HII NDIO SABABU KWANINI VENESSA MDEE HATAONEKANA KWENYE SHOW MPYA YA TV1
Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia ni mtangazaji wa 102.5 Choice FM Dar es salaam Vanessa Mdee ataonekana kwenye show mpya katika kituo cha...
View ArticleYALE MABILIONI YALIYOFICHWA USWISS YAANZA KUCHOTWA KIMYA KIMYA
Dar es Salaam. Mabilioni ya shilingi yaliyowekwa na Watanzania katika benki za Uswisi yameanza kuhamishwa kimyakimya.Ripoti ya Benki za Uswisi ya 2012 inaonyesha kuwa fedha zinazotoka Tanzania...
View ArticleVITA DHIDI YA MAJANGILI INAHITAJI UJASIRI NA SIO BUNDUKI NA MAGARI MAPYA
Sina budi kumpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kwa jitihada zake za kukabiliana na ujangili nchini.Ama kwa hakika, najua kwamba anaumiza kichwa kufanya kila awezalo kuhakikisha...
View ArticleCONGOLESE APLCS MAI-MAI CAPTURE 4 TANZANIAN PEACEKEEPERS
CONGOLESE APLCS MAI-MAI CAPTURE 4 TANZANIAN PEACEKEEPERSThe Congolese militia of the Alliance for a Free and Sovereign Congo (APCLS), under the command of General Janvier Buingo Karairi, have captured...
View ArticleNIMEMFUMANIA MKE WA RAFIKI YANGU KIPENZI GUEST HOUSE AKIWA NA NJEMA JINGINE
Katika hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana gest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja. mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia mara ghafla chumba...
View ArticleKUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA NI MAAJABU..WATUMIA MPAKA WAGANGA WA KIENYEJI
Karibia Week Sasa kama Si week, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa...
View ArticleMZUNGU AFUMANIWA GESTI AKIWA NA MWANAFUNZI
NI kweli duniani kuna mambo na mambo yenyewe hufanywa na binadamu! Mzungu mmoja ambaye jina lake halikupatikana, amejikuta mikononi mwa polisi kufuatia kunaswa gesti akiwa na denti, OFM wa Ijumaa...
View ArticleLULU: ...SIFANYI TENA KOSA, NIKIPATA MIMBA NAZAA TU!
Stori: Shakoor JongoSTAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti...
View ArticleMADAHA AKOMALIA NDOA NA MENEJA WAKE
Stori: Gladness MallyaMWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi...
View ArticleAVRIL CONFIRMS THAT SHE IS TAKEN (ENGAGED)
Love is a beautiful thing and feeling loved back is just a burst of beautiful colors. Avril, an RnB artist, who is among the top beautiful sassy divas from Kenya has finally found her prince. Avril has...
View ArticleBODA BODA WAVAMIA MAKAO MAKUU YA CHADEMA KINONDONI
Jengo la makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa ufipa Kinondoni yameviwa ma vijana waendesha boda boda wa jijini Dar muda huu wakitaka waonane na viongozi wa chama hicho kuwaeleza kero na manyanyaso...
View ArticleWEMA NA DIAMOND HAPATOSHI YADAIWA WAZICHAPA KISA VICTORIA KIMANI
Inasemekana lakini ....Habari kutoka Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na Diamond Jana walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na Mwanamuziki wa Kenya...
View Article"MPENZI TUJENGE NYUMBA MBILI TUKIACHANA KILA MTU ACHUKUE YAKE"
Chonde jamani baadhi ya kina mama/dada/wasichana mbona mna roho kama za ajabu hivi.Unawezaje kumwambia mumeo tena wa ndoa maneno kama hayo? mweeee!Maneno haya kaambiwa mwanaume na mkewe wa ndoa wiki...
View ArticleDIAMOND ASHIKA NUMBER MOJA TOP TEN CHAT YA NYIMBO ZA AFRICA..TRACE TV
Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA GODZILA FEAT..MARCO CHALI-YOU AND I
Download wimbo mpya wa Godzilla akimshirikisha Producer Marco Chali, wimbo unaitwa "You and I"
View ArticleBAADA YA RIHANNA NA DRAKE KUONESHA LIVE MAPENZI YA CHRIS BROWN NAE AFANYA HIVI
Last week it was reported that Karrueche had finally given up on her relationship with Chris Brown after discovering that he was still secretly longing for Rihanna. Well, now that Rihanna and Drake are...
View ArticleTANZANIA HAIMO KATI YA MAJESHI IMARA ZAIDI KATI YA NCHI 7-KENYA IMO
Mtandao wa Globalfirepower.com - umeainisha nchi 7 zenye majeshi imara zaidi Afrika na hii ndio tathimini yao, lakini Tanzania haimo ila kenya ndo wamo.Egypt: Ina watu zaidi ya milioni 83Kila mwaka...
View ArticlePENZI LA HUDDAH NA MUSTAPHA KWISHNEY "MUSTAPHA IS NOT MY CLASS" HUDDAH
After all the racket surrounding the Huddah-Mustapha relationship, things have now taken a totally different an anticipated direction. Earlier today, speaking exclusively to Ghafla! Huddah declared...
View ArticleTB JOSHUA" NDEGE YA MALAYSIA IPO CHINI YA MAJI BAHARINI WATAIPATA HIVI KARIBUNI"
“The plane concerned is deep inside the sea. Some of the particles will be seen on the surface of the sea any moment from now.May their souls rest in peace. We pray the Lord gives the family and loved...
View ArticleNAZIZI AFA KIMAPENZI NA PRODUCER WA KIBONGO...AACHANA NA MUME WAKE
Hivi karibuni, mmoja wa waasisi wa hip hop nchini Kenya, Nazizi, alithibitisha kuwa ameachana ma mume wake kutoka Tanzania, Vinny, na wapo katika harakati za kupeana talaka Naziz na Vinny wana mtoto...
View Article