Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109502

CHADEMA HOI..YAANGUKIA PUA KALENGA

$
0
0
Zile tambo na majigambo za wanaChadema hatimae leo zimefikia tamati baada ya chama hicho kushindwa vibaya katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

Kushindwa kishindo kwa Chadema kunaelezwa kuwa kipigo kikubwa kwa chaguzi za hivi karibuni kwani wameshindwa kupata hata asilimia 20 .

See you Chalinze kuna kibano kinawasubiri.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109502

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>