Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

CCM ‘kuishambulia’ Ukawa Kwa Siku 26

$
0
0
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza ziara ya siku 26 katika Mikoa mitatu ya Tabora, Singida na Manyara kukagua uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa baadaye mwaka huu.
Hata hivyo, duru za kisiasa zinaonyesha kuwa ziara hiyo ni sehemu ya kuushambulia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao walitoka bungeni wakati wakijadili mchakato wa Katiba Mpya wakidai kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Ukawa pamoja na CCM walikwishafanya hivyo Zanzibar.

Wakati Kinana akifanya ziara katika mikoa hiyo, Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa CCM, Abdallah Bulembo amekwishaanza kushambulia Mikoa ya Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Njombe na Iringa.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye alisema Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana ataanza ziara yake Mkoa wa Tabora, ambako atatembelea wilaya zote kuanzia Mei 8 hadi 18. Mkutano wa kwanza utaanza leo katika Wilaya ya Igunga.

Baadaye ataendelea Mkoa wa Singida kuanzia Mei 19 hadi 26 na kumalizia Mkoa wa Manyara, ambako ataanza Mei 26 hadi Juni 3 mwaka huu.

Nape alisema pia kuwa wamemkabidhi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ripoti ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi katika Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Katavi ili afahamu changamoto za mikoa hiyo.

Nape alisema kuwa ripoti hiyo inahusu changamoto na mafanikio ambayo yamebainika katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana aliyoifanya hivi karibuni katika mikoa hiyo.

Lulu Aomba Basata Waruhusu Kufanya Movie Nusu Utupu Waendane na Soko la Kimataifa

$
0
0
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu utupu ili kuendana na soko la kimataifa.

Akitetea hoja yake mbele ya paparazi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o ambayo alicheza akiwa nusu utupu.

“Wanasema hatufuati maadili wakati kuna muvi ambazo zipo theatre na watu wanaangalia hazina maadili, wao wanataka tufanye vitu kwa kudanganya wakati sasa hivi tuko dunia ambayo tuna takiwa tuweke vitu wazi, wasibane sana,” alisema Lulu.
Na Andrew Carlos, GPL

My Neighbour's Wife Is Tempting Me

$
0
0
I moved into this neighbourhood just recently. It's a small gated compound with just two flats. The other flat is occupied by a newly wedded couple. I had taken one week off from the office to enable me move my things and settle.

But there's something about this couple; they are so noisy when making love - so loud you could think we are in the same room. That is not all, the few days I have stayed at home have been full of temptation, because I have noticed to my dismay that this lady wears very skimpy and offensive stuff outside their flat and doesn't even carry herself as a married woman.

Now my question is: 
should I call the man and talk to him about the noise and all, or should I keep my peace and suffer in silence?

Help, I Want To Cheat On My Husband Kidogo

$
0
0
I am so confused and didn't know where else to go with such a tough decision! I will just give you the main details and maybe you could help me out.
I have been married for almost 2 years to a perfect husband. I trust him with all my heart. He does almost everything a wife wants. We do have some difference in some areas in our marriage but other than that all is perfect. My husband and I also share 3 children together.

My husband has a good friend I will call 'Jim'. I have known Jim ever since I met my husband. About 2 years ago I started feeling an attraction towards him but never revealed it to anybody. Some time ago, we were all out together and Jim and I both had too much to drink and began to discuss this mutual attraction. After that night nothing more was ever really said.

Last weekend, we were all hanging out again and Jim and I started talking about our feelings again. Saying that maybe we should just sleep together and then maybe the whole thing would go away since we will know what it would be like, (to make matters worse, he is also married with children). We continued to joke about this throughout the night.

Yesterday he stopped by to see my husband but he wasn't here so we started talking. We discussed how if nobody knows, then nobody can get hurt. We also discussed consequences and many other things. I know it would be immoral for me to cheat on my husband, but what do I do with these feelings?

I am not a bad person, I have never been a cheater! We made plans for a 'date' today while my husband is at work. The more I have been running this through my head the more I realize how much is at stake.

Should I do it once and then maybe that will kill the curiosity? Or just tell Jim that we just can't do it?

I guess I know what I SHOULD do, but honestly tell me what you would do in this situation.

Bila Upendeleo Yupi Kati ya Hawa Unampenda na Upo Ready Kijiunga Team yake Instagram

$
0
0
Wema Sepetu , Penny na Lulu Michael , Wote hawa ni Mastaa wa Kike hapa Bongo na Wenye Skendo Mbali Mbali zinazo make headlines huko Kitaaa...Kwenye Mtandao wa Instagram wote wana Team zao za Mashabiki walio kufa na kupona kuwatetea na kuwashabikia kwa kila wanachofanya ...Sasa wewe ni Yupo Hapo juuu unampenda na Uko kwenye team yake ? Au Yupo Ungependa Kujiunga na team yake Insta ?

@TeamWemaSepetu , @TeamPenny Ama @TeamLulu

Michelle Obama Ajiunga kwenye Campaign ya Kurudisha Wasichana Waliotekwa Nigeria

$
0
0
First Lady of the United States, Michelle Obama has joined in on the global twitter campaign #BringBackOurGirls which is an effort to bring home the missing Nigerian girls, who were abducted from their school on April 15 by members of Islamic militant group Boko Haram.
Michelle shared via her social media accounts a photo of herself holding a white sign with the hashtag #BringBackOurGirls written in bold, black, capital letters with a caption that explained that it was high time that the girls were returned back home.
Signed -MO, the message is approved by the first lady herself who has joined in the prayers for the missing girls and their families.The President, Barack Obama also said that the United States would join in the search for the missing girls . Read full story on Mashable.

Huko Instagram Kimenuka Leo Picha ya Clement Anayewazengua Mabinti Hapa Mjini Yawekwa

$
0
0
Huko Instagram Kumenuka ni kuhusu ugomvi unaoendelea wa Kajala na Wema Sepetu, na kati hayo yote alitajwa Clement kuwa ndiye muhusika na aliweza kutembea na Marafiki wawili Kajala na Wema Sepetu,  kutoka insta huyo ndiye Clement Kigogo wa ikulu aliyefaidi penzi la Wema Sepetu na La Kajala. Akaunti moja iliyopo instagram kwa jina Dougiemasta13 ambayo ni team wema imefungunga kuhusu kajala na huyu Clement na hivi ndivyo ilivyosema:


Picha za Msichana Anayefanana na Mwimbaji Rihanna

$
0
0

Huyu msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video ilifanyika Afrika Kusini

Unavyoona…. kafanana na Rihanna kwa asilimia ngapi?

Mtanzania Mwingine Akamatwa Airport Nairobi Akiwa na Mzigo wa Dawa za Kulevya.

$
0
0
Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha ukapita Mombasa na baadae kwa ndege mpaka Nairobi.
Mzigo wenyewe ni wa cocaine na Heroin ambazo zote zina thamani ya zaidi ya shilingi milioni 24 za Kitanzania na dawa hizo alikua  ameziingiza katika njia ya haja kubwa.
Mkuu wa kitengo cha CID katika uwanja huo Joseph Ngisa amesema mshukiwa alikamatwa JKIA na akawekwa kwenye chumba cha uchunguzi na baadae akatoa tembe za cocain na tembe za Heroin na tayari ameshapelekwa Mahakamani.

Mwezi March mwaka huu watanzania wanne walikamatwa katika uwanja huohuo walipopatikana na heroin yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 75 za Kitanzania na wote walifikishwa mahakamani na kukiri kosa.
Wanawake watatu na mwanaume mmoja kila mmoja akishtakiwa kando kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya na walikua wameingia Kenya kupitia Namanga na walikamtwa wakiwa njiani kuelekea Hong Kong.
Kuanzia March 2014 mpaka leo hii May ni jumla ya Watanzania watano wamekamatwa kwenye kiwanja cha ndege Nairobi wakiwa kwenye pilika za kusafirisha dawa za kulevya kwenda kwenye mataifa mengine.

Zitto Kabwe Mguu Ndani Mguu Njee Chama Kipya ACT

$
0
0
Leo Zitto Kabwe Aliwekwa Kikaangoni na Redio Moja Kubwa Hapa Tanzania kwa Kuulizwa Kuhusu Tetesi kuwa Amejiunga na Chama Kipya cha Siasa ACT ..Zito Amesema Kweli Anahusishwa na chama Hicho ila Kwa sasa hawezi sema Chochote kwani Bado anakesi na Chama chake cha Zamani Chadema so hawezi Sema chochote cha Maana, Akaulizwa Tena Kama anahusika huko akasema Yes No akiwa na Maana yupo mguu nje mguu Ndani ? Tusubiri Tuone

Sugu Amuumbua Waziri Magufuli

$
0
0
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu

Kafulila Afichua wizi wa Bilioni 200 za Tanesco BOT

$
0
0
Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.

Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.

CCM inaendelea kutafuna nchi hii, Kikwete mpaka aondoke lazima tutakuwa hohehahe.

Urais wa Simba ni Kasheshe

$
0
0
NAFASI mpya ya Rais wa Simba (zamani Mwenyekiti) ina watu wawili ambao ni Evans Aveva anayepewa nafasi kubwa ya kuibuka kidedea na mpinzani wake mkubwa ni Michael Wambura, Mwanaspoti limebaini.
Wambura alikiri kuwa ana harakati za kugombea lakini jana Jumatano alisema: "Sitaki kuzungumza sana, lakini katika hilo ningependa niseme kwamba sifa ya kwanza ya mwanachama wa Simba ni kuisaidia timu yake pale anapoweza.

Muda bado, naomba tusubiri tuone nini nitaamua, nitatangaza katika muda wa siku mbili kutoka sasa."

Aveva anapewa nafasi kubwa kutokana na kuonekana ndiye mtu muafaka katika nafasi hiyo baada ya kupitishwa na kundi lenye nguvu ya fedha katika klabu hiyo la Friends of Simba huku Wambura akionekana kuwa na mvuto wa kiasi chake.

Lakini pia inaelezwa kuwa yeye ndiye chaguo la kigogo mmoja mzito wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Nafasi ya Makamu wa Rais ambayo awali ilikuwa ikitambulika kama Makamu Mwenyekiti hapa ndiyo kunaonekana kuwa na vita ambapo wagombea wanaopewa nafasi na watakaochukua fomu na kutoa upinzani wa kweli ni Sued Nkwabi, huku Mwina Kaduguda naye akitajwa wakati Ayoub Semvua naye akichomoza huku wote wakiwa msituni wakijipanga na mtifuano huo.

Alipotafutwa Nkwabi alisema: "Nitatangaza hilo rasmi hivi karibuni,  tusubiri kwanza kupata taarifa kamili za kamati ya uchaguzi na baada ya hapo nitatoa tamko langu."

Mtihani mkubwa upo katika nafasi za wajumbe watano ambapo mpaka sasa wapo watu watano wanaopewa nafasi, nao ni Said Tuli, Juma Pinto, Patrick Rweyemamu, Rodney Chiduo na Collins Frish ambaye aliwahi kuwa Katibu wa kwanza wa kundi la Friends of Simba.

Mtihani zaidi katika wagombea hao wanaotajwa ni kwamba idadi yao ni watano lakini hapo wanatakiwa wanne tu kuingia katika uongozi mpya wa Simba ambapo nafasi moja itakayofanya watimie watano inatakiwa kujazwa na mjumbe wa kike ambaye bado hawajaanza kuonekana ingawa msemaji wa Simba, Asha Muhaji, anatajwa kuwa mbioni kuiwania.

Yanga Yashusha Straika la Cameroon Anafunga Kwa Staili Zote

$
0
0
 YANGA imepanga kumsainisha rasmi mkataba kiraka Mbuyu Twite mchana huuu lakini imetegesha rada zake Cameroon kupata straika la maana kuziba nafasi ya Didier Kavumbagu aliyechepukia Azam FC.

Akizungumza na Mwanaspoti Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga,Mussa Katabaro alisema tayari wameshapokea ripoti ya kocha wa Hans Pluijm ambaye ametaka kusakwa kwa nguvu zote mshambuliaji mpya akiwa na sifa mbili kubwa.

Katabaro alisema wanataka straika mwenye uwezo katika kufunga kwa kutumia miguu pamoja na vichwa kitu ambacho kilikuwa kinapungua kwa Mrundi Kavumbagu.

Alisema katika mchakato huo tayari rada zao zipo Afrika Magharibi hususani Cameroon ambapo kuna jina moja limefika mezani kwao na kazi imeshaanza kulimulika.

"Tunataka kufanya usajili wenye akili, hatutaki kukurupuka katika hilo, tunakutana mwisho wa wiki hii kufuatilia mambo fulani ya wapi tutampata mtu muafaka atakayetusahaulisha Kavumbagu haraka na wapo wengi kwa mujibu wa kocha wetu (Pluijm)," alisema Katabaro.

"Tumeanza kazi hiyo taratibu sio kwamba hatujaanza kabisa, kuna nchi kama Senegal na Cameroon ambako tumehakikishiwa na tunajipanga, tupeni muda tuisuke Yanga,"alisisitiza. Yanga haijatoa orodha kamili ya wachezaji inaowapukutisha ingawa kamati ya usajili imeweka bayana kwamba hakutakuwa na majina mengi makubwa.

Mwezi wa Ajali,Dar Express Dar to Nairobi Imeanguka Wami

$
0
0
MWEZI WA AJALI:
Dar Express from Dar to Nairobi imeanguka Wami dakika chache zilizopita...
Kama kawa Wabongo badala ya kusaidia majeruhi wanatwanga picha mwanawane ili wawahi fesibuku...
Kizazi cha KANTANGAZE!
Habari Kamili Baadae 

Wema Ashika Ushahindi wa Kajala Kumuibia Bwana

$
0
0
Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia aliyekuwa bwana’ke, Clement au CK, yule kigogo wa ikulu.

MIL. 13 KISINGIZIO TU
Habari za mjini kwa wiki nzima ni kusambaa kwa ujumbe mfupi (SMS) za kimapenzi za Kajala na CK ambazo sasa zimefunua kisa kamili cha mastaa hao kuhitilafiana huku Sh. Milioni 13 zikiwa kisingizio tu.

WEMA ALIKUWA ANATAFUTA USHAHIDI?
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na mastaa hao, kupatikana kwa meseji hizo ni kama mpango wa Mungu, kwani sasa kitendawili kimeteguka.

“Wema alikuwa anatafuta ushahidi kama kweli Kajala anatembea na CK hivyo sasa amepata ushahidi.
“Mwenye macho haambiwi tazama na kama hujui kusoma hata picha huoni? Ama kweli kikulacho ki nguoni mwako!” Kilisema chanzo hicho.

Habari za ndani zilieleza kuwa meseji hizo zilikutwa kwenye simu ya CK na mwanamke mwingine ambaye naye anadaiwa kutoka na kigogo huyo, aliyetajwa kwa jina moja la Naima aliyekwenda kumbwagia ‘zigo’ Wema kwa ajili ya ushahidi.

Ilisemekana kwamba Naima alimuomba simu CK kwa kuwa ya kwake ilikuwa mbovu.
Habari zilizidi kudai kuwa baada ya CK kumpa mpenzi wake huyo simu yake, kumbe zile meseji alizokuwa akichati na Kajala alikuwa amesahau kuzifuta ndipo zilipobambwa.



Mpashaji wetu aliweka wazi kwamba meseji zile zilimshangaza Naima kwa kuwa yeye alikuwa ni mmoja wa watu ambao walikuwa hawaamini kabisa kama kulikuwa na ukweli wowote kuhusu tuhuma za Kajala kutembea na CK.

NAIMA ACHANGANYIKIWA
“Yaani Naima alipoziona meseji alichanganyikiwa kabisa, alikuwa kama kachomwa sindano ya ganzi kwani alikuwa ni mmoja wa watu ambao  hawaamini kabisa kama kweli Kajala anatembea na CK.

“Naima alipokaa vizuri ndipo akaanzisha timbwili lenye ujazo mkubwa na CK,” kilisema chanzo hicho.
Mnyetishaji wetu aliendelea kutiririka kuwa katika SMS hizo ambazo zilionesha waziwazi namba ya Kajala, zilikuwa zikielezea namna CK alivyokuwa akimuomba msamaha Kajala kwa kutopokea simu yake.

HUU HAPA MZIGO
Mtiririko na meseji hizo ulikuwa hivi;
CK: “Mama mimi sipendi kukatiwa simu  pze, ok sawa lakini mi nakupenda.
Kajala: Kwa hiyo ndiyo unaniambiaje?

CK: Umeamua kuniblock?
CK: Kwa nini hupokei simu zangu?
CK: Unaponikatia simu wakati mimi naongea sijapenda sijui nijielezeje mama haya sawa.
Kajala: Fanya mambo.

MZIGO MIKONONI MWA ‘MNYAMWEZI’ WEMA
Ilisemekana kwamba baada ya Naima kuona meseji hizo alizihifadhi ili akamfikishie Wema ‘Myamwezi’ na kumuonesha jinsi rafiki yake alivyokuwa siyo mwaminfu kwake kitu ambacho alikifanikisha.
Habari zilidai kuwa baada ya Wema kuona SMS hizo alipatwa na mshtuko mkubwa kwani alikuwa haamini kama ni jambo analoweza kulifanya rafiki yake Kajala.

BOFYA HAPA KUMSIKIA ‘MADAM’
Baada ya ishu hiyo kuwa ndiyo habari ya mjini, gazeti hili lilijiongeza ambapo lilimsaka Wema ili kuzungumzia kuhusu meseji hizo.
Alipopatikana, Wema alifunguka kuwa  amesikitishwa mno na kitendo cha Kajala.

Wema alisema bora angefanya mtu mwingine yeyote lakini siyo Kajala aliyejitolea kuyaokoa maisha yake.
“Ukweli kabisa angefanya mtu mwingine yeyote wala isingekuwa ishu lakini siyo K. Aisee K amenishangaza na kuniumiza mno.
“Nilikuwa nimeshapanga niweke naye mambo sawa maisha yaendelee kama zamani lakini kwa hili siwezi kumsamehe tena,” alisema Wema aliyeonekana kukerwa na kucharuka vibaya.

HUYU HAPA MAMA WEMA
Baada ya kumalizana na Wema, gazeti hili lilimtafuta mama Wema, Mariam Sepetu ili kuzungumzia jambo hilo ambapo alisema kuwa siku zote alimwambia mwanaye kuwa achague marafiki wa kuwa nao lakini hakulitilia maanani.

“Unajua nilikuwa namwambia Wema kila siku, achague marafiki ambao atakuwa nao. Wengine siyo marafiki wa kweli, ndiyo kama hivyo ilivyotokea, nawaachia wenyewe mimi sina la kusema,” alisema mama Wema.

KAJALA VIPI?
Hata hivyo, gazeti lilimtafuta Kajala kwa njia mbalimbali lakini lilitonywa kuwa yupo China kwa ‘biashara zake’.

Katika mahojiano maalum na gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alikana kuwa hata na namba ya CK.
“Katika maisha yangu CK niliwahi kuonana naye mara moja tu, sina hata namba yake ya simu,” alinukuliwa Kajala.

TEAM WEMA YASHANGILIA USHINDI
Kwa upande wake lile kundi linalojiita Team Wema katika mitandao ya kijamii ilijipongeza kwa kupata ushahidi huo ambao sasa umeleta sura mpya ya ugomvi wa wawili hao.

Sehemu ya maoni mengi mitandaoni ilisomeka: “Sasa kule kulia kote runingani na mwanaye matokeo yake ndiyo haya? Kama kweli Kajala kamfanyia Wema hivyo, basi anapaswa kuomba msamaha hata kama Wema yupo na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
GPL

Wizi bil 200 za BOT ni kazi ya mikono 'mitakatifu' ya Mwigulu?

$
0
0
 Hivi karibuni nilikuwa Bukoba niliona meli ilyoingia nchini mwaka 1958 ikiwa bado inabeba roho na miili ya watanzania, niliambiwa bilioni 200 unaweza kununua meli mpya za kisasa zaidi ya 5. Kuna deni la walimu limefika bil 61, unaweza kulipa deni hilo mara 3 ukabakiza chenji. Kwa ufupi ni fedha nyingi zenye uwezo wa kujenga barabara ya lami ya kilomita 180.

Alipoteuliwa Mwigulu kuwa naibu waziri wa fedha wazalendo walilalamika sana, kwamba ni mkakati wa kuiba fedha za uchaguzi kwani ana uzoefu wa EPA maana ulifanyika akiwa mtumishi wa BOT. Nakumbuka Mnyika aliwahi kumtaja kama mtuhumiwa wa EPA tena bungeni. Sasa tunachosubiri ni Kafulira kutwambia wizi umefanyika lini tuandae maandamano ya kumg'oa Mwigulu.
By Mpk Via JF

Wassira: Mbowe ni Mzushi, Hoja zake ni Dhaifu

$
0
0

Akichangia hivi sasa kuhusu hotuba ya mbowe jana, wassira amesema mbowe ni mzushi, na amepotosha kuhusu tuhuma zake kwa rais kuwa alichochea na kutaka jeshi kupindua nchi, wasira amesema kuwa mbowe hana hadhi ya kutoa matusi na kauli za kichochezi namna hiyo kama kiongozi wa upinzani, lazima tuheshimu historia ya nchi, tuheshimu waasisi wa taifa hili na kama bunge lazima tuheshimu na kulinda hadhi ya bunge...amesema waliotoka nje ya bunge la katiba walitoka bila sababu na wanaweza kurudi bila sababu....akasema hoja alizozitoa mbowe jana kuwa walitoka nje ya bunge ili kubadili rasimu ya katiba....akasema hoja za mbowe hazina kiwango cha kiongozi wa upinzani bungeni, kama kiongozi wa chama na serikali mbadala.

Waziri Mkuu Asema Tuhuma ya Wizi BOT na Tanesco Lazima Lifanyiwe Uchunguzi na Tukururu

$
0
0
Waziri Mkuu Akiwa Live Bungeni Amesema Tuhuma zilizoletwa na Kafulila Jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa Kiliendelea na kama Patakuwa na Kasoro Basi Waliohusika Wachukuliwe Hatua Kali ...

Ray C Asimulia Alivyoteswa na Ugonjwa wa Dengue

$
0
0
MUNGU mkubwa! Staa wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesimulia jinsi alivyochungulia kifo baada ya kutikiswa na ugonjwa hatari na tishio ulioibuka hivi karibuni wa Homa ya Dengue.

Akifunguka mbele ya gazeti hili juzi baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini Mwananyamala, Dar alikokuwa amelazwa, Ray C au Kiuno Bila Mfupa alisema kwamba kwenye maisha yake hajawahi kushikwa na ugonjwa wenye mateso makali, tena ya muda mfupi kama ilivyokuwa juzikati alipopata ugonjwa huo.

Alisema kwamba dakika chache tu baada ya kuamka kitandani alikuwa akijisikia kichwa kikiuma kama kinataka kuchomoka ambapo bila kuremba aliwasha gari lake na kukimbilia Hospitali ya Mwananyamala.

Staa huyo wa Ngoma ya Na Wewe Milele alisema alipofika kwa kudra za muumba alilazwa tayari kwa kutundikwa dripu.

“Huwezi kuamini baada ya madaktari kunipima na kugundua nina Ugonjwa wa Dengue, walinishangaa sana hata namna nilipofika pale na kwamba sikutumia dawa yoyote ya kutuliza maumivu kwa sababu maumivu yake huwa ni lazima utatafuta tu dawa ya kukufanya upoze maumivu.

“Madaktari wengine wakatishika zaidi maana walisema kama ukimeza vidonge vya ‘Diclopa’ unaweza kupoteza maisha mara moja.

“Katika magonjwa ya ajabu na yanayostahili kutafutiwa kinga mara moja basi huu ni ugonjwa wa kwanza ambao serikali inatakiwa iwe macho sana maana haufai hata kidogo.
“Tena unatisha sana na wasipoangalia utapoteza maisha ya Watanzania kibao kama hawatautafutia kinga au kuwapa Watanzania elimu ya kutosha.

“Mateso niliyoyapata kwa siku mbili nilizolazwa Mwananyamala ni elimu tosha kabisa na kwamba ningekuwa na uwezo wa kuzunguka au kupata nafasi ya kuongea na wakuu wa nchi basi mara moja ningewaomba wafanye jitihada za haraka kuhakikisha wanapata chanjo kwa ajili ya kuudhibiti mfumko wa gonjwa hilo.

“Dengue unaambukizwa na mbu tena wa mchana na dawa yake ni panadol tu!” alimalizia Ray C.
Stori: MUSA MATEJA, GPL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images