Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

TETESI..Serikali Kununua Ndege Mpya kwa Ajili ya Rais na Viongozi Wakuu wa Serikali..!!!

$
0
0

Habari toka katika vyanzo vya uhakika vya hapa na pale vinaeleza kuwa Serikali ipo katika mchakato wa kununua ndege mpya ya Rais yenye hadhi ya VIP,itakayo kuwa inatumika kwa usafiri wa ndani na nje ya nchi kati ya Rais,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Ndege hiyo aina ya Falcon 2000LX toka kampuni ya Dessault Falcon Jet Corporation ni moja kati ya ndege za kisasa,zenye ubora wa hali ya juu na zinazotumika na watu maarufu na viongozi wa baadhi za nchi katika Afrika na Ulaya.

Falcon 2000LX ni ndege yenye uhitaji mdogo wa mafuta,kusafiri umbali mrefu bila kutua,yenye ubora wa kustahimili kutua katika viwanja vingi vya pembezoni mwa Tanzania na pia upatikanaji wa vipuri vyake ni rahisi.

Hii inaweza kuwa mbadala wa ndege ya Rais iliyonunuliwa enzi za Mstaafu Benjamin Mkapa na Mtunza fedha wake Basil Mramba.

Ndege hiyo ya "Watanzania wale nyasi" ni ndege yenye gharama,inayohitaji kiasi kikubwa cha matunzo.Upatikanaji wa vipuri vyake na uendeshaji wake ni changamoto.Hivyo ujio wa F2000LX inaweza kupunguza gharama ktk usafiri wa Rais.

Falcon 2000LX ina uwezo wa kubeba abiria kati ya 06 hadi 08,ina muundo wa VIP.

Kwenye tovuti mbalimbali za biashara ya ndege,inaionyesha ndege aina ya Falcon 2000LX yenye usajili wa F-HNOA kuonekana maeneo ya jiji la Nairobi kabla ya kufika Dsm.Safari yake ikiwa ni kufika kwa mteja wake ili aweze kuikagua na kujiridhisha na ubora wake.

Kwa habari zilizopenyezwa,zinathibitisha ndege hiyo kufika Dsm kati ya May 09-13 kwa ajili ya timu ya wataalamu kuikagua na kuona kama inafaa kwa matumizi ya Rais na viongozi wengine wa Kitaifa.

Katika Tovuti za uuzaji ndege duniani,ndege hiyo aina ya F2000LX ambayo "records" zake zinaonyesha kuwa ilikaa Dsm-Tanzania kwa siku zaidi ya mbili,kabla ya kuruka kwenda Znz na kurudi tena Dsm.Tovuti hiyo pia inaionyesha ndege hiyo hiyo yenye usajili wa F-HNOA kuwa ni moja ya ndege iliyopo sokoni,na inazunguka katika sehemu za nchi za Afrika ili kuweza kuwafikia wateja wake.

Hivyo licha ya kuwepo na habari za "kupenyezewa",lakini bado ushahidi wa kimtandao unathibitisha kuwa ndege hiyo ipo "Sokoni" na wakati wowote itauzwa kwa mteja atakayefikia makubaliano na kampuni husika.

Kama Serikali ya Tanzania itakuwa imeamua kufunga "deal" na kampuni ya Dessault,ni wazi sasa serikali,kupitia Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA)wataenda kumiliki ndege aina ya Falcon2000LX.

Mpaka sasa,Wakala wa Serikali (TANZANIA GVT FLIGHT AGENCY) anamiliki ndege zaidi ya sita ikiwemo zile bombadia zilizokodishwa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).Hivyo ujio wa F2000LX itafanya TGFA kuwa na ndege zaidi ya sita.

Ikumbukwe kuwa usafiri wa ndege kwa Rais ni jambo la muhimu na lazima,juhudi za Rais wetu kwa sasa ni kuhakikisha anaachana na ndege zenye mahitaji makubwa ya uendeshaji na kumiliki zile zenye kubana matumizi kuendana na dhana ya serikali ya kupunguza "anasa".Bila shaka bajeti ya ununuzi huu itatoka katika "mfuko" wa bajeti ya Ikulu na hivyo kupunguza kelele za hapa na pale.

NOMA Sana..Tazama Hapa Orodha ya Askari Polisi na Vigogo wa Polisi Wealiofukuzwa Kazi kwa Kukutwa na Vyeti Feki..!!!

$
0
0

WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

JESHI LA POLISI TANZANIA.

ORODHA YA ASKARI POLISI WALIOFUKUZWA KAZI NA KUFUTWA KWENYE DAFTARI LA ORODHA YA MISHAHARA KUTOKANA NA KUBAINIKA KUGHUSHI VYETI. 

Jeshi la Polisi nchini linatangaza kuwa Askari wafuatao wa vyeo mbalimbali wameachishwa kazi na kufutwa kwenye orodha ya mishahara kutokana na kubainika kuwa walighushi vyeti wakati wa kuomba nafasi za kazi katika Jeshi la Polisi. 

Pamoja na kufutwa kazi, hatua za kisheria dhidi yao zitafuata. Askari hao ni;

16260 Daniel Petro 9338816 Assistant Inspector Of Police
D 5469 Hamisi AHMED Baajuni 7176425 Corporal Of Police
D.1545 Raphael SINGANO Mdoe 7152551 Corporal Of Police
D.3278 Meck Thomas 8531986 Sergeant Of Police
D.5977 FORGET STEPHEN KAAYA 8528906 Sergeant Of Police
E.2365 Mustafa MWINDADI Mohamed 8524621 Corporal Of Police
E.2370 Ezekiel JUMA Anania 8675659 Corporal Of Police
E.3123 Silveri SIMPHORIN MWANGA 8678085 Corporal Of Police
E.3928 Respicius GRATION Buberwa 8721615 Corporal Of Police
E.4264 Jackson NEHEMIA kingu 8811444 Station Sergeant Of Police
E.4793 Edward CHRISPIN Mumba 8678111 Corporal Of Police
E.6166 Mrisho ALLY Yusuph 8766614 Police Constable
E.9441 Kalisti VARELIAN Masawe 9186796 Police Constable
E.9807 Sosten ELIAS Nyenza 9338090 Station Sergeant Of Police
E.9933 Chinuka PETER Denis 9338089 Police Constable
E5563 Ali SAIDI Msimbazi 8762993 Corporal Of Police
E5982 Rajabu JUMANNE Ndele 8766371 Police Constable
E6958 Innocent ALLOYCE Siriwa 8811488 Police Constable
E8095 Harrydavis RAYNORD Mpongoliana 8908135 Police Constable
F.112 Herbert DONALD Kazonde 9338791 Station Sergeant Of Police
F.1289 Emily EMANUEL JIngu 9444579 Corporal Of Police
F.2409 idrisa YUSUF nasoro 9519976 Sergeant Of Police
F.3074 Ramadhani IDD Omari 9519910 Police Constable
F.4950 IMAN LIMBE SELYA 9561023 Sergeant Of Police
F3665 ALKADO MWATANGA MAHINYA 9561090 Police Constable
F3847 Abiah Mwakajinga 9561126 Police Constable
F5045 Noel MTINGA Germanus 9954209 Sergeant Of Police
G.6273 Lyochi KINYAMA Mabumbe 12011579 Police Constable
G.7308 Mohamed SADIKI Tindwa 12205029 Conversion Designation
G.7956 Paul DANIEL John 12208317 Conversion Designation
G.9043 Pendael JOSEPH Lukumay 12208421 Conversion Designation
PF.18257 HASSAN RAJABU YASSIN 9559693 Sergeant Of Police
PF.18542 LAZARO LUCAS 9561137 Station Sergeant Of Police
PF15952 Juma ALLY Jumanne 9452668 Assistant Inspector Of Police
PW5084 Revanes CHARLES john 9561425 Police Constable
WP 2770 Longage IDAN Mng'Ong'O 7678538 Corporal Of Police
WP 4554 KIRSTEN AMOUR Amour 9519781 Corporal Of Police
WP.2823 Mwanakombo MWANDEGE Salimu 8516808 Corporal Of Police
WP.7656 Lilian KIMARO Salvatory 12011960 Police Constable
WP.8622 Mwanvita JOELY Nzumbe 12222889 Police Constable
WP.8723 Flora MGANGA John 12194351 Conversion Designation
WP1647 LAZZA SEMUNYU MSAMI 6879693 Station Sergeant Of Police
FESTUS BENSON LUSINGU 9519873 Police Constable
Gustaph ANTHONY Tawete 8811385 Sergeant Of Police
18246 deusy NORBERT Chalamila 9559501 Sergeant Of Police
D.5510 Chrisogon MNDELWA Hizza 7677195 Police Constable
D.9934 Sosthenes SEBASTIAN Sebastian 8531920 Corporal Of Police
F.5273 George JUMA Nyang'anyi 9954302 Police Constable
G.1123 joseph DAVID njama 11014292 Police Constable
G.8954 Boniphace MASANJA Yengela 12188993 Conversion Designation
WP 6078 HUSNA ABDALLAH MUNA 10544525 Police Constable
WP.7018 hamisa JUMANNE mwiga 11439741 Police Constable
WP.8577 Zabibu RUKONGE Meya 12215557 Conversion Designation
Ramadhani MAPINDA Shabani 8677882 Corporal Of Police
E.3789 Dismas LUSIAN Barhe 8716594 Corporal Of Police
G 2437 BONIFACE KISANDU JOHNSON 11435547 Police Constable
G 9114 Tumaini WILLIAM Shilla 12213959 Conversion Designation
G 2493 leonard JOBISO john 11435570 Police Constable
G 4902 G4902Pc S S Abdallah 11786490 Police Constable
G 4906 G4906Pc S S Hongole 11786504 Police Constable
G.370 ABEL JOHN MNYAKIJU 11014454 Police Constable
PF.15797 Seifu BAKARI Mkopi 7678789 Assistant Inspector Of Police
WP 1557 Chema HAMZA Ally 6415181 Sergeant Of Police
WP 6551 justina REUBEN msidada 11015118 Police Constable
WP 8392 Fauzia HAMISI Ally 12218971 Police Constable
E.1189 John JOSEPHAT Dao 8525466 Corporal Of Police
E.2006 AHMED DONART SAULOS 8170028 Corporal Of Police
E.2366 Shaaban HARUNA Shaaban 8524975 Corporal Of Police
E.3443 Adam Mussa 8195612 Police Constable
F 5258 Halfani SHABAN Omar 9954287 Police Constable
F.11 Simon AFRICA Mjarifu 9338067 Police Constable
F.4987 Rogers JOSHUA Mmari 9559752 Police Constable
F.5080 Maligana HARUNA Liscer 9950980 Police Constable
F.5322 Isaack EMMANUEL Lunda 9954313 Police Constable
F.6669 gabriel PAULO CHACHA 10224959 Police Constable
F.8768 HANZURUNI JUMA KUGA 10544455 Police Constable
G.4871 G4871Pc B C Matunduka 11786423 Police Constable
G.7729 Doninic CHRISTIAN Awor 12191269 Conversion Designation
G.7731 Pascal OGAT Ondiek 12207993 Conversion Designation
G.7848 kihila SHADRACK Masasi 12221339 Police Constable
G.821 boniface STANSLAUS nyawayega 11014591 Police Constable
G.9083 Isihaka ABDALLAH Kapemba 12198292 Conversion Designation
G.9086 John GEORGE Kilimo 12199775 Conversion Designation
PF.18803 CLAUDIO PAUL SAMBI 10544488 Police Constable
WP.4556 NEEMA ODEN SADICK 9519747 Police Constable
WP.5235 Scholastica JOSEPH Maluli 9954586 Police Constable
WP.8572 Tausi ALLY Magembe 12225395 Police Constable
WP.8602 Mwajuma BAKARI Shabani 12222834 Police Constable
WP.8617 Halima MOHAMEDI Salumu 12196410 Conversion Designation
WP.8755 Rita LAZARO Nalino 12210225 Conversion Designation
SANAI GODFREY KIRUKI 11435352 Police Constable
D.6689 Michael FRANCIS Katundu 8821098 Police Constable
D.8613 Peter ALOYCE Mlula 8525293 Corporal Of Police
E 3064 George BONIFACE Kamugisha 8187833 Corporal Of Police
E 8869 Nzagalila EMMANUEL Kikwelele 9066285 Police Constable
E 4671 Abjani MOHAMED Mnayahe 8924461 Corporal Of Police
E 5285 Beda CHARLES Komba 8770129 Corporal Of Police
E 6034 Nassoro ISMAIL IBRAHIM 8766924 Police Constable
E 796 Abdu KASSIM Mtawa 8675888 Corporal Of Police
E 9711 Nikson RICHARD Sekwao 9337152 Police Constable
E 99 Nurdin MMBUNGHU Hamisi 8677435 Corporal Of Police
F 8767 Innocent KASHINDYE Humma 10544444 Police Constable
F 693 Lucas LINUS lusingu 9336269 Police Constable
F.1489 Boneventura MAFURU Wilbard 9449600 Police Constable
F.2278 F.2278PC.LEMMA NDEE 9518599 Police Constable
F.6541 FRANK MATERNUS MVULA 10294897 Police Constable
G 1001 SILAS YOHANA MSABAHA 11014557 Police Constable
G.2223 abdallah MUHUSIN alli 11435422 Police Constable
G.3840 abdallah SAID Ally 12007661 Police Constable
G.4765 G4765Pc S J Bangirana 11786548 Police Constable
G.7680 Joseph MANYAMA Manumbu 12200317 Conversion Designation
G.7726 Sangoro ALBETUS Ouma 12211649 Conversion Designation
WP 3596 Rossemary STEPHEN Mashiku 8833451 Corporal Of Police
WP 6632 joyce GISLAR namwambe 11014982 Police Constable
WP.7446 Wp7446Pc M J Salum 11786560 Police Constable
WP.7468 Wp7468Pc S R Fungavyem 11786582 Police Constable
Elisante SIMONI Ulomi 9331415 Police Constable
18480 ngonji STAMBULI N C STAMBULI 9520158 Sergeant Of Police
D.6299 Abdallah MKILINDI Mbega 8183536 Sergeant Of Police
E 4256 Twaha ISSA Mohamed 8766979 Corporal Of Police
E.5291 Donat Majembe 8766083 Police Constable
E.6959 Peter JOHN Mulokozi 8811400 Sergeant Of Police
E.810 Ramadhan SHAABAN Shija 8156844 Police Constable
F.1745 Jumanne SHOMBE shombe 9449448 Police Constable
F.4224 david JESSE msuya 9559659 Police Constable
F.4777 Mfaume NASSIB Bongi 9559615 Police Constable
F.6663 FREDSON MASUKE Pc Fredson M 10213504 Police Constable
F.6717 leonard NSHUNJU Pc Leonard N 10213526 Police Constable
F.6796 F6796 MATHEW mihayo 10213559 Police Constable
F.8311 Nelson GIDION Mwakatobe 10562855 Police Constable
F.9276 said HAMAD salum 10566163 Police Constable
F.9963 MICHAEL LUGUYA 11014753 Police Constable
G.125 G125 Yahaya T Mhova 11014890 Police Constable
G.1422 EZEKIELY HANSI MWAKALINGA 11439523 Police Constable
G.1814 hasan MLIHANO rashidi 11429843 Police Constable
G.2492 JOHN FRANK MPUTA 11435569 Police Constable
G.347 ahmad MAKWYA mussa 11014627 Corporal Of Police
G.4846 G4846 Pc N J Obed 11786869 Police Constable
G.6541 Jummanne TWAIBU Lihondo 12014616 Police Constable
G.683 joseph CASMIRY mushi 11014524 Police Constable
G.8955 Egomgo ALOYCE Mayamba 12191694 Conversion Designation
G.8959 Emmanuel MADATA Lubigisa 12192568 Conversion Designation
G.8961 Samson OBADO Obado 12211443 Conversion Designation
G.8963 joseph JOHN Peter 12200373 Conversion Designation
PF.18324 JEREMIAH GERALD OUKO 9520170 Corporal Of Police
PF.18870 MUSSA MOHAMED MBODE 11014694 Police Constable
WP.4199 Lister WILFRED Mwakalonge 9441877 Police Constable
WP.5244 Zahara FADHIL Mafaume 9954597 Police Constable
WP.7129 MARTINA ISIDORY PASCHAL 11435167 Police Constable
WP.7153 bupe AMBWENE mwanyasi 11435189 Police Constable
Friday LASTONE Mwassa 9446676 Police Constable
stephen MAGULU simon 9561562 Police Constable
migushi ELIASI mashala 11014535 Police Constable
HAKIKA JUMA halfani 9561573 Police Constable
D 9929 Augustino SYLVESTER mwanga 8685465 Corporal Of Police
D.3097 Issack ERNEST Kimaro 8531953 Corporal Of Police
D.8863 Osward NATHANI kumburu 8534426 Police Constable
D.9147 Abdalla OMAR Mbarouk 7698323 Corporal Of Police
D8407 Lusekelo ANDONGOLILE Mwandemelela 8434799 Corporal Of Police
E 4796 Saidi ATHUMANI Kasidi 8678133 Corporal Of Police
E 6736 Fikiri SANAWA Maige 8934679 Police Constable
E 3204 Lugano Daniel 8436896 Corporal Of Police
E.5581 Gharib ALII Sharif 8762856 Corporal Of Police
E.8269 Athman JUMA Athman 8934303 Police Constable
E.9617 Khama ALLY Khama 9335963 Corporal Of Police
F 5102 Cleopa NJOKALI Kitambi 9954210 Police Constable
F 9909 F9909 Wiliiam K Sakui 11014328 Police Constable
F 8068 Onesmo SAMEHE Kanyorota 10544329 Police Constable
F.3247 Maulid RAJABU Meta 9517318 Police Constable
F.4859 NASORO MSEMAKWELI Pc Nassoro M 9560978 Police Constable
F.5313 Jonathan MAJARINO Msilu 9947287 Police Constable
F.5522 Godlisten EGIDIO Mpalile 9953981 Police Constable
F.7309 AUDAX JOSEPH MUNDEL 10221431 Police Constable
F.7732 sadiki MANSURY mbura 10563070 Police Constable
F.7990 WILLIAM JOSEPH MMASSY 10544282 Police Constable
F.89 Jumanne RAMADHANI Majani 9338779 Station Sergeant Of Police
G 5708 William JOSIA Ogendo 12009971 Police Constable
G 4486 G4486Pc M M Ali 11808709 Police Constable
G 6601 Rashidi ABDALLAH Simba 12038605 Police Constable
G 7213 Yahaya HAMISI Husseini 12215199 Conversion Designation
G.2416 BARNABAS FAUSTINE MATAMBALA 11435503 Police Constable
G.247 nadhiri RUGANGIRA titus 11014395 Police Constable
G.2491 ngazi MBEGA mwaliza 11435558 Police Constable
G.2556 IDDI RAMADHANI SELEMANI 11435581 Police Constable
G.2657 hosea WILLIAM makala 11439578 Police Constable
G.280 CHACHA KARUMBA MAKURU 11014579 Police Constable
G.3207 G3207Pc Faraji R Ally 11809681 Police Constable
G.324 imani RAPHAEL bhihogola 11014409 Police Constable
G.3971 G3971 Pc M M Mkumbuye 11786191 Police Constable
G.4482 G4487Pc Moh'D K Juma 11808710 Police Constable
G.4483 G4483Pc N S Khamis 11808684 Police Constable
G.4484 G4484Pc Simai K Ali 11808695 Police Constable
G.4488 G4488Pc S Machano Haji 11808721 Police Constable
G.4598 G498Pc W J Ramadhan 11809739 Police Constable
G.6314 Novatus FLORENTINE Kimario 12014557 Police Constable
G.6325 Gwantwa . Mwakisole 12012166 Police Constable
G.6327 Frank YAKOBO Kipengele 12007362 Police Constable
G.7043 John BEATUS Gerald 12013731 Police Constable
G.7096 Alhaji MUSSA Massawe 12010823 Police Constable
G.8878 Erick LAZARO Mwinuka 12218591 Police Constable
G1647 CRISPIN BAHATI MGONDE 11429751 Police Constable
PF.17129/3 Zamda Selemani Mussa 12357672 Conversion Designation
PF.18285 Regina PRAYSOD Mtana 9338573 Station Sergeant Of Police
WP 6650 RUTH ALEX BULA 11014993 Police Constable
WP. 7315 Wp7315Pc H A Mwaipopo 11786593 Police Constable
WP.4255 Mwanshamba JUMA ramadhani 9454776 Corporal Of Police
WP.5407 Khadija Ussi Ali 9958931 Police Constable
WP.5513 TATU NASORO kibwende 10217306 Police Constable
WP.5622 anna MUHAMED Lufingo 10220331 Police Constable
WP.5883 SHAMIRA HARUNA KISUSI 10544570 Police Constable
WP.5932 Hawa ABDALLAH mchambe 10563069 Police Constable
WP.6797 AGNESS CHARLES MBELWA 11439659 Police Constable
WP.7677 Jazila BAJABU Iddy 12010465 Police Constable
WP.7842 Aleyce BEATUS Swila 12008487 Police Constable
WP.8039 Getruda . Mwameka 12016373 Police Constable
WP.8192 Bihilda MUGAYA MWEYA 12188834 Conversion Designation
WP.8267 Imaculata SAIMON Dauda 12198063 Conversion Designation
WP.8603 Mary DANIEL Lupavila 12222188 Police Constable
WP3778 MAIMUNA HUSSEIN 8899884 Corporal Of Police
WP5460 maria JOHN mbara 10221486 Police Constable
WP5630 Wp5630 Pc Anna Mbwambo 10214730 Police Constable
WP7050 SOPHIA HAMISI MFANANDO 11439752 Police Constable
Z.2249 ASHA KASSIM SALUM 4883632 Station Sergeant Of Police
happy KASENGA jaffary 10550908 Police Constable
rajabu ISSA ngumbi 10221372 Police Constable Abedinego Gidion 8169352 Corporal Of Police.

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano na elimu kwa umma,
Jeshi la Polisi Tanzania,
S.L.P 123, 
Dar es Salaam
Simu: +255 715009980 
Fax: +255 715009980,

RAIS Magufuli Atembelea TBC Taifa..Ataka Mkataba wa Star Time na TBC Uchunguzwe Haraka..!!!

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 16 Mei, 2017 amefanya ziara katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ambapo amekagua miundombinu ya shirika hilo na kuzungumza na wafanyakazi.

Mhe. Rais Magufuli amejionea jinsi miundombinu ya shirika hilo inavyokabiliwa na changamoto mbalimbali za uchakavu na teknolojia duni na amesema Serikali itafanyia kazi changamoto hizo ikiwa ni pamoja na kujenga majengo mapya ya studio za kisasa za kurushia matangazo katika makao makuu ya nchi Mjini Dodoma.

Hata hivyo Mhe. Dkt. Magufuli ambaye hivi karibuni ametoa Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya kuisaidia TBC amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayub Rioba kutumia fedha hizo kutatua matatizo ya uhaba na uchakavu wa vifaa vya uzalishaji wa vipindi na urushaji wa matangazo, kununua vyombo vya usafiri na kufanya ukarabati wa majengo.

Kuhusu maslahi ya wafanyakazi amewahakikishia kuwa Serikali itaboresha stahili zao kwa mujibu wa utaratibu uliopo na papohapo amemuagiza Dkt. Rioba kulipa mara moja malimbikizo ya posho zote ambazo wafanyakazi hao wanadai kuanzia Mwezi Oktoba 2016, zilizofikia shilingi Bilioni 1 na milioni 285.

Mhe. Rais Magufuli ametaka wafanyakazi wa TBC kufanya kazi kwa juhudi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu ili matangazo ya chombo hicho cha Taifa yawavutie Watanzania wengi, na kiwe chombo kinachoongoza nchini.

“Msemaji wa Serikali mkubwa ni TBC1 na Redio ya Taifa, nyinyi hamuwezi mkawa kama vyombo vingine ambavyo vina malengo yao ya kufanya biashara, nyinyi kazi yenu ni kutoa taarifa sahihi kwa Watanzania bila kubagua vyama vyao, bila kubagua dini zao, bila kubagua makabila yao, huo ndio uwe msimamo mkuu.

“Mmetoa mchango mkubwa sana kwenye Taifa hili, hilo ni lazima niseme, hata vipindi vyenu ukiviangalia ni vizuri vinaeleza mpaka maisha ya vijijini, na mimi ni shabiki mkubwa sana wa TBC, lakini tatizo lenu mnashindwa kwenda na wakati wa sasa” amesisitiza Mhe. Rais Magufuli.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe aliyekuwepo katika ziara hiyo kuuangalia Mkataba kati ya TBC na Star Times na kuchukua hatua zinazostahili endapo itabainika kuwa mkataba huo hauna manufaa.



Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU

Dar es Salaam

16 Mei, 2017

CHADEMA Watoa Tamko Hili Baada ya Rais Magufuli Kuivunja Mamlaka ya CDA ya Dodoma..!!!

$
0
0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati kimeitaka serikali kuwalipa fidia wakazi wa Manispaa ya Dodoma ambao kwa namna moja au nyingine wameathirika  wakati Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) ilipokuwa ikifanya kazi kwa kuporwa ardhi yao.

Kauli hiyo imetolewa  na Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni wa Chadema, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini hapa.

Kigaila amesema kuwa Rais John Magufuli hawezi kuivunja CDA na ikawa ndiyo mwisho wake bila kuangalia madhara yaliyosababishwa na mamlaka hiyo kwa wananchi katika kipindi chote cha miaka 44 iliyofanya kazi.

Amesema fidia hiyo ni lazima ilipwe na serikali kuu ambayo ndiyo iliyoiweka CDA madarakani na siyo kuliachia jukumu hilo Manispaa ya Dodoma kwa kuwa haihusiki na unyang’anyi huo.

"Kuivunja CDA siyo hoja. Hoja inayokuja hapo ni je wananchi wa Dodoma walionyang'anywa ardhi yao na CDA bila kulipwa fidia watafidiwaje au ndiyo wataachwa waendelee na maumivu yao?" amesema Kigaila

MAMA Salma Kikwete Azua Gumzo Bungeni..Ni Baada ya Kutoa Maoni Yake Kuhusu Wanafunzi Wanaopata Mimba Mashuleni..!!

$
0
0

Mchango wa Mbunge wa Kuteuliwa(CCM), Salma Kikwete kuhusu kupinga wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni kuruhusiwa kuendelea na masomo jana ulizua gumzo bungeni kutokana na wabunge kugawanywa na suala hilo.

Hali hiyo ilijitokeza wakati wabunge waliokuwa wakichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa Fedha 2017/18 bungeni jana.

Salma amesema anapinga suala la watoto wanaopata ujauzito shuleni kuendelea na masomo kutokana na mila, desturi, dini na mazingira.

Ameitaka Serikali kutafuta njia nyingine ya watoto hao kupata elimu badala ya kuwaruhusu kuendelea na masomo.

Akitoa taarifa yake kwa mchangiaji Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy alitaka mbunge yeyote ndani ya Bunge ambaye alianza kushiriki mapenzi akiwa shuleni atoe ushuhuda bungeni kama aliweza kuendelea vizuri kimasomo.

Amesema anaunga mkono wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni wasiruhusiwe kuendelea na masomo

HIZI Hapa Sababu za Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Kujiuzulu..Amtaja Rais Magufuli..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 17/5/2017..!!!

LEMA Awashangaa Wanaomdhihaki Baada ya Kumpongeza Nyalandu kwa Kuwasaidia Majeruhi wa Ajali ya Basi la Lucky Vicent...!!!

$
0
0

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amewashangaa wanaomdhihaki na kumshambulia kwa maneno makali mara baada ya kumpongeza mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent.

Amesema kuwa kwa hapa nchini kuwa mpinzani wa siasa za bongo ni kazi ngumu sana, hivyo inahitaji kuwa na ujasiri wa kuweza kupambana ili uweze kushindana na kila anayekushambulia hata kwa lile jema unalolifanya.

Baada ya Mbunge Godbless Lema (Chadema) kumshukuru Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM) Lazaro Nyalandu kuna kundi la watu liliibuka na kuanza kutoa maneno ya dhihaka kwa Lema huku wengine wakipongeza na kusema ni jambo la kheri kwa mbunge huyo kutambua kazi iliyofanywa na Nyalandu, lakini baada ya mijadala hiyo kuzidi kuwa mikuba Lema aliibuka na kutoa kauli hii kuwajibu waliokuwa wakimdhihaki.

“Kuwa mpinzani wa siasa Tanzania ni kazi ngumu sana, ila hatukati tamaa kwa sababu upendo wetu ni mkuu kuliko dhihaka. Mungu awabariki” aliandika Godbless Lema

WIVU wa Mapenzi Wamfanya Amkate Mpenzi Wake Kiganja na Panga..!!!

$
0
0

POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mtu mmoja nayejulikana kwa jina la Mkama Mgengele (36), mkazi wa kisiwa cha Ghana katika Kijiji cha Kamasi Kata Ilangala wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kwa tuhuma za  kumfanyia ukatili mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake kwa kumkata kiganja cha mkono wake wa kushoto.

Mgengele anadaiwa kufanya tukio hilo la kumkata na kitu chenye ncha kali kwenye kiganja cha mkono wa kushoto hadi kudondoka chini mpnzi wake huyo.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi,  alisema Mei 14 mwaka huu majira ya usiku, mtuhumiwa alimkata kiganja cha mkono wa kushoto kisha akamkata tena kwenye paja la mguu wa kulia, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Ester Lazalo (37)ambaye inadaiwa alikuwa mpenzi wake.

Msangi alikuwa hivi karibuni walikuwa katika mgogoro wa kimapenzi na kwamba mtuhumiwa alifika kazini kwa Ester na kuanza kumrushia maneno makali kabla ya kumkata.

MTI Wagoma Kung'olewa......Ilikuwa Kila Ukikatwa Unalia Kwa Sauti Kupinga Kung'olewa..!!!!

$
0
0

Wakazi wa Barabara ya Iloganzala  Jijini Mwanza jana walipigwa butwaa baada ya mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using'olewe. 

Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu. 

Katika eneo la Iloganzala Jijini Mwanza kuna upanuzi wa barabara inayoelekea Uwanja wa ndege wa Mwanza. 

Shughuli ya kuung'oa mti huo aina ya mwembe  leo imeendelea ikiwa ni siku ya pili ya kukabiliana na mwembe huo na hatimaye wamefanikiwa kuung'oa huku mamia ya wananchi wakishuhudia tukio hilo la ajabu

PICHAZZ...Zari Ashindwa Kuvumilia ..Amfuata Mume Wake wa Zamani Hospitali...!!!!

$
0
0

Mama watoto wa Diamond, Zari the Bosslady ameonekana katika picha akimjulia hali ex wake Ivan Ssemwanga ambaye anadaiwa kulazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kupata matatizo ya moyo.

Ivan ambaye alipata watoto watatu na Zari, anadaiwa kukimbizwa hospitali wiki hii baada ya kupoteza fahamu.

Jumatatu hii Zari alipost picha ya mshumaha na kuwaomba mashabiki wake kumuombea mzazi mwenzake huyo.

Hapo jana Zari kupitia ukurasa wake wa SnapChat aliandika “Siku mbili kwangu zimekuwa ngumu, nawaomba tumuombee Ivan”.

Mitandao ya Uganda inadai kuwa Ivan anasumbuliwa na maradhi ya Shambulio la Moyo (Coronary Artery Disease).

DAVIDO Akubali Kuokoa Maisha ya Shabiki Wake Aliyetaka Kujiua kwa Kutopata Nafasi ya Kumuona..!!!

$
0
0

WIKI chache baada ya shabiki wa msanii wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido), Chiamaka Okeke kutangaza kujiua ifikapo Agosti 13 ambayo ni siku yake ya kuzaliwa endapo hatakutana na Davido, ni bahati kwamba Davido amekubali kukutana na shabiki huyo siku yake ya kuzaliwa.

Davido amesema yupo tayari kuhudhuria siku hiyo ya kuzaliwa kwa shabiki yake huyo ili kuweza kuokoa maisha yake baada ya kuona malalamiko ya shabiki wake huyo aliyesema tangu 2014, alijaribu kutuma ujumbe, lakini hakufanikiwa kujibiwa wala kukutana naye.


“Wiki chache zilizopita kulikuwa na video ya shabiki wangu akitangaza kujiua kutokana na kunitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio ya kuniona, hivyo sipo tayari kusababisha kifo chake, nitahakikisha nahudhuria siku hiyo ya kuzaliwa kwake ili niokoe maisha yake,” aliandika Davido kwenye ukurasa wake wa Instagram.

JE, una tatizo la maumbile madogo, nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa?

$
0
0

Je, una tatizo la maumbile madogo, nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa?
Kama ndivyo wasiliana nasi kwa tiba ya uhakika na garantii hata kwa wenye kisukari na blood pressure.
🍍🍅🍒🎄🍀🌿🍓🍎🍉
HANDSOME UP ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa uhakika na bila madhara na kuimarisha misuli ya uume iliyo legea. Inapatikana kwa @200,000/=tu.
PIA TUNA👇👇👇👇

1.Gely ya kupaka @130,000/=
2.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume hata kwa wenye kisukari @130,000/=.
3.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni kwa mwanaume (pre-mature ejaculation problem solution) @120,000/=
4.Dawa ya kutengeneza shepu (hips, makalio na mapaja) @200,000/=
5 .Kupunguza unene na manyama uzembe @ 150,000/=
6.Kupunguza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walionyonyesha @120,000/=
NB.Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON $ CO na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
Popote ulipo duniani
Wasiliana nasi kwa (+255)
0767447444 au
0714335378.
Kwa bidhaa hizi na nyingine
Follow us Instagram
@Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr @Markson_beauty_pr

KIMENUKA..Harmorapa Adai Atamnyoosha Afande Sele Aache Kidomo Domo- Harmorapa

$
0
0
Msanii Harmorapa amefunguka na kumkumbusha Afande Sele kuwa hata yeye heshima aliyonayo sasa kwenye muziki haikuja tu kwani hata yeye alianzia chini kama ambavyo yeye ameanzia na baadaye ndiyo akawa msanii mkubwa.

Harmorapa amefunguka hayo kufuatia rapa huyo mkongwe kumdiss na kusema anabebwa tu na P Funk Majani, hivyo Harmorapa anasema yeye hataki kuongea sana bali anaaziachia kazi zake zimnyooshe Afande.

Ikumbukwe Afande Sele siku za hivi karibuni amekuwa mara kwa mara akiingia katika kujibishana na kutofautiana na wasanii mbali mbali kutokana na mitazamo yao

AUDIO: Watu Wanachonga Sana Kuhusu Mimi - Lazaro Nyalandu Afunguka

$
0
0
Mbunge Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuna watu wamekuwa wakiongea sana juu ya kitendo cha yeye kuwasaidia watoto watatu, ambao ni majeruhi wa ajali kwa kuwasafirisha kuwapeleka Marekani kwa matibabu akishirikiana na shirika la STEMM's.

Mbunge Lazaro Nyalandu akiwasalimiana na moja wa Rubani wa ndege iliyotumika kuwabeba majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent, walipokuja Tanzania.

Akiongea kwenye kipindi cha East Africa Breakfast cha East Africa Radio Nyalandu anasema mbali na kuwasaidia hao watoto kuwapeleka kwenye matibabu lakini tayari wameshafanya mambo mengi nchini ikiwa pamoja na kusomesha wanafunzi zaidi ya elfu kumi, kuleta madaktari bingwa nchini jambo ambalo walikuwa wakifanya bila kusema au kujitangaza.

Msikilize hapa akifunguka mengi zaidi:

KUTANA NA SHEKH SHARIFU SIMBA Mtabibu wa Nyota na Tiba za Asili Tanzania na Duniani Kote

$
0
0

KUTANA NA SHEKH SHARIFU SIMBA mtabibu wa nyota Tanzania na duniani kote,

✨SHEKH SHARIFU SIMBA anatoa shukrani kwa wote mnaopiga simu mlioko ndani na nje ya Tanzania, wanatoa shukrani na wale wenye matatizo, pia anawashukuru wote wanaomshirikisha na kutoa shuhuda jinsi tiba zake zinavyo wasaidia.
✨Bado ujachelewa piga simu na uweze kusaidiwa, SHEKH SHARIFU SIMBA yupo kwaajili ya kutatua matatizo yote yanayo wakabiki wanadamu,

🦅SHEKH SHARIFU SIMBA ni mtaalamu wa tiba mbalimbali za asili anatumia kitabu cha QUR'AN, dawa za asili, dawa za kiarabu na majini,

✨je umeachwa na Mme/ mke, mchumba au umpenzi wako? SHEKH SHARIFU SIMBA anauwezo wa kurejesha mahusiano yako ndani ya masaa (72)
✨je umahangaika kupata mtoto bila mafanikio?
✨je mikosi inakuandama na umekuwa mtu wa kilia kila siku bila kupata msaada wowote?
✨je madeni yanakuandama?
✨je umesimamishwa kazi au kushushwa cheo bila sababu? SHEKH SHARIFU SIMBA anatoa kisomo na kusafisha NYOTA na kung'arisha, ili ung'ae upya kwa kila mtu na mahali popote,
💍SHEKH SHARIFU SIMBA anatoa Pete za bahati zilizoambatana na jini Mali,
✨Anazo dawa za mapenzi, nguvu za kiume chango kwa kina mama, ngizi na n.k, pia anatibu miguu kuuma na kufa ganzi, tumbo kujaa gesi na kuunguruma na magongwa mengine ya siri,
🇺🇸pia anatibu kwa njia ya simu kwa wale walioko mbali au nje ya nchi,
📞SHEKH SHARIFU SIMBA anapatikana BAGAMOYO, kwa wale walio nje ya nchi tumia WhatsApp no +255 719361792, kwa wale wa ndani ya nchi piga simu no: 0719-361792 au 0689-476132 na 0745-281712.

Said Mecki Sadiki Ataja Sababu Zilizomfanya Aandike Barua Ya Kuacha Kazi ya Ukuu wa Mkoa

$
0
0
Aliyekuwa  Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu na anakwenda kupumzika mkoani Mwanza huku akiwa mfugaji wa samaki.

Aidha Sadiki alisema pia kulingana na afya yake, anahitaji kupisha vijana wadogo wamsaidie Rais Dk John Pombe Magufuli kulingana na kasi yake kwani yeye ameepuka kumkwaza rais wakati wa utekelezaji wa majukumu yake kama mkuu wa mkoa.

“Uamuzi huu wa kupumzika nilimuomba rais kwa muda mrefu sana, na nikirudi kijijini nitaendelea na ufugaji Samaki maana nilishaandaa bwawa la kufugia, nitaendelea nalo huku nikiwaza jambo lingine la kufanya,” alisema.

Sadiki alisema hayo jana wakati akitaja sababu zilizochangia kumuomba Rais Magufuli kuacha kazi yake ya ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

“Namshukuru rais kuridhia ombi langu, nimetumikia serikali tangu mwaka 1999 nikiwa mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa mkoa kuanzia mwaka 2005 hadi sasa ninapoondoka mwenyewe... nimeona ni wakati muafaka kumweleza aliyeniteua kuwa nahitaji kupumzika nikiwa na akili timamu na afya njema,” alisema.

Alisema Sababu nyingine kubwa ni kuhofia afya yake kutomudu kasi ya rais Magufuli, kwani alifanywa upasuaji mwaka 2012 na 2014 nchini India ingawa hakutaka kuweka wazi maradhi yaliyokuwa yakimkabili.

“Kama kiongozi muungwana lazma ifike mahali ukiri kwamba wapo vijana wenye uwezo mzuri na kasi ambayo inaendana na serikali ya awamu ya tano... mimi nilishatekeleza wajibu wangu na mchango kwa serikali yangu, sasa inatosha, tupate mawazo na michango ya wengine,” alisema.

Sadiki ambaye amekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro tangu Machi 13,2016 alipoteuliwa na Rais Magufuli, alisema siyo vibaya kwa kiongozi kujitathmini na kuwaachia wengine kama atabaini kasi yake ya utendaji kazi imeanza kupungua.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa, mkuu wa mkoa Sadiki pamoja na aliyekuwa jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebeisha Sheria Tanzania, Aloysius Mujulizi na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Upendo Msuya waliomba kuacha kazi na rais akaridhia

Rais Magufuli aitaka TBC itangaze bila kubagua vyama, dini, kabila

$
0
0
Rais John Magufuli amelitaka shirika la utangazaji la TBC, kutoa taarifa sahihi kwa watanzania bila kujali vyama vyao, dini zao wala makabila yao.

Pia Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na MichezoHarrison Mwakyembe aliyekuwepo katika ziara hiyo kuuangalia mkataba kati ya TBC na Star Times na kuchukua hatua zinazostahili endapo itabainika kuwa mkataba huo hauna manufaa.

Magufuli ameyasema hayo   jana  alipotembelea ofisi za Shirika hilo na kuwataka wafanyakazi wa TBC kufanya kazi kwa juhudi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu ili matangazo ya chombo hicho cha Taifa yawavutie Watanzania wengi, na kiwe chombo kinachoongoza nchini.

Magufuli ambaye hivi karibuni ametoa Sh3bilioni kwa ajili ya kuisaidia TBC amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dk Ayub Rioba kutumia fedha hizo kutatua matatizo ya uhaba na uchakavu wa vifaa vya uzalishaji wa vipindi na urushaji wa matangazo, kununua vyombo vya usafiri na kufanya ukarabati wa majengo.

Kuhusu maslahi ya wafanyakazi amewahakikishia kuwa Serikali itaboresha stahili zao kwa mujibu wa utaratibu uliopo na papohapo amemuagiza Dkt. Rioba kulipa mara moja malimbikizo ya posho zote ambazo wafanyakazi hao wanadai kuanzia Oktoba 2016, zilizofikia Sh3.2bilioni.

 “Msemaji wa Serikali mkubwa ni TBC1 na Redio ya Taifa, nyinyi hamuwezi mkawa kama vyombo vingine ambavyo vina malengo yao ya kufanya biashara, nyinyi kazi yenu ni kutoa taarifa sahihi kwa Watanzania bila kubagua vyama vyao, bila kubagua dini zao, bila kubagua makabila yao, huo ndio uwe msimamo mkuu.

“Mmetoa mchango mkubwa sana kwenye Taifa hili, hilo ni lazima niseme,  hata vipindi vyenu ukiviangalia ni vizuri vinaeleza mpaka maisha ya vijijini, na mimi ni shabiki mkubwa sana wa TBC, lakini tatizo lenu mnashindwa kwenda na wakati wa sasa.” amesisitiza Rais

TRAFIKI Wakusanya Milioni 400/- kwa Siku 5...!!!

$
0
0

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya zaidi ya Sh milioni 400 kwa siku tano, baada ya kukamata magari na pikipiki zilizofanya makosa 13,584 barabarani.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Simon Sirro, alisema kuanzia Mei 9 hadi 14, kikosi hicho kilifanya ukamataji wa makosa mbalimbali ya barabarani na kukusanya kiasi hicho cha fedha.

“Idadi ya magari yaliyokamatwa ni 11,174, pikipiki 643, daladala 4,902, magari mengine (binafsi na malori) 4,376 na bodaboda waliofikishwa mahakamani kwa kutovaa kofia ngumu na kupakia mishikaki ni sita,” alisema Sirro.

Pia, Jeshi la Polisi Kanda hiyo lilitoa taarifa za kuuawa kwa jambazi kwa kupigwa risasi Kurasini katika jengo la Makao Makuu ya Uhamiaji ambaye alijaribu kumnyang’anya silaha askari aliyekuwa akisindikiza gari la kampuni ya G4S lililokuwa limebeba Sh milioni 320 zilizokuwa zikisambazwa kwenye ATM za benki ya CRDB.

Akizungumzia kuuawa kwa jambazi, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 9.50 alasiri na fedha hizo zilikuwa kwenye gari namba T 155 DGB aina ya Nissan mali ya G4S huku likisindikizwa na askari wawili wa FFU ambao walikuwa kwenye gari namba T 997 DGQ mali ya kampuni hiyo pia.

Alieleza kuwa katika eneo hilo,  kulikuwa na watu wanne kwenye pikipiki mbili aina ya Boxer ambazo hazikusomeka namba na wakati wahudumu wa gari hilo wakisambaza fedha kwenye ATM, ghafla mmoja kati ya watu wale aliruka na kumvamia askari Konstebo Adam kwa lengo la kumpora silaha ili kufanikisha uporaji.

Alibainisha, kwamba baada ya kitendo hicho jambazi huyo aliamriwa kusimama lakini alikaidi na ndipo akapigwa risasi iliyomjeruhi mguuni na nyingine tumboni na kuishiwa nguvu na kuwekwa chini ya ulinzi. Majeruhi alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Aidha Kamishna Sirro alisema msako unaendelea wa kukamata watuhumiwa wengine waliokimbia na pikipiki.

Kwa upande mwingine Jeshi hilo linashikilia watuhumiwa 120 kwa makosa mbalimbali ya kihalifu ikiwa ni pamoja na dawa za kulevya kutokana na msako uliofanyika kuanzia Mei 9 hadi 14.

KAMANDA Sirro - Alichofanyiwa Malima ni Sawa Kabisa na Asillamike kwa Lolote Lile..!!!

$
0
0

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu sakata la askari kufyatua risasi hewani mbele ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima na kusema Polisi walifanya vile ili kuwatia nguvuni watuhumiwa.

Kamanda Sirro amesema hayo  pindi alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari ofisini kwake baada ya kuenea maneno sehemu mbalimbali zikidai polisi hao hawakutumia busara katika kufanya kazi yao.

“Kimsingi ninachosema ile bunduki  tunayowapa askari ni kwaajili ya matumizi na tumewapa maelekezo..Kikubwa wananchi wajue suala la utie wa sheria bila ya shuruti ni la msingi, ukikataa kutii sheria tuna kila namna tunahakikisha tunakukamata na kukupeleka panapo husika. Kwa hiyo askari Polisi alichokifanya ni kutumia uzoefu wake, umakini wake kuhakikisha kwamba gari ambalo ni kielelezo, dereva ambaye ni mtuhumiwa na Mhe. Malima ambaye ni mtuhumiwa wanapelekwa vituo vya polisi na wamefanikisha hicho na leo amepelekwa mahakamani". Alisema Sirro

Katika hatua nyingine, Malima ameachiwa huru kwa dhamana ya Milioni tano baada ya jana kuweka kizuizini na  kupandishwa Mahakamani kwa kosa la kumzuia askari kufanya kazi yake.

KUNDI la Ya Moto Band Lasambaratika Rasmi,... Kila Mtu Yupo Kivyake..!!!

$
0
0

Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni mmoja wa wanaounda kundi hilo
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live


Latest Images