Ile orodha ya wanamuziki Walioshinda Tuzo za Kill Music Ambao Kawaida Baada ya Tuzo hizo Huzunguka karibia nchi nzima kufanya Shows imetajwa huku Lady Jay Dee Pamoja na Kupata Tuzo Hayupo Katika List Hiyo, Inasemekana kilichomponza ni Ile Tweet yake iliyoonyesha dharau kwa tuzo hizo kwa kusema hafahamu hata kama zilishafanyika na hajui kama ameshinda...
J @xm2015
Follow
@JideJaydee dada uwe Basi unakuja kwenye tuzo mara nyingi unawakilishwa wapiga kura huwa tunaham ya Nakuona.
Lady JayDee @JideJaydee
Follow
@maliasongo1 kwani zilishafanyika?