Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 104810 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MBUNGE WA KAWE ALIVYOMFYAGILIA MSANII DIAMOND PLATNUMZ

Mbunge Wa Kawe “Kwa Wajanja” Ammwagia Sifa Msanii Diamond Platinumz Kwa Kazi Zake …Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la Kawe “Kwa Wajanja” katika bunge la Tanzania kupitia chama pinzani cha CHADEMA Halima...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MWANADADA WEMA SEPETU KUTOKA BONGOMOVIE YAINGIA MADOA.!!! GARI...

Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUKIO LA RISASI ILALA MTU WA TATU AFARIKI NI YULE KIJANA DEREVA AMBAYE NI RUBANI

MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam jana amefariki dunia jana asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu.Kufariki kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INAUMA SANA JAMANI:BABU SEYA NA PAPII KOCHA KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA

Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leoBabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACK WA MAISHA PLUS AINGIA KATIKA SKENDO YA USAGAJI WANAWAKE WENZAKE

MREMBO aliyeshiriki Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dunstan ‘Jack wa Maisha Plus’ amezua jambo katika mtandao baada ya kutundika picha akiwa anabusiana na mwanamke mwenzake.Jack ambaye kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMUZI WA BENDI YA FM ACADEMIA AUWAWA CHINA BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA...

Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa. Kwa mujibu wa chanzo  makini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DENTI WA KAPUYA AZUA JIPYA-GLOBAL PUBLISHERS WAZIDI KUMBANA

Na Waandishi WetuGlobal Publishers Ltd ilipoamua kufuatilia sakata la denti anayedai kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Juma Athuman Kapuya, lilijua yapo mengi yatajitokeza, Amani lina jipya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SINTAH AJITOKEZA NA KUMTETEA DIAMOND "DIAMOND WAS ON POINT NA AMEONEKANA...

"Tatizo watu mmezoa ku cram sana kwamba kila anaeenda katika harusi aende na suit, Nchi nyingine hawapo hivyo kama ukiona hao waliopo na Diamond hapo chini hakuna aliepigiliaa kihivyo yaani unatakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KAMILI KUHUSU BABU SEYA NA PAPII KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA..SOMA...

Ni dhahiri kwamba huu ndio mwisho wa harakati za Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi Tanzania mwenye asili ya Congo DRC Nguza Viking na mtoto wake Johnson Nguza (Papii kocha) kujinasua kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMECHOKA NA WAPENZI WA KUKUTANA MITANDAONI

Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwisho ana majini ...Daah Mechoka Mie

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE VIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE CHANNEL ZA KIMATAIFA

Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUMANIZI LA JB UTATA MTUPU

LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa utata.Staa mkubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TETESI:ZITTO KABWE NA DK. KITILA WAVULIWA VYEO VYAO VYOTE NDANI YA CHADEMA

Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama.Waliovuliwa vyeo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WANGU AOMBA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..SIELEWI HAPA JE ANACHEZEWA NA...

Admin hide my name , mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINAMIZI LA MADAWA YA KULEVYA LAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA, WENGINE...

Kuna taarifa kuwa Watanzania wawili wamekamatwa na dawa za kulevya nchini India na kwamba mmoja wao amefariki dunia. Taarifa zinadai kuwa Watanzania hao, ambao walikuwa watatu, waliwasili katika uwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA P-SQUARE WALIVYO TUA DAR KWA AJILI YA SHOW YA KESHO

Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI WA SABABU ZA MAUJI YA RISASI ILALA NDIO HUU CHRISTINE NEWA AONGEA

Imebainika kwamba sababu ya shambulizi la risasi lililotokea Ilala Bungoni, Dar es Salaam Jumanne iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu, ni wivu wa mapenzi uliopindukia.Akizungumza nyumbani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VENESSA MDEE, MABESTE NA GOSBY WATIMULIWA B'HITS

Vanessa Mdee, Gosby na Mabeste hawapo tena B’Hits Music Group. Kwa mujibu wa B’Hits Mabeste aliondolewa tangu miezi minne iliyopita japo hawakutangaza rasmi na Mabeste alipewa muda wa kujitetea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEKUTA CHUPI YA KIKE NDANI YA CHUMBA CHA BOYFRIEND WANGU, YEYE ASEMA AJUI...

Wadau hapa nilipo nimechanganyikiwa na nisijue cha kufanya, naombeni ushauri wenu, nilikwenda field huko Tabora, nikamwacha mchumba wangu Tanga(ndiko kwetu) tulikuwa tukiwasiliana kama kawaida, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Q-CHILLA "NIMESIKITISHWA NA JINSI WASANII WALIVYOKUWA KIMYA KWENYE RUFAA YA...

Muimbaji wa ‘Beautiful’ Q-Chilla amesema amesikitishwa na jinsi wasanii wenzake walivyokuwa kimya kwenye rufaa ya Babu Seya na Papii Kocha ambao rufaa yao imekataliwa leo na hivyo kuendelea na kifungo...

View Article
Browsing all 104810 articles
Browse latest View live




Latest Images