STEVE NYERERE UENYEKITI WA BONGO MOVIES WAANZA KUMTOKEA PUANI..WAWA MCHUNGU
Steve Nyerere Amesema Inamuwia vingumu kufanya kazi kutoka na kukosa ushirikiana kutoka kwa wana bongo Movies wenzake ..Amehabarisha kuwa kuna baadhi walio mchagua kuwa mwenye kiti wao ili wamzalilishe...
View ArticleAY AKANUSHA KUMTUNGIA NYIMBO JAGUAR...APINGA KUWA DIAMOND NI TISHIO KWAKE
Msanii wa HipHop kutoka Tanzania, Ambwene Yesaya amekanusha uvumi uliokuwa umezagaa nchini Kenya wa kumuandikia baadhi ya nyimbo mkali wa Kioo kutoka Kenya, Jaguar.Katika mahojiano aliyofanyiwa nchini...
View ArticlePICHA MBALI MBALI ZA NICK MINAJ AKIWA BILA WIGI...SHE IS CUTE I LIKE HER LIKE...
Jionee Mwenye Mtoto Alivyo Bomba ...Hapo kaweka Usela wote pembeni na yale mawigi yake ya kishetani pembeni ...mtoto unywele Anao ...Dahhhh She is Cute ......Check picha alafu ucomment
View ArticleMVUA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI DSM HUENDA IKAENDELEA HADI JUMATANO
Mvua iliyoambatana na upepo mkali uliovuma usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam umesababisha umeme kukatika kwa zaidi ya saa sita katika sehemu kubwa ya jiji hilo,miti kuanguka pamoja na wavuvi...
View ArticleROSE NDAUKA AMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE....VERY HEALTH BABY
Star wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amemuweka hadharani mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kumpa jina la Naveen yeye na baba mtoto wake Malick Bandawe(Chiwaman). Kupitia mtandao mmoja wa...
View ArticleDIRECTOR ADAMU JUMA AKUTA USO KWA USO NA DIRECTOR NISHER LEO...WALIZIKA BEEF LAO
Katika mechi ya kikapu leo kati ya team Adam Juma na team Karabani kulikuwa na vitu vingi vizuri sana moja wapo ilikuwa ni hili, baada ya mechi kuisha na team ya Adam Juma kuondoka na ushindi watu...
View ArticleTIPS ON HOW TO FORGIVE A CHEATING PATNER AND SAVE YOUR RELATIONSHIP
Tips On How To Forgive A Cheating Partner And Save Your RelationshipI understand that I am on that drake tip right now but Valentine’s Day is around the corner. Some things have to be said and some...
View ArticleMH. LOWASSA AKANA UMILIKI WA KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII
Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram...
View ArticleSHILOLE AYAZUNGUMZIA MAKAVU LIVE ALIYOPEWA NA BABY MADAHA.
Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole aka Shishi Bybee kwa kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya Shilole,...
View ArticleNAJIONA NIPO TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE..ILA I ADMIRE MY PERSONALITY
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani.1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao au wapenzi wao. Lakini mimi huwa napenda...
View ArticleSUGU AWAPA MAKAVU LIVE BILA CHENGA KINANA NA NAPE
Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu...
View ArticleBAO 5-1 ZAMCHANGANYA ARSENE WENGER APIGA MWELEKA WA NGUVU-PHOTOS
Kipigo cha bao tano cha jana kilimchanganya kabisa Arsene Wenger mpaka akapiga mweleka wa nguvu alipokuwa anaondoka katika mjio huo baada ya kutembezewa kichapo hicho ...Aibu ya Mwaka kwa Arsenal...
View ArticleJAKAYA KIKWETE ATEUWA MAJINA YA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.Kupitia uteuzi huo amewarejesha bungeni wanasiasa...
View ArticleRAISI UHURU KENYATTA WA KENYA AWASHANGAZA WENGI BAADA YA KUTEMBEA MJINI BILA...
Hii imetokea kwenye mji mkuu ambao ni Nairobi pale Rais Uhuru Kenyatta alipotumia gari moja tu bila msafara akitokea Ikulu kwenda kwenye hoteli moja kwa ajili ya kukutana na Wanafamilia.Unaambiwa toka...
View ArticleMAONI:MCHEZA MPIRA CHUJI ANAFAA KUWA MFANO WA KUIGWA
KWA kipindi kirefu sasa kiungo nyota wa Yanga, Athuman Idd maarufu ‘Chuji’ amekuwa katika matatizo yatokanayo na utovu wa nidhamu.Hali imekuwa hivyo katika klabu yake pamoja na timu ya Taifa. Suala la...
View ArticleMALINZI:TUMERITHI ZIGO LA MADENI TOKA KWA TENGA
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema changamoto kubwa linaloikabili sasa ni madeni ya mamilioni ya fedha waliyoyarithi kutoka uongozi uliopita wa Rais, Leodegar Tenga.Akizungumza na Mwanaspoti...
View ArticleUSHOGA WA DK.CHENI HUU HAPA FILAMU YAKE YAZUIWA
Stori: Brighton MasaluSIKU chache baada ya Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kuzuia filamu ya mkongwe katika sinema za Kibongo, Mahsein Awadh Said ‘Dk. Cheni’ ijulikanayo kwa jina la Nimekubali isiingie...
View ArticleNCHI HII INAPOTEZA MWELEKEO WASOMI MKO WAPI?
Ni ukweli usiopingika nchi hii inapoteza uelekeo tofauti na miaka ya 60. Miaka ya 60 hatukuwa na wasomi wengi sana kama maprofesa, madoctor, masters, na bachelors ukilinganisha na ilivyo sasa,...
View ArticleWADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?
Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga tuonane siku ya leo....
View ArticleDIAMOND SI MCHAWI..BALI ANA JITAMBUA NA ANA WASHAURI WAZURI
Msanii nguli katika kuiga sauti za watu maarufu MC Babu Ayoub aliyewahi kutamba na wimbo wa chaja ya kobe ameibuka na kusema mkali wa ngololo Diamond si mchawi.Mkali huyu wa kibao cha chaja ya kobe...
View Article