Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
↧