Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104698 articles
Browse latest View live

Ridhiwani: Baba na Magufuli Wanachonganishwa..!!!

$
0
0

Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, Ridhiwani Kikwete amefunguka kuwa, kuna watu wanamchonganisha baba yake na utawala uliopo madarakani wa Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’.

Mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuliibuka maneno yaliyotengenezwa na ukurasa au akaunti yenye jina la Jakaya Mrisho Kikwete Fanpage yakioneshwa kuwa ni ya Rais JK, yaliyokuwa yakikosoa utawala uliopo madarakani kuwa unatumika vibaya dhidi ya kundi la wasio nacho (si busara kuyachapisha neno kwa neno).

Akitolea ufafanuzi jambo hilo, Ridhiwani alilithibitishia Risasi Mchanganyiko kuwa maneno hayo siyo ya baba yake na kwamba wanaofanya hivyo wana lengo la kumgombanisha mzazi wake huyo na utawala uliopo madarakani. “Sina hakika, lakini nadhani hao ni watu wanaolenga kugombanisha utawala.

“Nimeona hiyo page (ukurasa) inayozunguka mitandaoni na nimeguswa kueleza ukweli juu ya hilo. “Ukurasa huo siyo ukurasa rasmi wa mashabiki wa Jakaya Kikwete (baba yake) wala siyo ukurasa wake. Hakuna sehemu aliyowahi kuandika wala kusema maneno hayo.

“Naomba kutoa angalizo kwa wanaofanya matumizi mabaya ya mitandao kuwa watakuja kuingia matatizoni kwa kutumia majina ya watu kuchafua au kugombanisha watu.

“Kwa wale waliokwazwa na ujinga huo, kwa niaba ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete, tunawaomba radhi sana. Jitihada zimeanza kuwabaini wanaofanya hivyo. Tuendelee kusaidia maendeleo ya nchi.

Umoja wetu ndiyo maendeleo yetu,” alimalizia Ridhiwani ili kuweka sawa jambo hilo ambalo liliibua gumzo kwa baadhi ya watu walioamini kuwa ni maneno ya kiongozi huyo mstaafu na kwamba aliulenga utawala uliopo madarakani.

Mara kadhaa kumekuwa na watu wanaotumia vibaya majina ya watu likiwemo la JK kufungua kurasa au akaunti feki kisha kuandika maneno au kuweka sauti zenye nia ovu, jambo ambalo hulenga kuwachafua wahusika hivyo mamlaka husika zinapaswa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaobainika kufanya hivyo ili kukomesha uhuni huo.

Lowassa Amkwamisha Makongoro Nyerere Kuchaguliwa Ubunge wa Afrika Mashariki,...Mchezo Mzima Ulikuwa Hivi..!!!

$
0
0

MTOTO wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Makongoro, amekosa ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kwa sababu ya lugha isiyopendeza aliyoitumia dhidi ya vigogo wa upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, 

Makongoro Nyerere, ambaye mwaka 2015 alikuwa mmoja wa wapiga debe mashuhuri wa aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ambaye hatimaye aliibuka mshindi.

Hata hivyo, Makongoro ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, mwaka 2015 alikuwa akifahamika kwa “vijembe’ vyake vikali dhidi ya aliyekuwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.

“ Mwaka 2012, wakati Makongoro alipopata ubunge wa Afrika Mashariki, alibebwa na kura za wabunge wa vyama vya upinzani. Kule CCM hakuwa anapendwa sana lakini wapinzani walimpa kura kwa sababu walimwona kama mwenzao.

“ Lakini, kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, yeye ndiye aliyeongoza mashambulizi dhidi ya Lowassa. Maneno yake mengine yalikuwa makali kiasi kwamba wapinzani waliumizwa.

“ Kwenye uchaguzi wa safari hii, wabunge wa upinzani wakapiga kura za chuki kwake. Matokeo yake ni kwamba amekosa nafasi ya ubunge ambayo angetakiwa aipate,” alisema mbunge mmoja kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambaye alipiga kura mwaka 2012 na mwaka huu. Kwa sababu ambazo hakutaka kuziweka wazi, mbunge huyo aliomba kutotajwa kwenye habari hii.

Katika uchaguzi wa kuwania nafasi za EALA mwaka 2012, Makongoro alipata jumla ya kura 123 lakini katika uchaguzi wa safari hii, alipata kura 87 tu.

“ Funzo kubwa ambalo Makongoro anawapa wanasiasa vijana ni kwamba wanatakiwa waweke akiba ya maneno yao. Wakati anamsema Lowassa mwaka 2015, alisahau kwamba atarudi tena kuomba kura za wapinzani kwenye ubunge wake. Vijana waweke akiba ya maneno,” kilisema chanzo hicho cha habari.

Nafasi ya Makongoro imechukuliwa na mwanasheria mgeni katika medani za kisiasa hapa nchini, Dk. Ngwaru Maghembe ambaye ni mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

Mshindi mwingine wa EALA katika uchaguzi uliopita, Adam Kimbisa, alifanikiwa kutetea nafasi yake kwa upande wa wanaume kupitia CCM Tanzania Bara.

Vilio vya Utekaji Vyamgusa IGP..Afunguka Haya Mazito Kuhusu Sakata la Ben Saanane na Roma Mkatoli...!!!!

$
0
0

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, kwa mara ya kwanza amezungumza kuhusu vinavyodaiwa kuwa vitendo vya utekwaji na upoteaji wa watu maarufu hapa nchini, akisema mwenye ushahidi juu ya kutekwa kwa Ben Saanane ajitokeze.

Katika mazungumzo yake na Raia Mwema yaliyofanyika juzi Jumatatu, IGP Mangu alisema Tanzania haina tatizo la watu kutekwa au kutoroshwa isipokuwa kuna watu wanalikuza kwa sababu zao binafsi.

Kauli hii ya askari polisi namba moja nchini, imekuja katika kipindi ambacho taifa liko katika fukuto la kupotea na kutekwa kwa watu wawili maarufu nchini; mmoja mwanasiasa na mwingine msanii.

Juzi Jumatatu, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, aliomba Bunge liahirishe mijadala mingine inayoendelea ili kwamba jambo hili la watu kutekwa au kupotea katika mazingira tatanishi lizungumzwe kwa kina.

Lakini, Mangu alisema kwa kadri rekodi za polisi zinavyoonyesha, Tanzania haina rekodi mbaya ya matukio hayo kama ambavyo inasemwa na baadhi ya watu.

“Mimi ni askari na naweza kukwambia kwamba tuna kesi nyingi tu za watu waliopotea. Kama wewe ni mwangaliaji mzuri wa vipindi vya televisheni saa za jioni, utakuwa unaona matangazo ya watu waliopotea.

“ Mtu kupotea kuna sababu nyingi. Si lazima apotee kwa kutekwa. Kuna wengine wana matatizo yao ya kisaikolojia na yanawasababishia kupotea. Tatizo ni kwamba ninyi (vyombo vya habari) mnabagua. Watu wengine wakipotea hamsemi, wengine wakipotea mnasema.

“ Sisi hatubagui. Haki ya kuishi ya raia wote wa Tanzania ni sawa kwa mujibu wa Jeshi la Polisi. Wote waliopotea tunawatafuta na kuwapa uzito sawa. Sisi hatuna ubaguzi wa raia maarufu na wasio maarufu au wasanii na wasanii na wasio wasanii.

“Kwenye suala la kutekwa, hebu niambie, nani ambaye unamfahamu alitekwa? Alitekwa na nani? Ushahidi kwamba alitekwa uko kwa nani,” alihoji Mangu.

Kuhusu Ben Saanane

Mangu, kwa mara ya kwanza, alizungumza pia kuhusu kupotea kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Sera wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benard (Ben) Rabiu Saanane ambaye pia alikuwa mwanasafu wa gazeti hili la Raia Mwema.

Katika mazungumzo yake na gazeti hili, Mangu alisema Jeshi la Polisi bado linaendelea na msako wake wa kumtafuta Saanane na kwamba hadi sasa hakuna sababu ya kutuhumu upande wowote kutokana na kutoweka huko kwa mwanasiasa huyo.

Saanane hajaonekana hadharani tangu Novemba 18 mwaka jana lakini Mangu alisema wameomba kila aina ya ushirikiano kutoka sehemu mbalimbali katika kuhakikisha kuwa kijana huyo anapatikana.

“ Jambo moja la uhakika ambalo naweza kukwambia ni kwamba sisi tunamtafuta Ben Saanane kwa nguvu zote. Hadi sasa hakuna ushahidi kwamba alitekwa na hivyo sisi tunamtafuta kama missing person (mtu aliyepotea). Kama kuna mtu ana ushahidi kuwa bwana Saanane alitekwa basi aje nao kwetu na sisi tutaufanyia kazi,” alisisitiza Mangu.

Kuhusu Roma Mkatoliki

Msanii mashuhuri wa muziki wa kizazi kipya, Ibrahim Mussa, maarufu kwa jina la Roma Mkatoliki, alidaiwa kutekwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ingawa alipatikana na kuzungumza na wanahabari juzi Jumatatu.

Hata hivyo, Mangu alisema kwa sababu Roma mwenyewe anapatikana, ni vema akaulizwa kama alitekwa au la na kama ni kweli, alitekwa na kina nani.

“ Sitaki kuzungumzia suala la huyo kijana kwa sababu yeye mwenyewe yupo. La Saanane nimelizungumza. Huyo Roma yupo na umuulize na majibu yake yatakueleza kama alitekwa au la,” alisema Mangu.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam juzi, Roma hakuweka bayana nini kilichotokea zaidi ya kusema alitekwa na watu wasiojulikana.

Msanii huyo aliyezua mijadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii nchini, hakutaka kuingia undani wa sakata lake hilo zaidi ya kusema kwamba suala hilo linachunguzwa na Polisi na yeye hataki kuingilia uchunguzi huo.

Kuna watu wanakuza tu haya mambo kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Tanzania hakuna tatizo la watu kutekwa wala kupotezwa na makundi ya wahalifu au vyombo vya dola. Hilo tatizo halipo.

 “Kwa mambo ambayo tayari yamefika Polisi, ingekuwa vyema kwa jamii kuacha wenye utaalamu wa kuchunguza wafanye kazi yao.

Msimamo wa Chadema

Saanane alikuwa mmoja wa wasaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, na ingawa chama hicho hakikutoa taarifa mapema kuhusu kupotea kwa Ben, hatimaye mbunge huyo wa Hai alitoa maelezo yake kuhusu jambo hilo.

“Ndugu zangu Watanzania, msione nipo kimya, nimefanya hivi kutokana na kuwa suala hili lipo kwenye uchunguzi kwani tukizidisha kuongea ongea wale ambao wamemteka wanaweza kupoteza uhai wake kisa maneno. Chadema ni taasisi ambayo ina vyombo vyake vya ulinzi na usalama ambavyo vinaendelea kuchunguza tukio hili la aina yake, alisema. 

Mbowe alisema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya Desemba 24 mwaka jana, wakati wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho Kanda ya Nyasa inayojumuisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe na Rukwa.

Alisema yeye pia ameathiriwa na tukio hilo kama ilivyo kwa wazazi wake na ndugu wengine kwa kuwa ni mtu muhimu kwake katika kutekeleza majukumu yake.

Kabla ya Mbowe kuzungumza na wana habari, kundi la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG) lilizungumza na waandishi wa habari kueleza rasmi kuhusu kupotea kwa Saanane na hatua walizokuwa wamechukua kufuatilia hatma yake.

“Mnamo Novemba 18 mwaka huu (2016), Katibu wa kundi hili, Benard Saanane au maarufu kama Ben Saanane aliondoka nyumbani kwake maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam, na tangu siku hiyo hajaonekana tena hadi leo yapata siku 24.

“Tukio la kupotea kwa Ndugu Saanane lilianza kuibua mijadala kuanzia Novemba 26 mwaka huu baada ya Ben kutokuonekana nyumbani kwake Tabata, na katika eneo lake la kazi ambalo ni Makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema).

“Baada ya siku kadhaa za kutokujulikana alipo, familia yake ikawasiliana na watu mbalimbali wa karibu na Ben kujua kama wana taarifa yoyote kuhusu Ben alipo.

“Tunakitaka Chadema ambayo ndiyo taasisi Saanane aliyokua akiifanyia kazi, kuchukua hatua za kiridhisha dhidi ya suala hili. Sisi kama UTG hatujaridhishwa na namna chama hicho kinavyochelewa kuchukua hatua. Ben amekua mtumishi wa Chadema wa muda mrefu, hivyo hatuoni kama ni sahihi kwa chama hicho kushindwa kutoa tamko lolote hadi leo, ikiwa ni siku 24 sasa tangu apotee.

“Tunazitaka taasisi zote za haki za binadamu zijitokeze hadharani na kupiga kelele juu ya mambo haya mawili makubwa katika taifa. Zipige kelele Ben apatikane akiwa hai,” lilieleza kundi hilo kupitia kwa Mwenyekiti wake, Godlisten Malisa.

Credit - Raia Mwema

Ishu ya Roma, Davina Amuunga Mkono Wema...!!!

$
0
0

BAADA ya supastaa wa filamu Wema Sepetu kuwashutumu wenzake wa Bongo Muvi kwa kutosapoti harakati za kupiga kelele kufuatia kupotea kwa Mwanamuziki wa Hip Hop, Ibrahimu Mussa ‘R.O.M.A’ kwa siku tatu na kusababisha kutoleana maneno makali mtandaoni na muigizaji mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’, Halima Yahya ‘Davina’ amemuunga mkono mrembo huyo wa zamani wa Tanzania akisema wapo wasanii ambao hawawasapoti wenzao wanapokuwa kwenye matatizo.

Akistorisha na Risasi Vibes, Davina alisema waraka alioandika na Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram kwamba wasanii wa filamu hawana ushirikiano na wenzao hasa wanapokuwa katika matatizo ni kweli ingawa siyo wote.

“Wema alichosema kipo Bongo Muvi, kuna watu hawana ushirikiano na wenzao, mimi huwa nawasapoti sana wenzangu, hata yeye alipokuwa Sentro nilikwenda kumuona, kwenye suala la ROMA karibu asilimia 50 ya wasanii waliposti katika kurasa zao,” alisema na kuwataka wasanii kushirikian

Nape, Bashe na Zitto watabiriwa kutekwa..Mkaki Mzima Unaratibia na Usalama wa Taifa..!!!

$
0
0

Sakata la utekaji limeendelea kung’ang’ania bungeni baada ya mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara kutaja wabunge watano akidai kuwa wamo kwenye orodha ya watu wanaotakiwa na Idara ya Usalama wa Taifa.

Amesema hayo siku moja baada ya mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe kukiambia chombo hicho kuwa alitekwa na maofisa wa idara hiyo wakati akitoa taarifa baada ya mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kutakiwa atoe uthibitisho kuwa Usalama wa Taifa wanahusika na utekaji watu unaoendela nchini.

Akizungumza wakati wa kuomba mwongozo bungeni jana, Waitara alisema kuna timu mbili za watu watatu zimeundwa na Usalama wa Taifa kwa ajili ya kuteka watu.

“Jana (juzi) nikiwa hapo nje nilipokea message (ujumbe) kuhusu wabunge ambao ni target (walengwa). Mtoa taarifa anasema zimeundwa timu mbili za watu watatu za Usalama wa Taifa,” alisema.

Alitaja wabunge ambao wanatafutwa kuwa ni Nape Nnauye (Mtama-CCM), Hussein Bashe (Nzega Mjini-CCM), Godbless Lema (Arusha Mjini-Chadema), Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini-Chadema) na yeye mwenyewe.




Rais Magufuli Alivyoujibu Wimbo wa Wagosi wa Kaya kwa Mafumbo Jana...!!!

$
0
0

 Kama kuna watu walifikiri Rais John Magufuli hajui fasihi, basi wamejidanganya kwani jana alionekana kujibu kiaina wimbo wa kundi la wanamuziki wa rap la Wagosi wa Kaya unaoitwa ‘Dereva’.

Rais Magufuli alijifananisha na dereva wa lori ambaye “hawezi kusikiliza nyimbo za abiria” unaoitwa “Dereva”.

Alitoa kauli hiyo wakati akizindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli ya kisasa kati ya Dar es Salaam na Morogoro, itakayotumiwa na treni ya umeme katika hafla iliyofanyika Pugu jijini Dar es Salaam.

Wakati Wagosi wa Kaya wanamfananisha kiongozi wa sasa na dereva wa basi asiyesikiliza abiria wake, Rais Magufuli alijifananisha na dereva wa lori aliyechukua abiria wa aina tofauti.

Katika wimbo huo, Wagosi wa Kaya wameelezea viongozi wa Serikali katika awamu zote nne ambao wamekuwa wakisikiliza abiria wao wanapokuwa na shida, lakini wanasema wa awamu ya tano hasikilizi abiria hata wanapotaka kushuka kujisaidia.

“Unapopakia abiria kwenye lori, huhitaji kuwauliza watasimama sehemu gani wakati lori linaondoka. Wapo watakaotazama nyuma, wapo watakaotazama ubavuni, wapo watakaotazama ubavu mwingine, wapo watakaotazama kule lori unakolipeleka ili lifike salama. Lakini wapo wengine, kama utakuwa umepania wasukuma, watakuwa wanaimba,” alisema Magufuli.


ARV Zaanza Kuzalishwa Arusha..!!!!

$
0
0

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV), zitaanza kuzalishwa mkoani Arusha na Kiwanda cha TPI ARV Limited ambacho tayari kimepewa leseni.

Ummy alisema hayo jana bungeni alipojibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Fatma Toufiq, aliyetaka kujua iwapo Serikali mpango wowote wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza ARV.

Pia, alihoji iwapo dawa hizo zinazoagizwa na kutumiwa nchini kama zipo na zile zilizotengenezwa maalumu kwa ajili ya watoto.

Waziri Mwalimu alisema kwa sasa kuna kiwanda mkoani Arusha (TPI ARV Limited) ambacho kimepewa leseni ya kutengeneza ARV, ili kufubaza makali ya ugonjwa huo.

Kuhusu dawa zinazoingizwa nchini, alisema; “zipo za watoto ‘Nevirapine Syrup, Lopinavir/Ritonavir Syrup’.

Maswali Zaidi ya 1000 Yakosa Majibu Kuhusu Kutekwa na Kuachiwa kwa Roma Mkatoliki ..!!

$
0
0

Yanaweza yakafika maswali 1,000. Mijini na vijijini watu wanajiuliza maswali na kama kila swali litachukuliwa kwa uzito, Roma Mkatoliki atakuwa na kazi ya kujibu zaidi ya maswali 1,000 ya Watanzania.

Baadhi ya maswali  ambayo hayajapata majibu kuhusu utekaji wa Roma ni pamoja na alichohojiwa na watekaji, kwa nini watekaji waliwafunga vitambaa vyeusi, kwa nini ofisa mmoja wa Serikali alitabiri kuwa watarudi kabla ya Jumapili na utata kuhusu mazingira ya kufika polisi baada ya kutekwa.

Siku moja baada ya kuachiwa na watekaji, Roma hakueleza alichohojiwa na watekaji. “Watekaji walikuwa wakituhoji na kutupiga,” alisema Roma aliyekuwa amefuatana na wasanii aliotekwa nao, Moni, Bin Laden na Imma.

Mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii, Godlisten Malisa ameandika katika mtandao wake wa facebook akihoji maswali kadhaa kuhusu utekaji wa Roma.

Miongoni mwake anahoji, ni kwa nini msanii huyo alijikuta yupo Ununio, lakini akaenda kuripoti Kituo cha Polisi Kati (kikuu) na baadaye Oysterbay huku akiwa tayari amekwenda nyumbani kwake kubadilisha nguo ambazo ni ushahidi badala ya kwenda polisi moja kwa moja.

Swali hilo ambalo majibu yake hayajapatikana linapewa nguvu na idadi ya vituo vya polisi vilivyopo kati ya Ununio na Posta, ambayo Roma alivipita bila kujisalimisha na kutoa taarifa kuwa alikuwa ametekwa.



Mamlaka ya Reli Yaomba Katiba Ibadilishwe Ili Rais Magufuli Aongezewe Muda..

$
0
0

Wameandika Hayo Kupitia Ukurasa wao Wa Twitter..
Kwamba yafanyike Mabadiliko ya katiba ili Rais JPM aongoze kwa vipindi zaidi ya viwili..

Boniface Jacob: Tume ya Maadili Imeyakubali Mashitaka Dhidi ya Paul Makonda..!!!

$
0
0

Ndugu waandishi wa habari, kwa heshima kubwa ya kutambua nafasi yenu muhimu kwenye jamii, nimewaita hapa ili tushirikiane kuujuza umma kwamba tupo kwenye wakati mzuri wa haki kuonekana ikitendeka dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambae kwa vielelzo vyote anatambulika kama Daudi Albert Bashite lakini wengi wanamfahamu kama Paul Makonda.

Ndugu waandishi wa habari, huu ni mwanzo, na kwa hakika ni mwanzo mwema wenye kuashiria kuwa mwisho wa Daudi Bashite umewadia.

Ndugu waandishi wa habari, ntakumbuka kuwa 22 Machi 2017 mwaka huu, niliwasilisha mashitaka yangu dhidi ya Daudi Bashite kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutaka achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma na kukosa sifa yakuwa kiongozi si tu DSM bali Tanzania kwa ujumla.

Mashtaka yangu tume yalikuwa ni yafuatayo;

1. Kugushi vyeti vya kitaaluma kulikofanywa na RC makonda huku akijua fika kuwa vyeti anavyotumia vya taaluma si vyake wala si muhusika hivyo kujiita PAUL CHRISTIAN MAKONDA huku akijua fika kuwa yeye ni DAUDI ALBERT BASHITE, amekiuka sheria za nji nakutenda jinai.

2. Kula kiapo cha utii na uaminifu mbele ya Mheshimiwa Rais kwa uhusika wa kugushi ni kosa kubwa sana kisheria,huku akijua fika kuwa Rais alipaswa amuapishe yeye kama DAUDI ALBERT BASHITE na siyo PAUL CHRISTIAN MAKONDA.

3. Kujipatia mali kama magari na vinginevyo kinyume na maadili ya viongozi wa umma, ambapo zawadi zote unazopokea unapaswa kutangaza hadharani, ikiwemo kupata mali hizo kwa wahusika ambao amekuwa akiwatangaza hadharani na kuwatuhumu kujihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya.

4. Kukiuka Misingi ya utawala bora haki za binadamu na utawala wa sheria kwa kutuhumu watu ovyo hadharani kuwa walijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kabla ya kukutwa na hatia na kisha wengine kuachiwa huru baada ya kubainika hawakutenda makosa hayo; kinyume kabisa na sheria ambapo mtu anatakiwa kutangazwa hadharani anapokutwa ametenda makosa.

5. Shitaka la mwisho lilikuwa ni la Uvamizi wa kituo cha kirusha matangazo ya redio na runinga cha Clouds media, ambapo akijua kuwa maadili ya viongozi wa umma, hayaruhusu kiongozi kushurutisha au kulazimisha jambo lolote kwakutumia madaraka yake kama kiongozi, ambapo mtuhumiwa alitenda kosa la kutaka kutumia nguvu kurusha kipindi cha kumkashifu Kiongozi wa dini wa Maknisa ya Ufufuo na Uzima almaarufu kamam Askofu Josephat Gwajima.

Ndugu waandishi wa habari, jana Aprili 12, nilipokea barua kutoka kwa Kamishna wa Tume, *Jaji Harold R Nsekela* akinijulisha kuwa Tume ya maadili ya viongozi wa Umma imekubali Mashtaka yangu dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, na kunitaarifu kuwa wameanza kuyafanyia kazi mashitaka yote.

Ndugu waandishi wa habari, taarifa hiyo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, imetoa mwanga mkubwa kwamba HAKI ambayo wengi wamekuwa wakiiomba, sasa Mwanga umeanza kuonekana.

Hivyo niwaombe wapenda haki wote popote walipo tushirikiane kwa hili ambalo mkuu wa mkoa amekuwa ni kero jijini Dar es salaam, Tupeane ushirikiano wa kuniongezea vielelezo vingine zaidi ya vile nilivyowasilisha Tume yaani vyeti na nakala zingine za mali kama nimesahau jambo lolote.

Mimi mlalamikaji na mashahidi wangu muhimu tupo tayari, mbali na matukio ya utekwaji na upoteaji wa watu lakini tumeendelea kutaka kuona mwisho wa kero hii jijini Dar es salaam, hivyo wakati wowote shauri litakapo anza kusikilizwa kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma, tutakuwa mstari wa mbele kutaka haki itendeke.

Wenu
Katika upiganiaji haki

BONIFACE JACOB
MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO

Lulu Afunguka Haya Kuhusu Mahusiano Yake na Majay..Atangaza Tarehe ya Ndoa..!!!

$
0
0

Elizabeth Michael (Lulu) amedai ndoa yake na mpenzi wake Dj Majay inakaribia.Muigizaji huyo ambaye ameonekana kutulia sana tangu alipokuwa na mahusiano na bosi huyo wa EFM na TVE amesema hivi karibuni wale waliokuwa wakitaka waachane watabaki midomo wazi.

“Siku zinakaribia na karibu tarehe ya ndoa yangu itatangazwa kwa uwezo wa Mungu. Hapo ndipo waliotamani tuachane wataziba midomo, maana natarajiwa kuwa mke halali hivi karibuni,” ameliambia gazeti la Mtanzania.

Lulu ameongeza kuwa anatamani kuwa mke bora kwenye ndoa yake kama alivyokuwa sasa kwenye mahusiano yake.

Hicho Ndio Kikosi cha Yanga Kitachoenda Kupambana na Alger..!!!!

$
0
0

Klabu ya soka ya Yanga SC inapenda kutoa taarifa juu ya safari yake leo Alhamisi kwenda Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya Mc Alger.

Msafara wa wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi utaondoka Alhamisi jioni majira ya saa 12 kwa ndege ya shirika la Emirate kupitia Dubai.

Wachezaji watakaondoka ni Makipa: Deogratius Munishi na Beno Kakolanya.

Nafasi ya ulinzi: Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Vicent Bossou , Juma Abdul , Vicent Andrew, Oscar Joshua, Mwinyi Haji, Hassan Kessy na Kelvin Yondani.

Viungo: Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima, Deusi Kaseke, Said Makapu, Juma Mahadhi, Simon Msuva, Geoffrey Mwashiuya na Emmanuel Martin.

Upande wa washambuliaji ni Amissi Tambwe na Donald Ngoma.

Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali Justine Zulu, Malimi Busungu, Matheo Antony, Ally Mustapha, Pato Ngonyani, Obrey Chirwa na Yusuph Mhilu.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano
Young Africans SC
12/04/2017.

Upasuaji wa Kwanza wa Kupandikiza Kichwa(World's First Human Head Transplant)..!!!

$
0
0

Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu.

Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017
opareshen itafanywa na madaktari na manesi 150 kwa pamoja wakiongozwa na daktari mtaalamu wa mishipa ya fahamu(neurosurgeon) Sergio Canavero.
Opareshen inakadiriwa kutumia masaa 34.

Gharama za opareshen hii ni dolla za kimarekani mil 30..Inasemekana kuwa dr sergio Canavero alifanya utafiti kwa miaka 30 hadi mwaka huu 2017 ambapo opareshen hii itafanyika..

Walioko interested na medical issues ngoja tusubili kama itafanikiwa na mgonjwa ataishi baada ya hio transplant. Tukae mkao wa kula hadi hio December kushuhudia kitakachotokea

Video: Dogo Ajiua kwa Bahati Mbaya Akiwa Live Kwenye Instagram...!!!

$
0
0

Kijana wa miaka kumi na.. huko Marekani, amepoteza maisha baada ya kujipiga risasi bahati mbaya huku marafiki zake wakimuangalia kupitia Instagram Live.

Mama yake, Shaniqua Stephens amesema alisikia kishindo kikubwa kwenye chumba cha mwanae, Malachi Hemphill, 13. Yeye na mtoto wake wa kike walikimbia ghorofani na kumkuta mwanae akiwa amelala kwenye dimbwi la damu. Simu yake ilikuwa ikionesha Instagram Live.

Mtoto huyo alikuwa live Instagram akichezea bunduki kuwaonesha followers wake. Alikimbizwa hospitali ambako alipoteza maisha.

Polisi wanapeleleza kubaini ni kwa vipi Malachi alipata bunduki.

Alichosema Zitto Baada ya Hoja Yake Kutupwa..!!!!

$
0
0

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amesema hajakata tamaa na kukataliwa kwa hoja yake binafsi iliyotaka kuundwe tume ya kuchunguza vitendo vya uhalifu hasa utekaji na uteswaji kwa watu wasiokuwa na hatia. 

Kupitia mtandao wa kijamii, Zitto  amewataka wananchi wawaunge mkono kwenye ajenda ya kuufumua mfumo wa Usalama wa Taifa ili waweze kuunda idara itakayosimamia usalama na maslahi ya taifa badala ya kuteka na kutesa watu.

"Hoja binafsi kuhusu kuundwa Kamati Teule ya Bunge kuchunguza vitendo vya utekaji na uteswaji imekataliwa jana. Hata hivyo, tutaendelea na hoja hiyo wiki ijayo baada ya mapumziko ya Pasaka ambapo waziri mwenye kuhusika na Usalama wa Taifa ataleta hoja ya makadirio ya matumizi ya idara hiyo. Tunataka Idara ya Usalama ifanyiwe marekebisho makubwa ikiwemo kuvunjwa na kuundwa upya. Wananchi tunaomba mtuunge mkono kwenye ajenda hii ya kuufumua mfumo wetu wa usalama wa taifa ili kuunda idara inayosimamia usalama na maslahi ya taifa badala ya Idara ya kuteka na kutesa watu." Ameandika Zitto 

Kwa upande mwingine Mbunge huyo amesikitishwa na matukio yanayozidi kutokea katika nchi huku akisema laiti kama kungekuwa na usalama taifa imara pasingekuwa yanatokea vitendo vya utekaji.


Hatua za Kuzingatia Pale Unapotaka Kumfanya Rafiki Yako Kuwa Mpenzi Wako..!!!

$
0
0

Kuna baadhi ya wanaume ambao wanajiskia kuwa na furaha wakiwa na marafiki zao wa kike ambao wanawapenda kisiri, lakini kama umechoshwa na kuboeka kuwa rafiki pekee na mwanamke unayempenda, basi huu ndio wakati mzuri wa kujeuza gemu yako kabisa. Barabara ya kumbadilisha rafiki yako hadi kuwa girlfriend wako inaweza kuwa ndefu, lakini mwishowe huwa na utamu wake. 

Halafu kama wewe ni mwoga, mpweke, ama bikra ambaye hajui lolote kuhusu jinsi ya kuwatongoza wanawake, basi usitie shaka. Huwa ni rahisi kutimiza hili. Na utaweza kujenga confidence yako na kujeuka mwanaume ambaye anaweza kujumuika na kutangamana na wengine kirahisi. Hii hapa ni njia nzuri zaidi za kukuwezesha kumvutia mwanamke wa ndoto yako na finally ajeuke zaidi ya rafiki yako. Hivi ndivyo unavyopaswa kufanya.

#1 Acha tabia ya kuwa Mr. Mzuri
Ijapokuwa ni vizuri kuwa mwanaume mzuri mara moja au nyingine, kuwa mzuri sana kiasi cha kuwa unaonekana kama unajipendekeza kwa mwanamke hakufai. Mwanzo ukiendelea kumuonyesha uzuri wako kila wakati utabakia kuwa rafiki yake milele. Kama hujawahi kugundua hili, wanawake wengi huwa wanapendezwa zaidi na wanaume ambao ni masharobaro ama ‘bad boys’. Hii ni kwa sababu masharobaro huwa wanaonyesha hulka ya kutojali ama kuwa na hulka ambazo huonyesha ubaya wao mara moja au nyingine – hii huwavutia wanawake sana. Wanawake hupenda wanaume ambao wanaonyesha confidence  – kitu ambacho mwanaume alpha huwa anamiliki. Well, wanaume ambao wanatawala na ambao wanaonyesha kucontrol katika kila hali huwa kikawaida wanakuwa na confidence wakati wote. So, kama utaanza kuiga na kuonekana kama mwanaume sharobaro, unaweza kujeuka na kuonekana na mvuto na nishati zaidi ambayo itakuweka juu katika mashindano kwa muda mfupi sana.

#2 Usimuandame kama kelbu
Kama unapenda kumfuata fuata mwanamke kama kelbu, basi ataudhika na wewe na mwishowe atakuacha katikati. Mbaya zaidi anaweza kuambia marafiki zake kuwa wewe ni fala usiyekuwa na kazi ya kufanya. Ama anaweza kukatiza urafiki wenu. So, njia nzuri ya kufanya kwa sasa ni kurelax na utulize gemu. Kwa njia nyingine ni kuwa, usimkimbize kufanya jambo lolote. Ukitaka kumfanya mwanamke awe interested na wewe  kiharaka ni kwa kuhakikisha ya kuwa unakuwa mtu asiyeeleweka, yaani leo uko na yeye, kesho uko busy hupatikani. Huku kutamfanya akumisi na kutaka kuspend muda wake mwingi na wewe.

#3 Usikubaliane na kila kitu
Kama utaendelea kufanya kila kitu ambacho mwanamke anakuambia ama kukubaliana na kila kitu anachotaka, basi ataanza kukuchukulia advantage kwa sababu atagundua kuwa amekuweka katika viganja vyake. Jithamini wewe mwenyewe zaidi kuanzia sasa na umuonyeshe kuwa haubabaikii ama kuomba atenshen kutoka kwake. Hii itamfanya kuanza kujishuku na itamfanya kutaka kujua kwa nini umekuwa tofauti. Baadaye, ataanza kukukimbilia ili abadilike.

#4 Isome na uielewe sanaa ya kutongoza
Katika dunia ya kudeti na kutongoza, hakuna kitu kinachofanya kazi vizuri zaidi kama kushawishi. Mwanzo, hakuna kitu ambacho kitatokea kati yako na rafiki yako kama hujui kushawishi. So, nenda ujifunze jinsi ya kutumia macho yako kumtongoza rafiki yako, mpe tabasamu, mfinyie jicho, na mhusishe katika gumzo ambalo litampa hamu ya kukukaribia. Fanya haya yote na utaona utofauti wa rafiki yako akianza kufall na wewe pole pole. Utajipata rafiki yako amejeuka kuwa mpenzi wako.

Jinsi Ya Kuwashawishi Wanawake Watoke Out Na Wewe..!!!

$
0
0

Kabla hujaendelea kusoma chapisho hili, nataka ufahamu ya kwamba kuna njia moja pekee ya uhakika ambayo unaweza kuitumia kuepuka kukataliwa na wanawake katika dunia na miaka ya kisasa, nayo ni kukaa nyumbani na kuepuka kutangamana na wanawake kabisa. Naturally hakuna shangwe kwa hilo, so unapaswa kukubali kuwa kukataliwa kunakuja wakati ambapo utaamua kuapproach mwanamke. Njia nzuri ya kueleza tatizo hili ni kwa kukabiliana nalo mzima mzima. Mwishowe, kadri unavyozidi kufanya mazoezi ndipo utakapozidi kuwa na mafanikio katika kuapproach wanawake na kuwashawishi watoke out na wewe.

Hizi hapa ni mbinu tofauti tofauti ambazo unaweza kuzitumia kuwashawishi wanawake watoke out na wewe na kuepuka kukataliwa na mwanamke kwa namna yeyote ile.

#1 Makinika na timing yako
Hata kama wewe unavutia ama kupendeza mbele ya wanawake kiasi gani, hutoweza kuwa na wakati rahisi wa kumfanya mwanamke avutiwe ama umfanye akubali kutoka out na wewe kama hujua vile timing inavyofanya kazi. So, utawezaje kufanya timing yako iwe bora? Utajuaje kama ni wakati muruwa wa kumuapproach mwanamke kwa mara ya kwanza na kumtongoza? Unaanzishaje gumzo na mwanamke? Well, kwa wale ambao ndio wanaanza kujua maswala ya kudeti, unahitajika kwanza kujua jinsi ya kusoma vile miondoko ya mwanamke hufanya kazi. Baada ya hapo, unaanza kutafuta ishara hakika ambazo zitakwambia kuwa mwanamke fulani yuko tayari kuapproachiwa na kutongozwa. Kama mwanamke hataonyesha dalili ama ishara zozote, basi unaachana naye na kutafuta windo jingine.

#2 Mhusishe katika gumzo la kisawasawa
Kama unataka mwanamke atoke out na wewe, basi unapaswa kumfanya afall in love na wewe kila dakika ambayo utakuwa unaspend na yeye. Kufanya hivi, unapaswa kuanza na lengo katika akili yako kila wakati ambapo utaamua kumuapproach mwanamke. Jiambie mwenyewe kuwa siku hii utamfagia mwanamke kutoka miguuni mwake. Jiambie mwenyewe kuwa unaweza kumfanya huyu mwanamke ajihisi kama wewe ni nusu wa moyo wake. Hii inaweza kuonekana kazi ngumu kwa sasa, lakini si lazima iwe hivi. Unaweza tu kujiweka ama kujifananisha wewe kama  mwanaume asiyejulikana na ambaye amebobea katika maswala ya kutongoza, na hakika kwa wale wanawake ambao watakutana na wewe siku hio watakuchukulia kama wewe ni mwanaume bora ambaye wameweza kukutana naye.

#3 Ipaze tenshen ya mapenzi
Kitu kingine ambacho unapaswa kufanya ni kumfanya mwanamke apandwe na tenshen ya mapenzi kila wakati anapokuona – tenshen ya hali ya juu ambayo itamfanya aitikie kila kitu ambacho utamuamuru kufanya. Kemia ya kimapenzi ambayo inafanya kazi kama mzizi, ambayo unaweza kumfanya mwanamke arushe mbali wasiwasi wake wote ambao anaweza kuwa anauhisi na kumfanya afanye kila kitu ambacho unataka wewe. Pindi utakapofanikiwa kuongeza level yake ya tenshen za kimapenzi, hutapata shida kwa kueneleza ajenda zako vile unavyokusudia wewe.

MKE wa Roma Asifiwa Kwa Hili...

$
0
0

DAR ES SALAAM: Juu ya madai ya mumewe ambaye ni staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kutekwa na kuteswa kisha kutelekezwa akiwa na wenzake watatu baada ya siku kadhaa, mke wa jamaa huyo aitwaye Nancy ameacha gumzo kufuatia ujasiri aliouonesha katika tukio hilo.
Kwa mujibu wa watu wa karibu na familia ya Roma, Nancy ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Roma aitwaye Ivan, alionesha ujasiri wa aina yake kwani alikuwa halali badala yake alizunguka kila kona jijini Dar akimsaka mumewe, jambo ambalo baadhi ya wanawake wasingeweza kulifanya. “Nancy siyo wa mchezomchezo, tangu mumewe alipotekwa alikuwa halali. Alichokifanya aliomba msaada kwa ndugu zake wa kumtafuta mumewe kila kona hadi alipopatikana. “Unaambiwa alizunguka kila sehemu bila mafanikio akimtafuta mume wake tangu aliposikia taarifa za kutekwa usiku wa Jumatano (wiki iliyopita). “Nancy alianzia Studio za Tongwe Records (Masaki), baada ya hapo hakulala, alizunguka karibia vituo vyote vya polisi Dar. 
Alituma watu hadi mochwari kumuulizia mumewe na wakati huohuo akiviomba vyombo vya habari kumsaidia hadi mumewe alipopatikana, tofauti na wanawake wengine ambao wangejifungia tu kusubiri taarifa. “Unajua watu wengi walikuwa hawamjui Nancy ni mtu wa aina gani lakini tukio la Roma limemfanya awe gumzo sana kwa ujasiri aliounesha kwenye kipindi kigumu alichopitia,” alisema mtu huyo wa karibu wa familia ya Roma. Akizungumza na Amani juu ya ujasiri aliouonesha kwenye tukio hilo, Nancy alisema kuwa, tukio hilo lilimfanya achanganyikiwe na kujikuta akihangaika kwenye vituo vingi vya polisi jijini Dar. Alisema kuwa, kilichokuwa kinamfanya achanganyikiwe na kushindwa kupata usingizi ni kwamba, kabla, hakuwahi kumpatia taarifa yoyote kama anatafutwa na polisi achilia mbali kuwa na tatizo na mtu yeyote.
Hata hivyo, Nancy aliwashukuru wadau mbalimbali pamoja na Watanzania kwa ujumla kumuunga mkono katika jitihada za kumtafuta mume wake hadi alipopatikana na bado wameendelea kutoa pole hivyo kuonesha upendo mkubwa walionao kwa baba mtoto wake.
.
TOA MAONI YAKO HAPA

SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani..!!!

$
0
0
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.

Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza.


Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha ambayo itajijenga katika akili yake wakati munatumiana jumbe za kimapenzi. Kama ulimpendeza sana ile mara ya kwanza alipokupatia namba yake ya simu, basi itakuwa rahisi kwa mpangilio wako uende sambamba kama vile unavyotarajia.

Pindi utakapoingia katika level  nyingine ya kuliwazika na huyu mwanamke ambaye unamrushia mistari, mwonyeshe vile ambavyo umependezwa na yeye kwa kumsifu. Hakikisha kuwa unakuwa mpole katika SMS zako pia. Kama yuko darasani au kazini, usimtumie jumbe mpaka ule wakati ambao yuko huru na makini wa kujibu texts zako.

Kama hujui ni wakati gani atakuwa yuko free, unaweza kujaribu kumtext wakati uo huo ambapo amekupatia namba yake ya simu (hakikisha una makinika kama utaamua kumtumia jumbe wakati uo huo ili usionekane kuwa una uhitaji mwingi). Vizuri zaidi wakati unapomtumia huo ujumbe unapaswa umsifie kwa jambo ambalo umeliona wakati ambapo ulikuwa naye awali. Mfano unaweza kumsifia kitu ambacho ulikiona kama vile nguo nzuri, tabasamu lake, macho, mawazo yake nk. Jaribu kuhepa kugusia umbo lake wakati huo.

Kama umekuwa mkitumiana jumbe kwa muda sasa na mumetoka deti mara moja au mbili, unaweza kuanza kuingiza na kugusia maswala ya mapenzi katika SMS zenu ili kuanza kupasha misuli kwa mambo ambayo unamwandalia usoni.

Kutokana na mistari ambayo umekuwa ukiisoma kwa mitandao ama kuiskia kwa marafiki zako, unaweza kuanza kumtext mwanamke huyu mara moja moja huku ukitulia ukiskilizia kama atakujibu kwa kukubaliana nawe ama kukupinga. Ukiona kama kila ujumbe anaoujibu anajibu kwa njia chanya, basi ni wakati wa kwako usichelewe tena bali uhakikishe ya kuwa unatumia mbinu ambayo utaingiza mawazo yako kwa akili yake na hatokusahau milele – huwezi jua, labda meseji utakayomtumia baadaye itakuwa ndio meseji ya kumfanya ajeuke kuwa mpenzi wako.

Jinsi ya Kujua kama Umemfikisha kweli Kileleni na Kumridhisha Mwanamke Wako.

$
0
0

Mimi sio mwigizaji, zaidi ya hapo nilikuwa mtu wa mwisho kwenye maigizo kipindi cha shule ya msingi, ila nina uwezo mkubwa wa kusema "Oooh, hapo hapo.. unanifikishaaa!", mpaka mwanaume akahisi kweli amenifikisha, hata hivyo siko peke yangu wanawake wengi tu wanaigiza wakati wapo wanafanya mapenzi.

Utafiti wa kitaifa wa ngono uliofanywa na chuo cha indiana, ulionyesha asilimia 85% ya wanaume wakisema mara ya mwisho kufanya ngono waliwafikisha kileleni wenza wao, hata hivyo asilimia 64% tu ya wanawake walisema walifika kileleni mara ya mwisho walipofanya ngono, hii inamaanisha ni hesabu ya ajabu hata mtoto wa darasa la pili anajua imekosewa, na inamaanisha asilimia 21% ya wanaume walidanganywa na milio ya kimahaba ya wenza wao na wakaamini kuwa waliwafikisha.

Iwapo tukichukulia na wewe utaki kuwa mmoja wa hao waliodanganywa na mbaya zaidi hawakua na ufahamu wowote kuwa wamedanganywa, Kiumeni.com wamekuandalia dalili zinazoonyesha na zitakazokuwa zinakuonyesha iwapo unadanganywa.

        #1; Unamwelewa

Tuweke hivi, "Ooooh, hapo hapo usiitoe... ooh, naisikia mpaka kichwani!", mwanamke huwa anasema hivi akiwa anakandwa miguu yake na maji ya moto baada ya safari ya miguu ya mwendo mrefu, "OH... USI...., JAMA... UNA.... NDIO...., HAPO HA...", hivi ndomwanamke anavyosema ukiwa unashughurika vizuri kitandani, akiweza kuunganisha sentensi nzima na ikaeleweka ujue anakuzuga, maana akifikia mshindo akili yote inakua kama haifanyi kazi vizuri na ikitokea akiwa analia kama kwenye video za ngono wanavyolia, ujue anakusubiri umalize mambo yako aanze kukuelezea shida zake alizonazo, wale wa kwenye video za ngono huwa wana igiza, mwanamke wa kihalisia wa kawaida huwa hawafiki kileleni iwapo mwanaume anatumia nguvu ovyo ovyo bila ya mpangilio na msuguano wowote unaohusisha kinembe.

         #2; Anakubusu bila kuacha

Kwa mwanamke ili afike kileleni, inabidi awe na umakini mkubwa na kuweka hisia zake zote kwenye msuguano na msisimko anaoupata mwilini mwake ili afike mshindo, kubusu na kutekenya hawezi kuvifanya kwa wakati huo ambao anaweka mawazo yote mahala hapo, ukiona unataka kumpiga denda akageukia pembeni ujue mambo ndo yamemkolea vizuri na sio vinginevyo.

        #3; Uso wake unakuwa mzuri

Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo wakati uume waako unagombana na mikono yako, najua ulishawahi kujisugua, nani ambae hajawai..., hakuna!, na unaelekea yale mambo kumwagika, unajua usowako unakuwaje?, uso wako unakuwa kama vile unataka kutolewa maisha au kama unataka kulia vile, binadamu wote wako sawa upande wa kihisia, hata wanawake pia!, akiwa na sura nzuri wakati ndo anafika mshindo ujue hapo hakuna!, anatakiwa kuwa na sura ambayo haina mvuto kama anataka kulia na sio awe bado anapendeza kama ndo anaingia harusini.

      #4; Unafanya mapenzi na mpenzi wako kwa stairi ya kimbwa mbwa

Mwanamke kufika kileleni kwa stairi ya kujamiiana kutoka kwa nyuma ni sawa na wewe kufika mshindo huku mwanamke akiwa anakuchezea kwa mikono.

Sijasema haiwezekani, ila inahitaji ufundi mkubwa na dereva inabidi awe anaijua kwa umakini mkubwa njia yake anayopita, ili manbo hayo yaweze kutokea, kwa hio nitakua na wasiwasi kama mwanamke akisema kafika kileleni kwa kutumia hio stairi, mwanamke anauwezo mkubwa wa kufika kileleni iwapo anafanya mapenzi ila yeye ndo yuko juu ya mwanaume kashika msukani, au kwa stairi ya missionary inayoitwa Coital Alignment Technique kwa kifupi The Cat, najua huijui... i gugo(google) na utaiona.

     #5; Ngozi yake inakuwa nyororo na kavu

Mwanamke akiwa amefika kileleni eneo la kuma yake linakuwa limeloana, moyo humuenda mbio, presha ya damu vyote vinakuja juu ambavyo inamaanisha lazima jasho limtoke kwa aina yeyote ile na mwili unakua na majimaji kwenye ngozi, hii ni moja ya dalili amekwea mlima na kufika kileleni kwa furaha na kama ni mmwagaji, kuma inatokwa na maji basi shuka zote huwa zimeloana.
Viewing all 104698 articles
Browse latest View live




Latest Images