Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live

Naibu Waziri Mavunde Kalazwa Morogoro

$
0
0
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali.

Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia Jumapili baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu

Kituo kikubwa cha runinga duniani chatoa pongezi kwa Diamond Platnumz

$
0
0

Kituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao was iTunes nchini Burkina Faso.


Diamond Platnumz

Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika |”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi nchini Burkina Faso kwenye mtandao wa iTunes”.


Congratulations @diamondplatnumz for having the first 5 songs on the Burkina Faso iTunes Top Songs list


Jumatano Machi 14, 2018 Diamond Platnumz alizindua album yake ya ‘A BOY FROM TANDALE’ jijini Nairobi nchini Kenya.

Nyimbo MPYA: Maua Sama Kawaletea Zawadi Mashabiki zake Hii Inaitwa “Nakuelewa”

$
0
0

Msanii Maua ametuletea wimbo wake mpya unaitwa “Nakuelewa”  Hii ni baada ya ule wa Katu Katu ambao unafanya vizuri mtaani, wimbo huu mpya umetayarishwa kwa Producer Abba karibu kuusikiliza.

SHINDA GARI LA BUREEEE!!!

$
0
0
Jee!! Katika Maisha yako umewahi kuwa na ndoto ya kumiliki Gari lako?  Kama jibu ni Ndio Basi Kampuni ya Kijapan inakupa Fasi ya kushinda Gari Buree yani Buree bila kulipa chochote..

Chakufanya ni kubofiya neno SHINDA GARI  hapo chini na kisha Bonyeza Neno APPLY NOW kwa kujisajili...

Kumbuka huduma hii ni ya Bure kabisaaaaa...


>> SHINDA GARI <<

>> SHINDA GARI <<

>> SHINDA GARI <<

Simon Msuva huyoo hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

$
0
0
Klabu anaiyoichezea Mtanzania Simon Msuva, El Jadida FC ya Morocco, imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

El Jadid imefuzu kuingia hatua hiyo baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 kwenye mchezo wa leo dhidi ya AS Vita uliopigwa nchini Congo.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa mjini Morocco, Jadid walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Jadid inaingia hatua hiyo kwa kuwa na jumla ya mabao 3-2 katika Aggregate.

Raila Odinga awatetea waathirika wa ghasia za uchaguzi..Sasa Kulipwa Fidia

$
0
0
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya Nasa, Raila Odinga ameweka wazi walichoongea na Rais Uhuru Kenyatta, walipokutana mapema mwezi huu na kwamba waathirika wa ghasia za uchaguzi za mwaka 2017 watalipwa fidia na serikali.

Bw. Odinga amesema kuwa pamoja na fidia kulipwa jambo jingine walilokubaliana na Rais Kenyatta ni kufuta kesi za watu walioshiriki kuapishwa kwake, Januari 30 mwaka huu.

Walipokutana viongozi hao wawili walikubaliana kuzika tofauti zao za kisiasa kwa maslahi ya taifa la Kenya ingawa kumekuwa na shauku kubwa miongoni mwa wanasiasa na wananchi kuhusu masuala zaidi waliyokubaliana.

Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Odinga walikutana Ikulu Machi 9  ambapo baada ya mazungumzo yao wote walisema kuwa wamekubaliana kuiganisha Kenya kwani nchi hiyo ni kubwa kuliko wao.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 19

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 19

Harmorapa Amtolea Povu Uchebe na Kudai Ameolewa na Shilole

$
0
0
Rapa wa muziki wa Bongo fleva Harmorapa aliyejipatia umaarufu Kwenye mitandao ya kijamii kwa vituko vyake amerudi tena  na safari hii yuko na Shilole pamoja na mumewe Uchebe.

Harmorapa ameibuka na kudai kuwa Mwanamuziki wa Bongo fleva Shilole amemuoa mumewe Uchebe. Huku akidai kuwa kitendo cha Uchebe kuacha kazi yake ya ufundi gereji na kumtegemea mke wake ni sawa na kuoelewa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmorapa amerusha dongo hili lililowaelekea Uchebe na Shilole:

"Uchebe mtoto wa kiume umeacha Kupiga  spana umekimbilia Kuolewa. Kwa nini badgirlshishi akuosheshe vyombo? Uchebe mtoto wa kiume rudi gereji ukapige spana la sivyo utapigwa sana vibao na shishi na kufulishwa mpaka chup*, sura yenyewe imekukunjika kama yangu utafikiri tumetoroka kwenye zui la manyani/ hiyo ndio faida ya wanaume marioo vibenteni demu wanahudumia masponsa mzigo tunakula sisi kimya kimya na chup* tunachafua sisi wahudumiaji alafu  vibenteni kama Uchebe kazi yao kutakatisha chup*”.

Shilole na Uchebe walifunga ndoa mwaka jana mwishoni, kabla hawajaoana Uchebe alikuwa fundi magari gereji lakini baada ya kufunga ndoa amekuwa akionekana kila mahali na Shilole akimsindikiza kwenye shoo zake zote hali iliyozua maneno maneno.

Zitto Kabwe Alishitaki Jeshi La Polisi Mahakamani

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo, Kabwe Ruyagwa Zitto amefunguka na kusema kuwa chama chake tayari kimefungua kesi ya Kikatiba katika mahakama Kuu Dar es Salaam kulishtaki jeshi la polisi.

Zitto Kabwe amesema hayo leo Machi 13, 2018 wakati akitoa tathmini ya ziara alizofanya kutembelea Madiwani katika kata mbalimbali nchini zinazoongozwa na ACT Wazalendo ambapo amedai katika ziara hiyo wamebaini mambo mengi ikiwa pamoja na hali ya maisha kuwa ngumu sana, migogoro ya ardhi, kukosekana kwa huduma ya Maji safi na salama, ukosefu wa huduma bora za afya, tatizo la Miundombinu ya Usafirishaji.

Kiongozi huyo aliendelea kuweka wazi mambo mbalimbali ambayo wamefanikiwa kuyaona katika ziara hizo kuwa ni pamoja na  ukosefu wa pembejeo za Kilimo, ukosefu wa masoko ya mazao ya wavuvi, wakulima na wafugaji, kushuka kwa bei ya mazao yao, kupanda kwa gharama za maisha ya watu, kupanda kwa gharama za vifaa vya ujenzi, upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, vyoo pamoja na walimu, na kuzorota kwa hali ya usalama wa wananchi pamoja na mali zao, hali mbaya ya ajira kwa vijana pamoja na uminywaji mkubwa wa demokrasia na uhuru wa watu kukusanyika na kujieleza.

"Tumefungua Kesi ya Madai Na. 8/2018 Mahakama Kuu hapa Dar Es Salaam, kulishtaki Jeshi la Polisi, kutokana na Jeshi hilo kuingilia, visivyo halali shughuli, ziara yetu ya kuhamasisha maendeleo katika Kata tunazoziongoza. Tunaamini Mahakama itatenda haki kwenye suala hili" alisema kiongozi huyo

Aidha Zitto Kabwe ametoa ushauri kwa serikali kuhusu suala la Demokrasia nchini na kusema kuwa mazungumzo ya kitaifa ndiyo yanaweza kuwa na jibu kuhusu masuala haya na kuleta utatuzi juu ya jambo hili.

"Demokrasia na Ustawi wa Taifa tunaendelea kusisitiza rai yetu kuhusu umuhimu wa kuitisha Mkutano wa Kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kama jukwaa la kuzijadili changamoto za uendeshaji wa siasa nchini. Jambo hilo litaondoa uadui unaoendelea kukua sasa kati ya serikali na wananchi, viongozi wa dini, mashiriki yasiyo ya Kiserikali, taasisi za wanafunzi, pamoja na vyama vya Upinzani. Tunaamini mazungumzo ya Kitaifa ndio jambo sahihi la utatuzi wa suala hili" alisisitiza Zitto Kabwe

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha

$
0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN na Nyota

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

 ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO   HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, NA KUPONYA MAGONJWA SUGU ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

JE UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:

Mobile +255 654-836970
WhatsApp 0622766715 

Simba Baada ya Kutolewa kwenye Mashindano Kutua Leo Dar

$
0
0
Simba Baada ya Kutolewa kwenye Mashindano Kutua Leo DarBAADA ya kung’olewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho, Simba wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu.

Simba inarejea Dar es Salaam kupitia Addis Ababa, Ethiopia na baada ya hapo wachezaji watakuwa na mapumziko mafupi.

Kikosi cha Simba kinatarajia kutua nchini saa 3:15 asubuhi kikitokea mjini Port Said, Misri ambako kilitoka sare ya bila kufungana na Al Masry na kung’olewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho.

Simba iling’olewa kwa mabao ya ugenini iliyowapa Al Masry kwenye mchezo wa kwanza wa timu hizo jijini Dar es Salaam ulioisha kwa sare ya mabao 2-2.

Lakini juzi kwenye Uwanja wa Al Masry, Port Said nchini hapa, timu hizo zilitoka suluhu na Simba kuyaaga mashindano. Hata hivyo, vijana hao wa kocha Mfaransa, Pierre Lechantre walipoteza nafasi kadhaa ambazo zingeweza kuwapa bao na kusonga mbele.

Penny: Ningemzalia Mtoto Daimond Lakini....

$
0
0
Penny: Ningemzalia Mtoto Daimond Lakini....
KITAJA orodha ya mastaa wa kike Bongo ambao siku za nyuma walisumbua kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, basi huwezi kuacha kutaja jina la Mtangazaji wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungwilwa ‘Penny’.

Mtangazaji huyo alijizolea umaarufu mkubwa baada ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Afro-Pop mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kabla ya kumwagana. Penny aliingia kwenye uhusiano na Diamond huku akijua kuwa jamaa huyo alikuwa ni shemeji yake kwa staa mkali wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambaye walikuwa ni mashosti.



Penny amefanya mahojiano maalum ya ana kwa ana na Ijumaa Wikienda na kufungukia tetesi zinazosambaa kuwa amerudisha majeshi kwa Diamond na ndiye mkewe mtarajiwa;

Over ze Weekend: Ukimya wako Penny unawapa hofu mashabiki wako, kulikoni?

Penny: Siyo kwamba niko kimya, bali unapokuwa busy na kazi, watu wanajua labda haupo maana mambo ya huku na kule unakuwa huna.



Over ze Weekend: Hivi karibuni ulitupia picha mbalimbali kwenye ukarasa wako wa Instagram ambapo mashabiki wengi walikupongeza na kusisitiza kuwa wewe ndiye mrithi wa Madale (nyumbani kwa Diamond) baada ya Zari kubwaga manyanga, unalizungumziaje hilo?

Penny: (Kicheko) unajua hao ni mashabiki, wana uwezo wa kusema chochote wanachokifikiria akilini mwao na huwezi kuwakataza kwa sababu wana uhuru wa kuniambia chochote.


Penny.

Over Ze Weekend: Lakini pia dada wa Diamond, Queen Darleen naye alitupia picha yako kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo ilizua gumzo kuwa umerudisha mapenzi kwa kaka yake, je, nini mtazamo wako?

Penny: Kwanza ikumbukwe kabisa Darleen ni rafiki yangu sana tangu kitambo. Kufanya hivyo sioni kama ni tatizo kabisa kwa sababu familia yote ya Diamond sina tatizo nayo, lakini kurudiana na Diamond siwezi.

Over Ze Weekend: Kwa nini huwezi?

Penny: Kwa sababu alishakuwa na maisha yake mengine ya kimapenzi na mimi hivyohivyo.



Over Ze Weekend: Kwa hivi sasa inajulikana wazi kuwa Diamond ameshaana na Zari, je, akijipanga kuja kutoa posa kwenu utaridhia?

Penny: Siwezi kukubali kuolewa naye hata siku moja maana mapaenzi yalishaisha, hayapo tena.

Over Ze Weekend: Kwa kuwa Diamond ametangaza kuoa mwaka huu, nini ushauri wako juu ya amuoe nani kati ya Hamisa, Zari na Wema?



Penny: Kwa mimi wa kumuoa hapo kwanza yeye angalie mwanamke anayempenda kwa dhati, anayejua kuangalia familia na kumshauri vyema katika kazi zake na pia asithamini sana starehe badala ya maendeleo.

Over Ze Weekend: Mastaa wengi sasa hivi wamejaliwa watoto na pia wanajivunia, vipi kwa upande wako?

Penny: Hata mimi napenda mtoto pia, lakini kamwe nilishaapa lazima nizae na mwanaume wa malengo na baba bora.


Diamond.

Over Ze Weekend: Kwa hiyo kipindi uliposhika mimba ya Diamond na ikachoropoka alikuwa ni baba bora?

Penny: Siwezi kusema sana, ningemzalia, lakini bado alikuwa na mambo mengi.

Over Ze Weekend: Kipindi cha nyuma ulikuwa na bifu na Wema baada ya kuwa na Diamond, lakini mlilimaliza ila hamjawahi kuonekana pamoja hata siku moja kwenye ishu yoyote, kulikoni?

Penny: Hapana…hatuna tatizo lolote, ila imetokea yeye anakuwa na kampani yake na mimi hivyohivyo na tunapokutana tunafurahiana sana.

Over Ze Weekend: Kuna madai kuwa mara nyingi unapokuwa na mpenzi akikuudhi huchelewi kunywa sumu, je, hili likoje?

Penny: (Anaguna)…hao watu sasa wanaongeza chumvi, kwa hiyo hata mtu akilazwa hospitalini akisumbuliwa na ugonjwa fulani watasema sumu?

Over Ze Weekend: Asante Penny kwa usahirikiano wako.

Penny: Karibu, nawapenda wasomaji wa Ijumaa Wikienda na ndilo gazeti langu, siwezi kulikosa kila Jumatatu.

Mwanamke Auawa Kikatili kwa Kunyongwa na Watu Wasiojulikana

$
0
0
Mwanamke Auawa Kikatili kwa Kunyongwa na Watu WasiojulikanaWatu wasiojulikana wamemnyonga hadi kufa Salome Paschal (30) mkazi wa Kijiji cha Zunzuli katika Kitongoji cha Kituli, Kata ya Salawe wilayani Shinyanga na kisha kuutupa mwili wake kwenye kichaka.

Akizungumza leo Jumapili Machi 18, 2018 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba, polisi wanaendelea kufanya uchunguzi kwa aliyehusika na mauaji ya hayo.

Akisimulia tukio hilo, mume wa Salome aitwaye Isaya Mshomari amesema mkewe ameuawa Machi 17, 2018 saa nane mchana kwa maelezo kuwa alimuaga kuwa anakwenda sokoni kununua mahitaji ya nyumbani kisha aje awapikie wafanyakazi waliokuwa shambani.

   

Bodi ya Mikopo Yavunjwa

$
0
0
Bodi ya Mikopo YavunjwaMkuu wa Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, Juma Sweda ameivunja bodi ya chama cha kuweka na kukopa fedha kwa vijana wilayani humo baada ya kugundulika watumishi 25 na wajumbe kujipatia jumla ya fedha Milioni 17 kinyume na utaratibu.


Bw. Sweda amefanya maamuzi hayo kufuatia watumishi hao kujiunga kwenye chama hicho bila kuwa na sifa pamoja na kushindwa kurejesha fedha walizokopa tangu mwaka 2014 na kuagiza Jeshi la Polisi wilayani Misungwi mkoani humo kuwakamata.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuwa ili kukinusuru chama hicho ameivunja bodi hiyo ili kuweza kupata viongozi watakaokuwa na sifa lakini pia na wanachama wenye sifa ya kuwa vijana.

Vladimir Putin Ashinda Urais kwa Kishindo ... Akataa Kubadirisha Katiba

$
0
0
Vladimir Putin Ashinda Urais kwa Kishindo   ... Akataa Kubadirisha Katiba
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya kujipatia ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 76 katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika jana Jumapili, Machi 18 nchini humo.



Akizungumza katika mkutano wa kutangazwa mshindi, Putin alisema ushindi wake ni matokeo ya hatua kubwa ya mafanikio aliyoyafikia katika uongozi wake huku akieleza kuwa huo ni uthibitisho wa kukubalika kwa sera zake na kwamba hana mpango wowote wa kufanya marekebisho ya katiba na kusisitiza umoja na mshikamano.



“Hadi hapa sina mpango wowote wa kufanya marekebisho yoyote ya katiba, kuhusiana na unyekiti na serikali kwa ujumla. Nilikwisha sema awali kwamba nafikiria suala hilo. Lakini kuanzia leo naanza kufikiria kwa undani, kwa sababu nilipaswa kusubiria matokeo ya uchaguzi kwanza,” alisema Putin.



Akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari Putin alikwepa swali alilotakiwa kueleza kama atagombea katika muhula ujao pia.

“Kwangu kile mnachotaka kuniuliza inakuwa kama mizaha Fulani hivi, hebu tuhesabu, ina maana nitasalia madarakani hadi nikiwa na miaka 100? Hapana hapana hapana.”

Ushindi huu mkubwa ambao ulitarajiwa, umekuwa na ongezeko la kura ikilinganishwa na ushindi wa asilimia 64 mwaka 2012. Ambapo mpinzani wa karibu wa Putin milionea Pavel Grudinin alipata asimilia 12.


Wastara Aamua Kuwasaidia Wanawake Wenye Maisha Magumu

$
0
0
Wastara Aamua Kuwasaidia Wanawake Wenye Maisha Magumu
Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, amesema kuwa ameamua kujitolea kusaidia wanawake wote wenye maisha magumu wakiwemo wanaoishi katika mazingira hatarishi, waliozalishwa na kutelekezwa na wenye matatizo mbalimbali.

Wastara ambaye ni balozi wa kusaidia wanawake nchini, ameshatembelea nchi mbalimbali ikiwemo Kongo na Burundi, kukusanya taarifa za wanawake wanaoishi kwenye mazingira magumu, amesema yeye kama mwanamke anaguswa na matatizo ya wanawake wenzake hivyo ana kila sababu ya kuwasaidia ili nao waishi katika maisha ya raha kama watu wengine.

Utafiti: Upungufu wa Mbegu za Kiume Unahatarisha Maisha

$
0
0
Utafiti: Upungufu wa Mbegu za Kiume Unahatarisha MaishaWanaume wenye mbegu chache za kiume wako katika hatari ya kupata magonjwa kulingana na utafiti mpya.

Utafiti uliofanyiwa wanaume 5.177 ulibaini kwamba wanaume wenye mbegu chache za kiume wana mafuta mengi mwilini , shinikizo la damu na mafuta machafu katika mishipa ya damu.

Pia wana uwezo mkubwa wa viwango vidogo vya homoni za kiume. Waanzilishi wa utafiti huo wamesema kuwa , wanaume wenye mbegu chache za kiume pia ni muhimu kufanyiwa vipimo vyengine vya magonjwa mengine.

Hivi karibuni nchini Tanzania kumeshamiri kwa uwepo wa matangazo mbalimbali ambayo mengine ni rasmi na mengine sio rasmi kuhusiana na dawa za asili haswa za kuongeza nguvu za kiume lakini sasa serikali ya nchi hiyo imethibitisha matumizi ya dawa tano za asili.

Huku miongoni mwa dawa hizo ni dawa ya 'Ujana' ambayo kazi yake ni kusaidia kuongeza nguvu za kiume wakati dawa nyingine zikiwa Sudhi, Vatari, IH Moon na Coloidal Silver ambazo kazi yake ni kukemea vimelea mbalimbali.

Baraza la dawa nchini humo limesema hatua hii imekuja baada ya uchunguzi wa kina uliofanywa na kubaini kuwa dawa hizo hazina madhara kwa afya ya binadamu hivyo hawana budi kuzikubali.

Aidha Paul Muhame ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa dawa za asili nchini Tanzania anasema baada ya baraza kupitisha vigezo vyote vilivyohitajika kutoka katika dawa hizo na mamlaka ya dawa na chakula wamethibitisha hilo.

"Suala la muhimu ambalo tumeliangalia zaidi ni usalama wa mtumiaji lakini katika upande wa kuthibitisha kuwa dawa hizo zinaponyesha au la, linabaki kwa mnunuaji na mtumiaji wa dawa hiyo''.

'Hatari'

Upungufu wa mbegu za kiume na matatizo ya ubora wa mbegu hizo ni maswala yanayoathiri mmoja kati ya wanandoa watatu kushika mimba kulingana na utafiti huo uliofanywa nchini Uingereza.

Lakini katika utafiti huu mpya wanasayansi walichanganua wanandoa wasioweza kupata watoto nchini Itali kujua iwapo ubora wa mbegu hizo pia unaathiri afya ya mtu kwa jumla.

Waligundua kwamba wanaume wengi walio na mbegu chache walikuwa na matatizo kadhaa ya kiafya ikiwemo mwili ulionenepa na shinikizo la damu.

Hatua hiyo huongeza hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari, magonjwa ya moyo na kiharusi.

Wanaume hao pia walionekana kuwa na viwango vya juu vya kuwa na homoni chache za kiume ambazo hupunguza ukubwa wa misuli na mifupa na huenda vikasababisha ugonjwa wa kudhoofika kwa mifupa.

Daktari Albert Ferlin ambaye aliongoza utafiti huo , alisema: Wanaume wasio na rutuba hukumbwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kuhatarisha hali yao ya maisha na kupunguza kiwango cha maisha wanayoishi. ''Rutuba huwapatia wanaume fursa isio ya kawaida ya kutathmini afya na kuzuia magonjwa''.


Watafiti wanasema kuwa ubora wa mbegu za kiume unaathiri afya ya wanaume
Hatahivyo wamiliki wa utafiti huo walisisitiza kuwa utafiti wao haukuthibitisha kuwa ukosefu wa mbegu za kiume za kutosha husababisha matatizo ya kimetaboliki lakini badala yake ni vitu viwili vinavyohusiana.

Wanasema kuwa uhaba wa homini za kiume uhusishwa na matatizo haya ya kiafya.

Dr. Ferlin alisema kuwa utafiti unaonyesha kwamba ni muhimu kwa wanaume wanaotibiwa matatizo ya ukosefu wa rutuba wanafaa kuangaziwa vizuri kimatibabu.

''Wanaume walio na matatizo ya kuwapatia mimba wake zao wanafaa kukaguliwa vizuri na kufuatiliwa na wataalam wao wa rutuba kwa sababu huenda wana viwango vya juu vya kupata maradhi na vifo'', alisema.

Hatahivyo uthibitisho wa dawa za asili nchini Tanzania umezua mjadala mkali katika vipindi vya radio nchini humo haswa katika upande wa serikali kuthibitisha dawa za nguvu za kiume kuuzwa kihalali .

'Watu watazinunua lakini hakuna mtu atakuwa na uhakika kwamba dawa hizi zinatibu sana sana atabahatisha tu,"

" inaweza isilete madhara lakini huwezi kujua baadae lakini kiukweli inabidi ziangaliwe kwa watu maalum kwa watu wanaouza ili mtu akidhurika ajue ataenda kwa nani?" Thomas Hemed ,mkazi wa Dar es salaam amesema

Wema Sepetu: Mimi na Aunt Ezekieli Tunapendana Hakuna wa Kutugombanisha

$
0
0
Wema Sepetu: Mimi na Aunt Ezekieli Tunapendana Hakuna wa Kutugombanisha

MKALI wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu amelifungukia Ijumaa Wikienda kuwa, hakuna mtu wa kum-gombanisha na staa mwenzake, Aunt Ezekiel kwa kuwa wanapendana.





Katika mahojiano maalum na gazeti hili, Wema ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitupia picha karibia kumi kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram akiwa na Aunt alisema kuwa, mara kwa mara wamekuwa wakigombana, lakini siyo kwamba hawapendani.



“Hakuna wa kunigombanisha na Aunt. Kama tunagombana, mtu wa pembeni anatakiwa kukaa kimya maana tukipatana mambo yanakuwa ni moto,” alisema Wema.

Kupunguza Uzito na Miiko Yake, Pata Dawa Zitakazo Saidia Upungue Mwili Kwa Haraka Bila Madhara

$
0
0
Kama ilivyo katika shughuli nyingine za kibinadamu zenye mpangilio maalum, kupunguza uzito uliozidi lazima uende sambamba na do’s na dont’s zake yaani fanywa na siofanywa. Fanywa/do’s

Jitambue na kubali kwamba unaugua unene na ili kujitibu ni lazima kuwa na adabu katika matibabu hayo. Tambua kwamba vyakula vyoote ni vizuri ILA kula vilivyo rafiki na salama kwa zoezi lako la kupunguza uzito. Tambua kiwango cha chakula unachokihitaji na ule kwa usahihi Tambua muda sahihi unaotakiwa kula na ule kwa wakati

MUHIMU(DONT’S/VISIVYOFANYWA)

Unapopunguza uzito ni kuwa unapunguza mafuta na tindikali ya ziada vilivyorundikana mwilini mwako kwahiyo ni lazima kula milo sahihi inayokuepusha kuongeza mafuta zaidi lakini pia kutouongezea mwili vyakula vyenye kuutengenezea asidi au tindikali nyingi. Hivyo ni vyema kuzingatia kiasi cha chakula kwasababu kuwa mnene unamaanisha unanguvu mwili nyingi usizozihitaji zimejirundika mwilini na mwili umezigeuza mafuta ndio hayo manyama uzembe.

Unatakiwa kupangilia ulaji ili uruhusu mwili kusaga kidogo ulichokula, lakini nguvu nyingine (kalori au calories) uzipate kutoka kwenye mafuta yaleee manyama uzembe. Kana utakula kwa kiwango kikubwa, mwili utakitumia hicho ulichokula tu na kama kitakuwa kingi kuliko kinachohitajika, kitageuzwa mafuta na kuongeza manyama uzembe.

Ni lazima kula kwa muda maalum kwa sababu tunakula ili mwili upate nguvu ya kujiendesha baada ya kukisaga chakula hicho. Ikiwa utakula chakula kingi na kutulia au kulala muda mfupi baadae, unajiumiza kwasababu mwili unapo’relax hauhitaji nguvu nyingi kwahiyo utakigeuza chakula hicho mafuta na hapo tunamaanisha tunapata tena nyongeza ya manyama uzembe. KWAHIYO? Tujitahidi kula milo sahihi, kwa wakati sahihi na kiwango sawia.

KWANINI UNAHITAJI BIDHAA ZETU?

Bidhaa zetu zinavirutubishwa vyoote muhimu vinavyozingatia mlo sahihi, muda muafaka na kiwango sawia. Zaidi huwezi kuzilinganisha bidhaa zetu na hizo nyingine za kichina unazozisikia huko mitaani kwasababu:-

Za kwetu hazina kemikali kwahiyo hizi sio “weka mbali na watoto” maana ni salama kwa watu wote katika familia hata wa kundi dhaifu la watoto, wazee, wajawazito na wanaonyonyesha. Zimethibitishwa na zimeruhusiwa kuwa salama na shirika la viwango duniani ISO, zinatambuliwa kuwa zinafaa kwa dini zote na kupewa ubora wa viwango na HALAL, na hapa kwetu vina kibali cha TFDA.

Sio zile zinazoingizwa kimyakimya kwenye mabegi hatimaye zinawaumiza na kuwatia ubovu na madhara ya kudumu ya miili. Bidhaa zetu huingizwa bila kificho na zinalipiwa kodi zote na zina vibali.

Wa Dar es salaam unaweza kufika ofisini Masaki, au ukituma pesa kabla ya saa 8 mchana utaletewa ulipo. Wateja wa mikoani unatuma pesa kabla ya saa kumi unatumiwa mzigo kwenye basi utakayoelekeza wewe, na wa Zanzibar unatumiwa kwenye boti zenye uhakika, wa nje ya Tanzania tunajadiliana juu courier unayoiamini.



Nipo active muda na saa yoyote kukuhudumia, karibu.

Piga au WhatsApp +255783566844
M
na kutufuata @afyayanguutajiriwangu_ayuw

Facebook: Kwambiwa Nelly Machenje


Youtube : afyayanguutajiriwangu

Mrisho Mpoto Akoshwa na Programu ya Umilikishaji Ardhi ya Waziri Lukuvi

$
0
0
Mrisho Mpoto Akoshwa na Programu ya Umilikishaji Ardhi wa Wizara Lukuvi

Mrisho Mpoto akoshwa na Programu ya umilikishaji ardhi wa Wizara ya Ardhi chini ya Mhe. Lukuvi, akutana na wananchi waliokabidiwa hati zao

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kutoa nyimbo za kijamii zenye kuwataka wananchi kuwa wazalendo kwa kufanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato cha halali, kukemea rushwa na uonevu, Ijuma hii amefurahishwa na Programu ya Umilikishaji Ardhi (Land Tenure Support Programme - LTSP).

Programu hiyo ambayo inatakelezwa katika Wilaya za Kilombero, Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi chini ya Waziri wake, Mhe. William Lukuvi  ili kukabiliana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiibuka katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Programu hii ni mahsusi kwa wilaya za Kilombero, Ulanga na Malinyi ambapo takribani vijiji 160 vitanufaika. Hadi sasa, Programu imehakiki na kupima vipande vya ardhi 84,795 katika vijiji 40 vya Wilaya za Kilombero na Ulanga.

Kati ya vipande vilivyohakikiwa na kupimwa, jumla ya Hati za Hakimiliki ya Kimila 24,650 zimeandaliwa.

Mpoto ambaye amekuwa akitembea katika maeneo mbalimbali ya nchi kusoma mazingira na kuwasikiliza wananchi wanasema nini juu ya maisha yao ili anapoandika nyimbo zake ziwe na kero za wananchi ambazo amezishuhudia kwa macho yake, wiki hii alipita mkoani Morogoro na kuzungumza na wananchi kuhusu maisha yao ndipo lilipo ibuka suala la programu ya Umilikishaji Ardhi (Land Tenure Support Programme - LTSP).

Mshairi huyo amesema baada ya kuzungumza  na wananchi kadhaa ambao wamepitiwa na Programu hiyo aligundua nyuso zao jinsi zilivyokuwa na furaha baada ya kukabidhiwa hati zao ambazo zimeongeza thamani zaidi ya ardhi yao (viwanja na mashamba)  kwa kuwa tayari vinatambulika kisheria.

“Kwa miaka mingi nchi yetu imekua na migogoro ya ardhi kati ya mtu na mtu,kijiji na Kijiji, wakulima na wafugaji, hata wawekezaji na wana nchi, Wizara ya Ardhi kupitia Mpango wa Land Tenure Support Programme (LTSP) inayotekelezwa katika Wilaya Tatu za Kilombero, Ulanga na Malinyi baadae kusambazwa Nchi nzima imefanya kazi kubwa sana,” alisema Mrisho Mpoto.

“Binafsi kama kawaida yangu kuzunguka kila koja na nchi yangu na kuzungumza na wananchi, nimeona ukubwa wa hii Programu, imeona thamani ya hii programu, wananchi wanaongea kwa furaha ya hali ya juu kutokana na hii programu. Mimi sio msemaji wa serikali lakini wakati nikiwa katika harakati za kutembea kwa ajili ya shughuli zangu za sanaa huwa napata fursa ya kuongea na wananchi wa eneo husika, wakazi wa Morogoro wanaishukuru sana serikali pamoja na Waziri Lukuvi,  naamini hii programu inaweza kuwa mwarobaini wa haya matatizo ya ardhi, maana kila kipande cha ardhi kitapimwa na mwananchi kupewa hati yake ya umiliki, naamini itaweza kuondoa kabisa migogoro ya nrdhi nchini Tanzania, hongera Mhe.Lukuvi,” aliongeza Mpoto.

Alisema bado ataendelea kutembea katika maeno mbalimbali ya nchi kwa ajili ya kukutana na mashabiki wake wa muziki na kuzungumza nao kuhusu mambo mbalimbali ya nchi na pale ambako ataona kuna haja ya kutoa msaada atawasiliana wahusika kwaajili  ya kutatua kero za wananchi.

Kazi nyingine zilizotekelezwa na programu ya LTSP ni pamoja na kusimika alama za msingi 54 za mtandao wa kijiodesia katika Wilaya za Kilombero, Ulanga, Malinyi na Mufindi,  Kupima mipaka ya vijiji 121 na kutatua migogoro 71 ya mipaka ya vijiji iliyodumu kwa muda mrefu, Kuandaa vyeti vya Ardhi ya Kijiji kwa vijiji 57, Kuandaa mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kwa vijiji 53 na Kuchangia katika ujenzi na ukarabati wa masjala za ardhi na ofisi za vijiji katika vijiji 61.

Viongozi wengi wa Wizara wanaitembelea programu hiyo mara kwa mara na uongozi wa Wilaya na wananchi wanatoa ushirikiano mkubwa sana kwa kuwa programu iko katika Wilaya zao.

Hivi karibuni Katibu Mkuu Bibi. Dorothy Mwanyika mara tu baada ya kuteuliwa na Mhe Rais kuwa Katibu Mkuu wa Wizara alitembelea programu hiyo na kujionea namna programu inavyotumia teknolojia ya kisasa kabisa kupima ardhi ya wananchi vijijini. Pia, Mhe Naibu Waziri Mhe. Angelina Mabula nae alifanya ziara katika eneo la programu.

Viewing all 104807 articles
Browse latest View live


Latest Images