Serikali yamtuhumu Balozi wa Uingereza
Serikali imetangaza rasmi mgogoro wa kidiplomasia kati yake na Balozi wa Uingereza nchini ikimtaka kujieleza kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi.Mgogoro huo ulitangazwa bungeni mjini Dodoma...
View ArticleShaa Naye Atupia Picha Akiwa Kwenye Bikini Kwa Mara ya Kwanza
Kama unam-follow kwenye instagram @Shaa_tz basi utakuwa umesha like au kuona jinsi comment na like nyingi zinazopata picha hizi.Sarah Kaisi amepost picha mbili akiwa kwenye boti...Any Comment?
View ArticleVenessa Mdee Afunguka Kwanini Aliacha Kufanya Kipindi cha The One Show,...
Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake Soma...
View ArticleMboni Afunguka Kuhusu George Tyson 'Yaani Zile Ahadi Zote Ulizonipa Kumbe ni...
Kazi kubwa ya George Tyson ilikuwa ni ku-direct vipindi vya TV vya Mboni Show na Vingine vingi
View ArticleTID adai kitu ambacho hawezi kukisahau kwenye maisha yake ni kwenda jela
Mnyama TID amesema kitu ambacho hawezi kukisahau katika maisha yake ni kwenda jela.“In fact time ambayo nilipata fight nikaenda jela, I was down ,nimeenda jela , so it’s like falling down,” alikiambia...
View ArticleManchester United Yammendea Kiungo wa Real Madrid Kwa Dau La £25m
Klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa kiasi cha £25million kwaajili ya kumsajili Angel Di Maria baada ya winga huyo kukiri anaweza kuiacha Real Madrid.Kwa mujibu wa mtandao wa Merto Sport,...
View ArticleMhadhiri UDSM Ndio Rais Mpya wa Malawi
Kwa ushindi wa Profesa Mutharika katika kiti cha urais wa Malawi, anaongeza idadi ya jamii ya wasomi waliopitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ama wakiwa wahadhiri au wanafunzi, kwani alifundisha...
View ArticleMastaa Mbali Mbali Walipokuwa Hospitalini Wakisubiri Mwili wa Marehemu Tyson
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa...
View ArticleMovie ya Kibongo Ambayo Nimeangalia Nikatoa Machozi ni Hii Hapa , Wewe Je ?
Huyu Gabo Muuza Maji kwenye Hii Movie ni Kibako , Nimeipenda sana hii Movie Kuna Sehemu mpaka nimetoa Mchozi...Je wewe ni Movie Gani ya Kibongo Ambayo imewahi kukugusa?
View ArticleMtoto wa Miaka Mitatu Amuua Mdogo Wake kwa Risasi
Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.Mtoto huyo alimuua mwenzake baada ya kukuta mfuko wa silaha hiyo katika...
View ArticleMama Mzazi Wa Zitto Kabwe Amafariki Dunia Baada ya Kuugua kwa Muda Mrefu
Siku ya Leo Mbunge Zitto Kabwe Amempoteza mtu muhimu sana katika Maisha yake ambaye ni Mama yake Mzazi aliyekuwa Akimuuguza Muda Mrefu sasa, Zitto Ameconfirm kupitia ukurasa wake wa Facebook na...
View ArticleBreaking Newzz: Masikini! Yule mtoto aliyefichwa Ndani ya Boksi kwa Miaka 4...
MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi...
View ArticleOmmy Dimpoz Amefunguka na Kudai Kuwa Mitandao ya Kijamii Imempa Mchumba
Ommy amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yeye na msichana huyo waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.“Social network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka...
View ArticleRAY C Alitamani Penzi la Babu Kizee…Adai Kuchoshwa na Vijana
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.Akizungumza...
View ArticleMatokeo ya Tanzania vs Zimbabwe na Wafungaji Magoli – Ingia Hapa
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kuwania kucheza michuano ya kombe la mataifa huru ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani.Stars leo ilikuwa...
View ArticleTaarifa Rasmi ya Yanga Kuhusu Uenyekiti wa Manji na Kocha Maximo Hii Hapa
Mkutano Mkuu wa marekebisho ya baadhi ya vipengele kwenye Katiba ya Yanga umefanyika na kumalizika salama na furaha kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi -Oysterbay huku wanachama wakipitisha kipengele cha...
View ArticleTabia Kumi Mbaya Ambazo Zinazokufanya Ushindwe Kutunza Hela na Kubaki...
1.Unanunua nguo bila mpangilio..Kuna watu wana nguo kama duka. Plz Kuwa nanguo chache Tu huwezi kushindana na fashion.2.Unanunua Viatu bila mpango.Viatu pia vinameza savings zetu. Nunua peachache zenye...
View ArticleTAIFA STARS kicked out of hotel in Zimbabwe
Tanzania's national football team, Taifa Stars on Thursday was kicked out of the hotel they were booked in ahead of their crucial return leg against Zimbabwe this Sunday, it has been reported. This is...
View ArticleSinta Kaa Nimwamini Mganga Yoyote wa Mapenzi Baada ya Hili Kunitokea
Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4 nilitokea kumpenda dada mmoja alikuwa anaitwa Rusi. Nilihangaika sana namna ya kumpata lakin nilikuwa naogopa kutongoza kipindi hicho. Ikabidi nimweleze kaka mmoja...
View ArticleMwigulu Nchemba: "Nataka Niwe Rais ili Niwafundishe Adabu Watanzania!"
Leo jioni, mjini Iringa kwenye viwanja vya Mwembetogwa, Mh Mwigulu Nchemba alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, alisema kuwa Watanzania wana uhuru mkubwa sana wa kuongea mpaka wanakosa adabu hata...
View Article