Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109654 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpishi Amchinja na 'kumpika' Mpenziwe

Mwanamume ambaye kazi yake ni ya upishi nchini Australia, anadaiwa kumuua mpenzi wake na kumkatakata vipande na kupika baadhi ya sehemu zake za mwili.Aliyafanya unyama huo kabla ya yeye mwenyewe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukiachika Kama Siyo Malaya Utakuwa Malaya! Kama ulikuwa Malaya Utakuwa Malaya...

Tumekushauri kuvumilia umekataa katakata 'siwezi kuishi na huyu mwanaume, ni malaya sana, ataniua bure na maradhi'. Umeamua mwenyewe kuachika, tena kwa maneno ya kejeli eti najimudi kiuchumi so maisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumekucha : Maalim Seif Hamad Kujiuzulu Umakamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar...

Hali ya mambo visiwani Zanzibar siyo nzuri hata kidogo, (wala si ya kufurahia) toka jana jioni ilipotoka taarifa ya kufukuzwa kazi kwa Mwanasheria Mkuu wa SUK Athuman Masoud.Kumekuwa na vikao usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakamatwa na Polisi kwa Kulima Shamba Huku Wakiwa Uchi wa Mnyama

Watu wanne wa familia moja wamekatwa na polisi katika kata ya Busega, mkoani Simiyu baada ya kukutwa wakilima huku wakiwa uchi. Kaimu Kamanda ya Polisi mkoani Siminyu Venance Kimario amedhibitisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Afukuzwa Kazi, Said Hassan Said...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake Wenzangu Njooni Tuwatete Huku Hawa Viumbe, Funguka Kuhusu Maudhi ya...

Wanawake ni jeshi kubwa.Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mume maana kwa kweli ni mengi sana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matusi ya Mama Wema..Kajala na Wema Sepetu Watoana Jasho Polisi

Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali Bado Si Shwari Bongo Movies, Mastaa Wengine Watano Wajiondoa

Stori: Hamida Hassan na Imelda MtemaHALI bado tete! Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, upepo mbaya unaendelea kuitafuna klabu hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigizaji Cloud Akana Tuhuma Kumfitinisha Frank ili Asisafiri Kwenda...

Stori: Mayasa Mariwata na Chande AbdallahMSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ona Hawa Askari Wawili Wanavyo lizalilisha Jeshi la Polisi..Kama si Maigizo...

Hivi hii picha wanafanya kweli au wako maigizo???? Yaan dah! Ukute hapo Wakisikia gari inakuja wanakurupuka kuwahi barabarani kuomba rushwa na mikwara kibao. Wakubwa tunaomba majina yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetesi za Edzen Kuwa Ndani ya Penzi Jipya Baada ya Kutemana na Mkewe Dida

"Couple" mpya mjini? Mtangazaji maarufu nchini @ezdee255 hivi karibuni ameonekana "benet" na msanii wa filamu na mfanya biashara @mozzah255 Katika mapozi yenye utata. Mtangazaji huyo hivi karibuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Mcharuko Awapa Watu Senema ya Bure, Kisa Mzuka wa Mziki

Kadri mapigo ya Vijana wa Masauti yalivyozidi kuchanganya, ndivyo midadi ya ‘mtu mzima’ ilivyozidi kupanda na kuanza kukata kiuno isivyo kawaida huku akichojoa kiwalo kimoja baada ya kingine.Mzuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri wa Wabunge Kufurahi na Kucheza Bungeni Yajulikana

Baada ya "Rasimu ya Sitta" kupitishwa na Bunge maalumu baadhi ya wabunge walilipuka kwa furaha na wengine wakakata mauno hadharani, huku mbunge wa Njombe kaskazini Deo Sanga akicheza "Kitorondo" na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee Hastahili 'Kutendwa' Vile

Hata kama ni mambo ya kisiasa,twende taratibu. Jana, Mbunge wa Kawe (CHADEMA) na Mwenyekiti wa BAWACHA Halima Mdee alikosa dhamana na kuswekwa rumande. Ikatolewa sababu kuwa alishindwa kutimiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walio Kuwemo Kwenye Basi Hili Hawaita Isahau Siku Hiyo...Mambo ya Mlima Kitonga

Walio Kuwemo Kwenye Basi Hili Hawaita Isahau Siku Hiyo...Mambo ya Mlima Kitonga Hayo

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

One Word To these Student Who Shows off their Goodies Like This?

One Word To these Student Who Shows off their Goodies Like This? Ni wanafunzi wa Shule Moja Maarufu Bongo..Mmoja wapo alipost kwenye Instagram Profile

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Mzazi Adaiwa Kumchinja Mwanaye

Baba mzazi mkazi wa Sengerema anadaiwa kumuua mwanaye wa miaka minne kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.Mzazi huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo juzi alfajiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking: Taarifa Mpya ya Kusikitisha Kuhusu Yule Mgonjwa wa Ebola Marekani

Thomas Eric Duncan mwanaume aliesafiri kutoka Liberia mpaka Marekani akiwa ameambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola amefariki muda mfupi uliopita nchini Marekani baada ya kuwa kwenye hali mbaya.Pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuzi Lady Gaga Sasa Amepitiliza, Atembea Uchi Mitaani, Watu Wapate...

Sio Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halima Mdee 'Kama Serikali Walidhani Wamenikomoa Kunilaza Segerea ni Sawa na...

Wakati Mbunge wa Kawe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema (Bawacha), Halima Mdee, akiachiwa huru baada ya kulala mahabusu ya Segerea kwa siku...

View Article
Browsing all 109654 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>