
Kama unakumbuka vizuri kwenye tuzo za MTVMAMA...Msanii diamond aliongozana na KIJIJI..yani ni kundi kubwa la watu, kuanzia kina tale, Fella, Aunt Ezekiel, na wengine kibao akiwepo mama la mama yani Wema Sepetu:
BUT hizi za BET naona kijana amepunguza timu na hadi mama la mama amepigwa chini yani hajaibuka nae...Ukizingatia kwamba kupitia SOSHO MIDIA, Wema Sepetu alishaleta mbwembwe za kuwenda kwenye tuzo hizo na kuonana na ndugu zake wanaoishi huko marekani....
Sasa tunajiuliza je, jamaa aliona ni gundu kwenda nae (siunajua mambo ya kiswahili tena)? au nauli?
Hehehe yetu macho moshi tumeshauona.....Kabla sijakuacha ujiulize nawewe...Kingine tena hiki hapa....Tofauti na MTV Wema sasa hadi sasa hivi (muda huu naposti hii kitu)hajasema chochote kwenye mitandao ya kijamii kumtia moyo MUPENZI WAKE