Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live

Kimbunga Irma Chaikumbu Cuba

$
0
0

Kimbunga kikubwa kilichopewa jina la Irma kimeipiga nchi ya Cuba na kusababisha vifo baadhi ya maeneo mengine, huku kikiharibu miundo mbinu ya nchi hiyo.

Kimbunga hicho ambacho kimeendelea kuimarika kinatarajiwa kuathiri miji ya pwani, na mpaka kufikia sasa watu 22 wameripotiwa kufariki katika visiwa vya Carebean.
Pia katika jimbo la Florida nchini Marekani watu milioni 5.6 ambao ni sawa na 25% ya watu wa maeneo hayo, wametakiwa kuhama makazi yao kujinusuru na kimbunga hicho kikubwa.

Kimbunga hicho kinakadiriwa kwenda spidi ya km 249 kwa saa, pia kimesababisha mvua kubwa na mafuriko, katika maeneo ambayo kimepita, huku kikisababisha watalii kukimbia nchi ya Cuba, na maelfu ya watu kukosa makazi.

Katika eneo la Berbuda takriban 95% ya majengo yake yameharibiwa hasara inayokadiriwa kufikia dola milioni 100.

DC Akanusha Taarifa Zinazoenezwa Kuhusu Viongozi Wa Chadema

$
0
0

Mkuu wa wilaya ya Miraji Mtaturu Ikungi amekanusha taarifa za kuwakamata viongozi wa CHADEMA waliokuwa wakiratibu michango kwa ajili ya matibabu ya Mbunge Tundu Lissu na badala yake aliwaweka ndani kwa sababu walitaka kuandamana bila kibali.

Kupitia taarifa aliyoitoa Mkuu huyo wa wilaya amesema kwamba taarifa zinazoenezwa kwenye mitandao ya kijamii zina lengo la kwafitinisha wana Ikungi na jimbo la Singida Mashariki kwa ujumla.

Amesema kuwa "Viongozi waliokamatwa na baadaye kuachiliwa walihojiwa na kuachiwa kwa dhamana hawakuwa wakiratibu michango bali walikuwa wakiandika mabango yenye ujumbe wa kichochezi dhidi ya viongozi wa serikali na wakitaka kuandamana bila kibali.

Aidha amewataka wanaikungi kutulia katika kipindi hiki ambacho Mh. Lissu akipatiwa matibabu nje ya nchi na pia kutojaribu kuingiza siasa na badala yake waiachie serikali nafasi ya kuendelea na kazi ya uchunguzi ili waliohusika na tukio hilo waweze kuchukuliwa hatua kali.

Pamoja na hayo ameongeza kuwa "Ingawa viongozi wa CHADEMA Taifa wameshatangaza utaratibu wa kuchangia, ningewashauri na viongozi wengine wafuate mkondo huo huo. Mimi kama kiongozi wa wilaya tayari nimeshamwagiza mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi ili kuitisha kikao cha madiwani ili kuweka utaratibu wa pamoja wa namna ya kuchangia matibabu ya mbunge wetu.

Serikali Yaongeza Muonekano Na Usikivu

$
0
0
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa leseni kwa vituo 32 vya televisheni hapa nchini ikiwa ni kuongeza muonekano na usikivu katika maeneo mbalimbali ya nchi.



Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura Bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Martin Alexander Mtonda Msuha Mbunge wa Mbinga Vijijini ambapo alitaka kujua idadi ya vituo vinavyorusha matangazo kwa njia ya televisheni na Makampuni yanayomiliki vituo hivyo.

Aliongeza kwa kuvitaja vituo hivyo vya Televisheni vilivyosajiliwa nchini kuwa ni pamoja na Independent Television (ITV), Star Television Channel Ten Television, TBC 1, TBC 2, East Africa Television (EATV), Agape Television (ATV), C2C Television, Dar es Salaam Television (DTV), Abood Television, CTN Television, Capital Television, Clouds TV, VIASAT 1 Television, Sibuka Television, Sokoine University of Agriculture Television (SUATV) na Tumaini Television.

Vituo vingine ni Mlimani Television, Tanga City Council Television, Imaan Television, Morning Star TV, Africa Internet Television Ltd, Uhai Television Limited, Barmedas TV, Target Television, Tabibu Television, Africa Swahili Television, Cable and Satellite Consultancy Limited, WRM Television Network, Dira Television, Parliament Media Trust (Bunge TV), Mahaasin Television.

Aidha alifafanua kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) ndio yenye dhamana ya kutoa leseni ya maudhui ya utangazaji wa Televisheni za aina mbili ambazo ni Leseni za maudhui yanayotazamwa bila kulipia na maudhui ya Kulipia.

Alizidi kueleza kuwa leseni hizo zimegawanywa kimasoko ambapo kuna leseni za Kitaifa ambazo zinapaswa kuonekana nchi nzima na leseni za Kimkoa ambazo huruhusiwa kutangaza mikoa 10 ya Tanzania Bara, na leseni za kiwilaya ambazo huonekana Mkoa mmoja.

Mgawanyo huu wa kimasoko unatoa fursa kwa waombaji kutangaza maeneo wanayochagua kutokana na uwezo wao wa kifedha na kiundeshaji ambapo maudhui hayo ya bila kulipia yanapaswa kuonekana kupitia visimbuzi vya Makampuni ya Agape Associates Limited, Basic Transmission Limited na Star Media (Tanzania) Limited. Visimbuzi hivyo ni TING, STARTIMES, DIGITEK na CONTINENTAL.

Naibu Waziri Wambura amevitaja vituo vyenye leseni ya soko la Kitaifa kuwa ni TBC1, Channel Ten, East Africa Televisheni, Independent Televisheni, Star Televisheni, Clouds TV na Bunge TV wakati vituo vyenye soko la kimkoa ni TV Imaan, Agape TV (ATV) na TV1 na vituo vilivyobaki vina soko la kiwilaya.

Aidha, Kituo cha TBC1 ambacho ni kituo cha Umma kinapatikana bila malipo ya mwezi kwenye ving’amuzi vyote vya miundombinu iliyosimikwa ardhini na vile vinavyotumia mitambo ya satelaiti kama vile Azam TV, DSTV na Zuku.

Kituo cha TBC 1 kinalazimika kuonekana bila malipo kwa mujibu wa masharti ya leseni za makampuni ya miundombinu ya utangazaji ya ardhini (DTT) na Satellite (DTH).

Kuhusu muonekano na wa TBC1 maeneo yote nchini, Naibu Waziri Wambura amesema kuwa Serikali kupitia Bunge la Bajeti ya mwaka 2017/2018 imetenga jumla ya Sh. Bilioni 3 ambazo ni fedha za miradi ili kuboresha muonekano wa matangazo ya TBC1 nchi nzima.

Mtoto Wa Mwezi Mmoja Kaotesha Meno 7

$
0
0

   


Ni jambo unaloweza kuliita ni ajabu ambapo mtoto wa umri wa mwezi mmoja tangu kuzaliwa kuota meno saba na kusababisha Madaktari kumfanyia upasuaji kuyaondoa meno hayo.

Tukio hilo limetokea India ambapo mmoja wa Madaktari waliomfanyia upasuaji mtoto huyo, Meet Ramatri amesema upasuaji umekua na mafanikio baada ya kufanyiwa upasuaji mara mbili; upasuaji wa kwanza ulikua wa kutoa kwanza meno manne na baadaye akatolewa meno matatu.

Wazazi wa mtoto huyo waligundua kuwa mtoto wao hanyonyi vizuri hivyo kuamua kumpeleka Hospitali ili kufanyiwa uchunguzi ndipo madaktari walipogundua mtoto huyo ana tatizo hilo ambapo hata hivyo daktari huyo ameeleza haijulikani kama upasuaji huo utaathiri uotaji wa meno wa mtoto huyo kwa siku za uson

Padri Mapunda: Wapinzani sio Maadui, Mfalme Suleimani Hakujifanya Mungu mtu. JPM ajifunze

$
0
0
PADRI Baptiste Mapunda ametaka JPM kutambua kuwa bila majadiliano na viongozi wengine wa vyama vya siasa vya upinzani, hatma ya nchi itakuwa mbaya sana siku zijazo.

Akizungumza katika Kanisa Katoliki Manzese, jimbo kuu la Dar es Salaam, Padri Mapunda alisema Rais JPM awe na busara na kufuata mwenendo wa Mfalme Suleimani ambaye katika uongozi wake alikuwa akiomba muongozo kwa Mungu na hakujifanya Mungu mtu.

“Hata Mungu aliwahi kukosolewa na Nabii Musa pale alipotaka kuwaondoa Waisraeli, sembuse binadamu tunaoishi na kufa?" Amehoji Padri Mapunda.

Source:Jamii Forums

Updates Toka Kenya: Hali ya Lissu yazidi Kuimarika, Ulinzi Waimalishwa. Ukienda Kama Hautambuliki Huingii Ndani.

$
0
0
Updates Toka Kenya: Hali ya Lissu yazidi Kuimarika, Ulinzi Waimalishwa. Ukienda Kama Hautambuliki Huingii Ndani.
#UPDATES mpya za Lissu Nairobi:

Muda huu, watu ambao wanaelezwa ni makachero wamewekwa katika Hospitali ya Agha Khan jijini Nairobi kuimarisha zaidi Ulinzi katika Hospitali hiyo aliyolazwa mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania Tundu Lissu.

Mwandishi wa Habari wa kujitegemea Boinet Omuru aliyepo nchini Kenya, amehabarisha kuwa eneo hilo linadhibitiwa vikali.

”Hapa kuna ulinzi mkali, nimefika hapa kwa ajili ya habari kama mwandishi lakini mlolongo umekuwa mgumu, nimeshindwa kuzungumza sources za hapa”

Boinet anasema hakuna ubize wowote na wala hakuna watu wanaoingia hapo kwa urahisi katika eneo ambalo Tundu Lissu amelazwa.

”Kuna utulivu mkubwa”

”Yupo mke wake na ndiye mara nyingi anatoa ruhusa nani amsalimie mgonjwa.
Makachero wa hapa Kenya, wapo hapa wamevalia kiraia. Ukifika katika lango la kuingilia unaulizwa maswali mengi sana, ukitaka kupiga picha unazuiwa”

Viongozi wa vyama vya Mawakili kutoka Kenya, Uganda, Rwanda jana walifika Hospitalini hapo kumuona kiongozi huyo.

Makamu wa rais wa chama cha Mawakili Afrika, ambaye aliwahi kuwa rais wa chama cha Mawakili nchini Kenya,Eric Mutua, jana aliiomba Serikali ya Kenya kuhakikisha inamuwekea Ulinzi kiongozi huyo ili watu waliojaribu kumuua wasimdhuru akiwa nchini humo.

”Hatuna uhakika kama waliojaribu kumuua nchini Tanzania hawatatekeleza mpango wao nchini Kenya. Ni muhimu bwana Lissu alindwe na maafisa wa Polisi wa Kenya” alisema Mutua

Hata hivyo Serikali ya Kenya haijazungumza hadharani, lolote juu ya maombi hayo.

Msemaji wa rais Uhuru Kenyatta Manoah Esipisu, alipotafutwa na mwandishi wa habari hizi kuzungumzia suala hilo hakupatikana. Hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa simu haukujibiwa.

Mwenyekiti wa CHADEMA jana aliiambia Sauti ya Amerika kuwa tukio hilo lina viashiria vya kisiasa.

“Hatuwezi kuamini hili ni tukio la ujambazi. Kama lingekuwa tukio la ujambazi wangebeba kila kitu. Tukio liliotokea watu waliojitokeza na silaha walikuwa wanajiamini, wakiwa na silaha ya SMG, silaha ya kivita, silaha ya moto. Wamefanya mashambulizi wakati wa mchana, hakuna majambazi wanaokwenda katika tukio kwa namna hiyo,” alieleza Mbowe akiwa nchini Kenya.

Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi kati ya 28 na 32 zilizolenga mlango wa abiria wa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser alikokuwa amekaa, huku risasi tano zikipiga mwilini.

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Profesa Abdallah Safari ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa hali ya mbunge huyo inazidi kuimarika.

Arusha: Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa amekamatwa na Polisi

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshilikia kijana mmoja afahamikae kwa jina la Abuu aliyesambaza ujumbe kwenye account yake ya Facebook maneno makali kuhusu Mh Tundu lissu akisema ni bora majambazi wangemuuwa ameshikwa ili akawasaidia polisi. Mpaka sasa yuko kituo cha polisi Kijenge Arusha kwa kuhojiwa zaidi.

Je Una Upungufu wa Nguvu za Kiume, Kukosa Hamu ya Tendo, Kufika Kileleni Haraka na Kushindwa Kurudia Tendo au Maumbile Madogo?

$
0
0
JE, UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUKOSA HAMU YA TENDO, KUFIKA KILELENI HARAKA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO AU MAUMBILE MADOGO YA UUME? Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume husababishwa na mambo mengi kama KISUKARI, UNENE ULIOPITILIZA, KUJICHUA (MASTER BLASHION), HOMONI kushindwa kufanya kazi ipasavyo n.k. Upungufu wa nguvu husababisha tendo la ndoa kutokufanyika kwa kujiamini na kwa usahihi na hivyo kusababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa ☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni ☆Uume kusinyaa katikati ya tendo ☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa. Kwa kutumia mimea na matunda @markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250000@250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6 hadi 7 @150000@150,000/=
3.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200000@200,000/=
4.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150000@150,000/=
5.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni @130000@130,000/= BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA NA ZIMETHIBITISHWA KIAFYA. KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI
TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :- @markson_beauty_pr @markson_beauty_pr @markson_beauty_pr

Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa (+255) 0767447444 na 0714335378

UTAPATA HUDUMA NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

< WELCOME ALL>

Zitto Ataka Uchunguzi wa Kujitegemea Kutoka Nje Sakata la Lissu...Adai Vyombo vya Ndani sio vya Kuamini

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zitto Ruyagwa Kabwe ameungana na kauli iliyotolewa leo na Baraza la Vijana la CHADEMA kuitaka serikali kutia uzito uchunguzi wa jaribio la kuuliwa kwa Tundu Lissu na kuruhusu vyombo vya kimataifa


Kwenye ukurasa wake wa twitter Zitto Kabwe amendika ujumbe akivitaka vyombo vingine vya kimataifa kufanya uchunguzi juu ya shambulio la Tundu Lissu, kwani haviamini vyombo vya ndani.

"Natafuta uchunguzi wa kujitegemea kimataifa juu ya jaribio la mauaji dhidi ya Mbunge Tundu Lissu, vyombo vya ndani sio vya kuviamini", aliandika Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe aliendelea kwa kuandika kwamba watu waliofanya tukio hilo wana lengo la kuwafunga midomo wanapopaza sauti zao kupinga uonevu, hivyo hawatakiwi kukaa kimya kwani watakuwa wamewapa ushindi.

Leo asubuhi Baraza la Vijana CHADEMA limefanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia tukio la kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antiphas Lissu, na kuitaka serikali itie uzito jambo hilo kwa kuunda tume huru maalum ya kuchuguza, pamoja na vyombo vya kimataifa.

”Niliambiwa niko kwenye orodha ya watu watakaotekwa” – Zitto Kabwe

$
0
0
Moja ya stori ambayo imekuwa gumzo na ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu ishu ya kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu September 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Dodoma.

Sasa licha ya tukio hilo kuibua hisia za watu mbalimbali, leo Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuhusiana na list iliyotolewa na Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, na hofa waliyokuwa nayo Wabunge kwa sasa.

VIDEO:

Shangazi Yangu Ananisaga Kila Mara, Nifanyeje??

$
0
0
Mimi naitwa NASRA na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango wana-Udakuz naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili linalonikabili hapa chini:

Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna shangazi yangu (ambaye ni mke wa mjomba wangu) alinichukua kwa minajil ya kunilea na kunisomesha ila amekuwa AKINISAGA tokea niko mdogo mpaka sasa! ambapo nikiwa mdogo wakati nimelala nilikuwa nashtuka yupo juu yangu na mimi nipo UCHI huku ananinyonya MATITI na sehemu nyingine za mwili na baadae alikuwa anapanda juu yangu na kunilalia huku akifanya vitu fulani mpaka ananimwagia vitu fulani katika sehemu zangu za siri na kuniambia ninyamaze nisimwambie mjomba "eti atanipa pesa ya kutumia shule na kunipeleka na gari, alipokuwa akimaliza baadae alikuwa akiniogesha na kuninunulia vitu VITAMUTAMU. Nilinyamaza maana sikujua jambo lile ila aliendelea kila mara mchezo wake huo.

Mpaka sasa Nimekuwa Lakini anaendelea mchezo huo na mimi nimeshajua na sometimes nasikia raha ila roho yangu haitaki kabisa mchezo huo , huwa naumia sana ...nataka niwe msichana wa kawaida ni date na wavulana na nisikie raha napokuwa na mvulana.....naombeni ushauri...

BAADA ya Muda Gani Unaruhusiwa Kufanya Mapenzi na Mkeo Baada ya Kujifungua?

$
0
0
Zoezi la kujifungua linafariji na kuchosha pia, ni la faraja sana kwa kuwa linakufanya uwe mama? Wiki 4 za mwanzo kwa mzazi zinaweza kuwa katika kumbukumbu zako kwa muda mrefu kwakuwa ni wiki za ‘majimaji’ tu – jasho, kunyonyesha na haja ndogo kutoa majimaji yote ya ziada mwilini mwako. Inashangaza hata kama mtu utakuwa na hamu ya kufanya mapenzi katika kipindi hicho.

Madaktari wanasema kuwa mwili wa mwanamke unahitaji wiki 6 kurudi kwenye hali yake ya kawaida. Katika kipindi hiki cha wiki 6, mfupa wa nyonga na uti wa mgongo hurudi kwenye hali yake ya awali. Homoni zako pia zinajirekebisha sambamba na misuli iliyopo kwenye sakafu ya nyonga kupumzika wakati ikirudi kwenye hali yake iliyokuwa nayo mwanzo kabla ya kazi kubwa iliyotoka kuifanya ya kumbeba mtoto na kusaidia kwenye kumtoa wakati wa kujifungua.

Kwahiyo, mpaka kitakapofika kipindi hiki cha wiki 6, unashauriwa kutofanya mapenzi, lakini haimaanishi kwamba huwezi kufanya mambo mengine kama kumbusu, kumshikashika, au kumnyonya mwanaume wako, na yeye kukufanyia hivyo hivyo. Wanawake wengine wanasema kuwa chuchu zao huwa na hisia sana kutokana na kunyonyesha kiasi kwamba wanaweza kufika kileleni kwa kushikwa chuchu tu.

Lakini kuhusu dawa za kuzuia kubeba mimba katika kipindi hiki, mnashauriwa muwe na tahadhari kuhusu kutumia njia yoyote itayoathiri mfumo wa homoni. Hii ni kwa sababu itaathiri sana kiwango na ubora wa maziwa na itamsababishia mtoto kutopata lishe inayotakiwa. Pia, vidonge vyenye oestrogen vimethibitishwa kusababisha kupungua kwa kiwango cha maziwa kwa mama anayenyonyesha, na mara nyingine hupunguza ghafla sana.

Shirika la Afya Duniani linasisitiza mtoto anywe maziwa tu kwa muda usiopungua miezi 6 kisha uendelee kumnyonyesha mpaka atakapofikisha miaka miwili. Wazazi wengi wanaona hii inawatesa na wengi wao wanasema kwamba miezi 6 ya mwanzo ni muhimu sana.

Unashauriwa uzungumze na daktari wako kuhusu muda gani unaweza kurudia kufanya mapenzi na njia za kutumia kujikinga na mimba ya haraka na pia umuulize hasa kuhusu kutumia dawa zenye progesterone na madhara yake kwako. Vidonge hivi vinaathiri maziwa (kwa wingi na ubora) kwa kiwango kidogo zaidi ukilinganisha na vidonge vyenye oestrogen.

Mwili wako umefanya kazi kubwa sana ya kuleta kiumbe duniani. Sio tu kwa sababu ni utambulisho wako na kukufanya uitwe ‘mama’ na chochote utachofanya kitakachokufurahisha, utashangaa jinsi ulivyo na sehemu nyingi zinazoweza kukufanya upate raha.

Man City yaigaragaza Liverpool 5-0

$
0
0
Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo mchana Uwanja wa Etihad. Leroy Sane alitokea benchi kuchukua nafasi ya Jesus dakika ya 57 naye akafunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei, wakati bao la kwanza leo lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 24.

Kutana na Mtabibu wa Nyota Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH...AL_WATWAN MAFUSHO

$
0
0
Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH...
 AL_WATWAN MAFUSHO

ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika
Anatibu kwa Njia ya Simu Ukiwa Nchi Yoyote / Mkoa wowote

..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na AL_WATWAN MAFUSHO Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU(LIMBWATA).
Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine?
Una Mpenzi wako ana Pesa na Unataka kumkamata?
Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
AL_WATWAN MAFUSHO Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA,Hutoa  PETE ZA BAHATI inayoendana na NYOTA YAKO. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.HUZUIA CHUMA ULETE NA KUKUPA DAWA YA KUONGEZA FAIDA KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA AU KUDHULUMIWA.MIGUU Kufa GANZI.
Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA.
 Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI.
Humaliza Kabisa Tatizo la Nguvu za KIUME na Kurefusha Uume kwa Saizi Unayotaka,
HUMALIZA KESI YA AINA YOYOTE NDANI YA SIKU 14. na mengi zaidi

Whatsapp +255 759 084 996

Tiba ni kwa Watu wenye Imani na Dini zote..

Changamoto ya Ajira Na Hatua Za Kuchukua Kwa Wahitimu Ambao Bado Hawajapata Ajira

$
0
0
Katika kipindi cha leo nakwenda kukushirikisha kuhusu changamoto ya ajira na hatua za kuchukua kwa wahitimu ambao hawajapata ajira.

Hili liko wazi sasa ya kwamba ajira ni changamoto. Mara zote tunaona nafasi chache za kazi zinazotangazwa, wanaomba watu wengi mno. Wahitimu ni wengi kuliko nafasi za ajira zinazopatikana.

Hali hii imekuwa inawaumiza vijana wengi ambao wameishi maisha yao yote wakiambiwa wasome kwa bidii, wafaulu na watapata ajira nzuri na kuwa na maisha mazuri.

Vijana wanakazana kusoma kweli, wanafaulu na kuhitimu, lakini ajira zinakuwa changamoto.

Katika kipindi cha leo nimezungumzia mambo matatu muhimu sana;
1. Jambo la kwanza ni kuendelea kuomba kazi kwa wale ambao ndiyo wamehitimu, lakini wakati huo wasiruhusu maisha yao kusimama wakisubiri ajira. Badala yake waendelee kufanya mambo mengine pia.

2. Jambo la pili ni kufanya maamuzi magumu ya kuachana na harakati za jira, hasa pale ambapo umehitimu zaidi ya miaka miwili na umetafuta ajira bila ya mafanikio.

3. Jambo la tatu ni hatua za kuchukua, hapa nimekushirikisha ufanye nini sasa pale ambapo umefanya maamuzi magumu ya kuachana na zoezi la kutafuta ajira na kushika hatamu ya maisha yako. Nimekushirikisha maeneo ambayo unaweza kuanzia na ukaweza kupiga hatua kwenye maisha yako.

Download Application ya Ajira Yako Inayoweka Nafasi za Ajira Mpya Kila Asubuhi HAPA

RC Paul Makonda Aendelea Kufanya Kweli Mkoa wa Dar es Salaam...Sasa Ageukia Mikopo

$
0
0
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezitaka manispaa zote za jiji la Dar es salaam kuacha kutoa asilimia 10 ya mapato vichochoroni kama mikopo, badala yake watenge maeneo rasmi kwa makundi yenye kuhusika na mikopo hiyo hatua ambayo itasaidia maendeleo ya vikundi hivyo.

Bwana Makonda ametoa wito huo jijini Dar es salaam alipokuwa akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa viwanda vidogo vidogo vinavyojengwa na halmashauri ya jiji katika eneo la karakana ya mwananyamala ambapo amesema utaraibu wa utoaji wa mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ambao ulikuwepo tangu awali lakini ulishindwa kuonesha mafanikio kutokana na fedha hizo kuelekezwa mahali pasipohusika jambo ambalo limepoteza dhana ya serikali ya kuyawezesha makundi hayo.

Aidha amelitaka jiji kutenga maeneo ya ujenzi wa viwanda hivyo katika kila manispaa ili kuyaweka pamoja makundi hayo huku akiahidi kuzindua soko la wafanyabishara ndogo ndogo katika viwanja vya mnazi mmoja ambalo litakuwa likifanyika mara moja kila mwezi.

Awali akizungumzia mradi huo mkurugenzi wa jiji Sipora Liana amesema katika mwaka wa fedha 2016/2017 halmashauri ya jiji ilitenga kiasi cha shilingi milion 200 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vidogo ambao utekelezaji wa awamu ya kwanza ulianza juni mosi 2017 ambapo hadi kufikia agosti mwaka huu ujenzi wa miundombinu imefikia asilimia 95 huku ikitenga kiasi cha shilingi milion 977 kwa ajili ya mikopo pamoja na kuendelea kujenga viwanda hivyo katika maneo mengine.

Maswali Tata Shambulio la Tundu Lissu....Magazeti ya Leo Jumapili

$
0
0

Maswali Tata Shambulio la Tundu Lissu....Soma Vyichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo Jumapili

Nyumba Moja ya Lugumi Yapigwa Mnada Mil 700, Nyingine zakosa Wateja

$
0
0
Nyumba Moja ya Lugumi Yapigwa Mnada Mil 700, Nyingine zakosa Wateja
Kampuni ya udalali ya YONO  imesimamia shuguli za kuuzwa kwa mnada gorofa lililopo upanga mali ya kampuni ya Lugumi Enterprises Limited na kununuliwa na kampuni ya Al-Naeen Enterprises kwa shilingi Milioni 700.

Mnada huo wa magorofa hayo na majengo mengine mawili  ambayo yamekosa wateja kutokana na bei zake kuwa juu ukilinganisha na ukubwa wa jengo bado hayajapatiwa wateja.

Akizungumza wakati wa mnada huo, Mkurugenzi wa kampuni ya YONO Scolastica Kevela amesema kuwa Nyumba ambazo zimekosa wateja zinauzwa Shilingi Milioni 460 na zinapatikana eneo la Mbweni JKT Wialaya ya Kinondondi jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited inahusishwa na kasha fa ubadhirifu wa fedha za serikali pamoja na kudaiwa kodi na TRA masuala ambayo yamepelekea kuuzwa kwa majengo hayo na kulipia kodi TRA.

Prof. Mwandosya: Kuuliza si Ujinga, kamati za Bunge Kutowasilisha Ripoti Bungeni Kwanza, Je Kanuni zimebadilika?

$
0
0
Mwanasiasa mkongwe na waziri mwandamizi wa zamani, Prof Mark Mwandosya ameandika katika "tweet" akihoji kuwa,huu utaratibu wa kamati ya Bunge kuundwa na Spika kuchunguza jambo fulani,na baadae badala ya kuliwasilisha bungeni na wabunge kupata muda wa kujadili,safari hii kamati zimewasilisha taarifa zao nje ya bunge lakini katika viwanja vya bunge,na baadae taarifa hiyo kukabidhiwa kwa Rais.

Prof Mwandosya anahoji anasema "Je Kanuni za Bunge zimabadilika?"...Maana ilivyozoeleka na kwa mujibu wa kanuni, kamati kama hizi huwasilisha taarifa zao ndani ya bunge, bunge hujadili na baadae kutoa maazimio ambayo Serikali hupaswa kuyafuata na kuyatekeleza.

Hivi ndivyo ilivyofanya kamati ya Mwakyembe juu ya suala la Richmond, Kamati ile ya Operesheni Tokomeza na hata kamati hizi mbili za kuchunguza Tanzanite na Almasi zilipaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge.


Hamisa Mobeto Amtumia Ujumbe Huu Aliyekuwa Mpenzi Wake Bosi wa EFM Majay

$
0
0
Jumamosi hii bosi wa kituo cha EFM, Majay amesherekea siku yake ya kuzaliwa – Hamisa Mobetto ambaye pia ni ex wake hakubaki nyuma kumuandikia ujumbe mzuri.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika

  “Happy Birthday Baba Fantasy … Ahsante Kwa kua Baba bora Na zaidi Kwa Mwanetu. M/Mungu Akutunze, Akulinde Na Akuzidishie Maendeleo Tele . Tunakupenda sana & Thank you for always being here 🙏🏾💕 #coparentingatitsfinest @majizzo.”

Majay na Hamisa waliwahi kuwa na mahusiano ambapo walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla ya kuachana.
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live




Latest Images