Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mkanda wa Ngono wa Iggy Azalea na ex Wake Unaweza Kuuza Kuliko ule wa Kim K na Ray J

$
0
0
Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza kuliko ule wa Kim Kardashian na Ray J.

Rapper wa Houston, Jefe Wine ndiye anayedaiwa kurekodi mkanda huo akifanya mapenzi na Iggy. Wine anadai kuwa Iggy alikuwa akijua kuwa wanarekodi mkanda huo licha ya yeye kudai hakuwa na taarifa.

Hirsh, amesema ameshakutana na Wine kufanya makubaliano ya kuununua. Wanasheria wa Iggy Azalea wamesema wamejiandaa kuchukua hatua za kisheria kutokana na mkanda huo.

Kama ni kweli Iggy yupo kwenye tape hiyo haiwezi kutolewa kihalali bila ridhaa yake.

Kenyans Voted The Ugliest in Africa

$
0
0
They say beauty is only skin deep. But when Kenyans were voted the ugliest people in Africa in the annual 'most beautiful people of Africa' awards, our national perceptions on beauty took center stage. More with NTV's Yvonne Maingey.

Tb Joshua: Kuna Ndege ilizunguka Jengo Langu Mara Nne Kabla Halija Anguka...

$
0
0
THE security status of the country was, again, challenged, yesterday, following the mysterious collapse of a six-storey hotel building within the premises of the Synagogue Church of All Nations, Lagos, with the General Overseer of the church, Pastor T.B. Joshua, declaring that he was the target of the attack.
In a video footage captured by a Closed Circuit Television system within the Ikotun premises of the church, shown to journalists, on Saturday, a strange plane was seen hovering over the collapsed building for about 30 minutes in an unusual manner before the building went down like a pack of card.

Pastor Joshua noted that while he was praying in another building within the church, he got a call informing him of a strange plane hovering over the premises and left the praying room, stating that as he stepped out, he got a second alert of the plane hovering over the hotel meant for mostly foreign members before the building collapsed.

In the footage, the plane hovered four times between 11: 30am and 12.45 pm after which the building went down.

Joshua said everything showed that he was a target of the attack, saying that he was praying when he and others noticed the ‘unusual’ hovering of the light plane which made the church to inform security operatives of the unusual aircraft movement.

Indication that the church might have been targeted in an attack of a sort became obvious as the plane hovered around through an illegal flight path.

Joshua who said people might not believe him now but declared “that the truth will be revealed in the next three days,” in a brief chat with some journalists in the church premises on Saturday, said he could not specifically lay claim to the cause of the sad development. 

Sipendi Watu Wanavyoniambia Nina Kalio Fake, Wakati Nimebarikiwa na Mungu

$
0
0
Admin , Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa , kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa

Kutafuta Umaarufu yataka Moyo, Ona Picha ya Aibu aliyoweka Mrembo Huddah Mtandaoni

$
0
0
 Kutafuta Umaarufu yataka Moyo, Ona Picha ya Aibu aliyoweka Instagram Mrembo Huddah Monroe Kutoka Kenya ..Kwenye hiyo Picha hapo chini ameambatanisha maneno haya "As long as my V*gina is not Seen , You are the one who is nak3d"

Huyu Dada Noma, Awabaka Watoto wa Kiume Wawili , Awalazimisha Wamuingilie Kimwili Usiku wa Manane

$
0
0
Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababish maambukizi makubwa ya UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye!Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea wazazi wao na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda!Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya "utamu" na ndipo akaiarifu polis nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha!Mambo hayo! 

Mwimbaji Chaz Baba Nusura Amuue Mkewe, Ampiga na Kitu Kizito Kichwani Mpaka Mke Kuzimia

$
0
0
Stori: Shakoor Jongo
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga  na kitu kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini.

MANENO YA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo karibu na wanafamilia hao (jina limehifadhiwa), usiku wa Alhamisi iliyopita, kikiwa maeneo ya Kinondoni jijini Dar kilishuhudia ugomvi huo baada ya kwenda kuangalia nani anamshushia kipondo mwenzake.

Chanzo kilisema baada ya kufika, ndipo kiligundua kuwa, mwanamuziki huyo ndiye aliyekuwa akimpa kipondo mke wake.

“Dah! Kiukweli kile si kipigo cha kumpiga mke, hasira bwana ni kitu cha ajabu sana. Chaz anatakiwa kujiangalia sana,” kilidai chanzo hicho.

MKE AFUNGUKA ‘EI TU ZEDI’
Baada ya taarifa hiyo, juzi Ijumaa Wikienda lilimtafuta mwanamke huyo ili aeleze nini kilitokea hadi mumewe kutaka kumkatishia maisha.“Nakumbuka siku ya tukio nilikuwa supermarket maeneo ya Mwananyamala A (jijini Dar) nikinunua unga wa ulezi wa mtoto, ghafla Chaz alitokea, akaniamuru niingie kwenye gari alilokuwemo, tukaondoka kuelekea nyumbani.

“Tulipofika maeneo ya Kinondoni, pale Meridian ndipo niliposhtukia naanza kupigwa. Nakumbuka nilipigwa hadi nikaishiwa nguvu mpaka akatokea rafiki wa Chaz, Hassan Kisanora na kuniokoa, nikakimbilia nyumbani,” alisema mwanamke huyo.

CHAZ ATOWEKA, ARUDI NA SAMAKI MKUBWA
Akiendelea kuzungumza, mke huyo alisema: “Siku hiyo Chaz aliondoka na hakurudi nyumbani mpaka alfajiri. Aliporudi aliniambia amekuja na samaki mkubwa, yuko kwenye friji huku akisahau kuwa amenikosea na anatakiwa kuniomba msamaha.

“Sikumjibu, ndipo alipochukua kitu kizito na kunipiga nacho kichwani, baada ya hapo damu nyingi zikaanza kunitoka hadi puani, niliishiwa nguvu na kupoteza fahamu.”
“Nilipokuja kuzinduka nilikuwa hospitali kwa Dk. Mvungi, Kinondoni. Licha ya kwamba nampenda sana lakini alitaka kuniua, hata sijui kisa.”

MADAI YA KUSHANGAZA; NDANI YA MIEZI TISA KICHAPO MARA 16
Katika kuweka mambo zaidi hadharani, mwanamke huyo aliyebahatika kupata mtoto mmoja na mumewe, alikwenda mbele zaidi kwa kusema kuwa, tangu afunge ndoa na Chaz miezi tisa iliyopita, ameshachezea kichapo mara kumi na sita hivyo amechoka kufanywa ngoma.“Nimechoka kufanywa ngoma na Chaz, ndoa ina miezi tisa tu nishapigwa mara kumi na sita kati ya hizo nimezimia mara saba kama vipi bora afanye utaratibu anirudishe kwetu,” alimalizia kusema.

CHAZ BABA, IJUMAA WIKIENDA
Baada ya kupata maelezo ya mke, Ijumaa Wikienda lilimsaka kwa njia ya simu Chaz mwenyewe ili azungumzie ishu hiyo ya mkewe kudai alimpiga ambapo alipopatikana alifunguka hivi:
“Ni wivu tu kaka! Unajua mke wangu ana wivu mkali sana, alianza kunipiga yeye mimi ndiyo nikamrudishia, hakukuwa na sababu nyingine yoyote zaidi ya wivu,” alisema Chaz bila kufafanua.
GPL

Sikio la Kufa Halisikii Dawa, Aunty Ezekiel Akutwa Tena na Yule Mume wa Mtu

$
0
0


Stori: Imelda Mtema
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo.

Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.

Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? 
GPL

Wema Sepetu Amjibu Kajala , Naye Agawa Pesa Kama Mvua Kwa Mwimbaji wa Skylight Band

$
0
0


Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua Kufungua Pochi na Kugawa Mijihela Kibao Kwa Mwimbaji Sam wa Skylight Band Kitendo Kinachoonekana Kujibu Mapigo kwa Kajali Kwani Siku si Nyingi nae alimwaga Minoti ya kufa mtu kwa Waimbaji wa ya  Moto Band....Mweee Siku hizi tuna Mapedejee wa Kike...Lol

Kenya Kuipeleka Tanzania ICC, yadai Kisiwa cha Pemba Zanzibar ni Chake

$
0
0
Serikali ya Kenya inajiandaa kwenda Mahakamani kudai kisiwa cha Pemba ni chake, hii imekuja baada ya Somalia kuifungulia kesi Kenya ikidai eneo la ufikwe karibu lote nchini Kenya ni lake.

Mzimu wa Posho Bunge la Katiba Waibuka Tena, Kamati ya Uandishi Wataka Posho ya Sh500,000 Kwa Siku

$
0
0
Mzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

Habari zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na uongozi wa Bunge zinasema kuwa tayari maoni ya wajumbe yamewasilishwa kwa uongozi kwa ajili ya uamuzi.

Wajumbe wa kamati hiyo kwa sasa wanalipwa posho maalumu ya Sh210,000 zaidi kwa siku, nje ya ile ya Sh300,000 kwa siku wanayolipwa wajumbe wote wa Bunge hilo.

Kamati hiyo inayoongozwa na Andrew Chenge ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi-CCM inahusisha baadhi ya vigogo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Vigogo hao ni pamoja Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro, Mwanasheria Mkuu Jaji Frederick Werema, Mwanasheria Mkuu wa SMZ, Othman Masoud Othman aliyejiuzulu ujumbe wa kamati hiyo hivi karibuni kwa sababu ambazo hazijaelezwa.

Katibu wa Bunge, Yahaya Khamis Hamad pamoja na kukiri kuwa kamati hiyo imeomba kuongezwa kiasi hicho cha posho, alisema Kamati ya Uongozi ambayo ndiyo huamua, haijayajadili maombi hayo na kuyatolea uamuzi.

Chenge hakupatikana jana kuzungumzia maombi hayo.

Mbowe Tena Chadema, Achaguliwa kwa Kishindo Kuongoza Chama Hicho

$
0
0
Freeman Mbowe amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana.

Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 sawa na asilimia 97.3 na kumshinda mpinzani wake ambaye hakuwa na nguvu kubwa, Gambaranyera Mongateo aliyeambulia kura 20 sawa na asilimia 2.5

Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Katika kinyang’anyiro hicho, wagombea walikuwa watano, wawili walienguliwa na mmoja, Kansa Mbarouk alijitoa.

Baada ya matokeo hayo kutangazwa ukumbi ulilipuka kwa furaha ukihanikizwa na wimbo wa “Happy Birthday to you.” Jana pia ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa Mbowe akiwa amefikisha miaka 53.

Okwi wa Kazi Gani Jaja Mpango Mzima, Mashabiki wa Yanga Wakejeli

$
0
0
TRAIKA mpya Mbrazili aliyekuwa akikejeliwa na mashabiki wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ jana Jumapili amepiga bao mbili kati ya tatu zilizoipa ushindi timu yake dhidi ya Azam na kushangilia kwa ishara ambazo mashabiki walizitafsiri kwamba alikuwa akiwauliza; “Okwi wa kazi gani Yanga?”

Awali kabla ya dirisha la usajili halijafungwa kulikuwepo na mzozo baina ya Kocha Marcio Maximo na uongozi wa timu uliotaka straika aliyejiunga na Simba, Emmanuel Okwi abaki Yanga na Jaja akatwe kwa madai kwamba ni mzito na hayuko fiti kama Okwi aliyelipwa fedha nyingi.

Lakini Maximo akashikilia msimamo wake kwamba Jaja ndiye chaguo lake na Okwi hatacheza Yanga kutokana na utovu wa nidhamu na kususa mara kwa mara.Licha ya kuwathibitishia Yanga kwamba yeye ni mashine na amesajiliwa kwa ajili ya kufunga tu, Jaja jana aliwaziba midomo mashabiki wa Simba ambao walikuwa wakimzomea siku za nyuma kwa madai kwamba ni mzito na hana lolote.

Katika mchezo huo wa Ngao ya Hisani uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa huku kipa wa Yanga, Deo Munishi ‘Dida’ akidaka kwa mbwembwe na sarakasi kuwakejeli Azam ambao walimtema, Jaja alipiga mabao mawili katika dakika za 56 na 65. Bao la tatu lilifungwa na Simon Msuva aliyeingia kuchukua nafasi ya Nizar Khalfan katika dakika ya 87.

Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo

$
0
0
Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule

Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:

Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

Tuhuma za Usagaji: Aunt Lulu Amwangukia Mama yake

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi.

Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.

“Najua nimemuumiza sana mama yangu, nachukua fursa hii kumuomba sana samahani kwa kuwa najua aliumia sana kutokana na habari hiyo lakini nataka kumuambia kuwa mimi mtoto na nitaendelea kuwa  mwanaye, anisamehe mama yangu,” alisema Aunty Lulu.

Tabora wamkataa Nuh Mziwanda…Wasema hawezi kuwa mume wa Shilole

$
0
0
Nuh Mziwanda jana alijikuta katika wakati mgumu mjini Tabora baada ya Shilole kuwauliza wakazi wa mkoa huo anakotokea iwapo Nuh Mziwanda anafaa kuwa mume wake.

Shilole ambaye ni mchumba wa Nuh alifunguka mbele ya mashabiki wa Tabora waliokuwa wamefurika kushuhudia show ya Serengeti Fiesta kutaka kujua kama wanamtaka Nuh Mziwanda awe shemeji yao kitu ambacho mashabiki hao walikataa
Mbaya zaidi kwa Nuh, mashabiki hao walimpendekeza DJ Zero kuwa ndiye mwanaume wanayemtaka awe shemeji yao. Shilole aliwajibu wakazi hao kuwa hata wafanyaje yeye binafsi anampenda dogo dogo wake Nuh.

Nuh ambaye kauli hiyo ya shemeji zake wa Tabora ilimnyong’ozesha magoti, ameiambia Mpekuzi kuwa wale ni mashabiki tu hivyo Shilole ataendelea kuwa mpenzi wake na anatarajia  kumvalisha pete ya uchumba Shilole.

“Unajua mashabiki ni watu na zile kauli walizotoa haziwezi kurudisha nyuma kauli yangu kutompenda Shilole,” amesema Nuh  na  kuongeza:

Bado ni baby wangu, na kuna mambo mengi yatakuja. Ndioa maana baada ya kuona wanapiga kelele nikaamua kuwatuliza kwa pesa na mwishowe mambo yakaenda sawa.
  
 “Unajua ingawa watu wanasema mengi juu yetu kiukweli sisi tunapendana na hivi karibuni nitamvalisha pete ya uchumba.”

Exclusive: Nay wa Mitego amzawadia studio mpya producer wake Mr T Touch inaitwa ‘Free Nation Production’

$
0
0
Nay wa Mitego amesema baada ya kukamilisha ujenzi wa studio yake mpya iitwayo ‘Free Nation Production’ ameamua kumkabidhi producer wake Mr T Touch kama zawadi kutokana na kazi ambayo amekuwa akimfanyia katika muziki wake.

Akizungumza na Bongo5 jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa nyingi kuliko malipo anayompa.

“Wasanii tuna maproducer ,maproducer wetu tunajuaga kama wamekuwa hawaingizi kipato kikubwa sana tofauti na sisi wasanii,’ amesema Nay.

“Producer akikugongea ngoma moja ukimlipa laki tatu wewe unaweza ukaingiza zaidi hata ya milioni hamsini. Kwa producer aliyekufanyia hiyo ngoma inakuwa haimtoshi, for reel kabisa naongea kwa mara ya kwanza kwamba studio yangu imekamilika ambayo nampa zawadi producer wangu ambaye nilianza naye tangu… nasema nao mpaka leo hii ngoma yangu ya mwisho ya Mr Nay, zote hapa katikati amefanya yeye. Tumepata tuzo mara mbili, ni vitu ambavyo amefanya yeye, nimeingiza pesa nyingi lakini hela ambayo nilikuwa namlipa ni ileile laki mbili, laki tatu haimtoshi! Mimi nimeshaingiza zaidi ya milioni mia moja, mia mbili.”

“Kwahiyo nilichofanya nimekamilisha studio na nimemkabidhi kama zawadi yake. Studio inaitwa Free Nation Production. Mimi mwenyewe nitakuwa nafanyia kazi zaidi kwa sababu nahisi nitakuwa huru zaidi, japo kuwa sio lazima nifanyie hapo lakini hii ni kama zawadi kwa producer wangu, pia watu wengine wakihitaji kurekodi watarekodi.”
Bongo5

Sumaye: Rushwa ikizidi CCM Hakika Nitajiondoa

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema iwapo misingi ya uchaguzi ndani ya CCM italalia kwenye rushwa, hataendelea kuwa mwanachama na kuonya kuwa tatizo hilo limefikia pabaya na litakiangusha chama hicho.

Sumaye, ambaye alipewa adhabu ya kudhibitiwa kwa miezi 12 kwa kosa la kuanza kampeni za urais mapema, alisema msimamo wake wa kupinga rushwa na tabia yake ya kujishirikisha kwenye mambo ya kijamii vinaweza kuwa sababu ya kutuhumiwa kufanya kampeni na baadaye kupata adhabu hiyo.

Alionya kuwa vurugu zinazotokea sasa, hasa kwenye mikoa ya Kusini si ajali, bali hasira za wananchi dhidi ya viongozi wao ambao alisema wamejitenga baada ya kupata madaraka na hivyo wananchi wanatumia kila nafasi wanayoipata kuwaadhibu.

Katika mahojiano maalumu na waandishi wa gazeti hili, Sumaye ambaye alijitokeza kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka 2005 lakini hakupitishwa na CCM, alisema hawezi kuendelea kuwamo kwenye chama endapo kitachagua viongozi kwa rushwa.

“Suala si kama mimi nagombea au sigombei… Hata kama sigombei. Kama nitajiridhisha mwenyewe kuwa huyu amefika pale (amechaguliwa) kwa sababu ya rushwa, sitakuwapo sehemu hiyo (kwenye chama hicho), hata kama sigombei,” alisema Sumaye katika mahojiano hayo yaliyofanyika nyumbani kwake Kiluvya, takribani kilomita 30 kutoka jijini Dar es Salaam.

Sumaye, ambaye ndiye waziri mkuu pekee aliyemaliza awamu mbili za jumla ya miaka 10 bila ya kuondolewa, alikuwa akijibu maswali kuhusu mustakabali wake ndani ya CCM ambayo anadai imetawaliwa na rushwa. Maswali hayo na majibu yake yalikuwa:

Waandishi: Mwanzo ulisema rushwa inapokithiri kuna watu wanaweza wakatoka kwenye chama. Inavyoonekana katika mazungumzo yetu haya, wewe ni mtu ambaye unaichukia sana rushwa. Unafikiri, hivi (rushwa) inavyoendelea na labda kwenye uchaguzi wa mwakani itakuwa hivyo, unaweza siku moja ukatoka CCM?

Sumaye: Hilo nafikiri nilishawahi kulisema… nilisema kama misingi ya uchaguzi kwenye Chama Cha Mapinduzi italalia kwenye rushwa, mimi sitakuwa sehemu ya hiyo. Hilo nilishalisema na wala sibahatishi. Sasa suala si kama mimi nagombea au sigombei, hata kama sigombei. Lakini… kama nitajiridhisha mwenyewe kuwa huyu amefika pale (amechaguliwa) kwa sababu ya rushwa, sitakuwapo sehemu hiyo. Hata kama sigombei.

Waandishi: Utakuwa radhi kusema sipo mahali hapa?

Sumaye: Sasa kama naweza kusema sasa, unataka nisemeje? niandike kwa damu? (anacheka).

Sumaye, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa Nec mwaka 2012 kwenye Wilaya yake ya Hanan’g, alisema nchi imefika mahali pabaya kiasi kwamba watu wanaona wakati wa uchaguzi ndiyo halali kwao kupokea rushwa.

“Unajua, imefika mahali watu hawawezi kujitokeza kwa sababu inaonekana mazingira yanayotakiwa ni ya rushwa. Kwa hiyo anasema ah, ya nini? Hata usiende kwenye ngazi ya urais, hivi unadhani hakuna watu wazuri ambao wangekuwa wabunge? Wako,” alisema mbunge huyo wa zamani wa Hanang na kuongeza:

Man Walter akanusha tetesi kuwa wimbo wa Ally Kiba “Mwana Dar Es Salaam” ni dongo kwa Diamond Platinum

$
0
0
Producer mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.

UPDATE: Trafiki Aliyegongwa na Gari Mbagala Afariki dunia

$
0
0
ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbi
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images