Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

No Kenyan Nominated for BET. But Tanzania is Well Represented.

$
0
0
In 2012, Kenya was lucky enough to land a BET nomination, thanks to hiphop group, Camp Mulla.
Even though the lads (and chic) never brought home the award, at leasr Kenyan music received an international recognition. Too bad for us because Camp Mulla has since broken up, at the climax of its career, and that seems to have brought us bad luck.
And that seems to have been the closest Kenya could come to the coveted music awards.

Anyhow, Kenya won't be represented at BET 2014 but Tanzania will, thanks to their "wonder boy", Diamond Platnumz.

The Bongo crooner landed himself a nomination in the BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA category.

Diamond will square it out with Nigeria's Davido and Tiwa Savage, SA's Mafikizolo, Ghana's Sarkodie, and little known Toofan from Togo.

We hope Diamond will win it because it will be a win for East Africa :-).

Tundu Lissu Avurugwa...Ashambuliwa na Wabunge Kila Kona

$
0
0
HALI ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, juzi ilikuwa tete baada ya wabunge kuamua kumtolea uvivu kutokana na kauli zake za uwongo zilizodaiwa kuwa zina lengo la kupotosha umma.

Huku wakionyesha mifano, wabunge wengi waliosimama walimshambulia Lissu kwa kupotosha umma kuhusu masuala mbalimbali ya Muungano huku mengi yakidaiwa kuwa hayana tija wala ushahidi wa kutosha.

Hali hiyo ilijitokeza juzi wakati wa kujadili Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), awali, Lissu, aliwasilisha taarifa ya Kambi ya Upinzani.

Naibu wa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ndiye aliyekuwa mwiba kwa Lissu, ambapo alisema mbunge huyo amezoea kusema mambo ambayo hayafahamu wala kuwa na uhakika nayo.

Mwigulu, ambaye alikuwa akijibu baadhi ya hoja zilizohusu wizara yake, alisema fedha za misaada kwa kawaida wafadhili hutoa maelekezo ambapo katika hilo, kiasi cha usawa wa asilimia 4.5 hutengwa kabla ya kufanya mgawo husika.
“Naomba tu kwanza niweke kumbukumbu sawa. Fedha wanazopaswa kupata Zanzibar, zimekuwa zikitolewa kwa miaka yote mfululizo kama kawaida.

“Unajua kama mambo huyajui, ni vyema ukauliza. Hata ndugu zangu wa Zanzibar, ni kwa nini msiwaulize viongozi wenu. Bahati nzuri kuna kitengo kinachohusu masuala ya fedha, kuliko kufanya mambo yasiyo na ushahidi.

“Kwa kwaida, fedha za wafadhili ambazo zitatolewa ndivyo mgawo utakavyofanywa. Sasa kama hii iliyoelezwa kwenye hotuba ya kambi ya upinzani kwamba zilitakiwa kiasi cha sh. Bilioni 32. Tulizozipata, tumetafuta uwiano wa 4.5, kiasi kilichobaki tutapeleka Zanzibar,” alisema Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM).

Alishauri kuwepo kwa utaratibu wa kutoa takwimu zinazohusu fedha ili kuwezesha akina Lissu kuelewa kabla ya kuzungumza ndani ya bunge.
Pia, aliwahadharisha wabunge wa Zanzibar kuwa, mambo yaliyozungumzwa na Lissu katika hotuba yake, hayaonyeshi kuwa ana mapenzi ya dhati kwa wananchi wa visiwa hivyo.

“Unajua mtu huyo baada ya kuona chuki aliyoipandikiza Tanzania Bara imekosa mashiko, ameamua kuhamia Zanzibar. Mkivurugana yeye atabaki Singida.

Akinukuu maneno ya Lissu aliyoyatoa mwaka jana kuwa kero za Muungano si mali binafsi ya wabunge, alisema hata watanzania wanakerwa na ubaguzi unaofanywa na Wazanzibari, jambo ambalo ni kinyume cha anayoyasema sasa.
Katika kuonyesha Lissu ni kigeugeu, Mwigulu alisema aliwahi kusema kwamba, Wazanzibari walikuwa wakipendelewa kinyume na jinsi hotuba yake inavyoeleza kwa sasa.

“Yaani wakati mwingine napata shida kuamini kama Lissu ametokea Singida kule ninakotoka mie,” alisema.
Awali, wakichangia hoja hiyo, Mohamed Amour Chombo, alimshangaa Lissu kuwa na mapenzi na watu wa Zanzibar huku awali alikuwa akiwapinga na kuwatolea maneno ya karaha na yenye kukera.

Chiombo, alisema muungano wa sasa baina ya CHADEMA na CUF ni sawa na kuchepuka na kwamba, CUF wanapaswa kuwa macho na Lissu.
“Ndugu zangu acheni mchepuko, rudini njia kuu, hawa wanawapenda leo wana nia yao si bure wenzenu ni sisi,’’ alisema Chombo.

Chombo alisema hotuba ya Lissu ni ya uchochezi na kuwataka watanzani kutokubali kuingizwa katika uchochezi.
“Wewe unaposema muungano hauna maana ujue fedha za uwanja wa ndege zimetokana na nini, acheni michepuko rudini njia kuu.

“Kuna baadhi ya watu wakishapata wimbo Fulani, basi kila wakati atauimba huo huo wakati akienda kula, akienda wapi, sasa ni sawa na Lissu amepata wimbo wa muungano ni huo huo,’’ alisema.
Aidha, kwa upande wake Steven Masele, aliweka rekodi sawa aliposema Wizara ya Mambo ya Nje imewahi kuwa na Waziri kutoka upande wa Zanzibar.

Masele, alisema hayo baada ya kuzuka hoja kwamba Muungano uliopo una upendeleo kwa viongozi wanaotoka Tanzania Bara.
“Jamani niwakumbushe tu kwamba Ahmed Hassan Diria (Marehemu), aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,” alifafanua Masele.

Wakati akijibu hoja za baadhi ya wabunge waliochangia ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri Samia Suluhu Hassan, aliahidi kushughulikia changamoto hizo na kuzipatia ufumbuzi wenye tija.

Do You Search For The G - Spot When Making lov?

$
0
0
You have certainly heard about it - the G-spo t, also called the Gräfenberg spot, that is characterized as an erogenous area of the woman’s sexual anatomy that, when stimulated can lead to intense sexual arousal and orgasm*s. Since it is concealed, many men do not care to search for it during lov making to the chagrin of women. The internet male magazines and books are awash with information about the elusive but all-important spot. Some naysayers including researchers claim that it does not exist at all or, at least it only exists in some women. To this, I disagree.

The way we make lov is as personal as DNA, yet there are a few generalizations. For instance, experience has taught me that most men are in too much hurry that they leave their partners yearning for more – hanging off some form of lovemaking cliff. These women have either resigned to the status quo or have tended to seek sexual gratification elsewhere including from your cleaners and watchmen (no offence intended) or lovers outside their relationship confines. Some immerse themselves in the church, work harder than normal while others embrace activities and would frown at the mere thought of lovemaking.

Whether the G-spo t exists or not, men need to rediscover and identify what makes their partner’s se*x life vibrant because as much as we may overlook it, best relationships hinge on good lov making and not money or other material things. Women’s ineptness of ever achieving sexual gratifications lies in their inability to communicate – to guide men on what is best for them. The assumption that man knows it all is flawed to say the least.

Some, in their superficial coyness may not want to be seen as loose. They will not guide their men to their gardens of Aden. It is time people woke up to the realities that G-spot is any part of the woman’s body, especially her heart that guides her to the extreme pleasure and not a locus in her specific anatomy.

Finally, any form of ritualistic lovemaking is a boring affair. Creativity and spontaneity are key facilitators for effective and memorable lovemaking. The human mind loves adventure in anything we do and sex is no exception. Being naughty in bed is not a crime. Indeed, that is what is needed.

After reading this article i like this guy's views on how to make a woman happy under the sheets. Wish all guys would emulate his views by really going for the G spot during lov making, because there are alot of women out there (at least i have met some) who don't know what is an orgasm (practically).

Vitimbi, Vituko vya Tawala Uchaguzi Simba

$
0
0
Vitimbi, vituko, na kejeli zilitawala jana makao makuu ya klabu ya Simba wakati wagombea uongozi wakirudisha fomu, huku mgombea urais, Michael Wambura akiambatana na viongozi wa dini waliomwaga sala.

Wambura, ambaye amekuwa akisaka uongozi wa ngazi mbalimbali bila ya mafanikio tangu mwaka 2008, alirudisha fomu akiwa kwenye gari la wazi ambalo lilisukumwa na mashabiki ambao walikuwa wakipiga kelele kusema ‘rais...rais...rais”

Lakini mgombea wa nafasi ya makamu wa rais, Geofrey Nyange, ambaye alijiuzulu nafasi hiyo mwaka jana, akijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumzomewa.

Siyo hivyo tu, wanachama hao walishika mabango mbalimbali ambayo yalikuwa yanampamba Wambura kuwa ndiye rais anayestaili kuiongoza klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi.

Baadhi ya mabango hayo yalikuwa yanasomeka, “Dalali wewe sio nabii Simba, Aveva  ulipata kura mbili DRFA (Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam) Simba taasisi kubwa.”

Wambura aliambatana na mchungaji Godlove Kirivato kutoka Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Mchungaji Gwajima pia alikuwa Ustadhi Abdurahman Ahmed ambao waliangusha dua ya kumtakiwa heri Wambura ambaye ana historia  ya kuenguliwa kwenye chaguzi mbalimbali kwa kigezo cha kuvunja katiba ya Simba na ukosefu wa uadilifu.

Wambura aliitaka Kamati ya Uchaguzi itoe nafasi kwa wanachama wa klabu hiyo kuchagua viongozi wanaowataka.

“Wanachama wasikilize sera. Uongozi ni dhamani hivyo kamati ya uchaguzi nayo iwape nafasi watu wachague viongozi wanaowataka, kwa kuwa kwa miaka mingi Kamati imekuwa ikichagulia wanachama viongozi.” alisema Wambura ambaye aliwahi kuwa katibu wa TFF, Chama cha Kriketi na mwenyekiti wa Simba.

Nyange alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kundi la wanachama kumzonga huku wakiimba Julio, Julio, Julio kumaanisha kocha msaidizi wa zamani wa Simba.

Katibu wa Kamati ya Uchaguzi, Khalidi Kamguna aliwataja wagombea waliochukua kuwania urais kuwa ni Evans Aveva, Wambura na Andrew Tupa wakati wanaowania nafasi ya makamu wa rais ni Nyange, Joseph Itang’are, Sued Nkwabi, Bundara Kabulwa, Willbar Mayage na Jamuhuri Kihwelo ‘Julio’.

Wanaowania ujumbe ni Jasmine Badawi, George Wakuganda, Asha Muhaji, Asha Kigundula,  Abdulhamid Mshangama, Alfred Martin, Ally Sulu, Iddy Kajuna, George Wakuganda, Said Tuli, Ramson Athuman, Seleiman Abdul, Khamis Mkoma, Said Pamba, Rodney Chiduo.

Wengine ni, Collin Frisch, Chano Almas, Emmanuel Kazimoto, Juma Pinto, Salim Jazaa, Yassin Said, Hussein Simba, Damian Manembe, Ally Chaurembo, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, Ahmed Mlanzi, Iddi Nassoro, Kessy Kikoti, Maulid Said, Juma Mussa, Omary Said na Said Kubenea.

Jokate Vs Wema Je, Yupi Unamkubali Kwa Kazi Zake na Pia Swaga?

$
0
0
Tucheki na hawa mabinti waliokuwa Ma-Miss Tanzania 2006. 
Je, yupi unamkubali kwa kazi zake na pia swaga?

Jokate V/S Wema 

Maskini:Sheikh Issa Ponda Arudishwa Rumande

$
0
0
Kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameendelea kusota rumande baada ya kesi yake kuahirishwa kwa mara nyingine kwa kuwa jalada la kesi yake, halijarudi kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam lilikoitishwa kwa ajili ya mapitio.

Kesi hiyo iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Morogoro mwaka jana, iko mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo na imekuwa ikitajwa kwa zaidi ya miezi sita, huku Sheikh Ponda akiendelea kusota rumande baada ya kunyimwa dhamana.

Huyu Ndio Kinara wa Uwizi wa Mabank Tanzania..Anatafutwa kwa Udi na Uvumba

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa mhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL umri miaka 37, mfanyabishara na mkazi wa Kimara Bonyokwa Jijini D’salaam.
         
           Mtuhumiwa huyu amekimbilia mafichoni mara baada ya tukio la ujambazi katika Tawi la Benki ya Barclays  Kinondoni lililotokea tarehe 15/4/2014 ambapo majambazi walifanikiwa kupora kiasi kikubwa cha fedha T.Shs.390,220,000/= , USD 55,000/= na EURO 2150/=.  Aidha sasa imefahamika kwamba mtuhumiwa huyu ni mume wa mtuhumiwa wa kwanza katika tukio la Barclays Benki aitwaye ALUNE D/O KASILILIKA @ ALUNE D/O MOLLEL , miaka 28,  Mkazi wa Kimara Bonyokwa ambaye ni Meneja wa Benki Tawi la Barclays Kinondoni.  Mtuhumiwa Mollel anatafutwa kwa kila hali kwa vile yeye ndiye alikuwa kinara wa kupanga tukio hilo la Barclays na mara baada ya tukio ametoroka na kiasi kikubwa cha fedha hizo zilizoibiwa.

Zipo taarifa za kuaminika kuwa mtuhumiwa huyu amekuwa akipanga na kushiriki kikamilifu katika matukio mbali mbali ya uhalifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuongoza vikundi vya majambazi vilivyowahi kupora katika mabenki mbali mbali katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.  Mtuhumiwa huyo ni hatari kwani ana mtandao na watumishi muhimu katika matawi mbali mbali ya mabenki kwa lengo la kufanikisha uhalifu katika mabenki hayo.
Jeshi la Polisi limelazimika kutoa picha yake hadharani kwa kutumia dhana ya ulinzi shirikishi ili mtuhumiwa huyu akionekana akamatwe na taarifa zitolewe katika kituo chochote cha Polisi ikiwa ni lengo la polisi kupambana na uhalifu katika dhamira ya kuzuia uhalifu, kulinda maisha na mali za wananchi.  

    Zawadi nono ya fedha taslim itatolewa kwa siri kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa mtuhumiwa huyu.  Pamoja na maelezo hayo mtuhumiwa mwenyewe sasa anapewa fulsa ya kujisalimisha katika kituo chochote cha polisi kabla ya kukamatwa kwa njia nyingine

Jack Wolper:Sijawahi Lia eti Nimeachwa Nikamwaga Chozi Sababu ya Mwanaume

$
0
0
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.

“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper.

Kwanini Wema Sepetu Hatumii Umaarufu wa Diamond Kutafuta Fursa ya Kufanya Filamu za Kimataifa?

$
0
0
Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za Kilimanjaro, ubavu wake kushoto Wema Sepetu alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja alipanda jukwaani kutoa maneno ya shukrani kwa niaba yake na alisikika akisema anajivunia kuwa mke mtarajiwa wa staa huyo wa muziki nchini.

Wema na Diamond wana historia ndefu ya mapenzi na uhusiano wao unaongoza kwa kuandikwa zaidi na vyombo vya habari pamoja na kuwa midomoni kwa wapenzi wengi wa muziki nchini. Kwa pamoja, wana nguvu kubwa ya ushawishi na kama kweli wakifikia lengo la kuwa mke na mume, wana mustakali mzuri hapo baadaye.

Tunafahamu jinsi Diamond anavyopigana kujitanua kimataifa na bahati nzuri jitihada zake hazipotei. Mwaka huu peke yake, Diamond amefanikiwa kufanya mambo makubwa kuliko msanii yeyote wa Tanzania. Kuanzia video yake ya My Number One akiwa na Davido kushika nafasi ya kwanza kwenye runinga kubwa duniani ikiwemo Trace TV, kutajwa kuwania vipengele viwili kwenye tuzo za MTV Africa na sasa kutajwa kuwania BET Awards kwenye kipengele cha Best International Act: Africa.

Kama mambo yakienda vizuri na wengi wakimpigia kura, anaweza kunyakua tuzo moja kati ya hizo. Na ukiangalia, huo ndio kama mwanzo tu wa mafanikio yake, mengi makubwa yanaishiria kumfungulia milango na kukwea juu zaidi.
Lakini swali nililonalo kichwani ni je! Wema anautumia umaarufu na fursa aliyoipata mwandani wake kuimarisha kile anachokifanya pia?

Wema ni muigizaji wa kike wa filamu mwenye mashabiki wengi zaidi kuliko wote nchini. Na kwa wale waliokwisha tazama filamu zake, watakubali kuwa si umaarufu wake tu unaozifanya filamu zake zipendwe, bali ni kweli kipaji cha kuigiza anacho. Na pengine akiwa chini ya muongozaji mzuri wa filamu, anaweza kufanya makubwa zaidi katika fani hiyo.

Kinachomtofautisha na waigizaji wengine wa Tanzania, ni msingi wa elimu alioupata na hivyo kuwa na kigezo muhimu wanachokosa waigizaji wengine wa Tanzania ambacho ni uwezo wa kuongea Kiingereza vizuri. Sijaona jitihada zozote ambazo mrembo huyu anazifanya kutumia jina la mpenzi wake ambaye kwa sasa nchi nyingi za Afrika zinamfahamu kutengeneza njia na kupata fursa ya kufanya filamu za kimataifa.

Ninachokiona akikifanya Wema kwa sasa, ni kuendelea kufanya kile kile ambacho waigizaji wengine wa filamu wa Tanzania wanakifanya – kuigiza filamu kwaajili ya soko la ndani. Haoni kuwa huu ni muda wa yeye kupiga hatua moja pia?

Kuna wakati Wema alikuwa anataka kuelekea huko. Mwaka 2012 alifanikiwa kumdondosha muigizaji mkubwa wa filamu wa Nigeria, Omotola Jalade kwenye uzinduzi wa filamu ya Supastaa ambayo hata hivyo haikutoka. Huo ulikuwa mwanzo mzuri wa yeye kujitangaza kwenye filamu za kimataifa kama ambavyo marehemu Kanumba alikuwa akikifanya kabla ya mauti yake.

Nahisi njia nzuri ambayo Diamond angeweza kumsaidia Wema kufanikiwa hilo ni kusafari naye mara kwa mara katika safari zake za kimataifa na huko angekuwa anamuunganisha na wadau muhimu wa fani yake.

Kwakuwa kwa sasa tayari ana jina Nigeria, alikuwa anaweza kumweka karibu na kiwanda cha Nollywood ambacho kwa Afrika ni kikubwa zaidi kibiashara. Alikuwa na uwezo pia wa kumuunganisha na vyuo vizuri kwa masomo ya filamu ambako huko angenoa zaidi uwezo wake wa kuigiza.

Kama wanapendana na lengo lao ni kuja kuwa pamoja, nahisi kuna wakati wanahitaji kuanza kusafiri pamoja na hii inaweza kumfungulia Wema fursa zaidi kuliko sasa ambapo anaonekana kuridhika na anachokifanya nyumbani.
Bongo5

Mashabiki Waandamana Kupinga Tevez Kuachwa Kikosi cha Argentina Kombe la Dunia

$
0
0
The Juventus striker has been in exceptional form all season but, incredibly, it has not been enough to persuade Alejandro Sabella to take him to the World Cup.

Carlos Tevez played no part in Argentina’s World Cup qualifying campaign. Yet on Monday a small band of fans gathered in the center of Buenos Aires to petition for Tevez’s inclusion in Alejandro Sabella’s squad for the tournament in Brazil. They held flags carrying the inscriptions "Tevez Seleccion" and "Tevez al Mundial," and all the while sung songs deifying the Juventus striker.

Family Sources Reveal Why Solange Attacked Jay-Z

$
0
0
The shocking leaked footage of Solange Knowles attacking Jay-Z in an elevator has left a lot of surprised people wondering what must have transpired between them.

Close sources to the family have however, revealed to reporters that the real cause of Solange's outburst was that Jay-Z, who is married to Solange's elder sister Beyonce, has been promising to help her boost her music career, but for some reason never kept to his words on it.

27-year-old Solange, who is about to release her third album, viciously attacked Jay-Z in an elevator as seen in the video which was leaked on Monday, while her sister Beyonce just stood there not getting involved in the brawl.

According to a close family friend of the Knowles who spoke to DailyMail, Jay-Z had been promising that he would assist Solange in boosting her music career; but unfortunately, when she mentioned it to him on the night of the feud during the MET Gala, Jay-Z blew her off saying he didn't have the time to work with her in the studio, sending the singer into an uncontrollable rage.

'He hasn’t kept his promise to help her. Jay keeps telling her to give him some time and he will sit down and write with her and then get her into the studio but he hasn't done it yet.'

The source added: 'Solange's album is coming out soon but there is no buzz about it, which is a bad sign within the industry.

'Solange wants a major career like her sister and she's tired of living in her shadow. She's jealous.

'Jay-Z promised he would help take her to the next level but he never found the time to keep his word.'

Neither Beyonce nor Jay-Z have come out to actually say anything regarding the fight since the video leaked online; the couple have kept mute on the incident, going about their business like nothing happened.

Solange on the other hand took off all pictures of Beyonce she had on her Instagram page, leaving behind only one the duo took with an unnamed lady. She has also not come out to say anything concerning the attack or why she did it.

Batuli Afunguka:Sijawahi Mpenda Mwanaume Kama Nilivyompenda Mtunisi

$
0
0
Kwa Mara nyingine tena Mwanadada Mwigizaji wa Bongo Movies amefunguka na Kutoa Data zake za Kimapenzi na Kusema Kuwa toka aachane na Mtunisi Hajawahi Kumpenda Mwanaume Mwingine kama alivyompenda Jamaaa...Amesema "Nilivyompenda Mtunis ni ngumu kumpenda mwingine kama hivyo ,Kwa kawaida Kupenda huwa ni mara moja tu mengine huwa ni maigizo tu"

AIBU NZITO: Msanii wa Bongofleva Anaswa Ufukweni Akifanya Ngono na Mwanafunzi

$
0
0
Aibu nzito! Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ amenaswa laivu akivunja amri ya sita (kuzini) na mwanafunzi wa sekondari ufukweni. Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii walimnasa jamaa huyo aliyedaiwa ni swahiba mkubwa wa mwanamuziki, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ ambao hivi karibuni walitoa kibao kipya kijulikanacho kwa jina la Bunyerobunyero.

Mara baada ya kunaswa, Bebuz alianzisha varangati kubwa lakini polisi jamii walimtuliza kwa virungu kisha kumfunga pingu na kumtaka atulize mzuka atoe ushirikiano vinginevyo angeumia.
Kijana huyo alitulia kwa muda lakini alipowaona OFM wakipiga picha, alilianzisha tena na kutaka kuvunja kamera huku akitamba kuwa alikuwa na uwezo huo ,Hata hivyo, OFM walikuwa makini kama kawaida yao.
Ufukwe wa Coco umekuwa ukilalamikiwa kwamba hukutanisha watu wenye malengo mbalimbali lakini wanaokwenda kwa ajili ya kufanya ufuska usiku ni wengi hasa siku za wikiendi ambako kunakuwa na burudani ya disko.
Kikosi maalum cha kufichua maovu OFM (Opereshen Fichua Maovu) cha GlobalPublishers kilipiga kambi katika ufukwe huo kwa muda wa wiki moja na kushuhudia maovu yanavyofanyika.
Pia OFM ilibaini kuwa katika ufukwe huo kumekuwa kukifanyika vitendo ambavyo siyo vya kiustaharabu ambapo watu wamekuwa wakifanya ngono katika vichaka na kwenye maji.
Katika siku za hivi karibu, machangudoa wamekuwa wengi ufukweni hapo na baadhi yao ni vibaka ambao wamekuwa wakitoka nduki na nguo za wanaume huku wakisachi na kuchukua kila kitu.

Beyonce, Jay Z na Solange Watoa Maelezo Kuhusu Ugomvi Wao..Soma Hapa

$
0
0
Beyonce Knowles, Jay Z and Solange Knowles have released a statement regarding the explosive fight that broke out between Solange and Jay Z after the Met Gala. The statement, which focuses more on the family’s healing process instead of what happened, reads as follows:
“As a result of the public release of the elevator security footage from Monday, May 5th, there has been a great deal of speculation about what triggered the unfortunate incident. But the most important thing is that our family has worked through it,” an exclusive statement to The Associated Press read Thursday. “Jay and Solange each assume their share of responsibility for what has occurred. They both acknowledge their role in this private matter that has played out in the public.

They both have apologized to each other and we have moved forward as a united family.” TMZ, who reportedly paid $250,000 for the video, posted the leaked footage of the elevator fight at the Standard Hotel in New York. The video appeared to show Solange attacking Jay Z in Beyonce’s presence, and a security guard intervenes. There was no audio recorded.

“The reports of Solange being intoxicated or displaying erratic behavior throughout that evening are simply false,” the statement continued. “At the end of the day families have problems and we’re no different. We love each other and above all we are family. We’ve put this behind us and hope everyone else will do the same.” The video immediately caused mass speculation as to what could have caused the fight. The Twitter hashtag, #WhatJayZSaidToSolange, trended worldwide all day, with memes mocking the situation going viral almost instantly.

The situation escalated when Beyonce allegedly removed all traces of Solange from her personal Instagram account, but that was later proven false. The Hotel said Wednesday that it fired the employee who recorded the footage. I'm not saying I believe the story, just telling you what I read.

Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema Alikoroga..Atoa Kauli ya Kuudhi Bungeni

$
0
0
Kwa maneno ya siku hizi ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema ‘amelikoroga na kulinywa mwenyewe’, baada ya jana kutoa kauli ya kuudhi alipomtaka mbunge kutoka Zanzibar akaulize swali lake visiwani humo, iliyosababisha baadhi ya wabunge kususia Bunge na kutoka.

Kauli iliyoonyesha kuwagawa wabunge katika mafungu mawili; wa bara na Zanzibar, ilimlazimu Jaji Werema baadaye kusimama bungeni na kuwaangukia akiwaomba radhi waliokerwa na kauli yake na pia kuliomba radhi Bunge, Spika wake, Anne Makinda na wananchi.

Kuondoka kwa wabunge hao kulitokana na mwongozo wa Spika ulioombwa na Mbunge wa Ole (CUF), Rajabu Mbarouk Mohamed kutokana na majibu Jaji Werema kwa mbunge wa Mkanyageni (CUF), Habibu Mnyaa aliyekuwa ameomba ufafanuzi wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya kupitisha vifungu vya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2014/15.

Mnyaa alisema Wizara ya Katiba na Sheria ni muhimu lakini imekuwa ndiyo ya kwanza kuvunja sheria na haki za binadamu na akataka ufafanuzi.

Hata hivyo, aliposimama kujibu swali hilo, Jaji Werema alimwambia Mnyaa kuwa mambo mengine akaulize Zanzibar na siyo katika Bunge la Jamhuri kwa kuwa si kila kitu kitaulizwa ndani ya Bunge hilo.

“Alichokizungumza Mnyaa ni sahihi lakini hapa si mahali pake, namshauri kuwa akaulize huko Zanzibar kwenye vikao vyao hapa sisi hatuna majibu,” alisema Werema.

Mara baada ya Bunge kurejea, Mbarouk aliomba mwongozo wa Spika akitaka ufafanuzi wa kauli hiyo kwamba ilikuwa ya kibaguzi.

“Mheshimiwa Spika, huu ni ubaguzi na haupaswi kufanywa na mtu msomi kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali,” alisema Mbarouk.

Alisema ubaguzi huo umewabagua wabunge ambao wamekula kiapo cha kulitumikia Bunge la Jamhuri ya Muungano na unaonyesha namna ambavyo Wazanzibari wanabaguliwa.

“Mheshimiwa Spika, yanapofanyika mambo kama hayo na wewe mwenyewe uko hapa unaona ni sawa na kubariki jambo hilo, huu ni ubaguzi unaoufanya wewe kwa kuwa lilifanyika ukiona bila hata ya kukemea,” alisema Mbarouk.

Hata hivyo, Spika alipinga na kusema: “Hakuna mwongozo wowote kwa kuwa hata wewe umevunja sheria kwani hata nilipokuambia kaa chini umeendelea kuzungumza, tunaendelea.... Katibu (akimtaka Katibu wa Bunge kutoa mwelekeo wa shughuli iliyokuwa inafuata ambayo ilikuwa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).”

Baada ya kauli ya Spika, wabunge wa Zanzibar walihamasishana na kuamua kutoka nje kwa wakati mmoja na huku wenzao wa upinzani wakiendelea kutafakari cha kufanya. Wakati huo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe alikuwa akisoma hotuba yake.

Wassira Awatisha Ukawa, Asema Wasiporudi Bunge la Katiba Hili Litatokea

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Stephen Wassira amewatisha wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwamba wasiporejea bungeni, kanuni zitabadilishwa na Bunge litaendelea.

Wassira alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu hoja za wabunge mbalimbali akiwamo Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee kuwa majadiliano ndani ya Bunge la Katiba yanakiuka Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

Katika mchango wake, Mdee alisema Ukawa hawako tayari kurejea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti, mwaka huu endapo majadiliano ya Katiba hiyo hayatajikita kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba.

Hata hivyo, Wassira akijibu kauli hiyo ya Mdee na wabunge wengine waliopaza sauti kuhusu kukiukwa kwa sheria hiyo alisema: “Kama hamrudi tutatumia kanuni zile kutafuta akidi na Bunge litaendelea.”

“Tusigeuze Bunge hili kuwa Bunge la Katiba… Bunge la Katiba lipo tena lipo kisheria…. Kuna watu wanageukageuka wanasema sheria ilivunjwa, lakini hawasemi kifungu gani kilivunjwa,” alisema Wassira.

Wassira alisema wajumbe wa Bunge la Katiba walitunga Kanuni za Bunge hilo na miongoni mwa waliokuwa walimu wa kanuni hizo alikuwa Ismail Jussa na Tundu Lissu ambao ni wajumbe wa Ukawa.

“Kanuni tuliyotunga ambayo haipingani na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ni Bunge hilo kuwa na mamlaka ya kubadili, kurekebisha, kuboresha na kadhalika,” alisema Wassira na kuongeza:

Wambura Afichua Wachezaji Mamluki Simba

$
0
0
MGOMBEA urais wa klabu ya Simba, Michael Wambura, amesema kuwa wachezaji wengi wa klabu hiyo ni wachezaji wa watu binafsi na siyo wa klabu kutokana na mfumo mbovu wa usajili unaoruhusu wachezaji kusajiliwa bila ridhaa ya rais wa klabu.

Wambura ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo kwenye uongozi unaomaliza muda wake, alisema utaratibu wa usajili wa klabu unatakiwa kuthibitishwa na kamati hiyo kabla ya mchezaji kuidhinishwa rasmi kuwa mchezaji wa Simba lakini hilo limekua halifanyiki.

“Kwa kawaida kamati ya utendaji ndiyo huwa inapitisha masuala ya muhimu yanayoigusa timu moja kwa moja ikiwemo usajili, sikumbuki hilo limefanyika lini lakini wachezaji wapya wamekuwa wakisajiliwa kila siku," alisema.

"Kama mjumbe wa kamati hiyo hakuna kikao chochote kilichofanyika kuhusu usajili wa wachezaji wapya, lakini pia mikataba wanayoingia wachezaji na timu imekuwa ikifanywa na watu binafsi kwa kutumia jina la timu.

“Hili linaigharimu timu sana hususani kunapokua na migogoro kwani wale wamiliki wa wachezaji huweza kuwaamuru wacheze chini ya kiwango ili kuonyesha upande fulani haufai, nadhani hilo ni moja ya mambo ya kukemea sana kwa mtu anayetaka maendeleo ya Simba.”

Katibu huyo wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT-sasa TFF) alisema ipo haja ya klabu hiyo kuwa na Idara ya Sheria itakayoshughulikia masuala ya mikataba ya wachezaji kabla ya kutumika kwenye usajili na mambo mengine yanayohusika na kisheria kwenye klabu hiyo.

Tid na Recho wa THT Waongelea Kuhusu Tetesi Kuwa ni Wapenzi

$
0
0
Maneno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>’Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na sio huyo Tid naomba msije kunivurugia mapenzi yangu na mtu wangu’.
Haya nayo ni maneno ya Tid>>’Hivi wewe lini umeniona mimi na Recho zaidi ya kwenda studio na kuondoka hii inakuaje sasa demu wangu mpaka nimuoe mara mbili tu nimeonana nae, mahaba hayo mi siyajui hayo unayajua wewe’.


Muziki wa dance umepata pigo jingine, Taarifa ya kifo cha Mwimbaji Amina Ngaluma ‘Japanese’

$
0
0
Amina Ngaluma ‘Japanese’ ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu sana bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound ambapo mpaka anafariki alikua nchini Thailand akifanya kazi na band ya Jambo Survivors.
Amina amefariki May 15 2014 saa sita mchana baada ya kuumwa kwa siku nne ambapo mume wake alipozungumza  amesema kiongozi wa band yao huko Thailand alimwambia Amina alilazwa hospitali kutokana na maumivu makali ya kichwa.

Johari:Ray Hawezi Kumuoa Chuchu Hans Hata kwa Dawa

$
0
0
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli

Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii kusikia tukio la wawili hao kuoana limefanyika.

“Mmh…unasema Ray kamvisha pete Chuchu...! Hakuna jambo kama hilo wewe, achana na matapeli maana hakuna ishu kama hiyo na Ray hawezi kuoa kwa muda huu.”

“Kwani suala la kumvisha pete na kutoa mahari lilifanyikia wapi maana kama kweli kuna mazingira hayo basi atakuwa kafanya kwa kificho sana.”
Na Musa Mateja, GPL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images