Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109439

Man Walter akanusha tetesi kuwa wimbo wa Ally Kiba “Mwana Dar Es Salaam” ni dongo kwa Diamond Platinum

$
0
0
Producer mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109439

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>