Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109660 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Anashinda Whatsapp Masaa Yote, Ila Nashindwa Kumbwaga

Huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita.Ni mwanasheria kwenye firm fulani jijini Dar, nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi kumfahamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndoa ni DIRECT VISA To Hell Kama Ukiichukulia Poa, Ni Heri Usioe ama Kuolewa...

Kila mtu anataka Kuolewa lakini shida ni Vigezo vya Waoaji vikoje??Kila siku vigezo vinabadilika..Sasa hivi unaangaliwa sana uwezo wako wa mfukoni kabla hujaambiwa NDIO...Hela imekuwa ndo GREEN...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Obama:Tumekadiria Vibaya Nguvu za Wanamgambo wa Kiislam wa IS

Rais Obama amekiri katika televishen ya kitaifa kuwa Mashirika ya Marekani yalikosea katika kukadiria hatari ya wapiganaji wa dola ya kiislam, Islamic State nchini Iraq na Syria.Amesema kuwa wapiganaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA Yaanza Kuwashughulikia Wanaotumia Vibaya Mitandao ya Kijamii

Mamlaka  ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuwakumbusha wananchi  kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza kuchukuliwa kwa wale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amber Rose Alimfumania Wiz Khalifa Saa Nane Usiku, Wiz Asema Alifanya Makusudi

Uamuzi wa Amber Rose kutaka kutalakiana na mumewe Wiz Khalifa ulizua maswali mengi huku ‘uchepukaji’ ukitajwa kuwa chanzo cha yote.Lakini kwa mujibu wa TMZ, Amber Rose alichukua uamuzi huo baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sitta: Nyaraka Zinazosomwa Makanisani Kuhusu Bunge la Katiba ni za Kipuuzi

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu 'Watu Wenye Majungu Hawanisumbui Kichwa Kabisa Nabaki Nawatazama Tu'

Stori: Mayasa MariwataMADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Sugu amwagana na Mke wake…Mwanamke Afunguka Mazito

Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu …Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masheikh Wakiislam Nao Waikataa Rasimu ya Sitta

SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zawadi ya Gari Aliyopewa Wema Sepetu Siku ya Kuzaliwa Yaleta Kizazaa, Wadada...

Juzi ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mrembo Wema Sepetu, Kitu kilichovuta Hisia za Watu wengi ni zawadi ya Gari aliyopewa Wema Sepetu kutoka kwa Mpenzi wake Diamond Platnumz...Inasemekana huko mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji Aliyewalisha Waumini Majani Aja na Mpya..Sasa Awaponya Wagonjwa kwa...

Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ninaachika Kila Mara Kwasababu ya Msimamo Wangu wa Kutokufanya Mapenzi Mpaka...

Mpenzi wangu ambaye nimedumu naye kwa mwaka mmoja leo amenitamkia kuwa hawezi kuendelea kuwa na uhusiano na mimi, amesema ameshndwa kuvumilia kuwa na mpenz bila kufanya S3X.Amesema hawezi kunifanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ile Video ya Izzo B ya Walala Hoi Iliyofanywa Kwa Mil 1.3 Hii Hapa, Embu...

Week iliyopita Izzo B alifunguka Gharama za Video yake ya Wimbo wa Walala Hoi kwa Kusema Ameifanya kwa Milioni moja na Laki Tatu Pale kwa Director Nick Dizzo ...Sasa Embu Angalia Hii Video Alafu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji TB Joshua Kushtakiwa na Serekali ya Nigeria Baada ya Jengo Lake...

Serekali ya Nigeria Imesema Inaanzisha Uchunguzi wa Kina Kujua sababu za Jengo la Hotel ya Mchungaji TB Joshua Ambapo Waumini wake ufikia lililo anguka Tarehe 12 September na kuuwa zaidi ya watu 115,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Irene Uwoya na Mwigizaji Rich Wapigana Denda Live Live

Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich wakibadilishana mate kwenye scene...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je Unaipenda Facebook ? Mtandao Pinzani Umezinduliwa , Waja kwa Kasi ya Ajabu

Mtandao wa kijamii wa Ello unapokea maombi 31,000 ya watumiaji wanaotaka kujiunga kila saa moja hali ambayo inaibua ushindani mkubwa kwa mtandao wa Facebook.Muanzilishi wa mtandao huo Paul Budnitz...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuachana kwa Jason Derulo na Jordin Sparks Kwamfanya Lulu Asiamini ‘Mapenzi’...

Kama uliumizwa au kushangazwa na kuachana kwa Jason Derulo na Jordin Sparks, basi hauko peke yake.Elizabeth Michael aka Lulu, ni mmoja wa watu waliomuizwa na kuvunjika kwa uhusiano wa wanamuziki hao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pic of The Day: Mwanamuziki Recho Katika Pozi Ofisini

Mwanamuziki Recho Katika Pozi Ofisini, Haikuweza Kufahamika ni Ofisi gani ila Mazingira yanaonesha ni ofisi fulani...Kivazi hicho Jamani Chanimalizaaa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkasi TV yamuhoji Gardner G. Habash… Aliyoyaongea ni Pamoja na Haya.

Mtangazaji Gardner G. Habash ni miongoni mwa Watangazaji hodari ambao Tanzania imewahi kuwa nao ambapo alianza kwa kusikika kupitia CloudsFM kwenye shows mbalimbali ikiwemo Jahazi kabla ya kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Ni Sababu Kuu Tano Kwanini Lowassa Anafaa Kuwa Rais 2015

Maisha ya watanzania yamekua magumu mno,sasa sukari ipo juu ikiwa ardhi na mabonde kama ruvu mtibwa na kageara tunayo, umeme usio wa uhakika wakati gesi ya mtwara na RUBADA, madawa hakuna hospitalini,...

View Article
Browsing all 109660 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>