REPORT MPYA YA KUHUSU SHAMBULIO LA WESTGATE NAIROBI ILIYOTOLEWA NA MAREKANI
Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa shambulizi lililofanyika nchini Kenya kwenye jumba la Westgate Naiorbi lilifanywa na watu wasiozidi wanne tu ambapo ripoti hiyo iliyofanyiwa uchunguzi na kitengo...
View ArticleWABUNGE WAZIDI KUMWANDAMA WAZIRI MKUU PINDA
Mzimu wa kung’olewa unazidi kumwandama Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR), akitaka Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani naye.Akizungumza bungeni mjini Dodoma...
View ArticleNIMEGUNDUA MKE WANGU ANAVUTA SIGARA KUBWA (BANGI)
The beautful wife of mine smook weed. Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtukakwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa...
View ArticleBAADA YA KUSINGIZIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA BRAZIL ASHA BUI AONEKANA...
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha...
View ArticleBASI LA BURUDANI LAPATA AJALI MBAYA LIKITOKEA KOROGWE KUELEKEA JIJINI DAR
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.Majeruhi wakipatiwa matibabu.Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.Manesi wakiendelea na matibabu kwa...
View Article‘SAUZI’ YAMTAFUTA MKALIMANI FEKI WA VIZIWI KWENYE IBADA YA KUMKUMBUKA MANDELA
AFRIKA Kusini inamtafuta mkalimani feki wa kutumia ishara za viziwi ambaye alishindwa kufasiri walichokisema viongozi mbalimbali kutoka duniani wakati wa ibada ya kumkumbuka aliyekuwa rais wa nchi...
View ArticlePRODYUZA ALIYEFUKUZWA NA WEMA AFUNGUKA "WEMA ALITAKA NIWE KUWADI WAKE
BAADA ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara na...
View ArticlePINDA"KAMA IKITOKEA LEO HII NIKAVULIWA UWAZIRI MKUU NA RAISI NITAFURAHI SANA"
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliambia Bunge muda mfupi uliopita kwamba kama ikitokea Rais akamng'oa katika nafasi yake ya uwaziri mkuu, yeye atafurahi sana kwa kuwa kazi anayoifanya ni mzigo...
View ArticleZITTO AKATA RUFAA KUPINGA MAAMUZI YA CHADEMA KUMVUA UONGOZI
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe (MB) amewasilisha barua ya kupinga uamuzi wa Kamati Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kumvua nafasi zake za uongozi ndani ya chama...
View ArticleLEMA "ZITTO NIPE MAJINA YA WATU WAALIOFICHA HELA USWIZI NIKUSAIDIE KUYATAJA"
Dodoma, Tanzania. Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Sheria na Katiba muda mfupi uliopita amemtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazni Zitto Kabwe kumkabidhi AG majina...
View Article"WAJINGA USEMA KWAMBA CCM NDIO ILILETA UHURU TANGANYIKA" PROF MBELE
Kiwango cha ujinga Tanzania kinatisha. Utawasikia wengi wakisema kuwa CCM ilileta Uhuru Tanganyika mwaka 1961.Wajinga wengine, kuanzia wanasiasa hadi watu wa mitaani, husema kuwa CCM imekuwa madarakani...
View ArticleJE WAJUA KUWA INSTAGRAM INAKUWA HARAKA KULIKO TWITTER..MASTAA WA BONGO...
Facebook, Twitter na Instagram ndio mitandao ya kijamii inayotawala maisha ya mtandaoni kwa watu wengi duniani. Hadi sasa Facebook ina watumiaji bilioni 1 duniani kote, Twitter ikiwa na watumiaji...
View ArticleMASIKINI:KILIMANJARO STARS YAIKOSA NAFASI YA 3 YA CECAFA
Timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeshika nafasi ya nne michuano ya Kombe la CECAFA 2013 inayofanyika nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Zambia kwa penalti 6-5.Mchezo huo...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA YOUNG DEE FEAT..MWANA FA & BEN POL-FUNUNU
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Young Dee AKA Young Dar-es-Salaam akiwashirkisha Mwana FA na mkali wa R&B Ben Pol. Ngoma inaitwa ‘Fununu’.
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ATINGA SURUWALI YAKE YENYE UTATA NA KUOMBA DUA ILI...
Hahaha Diamond kanichekesha sana leo. Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii...
View ArticleMASHINDANO YA MISS UTALII YAFUNGIWA RASMI NA BASATA
Barua kutoka Basata kuhusu kufungiwa kwa Mashindano ya Miss Tourism Tanzania
View ArticleMASTER JAY AFUNGUKA "WASANII WA BONGO FLAVA NI WEZI"
Producer mkongwe na C.E.O wa MJ Records Master J amesema kuwa wasanii wa Tanzania wanawaibia watayarishaji wa muziki.“Huwezi kuchukua wazo langu uende kulitumia kutengeneza hela halafu uniambie kwamba...
View ArticleFILAMU ZA KIBONGO HAZIUZI BILA KUTUMIA WASICHANA WAREMBO
Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zaoKwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’ kinachowavuta...
View ArticleHUYU AGNESS MASOGANGE MMHH..!! TAZAMA HOT PICHA ALIZOACHIA KATIKA MTANDAO WA...
Pichani juu ni taswira za mpya za Video Queen wa Bongo, Agness Gerald 'Masogange' alizotupia kupitia ukurasa wake wa Instagram.
View ArticleHATARI ! ETI LULU NA YOUNG D WAKUTWA WAKIBANJUANA NDANI YA GARI..MHH
Pata habari za bongo movies na nyingine nyingi punde zitokeapo. Tuma neno PERUZI kwenda 15368 sasa. Kwa wateja wa Vodacom PekeeJana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha clouds FM chini ya bwana Sudi...
View Article