Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Je Una Tatizo la Nguvu za Kiume, Kukosa Hamu ya Tendo, Kushindwa Kurudia Tendo au Maumbile Madogo ya Uume?

$
0
0

JE, UNA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME, KUKOSA HAMU YA TENDO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO AU MAUMBILE MADOGO YA UUME? SOMA HAPA 👇👇👇👇
Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, sio Tanzania tu bali duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo sio ugonjwa ila ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHA MAMBO KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.
@Markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye kisukari kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @220,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 @130,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @130,000/=
4.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kurudia tendo hata mara 3 bila kuchoka @130,000/=
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no (+255)
0767447444 na 0714335378
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara kwa mtumiaji. Zimethibitishwa kiafya.

WELCOME ALL

MADUKA ya Supermarkets za Nakumatt Hali Tete..

$
0
0

Mamia ya wafanyakazi huenda wakakosa ajira Afrika Mashariki baada ya maduka ya jumla ya Nakumatt kuonekana kuwa hatarini.

Nakumatt iliyo na maduka nchini Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda inakabiliwa na changamoto za kulipa madeni yake, na sasa wadeni wake wanatishia kuweka mali ya Nakumatt kwenye mnada.

Kwa miaka kadhaa Nakumatt imejivunia kukidhi mahitaji yote ya wateja na kauli mbiu ya 'You need it, we've got it' (Unahitaji, Tunacho), lakini hivi karibuni hata bidhaa muhimu kama mkate zimekuwa nadra kupatikana kwenye rafu zake.

Wateja wa duka hilo la Jumla walitaka kutambua yanayojiri kwenye duka hilo kupitia mtandao baada ya kukosa bidhaa muhimu lakini wasimamizi wa maduka hayo wamekanusha madai kwamba huenda biashara yake ikaporomoka.

Pindu tu baada ya habari kuanza kuenea mitandaoni, ilianza kubainika wazi kuwa maduka hilo haliwezi tena kuwalipa wanaoyauzia bidhaa.

Nakumatt pia inadaiwa kushindwa kulipa kodi ya majumba ambayo yanatumiwa kwa maduka yake.

Wiki moja tu baada ya kufunga maduka matatu nchini Uganda, madalali wametwaa mali ya Nakumatt kwenye jumba moja la kibiashara viunganimwa jiji la Nairobi, kwa madai ya kutolipwa kodi ya takriban dola nusu milioni.

Aidha kampuni hiyo inakabiliwa na kesi nyingine ya kufilisika kwa kutolipa deni la zaidi ya dola laki saba, na kwa kuandika cheki hewa.

Serikali ya Kenya imeingilia kati majadiliano baina ya duka hilo na wadeni wake, ili kupata suluhisho litakalozuia kampuni hiyo kusambaratika, haswa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Kenya mwezi Agosti.

MAITI yaokotwa Bwawani

$
0
0

Mwili wa mtu ambaye hajafahamika umeokotwa katika bwawa la maji lililopo Mtaa wa Nkende Shuleni katika Halmashauri ya Mji wa Tarime.

Hili ni tukio la tatu la watu kuuawa kisha miili yao kutupwa kwenye mabwawa ya maji katika kipindi cha miezi sita iliyopita. Hivi karibuni, mwili wa kijana ambaye alikuwa dereva wa bodaboda ulikutwa ukiwa umetupwa katika eneo hilo hilo.

Kamanda wa Mkoa wa Polisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe, amethibitisha kuokotwa kwa mwili huo na kubainisha kuwa Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi ili kuwabaini watu wanafanya mauaji hayo.

Chareles Kisege, ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wa Nkende Shuleni na James Nyangai mwenyekiti wa mtaa wa Kimusi, wamesema matukio hayo yamezusha hofu miongoni mwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo.

Wamitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuwadhibiti wauaji hao.

Licha juhudi za wananchi kutaka kuuopoa mwili huo, zoezi hilo limekuwa zito na gumu kutokana na kukosa zana.

Hata hivyo, mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda wilayani hapa, Samwel Kegoye, amesema ingawa taarifa zinaonyesha kuwa mtu huyo aliyeuawa ni dereva wa bodaboda, wao badoi hawajapata taarifa hizo rasmi.

Ni rahisi sana Sana Kwa Mwanandoa Aliyeajiriwa Hapa Mjini Kuchepuka, Hivi Ndivyo Wanavyofanya

$
0
0

Nina uzoefu kidogo na mambo ya kazi za ajira maofisini, nimefanya hivi kwa muda mrefu. Wakati flani nilifanya kazi katika ofisi zilizo katikati ya jiji, kule mitaa ya Posta jijini Dar es Salaam.

Ofisi nyingi za serikali na watu binafsi zinapatikana mitaa ile. Kutokana na sababu hiyo, kuna idadi kubwa pia ya migahawa, hoteli, mama ntilie, pub na kadhalika.

Kuna mambo mawili makubwa yenye ushawishi mkubwa wa usaliti. Ofa za chakula au vinywaji na usafiri. Kwa kawaida, wafanyakazi wa ofisi moja hupenda kutoka pamoja wakati wa chakula cha mchana, wenyewe tunapendelea zaidi kusema lunch!

Kila mmoja ana sehemu yake anayokula kulingana na kipato chake, wapo wanaokwenda Southern Sun kupata chakula cha mchana, na wapo wanaowafuata mama ntilie wanaojibanza kwenye vichochoro vingi vilivyopo mjini.

Huko ndiko tunakokutana na akina dada waliovalia vizuri na kupendeza, wakitokea katika maofisi mbalimbali, huwezi kujua yupi ni mhudumu wa chai, yupi ni bosi, wote wanang’ara. Na hapa ndipo ofa za misosi zinapoanza kushawishi ngono.

Kijana mmoja mwenye kipato kikubwa ofisini kwake, atavutiwa na msichana mrembo mwenye mshahara wa wastani. Ili kumsogeza karibu, atalipia chakula cha siku hiyo na kumualika kwa kesho yake. Kulipiwa chakula ni jambo dogo, lakini lenye thamani kubwa sana. Si rahisi mtu aliyekulipia chakula kwa nia njema, ukaacha kumshukuru na hata kumwelekeza unapofanya kazi.

“Mimi nipo pale Oj Traders,” msichana anaweza kujita mbulisha jina na kusema anapofanyia kazi huku mkaka akimweleza kuwa yeye ni mhasibu katika ofisi flani. Watakapo

kutana mara ya pili, wataachiana namba za simu.

Baada ya hapo, mkaka atafanya mbwembwe za kuhamahama maeneo ya lunch ili mradi tu mdada wa watu aingie kwenye laini. 

Ukimaliza suala la lunch, kuna hii kitu foleni, hasa kwa wakazi wa Dar es Salaam. Raha ya kufanya kazi katikati ya jiji inaingia shubiri kadiri jioni inavyozidi kusogea. Kuanzia saa kumi, ni vurugu katika vituo vya daladala na hasa wakati kama huu ambao bodaboda zimezuiliwa kuingia mjini.

Wenye magari binafsi ndiyo wakati wao wa kujidai, ingawa foleni inawakumba wote. Lakini ni afadhali ukiwa kwenye foleni ndani ya gari dogo, mko wawili kuliko foleni, umeshika bomba kwenye daladala.

Siyo rahisi kwa mdada kukataa lifti ya kijana mwenye gari. Na katika foleni ndefu, ni wazi kwamba hadi mwisho wa safari, watakuwa wameshabadilishana namba. Kwa msichana, kuwa na uhakika wa usafiri kila siku ni ukombozi.

Tusidanganyane, hakuna msichana ambaye hatajua kuwa lunch au usafiri anaopewa unahitaji malipo maalum, ambayo ni penzi. Hali hii haiko Dar tu, bali nchi nzima na pengine duniani kote.

Mwanamke aliyeajiriwa anakuwa katika mitihani mikubwa zaidi ya kusaliti ndoa au uhusiano wake, kwa sababu hata kama haitakuwa kwenye chakula au usafiri, bado watu anaokutana nao katika utendaji wake, wanaweza kumghasi. Fikiria anakutana na mabosi, marafiki wa mabosi wake, wafanya biashara, atapona kweli?

Hata hivyo, simaanishi kama tabia hii inawakumba waajiriwa wote, isipokuwa nadhani ni sehemu kubwa wanahusika!

By Mike Tee

MWANAMUZIKI Chid Benz Amshushia Mkwala Mzito Chin Bees...

$
0
0

Msanii wa hip hop Bongo, Chid Benz amemtaka msanii mwenzake Chin Bees kutafuta jina lingine.


Sababu ya Chid Benz kusema hivyo imetokana na majina yao kufanana, na kuongeza kuwa wote wanafanya muziki wa aina tofauti hivyo kulikuwa hakuna ulazima wa ufanya hivyo.

“Siku moja nimeona Shetta anamuangalia instagram nikamuuliza huyo ni nini?, akaniambia ni Chin Bees, nikamuuliza anafanya muziki gani, akaniambia Bongo Fleva!. Sisemi kwa ubaya ila sikuelewa ile style anayofanya yeye ni tofauti sana na mimi mtu mzima mwenye hit kama 32 najua nikiingia kwenye stage nachapa tu,” Chid Benz ameiambia Planet Bongo ya EA Radio na kuhoji.

“Huyo Chin Bees ana single hata saba kweli?, atafute jina lingine,” amemaliza kwa kusema.

Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH CHIEF SULTAN MAKATA Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

$
0
0

Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH CHIEF SULTAN MAKATA Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika
Anatibu kwa Njia ya Simu Ukiwa Nchi Yoyote / Mkoa wowote
..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Chief Sultan Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU(LIMBWATA). Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine?Una Mpenzi wako ana Pesa na Unataka kumkamata? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Chief Sultan Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA,Hutoa  PETE ZA BAHATI inayoendana na NYOTA YAKO. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.HUZUIA CHUMA ULETE NA KUKUPA DAWA YA KUONGEZA FAIDA KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA AU KUDHULUMIWA.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI.Humaliza Kabisa Tatizo la Nguvu za KIUME na Kurefusha Uume kwa Saizi Unayotaka,HUMALIZA KESI YA AINA YOYOTE NDANI YA SIKU 14. na mengi zaidiWhatsapp/Calls +255 710 279 458
                                         +255 710 279 458
Tiba ni kwa Watu wenye Imani na Dini zote

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu

$
0
0

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),Kuumwa na kichwa,Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

Tuache siasa za kipuuzi puuzi- Zitto

$
0
0

Niseme jambo moja muhimu Sana. Miswada ya sheria za madini tunazopitisha wiki hii ni hatua za kimapinduzi na kiokombozi. Sio hatua ndogo. Ni hatua zenye maumivu. Hata hivyo tukiweka mikakati ya kukabili changamoto zitakazoanza kutukabili maumivu yatakuwa ya muda mfupi tu.


Hivyo, tusijidanganye kuwa kila kitu kitakuwa ' mswano ', la hasha. Kampuni za nje zinazoweka mitaji yao hapa Tanzania zitaacha kuweka mitaji na zingine zitaondoa mitaji yao. Uzalishaji wa Dhahabu utashuka na Kwa kuwa dhahabu inachangia 30% ya Fedha za kigeni tutatetereka kidogo upande wa urari wa biashara na hata shilingi yetu kushuka thamani.


Serikali inapaswa kuweka mikakati ya muda wa kati kukabiliana na changamoto hizi. Moja ya njia muhimu na yenye maana kubwa ni kuongeza mauzo nje kwenye sekta ya kilimo ( Korosho, Katani, Kahawa, Chai, Pamba). Pia mauzo nje ya bidhaa za viwanda. Uzalishaji wa Sukari na Mawese ghafi unapaswa kuongezeka ndani ya wa kati ili kuokoa matumizi ya fedha za kigeni kununua bidhaa hizo nje.


Tutashambuliwa Sana na propaganda za magazeti ya ubepari mamboleo ( neo liberal right wing media). Hivyo, viongozi wetu wa kisiasa WANAPASWA kuwa WAMOJA kwenye shabaha hata kama wanapingana kwenye njia. Vyombo vya habari vya ndani vinapaswa kuandaliwa kuelewa hali yetu na kuelewesha dunia.


Huu sio wakati wa siasa za kipuuzi puuzi, ni wakati wa Siasa za kiuongozi.


Tukisimama imara na pamoja Kwa ushirikiano tutavuka katika kujenga Uchumi shirikishi wenye kuzalisha ajira nyingi. Tukiendekeza kuzodoana, kutukanana, kugandamiza demokrasia na kukomoana, ninawaapia tutashindwa vita Hii.


  

Minykano ya Kisiasa na vijembe ndani ya Bunge...

$
0
0

MJADALA wa kujadili miswada ya rasilimali za madini ulianza jana Bungeni, huku ukigubikwa na minykano ya Kisiasa na vijembe ndani ya Bunge.


Miongoni mwa vijembe hivyo ni Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, kumwambia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, kuwa anataka kuhamishwa wizara.

Mbali na Lema pia, Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Kasheku maarufu kama ‘Musukuma’ alisema mgombea urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015 na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, alipatikana kwa hati ya dharura, hivyo wapinzani hawatakiwi kupinga kuletwa kwa miswada bungeni kwa hati ya dharura.

Wakichangia mjadala wa Muswada wa sheria ya Mamlaka ya nchi kuhusiana na umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017 na Muswada wa sheria ya mapitio na majadiliano kuhusu masharti hasi katika mikataba ya maliasili za nchi kwa mwaka 2017, wabunge hao walirushiana vijembe kutokana na wengi wa chama tawala kuunga mkono kupelekwa kwa hati ya dharura huku wabunge wa upinzani wakipinga.

LEMA
Lema alisema Bunge linapotunga sheria ni wakati muhimu wa kuwa makini na kwamba miswada hiyo ilihitaji muda wa kutosha.

Alisema pande zote za bunge ushabiki katika utungaji wa sheria umekuwa ni muhimu na thabiti kuliko umuhimu wa sheria yenyewe.

“Bunge hili tulipopitisha Sheria ya Uhujumu Uchumi hapa zilipigwa kelele, leo sheria zile zinakula watu wa upande huu kuliko wa upande ule,” alisema.

Aliongeza: “Ripoti ya makinikia ulikuwa unamsikia Rais akilalamika kwamba uongozi uliopita pamoja na Bunge ulifanya makosa makubwa katika utungaji wa sheria za madini.”

 Alieleza kuwa kama wapo makini na kubadilisha sheria hizo kwa ajili ya utawala bora, ingekuwa ni vyema muswada wa kwanza kupelekwa kwa dharura ungekuwa ni wa kuondoa kinga ya viongozi wanapokuwa madarakani kwa kuwa wamefanya maamuzi ya kutozingatia haki.

Kufuatia kauli hiyo, Simbachawene alisimama kuomba utaratibu akisema kuwa Lema amekiuka Kanuni ya 80(4)-(6) ambayo inaweka utaratibu wa namna ya miswada inayoletwa kwa hati ya dharura na kwamba hakuna sababu ya kulaumu kwa kuwa pande zote zilikaa na kukubali muswada uletwe bungeni.

“Sheria tunayotunga leo tunaweza kurekebisha tena hata Bunge lijalo tukija jingine tutarekebisha ndio kazi ya Bunge,” alisema Simbachawene.

Akiendelea kuchangia, Lema alisema kuna wengine wanataka kuhamishwa wizara ndio maana kila akisimama wanasimama kwa sababu wanajua umuhimu wa hizo wizara.

“Kwenye fedha za IPTL wabunge hawa na Simbachawene huyu huyu alisema fedha sio za serikali, leo mmekamata watu wako gerezani, tunapojenga hoja mko, kimya wote sisi ni Watanzania,” alisema.

Alisema anataka kuamini kuwa Rais aliyepo ni mzalendo na anapenda watu.

“Najiuliza kwa mamlaka aliyopewa Rais siku akija mtu si mzalendo kama Magufuli, nataka kuamini hivyo akatokea hata upande huu hata Chadema kwa sababu hakuna malaika, akitokea rais asiye mwaminifu na mmempa mamlaka ya kusimamia rasilimali zote na mkaliwekea Bunge masharti nafuu, Taifa hili litauzwa,” alisema Lema.

Alisema sheria inayotungwa haimuangalii Rais aliyepo madarakani bali inatungwa sheria kwa kufikiria anaweza kutokea rais ambaye sio malaika.

 MUSUKUMA
Kwa upande wake, Musukuma alisema Lowassa, alipatikana kwa hati ya dharura kwa sababu walimuona anafaa kwa dharura aliyokuwa nayo.

Alisema Lowassa alikuwa hajui mambo yoyote ya Chadema, hakushindanishwa na mtu yeyote katika chama hicho, lakini alipewa dharura ya kugombea urais.

“Nawashangaa wabunge wanaolalamika kwamba wanaburuzwa katika kutunga sheria, lakini walileta mtu ambaye wanataka akabidhiwe nchi, na hajui chochote kuhusu Chadema,” alisema Musukuma.

Musukuma alisema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye sasa ni Rais John Magufuli, alipatikana kwa kufuata utaratibu wa CCM.

“Wabunge wote wa CCM tunaunga mkono hati ya dharura ya serikali kwenye miswada hii kwa kuwa tumeibiwa vya kutosha. Nimesikia wanalalamika sana wanasema tumechelewa kufanya mabadiliko, mimi nakubali tumechelewa kwa sababu dunia inabadilika na CCM inabadilika,” alisema Musukuma.

Aliongeza: “Watu waliokuwa wanatuchelewesha wote mnawakumbatia nyie huko, serikali hii ilikuwa inaongozwa na Lowassa na Sumaye (Fredrick), ndio mmewakumbatia kwenu, sisi tulipoona hawafai nyinyi mmewachukua kwa hati ya dharura, kwa hiyo mtulie tumeamua kufanya mabadiliko kwa Majaliwa (Kassim) na mheshimiwa Magufuli.”

Aliongeza wapinzani wanalalamika kwamba serikali imefanya mabadiliko ya sheria haraka haraka na mwaka 1992 yalifanyika mabadiliko kwenye siasa na bila ya mabadiliko hayo, wapinzani wasingekuwapo kwani wote wangekuwa CCM.

  ZITTO
Naye, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, alisema kazi wanayofanya ni muhimu, lakini mijadala hailingani na uzito wa jambo lililopo.

“Tulijadli jambo hili kwa utulivu, kurushiana maneno kunatupotezea muda, kuna sheria tatu, sheria moja ni kubwa inayohusu mabadiliko ya sheria ya madini,” alisema Zitto.

Alisema sheria mbili zilizobaki ni mambo ambayo yalipaswa kufanyika tangu mwaka 1962, lakini hayakufanyika, hivyo kwa sasa wanafanya masahihisho ya makosa.

“Sheria hizi mbili za kimapinduzi kwa kuwa kwa mara ya kwanza tumekuwa nchi ya kwanza ya Kiafrika kutamka kwenye sheria kwamba chochote kilichopo juu na chini kwenye nchi yetu ni mali yetu.”

Aliongeza: “Lakini hatujabadili mfumo wa uzalishaji, mfumo ni ule ule, sheria iliyopita ina umiliki, sheria ya mwaka 1979 ilikuwa na umiliki, si jambo jipya, jambo jipya tubadilishe mfumo wa uwekezaji.”

Alisema mwekezaji awe mkandarasi. “Mfano akija Acacia unakubaliana naye achimbe kwa niaba yako, aondoe gharama zake kinachobakia mgawane. tunafanya hivyo katika gesi ndio maana hakuna malalamiko makubwa,” alisema Zitto.

  MNYIKA
Mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika, Alisema wabunge wametoka katika toba badala ya kutubu wanarudia katika makosa kwa kulitaja jina la Mungu.

“Wenzetu wa CCM hamna uhuru kwenye chama chenu na mnasababisha Bunge kukosa umoja, dhambi hizi za kulitaja jina la Mungu inaambatana na matumizi mabaya ya rasilimali zetu, badala ya kuleta sheria bora, mmeamua kutenda dhambi kwa kuleta miswada ijadiliwe kwa hati ya dharura, hii ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu,” alisema Mnyika.

Alisema kabla ya kujadili miswada hiyo Bunge lingeletewa ripoti zote mbili za makinikia, zijadiliwe kisha liielekeze serikali ifanye nini ndipo miswada iletwe.

Kuhusu muswada, Mnyika alisema sheria imetoa mamlaka makubwa kwa Rais kuhusu umiliki wa rasilimali za nchi.

“Sheria imedhihirisha kwanini tulitaka rasimu ya Jaji Joseph Warioba kupunguza mamlaka ya Rais,” alisema Mnyika.
  DEO SANGA
Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga, alisema muswada huo ni mzuri kwa kuwa ni jambo jema ambalo limekuwa likizungumzwa sana kipindi cha nyuma, lakini sasa limeletwa kufanyiwa marekebisho.

Alisema sheria hiyo, itawapa wananchi fursa ya kunufaika moja kwa moja na ajira, bima na kwamba halmashauri zinazungumza mahitaji yao na uwekezaji.

Sanga alisema sheria hiyo itadhibiti maliasili zinazopatikana na pia wadau wengi wameunga mkono marekebisho hayo.

  RIZIKI NGWALI
Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Ngwali, alisema alikuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya Jaji Warioba ambayo ilipokea maoni ya wananchi waliozungumza kwa uchungu kuhusu rasilimali za nchi, hivyo miswada hiyo inahitaji muda wa kutosha wa kuijadili kwa maslahi ya Taifa.

  JAPHET HASUNGA
Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga, alisema miswada hiyo ya maliasili ni muhimu na hawawezi kusubiri muda wa kutosha kwa kuwa Tanzania imeibiwa vya kutosha.

  MANSOOR HIRANI
Mbunge wa Kwimba (CCM), Mansoor Hirani, alisema serikali ichukue migodi yote ambayo ina zaidi ya miaka 20 kwenye uzalishaji kwa kuwa wamepata faida ya kutosha.

  SERUKAMBA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba, alisema miswada hiyo ni mapinduzi ya kiuchumi huku akimtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, kutoshawishika na wakubwa duniani watakaolalamikia sheria hizo na kutaka kufanyiwa marekebisho.

JULIANA Shonza, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) amenusurika kuangushiwa kipigo kikali na wabunge wa Chadema

$
0
0

JULIANA Shonza, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) amenusurika kuangushiwa kipigo kikali na wabunge wa Chadema mara baada kuwatambia kuwa atahakikisha Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema), anaendelea kukaa nje ya Bunge kwa mwaka mzima,

Tukio hilo limetokea leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma ambapo Shonza alisikika akisema atapeleka hoja bungeni ili adhabu ya Mdee kutohudhuria vikao vya bunge iongezewe.

Itakumbukwa kuwa Mdee na Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa muda wa mwaka mmoja huku adhabu hiyo ikipingwa vikali ambapo tayari Bulaya na Mdee wamefungua kesi mahakamani kupinga.

Suzan Kiwanga, Mbunge wa Jimbo la Mlimba (Chadema) ambaye alikuwa karibu na Shonza ambapo alimtaka mbunge huyo kuacha siasa za chuki na roho mbaya kwani hata Mdee akikaa nje ya bunge hatofaidika na lolote.

“Acha roho mbaya. Wewe ni mwanamke, unafurahia vipi mwenzako akipata matatizo? Kukaa kwake nje hakuwezi kukusaidia kitu na kumbuka malipo ni hapa hapa duniani,” alifoka Kiwanga.

Kauli ya Kiwanga iliamsha hasira za Shonza ambaye alianza kumtolea maneno machafu yasiyofaa kuandikwa gazetini. Ndipo baadhi ya wabunge wa Chadema waliokuwa jirani akiwemo Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wakamvaa na kumtaka awe heshima kwa kuangalia umri wa mbunge aliyekuwa akimtolea maneno machafu.

Shonza hakutaka kuwaelewa wabunge hao, aliendelea kukabiliana nao huku akifoka kwa hasira na ghafla akaanza kuangua kilio ndipo Tweve na Zainab Vullu, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), wakamvuta na kumtoa nje ya geti la Bunge akipiga kelele zilizoambatana na kilio.

“Niacheni, Niacheni…..kama wanataka kunipiga waacheni wanipige tu.. niacheni niacheni,” alizungunza Shonza huku akijitahidi kujivuta kutoka mikononi mwa wabunge wa CCM waliokuwa wanamvuta.

“Mhe. Vullu hebu mfunzeni adabu huyu binti, huenda ana matatizo makubwa ya akili, haiwezekani anawatolea maneno machafu watu wazima huku akitaka kupigana nao, hii ni aibu. Huyu binti mnamuangalia tu wakati anaharibikiwa,” amesema Gekul.

Upendo Peneza, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) ambaye alikuwepo katika eneo hilo alisema “Tatizo Shonza anapenda kukurupuka. Anatia aibu sana, binti mdogo anataka kupigana na watu mtu mzima mwenye umri wa mama yake.”

Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000

$
0
0

GOOD NEWS: #DirectorKiba ;
Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya #Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 Music Entertainment Co & Rockstar Television.


Alikiba sasa anakuwa sehemu ya wasanii waliochini ya Rockstar4000 pia anakuwa Director of Music n Talents.


Rockstar Television inajishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali na kuvisambaza katika vituo vya Television vya kimataifa.

#MkurugenziAli #DirectorKiba

Picha 5 za Mbunge wa CCM Alivyotaka Kupigana na Wabunge wa CHADEMA Jana Bungeni

$
0
0

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye yuko kifungoni anaendelea kusota huko.

Wabunge hao wa Chadema  waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo

Hapo chini ni picha za tukio hilo 



Nafasi za Ajira 400 Zilizotangazwa na TRA Leo

KAULI 'Tata' zamponza Halima Mdee....

$
0
0
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni  Mh.Ally  Happi amegiza jeshi la polisi kumuweka ndani kwa saa 48 Mbunge wa Kawe Mh. Halima Mdee kwa kutoa kauli za kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.


Agizo hilo la Mkuu wa wilaya limekuja leo ikiwa ni siku moja tangu mbunge huyo atoe kauli ya kupingana na Rais John Magufuli kuhusu watoto wanaobeba mimba wasirudi shule aliyoitoa siku chache akiwa mkoani Pwani, huku yeye akimtaka rais afuate sheria na katiba za nchi na kwamba siyo kila kauli yake ni sheria.

Mh. Happi amesema "Mh. Mdee amemtaja kwa jina rais kwamba ana tabia za hovyo, na kwamba tabia zake za hovyo zimempelekea kuona kwamba maneno yake ndiyo sheria ya nchi. Pia amesema kwamba ipo siku rais ataagiza watanzania watembee vifua wazi yaani wanawake kwa wanaume. Nimeshtushwa sana", amesema Mh. Happi .

Hongera Diamond Platnumz...Embu Sikia Hawa Wasomi Baada ya Kusikia Diamond Anauza Karanga

$
0
0

Niliwahi kuandika wakati fulani (2015) kuwa ukimwendea Bakhressa ukamwambia kuwa #mihogo ni biashara nzuri atakuita board room muongee vizuri apate kujua vizuri lakini ukimfata msomi mwenye labda masters ya biashara ukamwambia kitu kile kile anaweza kukuona huna idea kichwani.

Nilipoona video ya #DiamondPlutnumz akizindua biashara yake mpya ya #DiamondKaranga nikawaza tena. Nikamforwadia mdogo wangu mmoja anasoma "ELIMU YA JUU" kwa sasa. Alipoiangalia nikamuuliza maswali machache:

1. Hiyo ni video ya Diamond na karanga?
Akajibu #NDIYO BRO

2. Nikamuuliza: Diamond amechuja kimuziki ndo maana kakimbilia karanga?
Akajibu #HAPANA

3. Nikamuuliza: Diamond alisomea biashara Chuo?
Akajibu #HAPANA

4. Nikamuuliza: Ana akili ya kibiashara?
Akajibu #NDIYO

5. Nikamuuliza: Ana hela nzuri nzuri benki?
Akajibu #NDIYO

6. Nikamuuliza: Sasa haoni aibu kuuza karanga?
Akajibu #HAPANA

7. Nikamuuliza: Kwa nini haoni aibu? Akajibu nadhani sababu ya pale juu NAMBA 4

Nikajisemea: Good.

8. Nikamuuliza: Wewe umesoma kuliko Diamond?
Akajibu: #NDIYO KAKA.

9. Nikamuuliza: Unaweza kuuza karanga?
......... (KIMYA).......

10. Nikataka kuuliza tena
..nikaona "Typing......"

Jibu likaja: INATEGEMEA

Anyway mpaka hapo nikawa nimeelewa jibu sahihi ni lipi. Kwamba nikimpa huyu msomi option mbili baada ya masomo yake. Moja apate AJIRA pale Azikiwe CRDB, mshahara labda laki 9 kwa mwezi na mkopo nafuu wa kununua IST... halafu option nyingine iwe idea ya kuuza karanga kuanzia zero ipi atachagua?
Nadhani jibu wote tunalo.

Kuna binti mwingine wa "Elimu ya Juu" alikuja kwangu akiomba msaada wa kutafutiwa mahali pa kufanya kazi kwa muda wakati wa likizo. Pamoja na hilo nilianza kumuuliza kama ana KIPAWA chochote ambacho anaweza kukitumia taratibu akijenge kije kumsaidia baadaye hata ajira zikija kugoma. Pamoja na binti huyo kukiri kuwa anacho kipawa (alinitajia) lakini hakuwa tayari kukifanyia kazi in any way hata kwa muda wa ziada. Anataka tu ajira.

Hili ni #JANGA.
Tuna wasomi wetu wengi ambao wanachotaka ni AJIRA TU. Serikali nayo inadhani itaweza kutatua tatizo la ajira kwa a one-sided view. Kwamba mtu asiye na ajira dawa yake kumpa ajira. Si kweli kwamba hiyo ndo dawa pekee. In fact tuendako hiyo ni wrong solution. Mfano mdogo ajira za madereva kwa dunia ya leo zinaondoka moja moja.
Fikiria: Siku jiji hili la Dar es Salaam kwa mfano hili likiwa na Mwendokasi kila Kona ya jiji na huko mbali na city centre kote kuanzia Bunju (au Bagamoyo) hadi Mbagala na hadi huko Chalinze.
Halafu treni za umeme ziko
Halafu self driving cars
Halafu drones za kudeliver mizigo kwa wateja (yani uko zako nyumbani labda Bunju unaagiza chakula KFC Posta unalipia kwa M-PESA kinaletwa na drone ndani ya robo saa tu hadi mlangoni kwako)
Hapo mtu aliyesomea udereva ataendesha nini?

Licha ya hayo mambo kukawia yatafika. Lakini hata kabla hayajafika ajira ngapi zipo na nani atapata nani akose.

Wasomi wetu ni lazima waanze kuwaza tofauti na wasomi wa mwaka 1970. Lazima kuwaza option ya kusurvive nje ya mfumo wa ajira.
Tatizo wengi wanachotaka ni MSHAHARA tu. Ndo maana wakikutana na wewe utasikia: "BRO NIUNGANISHE BASI HATA KWA RAFIKI ZAKO NIPATE KAZI". Ndo lugha yao. NIUNGANISHE. Yaani utadhani wewe umekuwa fundi welding...
Ukimpa idea nyingine HATAKI.

Ndo maana watu wasio na shule ndeefu ndo wanakuwa matajiri. Si bure. Katika matajiri wote 2000+ kwenye Forbes wenye MBA unaweza kuta hata 10 hawafiki. Na hao wenye hiyo MBA siyo kuwa ndo imewafanya wa excel in bness.

Lazima kuwaza kwa mapana. Wasomi hawataki kuumiza kichwa wanataka ready made things. Hii si njema kwa afya ya uchumi wa taifa letu.

Ukitazama #DiamondPlutnumz na karanga unashangaa kwa nini msomi akikuona unaanzisha biashara yako anataka umpe tu AJIRA hataki umfundishe afanye. Makanisani nako wasomi wanaombewa tu wapate AJIRA. Basi. Kweli? Ina maana hakuna MAONO mengine kwa wasomi wetu isipokuwa ajira?

Elimu ya juu kwa vijana wengi imepeleka creativity yao na uthubutu wao CHINI!
So sad!

Sikiliza kijana msomi:

Ni muhimu kuyatazama maisha yako kwa mapana na kwa upya kabisa pasipo kuyahusisha na elimu yako ya darasani kabisa.

Mungu awabariki sana.

Hongera tena #DiamondKaranga

MWANAMKE Aangua Kilio Mbele ya Rais Sengerema..Awashtaki Viongozi wa Chadema

$
0
0

SENGEREMA: Rais John Magufuliamemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela kuyafanyia kazi malalamiko ya mwanamke mmoja mkazi waSengerema aliyedai kunyanyaswa na kuvunjiwa nyumba yake.

 

Rais ametoa agizo hilo leo (Jumanne Julai 4) wakati akizindua mradi wa maji, wilayani Sengerema na kumtaka Mongela kuchukua namba ya simu ya mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Rosemary Simon, ili atatuliwe tatizo lake.

 

Kabla ya Rais Magufuli kuchukua hatua hiyo, mwanamke huyo alikwenda mbele ya jukwaa alimoketi Rais, huku akilia kuwa ananyanyaswa na viongozi wa Chademana kuwa wanataka kumbomolea nyumba yake, bila kufafanua ni kwa vipi.

 

“Mpe simu yako Mkuu wa Mkoa, halafu atakutafuta na wala usijali, nitamtuma Mkuu wa Mkoa  na haki yako itatendeka, nitalifanyia kazi suala lako,” amesema Rais.

 

MKUU wa Wilaya Ally Hapi aliliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Halima James Mdee

$
0
0

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapileo aliliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima James Mdee kwa madai kuwa kauli yake aliyoitoa jana jana, Jumatatu wakati akiongea na wanahabari ni ya uchochezi na ya kumfedhehesha Rais John Magufuli.

 

“Nawaagiza polisi, popote alipo Halima Mdee akamatwe na awekwe ndani kwa muda wa saa 48. Haiwezekani Halima Mdee aseme rais ‘afungwe break’, naomba Mbunge huyo akamatwe ili akalisaidie jeshi la polisi kuhusu maneno hayo,”alisema Hapi wakati anaongea na wanahabari akaongeza kwamba kauli hiyo ni ya uchochezi na yenye kulenga wananchi kuondoa imani na viongozi wao.

 
“Katika wilaya yangu sitakubali kuwa na wanasiasa kutoa kauli ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani katika nchi yetu, niwaombe radhi wananchi wote walioguswa kwa kauli hizo zisizo na staha alizozitoa Mdee,” alisema Hapi.

 

Jana Halima James Mdee alipinga kauli na msimamo wa Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibuni akiwa ziarani mkoani Pwanikuhusu agizo la wanafunzi wanapopata mimba na kujifungua wasiruhusiwe kurudi shule kusoma.
 

Mdee alipinga msimamo huo huku akimtaka rais afuate sheria na katiba ya nchi inayowaruhusu watoto hao warudi shule baada ya kujifungua.

 
Pia alitoa kauli kwamba rais ‘afungwe break’, kauli ambayo imekuwa na maswali mengi miongoni mwa wananchi huku ikitafsiriwa kuwa ni ya kichochezi na kumfedhehesha mkuu wa nchi.

GPL

"MAALIM Seif anajifanya Mungu Mtu" Prof Lipumba

$
0
0


Kauli ya Prof Lipumba:

Maalimu Seif anajifanya Mungu Mtu-Prof Lipumba

Tumemlemaza maalimi Seifu anajiona Mungu Mtu ndugu, zangu wapemba ndio mmezidi kuumlemaza .

FIFA Yabadili Auamuzi wa Kuja Tanzania Kufatilia Kesi ya Rais wa TFF....

$
0
0
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limefuta mpango wake wa kutuma wawakilishi wake nchini Tanzania kwa ajili ya kufuatilia mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

Taarifa hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa TFF ambaye pia ndiye anayekaimu nafasi ya Rais wa TFF, Wallace Karia ambaye amesema kuwa FIFA wamefikia uamuzi huo kutokana na mazungumzo waliyoyafanya na TFF kwa njia ya simu, pamoja na taarifa zilizotumwa katika shirikisho hilo kutoka Tanzania.


Karia amesema katika mazungumzo hayo amewaeleza kila kitu kinachoendelea nchini, na kwamba leo, Jumanne Kamati ya Utendaji inakutana, jambo ambalo limewaridhisha na kuitakia kila la kheri kamati hiyo ya utendaji katika kikao chake.

“FIFA hawatakuja tena, tuliongea nao tukawaeleza kinachoendelea, walitupigia wakitaka kujua kama kulikuwa na muingilio wa serikali katika mchakato, au kama kuna pesa za FIFA zilizotumika vibaya, tukawaambia siyo kweli na kuwaeleza kilichotokea kwahiyo hawatakuja,” amesema Karia.

Kuhusu kikao cha leo cha kamati ya utendaji, Karia amewataka wadau wa soka nchini wakiwemo wagombea kuwa watulivu na kuiamini kamati hiyo kwani itakuja na uamuzi mzuri na wenye afya kwa mpira wa Tanzania.

Kikubwa kitakachojadiliwa katika kikao hicho ni hatma ya Kamati ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake wameshindwa kuelewana na huenda ikapanguliwa ili kuruhusu uchaguzi uendelee.

HUU Ndio Muonekano wa Simu Mpya ya iPhone 8 (+Video)

$
0
0

Baada ya tetesi nyingi kuhusu ujio wa iPhone 8 wengi wakihoji muonekano wake utakuwaje na sifa nyingine tayari wataalamu wa teknolojia wameshavujisha muonekano wa simu hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na watumiaji wa simu hizo na inatarajiwa kutoka Septemba mwaka huu.

</

Video inayoonesha muonekano wa simu hiyo imevujishwa na mtandao wa stevehemmerstoffer.com  na inaonesha muonekano wa simu hiyo vizuri kabisa ambapo unakupa nafasi ya kuhakiki baadhi ya sifa ambazo awali zilikua ni tetesi tu kutoka kwenye mitandao mingine duniani.



Kupitia video hiyo Kampuni ya Apple Inc inaonesha wameongeza kioo cha simu hiyo ikiwa ni pamoja na kuficha button ya katikati kwenye kioo ambapo inasemekana pia fingerprint sasa itakuwa kwenye kioo.



Kwa upande wa ukubwa wa simu hiyo video inaonesha itakuwa na urefu wa 137mm na upana wa 67.5mm ikiwa na tofauti ndogo na vipimo vya toleo lao la iPhone 7.



Sifa nyingine itakuwa na Wireless Charger, Camera ya mbele na Home Button zitakuwa kwenye kioo (Display), Kamera ya nyuma itakuwa na Mega Pixel 12 na ya mbele Mega Pixel 8 na gharama yake itakuwa ni zaidi ya dola $1000 sawa na Tsh milioni 2.2 kutegemeana na ukubwa wa simu.

Je, mdau wa simu za kampuni hiyo pendwa kabisa duniani umeupokeaji ujio wa simu hii? na muonekano wake unauonaje?
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images