Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa sulutani Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa sulutani Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na issa sulutani Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Issa sulutani Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi +255 622588038au 0679119679 au +255 764318107
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Haya Hapa Madhara ya Kutofanya Mapenzi Kwa Muda Mrefu

$
0
0

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

Manji afungua pochi za wanayanga Arusha

$
0
0

ACHANA na ushindi wa kwanza iliyopata Yanga dhidi ya USM Alger ikiwa ni rekodi yao tangu alipoondoka Kocha George Lwandamina katika michuano ya CAF, lakini furaha zaidi imekuja baada ya Wanayanga kumuona Yusuf Manji uwanjani.

Mwenyekiti huyo wa Yanga aliyejiuzulu Mei 20 mwaka jana kutokana na matatizo kadhaa yaliyomkabili, alihudhuria mchezo huo wa tano wa Kundi D wa Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na vijana kushinda mabao 2-1.

Ushindi huo na ujio wa Manji umewafanya Wanayanga wa jijini hapa kuhamasishana kuichangia timu yao ili mambo mazuri yaendelee hata katika Ligi Kuu Bara inayoanza keshokutwa Jumatano.

Katibu wa Matawi ya Yanga Mkoa wa Arusha, Destrich Kateule, alisema kuwa ujio wa Manji uwanjani umetafsiriwa na wadau wa klabu hiyo kuwa ndio iliyowapa hamasa nyota wa Yanga kucheza na timu kushinda mechi ya kwanza ya makundi.

Hata hivyo, alisema matokeo hayo kutokuwa na faida kwa timu yao kwani imeshandolewa kwenye mbio za kutinga robo fainali, ila imeongeza chachu ya kuona wana uwezo wa kulirejesha taji lao la Ligi Kuu kutoka mikononi mwa Simba.

“Ujio wa Manji tu uwanjani ni hamasa tosha kwetu hata kama hajasema chochote lakini tunaamini anacho kitu kikubwa atakachofanya kwa Yanga hivyo kwa kuanzia sisi kama wanachama tumeanza tangu jana kuhamasishana kuichangia timu yetu,” alisema Kateule.

Katibu huyo alisema timu yao iko vizuri hasa wakicheza kwa hamasa ila kikubwa kinachowakwamisha ni uchumi kuyumba, hivyo kwa sasa baada ya kumuona Mwenyekiti wao yuko pamoja nao, wanaanza nguvu mpya ya kuchangia timu huku wakiwahamasisha mashabiki ambao bado si wanachama kufanya hivyo.

“Kwa Arusha tu pekee tuna wanachama zaidi ya 200 kila mmoja tulihamasisha achangie kuanzia 5000 hadi 10,000 kupitia mitandao ya simu  tunaamini zitikana fedha za kutosha za kuwati nguvu nyota wetu ili katika ligi watishe," alisema.

Alisema pia wanahamasisha mashabiki wengine kuingia uanachama na kuwa na moyo wa dhati ya kuisaidia klabu yao kwa hali na mali.

Alisema kama wanachama wanaamini zimebaki siku chache kama sio saa kabla ya Manji kurejea Yanga hivyo wanafanya juhudi za kuweka mazingira sawa akirudi  aikute klabu inaendelea na uchumi ili kuepuka kumbebesha mzigo mkubwa.

Je, umesumbuka kutafuta shuluhisho la urembo wa uso na ngozi yako bila mafanikio?

$
0
0

Je, umesumbuka kutafuta shuluhisho la urembo wa uso na ngozi yako bila mafanikio?
MWISHO WA KUSUMBUKA NI HAPA👇👇👇
MARK BEAUTY CREAM ni mafuta yaliyotengenezwa maalum kwa ajili ya kukufanya kuwa mweupe na soft mwili mzima na bila madhara. Acha kutumia mikorogo ili kulinda ngozi yako na afya yako kwa ujumla. Mafuta haya hayajachanganywa na viambata sumu (kemikali) na ni salama kabisa kwa mtu yoyote.
SIFA ZA CREAM HII :-
1.Kung'arisha ngozi haraka
2.Kuondoa sugu, madoa na makovu
3.Kuzuia ngozi kuchakaa (Ant aging)
4.Huzuia michirizi.
5.Haiunguzi ngozi kama mikorogo inavyofanya
6.Haisababishi chunusi
Mafuta haya yametengenezwa PARIS na yanasambazwa na Markson Beauty Products kote duniani @150,000/=
Kwa bidhaa za tiba na urembo tufuatilie kwenye GOOGLE au instagram @markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr
#bidhaaTz #uremboTz #cosmeticsTz #hipsnamakalioTz au wasiliana nasi kwa (+255) 0767447444 au
0714335378.

Mbaroni kwa Kukamatwa na Gramu 300 za Dawa ya Kulevya

$
0
0
Mbaroni kwa Kukamatwa na Gramu 300 za Dawa ya Kulevya
MAMLAKA ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini inamshikilia Mohamed Hussein Gulam (48), mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kukutwa na gramu 300 za dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ni heroin.



Kwa mujibu wa Kamishna wa Intelijensia wa mamlaka hiyo, Fredick Kibuta amesema Gulam alikamatwa Agosti 16, 2018 majira ya saa 9 usiku nyumbani kwake akiwa na dawa hizo wakati akiziandaa kwa ajili ya kuziuza na baada ya kuzikamata walifanya vipimo vya awali na kuonyesha kuwa ni heroin hivyo kisha kuzipeleka kwa mkemia mkuu ili kufanya uchunguzi zaidi.



“Huyo mtuhumiwa bado tunamshikilia tunasubiri majibu kutoka kwa mkemia mkuu wa Serikali yakikamilika hatua za kisheria zitachukuliwa ikiwemo kufikishwa mahakamani,” amesema Kibuta.

Inadaiwa Gulam alianza biashara hiyo ya kuuza dawa za kulevya mwaka 1995 wakati huo akiishi nchini Italia ambapo alikuwa akiagiza dawa hizo Pakistani na kuzisambaza nchi mbalimbali duniani.



Mnamo Mwaka 1999 alirudi Tanzania na kuendelea na biashara hiyo na alikuwa akishirikiana na washirika wake kutoka Nigeria alikokuwa anauza kwa rejareja na jumla. Baada ya kuhojiwa inadaiwa ametaja baadhi ya nchi alikokuwa akiziuza dawa hizo kuwa ni Uturuki, Italia, Afrika Kusini, India na Kenya.

Mashehe Wavuana Nguo Kisa Wanawake Morogoro

$
0
0
Wamevuana nguo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Shehe Juma Ahmed Kikwesa, mkazi wa Lugala mkoani Morogoro kumtuhumu Shehe Ahmadi Said Khairallah kuwa anamtongoza mkewe aitwaye Rehema Said.

Tukio hilo lililofuatiliwa kwa undani na Mtandao huu, limedaiwa kutokea Mei, mwaka huu mwezi ambao waumini wa dini ya Kiislamu walipokuwa kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan hivyo kuibua gumzo katika mitaa mbalimbali.



Sakata hilo la viongozi hao wakubwa wa dini kushindwa kumalizwa kimyakimya hadi kuwafikia waumini, liliwafanya waumini wengi wapigwe na butwaa huku wengine wakiona aibu kukutana nao maana wanawaheshimu.



“Yani sijui jamani imekuwaje wameshindwa kuyamaliza kwa siri hadi sisi waumini tumeyajua, mimi binafsi naona hata aibu kukutana nao,” alinukuliwa mmoja wa wakazi wa eneo hilo.

Kwa mujibu wa chanzo, Shehe Khairallah ambaye ni Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) Mkoa wa Morogoro, alianza kitambo kumtaka mke wa Shehe Juma ambaye ni Imamu Msaidizi wa Msikiti wa Lugala huku katibu huyo akiwa ndiye aliyefungisha ndoa ya Juma.



“Iko hivi, Juma na Shehe Khairallah ni majirani na marafiki wa karibu kwani wote wanakaa Lugala. Khairallah ndiye aliyefungisha ndoa ya Juma mwaka 2005. Baada ya kuwafungisha ndoa, kuanzia mwaka 2011 hadi 2013 Shehe Khairallah alianza kumchombeza mke wa Juma lakini ilipofika mwaka 2013 akaacha,” kilisema chanzo hicho makini.

Kikizidi kuelezea sakata hilo, chanzo hicho kilidai kuwa, ilipofika mwaka 2018, Shehe Khairallah akaanza tena ‘kumuimbisha’ na ndipo Juma alipomueleza mkewe wakusanye ushahidi na kumshtaki katika Baraza la Mashekh wa Wilaya Mtandao huu unayo nakala ya shauri hilo).



“Ilikuwa ni mwezi wa Ramadhan (Mei mwaka huu), sasa mke wa Juma alipokuwa anakusanya ushahidi wake, alimrekodi Shehe Khairallah alipokuwa akimtongoza, akaweka ushahidi wa miamala ya pesa aliyomtumia pamoja ndipo wakapeleka ushahidi huo katika baraza la mashekh wa wilaya.



“Jopo la mashehe wa wilaya lililoongozwa na Shehe wa Wilaya ya Morogoro Mjini, Abdulrahaman Shaban Kiswabi na mashehe wengine wanne; Mohamed Salim Masenga, Mussa Bolingo, Ramadhan Rashid na Therey Jafaar walisikiliza shauri hilo na kutoa hukumu,” kilisema chanzo hicho.

Kabla ya kutoa hukumu, chanzo hicho kilieleza kuwa, mshtakiwa aliitwa na kupewa nafasi ya kujitetea ambapo aliomba mke wa mshtaki afike ili kutoa ushahidi wake.



Hata hivyo mke wa mshtaki alipofika na kutoa maelezo yaliyoshibisha madai ya mumewe, awali mshtakiwa aliikana sauti iliyotolewa kama ushahidi na kusema si yake lakini baadaye alikiri kuwa ni yake na kusema alikuwa anazungumza na mwanamke huyo ili kuangalia uwezekano wa kumuoa kwani alimueleza kuwa ameachana na mumewe.



Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili, baraza hilo lilimtia hatiani Shehe Khairallah kwa kosa la kuvuruga ndoa ya muislamu mwenzake (Juma) na kumhukumu hukumu ya onyo; kosa lisilo na adhabu wala fidia. Baraza hilo pia lilimuandikia barua Shehe Mkuu wa Mkoa, Twaha Saleh Kilako ili aweze kuamua hatma ya nafasi ya Shehe Khairallah kama Katibu wa Bakwata Mkoa.



Katika barua hiyo ya jopo la mashehe wa wilaya, waliambatanisha na CD ya ushahidi wote walioutumia kutoa hukumu. Mwandishi wa habari hizi ailizungumza na Shehe Mkuu wa Mkoa ambapo alithitisha shauri hilo kuwepo mezani kwake na kwamba analifanyia kazi.



Mtandao huu pia uilifanikiwa kuzungumza na mdai, Juma ambaye alikiri kumshtaki katibu huyo wa Bakwata mkoa kwa kosa la kuvurunga ndoa yake. Alipotafutwa katibu huyo, hakuweza kupatikana. Jitihada za kumtafuta zinaendelea.

Sikuwahi Kuolewa Ila Tunapokwenda Wanawake watakua Wananguvu Kuliko Kina Baba

$
0
0
Image result for anna makinda
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Anne Makinda ameelezea historia yake fupi ya maisha toka enzi anasoma hadi kuja kufanikiwa kuwa kiongozi mkubwa bungeni.



Mhe. Makinda amesema maisha yake yote yalikuwa bungeni na kipindi hicho amesema kuwa alikuwa na fujo sana kuliko hizi ambazo zinafanywa na baadhi ya wabunge wa vyama vya upinzani bungeni.
Mimi maisha yangu yote yalikuwa bungeni, mimi mwenyewe kama kuwa mtu wa fujo i was of those.. nilikuwaga backbencher nilikuwa na fujo nawambia ndugu zangu akina Tundu Lissu kuwa kwanza nyie hamuwezi kunifikia mimi,“amesema Anna Makinda.
Akielezea upande wa mahusiano Bi. Makinda amesema yeye hakuwahi kubahatika kuolewa na amewaasa wanawake waliokwenye ndoa kuwa makini sana pale wanapopata mafanikio kwani ndio kipindi cha kushirikiana karibu sana na wanaume zao ili kufika mbali.
Mimi sikuwahi kuolewa lakini nilipopata mtoto wangu, aliyenisaidia sana ni dada yangu. Kwa hiyo nikiwa shuleni tu IDM nikipata ile shilingi 20 kumi napeleka kwa dada, 10 nabaki nazo kwa hiyo toka huko nilikuwa nafanya kazi I have to survive .“amesema Bi. Makinda  na kusisitiza jambo kwa wanawake walioolewa.
Tunakokwenda najua kabisa akina mama watakuwa na nguvu zaidi kuliko akina baba, na ndio maana nawa-advice pia tujifunze kuwapenda hawa watu. Kwa sababu kama wewe ni Couple umeolewa halafu unakuwa successful kuliko mume wako, usipoweza kumeneji hiyo anaweza kukuharibia hata wewe, ni vizuri kumshirikisha ikawa ile successful yako ikawa ni part ya familia yako au  successful ya couple yenu,“amesema Anne Makinda akielezea historia yake kwenye mahojiano na TGNP Mtandao, tazama video hapa chini.

Mama Mobetto: Hata Kama Wote Watakutenga Nitasimama na mwanangu

$
0
0
MAMA wa mwana-mitindo Hamisa Mobetto, Shufaa Rutiginga ameweka wazi kuwa hata kama watu wote watamtenga mwanaye huyo, lakini yeye atasimama nyuma yake siku zote bila kujali watu wanambeza kwani anajua uchungu wake. Mama Mobetto aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, watu wakie-ndelea kumzushia mwanaye mabaya na kumsema kila kukicha kazi yake yeye siku zote ni kumpa moyo na kumsihi asikate tamaa.

“Kazi yangu kubwa kwa mtoto wangu ni kumpa moyo na kumuonesha ni jinsi gani ninampenda maana naamini ni changamoto tu anapitia, lakini zitaisha na zitamfanya kusimama imara,” alisema mama Mobetto.

Ushindi wa Yanga Wazipambanisha Timu za Kundi D

$
0
0
Ushindi wa Yanga Wazipambanisha Timu za Kundi DWawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho klabu ya Yanga, jana imepata ushindi wake wa kwanza kwenye kundi D, wa mabao 2-1 dhidi ya USM Alger ya Algeria na kuzifanya timu 3 katika kundi hilo zigombanie nafasi ya kwenda robo fainali.

Yanga tayari imeshatupwa nje ya michuano hiyo ikiwa na alama 4 tu kwenye mechi 5 za kundi D lenye timu za Gor Mahia yenye alama 8 kileleni, USM Alger yenye alama 8 katika nafasi ya pili na Rayon Sports yenye alama 6 katika nafasi ya tatu. Kimahesabu timu zote tatu za juu zina nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Kuelekea kwenye mechi za mwisho za makundi, vinara Gor Mahia wao watasafiri kwenda nchini Algeria kusaka sare au ushindi dhidi ya wenyeji wao USM Alger ili wajihakikishie kusonga mbele. Wakati huo USM Alger naye anasaka matokeo kama ya Gor Mahia ili aweze kuwa miongoni mwa timu mbili zitakazocheza robo fainali kutoka kundi D.

Wakati USM Alger na Gor Mahia wakikipiga, Rayon Sports ambao wana alama 6 watakuwa nyumbani wakisaka ushindi dhidi ya Yanga na endapo watashinda watafikisha alama 9 na kusubiri matokeo ya Gor Mahia na USM Alger. Endapo Gor Mahia itatoa sare na USM Alger huku Rayon Sports ikishinda dhidi ya Yanga timu zote tatu zitafikisha alama 9 na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa ndio itaamua timu gani iende.

Safari ya Yanga SC katika michuano hiyo ilianza kwa kuchapwa mabao 4-0 na U.S.M. Alger nchini Algeria kabla ya kuja kutoa sare ya 0-0 na Rayon jijini Dar es Salaam na baadaye kufungwa na Gor Mahia 4-0 nchini Kenya na 3-2 waliporudiana hapa nchini kabla ya jana usiku kupata ushindi dhidi ya USM Alger kwenye uwanja wa taifa.

Kumlawiti Mwanaume Mwenzako Sababu ya Kumfumania na Mkeo ni Ujinga wa Kiwango Chake

$
0
0
Naamini mapenzi hayalazimishwi wala hayashikiwii Mtutu.

Pia naamini kwa dhati kabisa penzi linapokwisha ni bora watu watengane tu. Hakuna ndoa kama upendo haupo au maelewano hayapo.
Ndoa ni maelewano na makubaliano ya watu walio oana kimtazamo,kiuchumi, kidini na mambo Kede Kede. Haya yanapokosekana hakuna ndoa na usilazimishe upendo..

Kuna upuuzi fulani wa kumfumania mtu na kumlawiti mwanaume mwenzako au kumuua kabisa
Mimi naamini wanawake ni watu timamu na wenye maamuzi sahihi kabisa. Ukiona mke wako amekusaliti, achana naye.

Ukristo unaruhusu ndoa kuvunjika sababu ya uzinzi lakini pia hairuhusu kisasi kwa namna yoyote ile wala hauruhusu kuua mtu sababu ya usaliti.

Mara nyingi wanawake hutoka na kutafuta wanaume wenyewe. Lakini hata akitafutwa ana haki ya kukataa. Kuna wakati wanawake wengine huvua hata pete za ndoa mavyuoni humu na hata maeneo mengine

Kulazimisha mapenzi ni ujinga wa kiwango chake. Mpe mwanamke mziki aupendao uone kama atatoka kama umeoa mke kweli.

Kulikuwa na mwanamke fulani anakwenda kusema kwa mume wake kila akitongozwa. Siku kasema katongozwa na fulani na mume anamfahamu kaenda speed kwa jamaa. Kufika kule ugomvi ukaanza. Jamaa mwenye mke kapigwa na kupata ulemavu mpaka leo. Nani kasababisha haya?. Mke bila shaka.

Nimalizie kwa kusema huwezi kummiliki mtu. Mtu ana moyo wake na maamuzi yake. Mtendee wema mkeo na kama yuko kamili hatokusaliti. Lakini kama ulioa yule wa mwanaume mashine usiingie hatiani kuua au kulawiti mwanaume mwenzako sababu ya maamuzi ya mtu aliye timamu kabisa.

Mabaya mawili hayaleti usahihi.

Maskini..Mke wa Mzee Majuto Afukuzwa Aomba Msaada Kwa Watanzania

$
0
0

Mke wa marehemu Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto amesema kuwa amefukuzwa katika nyumba aliyokuwa akiishi na mume wake jijini Tanga maeneo la Donge.

Amesema kuwa watoto wa marehemu pamoja na Ndugu wa Mzee Majuto ‘wamemfukuza’ wakidai kuwa hawana pesa za kumsaidia hivyo ajisaidie mwenyewe kupitia pesa za pole anazopata toka kwa watu.

”Toka amekufa marehemu mume wangu hakuna mtu yeyote amenisaidia zaidi ya Watanzania na marafiki wa marehemu” amesema mke wa Majuto.

Yapata siku 12 tangu mwigizaji Mzee Majuto afariki dunia katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mke wake ambae walizaa watoto wanne ameongea na chombo cha habari cha Ayo TV nakuomba msaada toka kwa watanzania wamsaidie k

”Mimi mpaka dakika hii atakayeweza kunisaidia kwa chochote kile nipo tayari iwe kimawazo, kipesa, kibiashara nipo tayari” amesema Mke wa Majuto.

Amesema kwamba alipokuwa anaishi na mume wake mkoani Tanga amefukuzwa na sasa anasaidiwa na ndugu zake anapatikana jijini Dar es salaam maeneo ya Vingunguti machinjioni.

Uvumilivu Unanishinda, Nashindwa Kutunza Bikira Yangu

$
0
0

Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...Marafiki zangu wanadai hiyo kitu ni tamu sana

Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu.  Ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.

Mwanaume Kudharaulika na Mwanamke ni Uzembe

$
0
0

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........

Makala: Kwa Mwendo Huu, Rich Mavoko ‘Kazi Anayo’

$
0
0
Alikuwa mtoto mwenye kipaji cha hali ya juu, ‘Messi anasubiri’. Mithili ya jogoo aliyepata nafasi ya  kutoka nje ya banda mapema, sauti yake iliposikika alfajiri, iliwashtua majirani ambao walinogewa na mvuto wa sauti yake na kumpa nyota nyingi begani kwa namna ambavyo mirindimo ya sauti hiyo iliweza kuyakuna masikio yao na kuwaamsha usingizini.

Kama ilivyo hali ya ubinadamu, wakaazi wa eneo hilo waliponogewa zaidi na sauti yake, walianza kumshindanisha na jogoo aliyekuwa anatamba katika eneo hilo. Jogoo ambaye sauti yake ilikuwa imefika karibu kona zote za bara la Afrika. Ukaanza kusukwa mgogoro. Kwa lugha ya kigeni ‘beef’. Watu wakauivisha na maandishi yakaanza kusambazwa kuwa majogoo hao wawili wana ugomvi mkubwa kwani kila mmoja anajua ‘yeye huwika vyema zaidi ya mwenzake’.

Hata hivyo, alfajiri moja, wakati ambapo wakaazi wa eneo hilo walikuwa wamekaa mkao wa kutaka kusikia ni jogoo yupi atawika vizuri zaidi ya mwenzake na kuanza kutabiri nani zaidi, ghafla walisikia majogoo hao wamekubaliana kushirikiana kuwika kwa pamoja na yote yaliyokuwa yanasukwa ‘Ikabaki Story’. Yaani wa pili ameamua kuwa chini ya yule aliyesikika hadi nje ya bara. Sauti ya majogoo hao wawili zilisikika kwa kishindo kikuu walipoamua kuwika pamoja kwenye ‘Kokoro’. Afrika ilisimama dede.

Akiwa chini ndani ya banda lenye majogoo wengine ‘Wasafi’, banda ambalo ni maarufu kwa sauti zenye ladha ya aina yake ambazo kila zikisikika zinafunika na kuzua gumzo, jogoo huyo alishirikiana pia na mmoja aliyemkuta ndani ya banda hilo na wakasikika wakiwika ‘Show Me’, ‘Zilipendwa’. Hakika walifanikiwa.

Lakini waswahili husema ‘ya ndani’ ayajuaye panya aliyendani ya kabati. Rich Mavoko, jogoo aliyeingia ndani ya banda akiwa anamashabiki wengi wanaoamini uwezo wake wa kuwika, alijiondoa kwenye banda hilo na kudai anaonewa, kwamba hapati mrejesho unaolingana na namna anavyowika. Kwamba kuna kupe ndani ya banda, hivyo anaomba asaidiwe asiendelee kunyonywa. Hata kabla ya kupata majibu yote, tayari aliamua kuanzisha banda lake ‘Bilionea Kid’, ambapo atakuwa anawika mwenyewe na kualika majogoo wapya.

Kupitia picha hiyo, uamuzi wa Rich Mavoko sio tu kwamba umepokelewa kwa mitazamo tofauti, bali pia umesababisha mashabiki wa WCB na waliokuwa mashabiki wa Mavoko kuwa kwenye sintofahamu ya nini kinachofuata.



Kikubwa, Mavoko amekuwa kwenye ‘spotlight’, wengi wakisubiri kuona nini ambacho atafanya na madhara yake kwenye ulimwengu wa muziki.

Hali hiyo imesababisha wimbo wake mpya ‘Ndegele’ kuvuta maoni mengi, wengine wakimpongeza na wengine wadai amepotea na kwamba ni bora angebaki WCB. Ni dhahiri kwamba karata hii ya kwanza kutupa akiwa peke yake, ukiacha ‘Happy’ inayodaiwa kuvuja, haikupata mapokezi makubwa kama ilivyokuwa kwa nyimbo zake nyingine kabla na hata akiwa ndani ya WCB.

Sio kwamba wimbo huo sio mzuri, la hasha. Ni kwa sababu sasa mashabiki wengi wanampima Rich Mavoko aliyekuwa anawika ndani ya Banda la Wasafi, na Rich Mavoko anayewika akiwa peke yake. Hii ni changamoto kubwa kwake kwani ni vigumu kwake kuwika kwa sauti kubwa zaidi ya sauti ambayo ilikuwa ikisikika ikisaidiwa na nguvu ya waliokuwa wakimlea ndani ya Banda hilo. Sasa anajitafutia. Matarajio ya mashabiki wake ni makubwa kupita kiasi!

Alipowahi kuulizwa anaona utoauti gani kuwa peke yake na kuwa ndani ya WCB, Mavoko aliwahi kukiri kuwa akiwa ndani ya WCB amekuwa na wakati mzuri zaidi kwani anachotakiwa kufanya ni kuandaa ‘ngoma kali tu na kupanga jinsi ya kuwika’. Lakini alipokuwa nje, ilibidi awaze yote yeye mwenyewe, jinsi ya kufanya nyimbo na jinsi ya kufanya promosheni ya nyimbo hizo.

Kutaka kumfananisha Mavoko na kundi la WCB kwa siku chache hizi tangu atoke, ni sawa na kumshindanisha mtu aliyekuwa amekabidhiwa duka kubwa aweke bidhaa zake tu halafu kuna timu ya kuuza bidhaa hiyo, na mtu ambaye anabidhaa zake chache mkononi na yeye ndiye muuzaji na mtaji wake haulingani na ule wa duka.  Kisha ukataka kushindanisha mauzo/mapato.

Ufananishaji huo ndio umewafanya wengi kuanza kuzipima ubavu ‘Nibebe’ na ‘Ndegele’, zilizotoka ndani ya siku kadhaa. Unaweza kujua nini kitatokea. Zote kali lakini…!


Rich aliwahi kueleza kuwa wakati watu walitaka kumshindanisha na Diamond kabla hajaingia WCB, walisahau kuwa yeye alikuwa na nyimbo chache kubwa, huku mwenzake alikuwa na mrundikano wa nyimbo hizo zinazotosha Albam. Pia, Mondi alikuwa na timu nzuri na kubwa pamoja na mtaji.

Leo, Kokoro iliyotoka mwaka 2016 imetazamwa zaidi ya mara milioni 4, ‘Show Me’ akiwa na Harmonize imetazamwa zaidi ya mara milioni 9.


Lakini kutangulia sio kufika, kwa kipaji na uwezo mkubwa alionao Mavoko, lolote linaweza kutokea. Huenda tukawa na WCB nyingine kwenye ‘Bilionea Kid’, hakuna aijuaye kesho. Hakuna mwenye utambuzi mzuri wa muziki atakayethubutu kusema Rich hajui, wengine wanamuita Messi wa Bongo Fleva.

Lakini, kwakuwa ni ngumu kuzima nia ya mashabiki kutaka kupima kila wimbo wa Mavoko utakaotoka na nguvu ya WCB, ngome ambayo hivi sasa ni ‘Barcelona’ ya Bongo Fleva; au kulinganisha madhara aliyokuwa nayo kwa ngoma alizotoa akiwa WCB, ni dhahiri kuwa hivi sasa “Mavoko Kazi anayo”.

Wengi wanasubiri kuona anavuka mstari wa ‘Show Me’, ‘Kokoro’, ‘Rudi’, Imebaki Story’, ‘Sheri’.

Tuanopenda muziki mzuri bila kujali mengineyo, tunamtakia kila la kheri.

Ushauri wa Bure Kwenu Wanawake Mabubu na Magogo Kunako Kitandani

$
0
0
Raha ya mapenzi ni kuridhishana na kufikishana kunako kilele cha utamu.Hakuna faida ya kua na mpenzi ambae kunako 6*6 hakuna lolote analo lijua zaidi ya kuchoshana tu na kupakana jasho.Ili uweze kumlizisha mwenza wako sio lazima mfanye mapenzi kwa mda mrefu au sio lazima mpaka mwanaume amiliki dushe la inchi 7.Mwanaume wa ukweli ni yule ambae anaweza kucheza na maeneo muhimu ya utamu ya mwanamke.

Na mwanamke wa ukweli ni yule ambae anaweza kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mwanaume wake wakati wa tendo la kugegedana.Hata kama mwanaume una kibamia chako cha inchi3 haijalishi.Ndani ya nusu saa tu unaweza kumlizisha mpenzi wako kama unayajua vizuri maeneo muhimu ya utamu wa mwanamke na jinsi ya kuyapata na kuyakuna vizuri.

Kwa bahati nzuri wanawake wana maeneo matano(5) muhimu ambayo uwawezesha kusikia utamu wakati wa kugegedanaSehemu muhimu ni;

(1)mwanzo wa papuchi(mdomoni)

(2)kuta za papuchi

(3)kisimile(clito,ris)*

(4)Kipele G(G Spot)

(5)AFE (mwisho kabisa mwa kina cha papuchi)

Mwanamke anaweza kufurahia kupata utamu wa tendo hili takatifu la kugegedana kwenye maeneo hayo muhimu kama mwanaume anajua kuwajibika na ni mtundu wa kucheza na maeneo muhimu tu.Haijalishi unatumia mda gani na unamiliki dushe la saizi gani.

Lakini utamu wa maeneo hayo muhimu unazidiana.Kwahiyo katika maeneo hayo eneo namba nne(3) na namba tano(4) ndio maeneo muhimu sana kuliko maeneo hayo mengine na mwanaume anatakiwa awe mtaalamu wa kutumia dushe lake vizuri kugusa hayo maeneo muhimu

Ushauri kwa wanawake Mabubu:
Mwanamke unatakiwa uwe huru na wazi kumueleza mwanaume wako ikiwa kagusa kusiko au kapatia kunako utamu.Haipendezi kwa mtoto wa kike kua bubu kama vile umepigwa na shoti ya umeme.Na unapoguswa sehemu muhimu mueleze kwa maneno kua apoapo umepatia,au toa sauti ya mahaba,legeza macho,likatikie dushe ili kumpa moyo mwanaume wako na aendelee kukukuna vizuri.Sio unabaki umeshupaa uso na hata kuguna kidogo huwezi kama vile ulilazimishwa kugegedwa wakati ulikubali mwenyewe.

Mwanaume unatakiwa ujue maumbile ya dushe lako na ujue ni staili gani nzuri itakayokufanya uweze kuzipata hizo sehemu muhimu kwa urahishi.Na hakikisha unapopiga nje ndani basi dushe lako halikosi shabaha ya kulenga vizuri kile kipeleG kwababu ndio utamu wenyewe wa mwanamke unapopatikana.Staili ya doggy staili/chuma mboga/mbuzi kagoma ambazo wanaume wengi wanazipenda ni nzuri kwa mwanaume kwasababu ya kupigwapigwa na yale makalio lakini ni ngumu kuweza kukipata kipeleG kwa urahisi.Kwahiyo unashauriwa kuzifanya mwishoni wakati tayari umeshamridhisha mpenzi wako

Ushauri kwa wanawake Magogo:
Jitahidini kufanya mazoezi ya viungo ili muwe wanyumbulifu na muweze kuwa wepesi wa kumudu staili tofautitofauti.Ili umsaidie mwanaume wako aweze kukugusa sehemu zako muhimu na kukufikisha kunako kilele cha utamu.Wapo wanawake wengine wanadhani kumudu staili tofauti tofauti ni umalaya lakini dhana hii sio ya kweli.Mtoto wa kike unatakiwa kua mbunifu sio tu kuendekeza staili moja tu ya kifo cha mende.Kila unapopanda kwenye uwanja wa 6*6 huna chochote unachojua zaidi ya kutenga bakuli tu.Ni aibu sana kwa mtoto wa kike kukakamaa kama ubao na na husitafute mchawi ukiachika.

Kwa leo yangu ni hayo tu nawaachia wadau wengine kuongezea mengine


N.B (*)-tafsida kidogo imetumika ili kupunguza ukali wa neno


Jinsi ya Kujiokoa Unapokua Umedumbukia kwenye Bahari

$
0
0
Mwanamke mmoja muingereza ameokolewa baada ya kukaa saa kumi kwenye maji katika bahari iliyopo fukwe za Croatia baada ya kuanguka kutoka upande wa nyuma wa meli.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 alikuwa peke yake na sehemu aliyoangukia ilikuwa ni maili 60 kutoka kwenye fukwe wakati alipookolea kupelekwa hospitali.

Maelezo zaidi kuhusu kupona kwake kwa kushangaza bado yanaendelea kufuatiliwa.

Lakini ukikutana na hali kama hiyo ni nini ambacho unaweza kukifanya ili kikusaidie uweze kujiokoa?

Kulikuwa sababu kadhaa ambazo zilimsaidia kuokolewa Kay Longstaff.

Mtaalamu wa uokozi katika maji ,Simon Jinks alisema mwanamke huyo alizama mita tatu au nne katika maji mara baada ya kuanguka na hiyo ilimsaidia kutovutwa na meli.

Kwenye maji kuna mawimbi ambayo yanaweza kukusukuma lakini vilevile inategemea na mwendo wa meli lakini vilevile inategemea na bahati ya mtu.

Vilevile inawezekana upepo au mawimbi yalivyokuwa yanavuma katika upande wa meli hiyo .

Sababu nyingine ambayo zinaweza kumfanya mtu apone ni joto la maji ,kwa kukadiria inawezeana alizama kwenye maji ambayo yalikuwa na nyuzi joto28 au 29,au yalikuwa na joto zaidi ya kwenye bwawa la kuogelea,allisema hivyo mtaalamu wa mazingira ya ukoaji katika maji .

Mtu anaweza kupona kwa saa moja katika maji yenye nyuzi joto 5,masaa mawili kwa nyuzi joto kumi na saa sita kwa nyuzi joto 15 lakini kama joto ni kali zaidi ya nyuzi joto 20 basi inawezekana mtu kuweza kupona kwa saa zipatazo 25.

Binadamu wanaweza kuwa kwenye maji baridi kama joto lake ni dogo ,hii ikiwa inamaanisha kwamba inaweza kumpa uwezo wa kupumua na kuelea kwenye maji bila kuzama.

Na kama joto la mwili litapanda basi mtu anaweza kuchoka kwa haraka,kuchanganyikiwa au kufadhaika.

Kama angezama katika bahari iliyopo karibu na Uingereza basi angekuwa kwenye maji yenye nyuzi joto 12 na 15 ambao ni ubaridi wa kutosha wa kufanya maji yamshtue mtu.

Jaribu kuelea

Kwa mujibu wa muongozo wa njia za kujiokoa ambacho kiliandikwa na wavuvi kutoka Irish ,namna nzuri ya kuweza kujiokoa ni kutokuogea badala yake inabidi uelee tu katika maji wakati magoti yako yakiwa umeyanyanyua mpaka kwenye kifua chako.

Hivyo inawezekana mwanamke huyo alitulia na akaweza kuwa anaelea na kuogelea lakini alibaki katika eneo lile lile aliloangukia,


Hakuweza kuwa amepigwa na mawimbi kwa wakati wote bila shaka ndio maana hakuweza kuzama.

Mtatiro: Lowassa Siyo Msaliti Kwa Kuwa Hakishambulii Chama Chake cha zamani ( CCM )

$
0
0
Aliyekuwa kada mtiifu na kiongozi wa Cuf Julius Mtatiro amesema msaliti ni yule anayehama na kuanza kukishambulia na kukibomoa chama alichokijenga mwenyewe. Amesema Prof Lipumba ni msaliti na kwa mikono yake ameiua Cuf bara na kwamba kiukweli huku bara Cuf imeshakufa imebakia Zanzibar pekee. Mtatiro amesisitiza kuwa Lowassa siyo msaliti pamona na kutukanwa sana na makada wa CCM lakini hajawahi kuvujisha siri anazozijua wala kukitukana chama hicho. Amesema na yeye siyo msaliti kwani pamoja na kuhama bado anakiheshimu Cuf kama chama kilichomlea na kumkuza.

Source Clouds 360!

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

$
0
0

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..

 MADHARA KWA MWANAUME.
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

 2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

 3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

 4.Utasa au ugumba.

 5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

MADHARA KWA MWANAMKE.
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

 2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

 3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

 4.Utasa au Ugumba.

 5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
NOTE
 Hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

Wasanii wa Kiume Bongo Kuanza Kupakwa 'Lipstick'

$
0
0

NA ISMAEL MOHAMED
'Video vixen' maarufu na 'Makeup Artist' ambaye pia ni mpenzi wa rapa Moni Centrozone, Nai, amefunguka na kudai yupo tayari kuwapaka wasanii wa kiume 'lipstick' pamoja na kuwavalisha mawigi ili kusudi wawe na mvuto zaidi katika video zao.

Nai amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV, baada ya kusambaa kwa 'video' ambayo inamuonesha rapa Country Boy akiwa amepaka rangi ya mdomo inayofanana na aliyopaka mrembo huyo.

"Sasa hivi nimeona ni bora ni 'deal' sana na wasanii wa kiume kwasababu wengi wao wamekuwa wakitokea katika video zao wakiwa simple yaani yupo natural yeye kama yeye na machunusi. Unajua wakiwa katika muonekano wa makeup wanakuwa wazuri, mwanaume akipakwa wanja chini ya macho inamfanya anapendeza zaidi", amesema Nai.

Pamoja na hayo, Nai ameendelea kwa kusema "kupaka 'lipstick' ni ubunifu. Kiukweli nina mikakati ya kuwabadilisha wasanii wa kiume bongo kwasababu wamekuwa wakitokea kawaida sana".

Wazo hilo la Nai kuwapaka wanaume 'lipstick' pamoja na kuwavalisha mawigi limekuja takribani miezi mitano kupita tokea, msanii Dogo Janja kuonekana amevalia mavazi ya kike pamoja na kujiremba kabisa katika video yake ya 'wayu wayu'.

Mtazame hapa chini Nai akifafanua zaidi juu ya suala hilo


Muda Sahihi wa Kuingia Kwenye Ndoa

$
0
0

NA MWANDISHI WETU
Imeelezwa kuwa katika masuala ya Ndoa hayana muda sahihi wala kanuni inayoongoza mioyo katika uanzishwaji wa mahusiano ya kimapenzi bali huwa ni utayari wa nafsi.


Akizungumza kupitia kipindi cha DADAZ cha EATV kinachorushwa kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa, hii leo Agosti 20, Padri. Fred Maziku ambaye pia ni mwanasaikolojia amesema, maandalizi ya kuingia kwenye Ndoa huanzia kwenye suala la kiuchumi na kifikra na kwamba, haisukumwi na umri au sababu nyingine zisizokuwa za msingi.

Padri. Maziku amesema, si sahihi kwa watu kuamua kuingia kwenye Ndoa kwa kigezo cha umri au kuiga kutoka kwa watu wao wa karibu, kwani kwa kufanya hivyo ni vigumu kuwa na amani katika ndoa.

“Ndoa ni maandalizi hauhitaji kukurupuka tu, unahitaji maandalizi ya kiroho, kiuchumi na kuwa tayari kuishi maisha ya mume na mke katika hali zote”, amesisitiza Padri. Maziku.

Aidha, ameongeza kuwa, katika mahusiano, mwanamke hupenda polepole na kwa hisia zote tofauti na mwanaume ambaye hufikiria kufunga ndoa ili kupata mke huku mwanamke huwaza kupata watoto, hivyo asili ya mwanamke ni uhai.

Katika kipindi cha hivi karibuni mahusiano mengi yamekuwa yakishindwa kushamiri na kuvunjika muda mfupi baada ya ndoa kutokana na sababu ambazo mwanasaikolojia ameainisha ikiwemo kuoa au kuolewa sababu ya shinikizo kuhusu kitu au mtu wakati nafsi haijawa tayari.
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live




Latest Images