Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Manji akiri Simba imemshinda amemwachia Mola tu...Maximo anafikiriwa kwa sasa...

$
0
0
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.

"Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

Mshindi wa Pili wa BBA Hotshots 2014: Akanusha kupewa pesa na tajiri wa Nigeria

$
0
0
Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha ripoti zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa na mshindi wa kwanza mwaka huu Idris wa Tanzania.

Ripoti hizo zilidai kuwa Tayo alipewa zawadi hiyo na bilionea aitwaye Ayiri Emani kama kifuta jasho au fidia ya kuzikosa $300,000 za mshindi wa HotShots.

Tayo amekanusha habari hizo alipohojiwa na kituo cha Radio 1 South Africa. Amesema kuwa habari hizo za kuwa amepewa kiasi hicho kikubwa cha pesa na huku hata hamfahamu bilionea huyo, zimemletea usumbufu kwasababu watu wengi watadhani yeye ni milionea na huku sio kweli.

Tayo aliongeza kuwa yeye na Idris ni marafiki na anatarajia kuja Tanzania mapema iwezekanavyo.

Chanzo: Big Brother Africa 2014

Miss Tanzania Azidi Kupaa Miss World, Uwezi Amini Sasa Anashika Number Mbili..Kura zahitajika ili Ashike Number Moja

$
0
0
Mwaka Huu Wetu Mpaka Watatujua Vizuri Tanzania , Miss Wetu Anayeiwakilisha Tanzania katika Mashindo Makubwa ya Urembo Duniani Miss World Anazidi Kupaa Katika Kipengele cha People Choice Awards , Kwa sasa anashikilia Number Mbili Number moja ikiwa inashikiliwa na Thailand..Ili Kumfanya Awe number Moja Mtanzania Unaombwa Kupiga Kura Kwa Kupitia Smart Phone yako.....

Jinsi ya kuweza kuipata app ya kukuwezesha kupiga kura
1. Nenda kwenye play store au app store
2.andika MISS WORLD kisha download
Jinsi ya kupiga kura
1.ukishaidownload hiyo application, ifungue kisha chagua bendera ya kwanza kabisa kati ya bendera tatu zilizopo hapo
2.ikishafunguka itakuonyesha , masaa na siku zilizobaki za kupiga kura 
3.tafuta sehemu imeandikwa BROWSE CONTESTANTS click hapo
4.juu kabisa utaona sehemu ya kutafuta hapo andika TANZANIA
5.litakuja jina la nchi na mshiriki, chagua hapo 
6.kisha nenda sehemu imeandikwa ADD TO TOP 3, gusa hapo
7.chagua washiriki wengine wawili (pamoja na wa kwetu watakuwa ni wa 3) kisha utaweza kuvote.
NB: please over please msichague mshiriki ambae hapo juu anaonekana ni wa 50, 25 au 10. Mchague ambae hana kabisa namba iama vile british virgin, ecuador, denmark, latvia na wengineo.

Jinsi ya kupiga kura mara nyingi bila ya ku unistall application ya miss world
1.nenda kwenye setting ya simu yako
2.nenda kwenye application zako kisha ichague miss world
3. Nenda sehemu imeandikwa CLEAR DATA kisha ok
4.ukishakubali kufuta data za miss world application rudi kwenye application yenyewe na uweze ku VOTE tena na tena, tena na tena, tenaaaaaaa
NB:kila baada ya kuoiga kura rudi kwenye setting kisha clear data piga tena kura
Lets go Tanzania. LETS CHEAT AGAIN!

Idriss Awataja Watu Baadhi na Kusema ndio Waliofanikisha Ushindi Wake..Wabongo Waja Juu na Kusema Idriss Hana Shukrani

$
0
0
Siku Mbili zilizopita Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan Alipost hiyo Picha kwenye mtandao wake wa Instagram  Kuandika:

 "People behind my winning, its out of love that i got to have all on my side. #idrisgivesback #africa1st #spreadinglove @banye_loverance @gladyzshao@hamisahmobetto @makeupbyjojo"

Post Hiyo Haikuchukuliwa Vizuri na Baadhi ya Mashabiki Wake Kwa Kudai Kuwa Hana Shukrani Kwani Ushindi Wake Umechangiwa na Watu Wengi Sana Kiasi Kwamba Watu Wengine Walikuwa Hawalali Wakipiga Campaign Kwenye Mitandao Kuhamasisha Watu Wampigie Kura Sasa Kitendo cha Kuwashukuru Watu Kadhaa na Kusema ndio Wamefanikisha Ushindi Wake ni Kukosa Shukrani kwa Watanzania na East Africa Kwa Ujumla...

Baadhi ya Comments za Watu zikimponda ni Hizi Hapa:


pexerboi
Ama kueli pata pesa tujue tabia zako.....1/2 a billion nd znakupa kibur mpka usahau walokufkisha apo.....nwey ni changamoto pia. Na nd tabia ya pesa..cha mcngi jifunze tu kuzifanya zizae wasje wakakucheka ukifulia koz wa2 wa chini nd ivoo uxha2chafua xo ha2takupokea ukiwa unarud chini zaid ya kukuacha upite..na kukunyoshea vidole@idrissultan



kuryanprincess
You are so ungrateful those people u mentioned above did not even put much effort in emphasizing people to vote for u do u know how much effort we put n how u r just making people famous ama kweli pata ela tujue tabia yako how comes u didn't thank them before BBA or u were communicating with them in the BBA House...u should thank the whole EA

guenwilliums
Kiukweli Idriss kwenye inter views sawa umewashukuru wote waliokupigia kura, ila hapo kwenye caption ungeandika KTU kingine sababu hapo imeonekana Kama hao tu ndo waliokufanikisha Sana kuliko wengine wakati kiuhalisia kuna watu wengi walijitoa hali Na Mali @idrissultan kibusara tu apologize watanzania Na fans wako wote East Africa watakuelewa am sure plz plz @idrissultan

habari_za_walimwengu
Watu wengi walijitoa muhanga kukupigia kura. Usitaje mmoja mmoja taja kwa jumla.


f1lady_hk
Mmh jamani this not fair kwa kweli. Watz walivyokuwa wanakupost kwenye account zao na kubekbeleza watu wakupigie kula uwiiiiiiii @usipojipangantakupanga @officialjestinageorgeblog @wemasepetu @diamondplatnumz @bigbrotherafrica_tanzania_fans @martinkadinda yaani ni wengi ni bora ungeshukuru Africa nzima. Mh hadi mobeto? Anyways none of my business. 

najipenda_
Mmm we @idrissultan huyo @hamisahmobetto sijawahi muona hata akikusupport siku moja kwa nini huyo rafiki yako asikwambie ukweli wa nani na nani kweli walikiwa nyuma ya campaign yako? Unajijengea chuki zisizo kuwa na msingi kwa watanzania walio kupigia kura kwa roho moja sababu ya hao watu ulisahahu hata kuwashukuru.

Madai Mazito: Rose Mhando Atundikwa Ujauzito, Ajificha Ndani Kukwema Wadaku

$
0
0
STORI: Mwandishi Wetu
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.

Mapema wiki hii, chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose ambaye hana mume, amenasa na muda wowote kuanzia sasa anaweza kuitwa mama.

KUMBE
Madai ya chanzo hicho yalieleza kwamba, staa huyo amekuwa akijichimbia nyumbani kwake mkoani  Dodoma tofauti na siku za nyuma ambapo alikuwa hakauki jijini Dar.

“Kama hamsadiki ninayowaambia, najua ninyi mmebobea kwenye habari za uchunguzi ‘so’ fanyeni yenu mtaniambia,” kilidai chanzo hicho kikiomba chondechonde kisichorwe jina gazetini.

KUJIRIDHISHA
Ili kujiridhisha na habari hiyo, pasipo kwanza kuwasiliana na Rose, moja kwa moja, gazeti hili lilimpigia simu mmoja wa watu wa karibu wa nyota huyo (jina linahifadhiwa), alipopatikana, aliulizwa kuhusu ishu hiyo na haya ndiyo aliyoyaeleza:

“Yaani hadi leo mlikuwa hamjapata hii habari? Mimi siku zote nilikuwa najua labda kwenu siyo habari kwa sababu ujauzito huu ni wa siku nyingi. “Hata sasa hivi ukimuona alivyo unajua wazi kuwa kuna kichanga tumboni kwani tumbo limechomoza hatari.”

Mtu huyo wa karibu alisema anapokuwa nyumbani Dodoma mara nyingi amekuwa mtu wa kukaa ndani tu kutokana na watu kumshangaa.Alisema Rose amekuwa akijificha kwa sababu ya kuogopa macho ya watu na uchovu unaotokana na hali aliyonayo ‘kuchoka’.

NANI MHUSIKA?
Juu ya nani mhusika wa mimba hiyo, mtu huyo wa karibu, ambaye anafahamu kila kinachofanywa na nyota huyo wa Wimbo wa Facebook alisema kuwa, inadhaniwa kuwa ni ya mcheza shoo wake (jina kapuni).

Inadaiwa kwamba, Rose, mara kadhaa amekuwa akisisitiza kuwa ni lazima amzalie mtoto jamaa huyo kwa jinsi anavyompenda.“Huyo mcheza shoo ana uhusiano naye kwa muda mrefu kidogo na ameshasema kwa watu wengi tu kwamba endapo Mungu atapenda basi atafurahi kama atamzalia mtoto.
“Mimi hajaniambia mimba hasa ni ya nani, lakini naziona dalili zote kuwa ni ya huyo kijana,” alisema mtu huyo.

MWENYEWE ANASEMAJE?
Baada ya kujiridhisha na maelezo ya mtu wake wa karibu, gazeti hili lilianza kumtafuta Rose, mama wa watoto watatu ambao wote amezaa na wanaume tofauti, lakini katika hali ya kushangaza, simu yake iliita hadi kukatika bila kupokelewa, hata baada ya kupigwa mara kadhaa.

Likiamini huenda alikuwa katika shughuli au mahali panapombana kuzungumza, gazeti hili lilimtumia ujumbe mfupi wa maneno (SMS) na kumsomea mashitaka hayo ili atoe ufafanuzi, lakini pia hakuweza kujibu.

Likiamini huenda simu yake haisomeki kwa mtumishi huyo wa Mungu, gazeti hili lilitumia simu nyingine ambayo nayo iliita kwa muda mrefu hadi kukatika pasipo kupokelewa na hata pia alipotumiwa ujumbe mfupi wa simu wenye maelezo kuhusu hali yake ya sasa, pia haukujibiwa hivyo jitihada zinaendelea.

NI MTOTO WA NNE
Endapo itathibitika, ujauzito wa Rose utakuwa ni wa mtoto wa nne ambapo mara kadhaa staa huyo amekuwa akisema hayupo tayari kuolewa hivyo kuwaacha baadhi ya watumishi midomo wazi wakiamini mtu wa sampuli yake haifai kuzaa nje ya ndoa.
GPL

"Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

Baada ya Kusemwa Hana Shukrani, Idris Agundua Alipokosea na Kuweka Meseji ya Kushukuru Watu Wote Waliofanikisha Ushindi Wake

$
0
0
Baada ya Kusemwa Hana Shukrani, Idris Agundua Alipokosea na Kuweka Meseji ya Kushukuru Watu Wote Waliofanikisha Ushindi Wake Big Brother Africa:

"THANK YOU AFRICA - THANK YOU AFRICA
THANK YOU TANZANIA
THANK YOU MY LOVELY VOTERS
THANK YOU
FOR THE MASSIVE CAMPAIGNING
THANK YOU ALL EX BBA'S, FORMER HOTSHOTS HOUSEMATES WHO SUPPORTED ME
THANK YOU ALL CELEBRITIES USED THEIR PRECIOUS TIME TO SUPPORT ME
SPECIAL THANKS GOES TO
NAMIBIA
KENYA
UGANDA
RWANDA
YOU GUYS ARE SIMPLY AMAZING
SPECIAL THANKS TO FORMER HOTSHOTS HOUSEMATES @SAMANTHA_BBA_HOTSHOT AND @LUISMUNANA @ARTNKUSI @SABSTADLER @MELVINALUSA ALL
WE LOVE YOU SO MUCH, MAY GOD BLESS YOU
TANZANIANS LOVES YOU AFRICA
REMEMBER
ONE LOVE
ONE BLOOD
ONE AFRICA
#IDRIGIVESBACK" Says Idris Sultan

Love Quote of the Day
When a woman is talking to you, listen to what she says with her eyes.


Download Wimbo Mpya wa Yamoto Band (Mkubwa na Wanawe) Unaitwa- Nitakupwelepweta

$
0
0

Download Wimbo Mpya wa Yamoto Band (Mkubwa na Wanawe) Unaitwa- Nitakupwelepweta "Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

Kampuni zinazokamata Magari Yanayovunja Sheria za Maegesho zafungiwa Baada ya Kuwa Kero Kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

$
0
0
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki(pichani) ameiagiza Halmashauri ya jiji hilo kuchukua hatua za haraka, kuziondoa kampuni zote udalali zinazokamata magari yanayovunja sheria za maegesho jijini humo.

Kauli hiyo ya Sadiki inakuja wakati kuna ongezeko la malalamiko ya wamiliki wa magari kuhusu kampuni hizo kuendesha vitendo vya unyanyasaji, udhalilishaji, ukatili na usumbufu hasa kwa wanawake huku kiongozi huyo akisema yamejaa ofisini kwake.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini humo, Sadiki alizitaja kampuni hizo kuwa ni Mwamkinga Auction Mart, Yono Auction Mart & Co Ltd na Tambaza Auction Mart & General Court Broker of the Tribunal. 

“Utendaji wa kampuni hizi umeendelea kuwa kero kwa watumiaji wa barabara licha ya viongozi wa kampuni hizo kupewa maelekezo ya kuboresha huduma zao...Malalamiko niliyoyapokea ni mengi, hatuwezi kuvumilia yaendelee,” alisema Sadiki.

Alizitaja baadhi ya kero hizo kuwa ni kukamata magari kwenye nyumba za watu, kuwalazimisha wamiliki wa magari kuvutwa wakati gari linaweza kutembea lenyewe, kufukuza magari yanayodaiwa kuegeshwa vibaya na kusababisha ajali pamoja na kutoza faini viwango tofauti na vilivyoainishwa na halmashauri ya jiji.

“Unakuta magari mazuri na mazima yanavutwa na magari mabovu na kusababisha gari zima kuharibika. Lakini mbaya zaidi, faini halali ni Sh50,000 , wao wanatoza kuanzisha Sh200,000 hadi Sh500,000 . Hii ni kero ambayo hakuna mtu anayekubali.

Hata hivyo, kukamata magari kwa kuvizia mtu akiwa labda amepaki ananunua dawa au hata kushusha mgonjwa, wizi wa vifaa vya magari kwa baadhi ya magari yanayokamatwa... “Mtu anakamatiwa Kimara au Mwenge lakini anavutwa kupelekwa katika yadi yao Pugu au Kurasini, hii haivumiliki,” alisema Sadiki .

Aliongeza: “Wafanyakazi wa kampuni hizo wengi hawana weledi na wanafikiri mtu akishakuwa ‘baunsa’ anafaa na kwamba sehemu kubwa wamekuwa wakiwanyanyasa watu na kuwadhalilisha wanawake ambao hawawezi kupambana nao.”

Sadiki ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam alisema kuwa Halmashauri za Ilala, Kinondoni na Temeke zitachukua nafasi ya kampuni hizo hadi utaratibu mwingine utakapofuata.

“Nazishauri Halmashauri za Ilala, Temeke na Kinondoni kuigia mkataba na Kampuni ya Ulinzi ya Suma JKT ambao vijana wake wanaandaliwa kwa weledi na kufuata sheria za kijeshi na kuachana na wanaookotwa wasikokujua,” alisema. 

Huku akisisitiza Sadiki alisema: “Ninawaomba radhi sana wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa matatizo yaliyokuwa wakiwakuta kutokana na kampuni hizo kuendesha mambo wanavyojua wao, licha ya kuwakemea mara tatu.”

"Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

Video:Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania

$
0
0
Diamond AsindikizwaAirport  Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali 

Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania Hata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae alifufuka na mwishowe akawaokoa. Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama wayahudi.

Watch Video:



Love Quote of the Day When a woman is talking to you, listen to what she says with her eyes. Read

Diva Loveness Awapa Makavu Live Team Wema Sepetu ' Hamnilishi Hamnivishi Then My Life my Rules'

$
0
0
Mtangazaji wa Clouds Diva Ameamua Kufunguka Haya Kwenye Page yake ya Instagram Kuhusu Team Wema na Team Zari :

'lemme just say this maana naona tunaingiliana. goes straight to Team wema ambao huwa mnakuja nitusi humu, wale ambao hufanya hivyo. guys mie sio team wema wala sio team zari Ok? i dnt hate any of them sababu i have a life to live i have my life to live. if i love nyimbo ya msanii nakuanza msifia ni mie sio nyinyi haviwahusu. msinipangie maisha or what to post. kama nampost zari ni mie nimeamua, kama nampost mtu yoyote ni mie. unlike you guys nat blinded with hate at all coz i have My life to live. This is My page tusiingiliane and making dis very clear. i dnt beef.... i do me dats Ol. so niwe mnafiki niwe sijui what what ni mie. niacheni. msitake niwe kama nyie hating bila sababu ya msingi i dnt do that....... so nikitaka mpost yeyote nitampost yoyote vile ninavyojisikia. hatulingani .. we dnt even think the same. sina fikra finyu mie ati. fanyeni yenu coz siwaamulii what to post. tuheshimiane....... endeleeni kutukana coz dats what you good at. but again sitaki any side za mambo ya hao watu and ntapost lolote ninalojisikia as long as nat harming nobody. i dnt hold grudges mimi in my life and sina team yoyote nikipenda kitu ntakuwa team hicho kitu muda huo huo. ningekuwa nawaomba chumvi kwangu kweli sijawahi waomba chumvi wala msaada wowote hamnilishi hamnivishi then my life my rules .. my page i run this tusipangiane Sitaki na mie sio Kioo cha Jamii ya Range Rover wala vitz pia sitaki kupangiwa sheria na maisha yangu binafsi hasa ya mitandao. sitaki. fanyeni yenu mbona siwaingilii mbona hamna adabu kiasi cha kuniingilia mambo yangu. mmezoea tukania mama yangu fine. she is in heaven kapumzika Peacefully. tusizoeane kiivyo siko hivyo mie sizoeleki. khaa... wewe ni nani ukae instagram Kuhukumu, Only God Can Judge me si zaidi. sorry kwa mtaoboreka leo. Team wema stop Being Termagant...... nat for me ey. hamna adabu kiasi cha kutaja viungo vya wazazi ambao pia nyie mnao mmezaliwa pia. ukinitusi mie ni sawa na una mtusi mzazi wako Jiheshimuni heshima ni kitu cha bure. mniwache plz sitaki pangiwa hasa kuchukia yoyote. sitaki huo utoto sita entertain.' Says Diva

Love Quote of the Day
When a woman is talking to you, listen to what she says with her eyes.


‘Tanzania ni mfano wa kuiga’ asema mrembo wa Burundi kutokana na umoja tulionesha kwa Idris na Happiness Watimanya

$
0
0
Diamond Platnumz na Idris Sultan wameiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia baada ya ushindi wao wa tuzo ya Channel O na Big Brother Afrika. 

Lakini hayo yote yasingewezekana bila ushirikiano uliooneshwa na Watanzania katika kuwapigia kura. Mwamko huo umeendelea kuonekana pia katika kumpigia kampeni Miss Tanzania, Happiness Watimanywa. Umoja huo umemkuna mrembo wa Burundi anayeishi nchini Sweden, Nella Neth

Nella Neth

“I love me a beautiful, smart and eloquent lady… she makes me wanna be Tanzanian right now,” ameandika Nella kwenye ukurasa wake wa Facebook.

“‪#‎happiness4missworld‬ I can’t get enough of her gracefulness. Hope she wins…. by the way Burundi should take example from Tanzanians… Yall support each other so much like you do everything possible to put your country on the map… sorry to say this but when a Burundian see you progressing all they can do is to ignore and talk shit!!…. Not all of them are like that but in general…. The support tanzania gave to ‪#‎IdrisSultan‬ for Bigbrother africa is a simple example of pure ‪#‎Unity‬. We need to learn from them. 

WEMA: Sitaki Mniingilie, Maisha Yangu Naamua Mwenyewe

$
0
0

Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka  eti kwasababu tu hawampendi.

Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema  aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani  hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia. Wema alisema;

"My Life... My Rules... You dont like it Unfollow me.... Jus a quick reminder.... Jamani this be my own account.... My personal account... So nitamtag yoyote ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana mpaka kwenye kupost.... Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu kwenye post zake... Tusiingiliane jamani tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!! Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules...."

Hatua ya Wema kutoa  kauli hii ilizua mdaja marefu sana, wapo walio muunga mko Wema kwasababu ni kweli kunawatu wamezidi kufanya vitendo ambayo sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo waliosema azi-BLOCK baadhi ya  akaunti za watu ambao wanafahamika kuawa ndio wanao chafua hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina. Ila wapo walio mpa moyo kwamba ustaa ni nzigo la mwiba kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe yani wale wanaomopenda wa wasiompenda awaacha wavutane.

Hili swala la watu kuchafua page za watu huko mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizturi  hata kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi. KAZA MOYO WEMA.

Tanzanian shilling ranked 13th most worthless currency in the World!

$
0
0
This is one of the most magical places on Earth. The names are rich with the heritage of ancient kingdoms, tribal custom and exotic destinations. The spice island of Zanzibar with its Unesco World Heritage site. The legendary wildlife of the Serengeti plains. 

The haunting image of Kilimanjaro’s snowy top astride the Equator. The country’s treasure trove of things to see and experience may elsewhere be matched but never surpassed.

Tanzania can boost political stability, relative safety and the second largest economy in east Africa. The government is spending US$26 billion (43 trillion-shillings) in infrastructure upgrades. Huge gas reserves have been recently discovered. What’s not to like? Well, sadly, the place just doesn’t work yet.

Tanzania ranks 152nd out of 182 countries on the Human Development Index, 134th out of 192 on Business Environment, and 135th out of 212 on government effectiveness rankings. Remaining stuck in subsistence farming, the per capita income is a depressing $560. 

The government’s goal is to double that by 2025. And experts warn much of that increase will get gobbled up by Africa’s one percent in the big city of Dar es Salaam.

Source: therichest.com

Mke/ Mme wa kwanza ni wa Majaribio Kwenye Ndoa..Soma Hii

$
0
0
Utafiti niliofanya katika sehemu yangu ya kazi unaonyesha kuwa Wanaume 27 sawa na 86% ya wanaume wote ambao wako above 45 wanaishi na wake zao wa pili. Wameachana au wametelekeza wake zao wa kwanza.

Hii maana yake ni kwamba ndoa ya kwanza huwa ni ya majaribio. Baada ya uzoefu then mwanaume hutafuta mke wa maisha yake.

Bahati mbaya ukweli ambao watu hawapendi kuukubali ni kuwa binadamu tuna kosea. Tuna kosea kwenye mambo mengi ikiwemo kuchagua wenza. Je kama nimekosea kwa nini nisifanye uchaguzi wa pili?

Kumekuwa na propaganda zisizo za kweli kuwa ukisha oa au kuolewa ndo basi tena, eti huo ni msalaba wako. Say NO to unhappy marriages.

Rafiki Yangu Kanivuruga Akili Mnooo Kumuoa Msichana Aliyekuwa Mpenzi Wangu

$
0
0
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni kupata Habari kuwa rafiki yangu yupo katika maandalizi ya kuoa na Mchumba wake ni yule yule aliyekuwa mchumba wangu siku za nyumba niliyeachana nae..Ki ukweli nimechanganyikiwa napata maswali mengi sana

Je inawezekana walikuwa wapenzi toka zamani ?
Je Rafiki yangu alihusika katika Kuvunja uchumba wetu ili yeye ajichukulie?

Nifanyaje Waungwana?

Huyu Mpangaji Mpya Ananitakia Nini Mtoto wa Watu, Siwahi Ongea naye zaidi ya Salamu ila Mitego nayoipata Nakaribia Kunasa

$
0
0
Jamani Mitego Mingine ni Shidah ..Kuna dada mpangaji mwezangu hapa kijitonyama amehamia kwenye hii nyumba week ya pili sasa , chumba chake na changu kipo karibu , toka amehamia hatujawahi ongea zaidi ya salamu ila mitego ya khanga ninayoipata mpaka nataka nimrushie maneno mawili matatu ila bado nimuonea haya..

Huyu Dada ni kama Amejua ratiba zangu basi kila asubuhi nikiwa natoka kwenda kazini lazima nimkute nje anafua ama anaosha vyombo kwenye karo akiwa ndani ya khanga moja tena ile nyepesi inayoonyesha mpaka nguo ya ndani..Vile vile jioni nikiwa narudi anajipitisha pitisha hapo nje weee...

Jamani Hii ni Kawaida kwa Wapangaji ama Ndo Naonyeshwa Green Light ?
~Kelvin

Lulu:Lazima Ujue Kutofautisha Kati ya Fashion na Style

$
0
0

Mbali na mambo yote, hakuna anebisha kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni mrembo na mara zote hakosei katika mitoko yake hasa linapokuja swala maswala ya mitindo katika uvaaji na muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa hilo hakuna ubishi kuwa Lulu yuko vizuri.

Leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram Lulu ameamua kutoa elimu kidogo kuhusu kutofautisha kati ya Fashion na Style

Aliandika;

"Jua Kutofautisha Kati Ya FASHION Na STYLE... Fashion z wat we buy,n STYLE z how you wear it...!
#SundayVibe"

Kisha akatupia picha hizo….wewe unaonaje??

Vibaka wa Mwenge Wamfanyia Aunty Lulu Kitu Mbaya

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa bado hajapona jeraha la kuchanwa usoni na bwana’ke, mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefanyiwa kitu mbaya na vibaka na kumnyang’anya kila alichokuwa nacho.

Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Mwenge, jijini Dar ambapo alikuwa akikatiza mitaa hiyo usiku, vibaka walimvamia na kumpiga maeneo ya usoni na kuanguka ambapo walipata nafasi ya kumuibia simu mbili, saa na pochi iliyokuwa na fedha shilingi 120,000.

Yaani uso wangu umekuwa na manundu kama jambazi niko tu ndani naumwa maana nilipigwa mno, mwaka unaisha vibaya sana kwangu namuomba Mungu huo unaokuja usiwe mbaya kama huu maana ni mwaka wa majanga sana kwangu,” alisema Aunty Lulu.

Wema Sepetu Alisusa Gari Aiana ya Murano Alilopewa Kama zawadi na Aliyekuwa Mpenzi wake Diamond Platnumz

$
0
0

Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.

Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.

Wema Akiwa Kwenye BMW Ambayo ndio anaitumia sasa
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda airport hilo Murano sitaki hata kulisikia, sijui najisikiaje hata nikiliona,” alisikika Wema.Paparazi wetu baada ya kusikia Wema akionesha wazi kuwa analichukia gari hilo, alimuuliza sababu inayomfanya alichukie ambapo alisema hajui ni kwa nini analichukia ingawa ni mali yake.

“Siku hizi sipendi kutumia hili Murano tena nalichukia kweli, inafikia kipindi nakosa raha nikiliona lakini ukiniuliza sababu ya kulichukia kiasi hicho hata sina sijui nimezoea sana kutumia BMW, ndiyo maana najikuta nalichukia gari hili,” alisema Wema.

Kwenye bethidei yake iliyofanyika Septemba, mwaka huu, Wema alizawadiwa magari mawili. La kwanza lilikuwa ni BMW 545i (Sh. Milioni 56) ambalo liliibua utata juu ya mtu aliyemzawadia na la pili ni Nissan Murano (Sh. milioni 36) alilopewa na Diamond

Yule Hausigeli aliyemtesa Mtoto Nchini UGANDA Atupwa JELA Miaka 4

$
0
0
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.

Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.

Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images