Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109632

Watangazaji wa Clouds FM Walio Pigana Live on Air Wasema Ule Haukua Ugomvi wa Kweli bali wa Kutengeneza

$
0
0
WATANGAZAJI wa Clouds FM wameweka wazi kuhusu tukio lililotokea juzi (Jumatano), Julai 2 mwaka huu wakati wa kipindi cha XXL likiwahusisha watangazaji B12, Adam Mchomvu na Fetty kudaiwa kupigana studio lilikuwa la kutengenezwa ili kupaza sauti na kufikisha ujumbe wa amani.

Dhamira ya tukio hilo ilikuwa kupaza sauti ili kudumisha amani ya Tanzania maana ukimya hausaidii.

Clouds FM is a broadcast radio station in Dar es Salaam, Tanzania, providing Community News, Information and Entertainment.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109632


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>