Jokate Amepangua Vikali Tetesi zinazozagaa Mitaani kuwa Amehusika katika Kuvunja Ndoa ya Mtangazaji wa Times FM Dida , Jokate Amesema Dida ni Mshikaji wake sana na Edzen Ambae ndio alikuwa mume wa Dida ni mfanyakazi Mwenzake na Wanaheshiana sana hivyo Hakuna Kitu Kama hicho yeye kuhusika katika kuvunjika kwa ndoa hiyo...
Jokate na Edzen Wanafanya Kazi TV1 na Wanatangaza pamoja kipindi cha "The One Show"
Jokate na Edzen Wanafanya Kazi TV1 na Wanatangaza pamoja kipindi cha "The One Show"