ZITTO AMJIBU MWANASHERIA MKUU ADAI KUWA NI MUONGO MKUBWA YEYE ALISHAMPA...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema atamjibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema juu ya kauli aliyoisema bungeni kwamba mbunge huyo hana majina ya Watanzania...
View ArticleMCHEZAJI OKWI SASA NI YANGA DAMU SAMU-ATIA SIGN YANGA SIMBA MLIE TUUU
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Arnold Okwi ambaye alikua akiichezea klabu ya SC Villa ya Uganda.Yanga SC imempata...
View ArticleASKARI WA JESHI LA POLISI AMWAGA MATUSI MAKUBWA HADHARANI AKIWA KAZINI
ASKARI wa Jeshi la Polisi nchini, Koplo Genja mwenye namba E-8455 ametukanwa na kudhalilishwa hadharani na dada mmoja mwenye asili ya Asia, baada ya afande huyo kutokubaliana na amri ya dada huyo ya...
View ArticleVIDEO:ANGALIA HOTUBA YA RAIS KIKWETE ILIYOSIFIWA NA DUNIA NZIMA KWENYE MSIBA...
Earlier today President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania delivered a moving eulogy when paying tribute to the late Nelson Madiba Mandela during the final burial ceremony for Madiba at Qunu, Eastern...
View ArticleVIDEO: HUU NDIO USHAHIDI WA MAMA SWAI AKIMRUDISHIA MANDELA VIATU ALIVYOVIACHA...
Late #Madiba Receiving his boots in 1995 which he left them in Tanzania 1962 from Mama Swai. On 11 January 1962, Nelson Mandela secretly left South Africa to travel around the continent and drum up...
View ArticleALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MWANZA AUWAWA KWA KUPIGWA MAWE.
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi...
View ArticleBABY MADAHA"TAREHE 22 DEC PALE GOLDEN TULIP NITAMUONESHA DIAMOND MIMI NI NANI"
"Tarehe 22 Jumapili Disemba mwaka huu pale Golden Tulip nitamuonyesha Diamond,kuwa Queen of Swagg ni nani,ambapo yeye alizindua Single moja ya ngololo pale Serena mimi ninazindua single 4 moja ikiwa ni...
View ArticleTEAM YA GOR MAHIA YAPATA PIGO WACHEZAJI VINARA AKIWEMO IVO MAPUNDA WAONDOKA
WAMEIBOMOA Gor Mahia. Ndivyo unavyoweza kusema kuhusiana na hatua ya Simba ya Tanzania kuwasajili kipa, Ivo Mapunda na beki Donaldi Musoti.Klabu hiyo ya Tanzania ambayo maofisa wake walikuwapo jijini...
View ArticleREGINALD MENGI AMJIBU PROF MUHONGO
1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti. 2. Mimi...
View ArticleMANGI AAMUA KUCHOMA NYUMBA MOTO KISA KADHULUMIWA PENZI NA MKEWE
Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mmoja na...
View ArticleWANAWAKE WAREMBO NDIO WATEJA WAKUBWA WA WAGANGA UKILINGANISHA NA WALE WA KAWAIDA
Nasikia masista duh na warembo wengi ndio wqashiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake...
View ArticleSABABU ZA KWANINI HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KUMUAGA MANDELA ILIKUWA BORA ZAIDI
Ndugu zangu, NOTHING can come from NOTHING. Wamesema hili Wanafalsafa wa Uyunani ya Kale .Nimemwona na kumsikiliza Rais wetu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye siku muhimu ya kumuaga kwa mara ya mwisho...
View ArticleHARUSI NYINGI ZA SIKU HIZI WANAWAKE HUWA HAWAPENDEZI UKILINGANISHA NA MWANAUME
Nimekuwa nikishuhudia harusi nyingi ambapo wanaume tu ndio wanaopendeza, . kinachopelekea hali hii ni mkorogo ulipita kiasi na kupelekea hata sura ya huyo mwanamke isiwe natural look, na ikawa mchina...
View ArticleHATIMAYE LULU AFUNGUKA SAKATA LA KUFUMANIWA WAKIDUU NA YOUND D KWENYE GARI
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth...
View ArticlePRESIDENT JAKAYA KIKWETE'S SPEECH AT MANDELA FUNERAL SHAMED KENYATTA REGIME
Tanzania’s President Jakaya Murisho Kikwete was accorded a stunning ovation in his tribute to the late Nelson Mandela.President Kikwete’s speech made shame of Jomo Kenyatta regime that failed to help...
View ArticlePICHA ZA JAMAA ALIYEFANANA NA MAREHEMU ALBERT MANGWEA
Kijana Aliye Fanana na Marehemu mwanamuzi Ngwea Akiwa katika ofisi za Clouds Fm...Ametisha ...Dahh utafikiria ni Mapacha...au Sio Jamani?
View ArticleVIDEO MPYA YA ROSE MUHANDO "WOLOLO" CHINI YA SONY MUSIC AFRICA COMPANY
Muimbaji wa muziki wa injili nchini Rose Muhando hatimaye amevunja ukimya kwa kuachia video chini ya label ya kimataifa inayomsimamia kwa sasa Sony Music Africa.Hivi karibuni Bongo5 ilizungumza na Mkuu...
View ArticleKIGOMA ALL STARS WAPIGA SHOW KALI MOMBASA-RECHO ATIA AIBU, MAUNDA ZORO AZOMEWA
Wiki iliyopita, wanamuziki wa Kigoma Allstars akiwemo Diamond Platnumz na wengine walikuwa mjini Mombasa, Kenya kwenye show ya sehemu ya ziara yao katika nchini za Afrika Mashariki. Pamoja na kupiga...
View ArticleBILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI NDANI YA GARI LAKE
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’NI jambo lililotoa mshtuko kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani ambapo Desemba 10, mwaka huu, walikuta mwili wa binadamu ukiwa ndani ya gari...
View ArticleLEMA AMLIPUA BUNGENI NAIBU WAZIRI OLE MADEYE
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amemlipua bungeni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye kwa kumweleza kuwa sio mzigo tu, bali ni bomu hasa. Katika...
View Article