Jamani mie Mdada wa Hapa Mjini basi jamani eti huyo jamaa kanitumia Message Facebook eti anataka kuwa boyfriend wangu eti ananipenda sana baada ya kuona picha zangu, Nashindwa hata nimwambiaje maana japo ni mwanaume ila kanishinda mpaka uzuri , Lips zimeenda shule nyusi ndio usiseme...Je nimkubalie ?