Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE, UNAKOSA HAM YA TENDO? UNA UUME MDOGO? AU UNA MVI NA HUZITAKI? SOMA HI

Kama una changamoto yoyote ya afya uzazi kama vile:-*Kukosa hamu ya tendo*Kuwahi kumaliza tendo*Kushindwa kurudia tendo*Uume kusinyaa ktkt ya tendo*Uume mdogo na umelegea.     NATURAL BEAUTY CO LTD...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Aliyefungwa Jela Akiwa na Miaka 15 Agoma Kutoka Jela Baada ya Kusamehewa...

He Went To Prison At Age 16 And Turn Down Offer To Be Released At 79,Read The Story Of Joseph LigonThere is always a popular saying by the Elders and Nigerian Mothers That an individual needs to be...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamwe Sitonunua Tena Changudoa....

Jina langu naitwa Dulla kutokea Dar es Salaam nchini Tanzania, nilikuwa na tabia baada ya kulewa natafuta mwanamke changudoa naenda kulala naye, ulikuwa ni mtindo wangu wa maisha kwa miaka mingi tu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benchikha ni Kocha Mzuri Lakini Ana Bahati Mbaya - Mchambuzi

Mchambuzi wa michezo Farhan Kihamu anasema Kocha, Abdelihak Benchikha ni kocha mzuri sema amekosa bahati tu.Farhan amesema hayo baada ya Simba kukubali kichapo kingine cha bao 2-1 kutoka kwa watani zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Beki Henock Inonga Ndio Basi Tena Simba......

Beki wa kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Henock Inonga anatajwa kuwa ataondoka mwisho wa msimu wa 2023/2024.Hata hivyo Inonga ndani ya Ligi Kuu Bara amekuwa akitumia muda mrefu kupambania majeraha yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2024 (CAF Club Ranking)

 ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2024 (CAF Club Ranking)Orodha ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 CAF Ranking – CAF Ranking of African Clubs 2023 [UPDATED] Africa Football / Soccer Clubs Ranking Al Ahly SC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tarehe 24 April 2024

       Magazeti ya Leo Tarehe 24 April 2024

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Wakanusha Kuhusika na Kifo cha Babu G

 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikidai polisi kuhusika kumuua Robert Mushi maarufu Babu G aliyepatika akiwa amehifadhiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa tuhuma za kusambaza picha za ngoni

 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili akiwamo mpwa wa Hayati John Magufuli, Furaha Domic kwa tuhuma za kuratibu mtandao wa uhalifu wa kusambaza picha za ngono kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini Bocco Hayupo Uwanjani? Tumemfukuza, Amekubali Kirahisi

 Milimuona Kevin Yondani akiwa na kitambaa cha unahodha wa timu yake Geita Gold. Ilikuwa siku chache zilizopita. Nikakimbilia katika mtandao wa Wikipedia kutazama umri wake. Msela Kevin yupo uwanjani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafungaji Bora Ligi Kuu, Top Scores NBC Premier League 2024

 Wafungaji Bora Ligi Kuu, Top Scores NBC Premier League February 2024The Tanzania Premier League Board (TPLB) is a body created by the Tanzania Football Federation (TFF) with the consent of its general...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Kuhusu Mechi ya Yanga na JKT Tanzania Kucheza Leo

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imethibitisha kuwa mchezo namba 135 kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga utachezwa leo Jumatano Aprili 24,2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuhusu Benchikha Kupigwa Chini Simba, Ukweli Wote Huu Hapa

 KLABU ya Simba imeweka wazi kuwa hawana mpango wa kuachana na kocha wao, Abdelhak Benchikha na tayari wameshakutana kwa ajili ya kujadili tathimini ya maboresho ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO : Hoja ya Watu wa Bara Kuingia Zanzibar Kwa Pasipoti ni Kuturudisha Nyuma

 DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Saidi Jafo amesema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa Watu wa #TanzaniaBara kuingia #Zanzibar kwa Pasipoti ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kocha Matola Atoa Kauli ya Kukata Tamaa "Kwa Hali Hii Ubingwa Kwetu Simba Mgumu"

 Kocha msaidizi wa Simba Seleman Matola amesema kwasasa mbio za ubingwa ni ngumu kwao lakini watapambana kumaliza vyema michezo iliyosalia.Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Yanga uliomalizika kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MULIRO: Malisa GJ, Boniface Jacob Wakamatwe Kwa Tuhuma za Kupotosha Taarifa...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema wanatarajia kuwashikilia Malisa GJ na Boniface Jacob kwa madai ya kusambaza taarifa za uongo katika Mitandao ya Kijamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga Yaingia Mkataba Mnono na Air Tanzania

 Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo Yanga itapata punguzo la gharama za Usafiri na kuitangaza ATCL kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO Yanga Vs JKT Tanzania Leo 24 April 2024

MATOKEO Yanga Vs JKT Tanzania Leo JKT Tanzania itacheza na Young Africans kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Aprili 24.JKT Tanzania na Young Africans (ambazo kwa kawaida huitwa Yanga au Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI Cha Yanga Vs JKT Tanzania Leo 24 April 2024

KIKOSI Cha Yanga Vs JKT Tanzania Leo KIKOSI Cha Yanga Vs JKT Tanzania Leo 24 April 2024JKT Tanzania itacheza na Young Africans kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Aprili 24.JKT Tanzania na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimetembea na Mke wa Boss, Kaniambia Kapata Ujauzito Wangu

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu.  Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia, kuna siku tulisafiri kwenda Mtwara kwenye biashara za huyu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKT Tanzania na Yanga hakuna mbabe

Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024.Baada ya matokeo hayo Yanga imeendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msimamo wa Ligi Kuu Unasomeka Hivi, Yanga 59, Azam 54 na Simba 46

Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024Baada ya matokeo hayo Yanga imeendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KenGold Yawa TIMU ya Kwanza Kupanda Ligi Kuu, Pamba Bado Kazi Wanayo

Kocha Mkuu wa KenGold, Jumanne Chale ameelezea kufurahishwa kwake na timu hiyo kupanda Ligi Kuu soka Tanzania Bara.Timu hiyo yenye maskani yake Wilaya ya Chunya, Mbeya itaungana na timu nyingine mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Berkane Wapewa Ushindi wa Mezani na CAF Dhidi ya USMA

Shirikisho la soka Afrika (CAF) wameipa ushindi wa mabao 3-0 Klabu ya RS Berkane dhidi ya USMA Algiers ya Algeria, hii inakuja baada ya Klabu, Mamlaka za soka Algeria na serikali kuzuia jezi za Berkane...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Yashika Nafasi ya Tatu MATAIFA yenye Wanawake Warembo Afrika

Kwa mujibu wa Jarida maarufu barani Afrika la African Fact Zone limetoa orodha ya mataifa 15 barani Afrika yenye wanawake warembo zaidi.Katika Mataifa hayo Ethiopia ipo nafasi ya kwanza huku nafasi ya...

View Article





Latest Images