweli ya kutombwa na wewe……

J-Oh yeah…..

D-Anha….

J-Unatakaje

D-Vyovyote….

D-Baby, imagine niko chumbani nimeinama bila nguo natandika kitanda……

D-Unakuja nyuma yangu na kunikumbatia na bakora yako inagusa makalio yangu……ooh baby I like that….

D-Unanishika kiuno unakwenda taratibu na kuyashika matiti yangu…..sasa unaweka midomo yako na kujaribu kunyonya chuchu…..aawww….isssshh it feels so good…..

D-Sasa unanibusu midomo yangu……nakushuka maeneo ya shingo….. huku ukinipapasa taratibu……nashindwa kujizuia najiangusha kitandani…..


Hapo sasa “J” ambae ni mwanaume ndio unachukua hatamu nakuendeleza game……

Mwanamke unatakiwa kujiachia kutokana na raha unayoipata wakati huo huwa nzuri sana kama nyote wawili mtabadilishana sauti za utamu au raha mnayoipata nikiwa na maana kama vile mnafanyana physically.


Mf: aaah yess aaah baby tamu….nifanye kwa nguvu….(hapo vipi) hapo hapo….inaumaaaaah…(pole mpenzi)…nahisi kichwa kilivyo moto etc-etc

Tupe Uzoefu Wako Huwa Unafanya Haka kamchezo....?

Hiki Ndio Chanzo cha Kupungua kwa Ukubwa wa Uume na Matibabu Yake...!!!

$
0
0

kupigwa na baridi au kuoga maji ya baridi husababisha uume kuaenekana mdogo na baridi ikiondoka uume hurudi kua vilevile, hii ni kawaida kwa wanume wote duniani lakini kuna baadhi ya mambo yanatokea kwa mwanume au ambayo mwanaume mwenyewe anayafanya yanaweza kumpunguzia ukubwa wa uume na kua mdogo na usirudi katika hali yake ya zamani.

je ukubwa wa uume kwa kawaida ukoje?

kwa hali ya kawaida uume unakua na vipimo vifuatavyo katika jamii nyingi duniani, vipimo hivi hutofautina wakati mwingine kutokana na nchi na nchi kwani wengine huweza kua zaidi ya hapa..

uume ukiwa umelala ni nchi 3.4 mpaka nchi 3.7 [au sentimita 8.6 mpaka 9.3]

uume ukiwa umesimama urefu wake ni nchi 5.1 mpaka nchi 5.7[ sentimita 12.9 mpaka 14.5]

uume ukiwa umesimama unene ni nchi 3.5 mpaka nchi 3.9[ sentimita 8.8 mpaka 10]

nini kinapunguza ukubwa wa uume?

wanaume wengi hawaridhiki na ukubwa wa uume wao hata kama ni mkubwa, na wengine wanaona kabisa uume umepungua ukubwa wakilinganisha na miaka iliyopita bila kujua sababu ya msingi lakini mambo yafuatayo yanaweza kufanya uume wa mtu ukapungua.

unene na kitambi; unene hufanya mafuta mengi kuongezeka tumboni na maeneo mengine ya uume, hii hufanya uume uonekane mdogo kuliko mwanzo hata ukiwa unaingia ukeni huzuiliwa na mafuta yaliyoota mwisho wa uume, lakini pia mafuta ya ndani ya mishipa ya damu ambayo yanazuia damu ya kutosha isifike kwenye uume husababisha uume usimame kwa shida sana na kua mdogo.

umri; umri wa mwanaume unavyozidi kua mkubwa uume pia huzidi kua mdogo hii husababishwa na kupungua kwa homoni za mfumo wa uzazi wa uume ambapo homoni hizi hizi ndio huufanya uume kua mkubwa kipindi mwanaume anabalehe kwa mara ya kwanza, lakini umri haupunguzi uume tu hata nyama za mwili wote kwa ujumla sababu ya kupungua kwa uwezo wa mwili kutengeneza seli mpya, ndio maana wazee wengi misuli ni midogo.

kutoshiriki tendo la ndoa kwa mara kwa mara; uume ni kama misuli mingine ya mwili, misuli inayofanya kazi mara kwa mara hua mikubwa na minene kama watu wanaofanya mazoezi ya kubeba chuma au watu wanaofanya kazi ngumu lakini misuli ikiwa haifanyishwi kazi hupungua ukubwa, hivyo kushiriki tendo la ndoa angalau mara nne kwa wiki husaidia.

ukoo; baadhi ya koo fulani unakuta familia nzima ina uume mdogo, hii husababishwa na homoni ya testesterone kwenye miili yao kushindwa kufanya kazi vizuri lakini pia baaadhi ya koo wamebarikiwa na maumbile makubwa.

upasuaji wa tezi dume; tafiti zimeonyesha kwamba upasuaji wa kuondoa tize dume husababisha uume kuingia ndani kidogo, utafiti huu ulifanyika nchini marekani kwa wanaume 126 ambao miezi kadhaa baada ya upasuaji huu walikiri kupungua kwa ukubwa wa uume.

kupiga punyeto au kujichua; uume ni kiungo laini sana ambacho hakitaki usumbufu kabisa ndio maana uke wa mwanamke una kuta laini sana ambazo haziwezi kuharibu uume, lakini unapotumia mikono yako kujichua unaumiza mishipa ya juu ya uume inayoingiza na kutoa damu lakini pia unaweza kusababisha makovu ya ndani ya misuli na kuzuia damu kufika kwa uhakika, hiki ni chanzo kikubwa cha kupungua ukubwa na nguvu za kiume kwa vijana wadogo ambao mara nyingi hujichua sana.

kuvuta sigara; kemikali ya nicotine iliyoko kwenye sigara huziba mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume, hii husababisha uume kukosa virutubisho na damu ya kutosha na kupungua ukubwa pamoja na nguvu zake.

suluhisho ni nini?
jambo la msingi sana ni kuzuia chanzo husika cha kupungua kwa uume kwa kuacha mambo ambayo yanasababisha uume wako kupungua kama ifuatavyo...
acha kupiga punyeto; najua kuacha kupiga punyeto sio swala dogo lakini naomba nikwambie kwamba kama hauchi kujichua unaendelea kujiua, soma hapa jinsi ya kuacha 

punguza unene na kitambi; unene ni hali ambayo inaweza kuisha kama mtu akiamua kupungua, zipo program nyingi sana za kupungua uzito na kuisha kabisa kwa gharama za kawaida tu, soma hapa jinsi ya kupungua uzito

acha kuvuta sigara; sigara ina addiction sana na sio rahisi kuiacha lakini kuna jinsi ya kuacha sigara ukiamua, soma hapa jinsi ya kuacha sigara kama wewe ni 

tumia virutubisho vya kuongeza homoni ya testosterone; kama wewe mwanaume uko zaidi ya miaka 40 na unaona uume wako umepungua kuliko zamani huenda homoni zako za testosterone zimeanza kushuka hivyo kuna virutubisho unaweza kutumia mara kwa mara ili kuweka kiwango cha homoni hizo kwenye kiwango cha kawaida.[tuwasiliane ukihitaji]

mazoezi ya kuongeza uuume; uume ambao hauna mazoezi au haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupungua na kua mdogo kama nilivyosema hapo juu, hivyo unaweza kuufanya uume ue active kwa kufanya mazoezi ya uume ambayo yanaongeza damu kwenye uume na yamethibitika kuongeza ukubwa wa uume marudufu kwa watu ambao uume wao umepungua au ni mdogo tangu mwanzo..soma hapa kwa kujua zaidi mazoezi 

Toyota Alteza Inauzwa Bei Nafuu Kabisa

$
0
0
Toyota Altezza inauzwa bei poa
IPO DAR, Bunju B
Namba CBR 
Kilometer 110,000
Four Cilinder
Sh Million 7
Maelewano yapo
Piga simu 0714604974

Imfichukaa..Kumbe Hii Ndio Sababu Haswa ya CCM Kuwatumbua Baadhi ya Vigogo Wake...!!!

$
0
0

HATIMAYE Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kueleza kiundani kile kilichowaponza baadhi ya makada wake waliotimuliwa mwishoni mwa wiki wakiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba na Mwenyekiti wake katika Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.

Akizungumza kwenye kikao cha UWT mjini Dodoma jana, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambaye alimtuma mwakilishi, alisema wale waliotimuliwa baada ya kuvuliwa uanachama Jumamosi (Machi 11), walikutwa na makosa kadhaa yanayohusiana na maadili ikiwamo kuendelea kubaki kwenye makundi ya watu waliokuwa wakiwaunga mkono wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya chama chao hata baada ya kuteuliwa kwa Rais John Magufuli kupeperusha bendera yao.

Kinana ambaye katika mkutano huo wa UWT alikuwa akiwakilishwa na Katibu wa zamani wa NEC Idara ya Oganaizesheni ya CCM, Dk. Muhammed Seif Khatib, alisema kitendo hicho cha kutomuunga mkono Magufuli, ni baadhi ya makosa yaliyowaponza wahusika hadi wakavuliwa uanachama na kwamba hiyo ni ajali ya kisiasa kwa wahusika.

Wakati wa kuelekea chaguzi mbalimbali, kila mwana-CCM hutakiwa kuachana na kambi ya watu waliokuwa wakiwaunga mkono na kushirikiana kuhakikisha kuwa wagombea waliopitishwa kwenye vikao vyao halali ndiyo wanaungwa mkono ili mwishowe wafanye vizuri dhidi ya wapinzani.

Baada ya Magufuli Kuwakaripia Wabunge wa CCM Waliopanga Kwenda Kumuona Lema Gerezani,Lema Aaandika Ujumbe Mzito kwa Rais Magufuli..

$
0
0

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameibuka na kueleza kushangazwa na kauli ya Rais Dk. John Magufuli kwamba wabunge wa CCM waliotaka kwenda kumwona gerezani walikuwa wasaliti.

Lemsa alisema anatarajia Spika wa Bunge, Job Ndugai, atatoa msimamo juu ya kauli ya kiongozi huyo wa nchi.

Kauli hiyo ya Lema imekuja siku moja baada ya Rais Dk. John Magufuli, kuripotiwa na chombo kimoja cha habari (si Mtanzania) kwamba alishangazwa na hatua ya baadhi ya wabunge wa CCM waliounda kamati ya kutaka kwenda kumtembelea Lema gerezani.

Katika mkutano wake na wabunge hao juzi uliofanyika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, Rais Magufuli alisema amekuwa akielezwa kuwa kamati hiyo ilikuwa imepanga safari za kutaka kwenda kumwona Lema alipokuwa gerezani jambo ambalo alilifananisha ni sawa na usaliti kwa chama chake.

Katika taarifa aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari, Lema alisema kitendo cha wabunge hao kutaka kumtembelea si usaliti bali ni upendo ambao ni muhimu kwa binadamu yeyote pale anapokuwa na matatizo.

Lema alikaa gerezani kwa muda wa miezi minne kwa kukosa dhamana kutokana na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.

“Mheshimiwa Rais Magufuli nakusalimu. Nimetoka gerezani hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi.

“Nimeona kwenye vyombo vya habari leo kwamba wale wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa magereza ni wasaliti wa chama cha CCM.

“Mheshimiwa Rais wengi walinisalimia wakiwemo wachungaji, masheikh, wabunge na viongozi mbalimbali, sidhani kama hatua hii ilikuwa ni usaliti isipokuwa upendo ambao ni muhimu kwa binadamu yeyote pale anapokuwa na matatizo.

“Mheshimiwa  Rais nimeogopa sana kwa kauli hii, je Taifa linakwenda wapi? Hivi kweli sisi wabunge ni maadui? Kama viongozi tutafikiri utengano ni moja ya njia ya kuimarisha vyama vyetu, bila shaka tutakuwa tunalitendea Taifa ubaya,” alisema Lema.

Mbunge huyo alisema dhambi hiyo ikikomaa ni wazi kwamba lugha za kidini, ukanda na ukabila hazitaacha kukomaa.

Alisema ni muhimu sasa wakajenga utamaduni wa kuhimiza mshikamano wa kitaifa bila kujali itikadi kama kweli wanapenda masikini na wanyonge.

“Nawaomba wabunge wenzangu walionijali wakati niko gerezani wasijisikie vibaya kwani walifanya jambo jema na muhimu kwa wakati muhimu sana katika maisha yangu ninatarajia kuwa Spika wa Bunge atatoa neon juu ya kauli hii ya Rais.

“Mheshimiwa Rais wakati wa msiba wa Christina Lissu dada yake na Tundu Lissu, nilikuona katika msiba ule wewe na mama yetu mke wako, je wewe ulikuwa unasaliti chama chako?

“Meshimiwa Rais neno la Mungu linasema wapendeni maadui zenu, waombeni wanaowadhi, wabarikini wanaowaonea kwani kufanya hivi ni kuishi kwa thawabu za Mwenyezi Mungu,”alisema Lema.

Mbunge huyo alisema pamoja na hali hiyo ya kuzuiwa lakini aliwashukuru wabunge wa CCM kwa kwenda kumjulia hali, akiwa nyumbani kwake baada ya kutoka gerezani.

“Sina la kusema katika hili kama Rais alikuwa anajua hawakuja kuniona gerezani lakini niwashukuru wabunge wa CCM wote waliokuja kunijulia hali nyumbani. Sisi kama nchi tunatakiwa kuwa na umoja badala ya kuanza kubaguana kwa itikadi zetu za vyama.

“Mdogo wangu wa kike amepata mchumba lakini familia ya huyo mchumba wake inatokana na CCM je tuvunje vikao vya harusi kwa sababu ya tofauti ya vyama?

“Jibu ni hapana sisi ni Watanzania ni lazima tuishi kwa kupenda na kwa umoja kama ambavyo utamaduni wetu unatutaka na si vinginevyo,” alisema.

Lema alikamatwa Novemba 2, mwaka jana mjini Dodoma nje ya viwanja vya Bunge na kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Novemba 4 mwaka jana akikabiliwa na kesi mbili namba 440 na 441 za uchochezi dhidi ya Rais Dk. John Magufuli.

Katika kesi ya kwanza ya jinai namba 440, anadaiwa kati ya Oktoba 22 mwaka jana maeneo ya Kambi ya Fisi, Kata ya Ngarenaro, katika mkutano wa hadhara alitoa maneno yenye kuleta tabaka miongoni mwa jamii kwa kutoa matamshi yenye chuki, kuibua nia ovu kwa jamii.

Katika kesi ya pili namba 441, alidaiwa kwamba, Oktoba 23, mwaka jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Shule ya Sekondari Baraa, Lema  alitoa maneno kuwa:

“Kiburi cha Rais kisipojirekebisha, Rais akiendelea kujiona yeye ni Mungu, nimeota  Mwaka 2020 haitafika Mungu atakuwa ameshamchukua maisha yake,”.

Februari 27,  mwaka huu, Mahakama ya Rufaa Tanzania ilifuta rufaa mbili za Jamhuri dhidi ya Lema baada ya mawakili wa Serikali kuieleza mahakama  hiyo kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), hana nia ya kuendelea na rufaa, hivyo kuiomba mahakama kuzifuta rufaa hizo zilizokuwa zinahusu dhamana ya mbunge huyo.

Ijue Historia ya Firauni na Uongo Aliozushiwa...!!!

$
0
0

Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II!

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!!

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani.. 

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi zaidi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?

Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.
Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa! 
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

PolePole - Msiwe na Haraka Makonda Atashughulikiwa Kama Wanavyoshughulikiwa Wengine...!!!

$
0
0

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema taratibu zitafuatwa kuwawajibisha viongozi wake na wa serikali wanaokabiliwa na tuhuma na madai mbalimbali.

Polepole amesema hayo jana katika Makala ya Kinagaubaga, kipindi kinachorushwa na Idhaa ya Kiswahili ya Deutschen Welle(DW) baada ya kuulizwa swali kuhusu chama hicho kulea utovu wa nidhamu wa makada wake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti wanaotuhumiwa kulidhalilisha Bunge na chombo hicho kwa kauli moja kutaka wajieleze.

Akijibu swali hilo Polepole alisema, "Ninyi hamkujua kama tutawachukulia watu juzi, Serikali ina utaratibu wake bunge lina utaratibu wake na chama kina utaratibu wake. Tunao utaratibu tunafuata, wananchi wawe na subira"

"Wananchi wawe na subira, ninafahamu wananchi wana subira sana, wasubiri mamlaka za viongozi, hawa wote waliokosea, mchakato wa haki ufanyike na hatimaye tutaona matunda yake."

Jipatie Water Dispenser Mpya Kwa Bei Nafuu Upate Maji ya Baridi na Moto

$
0
0

JIPATIE WATER DISPENSER MPYA kwa bei Nafuu sanaa,Kwa matumizi ya OFISINI NA NYUMBANI, Upate Maji baridi na Moto.

Tunakuletea ULIPO Oda yako kwa Wakati na Mikoani tunatuma Oda zenu pia.

Kifaa Hiki tunatoa DHAMANA ya Mwaka 1.

BEI 195000/= TU HAINA FRIJI.

BEI 290000/= INA FRIJI CHINI

TUPIGIE SASA NAMBA 0743757575

More Items/Products follow us Instagram
@beinafuu_shop
@beinafuu_shop
Viewing all 104698 articles
Browse latest View live




Latest Images