Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live

Dk. Shika Anacheza na Akili za Watu, Hana Fedha Aliyopeleka Benki– Kamanda Mambosasa

$
0
0
Dk. Shika Anacheza na Akili za Watu, Hana Fedha Aliyopeleka Benki– Kamanda Mambosasa
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Dk. Shika anacheza na akili za watu na hana fedha yoyote aliyopeleka benki kama alivyodai.

Akizungumza na Redio Times Fm, leo Juni 13, 2018 amesema kuwa kwa mara ya mwisho alisema fedha zimeingia benki lakini hana fedha.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuulizwa kuwa kuna taarifa kuwa Dk. Shika amepata fedha zake, hizi taarifa zikoje mmempa ulinzi wa kutosha wakati wa kupokea?

“Dk. Shika anaendelea kucheza na akili za watu , hana fedha amepata lini yule mzee wa madau anapiga dau kubwa lakini kwa madhumuni yake binafsi, kwa mara ya mwisho alisema fedha zimeingia benki, benki gani hamna chochote , hana fedha,” amesema Kamanda Mambosasa.

Umaarufu wa Dkt. Shika umekuja baada ya kujitokeza katika mnada wa kuuza nyumba za Lugumi ambapo Dk. Shika aliahidi kununua nyumba hizo kwa thamani ya Sh. bilioni 2.3 lakini alishindwa kulipia asilimia 25 ya fedha hizo ambazo ni shilingi milioni 800.

Kabla Kuja WCB Nilishafanya Kazi na Alikiba- Producer Laiza

$
0
0
Kabla Kuja WCB Nilishafanya Kazi na Alikiba- Producer Laiza
Producer kutokea Wasafi Records, Laiza ametaja orodha ya wasanii aliofanya nao kazi kabla ya kujiunga na WCB.

Laiza akipiga stori na Wasafi TV amewataja wasanii hao kuwa Ice Prince, Ommy Dimpoz, Alikiba na Sharo Milionea.

“Kabla ya kuja WCB nilishafanyia kazi ngoma kubwa, za wasanii wakubwa. Nakumbuka nishawahi kufanya kazi na Ice Prince wa Nigeria, nakumbuka nilishawahi kufanya kazi na Ommy Dimpoz, nilishawahi kufanya kazi pia na Alikiba na marehemu Sharo Milionea,” amesema Laiza.

Ndani ya Wasafi Recors, Laiza ametengeneza hits kibao kama Kokoro ya Rich Mavoko, Kwa Ngwaru ya Harmonize, Eneka ya Diamond, Bora Tuachane ya Lava Lava, Kwetu ya Rayvanny, Kijuso ya Queen Darleen, Picha Yake ya Mbosso na nyinginezo kibao.
Chanzo: Bongo5

Hasheem Thabeet Afunguka Sababu ya Kuachana na NBA

$
0
0
Hasheem Thabeet Afunguka Sababu ya Kuachana na NBA
Mchezaji wa kikapu nchini Tanzania, Hasheem Thabeet amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Bongo5 sababu za yeye kuachana na ligi pendwa ya kikapu duniani ya NBA na kutimkia Japan kujiunga na klabu ya Yokohama B inayoshiriki ligi kuu ya kikapu nchini humo B1 League .


Hasheem amesema sababu za kutimkia huko sio kwamba alikuwa ameshuka kiwango bali ulikuwa ni uamuzi wa Menejimenti yake na wala sio kama watanzania wengi wanavyoongea kuwa alilewa sifa.

Jordin Sparks Amuweka Adharani Mwanaye kwa Mara ya Kwanza

$
0
0
Jordin Sparks Amuweka Adharani Mwanaye kwa Mara ya Kwanza
MWANAMUZIKI wa Marekani, Jordin Sparks,  na mumewe, Dana Isaiah, ‘wamemfichua’ kwa mara ya kwanza kwenye mitandao mtoto wao wa kiume aliyezaliwa Mei 2 mwaka huu.

Katika posti moja, Jordin alimwonyeshamtoto huyo aitwaye Dana Isaiah Thomas Jr., akiwa anatabasamu huku amevaa fulana ya kutokea shingoni hadi magotini (bodysuit) iliyoandikwa “mommy loves me” .

Aliandika chini ya picha hiyo: “Tabasamu hili daima liko moyoni mwangu. Mimi ni tone la maji kwenye sakafu.  Siwezi kuamini nimepata baraka na heshima ya kuwa Mama. Wow…Mungu ni mwema sana! 🦋😭

Seneta Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 14 kwa Kosa la Ulaji Rushwa Nigeria

$
0
0
Seneta Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 14 kwa Kosa la Ulaji Rushwa Nigeria
Seneta ahukumiwa adhabu ya kifungo cha  miaka 14  baada ya kukutwa na kosa la ulaji rushwa nchini Nigeria

Seneta mmoja  aliefahamika kwa jina la Joshua Dariye amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 14 gerezani baada ya kukutwa na kosa la ulaji rushwa nchini Nigeria. Seneta huyo aalikuwa  gavana wa jimbo la Kaskazini nchini Nigeria.

 Hamakama imetoa hukumu hiyo  baada ya kumkuta Joshua na kosa la kutumia kiwango cha dola milioni 3,3 kati ya mwaka 1999 na mwaka 2007 alipokuwa gavana wa eneo hilo.

Hukumu hiyo imetolewa bila ya kutoa fursa kwa mshatakiwa kukata rufaa.

Anusurika Kifo Baada ya Kung'atwa na Kichwa cha Nyoka Aliyekufa

$
0
0
Anusurika Kifo Baada ya Kung'atwa na Kichwa cha Nyoka Aliyekufa
Mwanamume mmoja katika jimbo ya Texas, Marekani ameponea chupuchupu kufariki baada ya kuumwa na kichwa cha nyoka ambaye alikuwa amemkata na kumuua.

Mwanamume huyo, alikuwa akifanya kazi shambani na alipomuona nyoka huyo wa urefu wa futi nne (1.25m) na alimkata kichwa kwa panga.

Alipouchukua mzoga wa nyoka huyo akautupe, kichwa cha nyoka huyo kilimuuma.

Ililazimu madaktari kumdunga sindano ya vipimo 26 vya dawa ya kuua sumu kumuokoa.

Hairuhusiwi Polisi Kumchukulia Hatua Mtu kwa Kosa la Mtu Mwingine- Mwigulu Nchemba

$
0
0
Hairuhusiwi Polisi Kumchukulia Hatua Mtu kwa Kosa la Mtu Mwingine- Mwigulu Nchemba
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba amesema si sawa Jeshi la Polisi kumchukulia hatua mtu ambaye si mkosaji kwa kosa la mtu mwingine.

Dk Mwigulu amesema hayo bungeni leo Juni 13, 2018 wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Devotha Minja aliyeuliza kumekuwa na tabia mbaya ya jeshi la polisi, wanapokwenda kumkamata mtu, wakimkosa wanamkamata mbadala, mke au mme, je jeshi la polisi wanatoa wapi mamlaka haya kwa kumkamata mtu na kumtesa?

Akijibu swali hilo, Waziri Mwigulu amesema Jeshi la polisi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria, hakuna mtu anayeruhusiwa  kuadhibiwa kwa mbadala.

“Kosa linabaki kwa muhusika na kama kuna mtu anaweza kusaidia afanye hivyo lakini si kuchukua adhabu kwa mtu mwingine.”amesema
Chanzo: Mwananchi

Serikali Yatnga Bilioni 22.5 Kwaajili ya Matumizi ya Uzazi wa Mpango

$
0
0
Serikali Yatnga Bilioni 22.5 Kwaajili ya Matumizi ya Uzazi wa Mpango
Serikali kupitia Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 imepanga kutumia shilingi 22.5 kwaajili ya matumizi ya uzazi wa mpango.

Akizungumza leo, Juni 13, 2018 Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu amesema kutoka katika vyanzo vya ndani kiwango hiki ni sawa na ongezeko la asilimia 60 kutoka mwaka 2017/2018.

“Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi Bilioni 22.5 kwaajili ya uzazi wa mpango kutoka katika vyanzo vya ndani kiwango hiki ni cha fedha sawa na ongezeko la asilimia 60 kutoka mwaka 2017/2018,” amesema Ummy.

Hayo yameelezwa baada ya Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi kuihoji serikali kuwa “Mahitaji halisi ya fedha kwaajili ya uzazi wa mpango kwa mwaka kwasasa ni zaidi ya Sh. Bilioni 36 , Je, Serikali ina mpango gani wa kutenga fedha zaidi ili kufikia kiasi kinachohitajika kwaajili ya wakina mama na watoto?”

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0



KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI ,

PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA,

Nyie Kinana Dada Mnaojiona Wazuri Hii Hapa Inawahusu..

$
0
0
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana future utabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka, sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako, maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho, leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii, tunaumia sema
hatusemi tu, machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani

Nasubiri Kumfumania Mke Wangu, Naombeni Ushauri

$
0
0
Waku habari za mchana,kama nilivyojieleza hapo juu,ni kwamba nilibahatika kuoa miaka 10 iliyopita iliyopita, tulipata sakrament ya ndoa takatifu tar.7/5/2011.

Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 2, Sasa kilichonifanya nije hapa jukwaani ni taarifa nilizozipata toka kwa jirani yangu ambae amenithibitishia kuwa mke wangu anatembea na mtu ambae pia ni jirani yetu kabisa, Mke wangu huwa anashinda nyumbani akijishughulisha biashara ya kiduka tulichokifungua karibia mwaka sasa, pia mimi huwa nashinda kibaruani kwangu ambapo mara nyingi huwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na kabiashara kangu kanakonipatia riziki.huyu jirangu kanijulisha huwa wanatoka majira ya saa 1 jioni na kurudi sa 2:30 jioni kabla mimi sijarudi.

Baada ya kupata tarifa hizi nilijaribu kufanya uchunguzi na nimeanza kuona kuna ukweli juu ya jambo hili, juzi ilipofika saa 1:30 jioni nilimpigia simu kumuulizia jambo fulani nikasikia anaongea taratibu tofauti na siku nyingine, nikamuuliza umeshafunga duka? akanijibu ndio, nikamuuliza mbona mapema akasema kuna mkanda nimeupenda nauangalia..nikakata simu nikampigia yule jirani kumuuliza kama mke wangu yupo nyumbani akasema hayupo na ametoka na jamaa kama kawaida yake, kama huamini uje uone,  nilitamani kwenda lakini nilishindwa kujua ni uamuzi gani nichukue kwa sababu, kwanza sikujua wamekwenda guest gani, huyo jamaa anausafiri hivyo wanauwezekano wa kwenda nje ya mji kidogo.

Nilijikaza sikumuuliza wala kumwonyesha dalili zozote za kufahamu mambo hayo machafu anayoyafanya mke wangu.

Hivyo naombeni ushauri wenu pindi nikiwafumania au kuwahi kurudi home na kumkosa mke wangu wakati amenijulisha yupo home..Naombeni ushauri wenu ni uamuzi gani naweza kuchukua ukawa sahihi katika hali kama hiyo?

Dalili Kuu 7 zinazoonyesha mtu Ambaye Atachelewa Sana Kufanikiwa

$
0
0

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo  lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.

2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.

3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.

4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.

6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.

7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.

Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo ....

NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.

Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania

$
0
0
Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania
saa za automatic ni saa ambazo miaka ya karibuni zimepata umaarufu hasa kwenye mambo ya fashion ya saa hasa za mtindo wa skeleton kama hiyo juu kwenye picha.. saa za automatic ni saa ambazo hazitumii battery zinajichaji zenyewe kila ukitikisa mkono
  • saa hizi zimekuwa maarufu kutoka na sifa zake ambazo ni kama zifuatazo hapo chini
  • HAZITUMII BATTERY
sifa kubwa ya saa hizi hazitumiii battery zenyewe ukivaa ..jinsi unavyotisa mkono ndivyo zinavyozidi kujichaji yaani ukiitisha yenyewe ndo chaji yake inaingia ..hakuna haja ya battery
  • HAZIINGII MAJI
saa hizi haziingii maji 3ATM maana yake ni kwamba saa hizi kwenye maji ya mvua haziwezi kuingia pia maji ya kumwagikiwa bahati mbaya (splash water)
  • ZINAJICHAJI ZENYEWE
Saa hizi zina system za kujichaji zenyewe kupitia gia zake ambapo kuna gia ambayo ukitisa mkono inahifadhi nguvu hizi huitwa gia kuu (main spring) ukiwa na saa hii sahau kununua battery
  • WAPI ZINAPATIKANA NA JINSI YA KUNUNUA
saa hizi zinauzwa na mtandao wa daresalamshop.com ..kwa hawa jamaa ukiagiza utalipa mzigo ukifika majiji yote Tanzania arusha, dar mwanza,tanga,mbeya,moshi ,zanzbar,na iringa bofya link hiii kuagizaa bofya
>>>> skeleton automatic watch for men<<<<< au bofya hapo chini kwenye SHOP NOW kuagiza jaza address yako dereva ataleta cash on delivery

Kutana na Mtaalam Sharif Hamad Kalala Mchambuzi wa Nyota za Binadamu na Tiba Asili

$
0
0

KUTANA NA SHARIF HAMAD KALALA NI
SHARIFU MCHAMBUZI WA
NYOTA ZA BINAADAMU NA NI MWENYE UPEO MKUBWA KUTAFITI MATATIZO YAKO KABLA YA KUTOA USHAURI WAKE WA TIBA AlJALISHI MBALI ULIKO TIBA YAKE UMFIKIA YEYOTE MWENYE UITAJI POPOTE
DUNIANI.

 SHARIF HAMAD KALALA NI TABIBU MWENYE KUBRI TOKA KWA ALAH ANATIBU KWA NJIA YA VITABU VYA QUR-AN, DAWA ZA ASILI ZA MITI SHAMBA PAMOJA NA DAWA ZA KIARABU.
ANATIBU KWA NJIA YA SIMU KWA KUTOA
MAELEKEZO NAMNA YA MATUMIZI YA DAWA UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE KWA MATATIZO YAFUATAYO:-

 KUFANIKISHA NDOA KWA UNAYE MPENDA KWA HARAKA. KUMRUDISHA MPEZI NDANI YA MASAA 12 TU.
 ULIJALI (NGUVU ZA KIUME) NDANI YA /IKI MMOJA TU
MIGUU KUWAKA MOTO KUTAFSIRI NDOTO MFARAKANO WA WANANDOA MFARAKANO KAZINIKUPANDISHWA CHEO NDANI YA SIKU SABA 7 TU.
KUTOA PETE YA BAHATI KUTOA MAJINI MACHAFU IKIWA NI KWENYE MWILI WA BINADAMU MAJUMBANI NA KWENYE BIASHARA.

KUPATA MAFANIKIO YA MALI BILA YA MASHARTI. KUPANDIKIZANYOTA YA KUBASHIRI KUFUNGUA UZAZI KWA WALIYO FUNGWA KWA NJIA YA USHIRIKINA KUTOA VIFUNGO VYOTE VILIVYO FUNGWA KWENYE BIASHARA. ANA UWEZO MKUBWA WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUMPATA YEYOTE UMPENDAYE KWA KUMUOA AU KUWA NAYE.

ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIYE MBALI PIA ALIYE CHUKULIWA
KWA NJIA YAMSUKULE
NAO UWEZO WA KUUA KESI SUGU NA MPYA NDANI SIKU 7 TU.

MENGINEYO MENGI ZAID YALIYO KUWA SUGU PIGA KWA WALE WALIYO ANGAIKA SEHEMU MBALI MBALI SHARIF HAMAD KALALA NI SULUISHO. ENDAPO UTAMSIKILIZA KWA YALE ATAKAYO KUSHAURI NA KUKUPA
ELEKEZI.
 TIBA NI KWA DINI ZOTE POPOTE ULIPO NJE NA NDANI YA NCHI.
MOBILE +255 -673 025 376
WhatsApp +255-757 069 066

Hispania Yamtimua Kocha Wake, Siku Moja Kabla ya Kombe la Dunia

$
0
0
Hispania Yamtimua Kocha Wake, Siku Moja Kabla ya Kombe la Dunia
Chama cha soka nchini Hispania kimemtimua kocha wake, Julen Lopetegui hii leo ikiwa imesalia siku moja pekee kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la Dunia nchini Urusi.

Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 ameondolewa kwenye nafasi hiyo mara baada ya kutangazwa na klabu ya Real Madrid kuchukua mikoba ya
Zinedine Zidane aliyeachana na kibarua cha kuendelea kuwanoa mabingwa hao wa kihistoria wa klabu bingwa barani Ulaya.

Rais wa chama hicho chenye dhamana ya kusimamia mchezo wa soka Hispania, Luis Rubiales alitangaza kuachana na kocha huyo na kumtakia kila lakheri kwenye majukumu yake mapya.

Rubiales amesema kuwa mazungumzo ya Lopetegui na Madrid yamefanyika pasipo kushirikisha chama hicho na kuelezwa dakika tano kabla ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

Waziri Mkuu DRC Ametangaza Rais Kabila Kutogombea Tena Urais

$
0
0
Waziri Mkuu DRC Ametangaza Rais Kabila Kutogombea Tena Urais
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bruno Tshibala amesema rais Jospeh Kabila hatawania tena urais, wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi December.

Tshibala, amesema kuwa Kabila ambaye muhula wake ulikamilika mwaka 2016, ataheshimu Katiba.

Hata hivyo, wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakisema, wanamtaka rais Kabila mwenyewe kutanagza kuwa hatawania tena na kwenda kinyume na katiba ya nchi hiyo

Kuelekea Sikukuu ya Idd IGP Sirro Atoa Msaada kwa Watoto Yatima

$
0
0
Kuelekea Sikukuu ya Idd IGP Sirro Atoa Msaada kwa Watoto Yatima
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  jana Jumanne alikabidhi msaada wa aina mbalimbali kwa watoto yatima ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sikukuu ya Idd ambayo inategemewa kuwa Ijumaa au Jumamosi wiki hii.

Sirro alitoa msaada huo uliojumuisha mafuta ya kula, mchele na miswaki katika sherehe ya futari iliyowakutanisha viongozi mbalimbali katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi (Police Mess) uliopo Oyster Bay jijini Dar.

Katika hafla hiyo ilijumuisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda; Sheikh Mkuu wa Tanzania, Aboubakary Zubeir; Sheikh wa Mkoa wa Dar, Alhad Mussa Salim; Kamanda mstaafu wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova na viongozi wengine mbalimbali wa dini na siasa.

Mkuu huyo wa polisi alisema: “Nawashukuru wote ambao mmejitokeza hapa, bila ya nyie shughuli hii isingeweza kufanyika. Jambo hili ambalo linatokea hapa kwa nchi nyingine ni ngumu kufanyika kutokana na kukosa amani, hivyo tunatakiwa kushirikiana kwa ajili ya kuitunza amani yetu iliyopo kwani nchini nyingine zinatamani kuwa kama sisi.”

Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19 Kusomwa Kesho

$
0
0
Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19 Kusomwa Kesho
Bajeti  Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambayo ni ya tatu kwa Serikali ya Rais John Magufuli, itasomwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kesho Alhamisi.

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema "Juni 16 Waziri wa Fedha na Mipango atasoma Bajeti Kuu ya serikali. Baada ya hotuba hiyo ya Waziri wa Fedha tumewaandalia futari wageni wote waalikwa. Siku hiyo tutakuwa na wageni wengi wa serikali."

Ndugai alisisitiza kwamba wabunge wote wawepo siku hiyo, wakati bajeti itakaposomwa.

Alisema anajua bado kuna hati hati, kuwa huenda sikukuu ya Idd itakuwa Ijumaa, lakini jambo muhimu wabunge wawepo siku ya Alhamisi kwenye hotuba ya bajeti na kisha kwenye futari pamoja na wageni waalikwa.

Alieleza kuwa baada ya hotuba hiyo, kusomwa bungeni ndipo wabunge wanaweza kwenda kuungana na familia na ndugu zao, kusherehekea sikukuu hiyo kubwa, inayoashiria kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/19 kwa wabunge Machi 13, mwaka huu mjini Dodoma, Dk Mpango alieleza kuwa katika bajeti hiyo Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Sh trilioni 32.476, ikiwa ni ongezeko la Sh bilioni 764 ukilinganisha na bajeti ya mwaka 2017/18.

Mpango alitaja vipaumbele vya bajeti hiyo kuwa ni mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Stiegler’s Gorge katika Mto Rufiji kitakachozalisha megawati 2,100, ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kilometa 300 na Morogoro hadi Makutupora kilometa 336 na uboreshaji wa Shirika na Ndege Tanzania (TTCL).

Pia, ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, uzalishaji wa makaa ya mawe na umeme Mchuchuma na Liganga, uendeshaji wa shamba la miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari Mkulazi mkoani Morogoro na uboreshaji wa bandari za Tanga, Dar es Salaam na Mtwara.

Wema Sepetu na Wenzake Kuanza Kujitetea Mahakamani June 19

$
0
0
Kesi ya Madawa ya Kulevya Inayomkabili Wema Sepetu Kuunguruma June 19..... Yeye na Wenzake Wataanza Kujitetea
Muigizaji wa filamu Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili wanaokabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wataanza kujitetea Juni 19, 2018.

Wema na wenzake walipaswa kuanza kujitetea leo Juni 13 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba na kwa upande wa mawakili ni Costantine Kakula wa Serikali na Wakili wa Utetezi Albert Msando.

Hata hivyo ilishindikana washtakiwa hao kuanza kujitetea kwa sababu Hakimu Simba alikuwa na kazi nyingine na kesi imeahirishwa hadi Juni 19, 2018 ambapo washtakiwa wataanza kujitetea.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Hakimu Simba kupitia ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na mashahidi watano wa upande wa mashtaka waliokuwa wakiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula na kutoa uamuzi uliowaona washtakiwa hao wana kesi ya kujibu na hivyo wanapaswa kujitetea.

Mbali na Wema washtakiwa wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ya kutumia dawa za kulevya ni Angelina Msigwa na Matrida Seleman Abbas.

Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kutumia dawa za kulevya.

Soma Zaidi: Wema kutumia siku mbili kuishawishi mahakama isimuadhibu

Inadaiwa kuwa Februari 4, 2017 katika makazi ya Wema huko Kunduchi, Ununio jijini Dar es Salaam, washtakiwa hao walikutwa na msokoto mmoja na vipisi vya bangi vya uzito wa gramu 1.08.

Kwa upande wa Wema ambaye aliwahi kuwa mlimbwende wa Tanzania, mwaka 2006 anadaiwa kuwa Februari Mosi, 2017 katika eneo lisilojulikana jijini Dar es Salaam, alitumia dawa za kulevya aina ya bangi.
Chanzo: Mwananchi

Vigogo Sita wa Bodi ya Mkopo wa Elimu ya Juu Watumbuliwa

$
0
0
Vigogo Sita wa Bodi ya Mkopo wa Elimu ya Juu Watumbuliwa
Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewasimamisha kazi watumishi wake sita kwa makosa mbalimbali ya kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.


Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi Abdulzack Badru leo Juni 13 wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kuwataja viongozi hao kuwa ni Juma Hamisi Chagonja Mkurugenzi wa urejeshaji wa mikopo aliye sababisha hasara kwa uzembe na kushindwa kutumia majukumu yake ipasavyo kwa mujibu wa sheria.

Wengine ni Onesmo Ngitiri Laizer Mkurugenzi upangaji na ugawaji mikopo ambaye amesababisha hasara ya bilioni 7.1, John Elius Mkurugenzi msaidizi ugawaji mikopo hasara ya bilioni 7.1, Bwana Robert Kibona Mkurugenzi msaidizi wa urejeshaji mikopo, Bwana Heti Sago Mkaguz mkuu wa ndani wa hesabu, na Bwana Chikira Habari Mkurugenzi msaidizi wa upangaji mikopo hasara ya Bilioni 7.1.
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live




Latest Images