Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live

KIMENUKAA..Jengo la Yanga Kupigwa Mnada..Kisa Deni la Milioni ..!!!!

0
0

JENGO la makao makuu ya Klabu ya Yanga lililoko makutano ya mtaa wa Jangwani na Twiga Kariakoo jijini Dar es Salaam, liko hatarini kupigwa mnada kutokana na deni la Sh. milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa, imefahamika.

Taarifa zilizopatikana jana jijini zinaeleza kuwa Kampuni ya Udalali ya Msolopa ndiyo imepewa mamlaka ya kusimamia mnada huo.

Akizungumza jana jioni, Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, alithibitisha kuwapo kwa deni hilo na kueleza kuwa uongozi umeanza utaratibu wa kulifanyia kazi suala hilo.

Mkwasa alisema kuwa deni hilo limetokana na malimbikizo ya ada ya jengo la kiwanja kinachomilikiwa na klabu hiyo, lakini wanaamini watalilipa kabla ya mchakato huo wa kunadi jengo hilo la makao makuu haujafanyika.

"Ni kweli kesi iko katika Mahakama ya Ardhi na tumeshaanza kuifanyia kazi," alisema kwa kifupi Mkwasa, kocha na mchezaji wa zamani wa timu hiyo.

WABUNGE wa Ukawa Waachiwa Huru kesi ya kumshika Matiti Katibu Tawala..!!!

0
0

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge wa Ukawa na makada wao waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando.

Hakimu Mkazi Mkuu,Huruma Shaidi amewaachia huru leo wabunge hao  baada ya kuwaona hawana kesi ya kujibu.

Hakimu Shaidi amesema katika ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka  umeshindwa kuthibisha, hata  mlalamikaji Mmbando hakumbuki ni nani alimjeruhi.

Ushahidi wake ulielezea jinsi washtakiwa walivyojishughulisha na nyaraka siku ya tukio na siyo kumjeruhi.

Kuhusu kushikwa matiti, Hakimu Shaidi alisema;

 “Sijui alishikwa matiti na nani?”

 Kutokana na  ushahidi huo Hakimu  aliwaachia huru washtakiwa wote kwa kuwa hawana kesi ya kujibu.

LIPUMBA Amsifu Jecha Kufuta Matokeo Zanzibar..!!!

0
0

Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,  amesema ni afadhali  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar  kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

 Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa  kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

RAIS Magufuli Amemuongeza Profesa Huyu Kwenye Serikali Yake..!!!!

0
0

Rais John Magufuli amemteua, Profesa Egid Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi inaeleza kuwa  uteuzi wa Mubofu umeanza tangu Mei 2 mwaka huu.

Profesa Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi ya Joseph Masikitiko ambaye uteuzi wake ulitenguliwa Julai mwaka jana.

MBUNGE wa Chadema Afikishwa Muhimbili Baada ya Kuzidiwa Dodoma..!!!

0
0

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefikishwa Hospitali  ya Taifa Muhimbili (MNH) leo akitokea Dodoma kwa ajili ya matibabu ya uvimbe unaomsumbua.

Mdogo wa mbunge huyo, Edward Heche amesema kuwa kaka yake alianza kupatwa na maumivu makali jana (Jumatano) akiwa Dodoma ndipo alipokwenda kwa ajili ya kumsaidia.

 “Nilifika Dodoma jana saa tisa nikamkuta anatibiwa katika hospitali ya Bunge hali yake haikuwa nzuri alikuwa analalamika kuwa maumivu yalizidi, tukampelekea hospitali ya mkoa bado aliendelea kulalama huko akapewa dawa za kupunguza maumivu lakini haikusaidia tulipoandikiwa kuja Muhimbili,” amesema na kuongeza;

“Hali ya Heche sio nzuri, tatizo ni kwamba alifanyiwa upasuaji kwenye uvimbe uliokuwa pajani lakini kwa bahati mbaya inaonekana baadhi ya nyuzi ziliachia na ndiyo inamsababishia maumivu makali.”


MBASHA: Aliyemuoa Flora Apokee Ujumbe Huu..!!!

0
0

Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.

Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha

RAIS Magufuli Atatua Kero ya Kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja Mbioni Kufunguliwa...!!!

0
0

Rais Magufuli aliahidi na anetekeleza. Anaendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Jiji la Mwanza kwa sasa linazidi kunawiri na kupata mwonekano mpya kutokana na ujenzi wa Daraja la Furahisha kufikia katika hatua nzuri. Daraja hilo kwa juu wanapita watembea kwa miguu na chini vyombo vya usafiri. Kwa waliopita kwenye Daraja la Manzese wanapata picha ila hili la Furahisha ni la kipekee kutokana na jinsi lilivyonakishiwa.

VANESSA Mdee Alalamika Kuchafuliwa na Afande Sele

0
0

 Muda mfupi baada ya msanii wa kitambo kwenye muziki wa kizazi kipya Bongo, Afande Sele kusikika kwenye kituo kimoja cha redio akitoa maneno ya kuudhi kwa wasanii Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Man Fongo, mwanadada huyo ameshindwa kuvumilia na kujibu mapigo kwa mafumbo. 

Katika intavyuu hiyo, Afande Sele anasikika akimnanga Vanessa kwamba muziki wake anakopi sana kutoka Marekani, kuanzia sauti, mashairi, mavazi mpaka video, na kusema hawezi kuwa wa kimataifa kama ‘media’ zinavyomnadi, ukimlinganisha na mwanamama Saida Karoli ambaye muziki wake ulikuwa na vionjo vya Kitanzania. 

Kupitia Twitter, Vanessa ambaye anafanya vizuri na wimbo wa ‘Duasi’ alioshirikishwa na Legendary Beatz akaandika ujumbe ambao japo hakuandika amemlenga nani, moja kwa moja ulionesha kuwa ni majibu ya kile kilichosemwa na Afande Sele. Tazama alichokiandika 

Mwaka huu umeendelea kuwa mwaka wa mafanikio ya kupanda zaidi katika ngazi za kimataifa kwa Vee Money, ingawa amekuwa akikumbana na changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na kutajwa kwenye orodha ya wasanii waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. 
 Msanii huyo ameendelea kukubalika ndani na nje ya nchi ambapo amekuwa akipewa mashavu kadhaa kung’arisha nyimbo za wasanii wa nchi za Afrika Kusini na Afrika Magharibi. 

DUH..Noma Sana..Rais Magufuli Amfyeka Shemeji Yake Sakata la Vyeti Feki..!!

0
0

Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.

Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.

Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!

BOEING Airplanes Kupitia Account Yao ya Twitter Mpaka Sasa Hawajajibu Tweet Hii ya Zitto..!!!

0
0

Zitto Kama Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 03/05/2017 aliandika tweet hii kwenda kampuni ya Boeing kupitia account yao ya twitter na mpaka sasa hawajamjibu.

" #BoeingAirplane didi you approach us?Where you approached?Did you bid?What procurement process?Is 787-8 Dreamliner a TT?"

Hiyo ndio tweet ya Zitto kwenda kwa kampuni ya Boeing.

Binafsi nimevutiwa na hilo swali la mwisho la kuwataka Boeing wathibitishe kama ndege walioutuuzia ni Terrible Teens kwa kifupi TT?

Pia kupitia mtandao huo wa twitter, Zitto kamtaka waziri Mbarawa atoe ufafanuzi mbona Line Number ya ndege ya Tanzania inayoonekana katika mtandao #BoeingAirplane www.abcdlist.nl/787LINE.html ni 19 na sio 719 na waziri nae naona hajamjibu mpaka sasa.

Zitto anatafuta majibu tusimbeze.

LISSU Awajibu Wanaopinga TLS Kumshitaki Makonda..!!!

0
0

Dear all, 

I've read the discussion on the decision to go after RC Paul Makonda aka Daudi Bashite, etc. with considerable interest. 

The GC decision has sparked a very lively and healthy debate on what TLS should, or should not, do as a professional bar association. 

I wish to clarify on a couple of points raised in this healthy debate. 

One, will going after Makonda not be misinterpreted as politically motivated attack especially given TLS President's well-known partisanship in politics? ??

My answer is, that's a likelihood but so what??? If we all agree, and I hope we do, that Bashite has committed some very serious crimes as per the law established, then his status as Regional Commissioner, and apparently a President Magufuli favourite, should not be an issue for us. 

Neither should my status or political position for that matter. 

To hold otherwise is to render useless the notion of equality before the law. It'll be to sanctify the dangerous notion that some people are, because of their personal or economic or political or some other, status are, to borrow George Orwell's phrase, more equal than others. 

The central question for us should, therefore, be: are we legally empowered to commence legal action in a situation of widespread impunity by those in power and by law enforcement establishment? ?? 

Does the law allow private citizens, or statutory bodies such as the TLS, to do what the Governing Council has resolved to do??? 

If it does then who's better placed to do so than our collective selves, who've a legal mandate to protect rule of law??? 

In fact, if you ask me, going after Makonda aka Bashite, will send a much more powerful message that no one is above the law than going after small fry. 

And, to me, that's especially important in the current climate of a full-blown dictatorship than at any other time in our history. 

Two, why Makonda and not a thousand and one others who commit serious crimes daily??? 

My answer is simple: why not Makonda and his thugs who committed their crimes so brazenly and are being protected by the state so shamelessly??? 

The evidence against them appears overwhelming. There are eyewitness accounts, an official investigative report commissioned by the minister who's soon sacked and, on top of it all, a CCTV video clip.

If we cannot go after this state-sponsored or state-protected criminal, even with evidence as strong as this appears to be, then all our talk about defending rule of law will be an empty mockery, if not a sacrilegious lie.

Yes, there'll be noise, lots of it, that we're activists or, apparently worse, politicians. 

Our refrain to such provocations should be: were the crimes committed or not? ?? If so, is taking legal action, by whoever is entitled to do so, right or wrong??? 

I once again thank you all for this healthy debate. TL.

LIPUMBA - Niliwahi Kuwa CCM Lakini Sikuwahi Kuwa Kindakindaki Nilikuwa Mwanachama wa Kawaida Tu...!!!

0
0

Mwenyekiti wa Cuf Anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa Prof Ibrahim Lipumba Amefunguka kuwa aliwahi kuwa mwanachama wa CCM ,Lipumba ameyasema hayo leo hii wakati alipofanya mahojiano na kituo cha Clouds Tv

CATHERINE Ruge Amrithi Dr. Macha Ubunge Viti Maalum CHADEMA..!!!

0
0

UTEUZI WA CATHERINE NYAKAO RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA 

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO 

Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na Kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 04 Mei, 2017 imemteua Ndugu Catherine Nyakao Ruge kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Dkt. Elly Marco Macha.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Catherine Nyakao Ruge baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa Kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, alitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwepo nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, baada ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Dkt. Elly Marko Macha kufariki dunia na hivyo kuwepo nafasi wazi.

Imetolewa leo tarehe 04 Mei, 2017 na:-

Kailima, R.K

MKURUGENZI WA UCHAGUZI

LIPUMBA - Mimi ni Shabiki wa Arsenal Japo Haifanyi Vizuri..!!!

0
0

Ukiacha masuala ya kisiasa na ukamuuliza swali Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) taifa, Prof. Ibrahim kuwa ni shabiki wa Klabu gani ya mpira wa miguu Duniani, bila kupapasa macho atakujibu ni Arsenal.

Lipumba amesema yeye ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal, licha ya klabu hiyo ya England kutotwaa mataji makubwa kwa muda mrefu lakini bado haipunguzi mapenzi yake kwa klabu hiyo ya Ligi kuu England.

“Naishabikia Arsenal japo kuwa haifanyi vizuri, lakini ndio timu yangu ninayoipenda,”Alijibu Prof. Lipumba kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV leo asubuhi alipoulizwa ni klabu gani ya mpira wa miguu anaishabikia.

Lipumba pia aliendelea kujinadi kwa kusema, ameshawahi kusukuma kabumbu miaka ya nyuma wakati akiwa mwanafunzi wa shule ya sekondari “ Nimeshawahi kucheza mpira kipindi wakati nasoma sekondari, lakini sio katika ngazi ya ushindani,”.

KWA WANAWAKE TU..Fahamu Njia Tano Bomba za Kumridhisha Baby Wako Wakati Ukiwa Kwenye Bleed(Hedhi)..!!!

0
0

Leo katika pitapita zangu nikakutana na mabidi wamejaza koridoni getu kwangu.
Walikuwa kumsabahi rafiki yao (beki tatu wangu) ndipo nikawapita baada yakuwasabahi nakuelekea chumbani ambapo nilifika na kubadilishana nguo Na kueleka bafuni kuoga

Nilipotoka punde baada ya kuvaa mavazi yangu ya nyumbani (penc Na kaosh) nilikuta dada wa kazi ameshaandaa chakula ,Mzee mzima nikakipiga na kwenda zangu kujipumzisha huku nikimsihii dada wakazi kuwa MTU yeyote atakapofika amwambie kuwa sipo maana nahitaji kujipumzisha.

Hapo cha-cha ndo kama nilitoa kibali kwa wale wadada kuanza kujiachia pale ukumbini maana si kwa kicheni part Ile waliyokuwa wanampa mwenzako aliyekuwa analala mika juu ya mumewe kumtaka unyumba wakati yeye yupo BLEED.

*UNAJUA WALIONGEA NINI? Endelea nayo* ...............

Mwali wangu wee..

Msemaji mmoja alianza kutiririka

Kumridhisha mpenzi wako ni muhimu sio kwa sababu kuna mafuriko basi bwana ndo ateseke na nyege inahuuuu shauri yako utaibiwa bibiweee na wala usijisikie vibaya mpenzi wako akitaka mzigo wakati upo period na wala usikatae wewe mwambie tu nipo kwenye period lakini nitakuridhisha

Jinsi ya kufanya sasa wali wangu:

SUCKING
Unaweza kumnyonya mpenzi wako sehemu mbalimbali kuanzia chuchu hadi maeneo hatari na akaweza kukojoa lakini hapa mwali wangu lazimi maujanja yatumike kwenye unyonyaji manake wengine mnanyonya utadhani unataka kumtoa mtu nyama,npitisha ulimi wako taratibu sana na wala usikaze ulimi mwali.

HANDJOB
Baada ya kupapasana na kunyonyana maeneo yote muhimu basi unaweza kupaka mafuta kwenye mikono yako nakushauri tumia olive oil na uanze kumpiga nyeto mwenzako hadi atakaporidhika japo hii inaweza kuchukua muda kutokana mtu na mtu.

MATITI
Hii ni kwa wenzangu na mie wenye matiti makubwa yanaweza yasiwe makubwa sana ila muhimu ni kama matiti yanakutana basi uwezo wa kumridhisha mpenzio kwa njia hii unao, paka mafuta matiti yako yalainike alafu pitisha uume katikati ya matiti yako na muanze mchezo heheeyaaaaaaa patamu hapo.

.*MAPAJANI*
Hii pia inanoga sana kwa wale vibonge kitu cha nyamanyama hahahaaaaa kama njia iliyopita paka mafuta hapo kati then pitisha dyudyu shughuli iendelee mpaka baby afike

Njia nyengine ni ya miguu

Chukua dhakari ya mume wako paka mafuta na kwenye vinganja vya miguu yako mke paka mafuta kwenye nyayo hapo cheza na dhakar kwa kuisugua na kwa mtindo mbali mbali

Je na wewe huwa unatumia njia gani kumridha wakwako? Njoo ushee mawazo hapa....

FAHAMU Njia Nne (4) Za Kuboresha Maisha Yako Sasa...!!

0
0

Kwa jinsi unavyobadili mtazamo wako, ndivyo unavyozidi kujikuta ukibadilisha na maisha yako pia. Maisha yako ni lazima yabadilike kama una badili mtazamo wako kila wakati, hilo halina ubishi.

Kuna wakati katika maisha tunajirudisha nyuma sana kwa sababu ya kuwa na mitazamo finyu, mitazamo hasi ambayo haitusaidii. Ili kufanya maisha yako kuwa bora na ya mafanikio unalazimika kubadili mtazamo wako.

Katika makala haya, tutakupa njia muhimu ambazo ukizitumia, kwanza zitakusaidia kubadili mtazamo wako , na pia si hivyo tu zitakusaidia kubadili na kuboresha maisha yako;-

1. Fanya mambo yako kwa utofauti.

Mbinu bora ya kuboresha maisha yako sasa ni kufanya mambo yako kwa utofauti. Kama ni kazi fulani ifanye kwa utofauti. Kama ni kutembelea eneo fulani ulilolizoea hebu libadilishe na kwenda sehemu nyingine.

Hali zote zile za mazoea ambazo umekuwa ukiziishi naomba uzibadilishe na kuzifanya kwa utofauti. Ukifanya hivyo utashangaa kuona maisha yako yakibadilika na kuwa ya  tofauti na mafanikio.

2. Jitoe kwa ajili ya wengine.

Unaweza pia kuboresha maisha yako kwa kuamua kujitoa kwa ajili ya wengine. Unapojitoa kwa wengine hapa unamaansha usitegemee kupata kitu chochote kutoka kwao. Wewe jitoe kwa ajili yao.

Ni njia au mbinu ambayo itakuimarisha na kukufanya hata kazi zako mwenyewe utakuwa unazifanya kwa ukamilifu mkubwa sana. Ukikubali kujitoa basi utakuwa umeweza kuboresha maisha yako kwa sehemu kubwa sana.

3. Fanya mazoezi.

Upe mwili wako mazoezi. Unyumbue mwili wako huko na huko. Ni njia nzuri ya kuweza kuipa akili yako afya ya mwili, hali ambayo itakupelekea wewe uweze kufika mahali ukaboresha maisha yako kiafya pia.

Si rahisi sana kwa mtu ambaye anafanya mazoezi karibu kila siku kuweza kushambuliwa na vitu kama magonjwa ya hapa na pale. Unaweza ukaendelea kuboresha maisha yako kwa njia hii kwa utofati.

4. Furahi na marafiki zako.

Maisha mazuri na maisha yalioyoboreshwa ni pamoja na kuwa na rafiki zako, mkafurahi pamoja. Kama kuna rafiki wa zamani ambaye hujawasiliana nae muda mrefu mtafute na uongee nae.

Unapokuw na marafiki watakusaidia kuweza kubadilisha maisha yako kwa sehemu kubwa kutokana na mwazo yao ambayo wanakuwa wanakupa. Hivyo, marafiki pia wanawez kuboresha maisha yako.

Ukumbuke kuwa kufanya kazi kwa utofauti, kujitoa kwa wengine, kufanya mazoezi na kufurahia maisha na marafiki ni moja ya mambo machache ambayo yanaweza kukufanya ukaboresha maisha yako.

Fanyia kazi hayo na endelea kujifunza kupitia dirayamafnikio.blogspot.com kila siku na maisha yako yatabadilika.

IFAHAMU Kazi ya Ganda la Chungwa Kwenye Mwili Wako..!!!

0
0

Baadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa na weusi sehemu za makwapa, hali ambayo huwakwaza hasa zaidia kinadada na kujikuta wakishindwa kuvaa baadhi ya mavazi hasa yale yenye mikono mifupi kwa kuhofia hali hiyo.

Leo nimekuletea hii mbinu ya kutumia ganda la chungwa kumaliza weusi wa sehemu za kwapani.

Unachotakiwa kufanya ni kukamua maji ya ganda la chungwa (yale ambayo yakiingia machoni huuma) weka maji hayo kwenye kikombe kisha changanya na asali kijiko kimoja kidogo kisha paka mchanganyiko huo sehemu iliyoathirika. Fanya zoezi hili kwa wiki mbili ili kupata matokeo mazuri.

HIVI Ndivyo Ubongo wa Mwanamke Unavyofanya Kazi kwa Haraka Zaidi Kuliko wa Mwanaume.!!!

0
0

Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke 
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).

Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.

Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.

Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.

KAMA Unatafuta Ajira, Hii Ni Habari Njema Kwako...!!!

0
0

Lengo lako la kutafuta ajira ni nini? Je? Ni kutafuta kulipwa mshahara? kutafuta mtaji? Au ni kwa ajili ya kujifunza mambo fulani kama sehemu ya maandalizi ya kufanya kitu fulani hapo baadae? Kimsingi maswali juu ya malengo ya kutafuta ajira ni mengi sana.

Lakini ukichunguza kwa undani unagundua kuwa lengo kuu la watu wengi kutafuta ajira ni kupata pesa kila mwezi na kuitumia. Lengo la kulipwa pesa kila mwezi likishakamilika, wengi hujaribu kutulia na kuridhika huku wakijaribu kubana matumizi ili kiasi kile kinachopatikana kila mwisho wa mwezi kiweze kutosha—japo kuwa huwa hakitoshi. Mshahara duniani kote huwa siyo zaidi ya asilimia 10% ya kile mtu anachozalisha. 

Kwahiyo, mara nyingi tunajidanganya kila mara tunapodhani kuwa tutaweza kutimiza ndoto za maisha bora na endelevu kutokana na mshahara (ajira). Tukitaka kufaidi ajira yoyote, lazima tutambue kuwa ajira ni zaidi ya mshahara, uwe mdogo au mkubwa. Ajira yoyote ile inao uwezo wa kutupatia mambo mengine makubwa zaidi ya mshahara. 

Ajabu na kweli ni kwamba, watu wengi kwenye ajira mbali na kupata mshahara, tunapata mambo mabaya ambayo kimsingi yamekuwa ni mwiba sugu kwa mafanikio yetu binafsi. Kwa walio wengi, ajira imekuwa ni sehemu ya kujenga tabia ambazo mwisho wake zinaangamiza badala ya kutujenga na kutuinua. 

Mojawapo ya tabia mbaya ambazo watu huzijenga wawapo kwenye ajira zao ni pamoja na “kuchelewa kazini; kutegea kazi (uvivu); kulalamika; kupenda malipo ya papo kwa papo (kukosa uvumilivu), kila wakati kufanya vitu vinavyofanana na wenzako kazini (kukosa ubunifu); kupenda kufanyiwa kila kitu; kupenda kupongezwa n.k. 

Wakati wote tunapojenga tabia za namna hii, tunadhani tuko salama na hatuoni madhara ya moja kwa moja kwetu, eti! kwasababu bosi wetu anaendelea kutulipa mshahara na marupurupu mengine. Ukweli ni kwamba, kwa tabia za namna hii, hatuko salama hata kidogo. 

“Yatupasa kutambua kuwa, tabia unayoijenga ukiwa kwenye ajira ni mali yako na wala siyo mali ya mtu mwingine au shirika lililokuajiri”. Kwa maana nyingine ni kwamba wewe ndiye mmiliki wa tabia uliyoijenga ukiwa ndani ya ajira, iwe nzuri au mbaya ni yako tu. 

Kila utakapokwenda utaambatana na tabia zako (mbaya na nzuri). Ikitokea ukahama shirika moja kwenda jingine, shirika unaloliacha linabaki salama, lakini endapo hutabadilika basi tabia zako zote unazihamishia kwenye shirika jipya—hili halitakuwa salama! 

Hapa tunapata kujifunza kwamba, endapo tutaendekeza tabia mbaya tuwapo kwenye ajira, tusitegemee kubadilika pale tutakapoanza kufanya shughuli zetu binafsi. Kuna wakati ninaamini kwamba, Mungu anatuwezesha kupata ajira (kufanya kazi ya mtu mwingine), ili atuone na kutupima kabla ya kutupatia kazi (biashara) zetu wenyewe. Matarajio ni kwamba, kama unaweza kufanya vizuri kwenye ajira (kazi ambayo siyo yako), bila shaka utafanya kazi vizuri zaidi kwa kazi ambayo ni yako mwenyewe binafsi. 

Umefika wakati sasa tutambue kuwa nafasi za ajira tulizonazo au tunazotarajia kupata, ni awamu ya pili ya SHULE. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wengi tunapata ajira baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya shule, mfano: “shule ya msingi, sekondari, chuo” n.k. Kama ilivyo kwa awamu ya kwanza ya shule, awamu ya pili— “ajira”, inakutaka kusoma na kumaliza ndani ya miaka 5—10 kutegemea na kile ulichoajiriwa kufanya. 

Ikiwa umejipanga vizuri, miaka 5—10 inakutosha wewe kuanza maisha ya kijiongoza mwenyewe. Ukiwa umeajiriwa huwezi kusema kuwa unajiongoza mwenyewe. Tunasisitiza maisha ya kujiongoza mwenyewe, kwasababu ukiwa bado kwenye ajira ni lazima kufanya kazi zile ambazo unaelekezwa na mmiliki wa ajira yako na siyo kwa mujibu wa unavyofikiri wewe binafsi. 

Ni vizuri pale tunapofanya maamuzi ya kuingia kwenye ajira, tupange na kuamua ni muda gani tutatumikia ajira. Muda au miaka tutakayoipanga kukaa ndani ya ajira, lazima iwe inatosha na ituwezeshe kuwa tumekomaa, tumefuzu na kupata sehemu kubwa ya yale yote ambayo yanatuwezesha kuanza kujiongoza au kumiliki kazi. 

Unapoona mtu ameamua kutumikia ajira yake kwa miaka mingi, basi ujue kuwa mtu huyo bado haichukulii ajira kama SHULE. Kwa mtu ambaye yeye haichukulii ajira yake kama shule, kwake yeye ajira ndiyo machimbo ya kudumu ya pesa, japo kiasi kipatikanacho huwa hakitoshi kuweza kuleta utajiri au kukutoa kwenye umaskini. 

Kwa maneno mengine ni kwamba pesa tunayopata kama mshahara huwa ni kidogo na inasaidia tu kuvumilia umaskini na wala sikututoa kwenye umaskini. Kwahiyo, lazima ujitahidi kusoma kwa bidii na maarifa na umalize shule yako ya awamu ya pili (ajira), ili hatimaye uweze kustaafu mapema na haraka iwezekanavyo. 

Usifikiri kustaafu ajira ni lazima ufikishe miaka 60—hapana! Kustaafu ni pale unapoacha kutumwa kazi; kupewa maelekezo ya nini cha kufanya, muda gani ukifanye, na ukifanye kwa manufaa ya nani, pia kupata uwezo wa kujichagulia watu wa kufanyanao kazi n.k. 

Wito wangu kwa wote tulioajiriwa ni kwamba lazima tujitahidi kuwa na mtazamo chanya juu ya ajira zetu. Tuendelee kutumia vizuri muda wetu wote ambao tuko ndani ya ajira katika kujenga tabia za mafanikio. 

Kwa kufanya hivyo itatufanya kutoa matokeo makubwa kwa taasisi ambazo zimetuajiri, LAKINI pia tutapata fursa ya kujijenga sisi binafsi katika kila nyanja ya maisha yetu. Lazima tuhakikishe tunafanya kazi kama vile ni za kwetu na kikubwa zaidi, tuendelee kuziona na kuzichukulia ajira kama DARASA kama siyo SHULE. 

IFAHAMU Thamani ya Trilioni 100 ya Zimbabwe kwa Pesa ya Kitanzania..!!

0
0

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.


update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.

Update 2:
Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live




Latest Images