Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live

Korea yaanza Kuachia Mateka wa Marekani

$
0
0
Rais wa Marekani Dold Trump akizungumza na shirika la habari la Fox News, amesema siku ya Ijumaa  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imeanza kurejesha mabaki ya wanajeshi wa Marekani waliopotea katika vita ya Korea (1950-53).

Trump alikutana na kiongozi wa juu wa DPRK Kim Jong Un nchini Singapore siku ya Jumanne, tukio la kihistoria ambalo lilifuatwa na taarifa ya pamoja.

Tunatibu na Kuponesha Kabisa Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha Bila Kupasua na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BUSHA BILA BILA KUPASUA NA VIDONDA VYA TUMBO: kwa nini uhendelee kuteseka NA kujiona mpweke pale ukutanapo NA mke au mpenzi wako kwa sababu tu hunaupunguvu wa nguvu za kiume na uume mdogo

MAPRO POWER NO 2 ndio tiba sahii ya kukurudishia heshima ya ndoa yako 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-20 kwa tendo LA kwanza 2 itaufanya uume wako uhonekane mkubwa hasa kwa wale wanaume ambao wamefanyiwa tohara wakiwa wadogo sana au wakiwa watu wazima kwani ipo dawa ya kuimalisha misuli ya uume 3 itakupa uwezo wa kurudia tendo LA ndoa zaidi ya Mara tatu 4 uhuimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa ?

WAI SASA UPATE TIBA YA UKWELI NA UHAKIKA NA NI TOFAUTI NA ULIZOWAI KUTUMIA ata wazee wa miaka 80 wanatumia na kupona kabisa ? Tunatoa dawa za uzazi maumivu ya mgongo na kiuno ,kupunguza kitambi ,matiti makubwa,dawa za kisukari,presha,dawa za mvuto wa mpenzi ambaye akutaki au hakuhudumii ipasavyo kutengeneza shepu kwa kina Dada, fika ofisini kwetu MBAGALA ZAKHEMU BARABARA YA JESHINI HIENDA KIBONDEMAJI utaona ifisi himeandikwa MABULA CLINIC

AU PIGA SIMU NO 0743362017 DR AGU

KWA AMBAO HAWANA NAFASI YA KUFIKA OFISINI UDUMA HII UTALETEWA

Kocha wa Nigeria Aeleza Sababu ya Kuchezea Kichapo Kutoka Kwa Croatia, Wanavyojipanga

$
0
0
Kocha ya kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria, Gernot Rohr amesema kuwa makosa mengi waliyoyafanya katika mechi dhidi ya Croatia ni chanzo kikuu cha kipigo cha 2- 0 walichopokea.

Kikosi hicho maarufu kama ‘Super Eagles’ kilipokea kipigo hicho jana katika uwanja wa Kaliningrad nchini Urusi ambapo mchezaji wake Oghenekaro Etebo alijifunga na pia kupokea kipigo cha mkwaju wa penati uliopachikwa na Luka Modric.

“Tunafahamu kuwa tulifanya makosa mengi sana ambayo yalikuwa muhimu; na iko wazi kuwa tunatakiwa kuhakikisha tunayafanyia kazi ili twende mbele,” alisema kocha huyo.

 Aliongoza kuwa kipigo hicho kimewavunja moyo wachezaji na kwamba wanapaswa kufanya kazi kiuweledi zaidi watakapokutana na vigogo wengine Argentina na Iceland.

“Tulijipanga vizuri na iko wazi kuwa mbinu zetu hazikuwa mbaya. Lakini tunatakiwa kuhakikisha tunazingatia weledi zaidi kabla ya michezo inayofuata,” aliongeza.
 Aidha, kocha huyo ambaye amekiri kuwa kupoteza mchezo huo wa jana kunafanya kazi waliyoianza kuwa ngumu zaidi, alisema kuwa kiwango cha soka kilichooneshwa na nahodha wa timu hiyo Mikel Obi kilikuwa cha kuridhisha sawa na kiwango kilichooneshwa na safu ya ulinzi.

Kimenuka..Sheria Mpya Serikali ‘Kuwafunga’ Wasiowatunza Wazazi wao

$
0
0
Serikali imepanga kutunga sheria itakayowabana watu wasiowatunza wazazi wao wanapofikia katika hali ya uzee.

Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Naftali Ng’oli ameweka wazi mpango huo wa Serikali jana jijini Dodoma, alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya kuelimisha na kupinga ukatili kwa wazee.

Amesema kuwa mpango huo umewekwa mezani kwa kuzingatia namna ambavyo wazazi wamekuwa wahangaika kuwalea watoto wao na hata kuchukuliwa hatua kisheria pale wanaposhindwa kutekeleza jukumu hilo kwa ukamilifu, lakini wanapokuwa wakubwa huwaachana wazazi wao wakihangaika bila kuchukuliwa hatua.

“Vijana wamekuwa wakiwatelekeza wazazi wao pindi wanapofikia hali ya uzee na kutokana na hali hiyo, Serikali kwa kushirikiana na wadau wengine inatunga sheria itayowabana,” Kamishna Ng’ondi anakaririwa.

Aliongeza kuwa tayari kuna baadhi ya nchi ambazo sheria hiyo imeshaanza kufanya kazi na vijana wenye tabia hiyo wamekuwa wakichukuliwa hatua.

Aidha, alisema kuwa Serikali inaendelea kufanya mpango wa kutoa pensheni kwa wazee kwani walifanya kazi kwa bidii walipokuwa vijana kulitumikia taifa, hivyo hakuna budi kuwapa pensheni wanapoishiwa nguvu.

Alisema kuwa kama upande wa Zanzibar tayari wameaza kutekeleza mpango huo wa pensheni kwa wazee, upande wa Bara pia watakamilisha taratibu na kuanza kufanya hivyo kwani hakuepukiki.

Mama wa Kiongozi wa Boko Haram Achukizwa na Matendo ya Mwanae..Afunguka Haya Kwa Uchungu

$
0
0

Mamake kiongozi wa Boko haram Abubakar Shekau amezungumza kwa mara ya kwanza akiambia idhaa ya VOA ya Marekani kwamba mwanawe amewaletea watu wengi matatzio na kwamba hajamuona kwa kipindi cha miaka 15.

''Namuombea mungu amuonyeshe njia nzuri'', aliambia kituo hicho cha habari

Falmata aliongezea:

Kweli ni mwanangu na kila mama humpenda mwanawe lakini tuna tabia tofauti. Ameleta matatizo mengi kwa watu wengi. Nitakutana naye wapi ili nimwambie kwamba mambo anayofanya ni mabaya.

Alichukua tabia tofauti na kuondoka. Sijui hii ni tabia gani?. Ni Mungu pekee anayejua. Nitakutana naye wapi ili nimwambie kwamba vitu anavyofanya sio vizuri?

Kundi la wapiganaji wa Boko Haram lilianza vita dhidi ya Serikali ya Nigeria 2009 kwa lengo la kuweka taifa la Kiislamu Afrika Magharibi.

Kundi hilo linaloangazia kwa sana Kaskazini mwa Nigeria limesababisha vifo vya watu 20,000 huku watu wengine milioni mbili wakisalia bila makao.

Likiongozwa na Abubakr Shekau, boko haram liliahidi kutii kundi la wapiganjai wa Islamic State mnamo mwezi 2015.

Mwezi Agosti 2016, kundi hilo lilivunjika huku kanda ya video ya IS ikitangaza kuwa mahala pake Shekau pamechukuliwa na Abu Musab al-Barnawi, ambaye anaaminika kuwa mwana wa mwanzilishi wa kundi la Boko Haram.

Bwana Shekau alipinga wazo hilo akisisitiza kuwa bado yuko kileleni mwa kundi hilo.

''Sijui kama amefariki ama ni mzima'', alisema Falmata.

''Ni Mungu anayejua''

URUSINI: Pogba Anatisha Kama Moto wa Kifuu

$
0
0
Mpambano wa Ufaransa dhidi ya Australia umekamilika kwa mabao mawili kwa moja. Mchezo huu ulikuwa mgumu sana kwa waaustralia kwani safu yao ya ushambuliaji ilishindwa kupiga shuti hata moja.

Kiungo hatari wa klabu ya Man United Paul Pogba amezima ndoto za Australia za kupata angalau alama moja. Pogba alifunga bao murua kabisa. Pogba alipiga mashuti mawili na yote yalilenga goli. Pogba ameondoka uwanjani akigusa mpira kwa mara 70 akizidiwa mara 8 tu na N’golo Kante. Pogba amepiga pasi moja muhimu na alikuwa na wastani wa pasi kwa asilimia 86.

Pogba alikuwa upande wa kushoto wa Kante na alikuwa akisaidiana na Mbappe. Upande wake ndio ulionekana kuwa na nguvu zaidi. Anthonio Griezman alitolewa na kuingia Oliver Giroud. Watu wengi watajiuliza kwanini. Griezmann alipoteza mipira mingi sana huku akiwa na wastani wa pasi 57 tu hivyo kuonekana kuigharimu timu zaidi.

Safu ya ulinzi ya Ufaransa ilikuwa imara zaidi kwani Varane na Umtiti walisimama imara.

Mapungufu kadhaa yalikuwepo hasa kwenye maamuzi. Baadhi ya wachezaji walikuwa wanafanya maamuzi yaisiyo ya kiukomavu kama vile Mbappe pamoja na Pavard.

Maamuzi ya mwalimu ya kumleta Fekir na Giroud yalikuwa sahihi lakini yalimuhitaji zaidi Anthonio Martial. Kwa asilimia 90 Oliver Giroud hakufanikiwa kupokea mipira ya krosi ambayo ingeonesha umuhimu wake uwanjani.

Australia ni kama wamekuja kusindikiza. Nabbout pamoja na Rogic na Cruize ni kama walikiwa wanarukaruka. Hatuwezi kuwalaumu sana licha ya kwamba pongezi nyingi zimuendee Mooy ambaye alijitahidi kupigana viatu vyema pamoja na akina Kante na Tolliso.

Taarifa za hapo awali zilisema kuwa Griezman alimtabiria Pogba kuwa ni mchezaji anayefaa kuwa nahodha wa timu yoyote duniani. Na leo Pogba amethibitsha hilo.

Ungekuwa wewe Ungefanyaje??....Jamaa Anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu Kisa Kawasikia Usiku Wakifanya

$
0
0


Hii  story  nimekuta  inajadiliwa  sehemu  flani, nikaona  si  mbaya  nikusogezee  na  wewe  mdau.Jamaa  anasema  alikuwa  Lodge  na  mpenzi  wake  wamejipumzisha.
Kama  unavyojua  mambo  ya  Lodge, hasa  unapokuwa  na  mke  wako  au  mchumbaako, jamaa  anadai  walijiachia  vyakutosha  ili  mradi  tu  kila  mmoja  aifurahie  siku  hiyo...

Kumbe  purukushani  zao  za  chumbani  zilikuwa  zikitoka  mpaka  nje  ya  chumba, hali  iliyomfanya  mwanaume  mmoja  aliyekuwa  chumba  cha jirani  ashindwe  kulala.

Baada  ya  purukushani  hizo, jamaa  aliamua  kuchomoka  ili  akape  walau  bia  mbili  tatu  kujipooza  huku  akimfungia  mpenzi  wake  na  kutoka  na  funguo.

Yule  mwanaume wa  chumba  cha  jirani akaitumia  nafasi  hiyo  kumgongea  yule  mwanamke  akimtaka  ampooze  kidogo  maana  kawasikia.

Mwanamke  hakufungua  mlango, ndipo  jamaa  alipoamua  kuandika  barua  yenye  namba  yake  ya  simu  na  kuipitisha  chini  ya  mlango.

Mwanaume  aliporudi  akasimuliwa  mkasa  huo  na  kupewa  hicho  kibarua  cha  mshikaji  wa  chumba  cha  jirani.

Barua  yenyewe  ndo  hii:

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi


Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0
Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja.

Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo.

Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu

$
0
0
Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu
Mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe. Wewe wajali sana wale rafiki zake piga nao story kama umewapenda wao, waonyeshe picha zako kadha wa kadha.

Washirikishe masuala yako ya kiofisi na Maendeleo yako, wape namba zako zote za simu hadi ile ya mezani. Muda wa kuondoka wapatie nauli ya kutosha kisha waelekeze unapoishi wewe na ikibidi hata wanapoishi wazazi wako.

#Myfriend! Next time ukimuita ataogopa hata kuja na mkoba atahisi utaujali mkoba zaidi yake yaani atakuja kama alivyo. 

Yussuf Poulsen: Mtoto wa Baharia wa Tanga Aliyepuuzwa Tanzania, Sasa Anaing'arisha Denmark Kombe la Dunia

$
0
0
DENMARK imeanza vyema Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Peru katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Mordovia Arena mjini Saransk Jumamosi.
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji Yussuf Yurary Poulsen aliyetikisa nyavu dakika ya 59, siku ambayo Christian Cueva alianza kwa kuikosesha bao Peru baada ya kukosa penalti.

Yussuf Yurary Poulsen aliyezaliwa Juni 15, mwaka 1994 ni mchezaji mwenye asili ya Tanzania ambaye kwa sasa anachezea RB Leipzig ya Ujerumani kama winga na mshambuliaji.



KWA NINI ANA ASILI YA TANZANIA?
Yussuf Yurary Poulsen anazaliwa na mama Mdenmark na baba Mtanzania. Baba yake Yussuf Yurary Poulsen (sasa matrehemu) alikuwa ni Muislam na ndiyo siri ya jina la Yussuf.
Baba yake alikuwa bahari wa Melini kwa safari za Tanga na Denmark kabla ya kuamua kuhamia mjini Copenhagen ambako ndiko umauri ulimkuta
Alifariki kwa ugonjwa wa saratani wakati Yussuf akiwa ana umri wa miaka minne tu. Yussuf amekuwa akizuru Tanzania mara kadhaa tangu mwaka 1996 akiwa mdogo na baadaye mwaka 2002, 2008 na 2011 mara ya mwisho.
Yussuf hakuwa hata mara moja kuitwa timu ya taifa ya Tanzania na ndiyo maana akachagua kuchezea Denmark nchi ya mama yake.

Yussuf Poulsen (katikati) akiwa na bibi yake mzaa baba (kulia) alipotembea na mpenzi wake (kushoto) mjini Tanga mwaka 2011 na chini akiwa na ndugu na jamaa upande wa marehemu baba yake. PICHA KWA HISANI YA MILARD AYO   

NAMNA ALIVYOIBUKA KISOKA
Kisoka aliibukia BK Skjold na mwanzoni Yussuf Yurary Poulsen alikuwa anacheza nafasi za ulinzi akiwa na mchezaji mwenzake rafiki yake, Kenneth Zohore ambaye baadaye walicheza naye pamoja timu za taifa za vijana za Denmark.

Baada ya Zohore kujiunga na FC Copenhagen, Yussuf Yurary Poulsen akahamia nafasi ya ushambuliaji BK Skjold kabla ya kujiunga na timu ya vijana ya Lyngby BK alipofikisha umri wa miaka 14.

Huko alicheza mechi yake ya kwanza timu ya wakubwa Desemba 4, mwaka 2011 alipoingia uwanjani dakika ya 84 akitokea benchi kuchukua nafasi ya Mathias Tauber katika mchezo na AC Horsens.
Haikuwa kazi rahisi kwa Yussuf Yurary Poulsen kupata namba katika kikosi cha kwanza, kwani hadi mwishoni mwa msimu aliishia kucheza mechi tano tu na klabu yake, Lyngby pia ikashuka kutoka Ligi Kuu ya Denmark.

Agosti 5, mwaka 2012 akafunga bao lake la kwanza katika timu ya wakubwa na klabu yake akicheza Ligi Daraja la Kwanza katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AB Gladsaxe na tangu hapo akawa mchezaji wa kudumu kwenye kikosi cha kwanza akicheza jumla ya mechi 32 na kufunga mabao saba.

Yussuf Poulsen alijiunga na RB Leipzig Julai 3 mwaka 2013 ikiwa Daraja la Tatu Ujerumani

KUINGIA BUNDESLIGA
Mafanikio yake yakazivutia klabu nyingi za ndani na nje ya Denmark na haikuwa ajabu Julai 3 mwaka 2013 aliposaini mkataba na timu iliyopanda Daraja la Tatu Ujerumani, RB Leipzig.

Yussuf Yurary Poulsen akafanikiwa kuipandisha hadi Daraja la Pili Leipzig, baadaye la Kwanza kabla ya kuipeleka. Bundesliga mwaka 2016.

Na katika mechi yake ya sita tu ya Bundesliga msimu wa 2016–2017, akafunga bao lake la kwanza kwenye ligi hiyo kubwa zaidi Ujerumani katika ushindi wa 2–1 nyumbani dhidi ya FC Augsburg.


Yussuf Poulsen baada ya kuifungia bao pekee Denmark jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Peru

TIMU YA TAIFA YA DENMARK
Yussuf Yurary Poulsen alianza kuichezea timu ya taifa wa Denmark Oktoba 11, mwaka 2014 katika mchezo dhidi ya Albania kabla ya Juni 13, mwaka 2015 kufunga bao lake la kwanza kwenye mechi dhidi ya Serbia, Denmark ikishinda 2–0.
Yussuf Yurary Poulsen akateuliwa kwenye kikosi cha Denmark kilichocheza Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto mwaka 2016, ingawa alikataa uteuzi huo ili kupigania nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Leipzig.

Mei mwaka huu, akateuliwa kwenye kikosi cha Denmark cha wachezaji 23 wa mwisho kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, kabla ya jana Juni 16 mwaka 2018 kuifungia bao pekee timu yake ya taifa katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Peru.

Huyo ndiye Yussuf Yurary Poulsen, mtoto wa baharia wa Tanga aliyenyimwa nafasi timu za taifa za Tanzania, ambaye sasa anaing'arisha Denmark Kombe la Dunia.

Natamani Mpenzi Wangu Achepuke Aweze Kujua Ladha ya Wengine..Mimi sio Mwanaume Sahihi Kwake

$
0
0
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma, anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au nimefanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI ,

PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA,

Manji awashusha presha Yanga

$
0
0

Licha ya kwamba amekuwa mkimya sana lakini viongozi wa Yanga waliompelekea Yusuf Manji, kilio cha wanachama amewpa jibu la kutia moyo. 

Manji alijiuzulu Uenyekiti Yanga mwaka mmoja uliopita ambapo kwenye mkutano wa hivi karibuni wa wanachama waligomea uamuzi wake na kuomba viongozi wengine wamfikishie ujumbe huo. 

Wanachama hao walienda mbali zaidi kwa kusisitiza kwamba wako tayari kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo na Manji aingie kama muwekezaji. 

Mmoja wa viongozi wa Yanga aliiambia Spoti Xtra jana kwamba barua hiyo ilimfikia Manji na akawapokea vizuri na baada ya kuwasikiliza akawaambia amewaelewa atawajibu baada ya mfungo na sherehe za Eid el Fitr zilizomalizika jana Jumamosi. 

Habari zinasema kwamba siku yoyote kuanzia kesho, Manji atatoa tamko rasmi la mustakabali wake ndani ya Yanga ingawa viongozi wanaamini kwamba atarudi kutokana na jinsi wanavyomshawishi. 

Habari kutoka ndani ya Yanga zinasema kwamba vigogo wa klabu hiyo wamekuwa wakimsihi Manji arudi kwa kutumia watu mbalimbali wenye nyadhifa serikalini na tayari wameanza kuona mwanga kwani amekuwa akiwajibu kwamba watulie kwanza aweke mambo yake sawa. 

Yanga kwa sasa imekuwa chini ya kamati maalum iliyoko chini ya Mwenyekiti Abbas Tarimba ambaye ameanza mchakato wa usajili. 

Nikki wa Pili: Sio kweli kwamba kiki ndo ina mfanikisha msanii

$
0
0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nikki wa Pili, amesema ‘kiki’sio kigezo pekee cha msanii  kufanikiwa katika soko la muziki wa sasa, bali kuna mambo mengi  ya kisanaa anayopaswa kuyafuata ili aweze kufikia malego yake. 

Nikki ametoa kauli hiyo baada ya mtayarishaji mkongwe wa muziki Master J, kusema kwamba soko la muziki wa sasa linahitaji msanii afanye kiki ili aweze kufanikiwa katika tasnia hiyo. 

 Nikki ameeleza kuwa kuna sababu nyingi zinazo mpelekea msanii kufanikiwa ikiwa ni pamoja na wimbo na video ya muziki aliofanya, lakini pia uhusiano wa msanii na vyombo vya habari na vilevile uwezo wake kifedha. 

“Sio kweli kwamba kiki ndo ina mfanikisha msanii, mbona kuna wasanii wengi tuu wamefanikiwa bila hizo kiki na video zenye utupu, kwa mfano  sisi weusi tumefanya  muziki kwa muda mrefu na kufanikiwa bila hayo mambo”, amesema Nikki. 

Nikki wa Pilli ni moja kati ya wasanii wanaounda kundi la muziki la Weusi, ambapo wengine ni Gnako, Joh makini na Bonta. 

"Shaa hayupo sawa Kisaikolojia" - Master J

$
0
0

Mtayarishaji wa Muziki Mkongwe, Joachim Kimaro, Master J ameweka waazi kwamba  kwa sasa mwanamuziki, Malikia wa uswazi, Shaa, hayupo sawa kisaikolojia kutokana na matatizo aliyoyapitia hapo nyuma ikiwa  kumpoteza mama yake mzazi ndiyo maana amekaa kimya kwenye 'game'.


Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ndani ya East Africa Radio, Master J amesema kwamba yeye siyo sababu ya Shaa amaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, ila amekubaliana na maamuzi ya msanii huyo kukaa kimya ili kwanza aweze kutuliza akili kwa yale ambayo ameyapitia.

"Yupo very private yule mtu. Watu wengi hawafahamu kama mama yake aliugua kwa muda mrefu na Mungu aishamuita hivyo kwa takribani miaka miwili hayupo sawa. Aliomba time-out. Watu wanadhani ni mimi nambania lakini siyo kweli, ni kwamba hayupo sawa kisaikolojia. la mimi na yeye bado tupo na tunaishi pamoja".

Mbali na hayo Master J ameweka wazi mbali na kuwa Shaa yupo kimya kwenye muziki ndiye mtu ambaye anasimamia biashara zake za kilimo ambazo ameamua kujikita nazo baada ya kuachana na kazi ya utayarishaji wa muziki.

TCRA yafafanua Kuhusu Watumiaji wa Facebook, Twitter, Instagram Kutakiwa Kujisajili

$
0
0

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mtumiaji mmoja mmoja wa mitandao ya Facebook, Instagram na Twitter hatakiwi kujisajili.


Taarifa iliyotolewa Juni 16 na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba imesema taarifa hizo ni za uongo kwa kuwa mtumiaji mmoja wa mitandao ya kijamii hahitaji kusajiliwa na TCRA.


Taarifa hiyo imesema kanuni zinawataka watumiaji wa mitandao kuwajibika kwa maudhui watakayopakia kwenye mitandao hiyo.


Hata hivyo taarifa hiyo imesema wamiliki wote walio na leseni za utangazaji wanaotumia mitambo iliyosimikiwa ardhini (terrestrial) endapo watapenda kutumia mitandao ya kijamii (facebook, instagram na twitter) kurusha maudhui yao kwa lengo la kujisajili, lazima wajisajili kwanza TCRA.


Kilaba amesema mamlaka hiyo itaendelea kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watu wanaoeneza uongo huo. 

Namna unavyoweza kutambua jinsia ya Mtoto kabla hajazaliwa

$
0
0

Jinsia ya mtoto inaweza isiwe muhimu sana kwa mzazi fulani lakini kuna baadhi ya jamii za watu ambao swala la jinsia ni muhimu sana na hufarijika sana wanapopata jinsia fulani japokua hii inaweza kua changamoto kwani mzazi fulani anaweza kutoa mimba akiambiwa mtoto wako ni jinsia fulani. baadhi ya sheria za nchi haziruhusu vipimo vya kutaja jinsia ya mtoto ili kuepusha uwezekano wa kutoa mimba au kumchukia mtoto hata kabla hajazaliwa. Kuna njia kadhaa za kuweza kutambua jinsia ya mtoto, baadhi ni uhakika yaani asilimia mia moja na zingine uhakika wake ni kama asilimia themanini kulingana na sababu fulani fulani. Zifuatazo ni njia hizo. 

1. kipimo cha picha ya utrasound;  
Hichi ni kipimo kinachotumia mfumo maalumu wa kuangalia ndani ya tumbo la uzazi na kutuma taarifa zake kwenye kioo cha mashine hiyo. kikitumika na mtaalamu mzuri kinasoma jinsia ya mtoto kwa zaidi ya asilimia mia moja.utafiti unaonyesha mimba zinazopimwa kwanzia wiki ya 18 kwenda mbele zinatoa majibu ya uhakika kabisa. 
                                                   
2. Uzito wa mtoto. 
 utafiti unaonyesha watoto wa kiume huzaliwa wakubwa na wazito sana ukilinganisha na watoto wa kike hivyo ukiona mimba yako ni kubwa sana kuliko kawaida kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto wa kiume na mimba ndogo mara nyingi huleta watoto wa kike. 
                                                  
3. Kichefuchefu na kutapika.  
Baadhi ya tafiti zimeonyesha mama anayebeba mtoto wa kike hua anasumbuliwa sana na tatizo la kichefuchefu na kutapika kulilo yule anayebeba mtoto wa kiume, kitaalamu mtoto wa kike hua na homoni kama za mama akiwa bado tumboni huenda ikawa ndio chanzo cha dalili hizi.              

4.Mapigo ya moyo ya mtoto;  
kwa kutumia kifaa cha mkononi kitaalamu kama fetoscope nesi au daktari anaweza kutambua mapigo ya moyo ya mtoto aliyeko tumboni. tafiti zinaonyesha katika kipindi cha mimba na mama akiwa hana shida yeyote au haumwi ugonjwa wowote mapigo ya moyo ya mtoto  wa kike ni zaidi ya 140 kwa dakika wakati wa kiume ni chini kidogo ya 140. 
                                                        
Lakini  tafiti hizo zinaweza zisiwe asilimia mia moja kulingana na sababu mbali mbali kwa mfano mapigo ya moyo ya mtoto huweza kwenda mbio sana kama mama anaumwa au tumbo linaweza kua kubwa sana sababu ya unene wa mto binafsi lakini zimeonyesha uhalisia kwa asilimia kubwa huku kipimo cha picha ya utrasound na maji ya uzazi vikiwa vya uhakika kabisa.sijaandika makala hii ili utoe mimba kwa sababu zako binafsi. sheria inakuona.unaweza pitia na kusoma blog yangu ya kingereza hapa kwa kubonyeja haya maandishi ya kijani. 

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 18

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 18

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja.

Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo.

Viewing all 104808 articles
Browse latest View live




Latest Images