Hongera Husna Abdul na Gea Habib Kwa Kumudu Kipindi cha Leo Tana Bila Uwepo...
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu. Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina...
View ArticleDiamond, Wema Sepetu Anaolewa Lini?
Dear DiamondNajua uko busy sana ma Chanell za pesa pamoja na Show za Music rejea ujumbe hapo juu huyo ni mtoto wa watu Ana wazazi kama weweeSidhani wazazi wanafurahia kukuona nae kila mara embu fanya...
View ArticleChidi Benzi Achefua Mashabiki kwa Kuvuta Bangi Jukwaani
Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show...
View ArticleMafikilizo Wamkubali Diamond Kwenye Kuimba Ona Picha Mbali Mbali Wakiwa...
Hatimae mpango wa Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya ‘khona’ waliochukua tuzo mbili kwenye MTV Africa music awards 2014 kufanya kolabo na Diamond umefanikiwa kwenye usiku wa...
View ArticleImegundulika Wadada Wamjini Hutumia Hizi Tight Kufanya Makalio Yao Kuwa Makubwa
Angalia Vizuri Picha ya Chini Huyu Mdada anaedaiwa kuwa na makalio makubwa Kenya Amevaa Tight ya Aina Hiyo Nyeusi ..Inasemakana Pia Hata Kina Agness Masogange Huvaa Tight Hizo ili Kubonyeza Makalio na...
View ArticleImebainika kuwa Dar Ndio Mkoa Ghali Kuliko Yote Tanzania
WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na tatizo sugu la foleni, taarifa ya...
View ArticleWabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa
WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana...
View ArticleMnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar
Raia wa Nigeria, Anthony Ifeanyichukwa Okafor (52), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akidaiwa kumeza kete 100 za dawa za kulevya aina ya cocaine ambazo thamani yake bado...
View ArticleMbasha:Gwajima Niachie Mke Wangu Flora
Na Makongoro Going’MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na...
View ArticleHouse Girl Aliyeng'atwa Mwili Mzima na Bosi Wake Atoa Siri Nzito
Stori: Haruni SanchawaNYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha...
View ArticleBoko Haram Wateka Wanawake 20 Kuongezea Idadi
Wakati bado kuna vilio na mipango ya kuwaokoa wasichana 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram la Nigeria, watu wanaosadikika kuwa ni wanajeshi wa kundi hilo wamevamia na kuteka wanawake wengine 20...
View ArticleAIBU:Jay Z Aonekana Mtaani Akiwa Amevaa Nguo ya Kike
Uchaguzi wa mavazi unahitaji umakini wa hali ya juu la sivyo wanaojua mavazi wanaweza kukuumbua wakati unadunda kama tenesi mtaani.Mr Hov, Jay Z ameripotiwa kuwa alikutwa mitaa ya jiji la New York...
View ArticleSerengeti Boy wa Shilole Nuhu Mziwanda Amechukua Uamuzi Mgumu Juu ya Penzi...
"Kwasababu Nampenda Mpenzi Wangu Shilole Nimeamua Kujichora Tattoo ya Jina Lake 'Shishibaby' Kwenye Mkono wangu, wakati nachorwa iliuma sana kuliko tattoo yangu ya Kwanza na hii Tatoo Haita Futika...
View ArticleHow Mining Firms are Milking Tanzania Dry
As Tanzanians wait for the 2014/15 national budget with bated breath, a new report shows that the government loses about $248 million (Sh415 billion) annually in tax revenue through misinvoicing by...
View ArticleNey wa Mitego Ajinunulia Gari Mwenyewe Kama Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa Kwake
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika...
View ArticleMakosa Makubwa Wanayoyafanya Wanawake linapokuja Swala la Kupenda..!
Je wewe ni mtu wa kupenda ghafla, yaani mwanaume anapokutamkia kwamba anakupenda huwa unamuamini kwa kiasi gani, unakuwa ni mwepesi wa kumuamini na kujitoa kwa ajili yake au unakuwa na kujivuta vuta...
View ArticleMwigulu Nchemba Afutilia Mbali Vikao vya Chai Serikalini "Maendelo Kwanza"
Vikao vya chai marufukuKatika kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima, Mwigulu alisema fedha zitapelekwa kwenye mambo muhimu.ìKama hali ngumu na wananchi wanalazimika kula mlo mmoja kwa siku, walioko...
View ArticleNape Avuna Aibu SAUT Mwanza (Picha)
Atumia asilimia 90 ya hotuba yake kuwashambulia dr Slaa,Lissu ,CDM na UKAWA,mkutano wake wasogezwa mbele ili kuwasubiria watu wafike uwanjaniMagari yasomba watu kutoka nje ya SAUT baada ya wanafunzi wa...
View ArticleSijamaliza Ashasinzia au Ndo Nina Kibamia
Wakuu swali, Nina msichana wangu nimekaa naye miaka miwili sasa, mwanzoni ilikuwa ngumu sana kufika kule kunako wakati wa ku do, nikajitahidi sana kuongeza maufundi sasa hali imebadilika sijamaliza...
View ArticleMan United yaingia Mkenge kwa Moyes
KWELI Manchester United iliingia mkenge kwa David Moyes baada ya kila kitu alichokifanya klabu hapo kugeuka kuwa majanga.Baada ya kocha huyo kuisababisha hasara kubwa ya kupoteza mamilioni ya pesa...
View Article