Tanzania Yatupwa Nje AFCON U20, Ikisubiri Kukamilisha Ratiba Dhidi ya Misri
Mabingwa wa CECAFA 2024, Ngorongoro Heroes imetupwa nje kwenye mashindano ya Afcon U20 yanayoendelea Misri baada ya kupoteza michezo mitatu ya hatua ya makundi huku ikibakiwa na mechi moja mkononiIkiwa...
View ArticleKIGAILA: Mbowe Hakutaka Chadema Igawanyike Kabisa, Lissu Alianza Kutugawa...
KIGAILA: Mbowe Hakutaka Chadema Igawanyike Kabisa, Lissu Alianza Kutugawa Baada ya Kushinda"Sisi tumeamua wote kwa pamoja tunajiondoa Chadema ili tuwaachie hicho chama waendeshe wanavyotaka kwasababu...
View ArticleMpenzi Wangu Alioa Mtu Mwingine Siku 2 Kabla ya Harusi Yetu Kilichofuata...
Harusi yetu ilikuwa imetangazwa, kadi zimesambazwa, na kila mtu alijua mimi na Edwin tungekuwa mume na mke. Nilikuwa na ndoto ya kuvaa shela jeupe, kutajwa kama “bi harusi” na kusherehekea siku hiyo ya...
View ArticleBREAKING: Timu Yote iliyokuwa Ikimuunga Mkono Mbowe Yajiondoa Chadema
"Sisi tumeamua wote kwa pamoja tunajiondoa Chadema ili tuwaachie hicho chama waendeshe wanavyotaka kwasababu sisi hatuwezi kuwa sehemu, hatuwezi kuwa wanachama wa Chama ambacho maamuzi yake hayafanywi...
View ArticleKMC Yamfuta Kazi Kocha Ongala Mwenendo Mbovu wa Timu Watajwa
Timu ya KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam imeamua kuachana na kocha wake, Kally Ongala kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.Uamuzi huo umefanyika baada...
View ArticleKaizer Chiefs Hawapoi Kwa Feisal, Watuma Offer Nyingine Kubwa Kwa Feisal Salim
Kwa mara ya kwanza, Kaizer Chiefs walituma ofa iliyotajwa kuwa ni $386,000 (Dola 368,000) sawa R7 milioni kwa Azam ili kumnunua Feisal Salum, taarifa kutoka Afrika Kusini zimeripoti.Azam, hawakuonesha...
View ArticleWaziri Kabudi Aigaragaza Yanga Bungeni, Wanachotaka Haiwezekani Wasipocheza...
Siku ya Leo jijini Dodoma kumewaka moto ikiwa ni sehemu ya vikao kwa ajili ya bajeti ya wizara ya Sanaa Michezo na Burudani. Katika Moja ya vivutio vikubwa ndani ya bunge ilikuwa la kutambulishwa kwa...
View ArticleUchaguzi wa Papa, Moshi Mweusi Waonekana, Bado Papa Hajachaguliwa Kwenye...
Saa 3 usiku kwa saa za Roma, moshi mweusi ulipanda kutoka kwenye bomba la Sistine Chapel, kuashiria kuwa hakuna Papa mpya aliyechaguliwa kwenye siku ya kwanza ya #Conclave.Muda mfupi kabla ya hapo,...
View ArticleUnaambiwa Siku ya Derby 15 June 2025 Yanga Itacheza na Rayal Sports ya Rwanda
TETESI 🚨 Klabu ya Young Africans imealikwa kwenye ufunguzi wa moja ya viwanja vitakavyo zinduliwa inchini Rwanda 🇷🇼 15 June, 2025 🙌🏼Rais wa Young Africans inasemekana amekubali waliko huo ambapo Young...
View ArticleRais Samia Atangaza Kifo cha Mzee Cleopa Msuya Aliyewahi Kuwa Waziri Mkuu wa...
Rais Samia Atangaza Kifo cha Mzee Cleopa Msuya Aliyewahi Kuwa Waziri Mkuu wa TanzaniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza...
View ArticleIbraah Afunguka: Nimemshtaki Harmonize Basata, Watu Hawajui Ninayoyapitia
Ibraah afunguka: Nimemshtaki Harmonize Basata, watu hawajui ninayoyapitia
View ArticleFei Toto Kurejea Jangwani, Yanga Tumbo Joto....Mastaa Matatani
Yao kouassi, maarufu kama jeshi alianza kupona lakini inaelezwa amepata majanga mengine eneo alioumia linawezakukaa njee kwa muda zaidi.Yanga ina subiri repoti ya madaktari wa klabu ilikufahamu...
View ArticlePYRAMIDS Wana Fiston Mayele Sisi Yanga Tuna Clement Mzize
Pyramids Wana Mayele Sisi Yanga Tuna Clement MzizeAlianza kupata nafasi ya kucheza chini ya Nasreedine Nabi wakati huo namba 9 ni MAYELE ambaye alikuwa bora sana hivyo kocha wakati huo alikuwa anampa...
View ArticleKIKOSI Cha SIMBA Vs Pamba Jiji Leo Tarehe 08 May 2025
KIKOSI Cha SIMBA Vs Pamba Jiji Leo Tarehe 08 May 2025Mei 8, Simba itakuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ya Tanzania Bara. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 16:00 kwa saa za...
View ArticleMATOKEO Simba Vs Pamba Jiji Leo Tarehe 08 May 2025
MATOKEO Simba Vs Pamba Jiji Leo Tarehe 08 May 2025Mei 8, Simba itakuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ya Tanzania Bara. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 16:00 kwa saa za...
View ArticleKuelekea Mechi ya Final ya Klabu Bingwa CAF, Hii Hapa Ahadi Kubwa ya Rais...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongeza zawadi ya fedha kwa klabu ya Simba SC kupitia mpango wa “Goli la Mama”, sasa wachezaji watapokea Shilingi milioni 30 kwa kila bao...
View ArticleAmuua Mwenza Wake Madai Kumuambukiza Ukimwi
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo.Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo.Jeshi la Polisi Mkoa...
View ArticleNilikopa Kufanikisha Ndoto Yangu Lakini Nikapoteza Kila Kitu Mpaka Pete ya...
Wakati fulani, nilikuwa na ndoto kubwa ya kufanikiwa katika biashara. Nilijua kuwa ni lazima nipige hatua ili kufikia malengo yangu, na hivyo nilijitolea kwa nguvu nyingi. Nilijua kwamba ili kutimiza...
View ArticleAbby Charms Atajwa Kuwania Tuzo za BET Kama Msanii Mpya wa kimataifa
Abigail Chams ameteuliwa kuwania tuzo ya Best New International Act kwenye #BETAwards2025, akiwa miongoni mwa wasanii 10 kutoka mataifa mbalimbali duniani.Ili kumsaidia kushinda, tembelea ukurasa wa...
View ArticleLava Lava Ajitoa WCB na Kuanza Kujitegemea, Baba Levo Aandika Haya kumtakia...
Lava Lava ajitoa WCB na kuanza kujitegemea, Baba Levo aandika haya kumtakia kila la kheri
View ArticleHatimaye Papa Mpya Apatikana, Moshi Mweupe Watoka
Kadinali wa Marekani Robert Francis Prevost ametangazwa kuwa Papa Mpya na atajulikana kama Papa Leo XIV.Imekuwa muda mrefu tangu kuwe na papa mwenye jina hili: Leo wa mwisho, Leo XIII, alichaguliwa...
View ArticleRobert Prevost ni Nani? Mfahamu kwa Undani Papa Mpya Leo XIV
Robert Prevost ni Nani? Mfahamu kwa Undani Papa Mpya Leo XIVHata kabla jina lake halijatangazwa kutoka kwenye roshani ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, umati wa watu uliokuwa chini ulikuwa ukiimba...
View ArticleBunge la Tanzania Lapinga Maazimio ya Bunge la Ulaya
Bunge la Tanzania Lapinga Maazimio ya Bunge la UlayaBunge la Tanzania limepinga vikali baadhi ya maazimio yaliyotolewa na Bunge la Ulaya kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii ya ndani ya nchi,...
View ArticleNiligundua Mpenzi Wangu ni Shoga Baada ya Kuchumbiana Kwa Miaka Miwili
Unaweza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,ilhali haufahamu tabia za mpenzi wako, kwani amekuwa akificha tabia zake.Katika kila uhusiano ni vyema kufahamu mpenzi wako vyema, ili uhusiano wenu hudumu na...
View ArticleJohn Mnyika : Mbowe Hagombei Urais Wala Ubunge
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema amewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho Freeman Mbowe na ameeleza kuwa hana dhamira ya kugombea Urais, Ubunge au uongozi wa Chama chochote cha...
View Article