Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Man Walter Aeleza Walipofikia Katika Kufanya Kazi na 20 Percent

$
0
0
Mtayarishaji wa muziki kutoka Combination Sound, Man Walter aliwahi kutangaza kumaliza tofauti kati yake na 20 Percent aliyewahi kufanya vizuri kupitia mikono yake na kwa pamoja wakaeleza mpango wa kufanya mradi mpya.

Man Water ameongea na tovuti ya Times Fm na kueleza walipofikia baada ya ukimya wa muda mrefu tangu walipotangaza hatua hiyo.

“Off Course kwa sasa siwezi kuongelea sana kwa sababu wazo lilienda vizuri lakini nadhani kuna vitu viwili vitatu vilikwama, sijapata tena mawasiliano mazuri na 20. Labda tuvute subira tu, kwa sababu kama watu wana lengo la kufanya jema litakuwa tu…nadhani tuvute subira kwake.” Man Walter ameiambia tovuti ya Times Fm

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>