Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109651

UKWELI KUHUSU TREY SONGZ KUWA SHOGA!

$
0
0


Jana katika mitandao mbali mbali ya kijamii ilionyesha snap inayodaiwa kupigwa katika akaunti ya msanii Trey Songz  na kudai kuwa amekubali mbele ya jamii kwa yeye ni "Shoga", katika snap hiyo inayodaiwa kupigwa katka akaunt ya Trey Song tarehe 25/03/14  saa 17:48 iliandika kuwa “I think it’s time to finally tell my fans. All games and jokes aside…I’m gay”

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109651

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>