Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Admin Wako Nimeambulia za Uso Kutoka Kwa Wadau Baada ya Kumtetea Miss Tanzania..

Duuh ..Nimekoma! Leo nilipost Post Moja Nikimtetea Miss Tanzania kwa Kile Kinachoendelea Mitandaoni Kuhusu Ushindi wake na Umri ..Yenye Kichwa cha habari : Tumechokaaa na Story za Miss Tanzania ooh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyumba Nzuri ya Kisasa Inapangishwa Kwa Bei Nafuu Ipo Boko Dar es Salaam..See...

House For Rent ..Located at Boko Busara Street, 4 bedrooms , Two Bathrooms , Two Powder rooms , Well fenced , Asking Price Usd 1,000 Call me for More Info 0714245399E-mail: ebenedict@gmail.com ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Apigishwa Mbizi Kwenye Dimbwi la Maji ya Barabarani kwa Kukutwa Katinga Sare...

Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) akimwadhibu kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, kwa kumpigisha mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani baada ya kukutwa akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR.Slaa Alipua Bomu Jingine Kwa Chama cha Mapinduzi

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebaini njama ya serikali za kutaka kununua helikopta tatu nchini China kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wakidai kuwa ni mali ya Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigizaji Lulu Michael Aamua Kukomaa na Shule Asema Bongo Movies Imeshabuma

 Mrembo wa Ukweli Muingizaji wa Filamu za Kibongo Lulu Michael Amefunguka na Kusema kuwa Kwa sasa Bongo Movies Mambo hayaendi Vizuri na Kusema kuwa Inaelekea Kubaya Hivyo yeye ameamua Kujikita zaidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetesi:Kigogo wa RITA Aliyetoa Cheti cha Kuzaliwa Cha Sitti Mtemvu Matatani

Kigogo wa RITA aliyetoa cheti kwa mtoto wa mbunge Abbas Mtevu ameanzwa kuchunguzwa kama kweli alifuata taratibu za utoaji wa cheti.Vikao vilikuwa vikiendelea RITA manispaa ya Temeke kujua kama kweli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu wa Makomando wa Jeshi la Tanzania Afanya Mauaji Baada ya Mkewe...

MWALIMU wa makomandoo katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 94 KJ kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Luteni Octavian Mgowele (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bwana wa Wastara Adaiwa Kumpa Mimba Muhudumu wa Baa

Na Gladness Mallya na Hamida HassanMSANII wa filamu za Kibongo ambaye ni Mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Sinan, anadaiwa kumpa mimba mhudumu wa baa maarufu ya Break Point (BP) iliyopo Kijitonyama,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyumba Nzuri ya Kisasa Inapangishwa Kwa Bei Nafuu Ipo Boko Dar es Salaam..See...

House For Rent ..Located at Boko Busara Street, 4 bedrooms , Two Bathrooms , Two Powder rooms , Well fenced , Asking Price Usd 1,000 Call me for More Info 0714245399E-mail: ebenedict@gmail.com ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diva Loveness 'Nishakuwa na Hao Wenye Vyeo, Pesa, Majina But Sikuwa na Amani'

Diva Loveness wa Clouds Fm Kwa Mara Nyingine Amemuongelea Mpenzi Aliye nae Kwa Sasa Grazy GK Kupitia Blog yake, na Haya Ndio aliyoyasema:"The secret life to My happiness is the love of My life.. i...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenzenu Nusu Nitembee na Kaka Yangu

Jamani yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna Binamu yangu ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shule yageuzwa Danguro....Wake za watu wafanya Uzinzi hadharani, Wanafunzi...

Danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule limefichuliwa baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na mtu ambaye hakufahamika mara moja. Tukio hilo la aibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vurugu za Instagram Siku ya Leo ..Mauzo Kwa Kwenda Mbele

 These ere Kind of Pictures Ambazo Baadhi ya Wadada Wanapost Instagram .Mhh Are they dying to get many likes or Just for show ?Share your Comment Below to

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya Defence Forces Ranked 6th Most Powerful in Africa

Kenya Defence Forces have been ranked 6th in the list of most powerful African militaries.This is according to Global Firepower(GFP) which makes use of over 40 factors to determine each nation’s...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sahau Kuhusu Vera Sidika and Huddah Monroe Huyu Ndio Socialite Mwenye Pesa...

Vera Sidika and Huddah Monroe, popular Kenyan Socialites, have kept each other on toes regarding who is richer. Now, both of them combined cannot match up this Ugandan socialite Zari Hassan and it will...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Tukio Zima la Mama MCHAWI Aliyedondoka Wakati Akijiandaa Kwenda...

Leo  asubuhi  tuliweka  hewani tukio  zima  la  mama  mchawi  wa  kinigeria  alyekuwa  amedondoka  chini  huku  akiwa  uchi  na  mwili  ukiwa  na  vidonda  sehemu  zote…Mama  huyo  alidondoka  dakika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bifu Wolper na Rayuu: Rayuu Amtaka Jack Wolper Akapime Ukimwi na Kuyaanika...

Bifu lingine la chini chini kati ya Waigizaji wa Bongo Movies Jackline Wolper na Rayuu Limefikia Pabaya Pale Ambapo Rayuu Ameibuka na Kumtaka Jackline Wolper Akapime Ukimwi na Kuanika Majibu yake kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News:Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la...

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutokaNigeria, Adedeji Adelek maarufu kama 'Davido' kuperform katika tamasha laFiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jay Dee na Gadner Wavunja Mkataba wa Kuendesha Nyumbani Lounge Sasa...

Kuna Tetesi Hapa mjini kuwa ule Mgahawa Maarufu wa Nyumbani Lounge uliokuwa ukimilikiwa na Lady Jay Dee na Mumewe Gadner sio wao tena Baada ya Kuvunja Mkataba wa Kuuendesha.Inasemekana hali imefikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbe Hussein Machozi Alioa Kimya Kimya, Afunguka Haya na Kutuonesha Mke Wake

Hatua ya Mwanamuziki Hussein Machozi kuamia nchini Kenya na kufanya muziki wake huko kimempatia Hadi mke ndoa ina mwaka sasa na ilikuwa ni siri...Kaoa mke Kutoka Mombasa karibu na Tanga Mapenzi...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>