Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIMAMO WA ZITTO KUHUSU KATIBA MPYA HUU HAPA

Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya kuandika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU:ANGALIA SEHEMU YA PUA KATIKA PICHA HII KWA SEKUNDE 15 ALAFU ANGALIA...

Embe na wewe Angalia Sehemu ya pua ya hiyo picha hapo juu alafu angalia pembeni mwa hiyo picha hapo kwenye weupe uniambie umeona nini?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEFANYA MAPENZI NA SHEMEJI YANGU KWA BAHATI MBAYA..PLEASE HELP

Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu kutimiza miaka mitano tuliwaalika ndugu wengi hapa home kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA MWANASHERIA KUHUSU SAKATA LA OKWI KUICHEZEA YANGA

Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha kuhusu Sakata la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA TUNAHITAJI RAIS MWENYE U DIKTETA KAMA KAGAME AJE KUBADILISHA MINDSET...

Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INSTAGRAM KIMENUKA KWA MASOGANGE NA WOLPER WAPEWA MAKAVU LIVE

Mtandao wa Instagram umekuwa ndio uwanja wa kuchambana hasa kwa hawa mastaa embu jionee huyo alivyowapa live live Agness Masogange na Jackline Wolper 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINEX "ISSUE YA MIMI KUTOKA NA AGNESS MASOGANGE IMENISABABISHIA MATATIZO NA...

Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi ulioenezwa siku kadhaa zilizopita baada ya kupost picha mbalimbali akiwa na video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOP C ADAI KUPOKEA VITISHO KUTOKA KWA CANDY RECORDS, APIGWA MKWALA ASIKANYAGE...

Muimbaji wa Lofa, Top C amesema tangu atangaze kutaka kujiondoa kwenye label ya Candy n Candy ya Kenya, ameanza kupokea vitisho kutoka kwa wasanii waliosalia wanaomchimba mkwara asikanyage tena nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME NA MKE WAZUA BALAA BUNGE LA KATIBA

Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho kwa madai kuwa walioteuliwa katika chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA

Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari kwa kusherehekea kumbukumbu yao ya kutimiza mwaka mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZIMU WA POSHO WALITESA BUNGE LA KATIBU..WAKATAA POSHO YA SH LAKI TATU KWA SIKU

Siku mbili baada ya kuanza kwa Bunge hilo, baadhi ya wajumbe wametaka waongewe posho kwa maelezo kuwa kiasi wanachopewa sasa cha Sh300,000 kwa siku hakiwatoshi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE

Mayasa Mariwata na Shani RamadhaniMAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA, WAONYESHANA MALAVIDAVI HADHARANI

Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, TaboraKWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elias Makala ameibuka na kujinadi hadharani wilayani Igunga,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU

Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO AMWOMBA RAIS ASIONGEZE POSHO WANAZOLILIA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA

Ishu ya posho za bunge la katiba ndiyo inayoongelewa sana hivi sasa ambapo pamoja na headlines zote za Wabunge, haya ni mawazo ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuhusu hii posho.IANGALIA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FACEBOOK WAINUNUA WHATS APP, WAMILIKI WAWA MABILIONEA

San Fransisco. Mtandao wa kijamii wa Facebook umenunua programu ya huduma za meseji ya WhatsApp kwa dola za marekani bilioni 19 (TSh 30.9 trilioni) katika taarifa iliyotoka mapema leo.Ununuzi huo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGANDA YAPIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAVAZI YA NUSU UCHI ATAKAYE KUTWA...

Rais wa Uganda Yoweri Musen Amesign Mswada wa kuzuia wanawake kuvaa nguo fupi zijulikanazo kama vimini ama nguo zozote za nusu uchi, Kuanzia sasa mtu yoypte atakaye kutwa amevaa hivyo atachukuliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"MSIMAMO WANGU, SAKATA LA POSHO BUNGENI"JOSHUA NASSARI

MSIMAMO WANGU, SAKATA LA POSHO BUNGENI.Nimeona nukuu kwenye gazeti la nipashe la leo. Kimsingi ike nukuu si ya kwangu ni nineshazungumza na Mhariri wa jipashe Bw. Kwayu.Sijui kama nukuu ile imewekwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE "WANAOTAKA SEREKALI TATU NI WAHUNI"

"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi.Tume inayongozwa na Jiji Warioba,iliteuliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNURA AMBWATUKIA SHILOLE

Na Brighton MasaluMAMA wa majanga, Snura Antony Mushi kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kuzungumzia kauli ya  msanii mwenzake wa muziki wa mduara, Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole’ juu yake kuwa...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>