Wema Sepetu Awagombanisha Diamond na Prezzo
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema...
View ArticleMaskini:Mwanamke Achomwa Moto na Wananchi Hadi Kufa
Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.Mwanamke huyu...
View ArticleMashabiki ‘Wamsulubu’ Nay wa Mitego Baada ya Kudai Kuwa ndiye Rapper Bora...
Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!Octavian...
View ArticleTabia ya Lulu Michael yawa Kero Bongo Movies
WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo...
View Article10 Reasons Why You Should Dump That Man Now!
To dump or not to dump? is this the question keeping you up at night? Are you simply unhappy in your relationship, with a man who cannot meet your physical, emotional, mental or even spiritual needs?...
View ArticleDiamond & Victoria Kimani’s Song Leaks (AUDIO)
Fast rising singing sensation Victoria Kimani has been more than ready to unveil her new single ‘Prokoto’, which features Diamond and Ommy Dimpoz, two major acts in Tanzania in a Smash dance-hit.But...
View ArticleYanga: Ni Kipre Tchetche tu..ila Kumpata Waandike Maumivu
KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans Pluijm ametamka kwamba Tanzania kwa sasa ina straika mmoja tu mwenye uwezo wa kucheza Jangwani naye ni MuivoryCoast wa Azam FC, Kipre Tchetche. Lakini kumpata ni...
View ArticleNizar Khalfan Agoma Kuondoka Yanga
RIPOTI ya aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans Pluijm ilipendekeza kiungo Nizar Khalfan atafutiwe timu ya kuichezea kwa mkopo, lakini kiungo huyo amesema “Hapana siondoki nabaki hapahapa...
View ArticleMadrid Wakubali Kucheza Tanzania
REAL Madrid ya Hispania inatua nchini Agosti 21 ikiwa na nyota wake wa zamani. Wachezaji kama Luis Figo, Ruud van Nistelrooy, Michael Owen, Zinedine Zidane watakuwemo kwenye kikosi hicho kilichopewa...
View ArticleMke Wangu Aliniacha na Kwenda kuishi na Mwanamke Mwenzake Sasa Eti Anataka...
Inauma sana jamani, Mke wangu wa Ndoa Nimekaa nae Miaka zaidi ya minne kumbe alikuwa na uhusiano na mwanamke Mwenzake mimi sijui mpaka alipoanza visa ndani ya Ndoa na mwishowe tukaachana , Nikapata...
View ArticleUsiombee Kuugua Dengue, Kipimo ni Sh50,000
Wakati taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti...
View ArticleJaguar Refuses To End His Beef With Prezzo
Jaguar is one of the hottest acts in East Africa. And if anyone tells you different, slap them and tell them God's Chosen Blogger is infallible! I said Jaguar is one of the hottest acts in East Africa...
View ArticleMakalio ya Huyu Dada Balaa....Masogange na Wengine Mtasubiri sana
Matilda Hipsy is a notable Ghanaian Video Vixen known for her large endowment from behind and sideways. The beautiful lady flaunts her natural endowments well….Are you endowed and you want us to...
View ArticleNjemba Afumwa Gesti Akimla Mwanaume Mwenzake Uroda
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume...
View ArticleShocking Picture:Penny With Diamond Again? No Noo noo
Wajameni nini hiki kinaendelea nimeona hii Picha Kidogo ni Job Hundred ....Eti Penny na Diamond Wakisherehekea Ushindi wa Tuzo Saba...Again!!! it Cant Be
View ArticleHakuna Watu Wanaopotea Kweupe Kama Hawa Ray Kigosi na Chuchu Hans
Account Maarufu ya Ukwelinauwazi kutoka Insta week hii imemlipua Ray na Kipenzi chake Chuchu Hans ..Jisomee Mwenyewe Hapo chini :
View ArticleJiji Lageuza Biashara Kamata Kamata ya Boda Boda Mjini
Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozo/vibali vya kuingia mjini na pikipiki.Baadhi ya madereva wa pikipiki wanaozitumia kama vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi...
View ArticleUchawi Wahusishwa Penzi la Ray na Chuchu Hans
‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans.Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba...
View ArticleJokate:Naogopa Sana Kufa, Nikiumwa Kidogo tu Nahisi ni Dengue
Mwanamitindo na Mtangazaji Maarufu Jokate Mwogelo Amelihabarisha Gazeti Moja na Udaku Hapa nchini na Kusema Anaogopa sana kufa kwa ugonjwa huu mpya wa Dengue kwani Akiugua Kidogo tu anahisi ameshaukwaa...
View ArticleUchunguzi:Sababu za Wanawake Wengi Kupenda Kuvaa Nusu Uchi Hizi Hapa
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini...
View Article