Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live

Simba Napo Kimenuka, Yamtimua Kocha Patrick Phiri

$
0
0
Baada ya Yanga sasa ni Simba, Phiri na bechi lake lote wametimuliwa Simba na kesho atapewa barua na haki zake za msingi zitafuatia.
MSERBIA GORAN ambaye alishawahi kuifundisha POLICE ya RWANDA ndiye rasmi kocha wa Simba na atasain mkataba siku ya j5 jioni.
Mserbia huyo atasaidiwa na kocha kutoka Rwanda anaitwa JEAN MARIE NTAGAWABILA.
Hiyo ndiyo habari ya mtaa leo

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.

Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.

"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.

"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.

Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza ni kiasi gani, halafu ataanza safari ya kurejea kwao Zambia.

"Nikimalizana nao kuhusiana na malipo yangu, nitajua lini ninakwenda nyumbani," alisema Phiri.

ESCROW: Kufukuzwa kwa Prof. Tibaijuka, Maovu Mengi Yaanza Kuumbulika...

$
0
0
WIKI moja Kupita Baada ya aliyekuwa Waziri wa Kazi,Nyumba na Mandeleo na Makazi Profesa Anna Tibaijuka kufukuzwa kazi kwenye nafasi hiyo,sasa Mengine mapya yaanza kufichuka kuhusu kufukuzwa kazi kwake,paparazi huru umeelezwa.

Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika Mwanzoni mwa wiki liyomalizika jana Jijini Dar Es Salaam,ambapo Rais Kikwete alisema Waziri huyo alipokea zaidi ya Bilioni 1.6 kutoka kwa Mbia wa Kampuni ya IPTL,Bwana James Rugimalira ambapo ni Kinyume na Maadili ya utumishi wa Umma.


Licha ya Profesa Tibaijuka kujinadi katika Mkutano wake na Wandishi wa Habari aliouhitisha Alhamisi ya Wiki iliypita na Kujinadi kwamba hawezi kujiuzulu kwenye Nafasi ya Uwaziri kwa Madai hakuhusika kwenye wizi wa zaidi ya Bilioni 306 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa BOT.


Taarifa za Kuaminika ambazo Mtandao huu umezipata zinasema Shinikizo la kufukuzwa Prof.Tibaijuka limepewa nguvu na baadhi wa makada kutoka ndani ya chama cha Mapinduzi akiwemo spika wa bunge Anna makinda ambao wanamwona tishio katika harakati zake za kutaka kumrithi Rais anayemaliza mda wake Jakaya kikwete mwakani 2015.


Kwa Mujibu wa Chanzo chetu cha kuaminika kinasema Profesa Tibaijuka alikutana na Rais Kikwete Ikulu Jijini hapa siku ya Jumatano iliyopita.


Ambapo katika mazungumzo yake Mtoa taarifa huyo anasema Prof Tibaijuka alimueleza Rais Jakaya Kikwete Hatua kwa hatua jinsi Fedha zilivyotolewa na Rugimalira hadi kupelekwa kwenye Akaunti ya shule ambayo ipo katika Benki ya M,Sea View iliyoko Jijini Dar Es Salaam.


Aidha,katika Kikao hicho Rais Kikwete alikubaliana na Prof Tibaijuka na akamtaka akaitishe mkutano na Waandishi wa Habari ili kutoa ufafanuzi wa jambo hilo.
Na ndivyo Prof Tibaijuka akaitisha mkutano wake na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Hyatt Regency (KILIMANJARO)
Akilielezea hilo Ofisa mmoja wa Ikulu alinukuliwa na chanzo kimoja cha Habari alisema baada ya kukutana na waandishi wa Habari, aliitwa tena Ikulu,safari hii alikutana na Makamu wa Rais Dk,Mohamed Gharib Bilali na Waziri Mkuu mizengo Pinda.


“Walipofika hapa Ikulu,Prof Tibaijuka alikutana na Rais Kikwete Dk Bilali na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakamwambia kuwa Jinsi hali ya Hewa ilivyochafuka ni vema akawapisha kwa kujiuzulu yeye alikataa”
“Akasema hawezi kurudi tena kwa wananchi kuwambia anajiuzulu kufanya hivyo ni kugeka jiwe ,kama wao wanamwona afai,basi wamfukuze kazi lakini siyo kujiuzulu”aliileza Ofisa huyo Mwandamizi wa Ikulu ambaye akutaka Jina lake litajwe mtandaoni.


Mbali na hivyo Taarifa Zengine ambazo Mtandao huu unazo pamoja na Nyaraka mbalimbali zinamwonyesha Profesa Tibaijuka akipigania Uwaziri Tangu Sakata hili lilivyokuwa Bungeni,lakini viongozi wa Bunge wakiongozwa na Spika Anne Mkinda walimyima haki hiyo ndio maana Rais Kikwete alipogundua kwamba Bunge lilimyima haki ya Kujitetea ndipo akamtaka akajitete kwa wananchi.


Akiandika kwa Spika Makinda tarehe 20 Novemba 2014 Prof Tibaijuka alisema “Pamoja na kuomba kuchangia kupitia Mhe Jestina Muhagama –Katibu wa Bunge wabunge wa CCM-hadi sasa hakuna uhakika kama nitapewa nafasi hiyo kabla hoja kufungwa’

Barua hiyo kwenda kwa Spika Makinda ilikuwa na kichwa cha Habari hivi “Muda wa Kujitetea mbele ya Bunge kufuatana a kutajwa kwa jina langu katika Taarifa ya PAC –Issue ya Escrow


Katika kile kinaoneka ni kwamba Spika Makinda alikuwa anataka kumsulubu Msomi huyo alimjibu “ Suala hili ni kubwa sana,maelezo yako hapa Bungeni hayataweza kukupa haki ambayo unastahili”
Alisema “Ushauri wangu jiandae Vizuri kusudi vyombo vitakavyoshughulikia , vikikuita uweze kujitetea ufanye hivyo,sio humu ndani”

Barua hiyo ya Anna Makinda ambayo ilimjibu Prof Tibaijuka aliandikwa Novemba 28 mwaka huu ina na Kumb Na.CBC.155/188/02/16 Hata hivyo Profesa Tibaijuka hakukubaliana na majibu ya Makinda akandika tena barua nyingine siku hiyohiyo,Profesa Tibaijuka akasema “Asante kwa kujibu barua yangu.Ninakusihi sana unipe muda kuchangia kama unanitakia kheri katika maisha yangu .Dunia inasubili Kauli Yangu”

Licha ya kulalamika hivyo Spika Makinda akajibu Andishi hilo kwa kusema “Mh Prof,Tibaijuka,Bunge hili haliwezi kukusaidia.Naomba ukubali kujiandaa kwa hatua nyingine.maana wataibua hata mambo hayapo humu .Naomba unisikilize”


Habari zinasema Mbali na madai hayo Prof Tibaijuka amekuwa katika wakati mgumu na Baada ya kukatalia Bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)kumlipa mshahara wa dola marekani 19,000 (elfu kumi na tisa kwa mwezi) karibu zaidi ya Milioni 32.3 milioni mkurugenzi wa Shirika hilo Nehemia Msechu.


Bodi ya NHC iliyoidhinishwa mshahara wa dola 19,000 kwa mwezi inaongozwa na mbunge wa kuteuliwa Zakia Meghji.
Kwa sasa Msechu anaweka kibindoni dola za 11oo0 zaidi ya milioni 18 pamoja namrupumrupu mengine kedekede.


Fedha hizi ziliidhinishwa na Pro Tibaijuka na kwenda kinyume na Bodi ya Shirika hilo,Wadadisi wa Mambo wanasema kufukuzwa na kwa Waziri huyo kumeleta haheni kwa Bodi ya NHC kufanya anasa ya Fedha za Umma.

Faiza Aelezea Magumu Aliyopitia Mwaka Huu,Likiwemo Swala la Ndoa Yake Kuota Mbawa

$
0
0
Mwigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja aliezaa na Mh.Joseph Mbilinyi “Sugu” ameelezea ni kwajinsi gani mwakuu mabao yalivyo muendea vijabaya ikiwemo kupeperuka kwa ndoa yao, lakini sasa anajipanga kuanza vyema mwakani.

Wakati  huu mwaka unaanza, nakumbuka nilikua Mbeya mwezi January ilikua ni baada ya kumbatiza Sasha wakatti wa Christmas,wakati huo nilikua na matumaini makubwa sana pia tulikua tumepanga ndoa yetu iwe mwezi wa tano na ni kwa sababu ni siku ya kuzaliwa kwa mwenzangu!

 Lakini January hiyo hiyo mambo yakibadilika vibaya sana pia nikarudi dar na kuanza maisha mapya ! Wakati narudi na mwanangu hata sikujua nianzie wapi nifanye nini! Lakini namshukuru M.Mungu nimeweza kufanya nilivyo fanya na Nipo nilipo sasa! sababu ya kuandika haya ni kwa sababu ya kuwajuza watoto wakike kuwa tunaweza tukiamua! Binafsi sikujua itakuaje Lkn niliamua na nimeweza japo haikua rahisi ... Nimelalamika sana ,nimelia na nimefurahi pia nimeshukuru na sehemu zingine nimeonekana Kama chizi au nimerukwa na akili Lkn yote ilikua ni kwa sababu ya uchungu nilio pata kwa kipindi chote ! Sasa mwaka huu unaisha nataka niyaache yote nyuma yalipita nianze na mwaka mpya na mambo mapya! Kwa hili namuomba Mungu aniwezeshe Insha Allah niweze ku songa na nirudi kuwa yule Faiza ninae mjua mimi Insha Allah

Pia nawaombea Mungu wenzangu wote walio pata matatizo kwa namna yoyote mungu awabariki wawe na mwanzo mzuri ktk mwaka ujayo na wale walio barikiwa mungu awape baraka zaidi na Insha Allah awaepushe kwa mabaya! Mimi na mwanangu Sasha tunawatakia heri na mafanikio ktk mwaka ujao Insha Allah ! Pia marafiki zangu wote naomba mjue kwa namna Fulani mnanifanya nijisikie furaha japo kuna wengine wanakera .... Amani iwe juu yenu ... Ameen –Faiza alimaza

Wastara ' Siwezi Kufanya Chochote Bila Kumfikiria Marehemu Mume Wangu Sajuki'

$
0
0
Sajuki alifariki January 2, 2013.
“02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook.

Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye kwa jinsi alivyokua na mawazo mazuri ya kujenga namkumbuka na nitamkumbuka siku zote za maisha yangu,nampenda na nitampenda siku zote.

Hivyo 02.01.2015 kutakuwa na dua itakayosomwa kwenye kaburi lake kisutu Dar es salaam kuanzia saa nne asubuhi,na badae kutakuwa na dua nyumbani tabata pamoja na chakula cha mchana kwa watakaojaliwa naomba tuungane pamoja kwenye dua hii,asanteni nawapenda wote.

Isabela Mpanda 'Roho Inaniuma Sana Ndoa Yangu na Luten Karama Imebuma Bila Kutarajia'

$
0
0
MSANII wa muziki Bongo, Isabela Mpanda amesema kuwa anasikitika kuona mwaka umeisha mipango yake ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi Luten Karama imegonga mwamba na kutamani kuolewa ndoa ya kimyakimya. 

Akizungumza kwa masikitiko mwanadada huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Ruvuma alisema, maisha ya uchumba yameshamchosha na ndiyo maana anapigania kuolewa, ambapo harusi yao ilitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, lakini kutokana na sababu zilizoshindwa kuzuilika ndoa imeshindikana hadi mwakani. 

Roho inaniuma sana natamani mno kuingia kwenye ndoa lakini kwa mwaka huu imebuma bila kutarajia, tulifanikiwa kufanya kikao kimoja tu cha harusi sasa nikafiwa na dada yangu ikabidi mipango yote isimame basi ndiyo kimya hadi sasa, nilimwambia Karama tuoane kimyakimya ndoa ya Bomani kisha sherehe itafuata akagoma, kwa hiyo tunatarajia kufunga pingu za maisha mapema mwakani Mungu akipenda,”alisema Isabela.

Baada ya Kimya cha Muda Mrefu Mrembo Rayuu Aibuka na Picha Hizi Akiwa na Mwanaume Aliyejichora Tattoo ya Jina Lake

$
0
0
Baada ya Mrembo Rayuu Ambaye ni Mwigizaji katika Tasnia ya Bongo Movies Kukaa Kimya kwa Muda Mrefu Mitandaoni kwa Kuweka Picha zenye Utata..Safari hii Amekuja na Mpya Ambapo ameweka picha akiwa na mwanaume kitandani kwenye mikao ya kimahaba huku mvulana huyo akiwa amejichora Tattoo ya Jina lake kuonyesha ni mtu wake wa karibu aka Mpenzi...

Angalia Picha Hizo Hapo chini na utoe Maoni yako:


Kiwanda Cha Juice Chafungiwa na TBS Baada ya Kuuza Juice Zenye Vimelea vya Wadudu

$
0
0
Shirika la viwango nchini TBS limefanya ukaguzi wa kushtukiza na kufungia kiwanda cha Devideic Group kinachotengeneza juisi aina ya Into kilichopo Kihonda manispaa ya Morogoro kwa kuuza juice zenye vimelea vya wadudu.

Shirika la viwango nchini TBS limefanya ukaguzi wa kushtukiza na kufungia kiwanda cha Devideic Group kinachotengeneza juisi aina ya Into kilichopo Kihonda manispaa ya Morogoro kwa kuuza juice zenye vimelea vya wadudu ambazo hazifai kwa matumzi ya binadamu na kuagiza juice hizo kuondolewa sokoni mara moja.
Akizungumza wakati wa kufunga kiwanda hicho afisa viwango TBS Raurence Chenge amesema TBS limefunga kiwanda hicho baada ya kubaini kuwa juisi inayozalishwa katika kiwanda hicho zina vimelea vya wadudu na kiwanda hicho kinazalisha chini ya kiwango pamoja na kutumia vikoleza yya sukari kinyume na utaratibu.
Naye afisa uhusiano wa TBS Roida Andusamile amesema sambamba na kuzalisha chini ya kiwango kiwanda hicho hakijatenganishwa na nyumba ya kuishi jambo ambalo ni kinyume na sheria ya viwanda ambapo amewataka wafanyabiashara kuondoa juisi hizo sokoni maramoja na ametoa tahadhari kwa wananchi kuacha kununua juisi aina ya Into kwani hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Kwa upande wake meneja uzalishaji wa kiwanda cha Devideic Group Limited Tadeus Ngonyani amesema hajakubaliana na utaratibu uliotumika kufunga kiwanda hicho kwani ameonewa huku akilalamikia kuwa kiwanda chake kinazalisha kwa kufuata taratibu za viwango kama viwanda vingine vinavyotengeneza juisi.

Kashfa ya Escrow sababu ya kuanguka CCM-Wassira

$
0
0
Mh. Stephen Wassira, amekiri kuwa kutochukua hatua za mapema kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow ni moja ya sababu ambayo imesababisha chama hicho kutofanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mh,Wassira ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu ameyasema hayo nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kijijini Butiama, ambapo amesema kitendo cha serikali kushindwa kutoa taarifa kwa wakati kimechangia kuwachanganya Watanzania kuhusu sakata hilo.
Hata hivyo mjumbe huyo amesema hivi sasa taifa linakabiliwa na wimbi kubwa la baadhi ya viongozi wake kukosa uzalendo na uadilifu huku wakitanguliza mbele maslahi binafsi kitendo ambacho amesema kinaondoa dhana nzima ya kumuenzi baba wa taifa
Naye mmoja ya watoto wa baba wa Taifa Mh. Makongoro Nyerere, ametumia mazungumza hayo na Mh. Wassira kuitahadharisha CCM, kuwa endapo itashindwa kudhibiti vitendo vya rushwa, matumizi mabaya ya fedha katika uchaguzi kuna hatari ya kuwagawa watanzania na kufanya CCM kupoteza dola katika uchaguzi mkuu ujao.

Martin Kadinda Anunua Gari Mpya Baada ya Kumzawadia wema Sepetu Gari ya Bei Kubwa iliyoleta Utata

$
0
0
Baada ya Martin Kadinda Kumzawadia Gari ya Gharama Wema Sepetu siku ya Sherehe ya kuzaliwa kwake iliyoleta utata naye ameamua kununua gari kali aina ya Primera Kuwakata Watu Midomo walio shangaa kwa yeye Kumpa mtu zawadi ya gari ya gharama wakati yeye hana ...

Jionee Picha hapo chini na Ujumbe aliondika kwenda kwa mashabiki wake:


Kwa Maoni yako, Hili Ndio Penzi la Kweli au Uzoba?

$
0
0
Unasemaje kuhusu Mwanaume Kupiga magoti mbele za watu kama kwenye hiyo picha nakuomba msamaha kwa mpenzi wake? 
Je ni Uzoba ama Mapenzi ya Kweli ?

Ray C Apata Wakati Ngumu Vita ya Dawa za Kulevya

$
0
0
Msanii wa muziki wa Bongofleva Ray C ambaye amekuwa katika wakati mgumu kwa kipindi kirefu kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya amekuwa akijitahidi sana kuwashawishi vijana kuhusiana na vita dhidi ya matumizi ya madawa hayo.

Ray C amesema kuwa tangu alipokuwa akipatiwa matibabu katika taasisi inayoshughulika na waathirika wa madawa hayo, bado amekuwa akipata mtazamo hasi kwa baadhi ya watu kutokana na yeye binafsi kuwa mhanga wa matumizi ya madawa hayo na Baadhi ya watu kuwa wagumu wa kuukubali ukweli hivyo kumuona yeye kama adui ...

Mara Kadhaa Ray C ameingia katika mikwaruzano ya hapa na pale na Wasanii Kama TID na Chid Benzi ambao kuna tetesi kuwa wanatumia vilevi hivyo pale anapojaribu kuwashauri kupitia mitandao ya kijamii kuacha Matumizi ya Dawa hizo.

Je unamshauri nini Ray C kuhusu vita dhidi ya Matuzi ya Madawa ya Kulevya ?


Polisi Magereza Wamtungua Risasi ya Kichwa Jambazi Lililojaribu Kutoroka Mahakama

$
0
0



Mtu Mmoja Raia wa Sierra Leone Ambaye jina lake halikupatikana kwa haraka amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kadhaa na Askari Magereza wa Mahakama ya Kisutu , Inasemekana mtu huyo alikuwa ni mahabusu ambae alikuwa amefikishwa mahakamani hapo kwa kosa la Kukamatwa na Madawa ya Kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya shilingi Mil 61 , Muda tu baada ya kufikishwa mahakamani hapo aliwatoroka Askari waliomsindikiza chooni kujisaidia na kuparamia fensi ya mahakamani ili kukimbia lakini kwa bahati mbaya askari waliona mchezo mzima na kummiminia Risasi zilizosababisha mauti yake.
~udakuspecially.com

Hivi Ndivyo Mastaa Mbali Mbali Walivyoukaribisha Mwaka Mpya 2015

$
0
0
Diamond
"Siku zote Kumbuka wewe ni mwanaume...na sisi wanaume tumeandikiwa Rizki zetu kuzipata kwa Tabu sana... Mateso, Manyanyaso, Kudharauliwa Kusimangwa, Matusi na Shida za kila aina... hivyo, mitihani unayoipitia sasa, isikukatishe tamaa.. amini ndio njia ama Daraja la kukufikisha kwenye mafanikio yako... Waswahili husema, "Ukiona kiza kinazidi tanda, ujue karibu "

Meninah 
"Tukielekea katika kuuaga mwaka 2014 ningependa kumshkuru Mungu kwa utukufu wake kwa kunitunuku pumzi inayonifanya nizidi kuona rehma zake zinazonfanya nizidi kuwa na nyie karibu pia shukrani zangu za dhati zije kwenu watu wangu waukweli,media zoote na familia yangu kwa ujumla kwa sapoti kubwa mnayonipa ambayo siwezi kuipata sehemu yeyote zaidi ya hapa nyumbani Tanzania kwanza.....Tumepitia vikwazo vingi,uzuni,mawazo,furaha ila bado tupo bega kwa bega ndani ya mwaka mzima mpaka hivi tunauaga tumshkuru Mungu kwa nafasi hii ambayo wengi wao hawajapata kuiona vizuri kwa afya hata kutokuuona kabisa
,,tuukarbishe mwaka mpya 2015 kwa kudumisha upendo na amani.......I love you..........."

Juma Jux
"ASANTENI sana for the LOVE and SUPPORT in 2014.
kheri ya mwaka mpya "

Divathebawse
"wish you Guys Happy New Year. love you all. ❤️ from me and My baby. lots of love #deuces✌️"

Ommy Dimpoz
"Huu ni mwaka wa 3 mfululizo New year inanikutia kenya nikiwa kwenye harakati zangu za kujitafutia Ugali...Asante Mungu kwa mwaka mzuri wa 2014🙏 kwani nina kila sababu ya kukushukuru na pia ningependa kutumia nafasi hii kutoa shukrani za dhati kwa Media mbali mbali,wadau wa muziki wetu,team yangu ya PozkwaPoz (PKP),familia yangu na bila kuwasahau mashabiki wetu ambao mmekuwa mkitussuport bila kuchoka hakika tunashukuru sana kama kuna mtu nilimkosea basi naomba anisamehe kwani wapo pia walionikosea na mm sina budi kuwasamehe na kuanza maisha mapya km Mungu alivyotuagiza Nawapenda sana HAPPY NEW YEAR 🎉🎊🎉🎊🎉🎉🎆🎇🎆🎇"
~udakuspecially.com

Elimu ya Sekondari itakuwa BURE kuanzia 2016 - Jakaya Kikwete

$
0
0
Katika Salaam za Mwaka Mpya Kutoka kwa Rais Jakaya kikwete Amegusia Swala la elimu na Kusema kuhusu Elimu ya Secondary Mwaka ujao itakuwa ni Bure.

Nanukuu kama Ifuatavyo:

'Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo
Ndugu wananchi;
Mafanikio mengine tuliyopata mwaka huu ni kukamilika kwa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014. Hii ni hatua muhimu sana katika maendeleo ya elimu nchini hakuna badala yake. Sera mpya inalenga kuinua ubora wa elimu na mafunzo na kuweka mifumo na taratibu zitakazowezesha Watanzania wengi zaidi kupata fursa za elimu iliyo bora na inayolinga na wakati tulionao. Jambo jipya sana na la kihistoria katika Sera mpya ya Elimu ni dhamira ya Serikali ya kuondoa ada katika elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2016. Mpaka sasa hatuna ada kwenye shule za msingi, sasa wakati umefika kufanya hivyo pia kwa elimu ya sekondari. Kwa mujibu wa maelezo hayo ya Sera, nimekwishatoa maagizo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Fedha na Tume ya Mipango kuanza kutafakari namna jambo hilo litakavyotekelezwa.' Jakaya Kikwete

~udakuspecially.com

Zari Acharuka Baada ya Shabiki Kumpa za Uso Kuhusu Kutokuwepo Kwenye Siku ya Kuzaliwa kwa Mtoto Wake Huku Akitanua na Diamond

$
0
0
Mrembo zari the boss lady Jana amempa za uso hater anaye jaribu fatilia maisha yake kisa kikiwa ni kitendo cha zari kuwepo Rwanda katika show na kula bata with her baby Diamond Platnumz hali kuwa mwanae alikuwa anasherehekea siku ya kuzaliwa Kwake huko Uganda 

Mchezo Mzima ulikuwa hivi:

Zari alipost picha na maneno haya hapa chini :

'Bday s/out to my soldier Raphael aka Didi.... love baby. Throwing u a bigggggg parrrrryy once we touch base in SA'

Shabiki mmoja katika hiyo post akaandika hivi :

'Hata Bday haupo nae Maskini Mtoto'

Sasa Hapo ndipo palipo mgusa Zari na Kufunguka Hivi Hapa Chini:

'Don't come here pretending to know my f**cking life or my kid's life or anything about us. Keep ur f**cking miserable low life a*s where it belongs just don't act like u know us..Just don't talk about my Kids...Stay off ma kids issues they ain't your issues to handle but ma god damm Business'

 Je, wewe unamtazamo gani juu ya hili?
~udakuspecially.com

JB:Tasnia ya Bongo Movies Inaangukua Kifo Kama ulivyoanguka Muziki wa Bongo Flava Katika Mauzo ya Album

$
0
0
Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.

JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.

Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.

Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana kwani uharamia umezidi, kwa mtazamo wangu najua tunaelekea mwisho, hata kitendo cha msambazaji mkubwa kama Steps kuamua kushusha bei ni kutapata na kujaribu kukuruka kutokana na hali ilivyozidi kuwa mbaya.

Wasambazaji wa muziki walikuwa wakiwalalamikia maharamia kwa kuwazidi nguvu na serikali ikabaki kimya bila ya kuyafanyia kazi malalamiko yao, kama inavyofanyika katika filamu sasa,” aliongeza.

Katika mtazmo wake, JB anaamini kwamba suala la kushusha bei ya filamu wakati maisha yanapanda ni kifo cha tasnia hiyo inayopendwa na Watanzania wengi.
~BongoMovies

Is this Right or insanity? Couple Making Lov3 In Front of Their Daughter

$
0
0
This is absolutely WRONG! Nothing can justify this abuse, When this lady went to visit her boyfriend she took her daughter with her, she couldn’t simply leave the child with someone knowing very well the guy live’s in a single room

Not only did they make lóv3 in front of the child, the guy also recórded the whole thing and later on sent it to his friends. This cóuple needs to be sued for child abuse… the world has finally lost it!

Full Story of Sierra Leonean Who killed As He Attempted to Escape From the Kisutu Resident Magistrate’s Cour

$
0
0
A Sierra Leonean national identified as Abdul Koroma was shot dead yesterday as he attempted to escape from the Kisutu Resident Magistrate’s Court.

Koroma, 33, who was facing drug trafficking charges, was shot by a warder as he attempted to climb over a fence after bolting out of the court building.

Eyewitnesses told The Citizen that the accused was earlier brought to the court from remand and locked up in the holding cells.

As he was waiting for his case to be mentioned, Koroma asked to be allowed to relieve himself, but made a dash for freedom after jumping over the toilet wall. The warder who escorted him to the toilet fired two warning shots in the air, but the accused did not stop.  The main gate was hurriedly closed, prompting Koroma, who was dressed in a grey T-shirt, red shorts and white trainers, to attempt to climb over a steel fence.

One of the warders who gave chase grabbed Koroma by the leg before he could jump over the fence, but the accused was too strong for him.  It was at this point that a warder shot the escapee, killing him on the spot.

As curious onlookers gathered, Koroma’s lifeless body dangled from atop the fence, with his T-shirt and shorts caught on the steel spikes.  It was eventually brought down and put on a stretcher before police officers and warders took it to the Muhimbili National Hospital mortuary.

The head of Anti-Narcotics Unit, Mr Godfrey Nzowa, said it appeared Koroma’s attempt to escape was not spontaneous and that it had been carefully planned.

But Legal and Human Rights Centre (LHRC) Executive Director Helen Kijo-Bisimba condemned his killing as “rash and uncalled for.”

She accused warders and police of laxity which gave Koroma an opportunity to attempt to escape.

“If they were careful, he would not have had the chance to escape and they would not have had to kill him.  Even if they had to shoot him, they were not supposed to shoot to kill,” Dr Kijo-Bisimba said.

She added that from a human rights point of view, it would have been better to have left the accused to escape and find him later instead of killing him.

Dr Kijo-Bisimba said she would be in a position to comment further upon getting all the details of the incident.

Koroma was arrested at Julius Nyerere International Airport (JNIA) on December 4, 2013 while allegedly in possession of about 1.2 kilogrammes of cocaine with a street value of Sh61.4 million.

Mr Nzowa told The Citizen  that Koroma was arrested upon his arrival from Brazil aboard an Ethiopian Airlines flight after arousing the suspicion of security personnel. An X-ray scan revealed that he had a large amount of cocaine in his stomach.

~Citizen

Hakuna Siri Tena Huyu Ndio Muhusika wa Ujauzito wa Aunty Ezekiel, Amwita Beib na Kumpongeza Kwa Ujauzito

$
0
0
Mwaka 2015 umeanza vizuri kwa Mose Iyobo dancer wa Diamond kwa kumpongeza Aunty Ezekiel na kisha kumwita Beib...Hii sasa imeweka wazi kwamba ni kweli  wawili hawa wana mahusiano na Ujauzito wa Aunty Ezekiel wenye maswali mengi kwa mashabiki wake muhusika ni Mose Iyobo

Mose Iyobo Ambaye ni Mume wa Mtu Ameweka picha hii Hapa chini ya Mwanamke Mjamzito na Kuandika Hivi Kwenye ukurasa wake wa Instagram:

'Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata.....mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini....au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba..... na kama hii ni mimba basi congratulation to my beib. .......AEZKL'Mose Iyobo

~udakuspecially.com

Polisi Yatangaza Kiama Kwa Wanawake Wanao Fanya Biashara Haramu ya Ngono Mitaani na Nyumba za Starehe

$
0
0
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Imetoa Mkwara Mkali kwa Wanawake wanaojiuza usiku katika mitaa na Kumbi mbali mbali za Starehe , Mkuu  huyo wa polisi amesema kuwa Bishara hiyo inaleta usumbufu kwa wakazi wa Mkoa huo pia inazidi kuvunja maadili kwani kwa sasa kutokana na uchunguzi uliofanyika mpaka watoto wadogo na wanafunzi wanajihusisha na biashara hiyo haramu , Inasemekana mpaka wanafunzi wanao kaa shule za boarding hutoroka usiku na kwenda kwenye kumbi mbali mbali za starehe ili kujipatia kipato kwa kazi ya umalaya..

Kamanda huyo amesema kuwa msako huo Utaanza Muda wowote kuanzia Sasa.
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live




Latest Images