Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Baba Diamond: Nitakufa na Mobetto na Migogo Yao Hayawezi Kunifanya Nimchukie

$
0
0
Baba Diamond: Nitakufa na Mobetto na Migogo Yao Hayawezi Kunifanya Nimchukie
BAADA ya hivi karibuni mwanamitindo Hamisa Mobeto kumpeleka mahakamani msanii wa Bongo Fleva kwa madai ya malezi ya mtoto aliyezaa naye, baba wa msanii huyo, Abdul Juma ameibuka na kusema hata iweje, yeye atakufa na mkwewe huyo kwani hayo mengine ni ya kwao, hayamhusu.
Akipiga stori na Risasi Jumamosi, mzee Abdul alisema anachojua yeye, Hamisa ni mkwe wake aliyempa heshima na kumtambua kama baba mkwe wake hivyo hata mwaliko aliompa wa kwenda kwenye sherehe ya mwanaye huyo aliyepewa jina lake la Abdul atakwenda kama kawaida kama atakuwepo, hajali kama wamepelekana mahakamani wala nini.

“Hayo mambo ya migogoro yao hayanihusu kwa kweli na hayawezi kunifanya nikamchukia Hamisa kwa kuwa ni ya kwao, nikiwepo Dar lazima niende kwenye sherehe ya mjukuu wangu Abdul wala sijali chochote,” alisema mzee Abdul.


SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumamosi

Mugabe Kumuandaa Mkewe Kuwania Urais

$
0
0
Mugabe Kumuandaa Mkewe Kuwania Urais
 Rais Robert Mugabe amekubali kugeuza kongamano la mwaka la Zanu PFlililopangwa kufanyika Desemba kuwa mkutano mkuu wa congress unaotarajiwa kutumika kumshusha Makamu wa Rais Emmerson Mnangagwa na kumpaisha mkewe Grace kuwania urais katika chama.

Kamisaa wa Taifa wa Zanu PF Saviour Kasukuwere ndiye aliyependekeza suala la mkutano wa congress alipokuwa anawasilisha ripoti yake kwenye kamati kuu ya chama Jumatano lakini ilibainika kuwa kinara huyo wa kundi la G40 alikuwa amepata ushauri kutoka majimbo matatu tu.

"Mugabe alisema utakuwa ukiukwaji wa taratibu hivyo akaagiza kamati ya maandalizi kuhakikisha ushauri umepatikana kutoka majimbo yote. Kutakuwa na vikao vya uratibu wa majimbo kutafakari suala hilo kuanzia mwishoni mwa wiki hii.

"Mkutano mkuu wa chama umepangwa ili kufanya mabadiliko ya katiba ili kuingiza kifungu cha kuwa na makamu wa rais mwanamke au kuanzisha makamu wa tatu wa rais,” mtu wa ndani alidokeza.

"Suala la urais limekamilika lakini misuguano ya ndani kuhusu kuwania mamlaka na umri wa Mugabe vimelazimisha kutafakari na Nyanja mbalimbali. Kumbuka kuwa Grace anataka madaraka na amekuwa akiomba awe makamu wa rais sambamba na Mnangagwa".

Msemaji wa Zanu PF, Simon Khaya Moyo amekataa kuzungumzia suala hilo.

Miezi miwili iliyopita Mugabe aliwataka wajumbe wa Zanu PF kufikiria kuingiza katika katiba nafasi ya makamu wa tatu wa rais. Hii ilikuwa baada ya mkewe kumtaka kiongozi huyo mkongwe wa Zanu PF kumtangaza mrithi anayempendelea katika mkutano mkuu wa wanawake.

Rais Magufuli: Kamwe Sitokubali Mbio za Mwenge Zifutwe Katika Uongozi Wangu

$
0
0
Rais Magufuli: Kamwe Sitokubali Mbio za Mwenge Zifutwe Katika Uongozi Wangu
RAIS John Magufuli ambaye leo Oktoba 14, 2017 ni Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge amesema amejisikia faraja kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ikiwa ni mara yake ya kwanza kushiriki maadhimisho hayo tangu awe Rais.
Aidha, Magufuli amemuelezea Hayati Mwl. Nyerere kama kiongozi shupavu alipeginani maslahi ya wanyonge na kupambana na wakoloni katyika kufanikisha kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika, Zanzibar na nchi nyingine za Afrika.
Amesema Nyerere alianza harakati za siasa mwaka 1953 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha TAA ambacho baadaye kilizaa TANU huku akiwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari ambayo kwa sasa inaitwa Pugu Sekondari ambapo baadaye aliacha kazi hiyo ya kiufundisha na kujikita kwenye siasa za ukombozi.
Magufuli piua amesema iwapo Mwl. Nyerere angekuwa kiongozi mwenye tamaa au mbinafs, basi angechukua fukwe zote za Msasani, jijini Dar es Salaam na kuzifanya ziwe za mali yake, lakini hakufanya hivyo kwa sababu ya uzalendo mkiubwa aliokuwa nao.
Rais amesisitiza kuwa kamwe hatokukubali mbio za Mwenge wa Uhuru zifutwe katika kipindi chake cha uongozi, kwani mwenge huo una manufaa makubwa kwa Taifa ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali za maendelo pamoja na kuwa nembo muhimu kwa Taifa letu.
Amesema wanaotaka mwenge huo ufutwe huenda hawajui historia ya nchi hii na kwamba kama wanaweza kukubali fimbo na kombe la dunia vikaletwa nchini na wakavipokea basi mbio za mwenge ni muhimu zaidi kuliko wanavyodhani.
Akizungumzia hali ya uchumi wa nchi, rais amekanusha wanaodai kuwa uchumi umeshuka huku akieleza kuwa uchumi wa Tanzania unazidi kupanda hukui mfumuko wa bei ukishuka na matokeo yake yanaonekana kwenye bidhaa pamoja na kushuka bei zake. Pia ameeleza kuongezeka kwa viwanda na wawekezaji wa kibiashara hapa nchini.

Wanafunzi Watano na Mlinzi Mmoja Wamepigwa Risasi na Kuuawa Katika Shambulio Kenya

$
0
0

Wanafunzi Watano na Mlinzi Mmoja Wamepigwa Risasi na Kuuawa Katika Shambulio Kenya
Wanafunzi watano na mlinzi mmoja wamepigwa risasi na kuuawa katika shambulio la asubuhi katika shule moja ya upili Kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Sudan Kusini.
Mashahidi wanasema watu watatu waliokuwa na silaha, mmoja wao akiwa mwanafunzi wa zamani walivamia mabweni katika Shule ya Upili ya Lokichogio leo asubuhi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo anasema kuwa mshambulizi mkuu alikuwa mwanafunzi wa zamani katika shule hiyo aliyefukuzwa kwenda shuleni baada kupigana na mwenzake.
Aliagizwa kurudi na wazazi wake lakini hakufanya hivyo.
Walioshuhudia walisema kuwa mwanafunzi huyo alirudi shuleni usiku wa manane na wenzake wawili.
Inadaiwa kuwa walimpiga risasi na kumuua mlinzi na kisha kwenda katika mabweni wakimtafuta mwanafunzi waliyepigana naye awali.
Mwanafunzi huyo hakuwa shuleni wakati huo na washambuliaji hao waliwapiga risasi na kuwaua wanafunzi watano na kuwabaka wasichana wawili.
Chama cha msalaba mwekundu kimesema kuwa kimewahamisha waliojeruhiwa hadi hospitalini.
Lokochogio iko karibu na mpaka wa Sudan Kusini na Ethiopia na wakaazi wengi wa eneo hilo hubeba bunduki na ni wachungaji wanaolinda mifugo wao dhidi ya wizi.

Rais Magufuli Amzungumza Maalim Seif

$
0
0
Rais Magufuli Amzungumza Maalim Seif
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa anatambua kuna watu Zanzibar walikuwa wanasubiri kuapishwa baada ya uchaguzi Mkuu 2015 lakini hatambua watu hao wameishia wapi hivi sasa.

Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa kwenye kilele cha mbio za Mwenge 2017 shereha ambazo zimefanyika Zanzibar katika uwanja wa amani, Rais Magufuli amedai kuwa watu ambao watajaribu kuchezea Muungano wa Tanzania na Zanzibar watashughilika nao kwani wao wataendelea kuupigania Muungano huo ulioasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
"Najua huku Zanzibar walikuwepo watu wamejiandaa kuapishwa, sijui wameishia wapi, tutaendelea kuupigania Muungano wetu, na yeyote ambaye atajaribu kuuchezea tutashughulika naye" alisisitiza Rais Magufuli
Mbali na hilo Rais Magufuli amewataka Watanzania kiujumla kuwa wavumilivu na hali ya uchumi wa sasa na kusema kuwa ni mapito na kuahidi kuwa mambo yatakaa sawa muda si mrefu hata kama hayatakuwa sawa sasa anaamini kuwa watoto na wajukuu wetu watakuja kukuta mambo yako vizuri kwani mageuzi yoyote yale huwa yanachukua muda.
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar 2015 baada ya uchaguzi kufanyika alijitangazia matokeo kuwa yeye ndiye mshindi wa nafasi ya Urais kabla ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutangaza mshindi.

Madee Afunguka Kuhusu Kutajwa Tajwa kwa Diamond

$
0
0
Madee Afunguka  Kuhusu Kutajwa Tajwa kwa Diamond
Kutokea Manzese ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘Sema’ aliomshirikisha msanii Nandy, Madee amelezea kile kilichokuwa kinaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu picha za mastaa za zamani walizokuwa na watu wanaodaiwa kuwa mapenzini.

Baadhi ya mastaa ambao picha zao zilisambaa kwenye mitandao na kusababisha sintofahamu kwa mashabiki wao…sasa Madee kasema hawezi kufanya kitu kama hicho akisema anaweza kupost picha ya mwanamke aliyemchumbia tayari kwa Kumuoa.

Mabli na hayo, Madee kazungumzia ishu ya staa mwingine Diamond Platnumz akisema ni staa, na vile anavyosemwa na kutajwa mara kwa mara wanamuongezea safari na kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo anazidi kufanya vizuri na kutojali nini kinaendelea kwenye mitandao.

Trump Atishia Kujiondoa Katika Mkataba wa Nyuklia wa Iran

$
0
0
Trump Atishia Kujiondoa Katika Mkataba wa Nyuklia wa Iran
Rais wa Marekani Donald Trump ameupuuzilia mbali mapatano ya kinyukilia na Iran na kutisha kuwa atajiondoa katika mkataba wa kimataifa unaohusiana na nyuklia iwapo bunge la Congress litakosa kuidhinisha mapendekezo yake.
Alitoa tangazo hilo kama sehemu moja ya kubadilisha msimamo kuhusiana na Iran ili Marekani iweze kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya Iran kuhusiana na uimarishaji wake wa makombora ya kisasa na uungaji wake mkono kwa makundi ya kigaidi katika mashariki ya kati.
Rais Trump amesema kuwa uongozi wa Marekani dhidi ya Iran ni ule wa kukabiliana na taifa sugu linalounga mkono ugaidi na si muhimu kuwa na mkataba ambao lengo lake ni kuzuia taifa hilo la Kiarabu kuimarisha zana zake za kinukilia.
Alishutumu mapatano hayo kama hafifu na akakataa kuthibitisha iwapo Marekani inanufaika vyovyote kutokana nao.
Alisema kuwa Bunge la Congress linapaswa kuchukua hatua kurekebisha hali hiyo.
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu vikwazo
Trump 'kujiondoa' mkataba wa nyuklia wa Iran
Marekani yaiwekea Iran vikwazo
Iran nyuklia: Mkurugenzi wa CIA amuonya Trump
Kwa sasa wanachama wengi wa Congress hawana moyo wa kutaka kufutilia mbali mkataba huo, badala yake wanasema kuwa wako tayari kushirikiana na Bwana Trump kuufanyia ukarabati.
Mataifa ya Ulaya yamesema kuwa sio wajibu wa Marekani kuufanyia marekebisho mkataba huo kwa sababu utengenezaji wake ulishirikisha mataifa mengine matano na kuidhinishwa na Umoja wa Mataifa.
Ulaya inasema kuwa Bunge la Congress linapaswa kufikiria kwa undani matokeo ya usalama ya hatua yoyote kuhusiana na mapatano hayo kabla ya kufanya marekebisho.
Iran imesema kuwa haina nia ya kufanya mashauriano mapya wala kushinikizwa na mataifa yoyote ya kigeni.
Hatahivyo Rais Trump amesema kuwa anakusudia kuimarisha vikwazo dhidi ya Iran huku akisisitiza kwamba atatilia kipao mbele kikosi maalumu cha kijeshi nchini humo kijulikanacho kama Revolutionary Guards.

Gigy Money: Nachukia Umalaya Unashusha Hadhi ya Mwanamke

$
0
0
Gigy Money:  Nachukia Umalaya Unashusha Hadhi ya Mwanamke
Msanii wa Bongo Fleva na Video Queen, Gigy Money amefunguka kuwa moja ya vitu anavyovichukia katika maisha yake ni umalaya huku akidai tabia hiyo inashusha hadhi ya mwanamke.

Gigy Money amesema anajua kuwa kuna wanawake wanaishi mjini kwa kazi hiyo lakini yeye hawezi kufanya kazi hiyo na ndio kazi anayoichukia maishani mwake.

“Nachukia sana kazi ya umalaya najua watu wengi hasa wasichana wengi wanaifanya na wanaipenda ila haina faida kubwa, faida yake ni ya muda mfupi,“amesema Gigy Money kwenye mahojiano yake na Bongo5 jana (Ijumaa) kwenye sherehe ya Mtoto wa Hamisa Mobetto.

Hata hivyo, Gigy Money amekiri wazi kuwa alishawahi kudanga kipindi cha nyuma lakini kwa sasa ameacha tabia hiyo.

Mobetto: Hakuna Kipya kwa Daimond Miaka Tisa Iwje Leo Naambiwa Namtumia Mtoto

$
0
0
Mobettto: Hakuna Kipya kwa Daimond Miaka Tisa Iwje Leo Naambiwa Namtumia Mtoto
Kama bado unaamini kuwa Hamisa Mobeto anamtumia mtoto wake kujiweka karibu na Diamond, ujumbe huu unakuhusu.

Hamisa amewashangaa watu wanaodai kuwa anamtumia mtoto wake na kudai kuwa hana sababu ya kufanya hivyo.

Mrembo huyo amesema kuwa hakuna kipya anachokiona kwa Diamond kwa sasa kwani amekuwa naye kwa miaka tisa.

 "Sioni kipya wala cha ajabu mtu nimeshakuwa naye kwa miaka tisa, iweje leo niambiwe namtumia mtoto,"

 Kuhusu utata wa jina la mtoto wake Hamisa amesema akiwa na ujauzito yeye na Diamond walikubaliana wamuite mtoto huyo Abdul Latif.

 "Alitaka aitwe hivyo ili lifanane na mwane Latifa, lakini baadaye akasema aitwe Daylan ili liendane na Nillan. 

 "Kuna wakati alikataa ujauzito hadharani nami nikaamua mwanangu aitwe Abdulnaseeb ila kwa sasa nimekubali anaitwa Dylan Abdul Naseeb," amesema

Weah Aendelea Kuongoza Matoko ya Uchaguzi

$
0
0

Mwanasoka nyota wa zamani wa kimataifa wa Liberia, Seneta George Weah bado ameendelea kuongoza matokeo ya urais yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana Ijumaa huku Makamu wa Rais Joseph Boakai akimfuatia kwa karibu.

Baada ya theluthi moja ya kura kuhesabiwa kutoka katika vituo vya kupigia kura zaidi ya 5,000, Weah amejikusanyia asilimia 39.6 huku Boakai wa chama tawala cha Unity Party (UP) akipata asilimia 31.1.

"Tunaamini kwa uhakika kwamba bado kuna maeneo ambako tuna wafuasi wengi...Tuna uhakika kwa ripoti zinazotufikia, UP itaongoza," Boakai aliliambia shirika la Reuters baada ya matokeo kutangazwa Ijumaa.

Mwanasheria Charles Brumskine, anashika nafasi ya tatu baada ya kujikusanyia asilimia 9.3 ya kura zilizohesabiwa.

Ikiwa mchuano utaendelea hivi, upo uwezekano uchaguzi wa marudio kati ya vinara wawili wa mwanzo utaamua mtu wa kurithi Ikulu inayoachwa na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Ellen Johnson Sirleaf anayemaliza muda wake.

Kwa mujibu wa NEC matokeo ya mwisho yaliyohakikiwa kutokana na uchaguzi uliofanyika Oktoba 10 yatatangazwa Oktoba 25, ingawa kwa ujumlishaji huu mshindi atajulikana hata kabla.

Weah, aliyewahi kutamba alipozichezea klabu za Paris Saint-Germain ya Ufaransa na AC Milan ya Italia na ambaye alitangazwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, alishika nafasi ya pili nyuma ya Johnson Sirleaf mwaka 2005 aliyemaliza miaka kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha vifo vya maelfu ya raia.

Kuanzia mwaka 2014 amekuwa Seneta kupitia chama cha upinzani cha Congress for Democratic Change (CDC).

Ndege ya Mizigo Yaanguka Baharini Ivory Coast

$
0
0
Ndege ya Mizigo Yaanguka Baharini Ivory Coast
Ndege moja ya mizigo imeanguka katika bahari ya taifa la Ivory Coast , muda mfupi baada ya kuondoka mji mkuu wa Abidjan huku watu watatu wakidaiwa kufariki na wengine wakijeruhiwa.
Mabaki ya ndege hiyo aina ya Turboprop yalisombwa hadi katika ufukwe ambapo waokoaji walionekana wakiwatibu watu walionusurika.
Ndege hiyo ilikuwa ikibeba mizigo ya jeshi la Ufaransa, kulingana na duru za mtandao wa Koaci.

Shahidi mmoja ameambia chombo cha habari cha Reuters kwamba watu wanne walifariki: miili miwili ikitolewa kutoka kwa ndege hiyo huku mingine miwili ikionekana katika mabaki ya ndege hiyo.
Lakini vyombo vya habari na tovuti ya Ivoire Matin iliripoti vifo vya watu watatu huku watu sita wakijeruhiwa.

Kulingana na mtandao huo , watu 10 walikuwa wameabiri ndege hiyo wakati ilipoanguka.
Ndege hiyo imedaiwakutengezwa nchini Ukrain

Kikwete Afunguka Anavyoumwizwa na Wanaopinga Maendeleo ya Nchi

$
0
0
Kikwete Afunguka Anavyoumwizwa na Wanaopinga Maendeleo ya Nchi
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amefunguka na kuonyesha kuwa anaumizwa na watu ambao wanapinga maendeleo ya nchi hivyo amemuomba Mungu awaanike watu hao ambao wanapinga maendeleo ili wafahamike.

Ridhiwani Kikwete amesema hayo leo Oktoba 14, 2017 siku ya kilele cha mbio za Mwenge nchini na kumbukumbu ya miaka 18 ya kifo cha mwalimu Nyerere ambao sherehe hizo kitaifa zimefanyika Zanzibar katika uwanja wa Amani.
"Ewe Mwenge mulika wapinga maendeleo, tuwajue..mulika wala rushwa, uwaumbue....Mulika wezi wa mali ya umma...wadhibitiwe...mulika amani yetu, tuihinue. Mjaalie kiongozi wetu Dr.John Magufuli utumishi uliotukuka. Wajaalie na wasaidizi wake kuchapa kazi" aliandika Ridhiwani Kikwete

Aidha Ridhiwani Kikwete amesema kuwa Mwenge wa Uhuru nchini unafaida nyingi sana ikiwepo kuangalia miradi inayofanywa na wananchi na serikali na maendeleo yanayofanyika katika maeneo mbalimbali hasa maeneo ya vijijini.

Zari Asimamisha Shughuli Mlimani City

$
0
0
Zari Asimamisha Shughuri Mlimani City
Mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zari mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube.

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kufanya manunuzi katika maduka hayo walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka kumuona Zari huku wakiimba wifi... wifi.

Purukushani zilitawala nje ya duka hilo wakati kila mmoja akijaribu kumsukuma mwenzake ili aweze kumuona Zari aliyekuwa ameketi katika makochi akizungumza na wafanyakazi.

Watu walivutiwa kumuona mwanamke huyo kutokana na hivi karibuni kupamba vichwa vya habari baada ya Diamond kukiri kuzaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Ujio wa Zari nchini amekuwa na mvuto kwa kuwa mashabiki wamekuwa wakilinganisha matukio katika maisha ya Diamond, Zari na Hamisa.

Siku moja kabla ya Zari kutoa tangazo kuwa angeshiriki uzinduzi wa duka jipya la Danube, mwanamitindo Hamisa aliweka tangazo la duka hilo ambalo liliwahi kufanywa na Diamond na Zari mapema mwaka huu.

Katika tangazo hilo Zari alisikika akimpiga kijembe mwanamke aliyeacha hereni nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar es Salaam akimtaka aende akachue.

Katika posti yake kwenye mtandao wa Instagram, Hamisa aliandika: “It’s about time nifuate hereni zangu, I hope they are still there.” Akimaanisha umefika wakati nifuate hereni zangu, nadhani zitakuwepo.

Rais Magufuli Amewapandisha Vyeo na Kuongeza Mishahara Watumishi 59, 967

$
0
0

Rais Magufuli Amewapandisha Vyeo na Kuongeza Mishahara Watumishi 59, 967
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa serikali ya awamu ya tano imewapandisha vyeo na kurekebisha mishahara ya watumishi 59,967 baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti feki na hewa kukamilika.

Rais Magufuli amesema hayo leo kwenye sherehe za maazimisho ya mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu za miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa  Mwalimu Nyerere sherehe ambazo zimefanyika visiwani Zanzibar.  Rais Magufuli katika hotuba hiyo alitolea mfano uzalendo wa Baba wa Taifa ambaye aliamua kupunguza mshahara wake na kukata kuongeza mishahara ya watumishi wachache huku walio wengi wakipata shida.
“Ninaposema hivyo simaanishi kuwa mishahara isiongezwe. La hasha. Ninachosema ni kwamba kabla ya kudai nyongeza ya mishahara ni lazima kwanza kufahamu uwezo wa Serikali, lakini pia tutambue kuwa kuna Watanzania wenzetu wengi tu wanaohitaji kuboreshewa huduma"
Raio Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa
"Hata hivyo baada ya kukamilisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa na vyeti feki, Serikali imewapandisha vyeo na kuwarekebishia mishahara watumishi 59,967 ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 159.33 zimetengwa kwenye bajeti ya mwaka huu na mishahara mipya itaanza kulipwa kuanzia mwaka huu. Na kwa upande wa Zanzibar kima cha chini cha mshahara kimeongezwa kutoka Shilingi 150,000/- hadi kufikia Shilingi 300,000/-”  Amesema Mhe. Rais Magufuli.
Mbali na hilo Rais Magufuli aliwataka vijana kuendelea kujielimisha katika mambo mbalimbali na kuwataka kutojihusisha na masuala ya madawa ya kulevya na kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI.

Mwanamke Anayetaka Nimpe Mimba Aweke Hela Mezani – Calisah

$
0
0
Mwanamitindo Calisah ambaye haishiwi vituko, ameibuka kwa kudai kuwa anakusudia kufungua duka la kuwapa mimba wanawake.


Calisah amedai anakusudia kufanya hivyo ili awasaidie wanawake wanaotaka kuzaa watoto wenye muonekano mzuri kama yeye, na wale ambao waume zao hawawezi kuzalisha kutokana na umri kuwa mkubwa (vibabu).

“Suala la kuzaa mimi mwenyewe ni kitu ambacho nilikuwa na plan nacho kwa sababu nimeshatoka na wanawake wengi, sema sikuwa tayari kuzaa mi bado kijana mdogo, hawa wote nilikuwa nao tu kwa mambo mengine, lakini kama kuna mtu atataka tuzae, naweka tu bao langu napiga inatoka pair flan kali, najua mtoto wangu atakuwa na maisha mazuri”, Calisah aliiambia Enewz ya EATV.

Aliongeza, “Tunawajua wanawake wengi sana wazuri ambao wanaishi na wazee wana mapengo lakini ana hela, anajikuta anazaa naye kisa hela, tusijidharau wanaume, kwa hiyo mtu anakuja na mpunga wake nafanya chochote kwa pesa, mi kidume nanyoosha tu, aje tu na hela, kama wanawake wazuri wanatembea na watoto wazuri, kwa nini sisi wanaume tusifanye hivyo? Anakuja anatoa hela, tunapiga tunatoa pair yetu”.

Hamisa Mobeto Afunguka Mambo Makubwa Kwenye Party ya Mtoto Aliezaa na Diamond

$
0
0
Kama ulikua umepitwa basi angalia video hii upate kuona in summary mambo makubwa ambayo yalisemwa kwenye Prince Dee’s Party utashangaa na roho yako

Aongelea hali yake na Zari , historia yake ya kusisimua na Mondi, na mengineo yote utayapata kwenye hio Video in summary.

VIDEO:

Watu Wafurika Kumuangalia Zari Mlimani City.

$
0
0
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.

Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi

Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.

Kutana na The Great Maalim Hussein Aweze Kutatua Matatizo yako Kwa Tiba za Asili, Dua na Nyota..

$
0
0

THE GREAT MAALIM HUSSEIN
Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1.
Maalim Hussein ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu)

MAALIM HUSSEIN ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika.
(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..)

Je Unasumbuliwa na Mapenzi..?
Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda
Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio?
Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo..
Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu.
Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..?
Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao (Mfarakano/Kimavi) Endapo Utafata Atakacho Kuelekeza.
Je Una Mpenzi wako ana Pesa na unataka Kumkamata? Muone Maalim Hussein Atamfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi..
Maalim Hussein Anatumia Jina La Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo..
Anatibu Kutumia QUR_AN DAWA ZA ASILI YA AFRICA, Dawa za KIARABU NA MAJINI..
ANATAFSIRI NDOTO. ANAPANDIKIZA NYOTA YA KUSHINDA BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUSKI NA VIFUNGO MBALIMBALI.

ZINDIKO ZA NYUMBA NA BIASHARA.. PETE ZA BAHATI.. HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA. HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA..
MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA..ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA  ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE..

Humaliza Kesi ya Aina Yoyote Ndani ya Siku 7 tu..

Hutoa Jini la MALI kwa wale Wanao Hitaji Utajiri Bila Masharti..
+255 674 835 107

Calisah Aeleza Kwanini Alishindwa Kumpachika Mimba Wema (Video)

$
0
0
Mwanamitindo wa kiume ambaye kwa sasa anatikisa katika mitandao ya kijamii, Calisah amefunguka mapya baaada ya kudai kuwa anafanya biashara ya kuwapachika mimba wanawake ambao wanatafuta watoto kwa gharama nafuu.  Model huyo ameiambia Bongo5 kwanini alishindwa kumpachima mimba mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu ambaye amekuwa akitamka hadharani kwamba anataka mtoto na amekuwa akitafuta kwa muda mrefu.

 VIDEO:
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images